If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
OPENER ASSESSMENTS |
||||||||
| 2 | 1 |
HAKI ZA KIBINADAMU
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni: Maelezo
Ufahamu wa kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuandika insha ya maelezo akizingatia mtazamo mahususi, -kufurahia kuandika insha za maelezo zinazoonyesha mitazamo mahususi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika insha kamili ya maelezo akizingatia mtazamo wa kimaelezo aliyochagua kutumia -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake insha ya maelezo aliyoiandika ili aitolee maoni |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 167 -Ukurasa 178 |
Kuandika insha ya maelezo inayoonyesha mtazamo mahususi
|
|
| 2 | 2 |
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA
Kusoma |
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora, -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo, -kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha -Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora -Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa -Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180 |
Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora na kasi ifaayo
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya sentensi tata ili kuitofautisha na aina nyingine za sentensi, -kutambua sentensi tata katika matini. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutoa maelezo ya sentensi tata kwa usahihi -Kutambua sentensi tata kwenye orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino akishirikiana na wenzake -Kutambua sentensi tata zinazojitokeza katika vifungu akiwa na wenzake katika kikundi |
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185 |
Kutambua sentensi tata katika matini
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hotuba ya kushawishi
Ufahamu wa kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kuitofautisha na aina nyingine za hotuba, -kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kueleza maana ya hotuba ya kushawishi akishirikiana na wenzake -Kutambua hotuba ya kushawishi katika matini -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi akiwa na wenzake -Kusoma kielelezo cha hotuba ya kushawishi na kujadili vipengele vilivyotumiwa katika hotuba hiyo akiwa na wenzake -Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kushawishi |
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182 -Ukurasa 178 |
Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo, -kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa akiwa na wenzake katika kikundi -Kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 180 |
Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Aina za sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata, -kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kutolea wenzake maana tofauti za sentensi tata alizozitambua -Kutunga sentensi tata kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha -Kuwasilisha darasani sentensi tata alizotunga ili wenzake wazitolee maoni kwa heshima na upendo -Kumtungia mzazi au mlezi wake sentensi tata zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani |
Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 185 |
Kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hotuba ya kushawishi
Mazungumzo Mawaidha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, -kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo, -kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa akitumia vidokezo walivyovijadili -Kuwasomea wenzake hotuba yake au kumsambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni |
Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 182 MENTOR -Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 104 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti -Kapu maneno |
Kuandika hotuba ya kushawishi
|
|
| 3 | 4 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Kusoma |
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi -Kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi -Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutambua mbinu za lugha akiwa na wenzake katika kikundi -Kujadili mbinu za lugha kwa mujibu wa mashairi aliyosoma akishirikiana na wenzake katika kikundi -Kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha akishirikiana na wenzake na kuliwasilisha darasani |
Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 106 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi |
-Kutambua mbinu za lugha katika fasihi
-Kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Ukanushaji
Insha za Kubuni - Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti nge-, -ngali-, na -ki- katika matini -Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- katika matini mbalimbali (k.v. orodha ya sentensi, chati) -Kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali na -ki- katika kikundi |
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 110 -Chati za sentensi -Kapu maneno -Kadi -Uk wa: 108 -Vielelezo vya insha -Kamusi -Chati |
-Kutambua ukanushaji wa hali ya masharti -nge-, -ngali-, na -ki- katika matini
-Kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha ya fasihi simulizi -Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji -Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika tungo za fasihi simulizi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza kutoka kwa vifaa vya kidijitali, mgeni mwalikwa au mwalimu akiwa na wenzake -Kutunga mawaidha kuhusu suala lengwa na kuwawasilishia wenzake darasani -Kusikiliza mawaidha atakayotolewa na mzazi au mlezi wake |
Mawaidha hushirikisha kina nani?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 104 -Kifaa cha kidijitali -Mgeni mwalikwa -Chati |
-Kuchambua sifa za washiriki katika mawaidha anayosikiliza
-Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha -Kuchangamkia matumizi ya lugha katika ushairi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu matumizi ya mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi waliyotunga na kuyatolea maoni -Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha akishirikiana na wenzake -Kufanya utafiti mtandaoni kuhusu matumizi ya lugha katika mashairi na kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake |
Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 106 -Tarakilishi -Chati za mashairi -Mtandao |
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Ukanushaji
Insha za Kubuni - Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- katika maisha ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- akishirikiana na wenzake -Kutumia ukanushaji wa masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake katika kikundi -Kumweleza mzazi, mlezi au mwezake namna ya kukanusha hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- zinavyokanushwa |
Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 110 -Orodha ya sentensi -Tarakilishi -Chati -Uk wa: 108 -Mtandao -Vielelezo vya insha |
-Kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti
|
|
| 5 | 1 |
MATUMIZI YA USHURU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha -Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha -Kujadili ishara zifaazo katika kutoa mawaidha |
-Kutambua vipengele vya lugha kwa kusikiliza mawaidha yakitolewa na mwalimu, mwanafunzi mwenzake, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akishirikiana na wenzake
-Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika mawaidha aliyosikiliza akiwa na wenzake -Kujadili ishara zifaazo katika kutoa mawaidha |
Unazingatia nini unapotoa mawaidha?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 112 -Kifaa cha kidijitali -Kinasa sauti -Kapu maneno |
-Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
-Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala -Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kudondoa habari mahususi kwa mujibu wa kifungu cha mjadala alichosoma akishirikiana na wenzake -Kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome na kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho akiwa na wenzake -Kujadili na wenzake maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala |
Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 114 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi |
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
-Kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Udogo na Ukubwa wa Nomino
Insha za Kiuamilifu - Shajara |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino -Kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuchopoa nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa na mwenzake -Kutambua viambishi vya udogo na ukubwa katika maneno akishirikiana na wenzake -Kuandika majina ya vifaa vya darasani katika udogo na ukubwa |
Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 118 -Chati -Kapu maneno -Kadi -Uk wa: 116 -Vielelezo vya shajara -Kamusi |
-Kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino
-Kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo -Kuonea fahari utoaji wa mawaidha katika maisha ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutoa mawaidha kwa mwenzake yanayohusiana na matumizi ya ushuru akizingatia vipengele mbalimbali vya lugha -Kusikiliza mawaidha yakitolewa na mzazi au mlezi wake na kutambua vipengele vya lugha katika mawaidha hayo -Kusakura mtandaoni na kusikiliza mawaidha mbalimbali kisha atambue vipengele vya lugha katika mawaidha hayo |
Unazingatia nini unapotoa mawaidha?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisa -Uk wa: 112 -Kifaa cha kidijitali -Mgeni mwalikwa -Chati |
-Kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha ya mawaidha na ishara zifaazo
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Udogo na Ukubwa wa Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala -Kufurahia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuchanganua mtazamo katika kifungu cha mjadala akiwa na wenzake katika kikundi -Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kupata habari mahususi katika kifungu cha mjadala ili watoe maoni |
Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafuni -Gredi ya Tisa -Uk wa: 114 -Tarakilishi -Chati -Mtandao -Kitabu cha Mwanafunzi -Uk wa: 118 -Orodha ya nomino |
-Kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake -Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kueleza vipengele vya shajara -Kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake -Kuwasomea wenzake shajara aliyoandika ili waitolee maoni |
Unazingatia nini unapoandika shajara?
|
MENTOR
-Kitabu cha Mwanafunzi -Gredi ya Tisi -Uk wa: 116 -Tarakilishi -Mtandao -Vielelezo vya shajara |
-Kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake
|
|
| 6 | 3 |
MAADILI YA KITAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini akishirikiana na mwenzake -Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo |
Kusikiliza kwa kutathmini mazungumzo kuna umuhimu gani?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 120 |
Kueleza maana na vipengele vya kusikiliza kwa kutathmini
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini -Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kujadili vipengele vya ufupisho wa habari katika matini -Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo |
Unazingatia nini ili kuandika ufupisho ufaao?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 122 -Uk. 126 |
Kueleza vipengele vya kuzingatia katika ufupisho na kuandika ufupisho ufaao
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Kujibu Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe -Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe -Kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kujibu baruapepe -Kujadili na wenzake vidokezo vya kutumia katika kujibu baruapepe |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 124 |
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
|
|
| 7 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusikiliza mazungumzo na kuyatathmini kwa kuzingatia vipengele vifaavyo -Kuchangamkia kutathmini mazungumzo ili kuimarisha mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa na kuyatathmini kwa kuzingatia vipengele mbalimbali -Kushiriki na mzazi au mlezi wake katika mazungumzo kuhusu suala lengwa |
Unazingatia nini katika kutathmini ufaafu wa mazungumzo?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 120 |
Kutathmini mazungumzo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kusoma matini mbalimbali zikiwemo za mtandaoni na kufupisha habari -Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake habari aliyoifupisha |
Ufupisho una umuhimu gani katika uelewa wa habari?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 122 -Uk. 126 |
Kufupisha habari kutoka vyanzo mbalimbali
|
|
| 7 | 4 |
Kuandika
|
Kujibu Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kuandika barua baruapepe kuhusu suala lengwa kwenye tarakilishi -Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kujibu baruapepe |
Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?
|
MENTOR
-Kiswahili -Gredi ya 9 -Uk. 124 |
Kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
|
|
| 8-9 |
END YEAR ASSESSMENTS AND CLOSING |
||||||||
Your Name Comes Here