If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 9 | 1 |
Wanyama wa Majini
|
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi:
Kauli ya kutendeana
Kauli ya kutendesha Kauli ya kutendua |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi. Kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana. Kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana. Kuchangamkia matumizi ya kauli ya kutendeana katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vya kauli ya kutendeana katika orodha iliyoandikwa ubaoni au katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kunyambua vitenzi katika jedwali kutoka kauli ya kutenda hadi katika kauli ya kutendeana Wanafunzi wakiwa katika vikundi kutunga na kuandika sentensi akivitumia vitenzi vya kauli ya kutendeana. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuzileta maana mbalimbali?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 139-141
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 142-144 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 145-147 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |
Afya ya Akili
Kukabiliana na Ugaidi Kukabiliana na Ugaidi Kukabiliana na Ugaidi |
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo ya kimuktadha
Kusoma kwa mapana; Matini Kuandika insha; Insha ya maelezo Kuandika insha; Insha ya maelezo Sarufi; Vinyume vya vivumishi Kusikiliza na Kuzungumza; Sitiari za tabia Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali Kusoma kwa mapana; Matini za kidijitali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi. Kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Kuigiza mazungumzo ya muktadha wowote rasmi. Kufurahia matumizi ya lugha rasmi. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza mazungumzo kati ya mwalimu na mwanafunzi katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutambua muktadha wa mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo ya muktadha wowote rasmi |
Je, ni wapi katika shughuli za kila siku watu huitumia lugha rasmi na lugha isiyo rasmi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 148-151
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 151-153 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 154-157 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 157-159 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 161-163 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 164-165 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 165-167 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 3 |
Kukabiliana na Ugaidi
Ushuru |
Kuandika
insha; Insha za masimulizi
Sarufi; Matumizi ya lugha: Hali ya masharti -nge Hali ya masharti -ngali Hali ya masharti -ki Hali ya masharti -ki Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za insha ya masimulizi. Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali. Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi. |
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo na kurejelea vielezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini. mbalimbali |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 167-168
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 168-170 Majarida Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 170-171 Chati Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 171-173 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 173-175 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 176-178 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 178 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 179-180 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Ushuru
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kutoa masimulizi
Kusoma kwa ufahamu; Kifungu Kusoma kwa ufahamu; Kifungu Kuandika barua; Barua rasmi Kuandika barua; Barua rasmi Sarufi; Ukanushaji wa maneno: Kiambishi cha hali ya masharti nge Kiambishi cha hali ya masharti ngali Kiambishi cha hali ya masharti ki Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- Udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ki- Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- Udogo wa nomino zinazoanza kwa kiambishi ji- |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza masimulizi, |
Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi,
|
Je, masimulizi ya Ushuru yana umuhimu gani?
Je, ni mada gani mnazoweza kuzitolea masimulizi?
|
Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 180-181
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 181-182 Majarida Michoro na picha Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 182 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 183-185 Chati Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 185-186 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 186-188 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 189-191 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 192-194 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1194-197 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 197-199 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 199-201 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 202-204 Moran; Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 204-206 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here