Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza na Kuelewa Matini - Matini ya Kusikiliza
Kusoma kwa Ufasaha - Kifungu cha Afya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya matini ya kusikiliza na kubainisha mambo ya kuzingatia
- Kudondoa hoja muhimu na kuchambua mitazamo katika matini ya kusikiliza
- Kuchangamkia umuhimu wa kusikiliza kwa makini ili kupata ujumbe kamili
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya matini ya kusikiliza na kujadili mambo ya kuzingatia kama kutambua ujumbe, kukadiria maana za maneno na kuchambua mitazamo
- Kusikiliza matini kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
- Kujibu maswali kulingana na matini aliyoisikiliza
Je, unafanya nini ili kupata ujumbe kamili na kuchambua mitazamo katika matini ya kusikiliza?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 130
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya mambo ya kuzingatia
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 131
- Jedwali la tathmini ya usomaji
- Kudondoa hoja muhimu - Kuchambua mitazamo - Kujibu maswali
1 3
Kuandika
Insha za Kushawishi - Hotuba ya Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi na jinsi vinavyoimarisha ujumbe
- Kupanga vidokezo vya kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu afya
- Kuchangamkia umuhimu wa kutumia lugha ya kushawishi katika kuhamasisha mabadiliko ya mienendo ya maisha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma hotuba ya kushawishi iliyotolewa na kutambua vipengele vyake kama hoja zenye mtiririko, lugha yenye mvuto na urudiaji wa hoja kuu
- Kujadili vipengele vilivyotumika kuboresha ushawishi wa hotuba
- Kupanga vidokezo vya hotuba ya kushawishi kuhusu athari za magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
Je, vipengele vipi vya hotuba ya kushawishi huifanya iwe na nguvu ya kuathiri mwelekeo wa hadhira?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 133
- Mfano wa hotuba ya kushawishi
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kutambua vipengele vya hotuba - Kupanga vidokezo - Orodha hakiki
1 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
Kusikiliza na Kuelewa Matini - Kujadili Maudhui
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya sentensi tata na kubainisha sifa zake
- Kutambua sentensi tata na kueleza maana zake mbalimbali
- Kuchangamkia jinsi sentensi tata zinavyoongeza utajiri wa lugha katika maandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya sentensi tata kama sentensi yenye maana zaidi ya moja na kutoa mifano
- Kutambua maana mbalimbali za sentensi tata zilizotolewa kama "Baaguya aliruka mahakamani"
- Kutunga sentensi tata na kueleza maana zake
Je, sentensi tata zinachangia vipi utajiri wa lugha na jinsi gani unazitofautisha na sentensi za kawaida?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 135
- Mifano ya sentensi tata
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 130
- Karatasi za kuandikia maoni
- Kutambua sentensi tata - Kueleza maana zake - Kutunga sentensi tata
2 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha - Tathmini ya Usomaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sehemu zinazompa changamoto katika kusoma kwa ufasaha
- Kushirikiana na wenzake kurekebisha changamoto za usomaji
- Kujeanna ujuzi wa kusoma matini mbalimbali kwa ufasaha kwa mazoezi ya mara kwa mara
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kumsomea mwenzake matini ya kujichagulia na kumwomba atathmini usomaji wake
- Kutambua na kujadili changamoto za usomaji wa kila mmoja
- Kushirikiana kurekebisha changamoto zilizotambuliwa
Je, unashirikiana vipi na wenzako kuboresha usomaji wako wa kufasaha?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 131
- Matini za kujichagulia
- Jedwali la tathmini
- Vifaa vya kidijitali
- Kutathmini usomaji wa wenzake - Kubainisha changamoto - Kushirikiana kurekebisha
2 2
Kuandika
Sarufi
Insha za Kushawishi - Kuandika Hotuba
Aina za Sentensi - Kutunga Sentensi Tata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika hotuba ya kushawishi kwa kuzingatia vipengele na lugha inayofaa
- Kuwasilisha hotuba mbele ya darasa kwa ufasaha
- Kujeanna ujuzi wa kuandika na kuwasilisha hotuba ya kushawishi kuhusu masuala ya afya
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu athari za magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha kwa kutumia vidokezo vilivyoandaliwa
- Kuwasomea wenzake hotuba au kuiwasambazie mtandaoni ili waitolee maoni
- Kurekebisha hotuba kwa kuzingatia maoni ya wenzake
Je, unazingatia vipengele vipi ili kuandika hotuba ya kushawishi inayogusa hisia na kubadilisha mwelekeo wa hadhira?
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 133
- Daftari
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 135
- Mifano ya sentensi tata
- Kuandika hotuba ya kushawishi - Kuwasilisha hotuba - Kurekebisha
2 3
MSHIKAMANO WA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo - Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya mawaidha na kuyapambanua na mazungumzo mengine
- Kubainisha sifa za mawaidha ya kifasihi pamoja na washiriki wake
- Kuchangamkia mawaidha kama chombo cha kukuza mshikamano wa kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kujadiliana kuhusu kinachoendelea ili kutambua mawaidha
- Kueleza maana ya mawaidha na kubainisha sifa zake za kifasihi kama vile matumizi ya lugha yenye hisia na toni ya kuhimiza
- Kutambua washiriki wa mawaidha (fanani na hadhira) na kueleza sifa za kila mmoja
Je, mawaidha yanasaidiaje kukuza mshikamano wa kijamii?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 138
- Picha za mawaidha
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya sifa za mawaidha
- Kutambua sifa za mawaidha - Kueleza washiriki wa mawaidha - Kuuliza na kujibu maswali - Orodha hakiki
2 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mbinu za lugha kama vile tashbihi, sitiari, nahau na urudiaji katika shairi
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha katika kulijenga shairi
- Kuchangamkia matumizi ya mbinu za lugha katika kusoma na kuthamini mashairi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi "Baba" na kupigia mstari mbinu mbalimbali za lugha zilizotumiwa
- Kujadili umuhimu wa kila mbinu ya lugha iliyotambuliwa katika kulijenga shairi
- Kuwasomea wenzake uchanganuzi wa mbinu za lugha ili wautolee maoni
Mbinu za lugha zinatoa mchango gani katika ujenzi wa shairi?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 142
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
- Chati ya mbinu za lugha
- Vifaa vya kidijitali
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 145
- Mifano ya insha za maelezo
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Kutambua mbinu za lugha katika shairi - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha - Kusoma kwa ufasaha - Kutoa maoni
3 1
Sarufi
Ukanushaji - Hali ya Masharti -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti -nge-
- Kutambua na kutumia kiambishi -si- katika kukanusha hali ya masharti -nge- ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa hali ya masharti -nge- katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ukanushaji na kupewa mifano ya hali ya masharti -nge-
- Kutambua sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti -nge- kama "Tusingeimba vizuri tusingetuzwa"
- Kukanusha sentensi mbalimbali za hali ya masharti -nge- akizingatia mada ya mshikamano wa kijamii
Ukanushaji wa hali ya masharti -nge- unafanyikaje?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 147
- Kadi za sentensi
- Matini ya mwalimu
- Chati ya mifano
- Kutambua sentensi za ukanushaji wa -nge- - Kukanusha sentensi - Kutunga sentensi - Orodha hakiki
3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo - Mawaidha
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kubainisha vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha kwa ufasaha
- Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele kama lugha ya kushawishi na ishara za mwili
- Kujenga mazoea ya kuwasilisha mawaidha katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mawaidha yatakayowasilishwa na mwalimu au mgeni mwalikwa na kuyachambua
- Kutunga mawaidha kuhusu mshikamano wa kijamii na kuwasilisha darasani kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
- Kushirikiana na wenzake kutathmini uwasilishaji wa mawaidha na kutoleana maoni
Unazingatia vipengele gani unapowasilisha mawaidha?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 139-141
- Matini ya mwalimu ya mawaidha
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za tathmini
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 143-144
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
- Chati ya mbinu za lugha
- Kuwasilisha mawaidha - Kutathmini uwasilishaji - Kutoa na kupokea maoni - Kushiriki kikundi
3 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali kwa kuzingatia vipengele vyake
- Kufurahia kuwasilisha maelezo ya hali kwa lugha ya kitamathali inayogusa hisia
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali ilivyokuwa katika karamu ya kusherehekea mshikamano wa kijamii daftarini au katika tarakilishi
- Wasilisha insha kwa wenzake ili waitolee maoni kuhusu vipengele vya maelezo
- Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni yaliyotolewa
Unatumiaje lugha ya kitamathali kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 145-146
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kuandika insha ya maelezo - Kusomeana insha - Kutoa na kupokea maoni - Potifolio
3 4
Sarufi
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ngali-
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ki-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti -ngali- na jinsi inavyotofautiana na -nge-
- Kutambua na kutumia kiambishi -si- katika kukanusha hali ya masharti -ngali- ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa hali ya masharti -ngali- katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sentensi za hali ya masharti -ngali- na kuzikanusha kwa mfano "Nisingalipata udongo nisingalifinyanga chungu"
- Kujaza nafasi kwa kukanusha hali ya masharti -ngali- katika sentensi mbalimbali
- Kuandika kifungu kifupi kuhusu umuhimu wa mshikamano wa kijamii kwa kutumia ukanushaji wa -ngali-
Ukanushaji wa hali ya masharti -ngali- unatofautiana vipi na ule wa -nge-?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 149
- Kadi za sentensi
- Matini ya mwalimu
- Chati ya mifano
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 150-151
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua sentensi za ukanushaji wa -ngali- - Kukanusha sentensi - Kuandika kifungu - Kufanyiana tathmini
4 1
MATUMIZI YA KODI

Kusikiliza na Kuzungumza
Mazungumzo - Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua na kueleza vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha kama vile lugha ya kushawishi na tamathali za lugha
- Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha katika kupitisha ujumbe wa mawaidha ipasavyo
- Kuchangamkia matumizi ya lugha sahihi na ishara zifaazo katika uwasilishaji wa mawaidha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mawaidha na kutambua vipengele vya lugha vilivyotumiwa kama vile lugha nyepesi, lugha ya kushawishi na urudiaji
- Kujadili umuhimu wa kila kipengele cha lugha kilichotambuliwa katika kuleta ufanisi wa mawaidha
- Kujadili ishara zifaazo za mwili kama vile ishara za mikono, uso na macho katika uwasilishaji wa mawaidha
Vipengele vya lugha vinachangiaje ufanisi wa mawaidha?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 153
- Matini ya mwalimu ya mawaidha
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya vipengele vya lugha
- Kutambua vipengele vya lugha - Kujadili umuhimu wa vipengele - Kushiriki kikundi - Orodha hakiki
4 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kudondoa habari mahususi na kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha mjadala kuhusu matumizi ya kodi
- Kuchanganua mitazamo iliyopo katika kifungu cha mjadala na kuitathmini kwa uelewa
- Kuchangamkia kutumia taarifa za kifungu cha mjadala katika kuimarisha uelewa wa umuhimu wa kulipa kodi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala "Matumizi ya Kodi" na kudondoa habari mahususi kama vile majukumu ya serikali yanayofadhiliwa na kodi
- Kueleza maana ya msamiati kama vile "mamlaka", "mapato" na "miundombinu" kama ulivyotumiwa katika kifungu
- Kujadili mitazamo ya kifungu na kujibu maswali ya ufahamu akizingatia masuala ya uzalendo
Kulipa kodi kwa nini ni jukumu la kila raia?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 154
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya msamiati
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 158
- Mifano ya shajara
- Kielelezo cha muundo wa shajara
- Kudondoa habari mahususi - Kueleza msamiati - Kujibu maswali ya ufahamu - Kuchanganua mitazamo
4 3
Sarufi
Ukubwa na Udogo - Ukubwa wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya hali ya ukubwa wa nomino na jinsi inavyotumiwa kuonyesha kuzidi kiwango cha kawaida
- Kutambua na kutumia kiambishi ji- ipasavyo katika kuunda hali ya ukubwa wa nomino
- Kuchangamkia matumizi sahihi ya nomino katika hali ya ukubwa katika sentensi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kama vile "jiti", "jisoko" na "gombe" kutoka kwa sentensi mbalimbali
- Kueleza kiambishi ji- na jinsi sauti za awali kama nj, ng', nd na mb hudondoshwa wakati wa kuunda ukubwa
- Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa kuhusu matumizi ya kodi
Kiambishi ji- hutumiwa vipi katika hali ya ukubwa wa nomino?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 163
- Kadi za nomino
- Chati ya mifano
- Matini ya mwalimu
- Kutambua nomino za hali ya ukubwa - Kutunga sentensi - Kujaza pengo - Orodha hakiki
4 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo - Mawaidha
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuwasilisha mawaidha kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa kuzingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo
- Kutathmini uwasilishaji wa mawaidha ya wenzake kwa kuzingatia vipengele vilivyojifunzwa
- Kujenga mazoea ya kuwasilisha mawaidha kwa ufasaha mbele ya hadhira
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutoa mawaidha kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha na ishara za mwili zifaazo
- Kusikiliza na kutathmini mawaidha ya wenzake kwa kuzingatia vipengele vilivyojifunzwa
- Kutoa maoni ya ujenzi kuhusu uwasilishaji wa wenzake kwa heshima
Unazingatia nini kuwasilisha mawaidha yanayovutia na yanayoshawishi?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 153
- Karatasi za tathmini
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 155-156
- Kamusi
- Matini za ziada mtandaoni
- Kuwasilisha mawaidha - Kutathmini uwasilishaji - Kutoa na kupokea maoni - Kushiriki kikundi
5 1
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika shajara kwa kuzingatia vipengele vyake kama vile tarehe, mpangilio wa matukio na hisia za mwandishi
- Kurekebisha shajara kwa kuzingatia maoni ya wenzake
- Kufurahia kuandika shajara kama njia ya kujieleza na kukumbuka matukio muhimu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika shajara kuhusu kazi aliyosaidia kufanya wakati wa likizo akizingatia vipengele vyake
- Kuwasomea wenzake shajara aliyoandika ili wamtolee maoni
- Kurekebisha shajara yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake na maelezo ya mwalimu
Unazingatia vipengele gani unapoandika shajara ya kuvutia?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 161-162
- Kielelezo cha shajara
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kuandika shajara - Kusomeana shajara - Kutoa maoni - Potifolio
5 2
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Ukubwa na Udogo - Udogo wa Nomino
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya hali ya udogo wa nomino na jinsi inavyotumiwa kuonyesha kupungua kwa kiwango cha kawaida
- Kutambua na kutumia kiambishi ki- (umoja) na vi- (wingi) ipasavyo katika hali ya udogo
- Kuchangamkia matumizi sahihi ya hali ya udogo wa nomino katika maandishi na mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika hali ya udogo kama vile "kijitanda", "kijiduka" na "vijibwa" kutoka kwa sentensi mbalimbali
- Kueleza kiambishi ki- cha umoja na vi- cha wingi pamoja na jinsi unavyoundwa kutoka kwa hali ya ukubwa
- Kutunga sentensi na kutabadilisha nomino kati ya hali ya wastani, ukubwa na udogo kuhusu vifaa vya darasani
Tofauti kati ya hali ya ukubwa na udogo wa nomino ni ipi?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 164
- Kadi za nomino
- Chati ya mifano
- Vifaa vya kidijitali
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 166
- Matini ya mwalimu ya mazungumzo
- Chati ya vipengele vya kutathmini
- Kutambua nomino za hali ya udogo - Kutunga sentensi - Kujaza jedwali la wastani/udogo - Kufanyiana tathmini
5 3
MAADILI YA KITAIFA

Kusoma
Ufupisho - Ufupisho wa Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari kutoka kwa matini
- Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
- Kuchangamkia ufupisho kama zana ya kukuza uelewa na kuhifadhi habari muhimu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Maadili ya Kitaifa" na kutambua hoja kuu katika kila aya
- Kufupisha aya za kwanza hadi za tatu kwa kuzingatia vipengele vya ufupisho kama vile kutumia lugha ya mwanafunzi mwenyewe na kudumisha ujumbe
- Kujadili njia za kupata habari mahususi kutoka kwa matini mbalimbali
Unazingatia vipengele gani unapofupisha habari kutoka kwa matini?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 167
- Matini ya kupigia muhtasari
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua hoja kuu - Kuandika ufupisho - Kufanya tathmini ya ufupisho - Kusomeana ufupisho
5 4
Kuandika
Sarufi
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Baruapepe
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa - Usemi Halisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza na kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe rasmi au ya kirafiki
- Kutambua tofauti kati ya baruapepe rasmi na ya kirafiki kwa kuzingatia toni na salamu zinazotumiwa
- Kuchangamkia kujibu baruapepe kwa lugha na muundo unaofaa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vipengele vya kujibu baruapepe kama vile kusoma kwa makini baruapepe iliyopokelewa, kuchagua salamu ifaayo na kujibu maswali au hoja zilizoibuliwa
- Kutambua toni ya baruapepe iliyotumwa na kudumisha toni hiyo katika jibu
- Kuchora mwongozo wa kujibu baruapepe daftarini kwa hatua za kufuatwa
Unatofautisha vipi baruapepe rasmi na ya kirafiki unapojibu?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 169
- Mifano ya baruapepe rasmi na za kirafiki
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya mwalimu
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 171
- Kadi za sentensi
- Chati ya kanuni za usemi halisi
- Kutambua vipengele vya kujibu baruapepe - Kuchora mwongozo - Kujadili tofauti za toni - Orodha hakiki
6 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusikiliza mazungumzo na kuyatathmini kwa kuzingatia sifa za lugha na ujumbe wa mzungumzaji
- Kutoa maoni ya ujenzi kuhusu mazungumzo yaliyosikilizwa kwa kuzingatia maadili ya kitaifa
- Kujenga mazoea ya kusikiliza na kutathmini mazungumzo mbalimbali ya kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mazungumzo yatakayowasilishwa na wanafunzi wenzake na kuyatathmini kwa kuzingatia sifa za lugha na ujumbe
- Kujadili tofauti kati ya washiriki wa mazungumzo kwa mujibu wa matumizi yao ya lugha na tabia zao
- Kutoa maoni kuhusu maadili ya kitaifa yanayojitokeza katika mazungumzo yaliyosikilizwa
Maadili ya kitaifa yanajitokeza vipi katika mazungumzo ya kila siku?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 166-167
- Matini ya mwalimu
- Vifaa vya kidijitali
- Karatasi za tathmini
- Kutathmini mazungumzo - Kujadili maadili yanayojitokeza - Kutoa maoni ya ujenzi - Kushiriki kikundi
6 2
Kusoma
Kuandika
Ufupisho - Ufupisho wa Habari
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika ufupisho wa habari wa aya ya nne hadi ya sita ya kifungu "Maadili ya Kitaifa" kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
- Kutumia lugha yake mwenyewe kufupisha bila kupoteza ujumbe mkuu
- Kufurahia kusoma matini mbalimbali na kuziandika kwa ufupi ili kukuza uelewa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kufupisha aya ya nne hadi ya sita ya kifungu "Maadili ya Kitaifa" akizingatia vipengele vya ufupisho
- Kusakura mtandaoni makala kuhusu maadili ya kitaifa na kuifupisha
- Kusomeana ufupisho na kurekebisha makosa kwa pamoja
Unazingatia nini kuhakikisha ufupisho wako unadumisha ujumbe mkuu wa matini?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 168
- Matini za ziada mtandaoni
- Vifaa vya kidijitali
- Kamusi
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 170
- Mifano ya baruapepe
- Matini ya mwalimu
- Kuandika ufupisho - Kusomeana na kurekebisha - Kutoa maoni - Potifolio
6 3
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa - Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya usemi wa taarifa na kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na kinyume chake kwa usahihi
- Kuchangamkia matumizi ya usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku kama vile kuripoti mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya usemi wa taarifa kama usemi unaotoa taarifa ya maneno yaliyosemwa bila kutumia maneno halisi ya msemaji
- Kubadilisha sentensi za usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na za usemi wa taarifa kuwa usemi halisi kwa kuzingatia kanuni
- Kutunga kifungu kifupi chenye sentensi za usemi halisi na usemi wa taarifa kuhusu maadili ya kitaifa
Kanuni gani unazozingatia kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 172
- Kadi za sentensi
- Chati ya kanuni za usemi wa taarifa
- Vifaa vya kidijitali
- Kubadilisha usemi halisi na usemi wa taarifa - Kutunga sentensi - Kutambua usemi katika matini - Kufanyiana tathmini

Your Name Comes Here


Download

Feedback