Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo,
-kujadili sifa za malumbano ya utani,
-kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kueleza maana ya malumbano ya utani akiwa na mwenzake
-Kujadili sifa za malumbano ya utani akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kutambua vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-Kusikiliza malumbano ya utani katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa au mwalimu na kutambua vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
-Ukurasa 155
Kutambua sifa za malumbano ya utani
1 2
Sarufi
Kuandika
Vinyume vya vihusishi
Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi,
-kutambua vinyume vya vihusishi katika matini.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-Kutambua matumizi sahihi ya vinyume vya vihusishi kutoka katika vitabu, tarakilishi au chati akiwa na wenzake au katika kikundi
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vihusishi kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
1. Ni vihusishi gani unavyovijua? -2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159
-Ukurasa 157
Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
1 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji,
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wake
-Kuwaeleza wenzake namna ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
-Kumweleza mzazi au mlezi jinsi ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi
1 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Vinyume vya vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika,
-kujenga mazoea ya kuchambua wahusika katika mashairi ili kuimarisha uwazaji wa kina.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuchambua shairi na kutaja sifa za wahusika kutokana na sura au umbo
-Kuigiza wahusika katika mashairi akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao
-Kumsomea mzazi au mlezi wake shairi na kujadiliana naye kuhusu wahusika
Ni wahusika aina gani waliopo katika mashairi uliyowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 155
-Ukurasa 159
Kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika
2 1
Kuandika
Barua ya kuomba kazi
Insha za Kubuni: Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia vipengele vyake,
-kujenga mazoea ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi ipasavyo.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwenye tarakilishi na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 157
-Ukurasa 167
Kuandika barua ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele vyake
2 2
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ufahamu wa kusikiliza
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza habari katika matini ya kusikiliza,
-kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kushirikiana na wenzake kueleza hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza akiwa na wenzake
Je, kusikiliza kwa makini kuna manufaa gani?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 178
-Ukurasa 180
Kueleza habari katika matini ya kusikiliza
2 3
Sarufi
Aina za sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya sentensi tata ili kuitofautisha na aina nyingine za sentensi,
-kutambua sentensi tata katika matini.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutoa maelezo ya sentensi tata kwa usahihi
-Kutambua sentensi tata kwenye orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino akishirikiana na wenzake
-Kutambua sentensi tata zinazojitokeza katika vifungu akiwa na wenzake katika kikundi
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185
Kutambua sentensi tata katika matini
2 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Hotuba ya kushawishi
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kuitofautisha na aina nyingine za hotuba,
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kueleza maana ya hotuba ya kushawishi akishirikiana na wenzake
-Kutambua hotuba ya kushawishi katika matini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi akiwa na wenzake
-Kusoma kielelezo cha hotuba ya kushawishi na kujadili vipengele vilivyotumiwa katika hotuba hiyo akiwa na wenzake
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kushawishi
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182
-Ukurasa 178
Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi
3 1
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Aina za sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo,
-kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa akiwa na wenzake katika kikundi
-Kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180
-Ukurasa 185
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
3 2
Kuandika
Hotuba ya kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo,
-kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi.
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa akitumia vidokezo walivyovijadili
-Kuwasomea wenzake hotuba yake au kumsambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182
Kuandika hotuba ya kushawishi
3 3
MSHIKAMANO WA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo Mawaidha
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya mawaidha
-Kujadili ujumbe na sifa za mawaidha ya kifasihi
-Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha
-Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi
-Kuchangamkia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kueleza maana ya mawaidha akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kujadili ujumbe wa mawaidha ya kifasihi akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kujadili na wenzake sifa za mawaidha ya kifasihi
-Kueleza vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha
-Kutambua washiriki (fanani, hadhira) katika mawaidha anayosikiliza
Mawaidha hushirikisha kina nani?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 104
-Kifaa cha kidijitali
-Kinasa sauti
-Kapu maneno
-Uk wa: 106
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kamusi
-Kutambua washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi -Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
3 4
Sarufi
Kuandika
Ukanushaji
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti nge-, -ngali-, na -ki- katika matini
-Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- katika matini mbalimbali (k.v. orodha ya sentensi, chati)
-Kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali na -ki- katika kikundi
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 110
-Chati za sentensi
-Kapu maneno
-Kadi
-Uk wa: 108
-Vielelezo vya insha
-Kamusi
-Chati
-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti -nge-, -ngali-, na -ki- katika matini -Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
4

Mtihani wa kati ya muhula

5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo Mawaidha
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi
-Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
-Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza kutoka kwa vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au mwalimu akiwa na wenzake
-Kutunga mawaidha kuhusu suala lengwa na kuwawasilishia wenzake darasani
-Kusikiliza mawaidha atakayotolewa na mzazi au mlezi wake
Mawaidha hushirikisha kina nani?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 104
-Kifaa cha kidijitali
-Mgeni mwalikwa
-Chati
-Uk wa: 106
-Tarakilishi
-Chati za mashairi
-Mtandao
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza -Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
5 2
Sarufi
Ukanushaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- katika maisha ya kila siku
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- akishirikiana na wenzake
-Kutumia ukanushaji wa masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake katika kikundi
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwezake namna ya kukanusha hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- zinavyokanushwa
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 110
-Orodha ya sentensi
-Tarakilishi
-Chati
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti
5 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni - Maelezo
Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake
-Kufurahia kutunga insha za maelezo kuhusu hali
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuandika insha ya maelezo inayohusu hali kutumia tarakilishi akizingatia vipengele vyake
-Kusomea au kumtumia mwenzake insha ya maelezo inayohusu hali kupitia mtandao ili kuitathmini
-Kumsomea mzazi au mlezi wake insha ya maelezo kuhusu hali aliyoandika ili atoe maoni
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 108
-Tarakilishi
-Mtandao
-Vielelezo vya insha
-Uk wa: 112
-Kifaa cha kidijitali
-Kinasa sauti
-Kapu maneno
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake
5 4
MATUMIZI YA USHURU

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
-Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kudondoa habari mahususi kwa mujibu wa kifungu cha mjadala alichosoma akishirikiana na wenzake
-Kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome na kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho akiwa na wenzake
-Kujadili na wenzake maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 114
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kamusi
-Uk wa: 118
-Chati
-Kapu maneno
-Kadi
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala -Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
6 1
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili umuhimu wa shajara
-Kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kujadili umuhimu wa shajara
-Kutafiti maktabani au mtandaoni aina za shajara
-Kujadili na mwenzake aina za shajara alizozitafiti
Unazingatia nini unapoandika shajara?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 116
-Vielelezo vya shajara
-Kamusi
-Chati
-Kujadili umuhimu wa shajara -Kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
6 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mawaidha
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
-Kuonea fahari utoaji wa mawaidha katika maisha ya kila siku
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutoa mawaidha kwa mwenzake yanayohusiana na matumizi ya ushuru akizingatia vipengele mbalimbali vya lugha
-Kusikiliza mawaidha yakitolewa na mzazi au mlezi wake na kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha hayo
-Kusakura mtandaoni na kusikiliza mawaidha mbalimbali kisha atambue vipengele vya lugha katika mawaidha hayo
Unazingatia nini unapotoa mawaidha?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 112
-Kifaa cha kidijitali
-Mgeni mwalikwa
-Chati
-Kitabu cha Mwanafuni
-Uk wa: 114
-Tarakilishi
-Mtandao
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
6 3
Sarufi
Kuandika
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuchangamkia kutumia kwa ufasaha nomino katika hali ya udogo na ukubwa ili kufanikisha mawasiliano
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo na ukubwa kwa usahihi kwenye chati za maneno akishirikiana na wenzake
-Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo au ukubwa
-Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi ya ushuru akishirikiana na wenzake
-Kumtajia mzazi au mlezi wake majina ya vifaa vya nyumbani katika udogo na ukubwa katika, mazingira ya nyumbani
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi
-Gredi ya Tisa
-Uk wa: 118
-Orodha ya nomino
-Tarakilishi
-Chati
-Gredi ya Tisi
-Uk wa: 116
-Mtandao
-Vielelezo vya shajara
-Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa
6 4
MAADILI YA KITAIFA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kutathmini
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:

-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini akishirikiana na mwenzake
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo
Kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo kuna umuhimu gani?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 120
-Uk. 122
Kueleza maana na vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
7 1
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
-Kutumia usemi halisi ipasavyo katika matini
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:

-Kujadiliana na wenzake kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
-Kushiriki kugeuza sentensi zilizo katika usemi halisi ziwe katika usemi wa taarifa
-Kutunga sentensi sahili katika usemi halisi
Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 126
Kutambua kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
7 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kujibu Baruapepe
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
-Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:

-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
-Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kujibu baruapepe
-Kujadili na wenzake vidokezo vya kutumia katika kujibu baruapepe
Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 124
-Uk. 120
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
7 3
Kusoma
Sarufi
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:

-Kusoma matini mbalimbali zikiwemo za mtandaoni na kufupisha habari
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake habari aliyoifupisha
Ufupisho una umuhimu gani katika uelewa wa habari?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 122
-Uk. 126
Kufupisha habari kutoka vyanzo mbalimbali
7 4
Kuandika
Kujibu Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:

-Kuandika barua baruapepe kuhusu suala lengwa kwenye tarakilishi
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kujibu baruapepe
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?
MENTOR
-Kiswahili
-Gredi ya 9
-Uk. 124
Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
8-9

Mtihani wa mwisho wa muhula


Your Name Comes Here


Download

Feedback