If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kuandika |
Viakifishi - Koloni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua alama ya koloni katika matini - Kutumia alama ya koloni ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo na kutambua alama ya koloni katika sentensi - Kueleza matumizi ya alama ya koloni katika matini akishirikiana na wenzake - Kutunga sentensi kuhusu suala lengwa kwa kutumia alama ya koloni |
Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 9
- Matini ya mwalimu - Kifaa cha kidijitali - Kadi zenye mifano |
Kutambua alama ya koloni katika matini
- Kutunga sentensi zenye alama ya koloni
- Orodha hakiki
- Kujaza pengo
|
|
| 1 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Viakifishi - Semi Koloni
Vihusishi vya Mahali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza matumizi ya semi koloni katika maandishi - Kutumia alama ya semi koloni ipasavyo katika matini - Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matini mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua alama ya semi koloni - Kueleza matumizi ya semi koloni katika matini akishirikiana na wenzake - Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia alama ya semi koloni ipasavyo - Kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia semi koloni ipasavyo |
Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 10
- Matini ya mwalimu - Kadi - Mifano ya sentensi Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 13 - Kadi maneno - Picha zinazoonyesha mahali |
Orodha hakiki
- Kutunga sentensi zenye alama ya semi koloni
- Kubainisha tofauti kati ya koloni na semi koloni
|
|
| 1 | 3 |
Sarufi
|
Vihusishi vya Wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vihusishi vya wakati katika matini - Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya wakati katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha vihusishi vya wakati - Kutambua vihusishi vya wakati katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi - Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vihusishi vya wakati kuhusu suala lengwa |
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 15
- Chati mabango - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
Kujaza pengo kwa vihusishi vya wakati
- Kutunga sentensi zenye vihusishi vya wakati
- Kutambua tofauti kati ya vihusishi vya mahali na wakati
|
|
| 1 | 4 |
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI
Kuandika |
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki - Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki - Kuthamini mawasiliano kupitia barua za kirafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu barua ya kirafiki na watu ambao huandikiana barua hizo - Kujadili ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake - Kujadili lugha inayofaa kutumiwa katika kujibu barua ya kirafiki |
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 23
- Matini ya mwalimu - Michoro - Mfano wa barua ya kirafiki |
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki
- Kuchora muundo
- Kujibu maswali
|
|
| 2 | 1 |
Sarufi
|
Vihusishi vya -a Unganifu
Vihusishi vya Sababu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika matini - Kutumia vihusishi vya -a unganifu ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya -a unganifu ifaavyo katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha vihusishi vya -a unganifu - Kutambua vihusishi vya -a unganifu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino - Kutunga sentensi akizingatia suala lengwa akitumia vihusishi vya -a unganifu |
Je, vihusishi vya -a unganifu hutumika vipi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 27
- Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu - Orodha ya vihusishi Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 30 - Kapu na kadi maneno |
Kutambua vihusishi vya -a unganifu
- Kutunga sentensi
- Orodha hakiki
|
|
| 2 | 2 |
UTUNZAJI WA WANYAMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Semi - Tashbihi na Sitiari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya tashbihi na sitiari ili kuzipambanua - Kutambua tashbihi na sitiari katika matini ya fasihi simulizi - Kuchangamkia matumizi ya tashbihi na sitiari katika tungo za fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kushirikiana kuunda usemi unaolinganisha vitu vilivyo kwenye picha - Kuelezana maana ya tashbihi na sitiari akiwa na mwenzake - Kusikiliza hadithi kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua tashbihi na sitiari zilizotumiwa |
Je, tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 33
- Kadi za tashbihi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua tashbihi na sitiari katika tungo
- Kueleza matumizi ya tashbihi na sitiari
- Kutofautisha tashbihi na sitiari
|
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Semi - Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya methali ili kuipambanua na tungo zingine - Kutambua methali katika matini ya fasihi simulizi - Kutumia tashbihi, sitiari na methali katika uwasilishaji wa tungo za fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kushirikiana kutaja methali inayowakilishwa na kila mchoro - Kusikiliza hadithi na kutambua methali zilizotumiwa akishirikiana na wenzake - Kushiriki katika uwasilishaji wa tashbihi, sitiari na methali akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Kwa nini tunatumia methali kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 37
- Matini zilizo na methali - Chati za methali - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua methali katika tungo
- Kueleza matumizi ya methali
- Kutofautisha methali na semi zingine
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo nyingine - Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi - Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma vielelezo vya tungo za fasihi andishi na kutambua kile kinachoashiria utungo wa ushairi - Kujadili sifa za ushairi akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kusoma shairi na kutambua sifa za ushairi zinazojitokeza |
Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 39
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua sifa za ushairi
- Kusoma shairi kwa kuzingatia vipengele vyake
- Kujadili ujumbe wa shairi
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza sifa za ushairi katika shairi - Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za ushairi - Kujenga mazoea ya kusoma na kuchambua mashairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kujibu maswali ya ufahamu - Kujadili sifa za ushairi zinazojitokeza katika shairi alilolisoma akishirikiana na wenzake - Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za ushairi akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, unavutiwa na nini unaposoma shairi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 41
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Chati ya sifa za ushairi - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 46 - Kadi za vihusishi vilinganishi - Chati |
Kutambua sifa za ushairi katika shairi
- Kusoma shairi kwa ufasaha
- Kujibu maswali
- Kufanya tathmini
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Kihusishi 'na'
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua kihusishi 'na' katika matini - Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia kihusishi 'na' katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha matumizi ya kihusishi 'na' - Kutambua mafungu ya maneno yaliyo na kihusishi 'na' katika kifungu akishirikiana na wenzake - Kutunga sentensi kwa kutumia kihusishi 'na' ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, kihusishi 'na' kinatofautianaje na vihusishi vingine?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 48
- Kadi za sentensi zenye kihusishi 'na' - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua kihusishi 'na'
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 3 | 3 |
UTUNZAJI WA MALIASILI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Semi - Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vitendawili ili kuvipambanua na semi zingine - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa vitendawili - Kuchangamkia kutega na kutegua vitendawili katika mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuelezana maana ya vitendawili akiwa na wenzake katika kikundi - Kutazama michoro na kutega vitendawili ambavyo majibu yake ni michoro hiyo - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa vitendawili akishirikiana na wenzake |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 51
- Kadi za vitendawili - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutega na kutegua vitendawili
- Kutambua vipengele vya uwasilishaji
- Kuwasilisha vitendawili
|
|
| 3 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Semi - Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya nahau ili kuipambanua na semi zingine - Kutambua nahau katika matini ya fasihi simulizi - Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuelezana maana ya nahau akiwa na wenzake katika kikundi - Kusikiliza kifungu kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua nahau zilizotumiwa akishirikiana na mwenzake - Kueleza maana na umuhimu wa nahau zilizotumiwa katika kifungu alichokisikiliza |
Je, nahau hutumiwa vipi katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 53
- Matini yenye nahau - Vifaa vya kidijitali - Chati za nahau |
Kutambua nahau katika matini
- Kueleza maana za nahau
- Kutunga sentensi kwa kutumia nahau
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali - Hali ya -ki- ya Masharti
Nyakati na Hali - Hali ya -ka- ya Kufuatana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua hali ya -ki- ya masharti katika matini - Kutumia hali ya -ki- ya masharti ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya hali ya -ki- ya masharti katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya -ki- ya masharti - Kutambua hali ya -ki- ya masharti katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi akishirikiana na wenzake - Kutunga sentensi akitumia hali ya -ki- ya masharti ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, hali ya -ki- ya masharti hutumiwa vipi katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 62
- Kadi za sentensi - Chati - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 64 - Matini ya mwalimu |
Kutambua hali ya -ki- ya masharti
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 4 | 2 |
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA
Sarufi |
Hali za Masharti - Hali ya -nge-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hali ya masharti - Kutambua matumizi ya hali ya masharti ya -nge- katika matini - Kuchangamkia matumizi ya hali ya -nge- katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya masharti ya -nge- - Kutambua vitenzi vinavyotegemeana katika sentensi zilizo na hali ya -nge- akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti ya -nge- ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, kiambishi -nge- hutumika kuleta dhana gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 80
- Kadi za sentensi - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua hali ya -nge-
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Hali za Masharti - Hali ya -ngali-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya hali ya masharti ya -ngali- katika matini - Kutumia hali ya masharti ya -nge- na -ngali- ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya hali za masharti katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoonyesha hali ya masharti ya -ngali- - Kutambua vitenzi vinavyotegemeana katika sentensi zilizo na hali ya -ngali- akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti ya -ngali- ipasavyo na kubadilisha sentensi kutoka -nge- hadi -ngali- |
Je, hali ya masharti ya -nge- na -ngali- zinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 82
- Kadi za sentensi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua hali ya -ngali-
- Kutunga sentensi
- Kubadilisha sentensi
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 4 | 4 |
USALAMA BARABARANI
Kusoma Kusoma |
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Maudhui)
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Dhamira) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya maudhui katika kazi ya fasihi - Kujadili maudhui katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kupata maudhui yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kueleza ujumbe unaopitishwa na kila mchoro akishirikiana na mwenzake - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua maudhui yanayoangaziwa - Kujadili maudhui aliyoyatambua katika shairi akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, maudhui katika kazi ya fasihi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 89
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Michoro - Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 91 - Matini ya mwalimu |
Kutambua maudhui katika shairi
- Kujadili maudhui
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi vya Namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vielezi vya namna - Kutambua vielezi vya namna katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya namna - Kutambua vielezi vya namna katika chati ya maneno akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi akitumia vielezi vya namna ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya namna hujibu swali gani katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 97
- Kadi za vielezi vya namna - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vielezi vya namna
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Vielezi vya Wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vielezi vya wakati - Kutumia vielezi vya namna na vya wakati ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vielezi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya wakati - Kutambua vielezi vya wakati katika chati ya maneno na katika kifungu akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi na kifungu akitumia vielezi vya wakati ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya namna na vya wakati vinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 99
- Kadi za vielezi vya wakati - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua vielezi vya wakati
- Kutunga sentensi na kifungu
- Kufanyiana tathmini
- Kujaza pengo
|
|
| 5 | 3 |
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII
Kusoma |
Ufupisho - Vipengele
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ufupisho - Kujadili vipengele vinavyozingatiwa katika kufupisha habari ya kifungu - Kuchangamkia kufupisha habari kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya ufupisho na vipengele vinavyozingatiwa katika kufupisha habari - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa na kutambua habari muhimu - Kumweleza mwenzake kwa usahihi na kwa kifupi habari muhimu alizozitambua |
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika kufupisha habari?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 105
- Vifungu vya habari - Chati ya vipengele vya ufupisho - Vifaa vya kidijitali |
Kueleza vipengele vya ufupisho
- Kutambua habari muhimu
- Kujibu maswali
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho - Kuandika
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa mawazo makuu kutoka katika kifungu - Kufupisha kifungu kwa kuzingatia vipengele vya ufupisho - Kujenga mazoea ya kufupisha habari kwa usahihi katika maisha ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa na kudondoa mawazo makuu akishirikiana na wenzake - Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho alivyojifunza - Kumsomea mwenzake ufupisho wake ili autolee maoni na kuusahihisha |
Je, kwa nini ni muhimu kufupisha habari kwa usahihi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 107
- Vifungu vya habari - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 111 - Kadi za vielezi vya mahali - Michoro |
Kudondoa mawazo makuu
- Kuandika ufupisho
- Kusomeana ufupisho
- Kufanya tathmini
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya vielezi vya idadi - Kutumia vielezi vya mahali na vya idadi ipasavyo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya vielezi katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kusoma sentensi zinazoonyesha vielezi vya idadi - Kutambua vielezi vya idadi katika chati ya maneno na katika kifungu akishirikiana na mwenzake - Kutunga sentensi na kifungu akitumia vielezi vya mahali na vya idadi ipasavyo kuhusu suala lengwa |
Je, vielezi vya mahali na vya idadi vinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 113
- Kadi za vielezi vya idadi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua vielezi vya idadi
- Kutunga sentensi na kifungu
- Kufanyiana tathmini
- Kujaza pengo
|
|
| 6 | 2 |
MISUKOSUKO YA KIJAMII
Kusoma |
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Mandhari)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mandhari katika kazi ya fasihi - Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kupata mandhari yake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kutaja maeneo na nyakati za siku zinazoonyeshwa akishirikiana na mwenzake - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua mandhari yanayojitokeza - Kueleza umuhimu wa mandhari aliyoyatambua katika kuuendeleza ujumbe wa shairi akishirikiana na wenzake |
Je, mandhari katika kazi ya fasihi ni nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 119
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mandhari katika shairi
- Kueleza umuhimu wa mandhari
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Muundo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya muundo wa shairi - Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi - Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana ya muundo wa shairi na vipengele vyake - Kusoma shairi na kufafanua vipengele vya muundo kama vile beti, mishororo, vipande, mizani na vina - Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, vipengele vya muundo wa shairi vinahusu nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 121
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 154 - Michoro |
Kufafanua vipengele vya muundo
- Kuchambua shairi
- Kughani shairi
- Kufanya tathmini
|
|
| 6 | 4 |
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO
Kusoma |
Kusoma kwa Kina - Ushairi (Wahusika)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya wahusika katika ushairi - Kutambua wahusika katika shairi - Kuchangamkia kusoma mashairi ili kutambua wahusika |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya wahusika katika fasihi na jinsi ya kuwatambua - Kusoma ubeti wa shairi na kutambua anayezungumza na anayezungumziwa - Kusoma shairi kuhusu suala lengwa na kutambua wahusika waliomo akishirikiana na wenzake katika kikundi |
Je, wahusika katika shairi ni kina nani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 157
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua wahusika katika shairi
- Kutaja sifa za wahusika
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Barua Rasmi - Kuomba Kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili ujumbe na vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi - Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele vya kimuundo - Kujenga mazoea ya kuandika barua rasmi za kuomba kazi zenye mvuto |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kufikiria nafasi ya kazi iliyotangazwa na kujadili ujumbe na vipengele vya kimuundo vya barua ataakayoandika akishirikiana na wenzake - Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia ujumbe unaofaa, lugha faafu na vipengele vya kimuundo - Kuwasomea wenzake barua aliyoandika ili waitolee maoni na kuisahihisha |
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 162
- Vifaa vya kidijitali - Mifano ya barua rasmi za kuomba kazi - Matini ya mwalimu |
Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
- Kusomeana barua
- Kutoa maoni
- Kufanya tathmini
|
|
| 7 | 2 |
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA
Sarufi |
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya sentensi tata - Kutambua sentensi tata katika matini - Kuchangamkia kuelewa sentensi tata katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama michoro na kusoma sentensi zinazoandamana nazo ili kutambua maana tofauti zinazoweza kutokana na sentensi - Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya sentensi tata na sababu zinazofanya sentensi kuwa tata - Kutambua sentensi tata katika kifungu na kueleza maana tofauti zinazotokana nazo akishirikiana na wenzake |
Je, sentensi tata ni nini na husababishwa na nini?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 196
- Kadi za sentensi tata - Michoro - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua sentensi tata
- Kueleza maana tofauti
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
Kusoma |
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha katika Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana tofauti zinazotokana na sentensi tata - Kutunga sentensi tata na kueleza maana zake - Kuthamini umuhimu wa kuepuka utata katika sentensi ili maana iliyokusudiwa ieleweke |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana tofauti zinazotokana na sentensi tata alizopewa - Kutunga sentensi tata na kueleza maana zake kisha kuwawasilishia wenzake ili wazitolee maoni - Kuandika kifungu akitumia sentensi tata na kueleza maana za sentensi hizo |
Je, kwa nini ni vizuri kuepuka utata katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 198
- Kadi za sentensi tata - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 203 - Diwani ya mashairi iliyoteuliwa |
Kueleza maana tofauti
- Kutunga sentensi tata
- Kuandika kifungu
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 7 | 4 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Sarufi |
Ukanushaji - Hali ya Masharti ya -nge- na -ngali-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti - Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- na -ngali- katika matini - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa hali ya masharti katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi za uyakinishi na ukanusho na kutambua tofauti akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kujadiliana na mwenzake kuhusu maana ya ukanushaji na hali ya masharti - Kutambua vitenzi vinavyoonyesha ukanushaji katika hali ya masharti ya -nge- na -ngali- katika chati na sentensi |
Je, ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge- na -ngali- unafanywaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 209
- Kadi za sentensi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti
- Kunakili sentensi
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Hali ya Masharti ya -ki-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti ya -ki- katika matini - Kutumia ipasavyo ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- katika matini - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa hali ya masharti katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu hali ya masharti ya -ki- na jinsi ya kuikanusha - Kutambua vitenzi vinavyoonyesha ukanushaji katika hali ya masharti ya -ki- katika chati na sentensi - Kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- na kuandika kifungu akitumia ukanushaji wa hali ya masharti |
Je, ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- unatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 213
- Kadi za sentensi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kukanusha sentensi
- Kuandika kifungu
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 8 | 2 |
MATUMIZI YA KODI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza vipengele vya lugha vinavyotumiwa katika mawaidha - Kutambua tamathali za lugha zinazotumiwa katika mawaidha - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika mawaidha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha inayoonyesha mtu akitoa mawaidha na kujadili kinachoendelea akishirikiana na wenzake - Kukumbushana na wenzake maana ya mawaidha na wahusika katika mawaidha - Kujadili vipengele vya lugha vinavyotumiwa katika mawaidha kama vile misemo, methali, uradidi, tashbihi, sitiari, uhuishaji na nahau |
Je, mawaidha hutumia lugha ya aina gani?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 217
- Vifaa vya kidijitali - Picha - Matini ya mwalimu |
Kueleza vipengele vya lugha
- Kutambua tamathali za lugha
- Kujibu maswali
|
|
| 8 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuandika |
Mazungumzo - Mawaidha
Insha za Kiuamilifu - Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha aliyoyasikiliza - Kutoa mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha - Kuthamini matumizi ya lugha katika mawaidha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza rekodi ya mawaidha kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha katika kufanikisha mawaidha akishirikiana na wenzake - Kuandaa kikao cha kutoa mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara zinazofaa |
Je, vipengele vya lugha vina umuhimu gani katika kufanikisha mawaidha?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 219
- Vifaa vya kidijitali - Rekodi ya mawaidha - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 224 - Mifano ya shajara |
Kutambua vipengele vya lugha
- Kutoa mawaidha
- Kuwasilisha majibu
|
|
| 8 | 4 |
Sarufi
|
Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya udogo wa nomino - Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo katika matini - Kuchangamkia matumizi ya udogo wa nomino katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama jozi za picha zinazoonyesha vitu katika hali ya wastani na udogo na kueleza alichokigundua akishirikiana na mwenzake - Kukumbushana na wenzake hali ya udogo wa nomino ni hali gani - Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo katika chati na kuandika wingi wake |
Je, nomino hubadilishwaje kuwa katika hali ya udogo?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 229
- Kadi za nomino - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino katika hali ya udogo
- Kuandika wingi wa nomino
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 9 | 1 |
Sarufi
|
Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukubwa wa nomino - Kutumia ipasavyo nomino katika hali ya udogo na ukubwa katika matini - Kuchangamkia matumizi ya udogo na ukubwa wa nomino katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama jozi za picha zinazoonyesha vitu katika hali ya wastani na ukubwa na kueleza alichokigundua akishirikiana na mwenzake - Kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa katika chati na kuandika wingi wake - Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa na kushiriki mchezo wa udogo na ukubwa wa nomino |
Je, udogo na ukubwa wa nomino vinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 232
- Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kutambua nomino katika hali ya ukubwa
- Kutunga sentensi
- Kushiriki mchezo
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 9 | 2 |
MAADILI YA KITAIFA
Kuandika Kuandika |
Kujibu Baruapepe - Vipengele
Kujibu Baruapepe - Kuandika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya baruapepe - Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe - Kuthamini umuhimu wa kujibu baruapepe |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na mwenzake kuhusu baruapepe ni aina gani ya barua na sehemu zake muhimu - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe kama vile anwanipepe, marejeleo, siku na tarehe, kutambua, utangulizi, mwili na hitimisho akishirikiana na wenzake katika kikundi - Kusoma baruapepe na kutambua vipengele vinavyojitokeza |
Je, unazingatia nini katika kujibu baruapepe?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 241
- Mifano ya baruapepe - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 244 |
Kutambua vipengele vya kujibu baruapepe
- Kusoma baruapepe
- Kujibu maswali
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Usemi Halisi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya usemi halisi - Kutambua kanuni za kuandika usemi halisi - Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazoonyesha usemi halisi na usemi wa taarifa na kutambua tofauti akishirikiana na mwenzake - Kukumbushana na wenzake maana ya usemi halisi na kanuni za kuandika usemi halisi katika kikundi - Kusahihisha sentensi ili ziafiki usemi halisi na kutunga sentensi katika usemi halisi |
Je, usemi halisi ni nini na unafuata kanuni zipi?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 245
- Kadi za sentensi - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kanuni za usemi halisi
- Kusahihisha sentensi
- Kutunga sentensi
- Orodha hakiki
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Usemi wa Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya usemi wa taarifa - Kutumia ipasavyo usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini - Kuthamini matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi na kutambua ile inayoashiria usemi wa taarifa akishirikiana na mwenzake - Kukumbushana na wenzake maana ya usemi wa taarifa na kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa katika kikundi - Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na kutoka usemi wa taarifa kuwa usemi halisi |
Je, usemi halisi na usemi wa taarifa vinatofautianaje?
|
Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 9 uk. 246
- Kadi za sentensi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
Kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kutunga sentensi
- Kufanyiana tathmini
|
Your Name Comes Here