Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA KWANZA
MWAKA WA 2024
MUHULA WA III

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Reporting and revision

2 1
Kusoma
Magazeti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kifungu kwa usahihi
Kueleza msamiati uliotimika
Kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 49-50)
2 2
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Uchambuzi wa maandishi mbalimbali
Rehema na Kombo
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya uchambuzi
Kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 51)
2 3-4
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Taarifa
Riwaya
Insha ya mdokezo
Sokoni
Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
somo ;
Kueleza kuhusu insha ya mdokezo
Kufafanua utaratibu wa kuandika insha ya mdokezo
Kuandika insha
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 54-56)

Uhondo wa kiswahili 1
(uk 58)
2 5
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Mji wa faraja
Ushairi
Masharti mepesi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi,
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 63-65)
3 1
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Sarufi
Shuleni
Viunganishi Ngeli ya I-I
Ngeli ya I-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma mazungumzo ya shuleni
Kueleza maneno mapya yaliyotumika
Kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 67-68)
3 2
Ufahamu
Kusoma
Aliyeachwa kaachiwa mengi
Deno hatari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 71-73)
3 3-4
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi
Ngeli ya PA-KU-MU
Mtambo wa Kompyuta
Matumizi ya Maktaba
Ratiba
Vipera vya fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya fasihi
Kueleza maana ya hadithi
Sifa za hadithi
Mfano wa hadithi
Kujibu maswali
somo ;
Kueleza maana ya maktaba
Kueleza matumizi ya maktaba
Maana ya katalogi na dhima ya katalogi
Kijibu maswali
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
kusoma
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 77-78)

Uhondo wa kiswahili 1
(uk 83-84)
3 5
Sarufi
Ufahamu
Kihusishi a-unganifu
Arusi niliyoshuhudia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza a-unganifu
Kutoa mifano
Kujibu maswali
Kuelezea ngeli ya YA-YA na kutoa mifano yake pamoja na utunzi wa sentensi
Kuelezea upatanisho mbadala
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 87-90)
4 1
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Tamthilia
Insha ya masimulizi
Tamthilia; Mbinu za fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma ufahamu kwa usahihi
Kueleza msamiati uliotumika
Kujibu maswali
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 92-94)
4 2
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Hali ya
Kukwamua uchumi
Ujirani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza hali ya
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 96-99)
4 3-4
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Orodha
Hurafa
Ngeli ya KI-VI
Taarifa
Ugaidi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana orodha
Kutoa mfano wa orodha
Kuandika orodha
somo ;
Kusoma kwa matamshi
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
VKitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 103)

Uhondo wa kiswahili 1
(uk 109-110)
4 5
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Barua rasmi
Hekaya
Ngeli ya KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya barua rasmi
Kueleza utaratibu wa kuandika barua rasmi
Kusima mfano
Kuandika barua rasmi
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 113)
5 1
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Utoto
Makundi mawili ya washairi
Kujaza fomu na stakabadhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Maelezo
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 118-119)
5 2
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Ufahamu
Methali
Udogo na ukubwa wa nomino
Dawa za kulevya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya methali
Sifa za methali
Dhimaza methali
Mifano za methali na maana yake
Kijibu maswali
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 122)
5 3-4
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Ufahamu
Kugha sanifu ni nini
Tahadhari
Vitendawili
Ngeli ya U-ZI
Afya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kifungu kuhusu lugha sanifu
Kueleza msamiati
Kujibu maswali
somo ;
Kueleza maana ya vitendawili
Kutoa mifano ya vitendawili pamoja na majibu
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 128-129)

Uhondo wa kiswahili 1
(uk 131-132)
5 5
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Shairi
Vitendawili, mafumbo na chemshabongo
Mafumbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma shairi
Kueleza msamiati uliotumika na kujibu maswali
Majadiliano
Maelezo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 135-136)
6 1
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Sentensi ya Kiswahili
Taarifa
Kifungu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya sentensi, mpangalio na uhusiano wa maneno kimntiki katika sentensi ya Kiswahili, muundo wa sentensi
Kutunga sentensi kwa usahihi
Kueleza maana ya kikundi nomino na kikundi tenzi
Kutunga sentensi na kujibu maswali
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 137-141)
6 2
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Imla/Vitanza ndimi
Misemo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya imla na vitanza ndimi
Umuhimu wa imla
Kuandika imla
Majadiliano
Maelezo
Mazungumzo
Maswali na majibu
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 144)
6 3-4
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Uakifishi
Taarifa
Kifungu
Insha ya maelezo
Nyimbo
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kutumia uakifishi kistari kirefu(-) na kistari kifupi (-)
Kuakifisha sentensi na vifungu
somo ;
Kueleza insha ya maelezo
Kuandika insha ya maelezo
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Maelezo
Majadiliano
Majibu na maswali
kuandika
Mazungumzo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 146-147)

Uhondo wa kiswahili 1
(uk 151)
6 5
Ufahamu
Kusoma
Taarifa
Kifungu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Mazungumzo
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 155-156)
7 1
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Taarifa
Maigizo
Kuakifisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kusoma kwa matamshi
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 157)
7 2
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Taarifa
Tahakiki
Uandishi wa mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
Kusoma kwa matamshi
Kutumia msamiati na misemo kwa ufasaha na kujibu maswali kwa usahihi.
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 160-161)
7 3-4
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Ngonjera
Vimilikishi
Maskini na watoto wake
Mzungumuzo
Muhtasari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kueleza maana ya ngonjera Kusoma shairi la ngonjera Kutoa sifa bainishi za ngojera.
somo ;
Kusoma mazungumzo
Kujadili maneno mapya yaliyotumika
Kujibu maswali
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Majadiliano
Kuandika
Maswali na majibu
Maelezo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 163-164)

Uhondo wa kiswahili 1
(uk 169-170)
7 5
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi
Ufahamu
Kusoma
Kuandika
Hotuba ya Rais
Upambanuzi wa sentensi sahili: Kuakifisha
Jirani mbilikimo
Kifungu
Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
kusoma hotuba ya Rais kwa ufasaha
kueleza msamiati uliotumika
Kujibu maswali
Kusoma
Maswali na majibu
Majadiliana
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu
Uhondo wa kiswahili 1
(uk 172-173)
8

End term exams

9

Marking of exams and closing

Your Name Comes Here

Download

Feedback