If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
KUJITHAMINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Nyimbo za Kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nyimbo za kazi na za dini - Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa - Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha wimbo wa kazi kutoka kwa mwalimu - Kueleza maana ya nyimbo za kazi - Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa - Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi |
Je, unajua nyimbo zipi katika jamii yako?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 107
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Picha za mazingira |
Kuimba nyimbo
Kueleza ujumbe
Kurekodi nyimbo
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika novela - Kujadili sifa za wahusika katika novela - Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kutambua wahusika katika novela - Kujadili sifa za wahusika katika novela - Kuigiza wahusika katika novela |
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 109
Novela iliyoteuliwa Video za wahusika Vifaa vya kidijitali |
Kutambua wahusika
Kuandaa muhtasari
Kuigiza wahusika
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Maneno - Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza dhana ya kinyume cha maneno - Kutambua vinyume vya nomino na vivumishi - Kutumia vinyume vya nomino na vivumishi katika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya kinyume cha maneno - Kutambua vinyume vya nomino katika mti maneno - Kuambatanisha nomino na vinyume vyake - Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya nomino |
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 110
Mti maneno Kadi za nomino Tarakilishi |
Kutambua vinyume
Kutunga sentensi
Kufanyiana tathmini
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Barua ya Kuomba Msamaha
Nyimbo za Dini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha - Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza umuhimu wa kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 111
Mifano ya barua Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili uk. 113 Simu Vitabu vya nyimbo |
Kutambua vipengele
Kuandika barua
Kuwasilisha barua
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Wahusika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika maelezo mafupi kuhusu wahusika - Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika - Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama video kuhusu wahusika katika novela - Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika - Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika - Kumhadithia mzazi au mlezi hadithi ya novela |
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 114
Video za uchambuzi Novela iliyoteuliwa |
Kuandaa muhtasari
Kujadili mafunzo
Kuwasilisha uchambuzi
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Vinyume vya Maneno - Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vinyume vya vivumishi katika matini - Kutumia vinyume vya vivumishi katika matini - Kuchangamkia kutumia vinyume vya vivumishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vinyume vya vivumishi kwenye kadi maneno - Kutambua vinyume vya vivumishi katika sentensi - Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vivumishi |
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 115
Kadi maneno Sentensi za mifano Tarakilishi |
Kutambua vinyume
Kutunga sentensi
Kutathmini kazi
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
|
Barua ya Kuomba Msamaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha - Kufurahia kujieleza kwa njia ifaayo kupitia kwa barua - Kushirikiana na wenzake kutathmini barua |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha kwa mwalimu wa darasa - Kuwasambazie wenzake barua aliyoandika - Kushirikiana na wenzake kutathmini barua za kirafiki |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 116
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika barua
Kusambazie kazi
Kutathmini barua
|
|
| 3 | 4 |
MAJUKUMU YA WATOTO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kujadili vitendo au ishara vya kuambatanisha na mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo - Kuigiza jinsi ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo |
Ni vitendo gani tunatumia tunapozungumza?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 117
Video za mazungumzo Vifaa vya kidijitali |
Kuigiza mazungumzo
Kutambua vipengele
Kushiriki mazungumzo
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia - Kutumia ipasavyo msamiati aliosoma katika matini ya kujichagulia |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua makala mbalimbali kuhusu majukumu ya watoto - Kusoma makala aliyojichagulia - Kutambua msamiati uliotumika katika matini aliyoichagua - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno |
Unapenda kusoma matini za aina gani?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 118
Makala mbalimbali Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kusoma matini
Kutambua msamiati
Kutunga sentensi
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa katika vitenzi - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendea ipasavyo - Kugeuza vitenzi katika kauli mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa - Kuteua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendea - Kugeuza vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendea - Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto |
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 119
Tarakilishi Kapu maneno Jedwali la vitenzi |
Kutambua vitenzi
Kugeuza vitenzi
Kutunga kifungu
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Maelezo
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo - Kueleza mpangilio wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayozingatia mpangilio ufaao |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya maelezo kuhusu haki za watoto - Kutambua mpangilio wa maelezo katika insha - Kushirikiana kueleza jinsi maelezo yalivyopangwa - Kuandika vidokezo vya insha kuhusu majukumu ya watoto |
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 121
Mifano ya insha Tarakilishi Vidokezo vya insha Nyota ya Kiswahili uk. 122 Rununu Video za mazungumzo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mpangilio
Kuandika vidokezo
Kuandika insha
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku - Kusakura mtandaoni kujichagulia matini ya ziada |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika muhtasari wa makala ya kujichagulia aliyosoma - Kuwawasilishia wenzake muhtasari wake - Kusakura mtandaoni ili kujichagulia matini ya ziada kuhusu majukumu ya watoto |
Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 123
Matini mbalimbali Mtandao Vifaa vya kidijitali |
Kuandika muhtasari
Kuwasilisha kazi
Kusakura mtandaoni
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa ipasavyo - Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa - Kutenga vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda na kutendwa - Kugeuza vitenzi katika jedwali katika kauli zinazoangaziwa - Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto |
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 124
Tarakilishi Kadi maneno Jedwali la vitenzi |
Kutambua vitenzi
Kutenga vitenzi
Kutunga kifungu
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao - Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao wa maelezo - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo |
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
|
Nyota ya Kiswahili uk. 125
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha
Kuwasilisha kazi
Kusahihisha insha
|
|
| 5 | 3 |
MAGONJWA AMBUKIZI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza - Kuwasilisha hoja muhimu katika habari - Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kusikiliza habari kuhusu magonjwa yanayoambukizwa na kutaja hoja muhimu kwa maneno machache - Kutafiti mtandaoni kuhusu magonjwa yanayoambukizwa na kudondoa hoja muhimu |
Kwa nini ni muhimu kutambua hoja katika habari uliyosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 127
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kutambua hoja muhimu
Kuwasilisha hoja kwa ufupi
Kushiriki mazungumzo
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha - Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akizingatia matamshi bora - Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 128
Vifaa vya kidijitali Video Matini ya mwalimu |
Kusoma kwa ufasaha
Kutazama video
Kutoa maoni kuhusu usomaji
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya sentensi sahili na ambatano - Kutambua sentensi sahili na ambatano katika matini - Kutunga sentensi sahili na ambatano ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili na ambatano katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya sentensi sahili na sentensi ambatano akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutenga sentensi sahili na ambatano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi - Kutaja sentensi sahili na ambatano zinazojitokeza katika vifungu |
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129
Chati Kadi maneno Matini ya mwalimu Tarakilishi |
Kutambua aina za sentensi
Kutenga sentensi sahili na ambatano
Kutunga sentensi
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hotuba ya Kupasha Habari
Kusikiliza kwa Makini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari - Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini - Kueleza ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kupasha habari - Kuandika hotuba ya kupasha habari kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kupasha habari katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kusoma hotuba ya kupasha habari na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe, lugha na muundo wake - Kujadili miktadha inayosababisha kutolewa kwa hotuba ya kupasha habari |
Ni mambo yepi ambayo yanaweza kuelezwa kupitia kwa hotuba?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129
Mifano ya hotuba Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 132 Kinasasauti |
Kueleza maana ya hotuba
Kutambua muundo wa hotuba
Kujadili ujumbe wa hotuba
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo na kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa - Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - Kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora |
Ni vipengele gani vya kusoma kwa ufasaha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 133
Kifungu kuhusu magonjwa Matini ya mwalimu |
Kusoma kwa ufasaha
Kutumia ishara zifaazo
Kutathmini usomaji wa wenzake
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya sentensi sahili na ambatano - Kutambua sentensi sahili na ambatano katika matini - Kutunga sentensi sahili na ambatano ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili na ambatano katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi sahili na ambatano kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kuunganisha sentensi sahili mbili au zaidi kuunda sentensi ambatano - Kuunda sentensi sahili kutokana na sentensi ambatano - Kushirikiana na wenzake kutunga na kutathmini sentensi |
Je, sentensi sahili na ambatano hutofautianaje?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 135
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Kadi maneno |
Kutunga sentensi mbalimbali
Kubadilisha sentensi
Kutathmini sentensi za wenzake
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Hotuba ya Kupasha Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari - Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini - Kueleza ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kupasha habari - Kuandika hotuba ya kupasha habari kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kupasha habari katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kupasha habari - Kuandika hotuba ya kupasha habari kuhusu magonjwa yanayoambukizwa kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kuwasomea wenzake hotuba aliyoandika ili waitolee maoni - Kuwasambazie wenzake hotuba aliyoandika mtandaoni |
Ni vigezo gani vya kuandika hotuba nzuri?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 136
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika hotuba
Kusoma hotuba
Kutoa maoni kuhusu hotuba za wenzake
|
|
| 7 | 2 |
UTATUZI WA MIZOZO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Wahusika katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika wimbo - Kuchambua wahusika katika wimbo - Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo - Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika nyimbo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutambua wahusika katika wimbo aliosikiliza - Kuchambua akiwa na wenzake wahusika katika wimbo anaosikiliza - Kuimba au kusikiliza wimbo katika vifaa vya kidijitali kuhusu utatuzi wa mizozo |
Je, ni wahusika gani katika wimbo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 137
Kinasasauti Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyimbo za utatuzi wa mizozo |
Kutambua wahusika
Kuchambua wahusika
Kuimba nyimbo
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi - Kutambua mbinu za lugha katika novela - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela - Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutambua mbinu za lugha kama vile tashbihi, sitiari, nahau, methali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela - Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake na kutoa maoni |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 139
Novela iliyoteuliwa Matini ya mwalimu Kamusi |
Kutambua mbinu za lugha
Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha
Kuhakiki uwasilishaji
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua nyakati katika matini - Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini - Kutumia ipasavyo hali ya ukanushaji wa wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini - Kuchangamkia kukanusha sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao ili kukuza mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ukanushaji akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutambua nyakati tatu tofauti (uliopita, uliopo, ujao) kutoka kwenye chati, mti maneno, vitabu au vifaa vya kidijitali - Kutambua ukanushaji wa sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao akiwa na wenzake katika kikundi |
Tunakanusha sentensi kwa kuzingatia nyakati gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 140
Chati za nyakati Mti maneno Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua nyakati
Kutambua ukanushaji
Kujadiliana kuhusu ukanushaji
|
|
| 8 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni - Maelezo
Wahusika katika Nyimbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu - Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhana ya insha ya maelezo akiwa peke yake au katika kikundi - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo akiwa na wenzake katika kikundi - Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo - Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu sura na matendo ya mtu |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 141
Mifano ya insha za maelezo Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 142 Kinasasauti |
Kutambua insha ya maelezo
Kuandaa vidokezo
Kujadiliana kuhusu mada
|
|
| 8 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi - Kutambua mbinu za lugha katika novela - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela - Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mbinu za lugha kwenye novela aliyosoma - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kuwasilisha muhtasari wa matumizi ya mbinu za lugha katika novela - Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika novela |
Ni mbinu gani za lugha tunazozifahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 143
Novela iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua mbinu za lugha
Kuwasilisha muhtasari
Kufanya utafiti
|
|
| 8 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji - Kutambua nyakati katika matini - Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini - Kutumia ipasavyo hali ya ukanushaji wa wakati uliopita, uliopo na ujao katika matini - Kuchangamkia kukanusha sentensi katika wakati uliopita, uliopo na ujao ili kukuza mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa kutumia nyakati hizo na kujadiliana na wenzake wakiwa wawili wawili au katika kikundi - Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji katika wakati uliopita, uliopo na ujao kuhusu utatuzi wa mizozo - Kushirikiana na wenzake kuwatumia sentensi kupitia vifaa vya kidijitali |
Ni nyakati gani zinazoathiri ukanushaji?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 144
Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Kadi maneno |
Kutunga sentensi za ukanushaji
Kubadilisha nyakati
Kushirikiana kutumia vifaa vya kidijitali
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu - Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mtu akizingatia muundo ufaao na inayohusisha utatuzi wa mizozo - Kuwasomea wenzake darasani insha aliyoandika - Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mtu kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni - Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo |
Je, ni vigezo vipi vinatumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 145
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika insha
Kusoma insha
Kutoa maoni
|
Your Name Comes Here