If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
OPENING |
||||||||
| 2 | 1 |
USALAMA NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Maudhui na Dhamira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza -kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku -kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini -kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku. |
- kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali
-kusikiliza matini katika vifaa vya kidijitali, kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kueleza uhusiano wa ujumbe wa matini hiyo na maisha ya kila siku -kujadili na wenzake mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini |
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
-
-2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 75 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Mwalimu - uk. 77 - Tamthilia - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Vivumishi:
-Vivumishi vya Sifa
Insha za Kubuni: -Insha ya mdokezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini -kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini -kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano. |
- kutambua vivumishi vya sifa kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi vya sifa katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali -kumtajia mwenzake vivumishi vya sifa katika mazingira ya shuleni na ya nyumbani -kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa -kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vya sifa ipasavyo |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 82 - Kielelezo cha insha ya mdokezo |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Maudhui na Dhamira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua ujumbe katika matini ya kusikiliza -kueleza uhusiano kati ya ujumbe wa matini na maisha ya kila siku -kujadili mafunzo yanayotokana na ujumbe wa matini -kujenga mazoea ya kuhusisha ujumbe katika matini na hali ya maisha ya kila siku. |
- kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza na kuchanganua habari katika matini za aina mbalimbali kuhusu suala lengwa
-kutunga sentensi akitumia msamiati aliojifunza kuhusu usalama nyumbani -kuandika muhtasari wa habari aliyosikiliza na kuwawasilishia wenzake |
1. Ni ujumbe gani uliosikiliza katika matini ambao unafanana na mambo katika jamii yako?
-
-2. Unajifunza nini kutokana na ujumbe katika matini ulizosikiliza?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 76 - Vifaa vya kidijitali - Kinasasauti - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 78 - Tamthilia |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi:
-Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini -kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini -kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano. |
- kutambua vivumishi viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
-kutenga vivumishi viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali -kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama nyumbani -kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni |
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 79 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni:
-Insha ya mdokezo
Usikilizaji Husishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya insha ya mdokezo ili kuipambanua -kubainisha aina za insha ya mdokezo -kujadili vipengele vya insha ya mdokezo -kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika -kufurahia kuandika insha za mdokezo ili kukuza ubunifu. |
- kuandika insha ya mdokezo kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha za mdokezo
-kuwasilisha insha yake darasani ili wenzake waitolee maoni -kuwasilishia mzazi au mlezi insha aliyoiandika ili aitolee maoni -kuboresha insha aliyoandika kutokana na maoni ya wenzake na kisha kuiwasilisha tena darasani |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha za mdokezo?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 83 - Kielelezo cha insha ya mdokezo - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi Kielekezi cha Kiswahili - uk. 86 - Mgeni mwalikwa - Mwalimu |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
| 3 | 2 |
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU
Kusoma Sarufi |
Ufupisho
Vivumishi: -Vivumishi Vimilikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua -kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu -kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho -kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi. |
- kueleza maana ya ufupisho akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu akiwa na wenzake -kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akishirikiana na wenzake -kutambua kwenye matini andishi au ya kidijitali habari za kimsingi katika makala na kuzieleza kwa usahihi kwa kuzingatia mtazamo wa matini katika matini ya kufupishwa |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 92 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Rununu - Projekta - Kamusi mbalimbali - uk. 98 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni:
-Insha ya Maelezo
Usikilizaji Husishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo -kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri -kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri. |
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti)
-kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake -kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 90 - Kielelezo cha insha ya maelezo - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 87 - Mgeni mwalikwa |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
| 3 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Vivumishi: -Vivumishi vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua -kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu -kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho -kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi. |
- kueleza kwa maneno yake habari muhimu katika kifungu alichosoma
-kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini akishirikiana na wenzake -kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni -kumweleza mzazi au mlezi namna ya kufupisha kifungu kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini |
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 93 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Rununu - Kamusi mbalimbali - uk. 98 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni:
-Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo -kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri -kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri. |
- kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni -kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo tamathali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa |
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 91 - Kielelezo cha insha ya maelezo - Tarakilishi/vipakatalishi - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
| 4 | 2 |
UHALIFU WA MTANDAONI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Aina za Uzungumzaji:
-Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Mandhari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua -kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji -kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika |
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 99 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Picha - Mwalimu - uk. 102 - Tamthilia - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi:
-Ngeli ya I-ZI
Viakifishi: -Alama za Mtajo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi -kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini -kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano. |
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI -kuchopoa nomino za ngeli I-ZI kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi -kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI |
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?
-
-2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 108 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 104 - Mifano ya matini zenye alama za uakifishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
| 4 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Aina za Uzungumzaji:
-Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Ploti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua -kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo -kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji -kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akizingatia vipengele vifaavyo
-kubuni uzungumzaji mwepesi wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vifaavyo na kuwawasilishia wenzake ili wautathmini -kujadiliana na wenzake kuhusu namna ambavyo uzungumzaji wa papo kwa hapo umeusaidia kuzielewa mbinu za kuchambua masimulizi |
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 100 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Picha - Mwalimu - uk. 103 - Tamthilia - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi:
-Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi -kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini -kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano. |
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-I -kuchopoa nomino za ngeli I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi -kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-I -kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni |
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?
-
-2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 109 - Chati - Kadi maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Viakifishi:
-Mshazari
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini -kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini -kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini. |
- kutambua matumizi ya alama za mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mshazari ipasavyo -kushirikiana na wenzake kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo -kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kuwataka waandike maneno, sentensi au vifungu vinavyostahili kuwa na alama za mtajo na mshazari |
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi?
-
-2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 105 - Vifaa vya kidijitali - Mifano ya matini zenye alama za uakifishi - Tarakilishi/vipakatalishi Kielekezi cha Kiswahili uk. 114 -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
| 5 | 3 |
MAJUKUMU YA MNUNUZI
Kusoma Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi. -Kufasiri ujumbe katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi. -Kuthamini kusoma vifungu vya ufahamu kwa ajili ya kujielimisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini). -Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake. -Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake. |
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Kamusi -Matini za ufahamu -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124 -Chati -Kadi maneno -Kapu maneno -Tarakilishi |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/ |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi. -Kutambua ukuzaji wa wazo katika aya za insha ya masimulizi. -Kuonelea fahari insha zenye ukuzaji wa mawazo yaliyopangwa vizuri. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali. -Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali. -Kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi. -Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo. |
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 120
-Matini za kielelezo -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 115 -Kamusi |
Uangalizi
-Insha iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Maswali ya mdomo
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza mbinu za ushawishi zinazotumika katika kifungu. -Kuchanganua ushawishi katika kifungu cha ufahamu. -Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake. -Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni. -Kusakura mtandaoni ili kupata kifungu cha ufahamu cha kushawishi zaidi kuhusu majukumu ya mnunuzi na kukisoma. -Kutambua mbinu za ushawishi zinazotumika katika vifungu alivyosoma. |
Ni mambo gani yanayoweza kukushawishi kununua bidhaa fulani?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Matini za ufahamu -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127 -Chati -Kadi maneno -Kapu maneno -Tarakilishi |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kupanga vidokezo vya insha ya masimulizi kwa utaratibu ufaao. -Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika kila aya. -Kufurahia kuandika insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa mawazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya. -Kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya na vipengele vinavyojenga mawazo hayo. -Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni. -Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya. |
Je, ni vigezo vipi unavyozingatia katika kuandika insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Matini za kielelezo -Vifaa vya kidijitali -Vidokezo vya insha -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Insha iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa insha
|
|
| 6 | 3 |
KUKABILIANA NA HISIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Hadithi: Hurafa
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza dhana ya hurafa na sifa zake. -Kutambua ujumbe katika hurafa aliyosikiliza. -Kuthamini hurafa kama kipera cha fasihi simulizi katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza kielelezo cha hadithi ya hurafa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali. -Kueleza maana ya hurafa ili kuibainisha akishirikiana na wenzake. -Kueleza ujumbe katika hurafa. -Kujadili na mwenzake vipengele vya uwasilishaji wa hurafa. |
Je, hadithi ambayo umewahi kusikiliza ilihusu wanyama gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136 -Kitabu cha tamthilia -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Vinyume vya Vitenzi
Barua ya Kuomba Msaada |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maana ya kinyume katika vitenzi. -Kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu. -Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake. -Kutambua vinyume vya vitenzi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno. -Kutambua vinyume vya vitenzi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno). -Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati. |
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Chati -Tarakilishi -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138 -Kielelezo cha barua -Vifaa vya kidijitali |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Hadithi: Hekaya
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza dhana ya hekaya na sifa zake. -Kusimulia hekaya akizingatia vipengele vya uwasilishaji. -Kufurahia utambaji wa hekaya kama sehemu ya fasihi simulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji. -Kujirekodi akitamba hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza. -Kushirikiana na mzazi au mlezi kutambua hurafa na hekaya kutoka kwa jamii yake na kujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo. -Kuwasilisha hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji. |
Je, hurafa na hekaya hutofautianaje?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133
-Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136 -Kitabu cha tamthilia -Video -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Utambaji wa hadithi
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vinyume vya vielezi mbalimbali. -Kutumia vinyume vya vielezi kwa usahihi katika mawasiliano. -Kuthamini umuhimu wa vinyume vya vielezi katika kuendeleza lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo. -Kutunga sentensi au vifungu vifupi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kukabiliana na hisia. -Kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi. -Kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi. |
Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Kadi maneno -Mti maneno -Kapu maneno -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu |
Uangalizi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Zoezi la sentensi
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
|
|
| 7 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Barua ya Kuomba Msaada
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia lugha ifaayo katika barua rasmi ya kuomba msaada. -Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia mpangilio ufaao. -Kufurahia kujieleza ifaavyo kwa njia ya barua rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni. -Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe, muundo na lugha ifaayo. -Kumsomea mzazi au mlezi barua aliyoiandika ili aitolee maoni. |
Je, ni vipengele vipi unazingatia wakati unapoandika barua ya kuomba msaada?
|
Kielekezi cha Kiswahili uk. 138
-Kielelezo cha barua -Vifaa vya kidijitali -Maelezo ya mwalimu -Mwongozo wa mwalimu Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145 -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Kadi za maelezo -Chati -Kanuni za darasa |
Uangalizi
-Barua iliyoandikwa
-Tathmini ya wenzake
-Orodha hakiki
-Uwasilishaji wa barua
|
|
| 7 | 4 |
HAKI ZA WATOTO
Kusoma Sarufi |
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kuteua matini ifaayo ya kujisomea. -Kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia. -Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuteua matini ifaayo ya kujisomea. -Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyoisoma. -Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. -Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua. -Kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu. |
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia?
-2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Vitabu vya kusoma -Rasilimali za mtandaoni -Vitabu vya marejeleo Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151 -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Kumbukumbu za usomaji
-Vigezo vya tathmini
-Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 8 |
MID TERM ASSESSMENT & MARKING |
||||||||
| 9 |
MID TERM BREAK |
||||||||
| 10 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo. -Kujadili vipengele vya insha ya maelezo. -Kuonea fahari uandishi wa insha za maelezo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbali. -Kutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo. -Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni. -Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo. |
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145 -Kadi za maelezo -Kanuni za darasa |
Insha zilizoandikwa
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Orodha hakiki
-Vigezo vya tathmini
|
|
| 10 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia. -Kutumia msamiati unaotokana na matini aliyosoma. -Kuthamini umuhimu wa kusoma makala mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma. -Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome. -Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni. |
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia?
-2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Vitabu vya kusoma -Rasilimali za mtandaoni -Vitabu vya marejeleo Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151 -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Kumbukumbu za usomaji
-Vigezo vya tathmini
-Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatia vipengele vyake muhimu. -Kutumia lugha ifaayo katika kuandika insha ya maelezo. -Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni. -Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo. |
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Insha zilizoandikwa
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Orodha hakiki
-Vigezo vya tathmini
|
|
| 10 | 4 |
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kueleza habari katika matini ya kusikiliza. -Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza. -Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake. -Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake. -Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza. -Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza. |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Kadi za maneno -Chati -Kanuni za darasa Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159 -Vitabu vya kusoma -Video za mifano ya usomaji -Maelezo ya kifungu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua. -Kutambua sentensi changamano katika matini. -Kuthamini matumizi ya sentensi changamano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya sentensi changamano. -Kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino. -Kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika matini. |
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160 -Mifano ya hotuba za ufafanuzi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
| 11 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kudondoa habari muhimu katika matini aliyosikiliza kwa kufuata mpangilio ufaao. -Kueleza maana ya msamiati katika matini aliyosikiliza. -Kuimarisha uwezo wa kusikiliza kwa makini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuelezea mwenzake maana ya msamiati katika matini ya kusikiliza. -Kudondoa habari muhimu katika matini aliyosikiliza kwa kufuata mpangilio ufaao. |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Kadi za maneno -Chati -Kanuni za darasa Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159 -Vitabu vya kusoma -Video za mifano ya usomaji -Maelezo ya kifungu |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini. -Kutunga sentensi changamano sahihi. -Kuonea fahari matumizi ya sentensi changamano katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi changamano ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yasiyoambukizwa. -Kuwawasilishia wenzake darasani sentensi changamano alizotunga ili wazitathmini. -Kumtungia mzazi au mlezi sentensi changamano zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani. |
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Hadithi: Wahusika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kujadili ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi. -Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake. -Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kutoa ufafanuzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala lengwa akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao kisha awasambazie wenzake mtandaoni au kuwasomea darasani ili waitolee maoni. -Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala linaloathiri jamii yao kisha amsomee mzazi au mlezi ili aitolee maoni. |
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166 -Hadithi za kusoma |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Uwasilishaji wa mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 12 | 1 |
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE
Kusoma Sarufi |
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia. -Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia. -Kuthamini matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia. -Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu. -Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu mbinu za lugha katika tamthilia na kuutolea maoni. |
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha?
-2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali -Tamthilia iliyoteuliwa -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172 -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Hadithi: Wahusika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali. -Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali. -Kuthamini umuhimu wa kutoa maelezo ya kujenga picha dhahiri. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vigezo vya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo. -Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo. -Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo kutokana na kielelezo cha insha. -Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu mahali panapolengwa katika insha ya maelezo. -Kutumia lugha inayojenga picha ya kinachoelezewa. |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166 -Hadithi za kusoma |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Vigezo vya tathmini
|
|
| 12 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kulinganisha mbinu za lugha mbalimbali katika tamthilia. -Kutumia mbinu za lugha aliozijifunza katika masimulizi yake. -Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia. -Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia aliyosoma. |
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha?
-2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali -Tamthilia iliyoteuliwa -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172 -Tarakilishi/Vipakatalishi -Kinasasauti -Rununu -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Maswali ya maandishi
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - -Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali. -Kutumia lugha inayojenga picha dhahiri ya mahali. -Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao na inayohusisha suala lengwa kisha awasomee wenzake darasani. -Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni. -Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo. -Kumsomea mzazi au mlezi insha ya kubuni aliyoandika ili aitolee maoni. |
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali -Kamusi -Chati -Vifaa vya kuandikia |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Tathmini-binafsi
-Vigezo vya tathmini
|
|
| 13 |
END TERM ASSESSMENT & MARKING |
||||||||
| 14 |
END TERM BREAK |
||||||||
Your Name Comes Here