Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
USALAMA BARABARANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri - Kufasiri Ujumbe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri na kubainisha vipengele vyake
- Kufasiri ujumbe wa matini ya kusikiliza kwa kuzingatia tabia na maelezo ya mzungumzaji
- Kuchangamkia umuhimu wa kusikiliza kwa kufasiri ili kupata maana kamili ya ujumbe
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kufasiri na maana ya kusikiliza kwa kufasiri
- Kusikiliza matini kuhusu usalama barabarani na kufasiri tabia, maelezo na vitendo vya wahusika
- Kujadili misimamo na mielekeo inayojitokeza katika matini aliyoisikiliza
Je, unafanya nini unapotaka kufasiri ujumbe na msimamo wa mzungumzaji katika matini ya kusikiliza?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 61
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya vipengele vya kufasiri
- Matini ya mwalimu
- Kufasiri ujumbe - Kubainisha misimamo - Orodha hakiki
2 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua maudhui katika shairi na kueleza jinsi yanavyobebwa na mwandishi
- Kueleza dhamira ya shairi na tofauti yake na maudhui
- Kufurahia kuchambua maudhui na dhamira katika mashairi yanayohusu masuala ya kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi "Kijana Kamange na Baiskeli" na kutambua maudhui yake kuhusu usalama barabarani
- Kueleza dhamira ya shairi na jinsi inavyofafanuliwa kupitia matukio ya shairi
- Kujadili maudhui na dhamira na kuandika uchambuzi mfupi
Je, jinsi gani maudhui na dhamira ya shairi vinakusaidia kuelewa ujumbe unaokusudiwa na mwandishi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 63
- Diwani ya mashairi
- Chati ya maudhui na dhamira
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua maudhui - Kueleza dhamira - Kuandika uchambuzi
2 3
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni - Insha ya Methali
Vielezi - Vielezi vya Namna
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya insha ya methali na kubainisha vipengele vyake
- Kutambua jinsi methali inavyoundwa kuwa msingi wa insha ya masimulizi
- Kuchangamkia umuhimu wa kutumia methali kama msingi wa kuandika insha ya kubuni
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya methali "Mtaka cha Mvunguni Sharti Ainame" na kutambua vipengele vyake kama utangulizi, mwili, hitimisho na lugha ya kitamathali
- Kujadili jinsi ujumbe wa insha unavyohusiana na methali husika
- Kupanga mwongozo wa insha ya methali kuhusu usalama barabarani
Je, methali inachangia vipi ujenzi wa msingi imara wa insha ya masimulizi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 66
- Orodha ya methali
- Mifano ya insha za methali
- Vifaa vya kidijitali
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 68
- Mti maneno
- Chati ya vielezi
- Kutambua vipengele vya insha ya methali - Kupanga mwongozo - Kujadili uhusiano wa methali na insha
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri - Kueleza Msimamo na Mwelekeo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza msimamo na mwelekeo unaojitokeza katika matini ya kusikiliza
- Kulinganisha msimamo wa matini na ule wa jamii husika
- Kujenga ujuzi wa kutathmini msimamo na mwelekeo wa matini ya kusikiliza kwa makini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza matini nyingine kuhusu usalama barabarani na kubainisha msimamo na mwelekeo unaojitokeza
- Kujadili kama misimamo inayojitokeza inafanana au inatofautiana na ya jamii yao
- Kuwasilisha tathmini ya msimamo na mwelekeo mbele ya darasa
Je, unafananishaje msimamo wa matini na ule wa jamii yako kuhusu usalama barabarani?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 61
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za tathmini
- Matini ya mwalimu
- Kueleza msimamo na mwelekeo - Kulinganisha mitazamo - Kuwasilisha tathmini
3 1
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Uchambuzi wa Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kufanya uchambuzi wa kina wa shairi kwa kuzingatia maudhui, dhamira na mbinu za lugha
- Kuandika uchambuzi wa shairi kwa lugha yake mwenyewe
- Kujenga ujuzi wa kuchambua mashairi yanayohusiana na masuala ya kijamii kwa kina
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma tena shairi "Kijana Kamange na Baiskeli" na kufanya uchambuzi wake wa kina
- Kutambua mbinu za lugha zilizotumiwa na jinsi zinavyoimarisha ujumbe wa shairi
- Kuandika uchambuzi na kuuwasilisha mbele ya darasa
Je, unafanyaje uchambuzi wa kina wa shairi unaozingatia maudhui, dhamira na mbinu za lugha?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 63
- Diwani ya mashairi
- Chati ya mbinu za lugha
- Vifaa vya kidijitali
- Uchambuzi wa kina wa shairi - Kutambua mbinu za lugha - Kuwasilisha uchambuzi
3 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Kuandika Insha ya Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake
- Kujeanna ujuzi wa kuandika insha ya kubuni inayoegemea methali kama msingi wake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya methali kuhusu usalama barabarani kwa kuzingatia vipengele vyake vyote
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni ya ujenzi
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake
Je, unazingatia vipengele vipi ili kuandika insha ya methali inayowasilisha ujumbe wake kwa ufasaha?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 66
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya insha za methali
- Matini ya mwalimu
- Kuandika insha ya methali - Kusomeana insha - Kurekebisha na kuwasilisha
3 3
Sarufi
Vielezi - Vielezi vya Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vielezi vya wakati katika matini
- Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika maandishi na mazungumzo
- Kuchangamkia tofauti kati ya vielezi vya namna na vielezi vya wakati katika muundo wa sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vielezi vya wakati na kutoa mifano kama "jana", "kesho", "sasa", "mara mbili"
- Kutambua kwa kupigia mstari vielezi vya wakati katika sentensi zilizotolewa
- Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya wakati kuhusu usalama barabarani
Je, vielezi vya wakati na vya namna vinatofautiana vipi katika jinsi vinavyoongeza maana katika sentensi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 70
- Chati ya vielezi vya wakati
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vielezi vya wakati - Kutunga sentensi - Kubainisha tofauti na vya namna
3 4
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kutathmini - Kutathmini Matini
Ufupisho - Kanuni za Kufupisha Kifungu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini na kubainisha vipengele vyake
- Kutathmini ujumbe na mtazamo wa mzungumzaji katika matini ya kusikiliza
- Kuchangamkia umuhimu wa kutathmini matini ya kusikiliza ili kupata thamani ya ujumbe
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini na vipengele vyake kama kutambua hoja, kufafakari na kutoa maoni
- Kusikiliza matini kuhusu huduma katika asasi za kijamii ikisomwa na mwalimu
- Kutathmini ujumbe na mtazamo wa mzungumzaji na kueleza maana ya msamiati kama 'uvumbuzi', 'anuwai', 'fursa'
Je, unatathmini vipi ujumbe na mtazamo wa mzungumzaji unaposikiliza matini?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 73
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya vipengele vya kutathmini
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 74
- Matini ya kufupishwa
- Kutathmini ujumbe na mtazamo - Kutambua msamiati - Orodha hakiki
4 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya insha ya maelezo na kubainisha jinsi lugha inavyoathiri hisia
- Kutambua vipengele vya lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika insha
- Kuchangamkia umuhimu wa kutumia lugha inayojenga picha halisi akilini mwa msomaji
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya insha ya maelezo na jinsi lugha inavyoathiri hisia kama kuona, kusikia na kugusa
- Kusoma insha ya maelezo "Makao ya Wazee" na kutambua lugha inayoathiri hisia mbalimbali
- Kujadili umuhimu wa lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo
Je, lugha inayoathiri hisia mbalimbali inachangia vipi uelewa wa insha ya maelezo kwa msomaji?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 76
- Mifano ya insha za maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua lugha inayoathiri hisia - Kueleza vipengele - Orodha hakiki
4 2
Sarufi
Vielezi - Vielezi vya Mahali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vielezi vya mahali katika matini
- Kutumia vielezi vya mahali ipasavyo katika maandishi na mazungumzo
- Kuchangamkia jinsi vielezi vya mahali vinavyoboresha maelezo ya mahali katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vielezi vya mahali na kutoa mifano kama "hospitalini", "kulia", "kando", "Nakuru"
- Kutambua vielezi vya mahali katika chati iliyotolewa na kutunga sentensi
- Kuandika kifungu kifupi kuhusu asasi za kijamii kwa kutumia vielezi vya mahali
Je, vielezi vya mahali vinachangia vipi ufafanuzi wa mahali katika muundo wa sentensi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 79
- Chati ya vielezi vya mahali
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vielezi vya mahali - Kutunga sentensi - Kuandika kifungu
4 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kutathmini - Kutoa Maoni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa maoni yenye hoja kuhusu matini ya kusikiliza
- Kulinganisha mtazamo wake na ule wa wenzake kuhusu matini
- Kujenga tabia ya kutoa maoni ya tathmini yenye msingi wa ushahidi wa matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutoa maoni ya tathmini kuhusu ujumbe wa matini aliyoisikiliza na kueleza sababu
- Kulinganisha maoni yake na ya wenzake na kujadili tofauti za mtazamo
- Kuandika muhtasari wa tathmini yake na kuuwasilisha darasani
Je, unawasilishaje maoni ya tathmini yako kwa hoja zenye msingi wa ushahidi wa matini?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 73
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za tathmini
- Matini ya mwalimu
- Kutoa maoni ya tathmini - Kulinganisha mitazamo - Kuwasilisha muhtasari
4 4
Kusoma
Ufupisho - Kuandika Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika ufupisho kamili wa kifungu kwa kuzingatia kanuni zake
- Kutumia maneno yake mwenyewe katika kuandika ufupisho
- Kujenga ujuzi wa kuandika ufupisho unaoeleweka na wenye usahihi wa kisarufi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika ufupisho kamili wa kifungu "Asasi za Kijamii" kwa kuzingatia kanuni
- Kuwasomea wenzake ufupisho wake na kupokea maoni ya ujenzi
- Kurekebisha ufupisho kwa kuzingatia maoni ya wenzake
Je, unazingatia nini kuandika ufupisho ambao ni sahihi na unaoeleweka kwa msomaji?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 74
- Daftari
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kuandika ufupisho - Kusomeana ufupisho - Kurekebisha
5 1
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni - Kuandika Insha ya Maelezo
Vielezi - Vielezi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia lugha inayoathiri hisia mbalimbali
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake
- Kujeanna ujuzi wa kuandika insha ya maelezo inayomfanya msomaji apate picha halisi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu huduma aliyoitoa nyumbani kwa kuzingatia lugha inayoathiri hisia
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni na kuihifadhi nakala iliyosahihishwa
Je, unazingatia vipengele vipi kuandika insha ya maelezo inayomvutia msomaji na kumpa picha halisi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 76
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya insha za maelezo
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 80
- Mabaluni ya mifano
- Kuandika insha ya maelezo - Kusomeana insha - Kurekebisha na kuhifadhi
5 2
MISUKOSUKO YA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Uzungumzaji wa Kushawishi - Vipengele
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kushawishi
- Kutambua vipengele vilivyozingatiwa katika uzungumzaji wa kushawishi wa mfano
- Kuchangamkia umuhimu wa kuzingatia vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vipengele vya uzungumzaji wa kushawishi kama kupanga hoja kwa mtiririko, kutumia lugha yenye mvuto, toni ya kushawishi na mifano mahususi
- Kusikiliza mwalimu au mwanafunzi akifanya uzungumzaji wa kushawishi kuhusu misukosuko ya kijamii
- Kutambua vipengele vilivyodhihirika na kuvijadili
Je, unatumia vipengele vipi ili kufanya uzungumzaji wa kushawishi unaogusa hisia za hadhira?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 83
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya vipengele
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vipengele vya kushawishi - Kujadili uzungumzaji - Orodha hakiki
5 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Mandhari ya Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mandhari ya shairi na kueleza umuhimu wake katika kazi ya fasihi
- Kujadili jinsi mandhari inavyosaidia kupitisha ujumbe na kuelewa maudhui ya shairi
- Kufurahia kuchunguza mandhari katika mashairi yanayohusu masuala ya kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mandhari katika fasihi na kutoa mifano kama eneo la kijiografia, wakati na hali
- Kusoma shairi "Tulipokuwa Wadogo" na kutambua mandhari yake na kueleza umuhimu wake
- Kusoma shairi "Mshikamano" na kutambua mandhari yake
Je, mandhari ya shairi inakusaidiaje kuelewa maudhui na ujumbe wa mwandishi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 84
- Diwani ya mashairi
- Chati ya mandhari
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua mandhari - Kueleza umuhimu - Orodha hakiki
5 4
Kuandika
Viakifishi - Matumizi ya Mabano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya mabano na kubainisha matumizi yake katika maandishi
- Kutumia mabano ipasavyo katika maandishi mbalimbali
- Kuchangamkia umuhimu wa matumizi yafaayo ya mabano katika uandishi wa kisanaa na rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mabano na kujadili matumizi yake kama kufungia maelezo ya ziada, maelekezo kwa waigizaji na herufi za orodha
- Kutambua matumizi ya mabano katika sentensi zilizotolewa
- Kutunga sentensi kuhusu misukosuko ya kijamii kwa kutumia mabano ipasavyo
Je, mabano hutumiwa vipi katika maandishi ya kisanaa na rasmi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 88
- Kadi za mifano
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua matumizi ya mabano - Kutunga sentensi - Orodha hakiki
6 1
Sarufi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ngeli ya U-ZI na nomino zake katika matini
- Kutumia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia umuhimu wa upatanisho sahihi wa kisarufi katika uandishi bora
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza ngeli ya U-ZI na kutoa mifano ya nomino zake kama ubao, wavu, uwanda, ulimi, waraka
- Kutambua nomino za ngeli ya U-ZI katika kiwambo kilichotolewa na kutunga sentensi
- Kuandika sentensi katika wingi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI
Je, ngeli ya U-ZI ina upatanisho gani wa kisarufi na jinsi gani nomino zake hubadilika katika wingi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 90
- Chati ya ngeli ya U-ZI
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua ngeli ya U-ZI - Kutunga sentensi - Kuandika katika wingi
6 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Uzungumzaji wa Kushawishi - Uwasilishaji
Kusoma kwa Kina - Muundo wa Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kufanya uzungumzaji wa kushawishi kuhusu misukosuko ya kijamii kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
- Kutumia hoja zilizopangwa vizuri na lugha yenye mvuto wa kushawishi
- Kujeanna ujuzi wa kuwasilisha hoja zinazoshawishi hadhira kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutayarisha hoja za kukuongoza katika kufanya uzungumzaji wa kushawishi kuhusu misukosuko ya kijamii
- Kuwasilisha uzungumzaji mbele ya darasa na kuomba wenzake watathmini vipengele vilivyozingatiwa
- Kusakura mtandaoni uzungumzaji wa kushawishi na kutambua vipengele vilivyotumika
Utafanya nini ili mazungumzo yako ya kushawishi yawe na nguvu na kushawishi hadhira yako?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 83
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za kutayarisha hoja
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 84
- Diwani ya mashairi
- Chati ya muundo wa shairi
- Kushiriki uzungumzaji wa kushawishi - Kutathmini vipengele - Kutoa maoni
6 3
Kuandika
Viakifishi - Matumizi ya Kistari Kifupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kistari kifupi na kubainisha matumizi yake katika maandishi
- Kutumia kistari kifupi ipasavyo katika maandishi
- Kuchangamkia tofauti kati ya matumizi ya mabano na kistari kifupi katika uandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kistari kifupi na kujadili tofauti yake na mabano katika matumizi ya uandishi
- Kutambua matumizi ya kistari kifupi katika sentensi zilizotolewa
- Kutunga sentensi kuhusu misukosuko ya kijamii kwa kutumia kistari kifupi ipasavyo
Je, kistari kifupi kinatofautiana vipi na mabano katika matumizi ya uandishi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 89
- Kadi za mifano
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua kistari kifupi - Kutunga sentensi - Kubainisha tofauti na mabano
6 4
Sarufi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ngeli ya YA-YA na nomino zake katika matini
- Kutumia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya YA-YA ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia tofauti kati ya ngeli ya U-ZI na ngeli ya YA-YA katika upatanisho wa kisarufi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza ngeli ya YA-YA na kutoa mifano ya nomino zake kama maarifa, maji, mafuta, mazingira na masizi
- Kutambua nomino za ngeli ya YA-YA katika mabaluni na kutunga sentensi
- Kutofautisha kiambishi cha upatanisho wa ngeli ya U-ZI na ngeli ya YA-YA katika sentensi
Je, ngeli ya YA-YA inatofautiana vipi na ngeli ya U-ZI katika upatanisho wa kisarufi na mabadiliko ya wingi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 90
- Chati ya ngeli ya YA-YA
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua ngeli ya YA-YA - Kutunga sentensi - Kubainisha tofauti na U-ZI
7 1
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutamka sauti /j/ na /nj/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi
- Kutambua maneno yenye sauti /j/ na /nj/ katika mazungumzo na matini
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /j/ na /nj/ katika lugha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma na kutamka jozi za maneno yenye sauti /j/ na /nj/ kwa sauti kwa zamu
- Kusikiliza na kutamka vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /j/ na /nj/ katika kifaa cha kidijitali
- Kutambua kwa kupigia mstari maneno yenye sauti /j/ na /nj/ katika aya iliyotolewa
Je, kutamka maneno yenye sauti /j/ na /nj/ ipasavyo kuna athari gani katika mawasiliano ya kila siku?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 96
- Vifaa vya kidijitali
- Mti maneno
- Matini ya mwalimu
- Kutamka sauti /j/ na /nj/ - Kutunga vitanzandimi - Orodha hakiki
7 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kudondoa habari mahususi na hoja kuu katika kifungu cha kushawishi
- Kutambua na kueleza maana ya msamiati katika muktadha wa biashara ya kidijitali
- Kuchangamkia umuhimu wa teknolojia katika kuendeleza biashara ya kisasa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
- Kujibu maswali ya ufahamu yanayolenga kudondoa habari mahususi na kueleza msamiati kama 'adha', 'mkopo', 'kukokotoa', 'tija'
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya wa biashara
Je, unafanya nini ili kutambua hoja kuu na msamiati mpya katika kifungu cha kushawishi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 98
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kudondoa habari mahususi - Kutambua msamiati mpya - Kujibu maswali
7 3
Kuandika
Sarufi
Insha za Kubuni - Ukuzaji wa Wazo katika Masimulizi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
- Kueleza jinsi mawazo yanavyopangwa kwa mtiririko wenye mantiki katika insha
- Kuchangamkia umuhimu wa ukuzaji wa wazo katika kuandika insha ya masimulizi inayoeleweka
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya masimulizi "Ziara ya Pwani" na kutambua wazo katika kila aya
- Kueleza jinsi mawazo yanavyokuzwa baina ya aya kwa kutumia viungio kama 'kisha', 'baadaye', 'hatimaye'
- Kujadili vipengele vya ukuzaji wa wazo vilivyotumika katika insha
Je, unavyopanga mawazo baina ya aya za insha ya masimulizi ili yawe na mtiririko wenye mantiki?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 100
- Mifano ya insha za masimulizi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 102
- Chati ya ngeli ya LI
- Kutambua mawazo katika aya - Kueleza ukuzaji wa wazo - Orodha hakiki
7 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /j/ na /nj/ katika Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutumia sauti /j/ na /nj/ kwa ufasaha katika maneno na sentensi
- Kuunda vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/
- Kujeanna mazoea ya matamshi bora ya sauti /j/ na /nj/ katika lugha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushindana na wenzake kutamka vitanzandimi vyenye sauti /j/ na /nj/ kwa kasi na usahihi
- Kutunga sentensi fupi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara kwa kutumia maneno yenye sauti /j/ na /nj/
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizozitunga ili amtolee maoni
Je, unatumia vipi maarifa ya sauti /j/ na /nj/ kuboresha matamshi na uandishi wako wa kila siku?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 96
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kuunda vitanzandimi - Kushindana katika kutamka - Tathmini ya wenzake
8 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu - Tathmini ya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutathmini hoja za kifungu cha kushawishi kwa kuzingatia ushahidi
- Kutoa maoni yake kuhusu athari za matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
- Kujeanna ujuzi wa kutathmini hoja za matini kwa msingi wa ushahidi na mantiki
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma tena kifungu cha kushawishi na kutathmini hoja zake kwa kuzingatia ushahidi uliotolewa
- Kujadili faida na hasara za matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
- Kuandika tathmini fupi ya kifungu na kuiwasilisha darasani
Je, unachangia vipi tathmini ya hoja za kifungu cha kushawishi kwa kuzingatia ushahidi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 98
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya tathmini
- Matini ya mwalimu
- Kutathmini hoja - Kujadili faida na hasara - Kuandika tathmini
8 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Kuandika Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
- Kupokea na kutumia maoni ya wenzake kuboresha insha
- Kujeanna ujuzi wa kuandika insha ya masimulizi yenye mtiririko wa mawazo ulio wazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandaa vidokezo vya kuandika insha ya masimulizi kuhusu uzoefu wa matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kuandika insha kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya na matumizi ya viungio
- Kuwasomea wenzake insha na kushirikiana nao kuiboresha
Je, unavyopanga na kuandika insha ya masimulizi inayoonyesha ukuzaji madhubuti wa wazo?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 100
- Daftari la insha
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kuandika insha ya masimulizi - Kurekebisha insha - Kuwasilisha insha
8 3
Sarufi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya KU na PA-KU-MU
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ngeli ya KU na PA-KU-MU pamoja na nomino zake katika matini
- Kutumia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KU na PA-KU-MU ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia tofauti kati ya ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU katika upatanisho wa kisarufi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza ngeli ya KU kwa mifano ya vitenzi jina kama kusoma, kuheshimiana, kuongoza na ngeli ya PA-KU-MU kwa mifano ya mahali
- Kutambua nomino za ngeli ya KU kwa kupigia mstari katika kifungu kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kutunga sentensi kwa kuzingatia upatanisho sahihi wa ngeli ya KU na PA-KU-MU
Je, ngeli ya KU na PA-KU-MU zinatofautiana vipi na ngeli ya LI katika upatanisho wa kisarufi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 103
- Chati ya ngeli ya KU na PA-KU-MU
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua ngeli ya KU na PA-KU-MU - Kutunga sentensi - Kubainisha tofauti
8 4
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo - Malumbano ya Utani
Kusoma kwa Kina - Wahusika katika Shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya malumbano ya utani na kubainisha sifa zake
- Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
- Kuchangamkia umuhimu wa malumbano ya utani katika kuimarisha uhusiano wa kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya malumbano ya utani na kujadili sifa zake kama lugha ya ucheshi, uhusiano kati ya washiriki, matumizi ya chuku na kauli fupifupi
- Kuigiza malumbano ya utani na kutambua sifa na vipengele vya uwasilishaji vilivyodhihirika
- Kujadili tofauti kati ya aina mbalimbali za malumbano kama utani wa marafiki, mawifi na marika
Je, malumbano ya utani yana umuhimu gani katika kuimarisha uhusiano na mshikamano wa kijamii?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 106
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya malumbano ya utani
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 109
- Diwani ya mashairi
- Chati ya sifa za wahusika
- Kutambua sifa za malumbano - Kuigiza malumbano - Orodha hakiki
9

Midterm break

10 1
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kuomba Kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi na kubainisha vipengele vyake
- Kutambua tofauti kati ya barua ya kirafiki na barua rasmi ya kuomba kazi
- Kuchangamkia umuhimu wa kufuata muundo na lugha rasmi katika barua ya kuomba kazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi na kujadili vipengele vyake kama ujumbe, lugha rasmi, muundo wenye anwani, tarehe, mada na mwili
- Kusoma mfano wa barua rasmi ya kuomba kazi na kutambua vipengele vyake
- Kujadili tofauti kati ya barua ya kirafiki na barua rasmi
Je, barua rasmi ya kuomba kazi inatofautiana vipi na barua ya kirafiki katika muundo na lugha?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 113
- Mfano wa barua rasmi ya kuomba kazi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vipengele vya barua rasmi - Kubainisha tofauti - Orodha hakiki
10 2
Sarufi
Vihusishi - Vinyume vya Vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
- Kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika maandishi na mazungumzo
- Kuchangamkia utajiri wa lugha unaotokana na matumizi ya vinyume vya vihusishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi na kutoa mifano kama "juu ya–chini ya", "mbali na–karibu na", "mbele ya–nyuma ya"
- Kutambua vihusishi na vinyume vyake katika jedwali na kutunga sentensi
- Kutambua kwa kupigia mstari vihusishi na vinyume vyake katika kifungu kilichotolewa
Je, vinyume vya vihusishi vinachangia vipi utajiri wa maelezo ya mahusiano katika sentensi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 116
- Jedwali la vinyume vya vihusishi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vinyume vya vihusishi - Kutunga sentensi - Kupigia mstari katika kifungu
10 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo - Uwasilishaji wa Malumbano ya Utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
- Kutumia lugha inayoibua ucheshi na toni ifaayo katika malumbano
- Kujeanna ujuzi wa kushiriki malumbano ya utani yanayoheshimu mipaka ya kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na kikundi kubuni na kuwasilishiana malumbano ya utani kuhusu kukabiliana na msongo wa mawazo
- Kuwasilisha malumbano mbele ya darasa na kupokea maoni ya wenzake kuhusu vipengele vilivyozingatiwa
- Kusikiliza na kutazama uwasilishaji wa malumbano ya utani kupitia kifaa cha kidijitali
Unatumia lugha na toni gani ili malumbano ya utani yako yawe ya kufurahisha bila kumuumiza mwenzako?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 109
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za uandishi wa malumbano
- Matini ya mwalimu
- Uwasilishaji wa malumbano - Kutathmini vipengele - Kutoa maoni
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Uchambuzi wa Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kufanya uchambuzi wa kina wa wahusika katika shairi kwa kuzingatia sifa na ujumbe wao
- Kuandika uchambuzi wa wahusika wa shairi kwa lugha yake mwenyewe
- Kujeanna ujuzi wa kuchambua wahusika katika mashairi yanayohusiana na masuala ya kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi "Epuka Msongo wa Mawazo" na kulichambua kwa kuzingatia sifa za wahusika
- Kujadili jinsi wahusika wanavyobeba ujumbe wa kukabiliana na msongo wa mawazo
- Kuandika uchambuzi wa wahusika na kuuwasilisha mbele ya darasa
Je, unafanyaje uchambuzi wa wahusika katika shairi unaozingatia sifa zao na ujumbe wanaobeba?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 109
- Diwani ya mashairi
- Chati ya sifa za wahusika
- Vifaa vya kidijitali
- Uchambuzi wa wahusika - Kuandika maelezo - Kuwasilisha uchambuzi
11 1
Kuandika
Sarufi
Insha za Kiuamilifu - Kuandika Barua ya Kuomba Kazi
Vihusishi - Matumizi ya Vinyume
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi kwa kuzingatia vipengele na lugha rasmi
- Kurekebisha barua kwa kuzingatia maoni ya wenzake
- Kujeanna ujuzi wa kuandika barua rasmi za kiuamilifu zinazovutia msomaji
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi katika shirika la kuhudumia watu wenye msongo wa mawazo kwa kuzingatia muundo na lugha rasmi
- Kuwasomea wenzake barua aliyoandika na kupokea maoni ya ujenzi
- Kumweleza mzazi au mlezi namna ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
Je, unazingatia vipengele vipi ili kuandika barua rasmi ya kuomba kazi inayomvutia mwajiri?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 113
- Daftari
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 116
- Chati ya vinyume vya vihusishi
- Kuandika barua rasmi - Kusomeana barua - Kurekebisha
11 2
HAKI ZA KIBINADAMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Uzungumzaji katika Sherehe - Maana na Miktadha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe na kubainisha miktadha yake
- Kutambua ujumbe unaoafiki uzungumzaji katika miktadha mbalimbali ya sherehe
- Kuchangamkia umuhimu wa kuzingatia vipengele vya uzungumzaji katika sherehe
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe na kujadili miktadha yake kama harusi, mahafali, sikukuu za kitaifa na sherehe za siku ya kuzaliwa
- Kujadili ujumbe unaoafiki kila muktadha wa sherehe kama kupongeza, kukumbuka na kuwatakia watu heri
- Kujadili vipengele vya kuzingatia ili ujumbe uifikie hadhira vizuri
Je, unazingatia vipengele vipi ili uzungumzaji wako katika sherehe uifikie hadhira kwa ufasaha?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 117
- Vifaa vya kidijitali
- Picha za miktadha ya sherehe
- Matini ya mwalimu
- Kutambua miktadha ya sherehe - Kueleza ujumbe unaofaa - Orodha hakiki
11 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana - Matini ya Kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuchagua na kusoma matini ya kujichagulia inayohusiana na haki za kibinadamu
- Kutambua msamiati na matumizi ya lugha katika matini aliyoisoma
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali kwa lengo la kujifunza na kujifurahisha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuteua matini ya kujichagulia inayohusiana na haki za kibinadamu kwa kuzingatia maslahi, kiwango cha lugha na umri
- Kusoma matini kwa makini na kutambua msamiati na matumizi ya lugha asiyoyajua
- Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini na kulihifadhi rekodi daftarini
Je, unachaguaje matini ya kujisomea na unazingatia nini wakati wa kuisoma ili upate thamani yake?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 119
- Matini mbalimbali za kujichagulia
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Kusoma matini ya kujichagulia - Kutambua msamiati mpya - Kuandika muhtasari
11 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Mitazamo katika Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza mitazamo mbalimbali ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo
- Kutambua mtazamo uliotumika katika insha ya maelezo maalum
- Kuchangamkia umuhimu wa kuchagua mtazamo unaofaa katika insha ya maelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza mitazamo ya kuandika insha ya maelezo kama kuanza kwa kitu mahususi hadi kijumla, kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu
- Kusoma insha ya maelezo "Makao ya Kamisheni ya Haki za Kibinadamu" na kutambua mtazamo uliotumika
- Kusoma insha nyingine ya maelezo na kubainisha mtazamo wake
Je, mtazamo unaotumiwa katika insha ya maelezo unachangia vipi uwazi na ueleweki wa maelezo?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 121
- Mifano ya insha za maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua mtazamo wa insha - Kujadili umuhimu wa mtazamo - Orodha hakiki
12 1
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kauli ya kutendana na kubainisha kiambishi chake
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia jinsi kauli ya kutendana inavyoonyesha ushirikiano wa vitendo baina ya watu wawili
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kauli ya kutendana na kutoa mifano kama 'pendana', 'itana', 'onana' kwa kuonyesha kiambishi -an-
- Kutambua vitenzi vya kauli ya kutendana katika mabaluni na kuandika sentensi
- Kubadilisha sentensi zilizotolewa ziwe katika kauli ya kutendana
Je, kauli ya kutendana inatofautiana vipi na kauli ya kawaida katika muundo na maana ya vitendo?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 124
- Chati ya kauli za vitenzi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua kauli ya kutendana - Kutunga sentensi - Kubadilisha sentensi
12 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Uzungumzaji katika Sherehe - Kutoa Hotuba
Kusoma kwa Mapana - Uchambuzi wa Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa hotuba fupi katika sherehe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
- Kutumia lugha rasmi yenye heshima na inayofaa muktadha wa sherehe
- Kujeanna ujuzi wa kuwasilisha hotuba mbele ya hadhira kwa ujasiri
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutayarisha hotuba fupi inayohusiana na haki za kibinadamu kwa ajili ya sherehe ya shule
- Kuzingatia vipengele kama kufahamu aina ya sherehe, kuwa na mpangilio mzuri wa hoja na kuhakikisha usahihi wa habari
- Kutoa hotuba mbele ya darasa na kupokea maoni ya wenzake
Je, unatayarishaje hotuba inayofaa kwa muktadha wa sherehe na inayowasilisha ujumbe kwa ufasaha?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 117
- Mifano ya hotuba za sherehe
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 119
- Matini mbalimbali
- Daftari la kumbukumbu
- Kutoa hotuba katika sherehe - Kutathmini vipengele - Kutoa maoni ya wenzake
12 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Kuandika Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mtazamo unaofaa
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake
- Kujeanna ujuzi wa kuandika insha ya maelezo inayompa msomaji picha halisi ya kinachozungumziwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu mahali maalum yanayohusiana na haki za kibinadamu kwa kuzingatia mtazamo unaofaa
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake
Je, unazingatia vipengele vipi ili kuandika insha ya maelezo inayomfanya msomaji apate picha halisi?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 121
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya insha za maelezo
- Matini ya mwalimu
- Kuandika insha ya maelezo - Kusomeana insha - Kurekebisha
12 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendeana na Kutendesha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kauli ya kutendeana na kutendesha na kubainisha viambishi vyake
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia tofauti kati ya kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kauli ya kutendeana na kutoa mifano kama 'someana', 'imbiana' kwa kiambishi -ian-/-ean- na kauli ya kutendesha kwa viambishi -ish-/-esh-
- Kubadilisha sentensi zilizotolewa ziwe katika kauli ya kutendeana
- Kutumia kauli ya kutendesha kujaza nafasi katika sentensi zilizotolewa
Je, kauli ya kutendeana na kutendesha zinatofautiana vipi katika muundo na maana ya vitendo?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 125
- Chati ya kauli za vitenzi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua kauli ya kutendeana na kutendesha - Kubadilisha sentensi - Kujaza nafasi

Your Name Comes Here


Download

Feedback