Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
KUJITHAMINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Nyimbo za Kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya nyimbo za kazi na za dini
- Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa
- Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha wimbo wa kazi kutoka kwa mwalimu
- Kueleza maana ya nyimbo za kazi
- Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa
- Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi
Je, unajua nyimbo zipi katika jamii yako?
Nyota ya Kiswahili uk. 107
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Picha za mazingira
Kuimba nyimbo Kueleza ujumbe Kurekodi nyimbo
1 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua wahusika katika novela
- Kujadili sifa za wahusika katika novela
- Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kutambua wahusika katika novela
- Kujadili sifa za wahusika katika novela
- Kuigiza wahusika katika novela
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
Nyota ya Kiswahili uk. 109
Novela iliyoteuliwa
Video za wahusika
Vifaa vya kidijitali
Kutambua wahusika Kuandaa muhtasari Kuigiza wahusika
1 3

1 4
Sarufi
Vinyume vya Maneno - Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza dhana ya kinyume cha maneno
- Kutambua vinyume vya nomino na vivumishi
- Kutumia vinyume vya nomino na vivumishi katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya kinyume cha maneno
- Kutambua vinyume vya nomino katika mti maneno
- Kuambatanisha nomino na vinyume vyake
- Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya nomino
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 110
Mti maneno
Kadi za nomino
Tarakilishi
Kutambua vinyume Kutunga sentensi Kufanyiana tathmini
2 1
Kuandika
Barua ya Kuomba Msamaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza umuhimu wa kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
Nyota ya Kiswahili uk. 111
Mifano ya barua
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele Kuandika barua Kuwasilisha barua
2 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Nyimbo za Dini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya nyimbo za dini
- Kutambua mazingira ambapo nyimbo za dini huimbwa
- Kuwasilisha nyimbo za dini kwa zamu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha nyimbo za dini
- Kueleza maana ya nyimbo za dini
- Kutambua mazingira mengine ambapo nyimbo za dini huimbwa
- Kutunga wimbo mwepesi wa dini
Je, nyimbo za kazi na za dini zinatofautianaje?
Nyota ya Kiswahili uk. 113
Vifaa vya kidijitali
Simu
Vitabu vya nyimbo
Kuimba nyimbo Kuwasilisha nyimbo Kurekodi nyimbo
2 3

2 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika maelezo mafupi kuhusu wahusika
- Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika
- Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama video kuhusu wahusika katika novela
- Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika
- Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika
- Kumhadithia mzazi au mlezi hadithi ya novela
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
Nyota ya Kiswahili uk. 114
Video za uchambuzi
Novela iliyoteuliwa
Kuandaa muhtasari Kujadili mafunzo Kuwasilisha uchambuzi
3 1
Sarufi
Vinyume vya Maneno - Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vinyume vya vivumishi katika matini
- Kutumia vinyume vya vivumishi katika matini
- Kuchangamkia kutumia vinyume vya vivumishi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vinyume vya vivumishi kwenye kadi maneno
- Kutambua vinyume vya vivumishi katika sentensi
- Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vivumishi
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 115
Kadi maneno
Sentensi za mifano
Tarakilishi
Kutambua vinyume Kutunga sentensi Kutathmini kazi
3 2
Kuandika
Barua ya Kuomba Msamaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kufurahia kujieleza kwa njia ifaayo kupitia kwa barua
- Kushirikiana na wenzake kutathmini barua
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha kwa mwalimu wa darasa
- Kuwasambazie wenzake barua aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kutathmini barua za kirafiki
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
Nyota ya Kiswahili uk. 116
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika barua Kusambazie kazi Kutathmini barua
3 3

3 4
MAJUKUMU YA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kujadili vitendo au ishara vya kuambatanisha na mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kuigiza jinsi ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
Ni vitendo gani tunatumia tunapozungumza?
Nyota ya Kiswahili uk. 117
Video za mazungumzo
Vifaa vya kidijitali
Kuigiza mazungumzo Kutambua vipengele Kushiriki mazungumzo
4 1
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
- Kutumia ipasavyo msamiati aliosoma katika matini ya kujichagulia
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua makala mbalimbali kuhusu majukumu ya watoto
- Kusoma makala aliyojichagulia
- Kutambua msamiati uliotumika katika matini aliyoichagua
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Unapenda kusoma matini za aina gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 118
Makala mbalimbali
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Kusoma matini Kutambua msamiati Kutunga sentensi
4 2
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa katika vitenzi
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendea ipasavyo
- Kugeuza vitenzi katika kauli mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa
- Kuteua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendea
- Kugeuza vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendea
- Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
Nyota ya Kiswahili uk. 119
Tarakilishi
Kapu maneno
Jedwali la vitenzi
Kutambua vitenzi Kugeuza vitenzi Kutunga kifungu
4 3

4 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo
- Kueleza mpangilio wa insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo inayozingatia mpangilio ufaao
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya maelezo kuhusu haki za watoto
- Kutambua mpangilio wa maelezo katika insha
- Kushirikiana kueleza jinsi maelezo yalivyopangwa
- Kuandika vidokezo vya insha kuhusu majukumu ya watoto
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
Nyota ya Kiswahili uk. 121
Mifano ya insha
Tarakilishi
Vidokezo vya insha
Kutambua mpangilio Kuandika vidokezo Kuandika insha
5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa mazungumzo kwa kuyaambatanisha na vitendo au ishara zifaazo
- Kujenga mazoea ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuwasilisha mazungumzo yanayoambatana na vitendo kuhusu majukumu ya watoto
- Kushiriki na mzazi au mlezi wake katika kuzungumza
- Kutazama na kusikiliza mazungumzo yanayoambatana na vitendo
Kuna umuhimu gani wa kutumia vitendo tunapozungumza?
Nyota ya Kiswahili uk. 122
Rununu
Video za mazungumzo
Vifaa vya kidijitali
Kuwasilisha mazungumzo Kutathmini mazungumzo Kushiriki na mzazi
5 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku
- Kusakura mtandaoni kujichagulia matini ya ziada
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika muhtasari wa makala ya kujichagulia aliyosoma
- Kuwawasilishia wenzake muhtasari wake
- Kusakura mtandaoni ili kujichagulia matini ya ziada kuhusu majukumu ya watoto
Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea?
Nyota ya Kiswahili uk. 123
Matini mbalimbali
Mtandao
Vifaa vya kidijitali
Kuandika muhtasari Kuwasilisha kazi Kusakura mtandaoni
5 3

5 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kutenga vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kugeuza vitenzi katika jedwali katika kauli zinazoangaziwa
- Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
Nyota ya Kiswahili uk. 124
Tarakilishi
Kadi maneno
Jedwali la vitenzi
Kutambua vitenzi Kutenga vitenzi Kutunga kifungu
6 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao
- Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao wa maelezo
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
Nyota ya Kiswahili uk. 125
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha Kuwasilisha kazi Kusahihisha insha
6 2
MAGONJWA AMBUKIZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza
- Kuwasilisha hoja muhimu katika habari
- Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kusikiliza habari kuhusu magonjwa yanayoambukizwa na kutaja hoja muhimu kwa maneno machache
- Kutafiti mtandaoni kuhusu magonjwa yanayoambukizwa na kudondoa hoja muhimu
Kwa nini ni muhimu kutambua hoja katika habari uliyosikiliza?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 127
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Kutambua hoja muhimu Kuwasilisha hoja kwa ufupi Kushiriki mazungumzo
6 3

6 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
- Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
- Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akizingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 128
Vifaa vya kidijitali
Video
Matini ya mwalimu
Kusoma kwa ufasaha Kutazama video Kutoa maoni kuhusu usomaji
7 1
Sarufi
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya sentensi sahili na ambatano
- Kutambua sentensi sahili na ambatano katika matini
- Kutunga sentensi sahili na ambatano ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili na ambatano katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya sentensi sahili na sentensi ambatano akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kutenga sentensi sahili na ambatano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi
- Kutaja sentensi sahili na ambatano zinazojitokeza katika vifungu
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129
Chati
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Tarakilishi
Kutambua aina za sentensi Kutenga sentensi sahili na ambatano Kutunga sentensi
7 2
Kuandika
Hotuba ya Kupasha Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari
- Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini
- Kueleza ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kupasha habari
- Kuandika hotuba ya kupasha habari kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kupasha habari katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kusoma hotuba ya kupasha habari na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe, lugha na muundo wake
- Kujadili miktadha inayosababisha kutolewa kwa hotuba ya kupasha habari
Ni mambo yepi ambayo yanaweza kuelezwa kupitia kwa hotuba?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129
Mifano ya hotuba
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kueleza maana ya hotuba Kutambua muundo wa hotuba Kujadili ujumbe wa hotuba
7 3

7 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza
- Kuwasilisha hoja muhimu katika habari
- Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari kwenye kinasasauti jinsi atakavyoongozwa na mwalimu
- Kutafiti mtandaoni kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya magonjwa yanayoambukizwa
- Kuwawasilishie wenzake hoja muhimu alizotatmbua katika utafiti wake
Unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika habari uliyosikiliza?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 132
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Matini ya mwalimu
Kutambua hoja muhimu Kuwasilisha utafiti Kutoa maoni
8 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
- Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo na kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa
- Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni
- Kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora
Ni vipengele gani vya kusoma kwa ufasaha?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 133
Kifungu kuhusu magonjwa
Matini ya mwalimu
Kusoma kwa ufasaha Kutumia ishara zifaazo Kutathmini usomaji wa wenzake
8 2
Sarufi
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya sentensi sahili na ambatano
- Kutambua sentensi sahili na ambatano katika matini
- Kutunga sentensi sahili na ambatano ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili na ambatano katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi sahili na ambatano kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi
- Kuunganisha sentensi sahili mbili au zaidi kuunda sentensi ambatano
- Kuunda sentensi sahili kutokana na sentensi ambatano
- Kushirikiana na wenzake kutunga na kutathmini sentensi
Je, sentensi sahili na ambatano hutofautianaje?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 135
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Kutunga sentensi mbalimbali Kubadilisha sentensi Kutathmini sentensi za wenzake
8 3

8 4
Kuandika
Hotuba ya Kupasha Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari
- Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini
- Kueleza ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kupasha habari
- Kuandika hotuba ya kupasha habari kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kupasha habari katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kupasha habari
- Kuandika hotuba ya kupasha habari kuhusu magonjwa yanayoambukizwa kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
- Kuwasomea wenzake hotuba aliyoandika ili waitolee maoni
- Kuwasambazie wenzake hotuba aliyoandika mtandaoni
Ni vigezo gani vya kuandika hotuba nzuri?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 136
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kuandika hotuba Kusoma hotuba Kutoa maoni kuhusu hotuba za wenzake

Your Name Comes Here

Download

Feedback