Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Opening of school

2 1
UHALIFU WA MTANDAONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
- Kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji
- Kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
- Kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
- Kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 84
Vifaa vya kidijitali
Matini za uzungumzaji
Chati za vipengele vya uzungumzaji
Kutambua vipengele vya uzungumzaji Kusikiliza uzungumzaji Kutathmini vipengele Kushiriki uzungumzaji
2 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Mandhari na Ploti
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
- Kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha
- Kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
- Kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
- Kueleza umuhimu wa mandhari katika tamthilia akishirikiana na wenzake
- Kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
- Kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari
- Kusoma chapisho la tamthilia au kutoka mtandaoni na kutambua mandhari yake
Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 86
Tamthilia iliyoteuliwa
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 90
Chati za ngeli
Kadi maneno
Tarakilishi
Kutambua mandhari Kueleza umuhimu wa mandhari Kuandika maelezo mafupi Kuwasilisha uchambuzi
2 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Viakifishi - Alama za Mtajo na Mshazari
Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kusoma kwa Kina - Mandhari na Ploti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini
- Kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari kwenye matini andishi au za kidijitali
- Kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo
- Kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni
Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 88
Matini zenye alama za mtajo
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya matumizi ya mshazari
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 85
Jedwali la ukaguzi
Matini ya mwalimu
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 87
Tamthilia iliyoteuliwa
Kutambua alama za mtajo na mshazari Kuandika sentensi na vifungu Kusambaza mtandaoni Kutoa na kupokea maoni
2 4
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - I-I
Viakifishi - Alama za Mtajo na Mshazari
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /k/ na /gh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
- Kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi
- Kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutenga nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- Kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I akishirikiana na wenzake
- Kumtajia mzazi au mlezi majina ya vifaa yaliyo katika ngeli ya I-ZI na I-I katika mazingira ya nyumbani
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-U?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 92-94
Vifaa vya kidijitali
Chati za ngeli
Matini ya mwalimu
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 89
Matini za kusahihisha
Vitabu vya ziada
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 95
Mti maneno
Kadi za maneno
Kutenga nomino za ngeli ya I-I Kutunga sentensi na vifungu Kushiriki na mzazi/mlezi Kufanya tathmini
3 1
MAJUKUMU YA MNUNUZI

Kusoma
Sarufi
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - U-U na U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi
- Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi
- Kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi
- Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi
- Kuchangamkia usomaji wa ufahamu shawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini)
- Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake
- Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake
- Kujadili ushawishi katika kifungu cha ufahamu akishirikiana na wenzake
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 96
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Matini za ushawishi
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 100
Chati za ngeli
Kadi za maneno
Kudondoa habari mahususi Kutabiri matukio Kueleza maana ya msamiati Kujadili ushawishi
3 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Insha za Kubuni - Masimulizi (Ukuzaji wa Wazo)
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /k/ na /gh/
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
- Kujadili vipengele vinavyojenga wazo katika aya kuhusu insha ya masimulizi
- Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo
- Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa wazo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali
- Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali akishirikiana na wenzake
- Kushirikiana na wenzake kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi
- Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 98
Mifano ya insha za masimulizi
Vifaa vya kidijitali
Matini za mwalimu
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 95
Chati za maneno
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 96
Kamusi
Matini mbalimbali
Kutambua vipengele vya kujenga wazo Kujadili ukuzaji wa wazo Kuandika vidokezo Kujenga mpangilio
3 3
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - U-U na U-YA
Insha za Kubuni - Masimulizi (Ukuzaji wa Wazo)
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-U na U-YA katika matini
- Kutambua upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA katika sentensi
- Kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U-YA kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
- Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U-YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U na U-YA katika sentensi na vifungu
- Kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kuhusu suala lengwa kwa kutumia nomino za ngeli ya U-U na U-YA
- Kujaza mapengo katika sentensi kwa kutumia nomino za ngeli ya U-U na U-YA
- Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zenye nomino za ngeli hizi
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 103
Vifaa vya kidijitali
Matini za mwalimu
Kadi za nomino
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 99
Vidokezo vya uandishi
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 120
Chati ya vipengele
Vidokezo vya mazungumzo
Kutunga sentensi zenye upatanisho sahihi Kujaza mapengo Kusomeana sentensi Tathmini ya mwanafunzi
3 4
KUKABILIANA NA HISIA

Kusoma
Sarufi
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Vinyume vya Vitenzi na Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua habari mahususi katika kifungu cha mjadala
- Kutofautisha hoja za kuunga mkono na za kupinga katika mjadala
- Kujadili maudhui ya mjadala
- Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ili kuboresha umilisi wa lugha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala kuhusu kukabiliana na hisia kutoka kwenye vitabu au vifaa vya kidijitali
- Kutambua habari mahususi katika kifungu cha mjadala
- Kutofautisha hoja za kuunga mkono na za kupinga katika mjadala akishirikiana na wenzake
- Kudondoa hoja kuu za mjadala na kuziandika daftarini
Je, ni kwa njia gani tunaweza kutofautisha hoja za kuunga mkono na za kupinga katika mjadala?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 151
Vifungu vya mijadala
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 115
Picha za vitendo
Wingu la maneno
Chati za vinyume
Kutambua habari mahususi Kutofautisha hoja Kudondoa hoja kuu Kujadili maudhui
4 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Barua ya Kuomba Msaada
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua ujumbe unaofaa katika barua ya kuomba msaada
- Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kuomba msaada
- Kujadili muundo wa barua ya kuomba msaada
- Kuandika barua ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya barua ya kuomba msaada akishirikiana na wenzake
- Kutambua ujumbe unaofaa katika barua ya kuomba msaada
- Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kuomba msaada
- Kujadili muundo wa barua ya kuomba msaada akishirikiana na wenzake
- Kusoma kielelezo cha barua ya kuomba msaada katika kitabu
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kuomba msaada?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 113
Mifano ya barua za kuomba msaada
Vifaa vya kidijitali
Matini za mwalimu
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 120
Picha za kuongoza
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 151
Matini za mijadala
Chati za hoja
Kutambua ujumbe Kueleza lugha ifaayo Kujadili muundo Kusoma mifano
4 2
Sarufi
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Vinyume vya Vitenzi na Vielezi
Barua ya Kuomba Msaada
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini
- Kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
- Kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vielezi
- Kutunga kifungu kilicho na vinyume vya vitenzi na vielezi
- Kusoma kifungu na kutambua vitenzi na vielezi vilivyo na vinyume vyake
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichotunga
Unatumia vinyume vya vitenzi na vielezi kwa namna gani katika mazungumzo?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 117
Orodha ya vinyume
Matini za mwalimu
Vifaa vya kidijitali
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 113
Karatasi za kuandikia
Mfano wa barua
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 132
Habari za kusikiliza
Chati ya vipengele
Kutunga sentensi zenye vinyume Kutunga vifungu Kutambua vinyume Kusomeana vifungu
4 3
HAKI ZA WATOTO

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendeka, Kutendewa, Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
- Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
- Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kuhusu haki za watoto katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
- Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 134
Vifungu vya kusoma
Vifaa vya kidijitali
Chati ya vipengele
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 126
Jedwali la vitenzi
Kadi za vitenzi
Chati za kauli
Kujadili vipengele vya ufasaha Kusoma kwa matamshi bora Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa sauti ifaayo
4 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi
- Kutambua vipengele vya hotuba ya kutoa ufafanuzi
- Kujadili muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi
- Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi akishirikiana na wenzake
- Kutambua vipengele vya hotuba ya kutoa ufafanuzi kutoka kwenye mifano
- Kujadili muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi
- Kusoma kielelezo cha hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu haki za watoto
- Kuandaa muhtasari wa hotuba ya kutoa ufafanuzi
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi katika hotuba ya kutoa ufafanuzi?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 136
Mifano ya hotuba
Vifaa vya kidijitali
Muhtasari wa hotuba
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 132
Maswali ya ufahamu
Matini za mwalimu
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 134
Matini mbalimbali
Chati ya tathmini
Kueleza maana ya hotuba Kutambua vipengele Kujadili muundo Kuandaa muhtasari
5 1
Sarufi
Kuandika
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutendeka, Kutendewa, Kutendatenda
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
funzo,
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia kauli mbalimbali za vitenzi ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendewa na kutendatenda
- Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendewa
- Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendatenda
- Kugeuza sentensi ziwe katika kauli mbalimbali za vitenzi
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia kauli ifaayo ya kitenzi
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 128
Orodha ya vitenzi
Vifaa vya kidijitali
Matini za mwalimu
KLB Kiswahili Gredi ya 8 uk. 136
Karatasi za kuandikia
Chati ya tathmini
Kutambua kauli ya kutendewa na kutendatenda Kutunga sentensi Kugeuza sentensi Kujaza nafasi
5 2
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua habari muhimu katika matini ya kusikiliza
- Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha
- Kujadili jinsi habari zinavyofuatana
- Kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa
- Kutambua habari muhimu
- Kueleza maana ya msamiati
- Kuwasilisha hoja kwa wenzake
Je, ni kwa nini muhimu kusikiliza kwa makini maelezo ya daktari?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 132
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kueleza habari Kuorodhesha hoja Kujadili msamiati Kuwasilisha kwa wenzake
5 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Sentensi Changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kwa matamshi bora
- Kuzingatia kasi ifaayo ya kusoma
- Kutumia sauti ipasavyo
- Kujitathmini ubora wa usomaji
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu "Saratani" kwa ufasaha
- Kuzingatia matamshi bora
- Kupima kasi ya usomaji
- Kujadili sauti na ishara
Je, unazingatia mambo gani wakati wa kusoma kwa ufasaha?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 134
Kifungu "Saratani"
Saa ya kukagulia muda
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 138
Jedwali la mifano
Vipande vya sentensi
Kusoma kwa ufasaha Kupima kasi ya kusoma Kutathmini sauti Kutumia ishara
5 4
Kuandika
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya hotuba ya ufafanuzi
- Kutambua vipengele vya hotuba
- Kujadili lugha inayofaa
- Kuchangamkia kuandika hotuba
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili hotuba za ufafanuzi
- Kusoma kielelezo cha hotuba
- Kutambua ujumbe na muundo
- Kujadili lugha ya hotuba
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi vya hotuba ya ufafanuzi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 136
Picha za maelezo
Kielelezo cha hotuba
Kutambua vipengele Kujadili muundo Kueleza lugha Kutofautisha hotuba
6 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuwasilisha hoja za habari
- Kujadili jinsi hoja zinavyofuatana
- Kutafiti video kuhusu ugonjwa
- Kueleza ujumbe wa video
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuwasilisha hoja za habari aliyosikiliza
- Kujadili hoja na wenzake
- Kutafiti video mtandaoni
- Kumweleza mzazi habari muhimu
Je, ni mambo gani muhimu yanayotokana na ugonjwa usioambukizwa?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 133
Video za kielimu
Kifaa cha kidijitali
Kuwasilisha hoja Kujadili kwa kikundi Kujitathmini Kuelezea mzazi
6 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufasaha
Sentensi Changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma kwa kutumia ishara
- Kujitathmini stadi za usomaji
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha
- Kuboresha mbinu za kusoma
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kwa kutumia ishara za uso na mikono
- Kujitathmini uwezo wa kusoma
- Kupima kasi ya usomaji
- Kuboresha usomaji wake
Je, ishara za uso na mikono zinachangia vipi katika usomaji?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 135
Jedwali la kujitathmini
Matini ya mazoezi
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 139
Orodha ya sentensi
Kusoma kwa ishara Kujitathmini Kupima kasi Kuboresha usomaji
6 3
Kuandika
Hotuba ya Kutoa Ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika hotuba ya ufafanuzi
- Kuzingatia muundo ufaao
- Kutumia lugha sahihi
- Kuwasilisha hotuba darasani
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafiti kuhusu msongo wa mawazo
- Kuandika vidokezo vya hotuba
- Kuandika hotuba kamili
- Kuiwasilisha darasani
Je, unazingatia nini unapoandika hotuba ya ufafanuzi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 137
Vifaa vya kidijitali
Matini ya utafiti
Kuandika hotuba Kuwasilisha darasani Kupokea maoni Kurekebisha
6 4
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE

Kusikiliza na Kuzungumza
Wahusika katika Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua wahusika katika hadithi
- Kueleza sifa za wahusika
- Kujadili jukumu la wahusika
- Kuchangamkia uchambuzi wa wahusika
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta video ya hadithi mtandaoni
- Kusikiliza hadithi kwa makini
- Kutambua wahusika
- Kumsimulia mzazi hadithi
Je, wahusika wana jukumu gani katika hadithi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 141
Video za hadithi
Kifaa cha kidijitali
Kutambua wahusika Kueleza sifa Kusimulia Kujadili jukumu
7 1
Kusoma
Sarufi
Mbinu za Lugha
Ukanushaji wa Hali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua mbinu za lugha
- Kueleza matumizi ya mbinu hizo
- Kujadili umuhimu wa mbinu
- Kuchangamkia utafiti wa mbinu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia
- Kueleza maana ya kila mbinu
- Kufafanua athari za mbinu
- Kujadili umuhimu wake
Je, mbinu za lugha zinachangia vipi katika tamthilia?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 142
Tamthilia iliyoteuliwa
Kadi za mbinu za lugha
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 147
Jedwali la mifano
Sentensi za mazoezi
Kutambua mbinu Kueleza maana Kufafanua athari Kujadili umuhimu
7 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya insha ya maelezo
- Kujadili lugha ya kujenga picha
- Kueleza sifa za mahali
- Kuchangamkia uandishi wa maelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo "Uwanja wa sherehe"
- Kutambua vipengele vya lugha
- Kujadili vipengele vya insha
- Kueleza sifa za mahali
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapoeleza mahali?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 145
Kielelezo "Uwanja wa sherehe"
Picha za maeneo
Kutambua vipengele Kujadili lugha Kueleza sifa Kuchambua picha
7 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Wahusika katika Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza sifa za wahusika
- Kujadili mienendo ya wahusika
- Kulinganisha wahusika
- Kuchangamkia uchunguzi wa kina
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili sifa za wahusika
- Kulinganisha wahusika mbalimbali
- Kueleza mienendo yao
- Kutoa mifano ya wahusika
Je, ni sifa gani za muhimu za muhusika katika hadithi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 141
Chati za wahusika
Matini ya hadithi
Kueleza sifa Kulinganisha Kujadili mienendo Kutoa mifano
7 4
Kusoma
Sarufi
Mbinu za Lugha
Ukanushaji wa Hali ya Mazoea na Timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza athari za mbinu za lugha
- Kujadili umuhimu wa mbinu
- Kuweka rekodi ya kujifunza
- Kuchangamkia utunzi wa kazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza athari za mbinu
- Kujadili umuhimu wa mbinu
- Kujaza jedwali la "Shajara yangu"
- Kuweka rekodi ya ujifunzaji
Je, mbinu za lugha zinasaidia vipi msomaji kuelewa ujumbe?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 143
Jedwali la "Shajara yangu"
Tamthilia ya kurejelea
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 148
Sentensi za mazoezi
Orodha ya hali mbalimbali
Kueleza athari Kujadili umuhimu Kujaza jedwali Kuweka rekodi
8

Mid term exam

9

Mid term break

10 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo
- Kutumia lugha ya kujenga picha
- Kuwasilisha insha darasani
- Kuchangamkia utunzi wa kielelezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo
- Kutathmini insha kwa jedwali
- Kuwasilisha kwa wenzake
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 146
Jedwali la tathmini
Mwongozo wa uandishi
Kuandika insha Kutathmini Kuwasilisha Kurekebisha
10 2
KUWEKA AKIBA

Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Matumizi ya Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya lugha
- Kujadili umuhimu wa vipengele
- Kutunga hadithi kwa lugha bora
- Kuchangamkia usimulizi mzuri
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza hadithi kuhusu kuweka akiba
- Kutambua vipengele vya lugha
- Kujadili umuhimu wa vipengele
- Kutunga hadithi yenye vipengele
Je, vipengele vya lugha vina umuhimu gani katika hadithi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 150
Hadithi za kisimulia
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele Kujadili umuhimu Kutunga hadithi Kusimulia
10 3
Kusoma
Sarufi
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Udogo wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kudondoa habari muhimu
- Kutambua msamiati mpya
- Kueleza maana ya nahau
- Kuchangamkia usomaji wa mjadala
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala
- Kujibu maswali ya ufahamu
- Kutambua msamiati mpya
- Kueleza maana ya nahau
Je, unapataje ujumbe katika kifungu cha mjadala?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 151
Kifungu "Suala la kuweka akiba"
Kamusi
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 156
Jedwali la nomino
Vitu vya darasani
Kudondoa habari Kujibu maswali Kutambua msamiati Kueleza nahau
10 4
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya maelekezo
- Kujadili sifa za insha
- Kuchagua mada ya maelekezo
- Kuchangamkia uandishi wa maelekezo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kurejelea insha ya maelekezo
- Kujadili vipengele vyake
- Kuchagua mada za maelekezo
- Kusoma kielelezo cha karoti
Je, ni mambo gani muhimu yanayozingatiwa katika maelekezo?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 154
Kielelezo "Jinsi ya kukuza karoti"
Mifano ya maelekezo
Kutambua vipengele Kujadili sifa Kuchagua mada Kusoma kielelezo
11 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi - Matumizi ya Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusimulia hadithi kwa ufasaha
- Kutumia vipengele vya lugha
- Kupokea maoni ya wenzake
- Kuchangamkia utunzi wa hadithi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga hadithi kuhusu kuweka akiba
- Kusimulia kwa kutumia vipengele
- Kutafuta hadithi mtandaoni
- Kumsimulia mzazi hadithi
Je, unazingatia mambo gani unaposimulia hadithi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 150
Mtandao salama
Hadithi za maoni
Kusimulia hadithi Kutumia vipengele Kupokea maoni Kutafuta mtandaoni
11 2
Kusoma
Sarufi
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Udogo wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutunga sentensi na msamiati
- Kujadili mfanano wa kimawazo
- Kutoa maoni ya kibinafsi
- Kuchangamkia mjadala wa maoni
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi kwa msamiati
- Kujadili mfanano wa wahusika
- Kujadili tofauti za mawazo
- Kutoa maoni yake binafsi
Je, unapataje mfanano na tofauti za mawazo?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 153
Jedwali la ulinganishi
Maswali ya mjadala
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 157
Nomino za kubadilisha
Kifaa cha kidijitali
Kutunga sentensi Kujadili mfanano Kutoa maoni Kulinganisha
11 3
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelekezo
- Kuwasilisha kwa wenzake
- Kutafuta maelekezo mtandaoni
- Kuchangamkia kushirikisha mzazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelekezo
- Kuwasilisha kwa wenzake
- Kutafuta maelekezo ya kupika
- Kujadili na mzazi maelekezo
Je, unaandika vipi maelekezo yanayoeleweka?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 155
Vifaa vya kidijitali
Maelekezo ya kupika
Kuandika maelekezo Kuwasilisha Kutafuta mtandaoni Kujadili na mzazi
11 4
MAADILI YA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya usikilizaji husishi
- Kutambua vipengele vyake
- Kufanya mazungumzo sahihi
- Kuchangamkia ushirikiano mzuri
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha ya mazungumzo
- Kusikiliza mazungumzo ya Dagi na Bi.Leo
- Kutambua vipengele vya usikilizaji
- Kueleza maana ya usikilizaji husishi
Je, unazingatia nini katika usikilizaji husishi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 159
Picha ya mazungumzo
Mazungumzo ya Dagi na Bi.Leo
Kutambua vipengele Kueleza maana Kusikiliza Kujadili
12 1
Kusoma
Sarufi
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza ujumbe wa kila aya
- Kuunganisha sentensi
- Kujadili vipengele vya ufupisho
- Kuchangamkia uandishi wa ufupisho
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha Zena
- Kueleza ujumbe wa kila aya
- Kuunganisha sentensi za ujumbe
- Kujadili vipengele vya ufupisho
Je, unazingatia nini unapofupisha kifungu?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 162
Kifungu cha Zena
Maelezo ya ufupisho
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 166
Jedwali la ulinganishi
Sentensi za mifano
Kueleza ujumbe Kuunganisha Kujadili vipengele Kuandika ufupisho
12 2
Kuandika
Baruapepe ya Kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kusoma baruapepe ya kiofisi
- Kutambua vipengele vyake
- Kujadili lugha inayofaa
- Kuchangamkia uandishi wa baruapepe
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha baruapepe
- Kujadili ujumbe wake
- Kutambua vipengele vya muundo
- Kujadili sifa za lugha
Je, ni lugha gani inayofaa katika baruapepe ya kiofisi?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 163
Kielelezo cha baruapepe
Jedwali la lugha
Kusoma baruapepe Kutambua vipengele Kujadili lugha Kutathmini sifa
12 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya usikilizaji
- Kuigiza mazungumzo
- Kurekodi uigizaji
- Kuchangamkia kushirikisha mzazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya usikilizaji
- Kuigiza vikao vya mazungumzo
- Kurekodi uigizaji wao
- Kujadili vipengele waliyotumia
Je, vipengele gani vya usikilizaji husishi ni muhimu?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 161
Kifaa cha kurekodi
Mazungumzo ya uigizaji
Kutambua vipengele Kuigiza mazungumzo Kurekodi Kutathmini
12 4
Kusoma
Sarufi
Kuandika
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Baruapepe ya Kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika ufupisho sahihi
- Kusikiliza taarifa za habari
- Kuwasilisha mzazi kisa
- Kuchangamkia utunzi wa ufupisho
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika ufupisho wa maneno 90-95
- Kusikiliza taarifa mtandaoni
- Kumweleza mzazi kisa
- Kupokea maoni ya mzazi
Je, unaandika vipi ufupisho wenye mtiririko mzuri?
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 162
Taarifa za habari
Mwongozo wa ufupisho
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 167
Sentensi za kubadilisha
Kifaa cha kidijitali
KLB Kiswahili Gredi 8 uk. 165
Mtandao wa yahoo/gmail
Anwani za baruapepe
Kuandika ufupisho Kusikiliza taarifa Kumweleza mzazi Kupokea maoni
13

End term exam

14

Marking of end term exams and closing of school


Your Name Comes Here


Download

Feedback