If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 3 |
UZALENDO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano (k.v. Umeamkaje? Umeshindaje? Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano - Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya - Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi na maagano kutoka kwa jamii yake |
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 2
- Chati za maamkuzi na maagano - Kadi maneno - Picha na michoro - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 4 - Kadi zenye maamkuzi na maagano |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano
- Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo katika mazungumzo
- Igizo la maamkuzi na maagano
- Kujadiliana kuhusu matumizi ya maamkuzi na maagano
|
|
| 1 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutaja aina mbalimbali za maagano kwa kuwa vifaa vya kidijitali, picha na michoro - Kulinganisha maamkuzi na maagano na majibu yake sahihi kwenye jedwali - Kusikiliza mazungumzo kutoka kwa kifaa cha kidijitali na kutambua maamkuzi na maagano yaliyotumika - Kuigiza mazungumzo akitumia maamkuzi na maagano - Kutumia maamkuzi na maagano mbalimbali yanayofaa katika mazingira tofauti - Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya maamkuzi na maagano katika jamii |
Je, ni wakati gani mtu hutumia maamkuzi na maagano?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 5
- Picha na michoro ya watu wakiamkuana na kuagana - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 6 - Vifungu vya hadithi - Picha zinazohusu uzalendo - Chati |
- Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo katika mazungumzo
- Kutambua maamkuzi na maagano yanayofaa katika mazingira mbalimbali
- Kueleza umuhimu wa maamkuzi na maagano
|
|
| 2 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutaja maneno yanayohusiana na uzalendo katika kifungu alichosoma - Kutumia maneno hayo kutunga sentensi sahihi - Kuandika sentensi alizozitunga katika daftari lake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitolee maoni - Kusoma kifungu tena na kujibu maswali ya ufahamu - Kujadiliana na wenzake kuhusu mafunzo aliyojifunza kutokana na kifungu |
Je, ni msamiati upi unaotumiwa kuzungumzia uzalendo?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 7
- Kifungu cha hadithi kuhusu uzalendo - Kadi za maneno yanayohusiana na uzalendo - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua msamiati wa uzalendo
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati wa uzalendo
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kueleza mafunzo ya kifungu
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Hati Nadhifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu kingine kuhusu uzalendo na kutambua msamiati mpya - Kuzungumzia picha zinazohusu uzalendo na kutabiri ujumbe wa kifungu kabla ya kusoma - Kutumia msamiati wa uzalendo kutoka kwenye kifungu katika mazungumzo - Kujibu maswali kuhusu mafunzo yanayotokana na kifungu - Kusimulia tena hadithi kwa maneno yake mwenyewe - Kujadiliana na wenzake kuhusu mafunzo ya uzalendo kutoka kwenye kifungu |
Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi kuhusu uzalendo?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 8
- Picha zinazohusu uzalendo - Kadi za maneno yanayohusiana na uzalendo - Chati - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 9 - Chati za mifano ya hati nadhifu - Vifaa vya kidijitali - Karatasi za kuandikia |
- Kusoma kifungu kwa ufasaha
- Kutumia msamiati wa uzalendo ipasavyo
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu
- Kusimulia tena hadithi kwa maneno yake
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu - Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu - Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu kisicho na nafasi kati ya maneno na sentensi - Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa kutenganisha maneno na sentensi - Kuandika upya kifungu kilicho na makosa ya kutenganisha maneno na sentensi kwa hati nadhifu - Kuwaeleza wenzake jinsi wanavyotenganisha maneno na sentensi katika maandishi yao - Kupata picha kutoka kwa mwalimu na kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 kuhusu picha hiyo - Kuwapa wenzake kifungu alichoandika ili wakitolee maoni - Kuzingatia maoni ya wenzake na kurekebisha makosa |
Je, kwa nini ni muhimu kutenganisha maneno na sentensi unapoandika?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 10
- Mifano ya vifungu visivyo na nafasi kati ya maneno - Picha zinazohusu uzalendo - Vifaa vya kuandikia - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 11 - Karatasi za kuandikia - Chati yenye mifano ya hati nadhifu |
- Kurekebisha kifungu kilicho na makosa ya kutenganisha maneno na sentensi
- Kutambua umuhimu wa kutenganisha maneno na sentensi
- Kuandika kifungu kwa hati nadhifu
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya yeye na wao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi - Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi - Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu yeye na wao kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali - Kutambua neno yeye na wao kutoka kifungu alichokisikiliza - Kusoma vifungu na kutambua neno yeye na wao akiwa na wenzake au katika kikundi - Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao - Kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.m. Yeye anasoma - wao wanasoma |
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 12
- Chati - Vifaa vya kidijitali - Picha na michoro - Matini ya mwalimu |
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi
- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao
- Kutumia neno yeye na wao katika sentensi
- Kutofautisha matumizi ya yeye na wao
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya yeye na wao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi - Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi - Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kutunga sentensi akitumia neno yeye na wao - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia neno yeye au wao - Kubadilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi kwa kutumia wao badala ya yeye - Kutunga sentensi zake mwenyewe akitumia neno yeye na wao - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitolee maoni - Kutumia neno yeye na wao katika mchezo wa kutunga sentensi - Kumzungumzia mzazi au mlezi wake sentensi alizozitunga akitumia yeye na wao |
Je, utofauti wa matumizi ya yeye na wao ni upi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 15
- Picha - Kadi zenye maneno yeye na wao - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutunga sentensi kwa kutumia neno yeye na wao
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye au wao
- Kutathmini matumizi ya yeye na wao katika sentensi
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |

- Kusoma kifungu kinachotumia maneno yeye na wao - Kupigia mstari maneno yeye na wao katika kifungu hicho - Kujaza nafasi katika sentensi mbalimbali kwa kutumia yeye au wao - Kuandika sentensi katika umoja (yeye) na kubadilisha ziwe katika wingi (wao) - Kushiriki katika mchezo wa kutunga sentensi: Mmoja ataje jina la mtu au watu na mwingine aseme kama atatumia yeye au wao - Kutumia maneno yeye na wao kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku |
Je, sasa unaweza kutumia yeye na wao kwa usahihi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 17
- Vifungu vyenye maneno yeye na wao - Kadi zenye sentensi - Chati - Matini ya mwalimu |
- Kutambua maneno yeye na wao katika vifungu
- Kujaza nafasi kwa kutumia yeye au wao
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi kwa kutumia yeye na wao
|
|
| 3 | 4 |
SHAMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Vokali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua vokali za Kiswahili (a, e, i, o, u) katika matini ya kutamkwa au kuandikwa - Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili - Kusikiliza vokali za Kiswahili zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali - Kutambua vokali za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kutamka vokali za Kiswahili ipasavyo na wenzake |
Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 20
- Chati za herufi - Kadi za vokali - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili
- Kutofautisha vokali za Kiswahili
- Kusikiliza na kutambua vokali
|
|
| 4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Konsonanti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua konsonanti za Kiswahili (b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m, n, ng, ng', ny, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, z) katika matini ya kutamkwa au kuandikwa - Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili - Kusikiliza konsonanti za Kiswahili zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua konsonanti - Kutambua konsonanti za Kiswahili katika kifungu kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kutamka konsonanti za Kiswahili ipasavyo na wenzake |
Je, ni sauti zipi za Kiswahili zinazotamkwa kwa kutumia ulimi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 21
- Chati za herufi - Kadi za konsonanti - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili
- Kutofautisha konsonanti za Kiswahili
- Kusikiliza na kutambua konsonanti
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vokali na konsonanti za Kiswahili katika matini - Kutamka ipasavyo vokali na konsonanti za Kiswahili katika matini - Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutamka silabi zenye vokali na konsonanti za Kiswahili - Kutambua vokali na konsonanti katika maneno ya shambani - Kusikiliza kwa makini sentensi zenye maneno yenye vokali na konsonanti - Kutamka maneno na sentensi akizingatia matamshi bora ya vokali na konsonanti - Kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kujisikiliza pamoja na wenzake - Kutamka sauti za Kiswahili ipasavyo na mzazi au mlezi ampe maoni yake |
Je, utafanya nini ili kuboresha matamshi yako ya sauti za Kiswahili?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 24
- Alfabeti ya Kiswahili - Picha za vifaa vya shambani - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutamka kwa usahihi vokali na konsonanti za Kiswahili
- Kutofautisha vokali na konsonanti za Kiswahili
- Kutambua vokali na konsonanti katika maneno
- Kutumia matamshi bora katika mazungumzo
|
|
| 4 | 3 |

| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua sauti lengwa (/bw/, /fy/, /kw/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake - Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake - Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika akiwa na wenzake - Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 47 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akiwa na wenzake - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake - Kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali, n.k. akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo |
Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 25
- Chati - Vifungu vya kusoma - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kwa sauti inayosikika
- Kusoma kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kwa kuzingatia ishara zifaazo
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma "Shamba letu" au kifungu kingine kuhusu shamba kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi inayofaa na ishara zifaazo - Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu alichosoma - Kusoma maneno yenye sauti lengwa - Kutathmini idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja - Kuwasomea wenzake maneno yenye sauti lengwa na kufanya zoezi la kutambua sauti hizo - Kujadiliana na wenzake iwapo amesoma vizuri |
Je, unaweza kutambua sauti gani katika maneno uliyosoma?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 26
- Kifungu "Shamba letu" - Saa ya kupimia muda - Kadi za maneno yenye sauti lengwa - Vifaa vya kidijitali |
- Kusoma kifungu kwa matamshi bora
- Kusoma kwa kasi ifaayo
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma maneno yenye sauti lengwa
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu "Kazi ya shambani" kwa makini - Kutathmini iwapo mwenzake amesoma kwa sauti inayosikika - Kusoma kifungu tena akizingatia matamshi bora, kasi inayofaa na kutumia ishara zinazofaa - Kutafuta maneno yenye sauti lengwa /bw/, /fy/ na /kw/ katika kifungu hicho - Kuandika orodha ya maneno yenye sauti lengwa katika daftari lake - Kuwasomea wenzake maneno hayo - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu hicho akizingatia yote aliyojifunza |
Je, ni makosa gani yanayofanywa wakati wa kusoma?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27
- Kifungu "Kazi ya shambani" - Orodha hakiki ya vipengele vya kuzingatia wakati wa kusoma - Matini ya mwalimu |
- Kusoma kifungu kwa ufasaha
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu
- Kuorodhesha maneno yenye sauti lengwa
- Kutathmini usomaji wa wenzake
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi kubwa katika matini - Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama mfano wa uendelezaji ufaao wa maumbo ya herufi kubwa kwenye kifaa cha kidijitali - Kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake - Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa - Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake - Kumwonyesha mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa ili akitolee maoni |
Kwa nini tunatumia hati nadhifu katika uandishi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27
- Chati zenye mifano ya herufi kubwa - Vifaa vya kidijitali - Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa - Matini ya mwalimu |
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kunakili kifungu kwa kuzingatia mpangilio wa herufi kubwa
- Kuandika kifungu akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo
- Kutofautisha herufi kubwa na ndogo
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi kubwa katika matini - Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua herufi kubwa katika kifungu kilichoko kwenye kitabu au chati - Kutofautisha kati ya herufi kubwa na ndogo katika silabi na maneno - Kusoma kifungu kilichoandikwa vizuri kwa kuzingatia matumizi ya herufi kubwa - Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya herufi kubwa katika kifungu - Kuandika maneno yenye herufi kubwa na herufi ndogo - Kushiriki katika zoezi la kutofautisha herufi kubwa na ndogo katika vifungu |
Kwa nini tunatumia herufi kubwa katika uandishi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 28
- Chati ya alfabeti ya Kiswahili - Kadi za herufi kubwa na ndogo - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua herufi kubwa katika matini
- Kutofautisha herufi kubwa na ndogo
- Kuandika maneno kwa kuzingatia herufi kubwa na ndogo
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua herufi kubwa katika matini - Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo - Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha inayoonyesha shamba - Kuandika sentensi kuhusu picha hiyo akizingatia matumizi ya herufi kubwa mwanzoni mwa sentensi na katika majina mahususi - Kunakili kifungu kutoka kwenye kitabu akizingatia matumizi ya herufi kubwa - Kurekebisha kifungu kilichoandikwa bila kuzingatia matumizi ya herufi kubwa - Kuandika kifungu chake mwenyewe kuhusu shambani akizingatia matumizi ya herufi kubwa ipasavyo - Kuwasomea wenzake kifungu chake ili wakitolee maoni |
Je, ni wakati gani tunatumia herufi kubwa katika uandishi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 29
- Picha ya shamba - Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa - Karatasi za kuandikia - Matini ya mwalimu |
- Kutambua matumizi ya herufi kubwa
- Kurekebisha kifungu kisicho na herufi kubwa
- Kuandika kifungu chake akitumia herufi kubwa ipasavyo
- Kutathimini kazi za wenzake
|
|
| 6 | 2 |

| 6 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi: Umoja wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja - Kutunga sentensi katika umoja - Kuchangamkia kutumia umoja katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua sentensi katika umoja kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake (k.v. mimi ninapanda mti, mimi ninapenda kulima) - Kusoma sentensi katika umoja akiwa na wenzake - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja akiwa na wenzake - Kuambatanisha umoja wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali, n.k. akiwa na wenzake - Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja akiwa na wenzake - Kutunga sentensi katika umoja wa sentensi akiwa na wenzake - Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja ipasavyo |
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 30
- Chati zenye sentensi katika umoja - Picha za vitu katika hali ya umoja - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi katika umoja
- Kujaza nafasi kwa kutumia maneno yanayofaa
- Kutunga sentensi katika umoja
- Kutumia sentensi katika umoja kwa kujieleza ipasavyo
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi: Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika wingi - Kutunga sentensi katika wingi - Kuchangamkia kutumia wingi katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma sentensi katika wingi akishirikiana na wenzake - Kutambua sentensi katika wingi kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali - Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi katika wingi akiwa na mwenzake - Kushiriki katika mchezo wa kusoma sentensi katika wingi na mwenzake - Kuandika wingi wa sentensi akiwa na wenzake - Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizoandika katika wingi ili azitolee maoni |
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika wingi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 32
- Chati zenye sentensi katika wingi - Picha za vitu katika hali ya wingi - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi katika wingi
- Kujaza nafasi kwa kutumia maneno yanayofaa
- Kuandika sentensi katika wingi
- Kutumia sentensi katika wingi kwa kujieleza ipasavyo
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi - Kutunga sentensi katika umoja na wingi - Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kulinganisha sentensi zilizo katika umoja na wingi kwenye jedwali - Kubadilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi - Kubadilisha sentensi zilizo katika wingi ziwe katika umoja - Kushiriki katika mchezo wa kutunga sentensi: mmoja atunga sentensi katika umoja, wengine waibadilishe iwe katika wingi - Kutunga sentensi zake mwenyewe katika umoja na wingi - Kuzungumza na mzazi au mlezi wake akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo |
Je, sasa unaweza kutambua sentensi zilizo katika umoja na wingi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 34
- Jedwali la kulinganisha sentensi katika umoja na wingi - Kadi za sentensi - Vifaa vya kidijitali - Picha za vitu katika umoja na wingi |
- Kulinganisha sentensi katika umoja na wingi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kutumia sentensi katika umoja na wingi katika mazungumzo
|
|
| 7 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maneno ya Heshima na Adabu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano - Kutumia ipasavyo maneno mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua maneno yanayotumika katika maamkuzi na maagano kutoka kwenye picha, video au michoro - Kujadili na wenzake picha na michoro zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano - Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya |
Unajua maneno gani ya heshima?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 36
Kadi maneno Rekodi ya mazungumzo Kifaa cha kidijitali |
Kutambua maneno ya heshima
Kujibu maswali
Igizo za mazungumzo
Maigizo
|
|
| 7 | 3 |
MIEZI YA MWAKA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maneno ya Heshima na Adabu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua maneno ya adabu katika matini - Kutumia maneno ya adabu katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya maneno ya adabu katika mawasiliano ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha zinazoonyesha matumizi ya maneno ya adabu - Kutambua maneno ya adabu kutoka kwenye picha - Kujadiliana na wenzake kuhusu matumizi ya maneno ya adabu - Kuigiza mazungumzo yanayotumia maneno ya adabu - Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu maneno ya adabu |
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya adabu?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 37
Chati ya maneno ya heshima na adabu Rekodi ya mazungumzo Kadi maneno Oxford Kiswahili Dadisi uk. 38 Sentensi zenye maneno ya heshima na adabu Kifaa cha kidijitali |
Kutambua maneno ya adabu
Kujibu maswali
Igizo za mazungumzo
Maigizo
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua msamiati kuhusu miezi ya mwaka katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutaja majina ya miezi ya mwaka kutoka kwenye kadi za maneno - Kusoma kifungu chepesi kuhusu ratiba ya shule - Kujadili kuhusu miezi ya mwaka yanayotajwa katika kifungu - Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu |
Je, unapenda kusoma hadithi za aina gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 38
Kadi za maneno ya miezi ya mwaka Kifaa cha kidijitali |
Kutambua miezi ya mwaka
Kujibu maswali
Kusimulia tena
Kutabiri
|
|
| 8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutabiri ujumbe wa kifungu kutokana na picha - Kusoma kifungu kwa ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu kilichosomwa - Kutumia msamiati kutunga sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kutabiri ujumbe wa kifungu - Kusoma kifungu "Kiangazi" kwa makini - Kutambua majina ya miezi yanayotajwa katika kifungu - Kujibu maswali kuhusu kifungu - Kutunga sentensi kwa kutumia majina ya miezi ya mwaka |
Je, ni mambo gani unaweza kujifunza kutokana na kifungu ulichosoma?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 39
Picha Kifungu cha ufahamu "Kiangazi" Orodha ya maswali Oxford Kiswahili Dadisi uk. 40 Karatasi ya kuandikia sentensi |
Kutambua miezi ya mwaka
Kujibu maswali
Kutunga sentensi
Kueleza ujumbe
|
|
| 8 | 2 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu - Kuandika herufi ndogo ipasavyo - Kufurahia kuandika herufi ndogo kwa usahihi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama herufi ndogo na kubwa - Kutambua herufi ndogo kati ya herufi mbalimbali - Kutaja maneno yenye herufi ndogo pekee - Kuandika herufi ndogo hewani na kwenye daftari kwa mwandiko mzuri |
Je, unazingatia mambo gani unapoandika herufi ndogo ifaavyo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 43
Kadi za herufi Mifano ya herufi ndogo Karatasi za kuandikia Oxford Kiswahili Dadisi uk. 44 Jedwali la herufi kubwa na ndogo Kifungu cha kunakili |
Kuandika herufi ndogo
Kutambua herufi ndogo
Tathmini ya maandishi
Kujadili
|
|
| 8-9 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 2 |
Kuandika
|
Hati Nadhifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutumia herufi ndogo kuandika kifungu - Kupanga mawazo ya kuandika kifungu - Kurekebisha makosa katika kifungu kilichoandikwa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika kifungu cha maneno 45-55 kuhusu miezi ya mwaka - Kufuata hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) - Kusoma kifungu alichoandika ili kuona kama kina makosa - Kuwasilisha kifungu kwa wenzake ili waitolee maoni |
Unazingatia nini unapoandika kifungu?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 45
Mfano wa kifungu Karatasi za kuandikia Orodha ya mambo ya kuzingatia |
Kuandika kifungu
Ufahamu wa herufi ndogo
Tathmini ya wenzake
Urekebishaji
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno yule na wale
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua matumizi ya neno yule katika kifungu - Kutumia neno yule ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia matumizi ya neno yule katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kusoma maneno yanayotumiwa na watoto - Kutambua matumizi ya neno "yule" katika sentensi - Kusikiliza kifungu chenye neno "yule" - Kuandika sentensi zenye neno "yule" - Kupiga mstari neno "yule" katika sentensi |
Ni maneno yapi yanayoambatanishwa na neno "yule"?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 46
Picha Sentensi zenye neno "yule" Kifungu cha kusoma Rekodi ya maneno |
Kutambua neno "yule"
Kujibu maswali
Kuandika sentensi
Kupiga mstari
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno yule na wale
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua matumizi ya neno wale katika kifungu - Kutumia neno wale ipasavyo katika sentensi - Kuchangamkia matumizi ya neno wale katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kusoma maneno yanayotumiwa - Kusoma shairi lenye neno "wale" - Kutambua matumizi ya neno "wale" katika shairi - Kuandika sentensi zenye neno "wale" - Kusikiliza maneno na kutunga sentensi kwa kutumia neno "wale" |
"Wale" hutumika kurejelea nini?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 48
Picha Shairi lenye neno "wale" Sentensi zenye neno "wale" Rekodi ya maneno |
Kutambua neno "wale"
Kujibu maswali
Kuandika sentensi
Kutaja matumizi
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya neno yule na wale
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kulinganisha matumizi ya neno yule na wale katika sentensi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kutumia neno yule na wale katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kulinganisha umoja na wingi wa sentensi zenye neno "yule" na "wale" - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia neno "yule" au "wale" - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kucheza mchezo wa kutunga sentensi kwa kutumia "yule" na "wale" |
Je, unaweza vipi kutofautisha matumizi ya "yule" na "wale"?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 50
Jedwali la umoja na wingi Sentensi za kujaza nafasi Sentensi za kubadilisha |
Kulinganisha "yule" na "wale"
Kujaza nafasi
Kubadilisha umoja na wingi
Mchezo wa kutunga sentensi
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
KAZI MBALIMBALI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kutamka maneno yaliyo chini ya picha - Kuonyesha herufi py, vy na sh kwenye maneno hayo - Kusikiliza rekodi ya sauti py, vy na sh na kuzitamka - Kutaja maneno yenye sauti py, vy na sh |
Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 53
Picha Rekodi ya sauti py, vy, sh Herufi py, vy, sh Maneno yenye sauti lengwa |
Kutamka sauti py, vy, sh
Kutambua sauti lengwa
Kutaja maneno yenye sauti
Tathmini ya matamshi
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano - Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutamka silabi zenye sauti py, vy na sh - Kusikiliza na kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh - Kutaja silabi zenye sauti py, vy na sh katika maneno husika - Kusikiliza kifungu na kutaja silabi zenye sauti py, vy na sh |
Je, ni kwa nini tunahitaji kutamka maneno vizuri?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 54
Orodha ya silabi na maneno Kifungu cha kusoma Rekodi ya silabi na maneno |
Kutamka silabi na maneno
Kutambua silabi lengwa
Kutaja silabi lengwa
Tathmini ya matamshi
|
|
| 11 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti lengwa - Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusikiliza rekodi ya maneno kwenye kifaa cha kidijitali - Kutamka maneno yaliyosikilizwa kwa usahihi - Kusikiliza na kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh kutoka kwenye kifungu - Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti py, vy na sh kwa usahihi |
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa usahihi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 55
Rekodi ya maneno Kifungu cha kusoma Orodha ya maneno |
Kutamka maneno
Kutambua silabi lengwa
Kusoma kifungu
Tathmini ya usomaji
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kutambua yaliyo kwenye picha - Kusoma kifungu "Ukulima bora" kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kwa sauti inayosikika - Kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh kwenye kifungu |
Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 56
Picha Kifungu "Ukulima bora" Orodha ya sauti lengwa |
Kutambua sauti lengwa
Kusoma kwa matamshi bora
Kusoma kwa sauti inayosikika
Tathmini ya usomaji
|
|
| 11 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu "Viwanda vyetu" kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu huku akitumia ishara zifaazo - Kutambua na kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh kwenye kifungu - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi |
Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 57
Kifungu "Viwanda vyetu" Orodha ya maneno yenye sauti lengwa |
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa ishara zifaazo
Kutambua maneno ya sauti lengwa
Tathmini ya usomaji
|
|
| 11 | 4 |

| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kusoma kwa kuzingatia kasi ifaayo, sauti inayosikika na ishara zifaazo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa ufasaha - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama kifungu cha kifungu cha hadithi - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo - Kutathmini usomaji wake na kurudia kusoma kifungu ili kuimarisha stadi ya usomaji |
Je, unazingatia mambo gani ili kusoma kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 58
Kifungu cha hadithi Orodha ya mambo ya kuzingatia wakati wa kusoma |
Kusoma kwa ufasaha
Kutathmini usomaji
Kujadili mbinu za kuimarisha usomaji
Tathmini ya wenzake
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya - Kunakili kifungu akizingatia pambizo na mwanzo wa kila aya - Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika - Kujadili kama amezingatia nafasi ya pambizo na aya |
Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 59
Kifungu cha kunakili Karatasi za kuandika Orodha ya mambo ya kuzingatia |
Kunakili kifungu
Kuzingatia pambizo
Kuzingatia aya
Tathmini ya wenzake
|
|
| 12 | 3 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kunakili kifungu kingine akizingatia pambizo na mwanzo wa kila aya - Kusahihisha kifungu chake kuhakikisha kila herufi, neno na sentensi zimeandikwa kwa usahihi - Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika - Kurekebisha makosa yaliyotambuliwa |
Unazingatia mambo gani katika uandishi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 60
Kifungu cha kunakili Karatasi za kuandika Mfano wa kifungu kilichoandikwa vizuri |
Kunakili kifungu
Kuzingatia pambizo
Kusahihisha makosa
Kurekebisha kifungu
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kupanga mawazo ya kuandika kifungu - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kurekebisha makosa katika kifungu kilichoandikwa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 kuhusu Kazi Aliyopendayo - Kufikiria kuhusu yale ambayo atayaandika kwenye kifungu chake - Kuzingatia nafasi ya pambizo na mwanzo wa kila aya - Kuwapa wenzake kifungu alichoandika ili waitolee maoni |
Je, ni kazi gani unayopenda kufanya zaidi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 60
Karatasi za kuandika Mfano wa kifungu kilichoandikwa vizuri |
Kuandika kifungu
Kuzingatia pambizo
Kuzingatia aya
Tathmini ya wenzake
|
|
| 13 | 1 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua sentensi katika umoja - Kutunga sentensi katika umoja - Kuchangamkia kutumia umoja katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zilizoandikwa - Kutambua kama sentensi ziko katika umoja au wingi - Kutaja sentensi zilizo katika umoja kutoka sentensi alizosoma - Kusikiliza sentensi na kutambua zilizo katika umoja |
Je, unatambua vipi sentensi iliyo katika umoja?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 61
Picha na sentensi Orodha ya sentensi za kusoma Vifaa vya kidijitali |
Kutambua sentensi za umoja
Kutaja sentensi za umoja
Kutofautisha umoja na wingi
Tathmini ya wanafunzi
|
|
| 13 | 2 |

| 13 | 3 |

- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia maneno yanayoonyesha umoja - Kuandika sentensi katika umoja kwa kutumia maneno aliyopewa - Kutunga sentensi katika umoja - Kuwasilisha sentensi alizopewa na wenzake watambue sentensi za umoja |
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 62
Sentensi za kujaza nafasi Orodha ya maneno ya kutunga sentensi Karatasi za kuandikia |
Kujaza nafasi
Kuandika sentensi za umoja
Kutunga sentensi za umoja
Tathmini ya wenzake
|
|
| 13 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua sentensi katika wingi - Kutunga sentensi katika wingi - Kuchangamkia kutumia wingi katika sentensi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zilizoandikwa - Kutambua kama sentensi ziko katika umoja au wingi - Kutaja sentensi zilizo katika wingi kutoka sentensi alizosoma - Kusikiliza sentensi na kutambua zilizo katika wingi |
Je, unatambua vipi sentensi iliyo katika wingi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 63
Picha na sentensi Orodha ya sentensi za kusoma Vifaa vya kidijitali |
Kutambua sentensi za wingi
Kutaja sentensi za wingi
Kutofautisha umoja na wingi
Tathmini ya wanafunzi
|
|
Your Name Comes Here