Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TANO
MWAKA WA 2024
MUHULA WA III

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 3
ELIMU YA MAZIN GIRA
Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau: Nahau za usafi na mazingira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua nahau za usafi na mazingira katika matini mbalimbali
kutumia nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano
Kuthamini matumizi ya nahau za usafi na mazingira katika mawasiliano.
Mwanafunzi:
usafi na mazingira (k.v. angua kucha, penga kamasi, piga deki, piga mswaki, chokonoa meno, futa vumbi) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali
na wenzake maana za nahau za usafi na mazingira na kutoa
mifano
Je, ni nahau zipi zinahusu usafi? Je, ni nahau zipi zinahusu mazingira?
Kifaa cha kidijitali
Picha
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 85-87
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 89-91
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 89-91
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha
1 4
Kuandi ka
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
kueleza muundi wa insha ya maelezo
kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi:
e vifungu vya insha za maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi (k.v. maelezo kuhusu upandaji wa miche, kusafisha darasa, kufua nguo, kuzuia mmomonyoko wa udongo, kupanda miti)
zake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo
Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
Kielelezo cha insha ya Maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 89-90
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 94-96
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 1
Kuandi ka
Sarufi
Insha ya Maelezo
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali
kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo na mtindo ufaao
kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kuimarisha uandishi bora
"aandike isha ya maelezo
isiyopungua maneno 150 akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu unaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali
"atunge insha ya maelezo
mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili
kuisoma na kuitathmini"
Atunde insha ya maelezo na awasoasomee wenzake insha
"aliyoandika ili kuisikiliza na
kuitathmini"
Je, ni shughuli gani zinazoweza kuandikiwa insha za maelezo?
Kielelezo cha insha ya Maelezo
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 89-90
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 94-96
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 91-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk. 96-99
Kuandika tungo mbalimbali Wanafunzi kufanyiana tathmini Potfolio Shajara Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 2
Sarufi
Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuandika nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi
kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli yaKU- KU
kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KUKU katika mawasiliano
"asikize usomaji wa nomino
za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye tepurekoda au kinasa"
"sauti
aandike mafungu ya maneno"
yenye nomino za ngeli ya KU-
KU katika umoja na wingi
"Ajaze mapengo kwa kutumia
viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi."
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya KU-KU?
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 91-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.
96-99
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
2 3
Sarufi
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
"Mwanafunzi:
atambue viambishi vya ngeli ya KU-KU katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
atumie nomino za ngeli ya KU-KU katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi
"
"
zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KU-KU kutoka kwenye
tepurekoda au kinasa sauti"
Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 94-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 99-102
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
2 4
Sarufi
NDEGE WA PORINI
Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU
Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya KUKU kwenye sentensi
kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KU-KU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
kufurahia matumizi ya ngeli ya KU-KU katika mawasiliano
"aunde sentensi kwa kutumia
nomino ya ngeli ya KUKU akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake
"ajaze mapengo kwa kutumia
viambishi vya ngeli ya KU-KU kwa maandishi ya mkono au tarakilishi."
Je, nomino za ngeli ya KU-KU huchukua viambishi gani katika sentensi?
picha za vitenzi
wanafunzi wenyewe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 94-95
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 99-102
picha ya visawe
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 97-99
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 103-105
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
3 1
NDEGE WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe: Visawe vya maneno matatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maneno matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno
kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
kuthamini matumizi ya maneno matatu yenye maana sawa katika mawasiliano
kuambatanisha maneno
matatu yenye maana
sawa katika kapu maneno, mti maneno, ubao, chati, vyombo vya kidijitali, kadi maneno n.k
a vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati, kitabu au katika vyombo vya kidijitali n.k.
ashiriki kujadili visawe mbalimbali katika
vikundi vya wanafunzi wawiliwawili au zaidi
oja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi.
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
picha ya
visawe
"KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 97-99
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk. 103-105"
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano Kujibu maswali Maigizo Kutambua k.m. kwenye orodha Mijadala Mazungumzo
3 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kutambua Mchezo wa kuigiza
Kusoma kwa Ufahamu: Kusoma Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua mchezo wa kuigiza katika matini
kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
"Mwanafunzi:aeleze
maana ya mchezo wa kuigiza akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
mchezo wa kuigiza, wahusika na maelekezo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi
mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe
"ashiriki katika majadiliano
kuhusu msamiati
wa suala lengwa (ndege wa porini) uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza (k.v.
chiriku, kasuku, tai, korongo, mwewe na kanga)"
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza? Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma? Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
Magazeti
Majarida
Vitu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa Kukariri na kuimba mashairi Kusoma kwa sauti
3 3
Kusoma
Kuigiza mchezo mfupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali
kuigiza mchezo mfupi ili kukuza uwezo wa kujieleza
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
"tazame mchezo mfupi wa kuigiza ukiigizwa darasani au kwenye vifaa vya kidijitali
aigize mchezo mfupi aliousoma akishirikiana na wenzake
ashiriki mjadala kuhusu
ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza"
"chezo wa kuigiza kwenye mtandao
tika kutoa muhtasari wa mchezo aliousoma
"kuuliza na kujibu maswali
ya ufahamu"
Umewahi kusoma michezo ipi ya kuigiza? Unakumbuka nini katika mchezo uliowahi kuusoma? Kusoma michezo ya kuigiza kuna umuhimu gani?
"Magazeti
Majarida
Vitu mbalimbali
KLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 99-101"
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.105-107
"Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa Kujibu maswali k.m. katika ufahamu" c) Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
3 4
NDEGE WA PORINI
Kuandika insha: Insha za masimulizi
Kuandika insha: Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza sifa za insha ya masimuizi ili kuibainishakuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazokuchangamkia utunzi mzuri
Mwanafunzi:Atambue insha ya masimulizi
kwa kurejelea vielelezo vyainsha zilizoandikwa kwenye
matini mbalimbali au tarakilishi
mada ya insha na muundo
wa insha ya masimulizi aandike insha ya masimulizikatika vifaa vya kidijitalina kuisambaza kwa wenzake na
mwalimu ili kuisoma na kuitathminiawasomee wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na
kumwelekeza.
Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha yamasimulizi ya kuvutia?
Kielelezo cha insha ya masimuliziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 101-103KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.108-109
Kielelezo cha insha ya masimuliziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 101-103KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.108-109
Kuandika tungo mbalimbaliWanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajaraMijadala kuhusu vidokezo vyainsha
4 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi:Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
. kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini
kutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasilianaKuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
"Mwanafunzi:atambue vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na
kutendana katika chati, jedwali,
"
kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitalikatika hali
lengwa akiwa peke yake,wakiwa wawiliwawili au katika vikundienzi katika hali
lengwa kwenye sentensi
kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we
vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishitensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali
mbalimbali
Je, vitenzivinaweza kubadilika vipi mwishoni ilikuleta maana mbalimbali?
"Wanafunzi wenyewe, Kadi za vitenziKLB Visionary Kiswahili
"
Kitabu cha mwanfunzi Uk. 103-107KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.110-114
Kutambuak.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengoe) Kazi mradi
4 2
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matinikutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasilianaKuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
Mwanafunzi:enzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitalikatika hali lengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katika vikundienzi katika hali lengwa kwenye sentensiake kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishitensi upya kwakutumia vitenzi katika hali mbalimbali
. Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
Wanafunzi wenyewe, Kadi za vitenziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 103-107KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.110-114
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengo Kazi mradi
4 3
Sarufi
MAGON JWA
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana
Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matinikutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na
kutendana ipasavyo anapowasilianac. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
Mwanafunzi:enzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitalikatika hali lengwa akiwa peke yake,
wakiwa wawiliwawili au katika vikundi enzi katika hali lengwa kwenye sentensikujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishitensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
Wanafunzi wenyewe, Kadi za vitenziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 103-107
KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.110-114
Picha. Tapurekoda Ofisi, wanafunzi wenyeweKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 109-111KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa MwalimuUk.115-117
Kutambua k.m. kwenye orodha Kuambatanisha maneno lengwa Kujaza mapengoe) Kazi mradi
4 4
MAGON JWA
Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasilianokutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasilianoKuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi.
katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi akishirikiana na wenzakemazungumzo rasmi nje ya darasa k.m. akiwa kwenye gwaride na majilisiniidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi k.m lugha ya heshima na adabu anapowasiliana
Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi?
Picha. Tapurekoda Ofisi, wanafunzi wenyeweKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 109-111KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.115-117
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizoKutambuak.m. kwenye orodhaMijadalaMazungumzo
5 1
Kusoma
Kusoma kwaMapana: Matini
Kusoma kwa Mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matini ya ainambalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia
kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwaKufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
Mwanafunzi:v. vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaoni
aliyochagua ili kufaidi ujumbe uliomoe muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahishaliane na wenzake matiniambayo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati
Ni habari zipiunazopenda kusoma kwenye matini ?Unachagua matini hayo kwa nini?
Vitabu mbalimbali MajaridaKLB Visionary Kiswahili
Kitabu cha mwanfunzi Uk. 111-112KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.117-119
Vitabu mbalimbali MajaridaKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 111-112KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.117-119
Vitabu mbalimbali MajaridaKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 111-112KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.117-119
5 2
Kuandi ka
Kutambua Insha zaMaelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbalikueleza mambo ya kuzingatia katika Kuandika insha ya maelezoKuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi:maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishimada ya insha namuundo wa insha ya maelezoaelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini.sha aliyoandika ili kuisoma na kuitathmini.
Je, ni mada gani inayoweza kuandikiwa insha za maelezo?
Kielelezo cha insha ya maelezoKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 112-113KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.119-121
Kuandika tungo mbalimbaliWanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajaraMijadala kuhusu vidokezo vya insha
5 3
Kuandi ka
Sarufi
Kuandika Insha za Maelezo
Vinyume: Vinyume vya Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbalikuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaaoKuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.
isiyopungua maneno 150
kwa kuzingatia msamiati unaohusu suala lengwa na kwa kuzingatia vigezo kama vile: ujumbe, tahajia, anwani, muundo, mtindo, mapambo ya lugha k.vmethali, nahau, tashbihi, istiarin.k. alizojifunza awali
Je, ni mada ganiinayoweza kuandikiwa insha za maelezo?
Kielelezo cha insha ya
maelezoKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 112-113KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.119-121
Picha, kadi za vitenzi na vinyumeKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 114-116KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.121-124
Kielelezo cha insha ya maelezoKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 112-113KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.119-121
5 4
Sarufi
Vinyume: Vinyume vya Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vinyume vya vitenzi katika matinikuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenziKuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzivitenzi (k.m. Simamaketi, cheka-lia, enda- rudi, chimba- chimbua n.k) katika chati, kadi za maneno, kapu la maneno, mti maneno au vifaa vya kidijitali ne na wenzake kutafuta vinyume vya vitenzikwa kurejelea orodha ya vitenzi aliyopewa
kuunda orodha ya vinyume vya vitenzi anavyovitambua.ntensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufia sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi.
Je, ni vitenzi gani unavyoweza kutambua vinyume vyake?
Picha, kadi za vitenzi na vinyumeKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 114-116KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.121-124
ngira yake na
Kutambuak.m. kwenye orodhab) Kuambatanisha maneno lengwac) Kujaza mapengoe) Kazi mradi
6 1
KUDHIB ITI ITIKADI ZA KIDINI NA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza: Tashbihi: Tashbihi za tabia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua tashbihi za tabia katika matinikutumia tashbihi za tabia kwa usahihi katika sentensikufurahia matumizi ya tashbihi za tabia katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi:bia (k.v. mjanja kama sungura, mlafi kama fisi, mwenye maneno mengi kama kasuku, - eusi kama makaa) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali.mbalimbali za tabia kwa kutoa mifano
Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia?
Picha KadiKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 119-120KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.125-127
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizoKutambuak.m. kwenye orodha
6 2
KUDHIB ITI ITIKADI ZA KIDINI NA KIJAMII
Kusoma
Kusikiliza na Kuzungumza: Tashbihi: Tashbihi za tabia
KusomaMapana: Matini yaKidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua tashbihi za tabia katika matinikutumia tashbihi za tabia kwa usahihi katika sentensikufurahia matumizi ya tashbihi za tabia katika mawasiliano ya kila siku
mbalimbali za tabia akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake darasanisentensi kwa kutumia tashbihi mbalimbali za tabia a katika sentensi akiwa peke yake au katika vikundi.
Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia?
Picha KadiKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 119-120KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.125-127
Tarakilishi/vipak atalishiSimu na mtandaoKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 120-122KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk.127-129
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizo
6 3
Kusoma
Kusoma Mapana: Matini yaKidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusakura kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusomakutumia vyombo vya kidijitali kwa urahisi kupata matini zinazolengwaKuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
ue umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana naoe maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaonimatini aliyosoma kwa wenzake
Unapenda kusoma habari kuhusu nini Mtandaoni?Unakumbuka habarigani uliyoisoma Mtandaoni?Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari Mtandaoni?
Tarakilishi/vipak atalishiSimu na mtandaoKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 120-122KLB Visionary Kiswahili Mwongo waMwalimu Uk.127-129
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwaKujibu maswali k.m. katika ufahamuKutoa muhtasari wa ufahamu au matiniyaliyosomwa
6 4
Kuandika
Aina za Insha:Kutambua Insha ya masimulizi
Aina za Insha: Kuandika Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundokuelza mambo ya kuzingatia katika Kuandika insha ya masimuliziKuchangamkia utunzi mzuri.
Mwanafunzi:kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishienzake kujadili mada ya insha na muundowa insha ya masimulizizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake namwalimu ili kuisoma na kuitathmini
aliyoandika ili waitathminina kumwelekeza
Unawezaje kupatakwa haraka hojaza kusimulia katika insha?
Kielelezo chainsha ya masimuliziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 122-124KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.130-131
Kielelezo cha insha ya masimuliziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 122-124KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa
Mwalimu Uk.130-131
Kuandikatungo mbalimbaliWanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajaraMijadala kuhusu vidokezo vya insha
7 1
Sarufi
Nyakati na Hali-Hali ya Mazoea-Hali Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua viambishi vya hali ya mazoea na hali timilifu kwenye kitenzikutambua vitenzi katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye matiniKufurahia matumizi ya hali ya mazoea na timilifu katika mawasiliano.
Mwanafunzi:ya mazoea (hu) na hali timilifu (me) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitaliya mazoea (hu) na hali timilifu (me) kwenye sentensi, chati, ubao au kwakutumia vifaa vya kidijitali
Je, wewe hufanya shughuli gani kila siku?
Chati ya vitenziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 124-127KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.132-136
Kutambuak.m. kwenye orodhab) Kuambatanisha maneno lengwac) Kujaza mapengoe) Kazi mradi
7 2
Sarufi
Nyakati na Hali-Hali ya Mazoea-Hali Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua vitenzi katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye matinikutumia vitenzi vya hali ya mazoea na timilifu katika sentensi ili kuimarisha mawasilianoKufurahia matumizi ya hali ya mazoea na timilifu katika mawasiliano.
mazoezi ya kutumia hali ya mazoea (hu) na hali timilifu (me) katika sentensi na kuziandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi nzake katika vikundi kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingineya mazoea na hali timilifu kwenye blogi ili wenzakewaweze kuisoma na kutathmini usahihi wake
Je, wewe hufanya shughuli gani kila siku?
Chati ya vitenziKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 124-127KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.132-136
Kutambuak.m. kwenye orodhab) Kuambatanisha maneno lengwac) Kujaza mapengoe) Kazi mradi
7 3
UWEKE ZAJI
Kusikiliza na Kuzungumza: Kutoa Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusimulia tungo mbele ya wenzake kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lughakueleza mambo ya kuzingatia katika kutoa masimulizikuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali
Mwanafunzi: masimulizi yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.yanayohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana nawenzake
Je, ni nini Unachozingatia katika kutoa masimulizi?
VideoMgeni mwalikwaKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 129-130KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.137-139
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizoKutambuak.m. kwenye orodha
7 4
UWEKE ZAJI
Kusikiliza na Kuzungumza: Kutoa Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusimulia tungo mbele ya wenzake kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lughakutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yakekuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali
mada (k.v. Jinsi ya kuwekeza na Faida za uwekezaji)zifaazo k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yakekuhusu ubora wa masimulizi aliyosikiliza
Je, ni nini Unachozingatia katika kutoa masimulizi?
VideoMgeni mwalikwaKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 129-130KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.137-139
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasilianoKujibu maswaliMaigizoKutambuak.m. kwenye orodha
8 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha hadithi
Kusoma kwaUfahamu: Kifungu cha hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungukueleza maana za msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungukuchangamkia usomaji wa kifungu ili kujenga maarifa ya ufahamu
Mwanafunzi:lengwa (uwekezaji) (k.v. kuwekeza, faida, hasara, fidia, mtaji, ajira, mkopo, mwanabiashara, deni, mteja, biashara, bidhaa, bajeti, kilimo biashara, benki, vyama vya ushirika, ushuru kutokana na mapato, n.k akitumia kapu maneno, mti maneno au tarakilishi. i huu kama unavyotumiwa katika
jamii wakati wa mawasiliano nashughuli za uwekezaji.
Je, ni mambo gani yanayokuvutia unaposoma kifungu cha ufahamu?Unafanya nini ili kujua maana ya msamiati uliotumiwa katika kifungu?
Kadi za maneno za uwekezajiKLB VisionaryKiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 131-133KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.139-141
Kadi za maneno za uwekezajiKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 131-133KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.139-141
Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwaKujibu maswali k.m. katika ufahamuKutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwaKukariri nakuimba mashairi e) Kusoma kwa sauti
8 2
Kuandi ka
Kuandika Insha: Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wakekuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindokuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano
Mwanafunzi: muundo wa baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye tarakilishi.limbali za baruapepe kama vile anwanipepe ya mtumaji (k.m. tina18@gmail.com),anwanipep e ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili,hitimisho na jina la mwandishi/mtumaji.
Unazingatiavipengele gani unapoandika baruapepe?
Kielelezo cha insha ya BaruapepeKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 134-135KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.142-144
Kuandika tungo mbalimbaliWanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajaraMijadala kuhusu vidokezo vya insha
8 3
Kuandi ka
Kuandika Insha: Baruapepe
Ukubwa na udogo wa nomino: Ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa herufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wakekuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindokuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano
kwa rafiki, mzazi, mwalimu n.k akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe.peke yake.aliyoiandika kwa mpokeaji.
ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo.
Unazingatia vipengele gani unapoandika baruapepe?
Kielelezo cha insha ya BaruapepeKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 134-135KLB Visionary Kiswahili
Kadi za nafsi, kadi za nyakati, chatiKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 142-144KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.151-155
Kuandika tungo mbalimbaliWanafunzi kufanyiana tathminiPotfolioShajara
8 4
Kuandi ka
Ukubwa na udogo wa nomino: Ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa herufi n
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogokutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwenye sentensikufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa naudogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano
vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino, kingine ukubwa na kingine kutaja udogo wa nomino hiyo.omino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya udogokwenye tarakilishi ili aziburure kuziambatanisha.
ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo.
Ni nomino ganiunazoweza kutaja udogo wake?
Kadi za nafsi, kadi za nyakati, chatiKLB Visionary Kiswahili Kitabu cha mwanfunzi Uk. 142-144KLB Visionary Kiswahili Mwongo wa Mwalimu Uk.151-155
Kutambuak.m. kwenye orodhab) Kuambatanisha maneno lengwac) Kujaza mapengoe) Kazi mradi

Your Name Comes Here

Download

Feedback