If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
MAGONJWA YANAYOTOKANA NA MIENENDO YA MAISHA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza na Kuelewa Matini - Matini ya Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya matini ya kusikiliza na kubainisha mambo ya kuzingatia - Kudondoa hoja muhimu na kuchambua mitazamo katika matini ya kusikiliza - Kuchangamkia umuhimu wa kusikiliza kwa makini ili kupata ujumbe kamili |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya matini ya kusikiliza na kujadili mambo ya kuzingatia kama kutambua ujumbe, kukadiria maana za maneno na kuchambua mitazamo - Kusikiliza matini kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha - Kujibu maswali kulingana na matini aliyoisikiliza |
Je, unafanya nini ili kupata ujumbe kamili na kuchambua mitazamo katika matini ya kusikiliza?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 130
- Vifaa vya kidijitali - Chati ya mambo ya kuzingatia - Matini ya mwalimu |
- Kudondoa hoja muhimu
- Kuchambua mitazamo
- Kujibu maswali
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha - Kifungu cha Afya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu cha afya kwa ufasaha kwa kuzingatia matamshi bora, kasi na kiwango cha sauti - Kutathmini usomaji wake kwa kuzingatia vigezo vilivyoainishwa - Kuchangamkia thamani ya kusoma kwa ufasaha kwa kukuza uelewa wa masuala ya afya |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Umuhimu wa Mazoezi" kwa zamu kwa kuzingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha - Kutathmini usomaji wake kwa kujaza jedwali la tathmini - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu na kumwomba autolee maoni |
Je, unazingatia vipengele vipi ili kusoma kwa ufasaha unaosaidia kuelewa na kukushirikisha msikilizaji?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 131
- Jedwali la tathmini ya usomaji - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kusoma kwa ufasaha
- Kutathmini usomaji
- Kurekebisha changamoto
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kushawishi - Hotuba ya Kushawishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya hotuba ya kushawishi na jinsi vinavyoimarisha ujumbe - Kupanga vidokezo vya kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu afya - Kuchangamkia umuhimu wa kutumia lugha ya kushawishi katika kuhamasisha mabadiliko ya mienendo ya maisha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma hotuba ya kushawishi iliyotolewa na kutambua vipengele vyake kama hoja zenye mtiririko, lugha yenye mvuto na urudiaji wa hoja kuu - Kujadili vipengele vilivyotumika kuboresha ushawishi wa hotuba - Kupanga vidokezo vya hotuba ya kushawishi kuhusu athari za magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha |
Je, vipengele vipi vya hotuba ya kushawishi huifanya iwe na nguvu ya kuathiri mwelekeo wa hadhira?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 133
- Mfano wa hotuba ya kushawishi - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua vipengele vya hotuba
- Kupanga vidokezo
- Orodha hakiki
|
|
| 2 | 4 |

| 3 | 1 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi - Sentensi Tata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya sentensi tata na kubainisha sifa zake - Kutambua sentensi tata na kueleza maana zake mbalimbali - Kuchangamkia jinsi sentensi tata zinavyoongeza utajiri wa lugha katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya sentensi tata kama sentensi yenye maana zaidi ya moja na kutoa mifano - Kutambua maana mbalimbali za sentensi tata zilizotolewa kama "Baaguya aliruka mahakamani" - Kutunga sentensi tata na kueleza maana zake |
Je, sentensi tata zinachangia vipi utajiri wa lugha na jinsi gani unazitofautisha na sentensi za kawaida?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 135
- Mifano ya sentensi tata - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua sentensi tata
- Kueleza maana zake
- Kutunga sentensi tata
|
|
| 3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza na Kuelewa Matini - Kujadili Maudhui
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili maudhui ya matini ya kusikiliza kwa kutoa hoja zinazoegemea ushahidi - Kutoa maoni yake kuhusu mitazamo inayojitokeza katika matini - Kujeanna tabia ya kujadili masuala ya afya kwa msingi wa ushahidi na mantiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili na wenzake maudhui ya matini ya kusikiliza kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha - Kutoa maoni yanayoegemea ushahidi wa matini na kueleza sababu za mtazamo wake - Kuwasilisha muhtasari wa mjadala mbele ya darasa |
Je, unajadili vipi maudhui ya matini ya kusikiliza kwa kutoa hoja zinazoegemea ushahidi?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 130
- Vifaa vya kidijitali - Karatasi za kuandikia maoni - Matini ya mwalimu |
- Kujadili maudhui
- Kutoa maoni
- Kuwasilisha muhtasari
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha - Tathmini ya Usomaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sehemu zinazompa changamoto katika kusoma kwa ufasaha - Kushirikiana na wenzake kurekebisha changamoto za usomaji - Kujeanna ujuzi wa kusoma matini mbalimbali kwa ufasaha kwa mazoezi ya mara kwa mara |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kumsomea mwenzake matini ya kujichagulia na kumwomba atathmini usomaji wake - Kutambua na kujadili changamoto za usomaji wa kila mmoja - Kushirikiana kurekebisha changamoto zilizotambuliwa |
Je, unashirikiana vipi na wenzako kuboresha usomaji wako wa kufasaha?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 131
- Matini za kujichagulia - Jedwali la tathmini - Vifaa vya kidijitali |
- Kutathmini usomaji wa wenzake
- Kubainisha changamoto
- Kushirikiana kurekebisha
|
|
| 3 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kushawishi - Kuandika Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika hotuba ya kushawishi kwa kuzingatia vipengele na lugha inayofaa - Kuwasilisha hotuba mbele ya darasa kwa ufasaha - Kujeanna ujuzi wa kuandika na kuwasilisha hotuba ya kushawishi kuhusu masuala ya afya |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu athari za magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha kwa kutumia vidokezo vilivyoandaliwa - Kuwasomea wenzake hotuba au kuiwasambazie mtandaoni ili waitolee maoni - Kurekebisha hotuba kwa kuzingatia maoni ya wenzake |
Je, unazingatia vipengele vipi ili kuandika hotuba ya kushawishi inayogusa hisia na kubadilisha mwelekeo wa hadhira?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 133
- Daftari - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kuandika hotuba ya kushawishi
- Kuwasilisha hotuba
- Kurekebisha
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi - Kutunga Sentensi Tata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutunga sentensi tata ipasavyo katika maandishi - Kueleza maana mbalimbali za sentensi tata zilizotunga - Kujeanna ujuzi wa kutumia sentensi tata kwa utendaji wa hiari katika uandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi tata kadhaa na kueleza maana mbili au zaidi za kila sentensi - Kubadilishana sentensi na mwenzake na kujadili maana zake mbalimbali - Kuandika vifungu vifupi vyenye sentensi tata kuhusu magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha |
Je, unatumiaje sentensi tata kwa usahihi kuboresha ubunifu wa lugha katika uandishi wako?
|
- Kiswahili Sahili Gredi 9 uk. 135
- Mifano ya sentensi tata - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutunga sentensi tata
- Kueleza maana mbalimbali
- Kuandika vifungu
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |
MSHIKAMANO WA KIJAMII
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mawaidha na kuyapambanua na mazungumzo mengine - Kubainisha sifa za mawaidha ya kifasihi pamoja na washiriki wake - Kuchangamkia mawaidha kama chombo cha kukuza mshikamano wa kijamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha na kujadiliana kuhusu kinachoendelea ili kutambua mawaidha - Kueleza maana ya mawaidha na kubainisha sifa zake za kifasihi kama vile matumizi ya lugha yenye hisia na toni ya kuhimiza - Kutambua washiriki wa mawaidha (fanani na hadhira) na kueleza sifa za kila mmoja |
Je, mawaidha yanasaidiaje kukuza mshikamano wa kijamii?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 138
- Picha za mawaidha - Vifaa vya kidijitali - Chati ya sifa za mawaidha |
- Kutambua sifa za mawaidha
- Kueleza washiriki wa mawaidha
- Kuuliza na kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mbinu za lugha kama vile tashbihi, sitiari, nahau na urudiaji katika shairi - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha katika kulijenga shairi - Kuchangamkia matumizi ya mbinu za lugha katika kusoma na kuthamini mashairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi "Baba" na kupigia mstari mbinu mbalimbali za lugha zilizotumiwa - Kujadili umuhimu wa kila mbinu ya lugha iliyotambuliwa katika kulijenga shairi - Kuwasomea wenzake uchanganuzi wa mbinu za lugha ili wautolee maoni |
Mbinu za lugha zinatoa mchango gani katika ujenzi wa shairi?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 142
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Chati ya mbinu za lugha - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua mbinu za lugha katika shairi
- Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha
- Kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali - Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali kama vile maelezo dhahiri na matumizi ya lugha ya kitamathali - Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali kwa kuzingatia vipengele vyake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya mfano "Mvua Kubwa" na kutambua vipengele vyake - Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali kama vile maelezo ya kina na mpangilio mzuri wa hali - Kuchora muundo wa insha ya maelezo kuhusu hali daftarini kwa mwongozo wa uandishi |
Je, ujenzi wa picha dhahiri katika insha ya maelezo unafanikiwaje?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 145
- Mifano ya insha za maelezo - Vifaa vya kidijitali - Kielelezo cha insha ya maelezo |
- Kutambua vipengele vya insha ya maelezo
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kufanya tathmini ya insha
- Kuweka muundo
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Hali ya Masharti -nge-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti -nge- - Kutambua na kutumia kiambishi -si- katika kukanusha hali ya masharti -nge- ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa hali ya masharti -nge- katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ukanushaji na kupewa mifano ya hali ya masharti -nge- - Kutambua sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti -nge- kama "Tusingeimba vizuri tusingetuzwa" - Kukanusha sentensi mbalimbali za hali ya masharti -nge- akizingatia mada ya mshikamano wa kijamii |
Ukanushaji wa hali ya masharti -nge- unafanyikaje?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 147
- Kadi za sentensi - Matini ya mwalimu - Chati ya mifano |
- Kutambua sentensi za ukanushaji wa -nge-
- Kukanusha sentensi
- Kutunga sentensi
- Orodha hakiki
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kubainisha vipengele vya uwasilishaji wa mawaidha kwa ufasaha - Kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele kama lugha ya kushawishi na ishara za mwili - Kujenga mazoea ya kuwasilisha mawaidha katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mawaidha yatakayowasilishwa na mwalimu au mgeni mwalikwa na kuyachambua - Kutunga mawaidha kuhusu mshikamano wa kijamii na kuwasilisha darasani kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji - Kushirikiana na wenzake kutathmini uwasilishaji wa mawaidha na kutoleana maoni |
Unazingatia vipengele gani unapowasilisha mawaidha?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 139-141
- Matini ya mwalimu ya mawaidha - Vifaa vya kidijitali - Karatasi za tathmini |
- Kuwasilisha mawaidha
- Kutathmini uwasilishaji
- Kutoa na kupokea maoni
- Kushiriki kikundi
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha kama vile sitiari, nahau, tashbihi na urudiaji katika shairi "Sisi Wamoja" - Kutunga shairi lisilozidi beti tatu kwa kushirikisha mbinu mbalimbali za lugha - Kufurahia uchanganuzi wa mashairi kama kipengele cha kujiendeleza kiakili |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shairi "Sisi Wamoja" na kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha zilizoainishwa kama sitiari, nahau, tashbihi na urudiaji - Kutunga shairi kuhusu mshikamano wa kijamii akishirikisha mbinu mbalimbali za lugha - Wasilisha shairi kwa wenzake ili watambue mbinu za lugha zilizotumiwa |
Unawezaje kutumia mbinu za lugha kujenga ujumbe madhubuti katika shairi?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 143-144
- Diwani ya mashairi iliyoteuliwa - Chati ya mbinu za lugha - Vifaa vya kidijitali |
- Kuchanganua mbinu za lugha
- Kutunga shairi
- Wasilisho la shairi
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali kwa kuzingatia vipengele vyake - Kufurahia kuwasilisha maelezo ya hali kwa lugha ya kitamathali inayogusa hisia - Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni ya wenzake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu hali ilivyokuwa katika karamu ya kusherehekea mshikamano wa kijamii daftarini au katika tarakilishi - Wasilisha insha kwa wenzake ili waitolee maoni kuhusu vipengele vya maelezo - Kurekebisha insha kwa kuzingatia maoni yaliyotolewa |
Unatumiaje lugha ya kitamathali kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 145-146
- Kielelezo cha insha ya maelezo - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kuandika insha ya maelezo
- Kusomeana insha
- Kutoa na kupokea maoni
- Potifolio
|
|
| 6 | 3 |

| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ngali-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti -ngali- na jinsi inavyotofautiana na -nge- - Kutambua na kutumia kiambishi -si- katika kukanusha hali ya masharti -ngali- ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa hali ya masharti -ngali- katika matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sentensi za hali ya masharti -ngali- na kuzikanusha kwa mfano "Nisingalipata udongo nisingalifinyanga chungu" - Kujaza nafasi kwa kukanusha hali ya masharti -ngali- katika sentensi mbalimbali - Kuandika kifungu kifupi kuhusu umuhimu wa mshikamano wa kijamii kwa kutumia ukanushaji wa -ngali- |
Ukanushaji wa hali ya masharti -ngali- unatofautiana vipi na ule wa -nge-?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 149
- Kadi za sentensi - Matini ya mwalimu - Chati ya mifano |
- Kutambua sentensi za ukanushaji wa -ngali-
- Kukanusha sentensi
- Kuandika kifungu
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji - Hali ya Masharti -ki-
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti -ki- na jinsi kiambishi -sipo- kinavyochukua nafasi ya -ki- - Kutambua na kutumia ukanushaji wa hali ya masharti -ki- ipasavyo katika matini - Kuchangamkia kutumia ukanushaji wa hali ya masharti -ki- katika kuwasiliana kwa usahihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya masharti -ki- kama "Maria asipochukua mkopo hatanunua gari" - Kukanusha sentensi mbalimbali za hali ya masharti -ki- daftarini - Kuandika kifungu kifupi kuhusu mshikamano wa kijamii kwa kutumia ukanushaji wa hali ya masharti -ki- |
Kiambishi -sipo- kinachukua nafasi ya -ki- katika ukanushaji jinsi gani?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 150-151
- Kadi za sentensi - Chati ya mifano - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua sentensi za ukanushaji wa -ki-
- Kukanusha sentensi
- Kutunga sentensi
- Orodha hakiki
|
|
| 7 | 2 |
MATUMIZI YA KODI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua na kueleza vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha kama vile lugha ya kushawishi na tamathali za lugha - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha katika kupitisha ujumbe wa mawaidha ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya lugha sahihi na ishara zifaazo katika uwasilishaji wa mawaidha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mawaidha na kutambua vipengele vya lugha vilivyotumiwa kama vile lugha nyepesi, lugha ya kushawishi na urudiaji - Kujadili umuhimu wa kila kipengele cha lugha kilichotambuliwa katika kuleta ufanisi wa mawaidha - Kujadili ishara zifaazo za mwili kama vile ishara za mikono, uso na macho katika uwasilishaji wa mawaidha |
Vipengele vya lugha vinachangiaje ufanisi wa mawaidha?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 153
- Matini ya mwalimu ya mawaidha - Vifaa vya kidijitali - Chati ya vipengele vya lugha |
- Kutambua vipengele vya lugha
- Kujadili umuhimu wa vipengele
- Kushiriki kikundi
- Orodha hakiki
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa habari mahususi na kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha mjadala kuhusu matumizi ya kodi - Kuchanganua mitazamo iliyopo katika kifungu cha mjadala na kuitathmini kwa uelewa - Kuchangamkia kutumia taarifa za kifungu cha mjadala katika kuimarisha uelewa wa umuhimu wa kulipa kodi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala "Matumizi ya Kodi" na kudondoa habari mahususi kama vile majukumu ya serikali yanayofadhiliwa na kodi - Kueleza maana ya msamiati kama vile "mamlaka", "mapato" na "miundombinu" kama ulivyotumiwa katika kifungu - Kujadili mitazamo ya kifungu na kujibu maswali ya ufahamu akizingatia masuala ya uzalendo |
Kulipa kodi kwa nini ni jukumu la kila raia?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 154
- Kamusi - Vifaa vya kidijitali - Chati ya msamiati |
- Kudondoa habari mahususi
- Kueleza msamiati
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kuchanganua mitazamo
|
|
| 7 | 4 |

| 8 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza aina za shajara na kujadili vipengele vyake vya kimsingi - Kutambua vipengele vya shajara katika mfano uliosomwa - Kuchangamkia umuhimu wa kuandika shajara katika kuhifadhi matukio ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma shajara ya mfano iliyotolewa na kutambua vipengele vyake kama vile tarehe, tukio na hisia - Kutambua aina ya shajara iliyosomwa na kueleza umuhimu wake - Kutayarisha vidokezo vya kuandikia shajara kuhusu tukio fulani la kupendeza |
Je, shajara inakusaidiaje kuhifadhi matukio muhimu maishani?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 158
- Mifano ya shajara - Vifaa vya kidijitali - Kielelezo cha muundo wa shajara |
- Kutambua vipengele vya shajara
- Kujadili aina za shajara
- Kujibu maswali
- Kuweka vidokezo
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo - Ukubwa wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hali ya ukubwa wa nomino na jinsi inavyotumiwa kuonyesha kuzidi kiwango cha kawaida - Kutambua na kutumia kiambishi ji- ipasavyo katika kuunda hali ya ukubwa wa nomino - Kuchangamkia matumizi sahihi ya nomino katika hali ya ukubwa katika sentensi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika hali ya ukubwa kama vile "jiti", "jisoko" na "gombe" kutoka kwa sentensi mbalimbali - Kueleza kiambishi ji- na jinsi sauti za awali kama nj, ng', nd na mb hudondoshwa wakati wa kuunda ukubwa - Kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya ukubwa kuhusu matumizi ya kodi |
Kiambishi ji- hutumiwa vipi katika hali ya ukubwa wa nomino?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 163
- Kadi za nomino - Chati ya mifano - Matini ya mwalimu |
- Kutambua nomino za hali ya ukubwa
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
- Orodha hakiki
|
|
| 8 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo - Mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuwasilisha mawaidha kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa kuzingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo - Kutathmini uwasilishaji wa mawaidha ya wenzake kwa kuzingatia vipengele vilivyojifunzwa - Kujenga mazoea ya kuwasilisha mawaidha kwa ufasaha mbele ya hadhira |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutoa mawaidha kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vya lugha na ishara za mwili zifaazo - Kusikiliza na kutathmini mawaidha ya wenzake kwa kuzingatia vipengele vilivyojifunzwa - Kutoa maoni ya ujenzi kuhusu uwasilishaji wa wenzake kwa heshima |
Unazingatia nini kuwasilisha mawaidha yanayovutia na yanayoshawishi?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 153
- Karatasi za tathmini - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kuwasilisha mawaidha
- Kutathmini uwasilishaji
- Kutoa na kupokea maoni
- Kushiriki kikundi
|
|
| 8 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kufafanua majukumu ya serikali yanayotekelezwa kwa fedha za kodi - Kuchanganua na kutetea mtazamo wa kifungu kuhusu ulipaji wa kodi kwa hoja madhubuti - Kufurahia kutumia ufahamu wa kisomo katika kushughulikia masuala ya kijamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma tena kifungu cha mjadala na kufafanua majukumu ya serikali yanayotekelezwa kupitia kwa kodi kama vile ujenzi wa miundombinu na huduma za afya - Kujadili changamoto zinazoyakabili mataifa yanayoendelea na jinsi kodi inavyosaidia - Kusakura mtandaoni kifungu kingine cha mjadala kuhusu masuala ya kijamii |
Ulipaji wa kodi unachangiaje maendeleo ya taifa?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 155-156
- Vifaa vya kidijitali - Kamusi - Matini za ziada mtandaoni |
- Kufafanua majukumu ya serikali
- Kuchanganua mitazamo
- Kutoa maoni ya ujenzi
- Kusoma kwa ufahamu
|
|
| 9 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika shajara kwa kuzingatia vipengele vyake kama vile tarehe, mpangilio wa matukio na hisia za mwandishi - Kurekebisha shajara kwa kuzingatia maoni ya wenzake - Kufurahia kuandika shajara kama njia ya kujieleza na kukumbuka matukio muhimu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika shajara kuhusu kazi aliyosaidia kufanya wakati wa likizo akizingatia vipengele vyake - Kuwasomea wenzake shajara aliyoandika ili wamtolee maoni - Kurekebisha shajara yake kwa kuzingatia maoni ya wenzake na maelezo ya mwalimu |
Unazingatia vipengele gani unapoandika shajara ya kuvutia?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 161-162
- Kielelezo cha shajara - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kuandika shajara
- Kusomeana shajara
- Kutoa maoni
- Potifolio
|
|
| 9 | 1-2 |

| 9-10 |
Midterm |
||||||||
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo - Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hali ya udogo wa nomino na jinsi inavyotumiwa kuonyesha kupungua kwa kiwango cha kawaida - Kutambua na kutumia kiambishi ki- (umoja) na vi- (wingi) ipasavyo katika hali ya udogo - Kuchangamkia matumizi sahihi ya hali ya udogo wa nomino katika maandishi na mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika hali ya udogo kama vile "kijitanda", "kijiduka" na "vijibwa" kutoka kwa sentensi mbalimbali - Kueleza kiambishi ki- cha umoja na vi- cha wingi pamoja na jinsi unavyoundwa kutoka kwa hali ya ukubwa - Kutunga sentensi na kutabadilisha nomino kati ya hali ya wastani, ukubwa na udogo kuhusu vifaa vya darasani |
Tofauti kati ya hali ya ukubwa na udogo wa nomino ni ipi?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 164
- Kadi za nomino - Chati ya mifano - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua nomino za hali ya udogo
- Kutunga sentensi
- Kujaza jedwali la wastani/udogo
- Kufanyiana tathmini
|
|
| 10 | 3 |
MAADILI YA KITAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini na kuitofautisha na aina nyingine za kusikiliza - Kubainisha vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo kama vile kuzingatia ujumbe na kutambua lugha inayotumiwa - Kuchangamkia kuwa msikilizaji makini anayeweza kutathmini ujumbe na sifa za mzungumzaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini na jinsi inavyomwezesha msikilizaji kufanya maamuzi kuhusu ujumbe na mzungumzaji - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo kama vile kuwa makini na kuzingatia ujumbe wa mzungumzaji - Kusikiliza mazungumzo na kuyatathmini kwa kuzingatia maadili ya kitaifa yanayojitokeza |
Unatathminiaje mazungumzo unayoyasikiliza?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 166
- Matini ya mwalimu ya mazungumzo - Vifaa vya kidijitali - Chati ya vipengele vya kutathmini |
- Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
- Kutathmini mazungumzo
- Kujibu maswali
- Orodha hakiki
|
|
| 10 | 4 |
Kusoma
|
Ufupisho - Ufupisho wa Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari kutoka kwa matini - Kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo - Kuchangamkia ufupisho kama zana ya kukuza uelewa na kuhifadhi habari muhimu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Maadili ya Kitaifa" na kutambua hoja kuu katika kila aya - Kufupisha aya za kwanza hadi za tatu kwa kuzingatia vipengele vya ufupisho kama vile kutumia lugha ya mwanafunzi mwenyewe na kudumisha ujumbe - Kujadili njia za kupata habari mahususi kutoka kwa matini mbalimbali |
Unazingatia vipengele gani unapofupisha habari kutoka kwa matini?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 167
- Matini ya kupigia muhtasari - Kamusi - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua hoja kuu
- Kuandika ufupisho
- Kufanya tathmini ya ufupisho
- Kusomeana ufupisho
|
|
| 11 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza na kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe rasmi au ya kirafiki - Kutambua tofauti kati ya baruapepe rasmi na ya kirafiki kwa kuzingatia toni na salamu zinazotumiwa - Kuchangamkia kujibu baruapepe kwa lugha na muundo unaofaa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vipengele vya kujibu baruapepe kama vile kusoma kwa makini baruapepe iliyopokelewa, kuchagua salamu ifaayo na kujibu maswali au hoja zilizoibuliwa - Kutambua toni ya baruapepe iliyotumwa na kudumisha toni hiyo katika jibu - Kuchora mwongozo wa kujibu baruapepe daftarini kwa hatua za kufuatwa |
Unatofautisha vipi baruapepe rasmi na ya kirafiki unapojibu?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 169
- Mifano ya baruapepe rasmi na za kirafiki - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kutambua vipengele vya kujibu baruapepe
- Kuchora mwongozo
- Kujadili tofauti za toni
- Orodha hakiki
|
|
| 11 | 2 |

| 11 | 3 |
Sarufi
|
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa - Usemi Halisi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya usemi halisi na kujadili mambo ya kuzingatia kama vile matumizi ya alama za nukuu na mpangilio sahihi - Kutambua usemi halisi katika matini na kuuandika kwa kuzingatia kanuni zake - Kuchangamkia matumizi sahihi ya usemi halisi katika kuwasilisha mazungumzo halisi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya usemi halisi kama sentensi inayoonyesha maneno yaliyotamkwa moja kwa moja - Kutambua na kujadili mambo ya kuzingatia kama vile alama za nukuu, kuanza kwa herufi kubwa na usemi wa kila msemaji katika mstari mpya - Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika sentensi mbalimbali |
Usemi halisi unatofautiana vipi na usemi wa taarifa?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 171
- Matini ya mwalimu - Kadi za sentensi - Chati ya kanuni za usemi halisi |
- Kutambua usemi halisi katika matini
- Kuandika sentensi za usemi halisi
- Kutofautisha usemi halisi na usemi wa taarifa
- Orodha hakiki
|
|
| 11 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusikiliza mazungumzo na kuyatathmini kwa kuzingatia sifa za lugha na ujumbe wa mzungumzaji - Kutoa maoni ya ujenzi kuhusu mazungumzo yaliyosikilizwa kwa kuzingatia maadili ya kitaifa - Kujenga mazoea ya kusikiliza na kutathmini mazungumzo mbalimbali ya kijamii |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mazungumzo yatakayowasilishwa na wanafunzi wenzake na kuyatathmini kwa kuzingatia sifa za lugha na ujumbe - Kujadili tofauti kati ya washiriki wa mazungumzo kwa mujibu wa matumizi yao ya lugha na tabia zao - Kutoa maoni kuhusu maadili ya kitaifa yanayojitokeza katika mazungumzo yaliyosikilizwa |
Maadili ya kitaifa yanajitokeza vipi katika mazungumzo ya kila siku?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 166-167
- Matini ya mwalimu - Vifaa vya kidijitali - Karatasi za tathmini |
- Kutathmini mazungumzo
- Kujadili maadili yanayojitokeza
- Kutoa maoni ya ujenzi
- Kushiriki kikundi
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Ufupisho - Ufupisho wa Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika ufupisho wa habari wa aya ya nne hadi ya sita ya kifungu "Maadili ya Kitaifa" kwa kuzingatia vipengele vifaavyo - Kutumia lugha yake mwenyewe kufupisha bila kupoteza ujumbe mkuu - Kufurahia kusoma matini mbalimbali na kuziandika kwa ufupi ili kukuza uelewa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kufupisha aya ya nne hadi ya sita ya kifungu "Maadili ya Kitaifa" akizingatia vipengele vya ufupisho - Kusakura mtandaoni makala kuhusu maadili ya kitaifa na kuifupisha - Kusomeana ufupisho na kurekebisha makosa kwa pamoja |
Unazingatia nini kuhakikisha ufupisho wako unadumisha ujumbe mkuu wa matini?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 168
- Matini za ziada mtandaoni - Vifaa vya kidijitali - Kamusi |
- Kuandika ufupisho
- Kusomeana na kurekebisha
- Kutoa maoni
- Potifolio
|
|
| 12 | 2 |

| 12 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kiuamilifu - Kujibu Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kujibu baruapepe rasmi au ya kirafiki kwa kuzingatia vipengele vyake - Kurekebisha baruapepe kwa kuzingatia maoni ya wenzake - Kufurahia kuwasiliana kwa njia ya baruapepe kama zana ya kisasa ya mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujibu baruapepe iliyotayarishwa na mwalimu au ya kujichagulia akizingatia toni ifaayo, salamu na mpangilio wa aya - Kuwasomea wenzake baruapepe aliyoijibu ili wamtolee maoni - Kurekebisha baruapepe kwa kuzingatia maoni ya wenzake na kuiwasilisha tena |
Unajihakikishiaje kuwa baruapepe yako imejibu ipasavyo maswali yaliyoulizwa?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 170
- Mifano ya baruapepe - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu |
- Kuandika baruapepe ya kujibu
- Kusomeana baruapepe
- Kutoa na kupokea maoni
- Potifolio
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa - Usemi wa Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya usemi wa taarifa na kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa - Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na kinyume chake kwa usahihi - Kuchangamkia matumizi ya usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku kama vile kuripoti mazungumzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya usemi wa taarifa kama usemi unaotoa taarifa ya maneno yaliyosemwa bila kutumia maneno halisi ya msemaji - Kubadilisha sentensi za usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na za usemi wa taarifa kuwa usemi halisi kwa kuzingatia kanuni - Kutunga kifungu kifupi chenye sentensi za usemi halisi na usemi wa taarifa kuhusu maadili ya kitaifa |
Kanuni gani unazozingatia kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
|
- Kiswahili Sahili Gredi ya 9 uk. 172
- Kadi za sentensi - Chati ya kanuni za usemi wa taarifa - Vifaa vya kidijitali |
- Kubadilisha usemi halisi na usemi wa taarifa
- Kutunga sentensi
- Kutambua usemi katika matini
- Kufanyiana tathmini
|
|
Your Name Comes Here