Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 2
KUHUDUMIA WENYE MAHITAJI MAALUMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Usikilizaji Husishi
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya usikilizaji husishi ili kuubainisha
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi
-kufanya mazungumzo yanayozingatia vipengele vya usikilizaji husishi
-kuchangamkia kushiriki katika usikilizaji husishi ili kujenga uhusiano mwema na wengine.
- kueleza maana ya usikilizaji husishi akishirikiana na wenzake
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika usikilizaji husishi
-kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka kwenye vifaa vya kidijitali akizingatia na kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa
-kumsikiliza mwenzake, mwalimu au mgeni mwalikwa akisema kauli au akisoma vifungu vifupi kuhusu suala lengwa na kufasiri hisia zake
Unaposhiriki katika usikilizaji husishi, utazingatia nini ili kufanikisha usikilizaji?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 86
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Mwalimu
- uk. 92
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Rununu
- Projekta
- Kamusi mbalimbali
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Mijadala -Mazungumzo
1 3
Sarufi
Vivumishi: -Vivumishi Vimilikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini
-kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vimilikishi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vimilikishi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi
-kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi katika mazingira ya shuleni
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vimilikishi ipasavyo
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
1 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo
-kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo
-kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri
-kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri.
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, uhaishaji na tanakali sauti)
-kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake
-kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake
Je, unatumia lugha ya aina gani wakati unapotaka kumweleza mtu kitu ili aweze kupata picha kamili?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 90
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 87
- Mgeni mwalikwa
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara -Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
2 1
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
-kujadili vipengele vya ufupisho wa kifungu
-kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
-kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa maelezo mafupi.
- kueleza kwa maneno yake habari muhimu katika kifungu alichosoma
-kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini akishirikiana na wenzake
-kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni
-kumweleza mzazi au mlezi namna ya kufupisha kifungu kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari sahihi kutokana na matini
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 93
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kinasasauti
- Rununu
- Kamusi mbalimbali
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kutoa muhtasari wa ufahamu -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio
2 2
Sarufi
Kuandika
Vivumishi: -Vivumishi vya Idadi
Insha za Kubuni: -Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini
-kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano.
- kutambua vivumishi vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
-kutenga vivumishi vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi
-kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuhudumia wenye mahitaji maalum
-kumtajia mzazi au mlezi sentensi zenye vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya nyumbani
Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 98
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 91
- Kielelezo cha insha ya maelezo
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
2 3
UHALIFU WA MTANDAONI

Kusikiliza na Kuzungumza
Aina za Uzungumzaji: -Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kuupambanua
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uzungumzaji
-kuchangamkia kutoa uzungumzaji wa papo kwa hapo ili kufanikisha mawasiliano.
- kueleza maana ya mazungumzo ya papo kwa hapo akishirikiana na wenzake
-kubainisha vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa papo kwa hapo
-kusikiliza uzungumzaji wa papo kwa hapo kuhusu suala lengwa yakitolewa na mwalimu, wenzake, mgeni mwalimu au kutoka kwenye vifaa vya kidijitali na kutathmini vipengele vya uwasilishaji vilivyotumika
Unazingatia mambo gani ili kufanikisha uzungumzaji wa papo kwa hapo?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 99
- Vifaa vya kidijitali
- Mgeni mwalikwa
- Picha
- Mwalimu
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano -Kujibu maswali -Maigizo -Mijadala -Mazungumzo
2 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Mandhari
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
-kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha
-kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
-kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia.
- kutambua mandhari mbalimbali katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kueleza umuhimu wa mandhari katika katika tamthilia akishirikiana na wenzake
-kuandika kwa ufupi kuhusu mandhari katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? - -2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 102
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 108
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Kusoma kwa sauti
3 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Viakifishi: -Alama za Mtajo
Aina za Uzungumzaji: -Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua matumizi ya alama za mtajo na mshazari katika matini
-kutumia alama za mtajo na mshazari ipasavyo katika matini
-kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo na mshazari katika matini.
- kutambua matumizi ya alama za mtajo kwenye matini andishi au za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia alama za mtajo ipasavyo
-kuandika kwenye kifaa cha kidijitali kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia alama za mtajo ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni
1. Je, alama za mtajo hutumiwa vipi katika maandishi? - -2. Je, alama ya mshazari hutumiwa vipi katika maandishi?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 104
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya matini zenye alama za uakifishi
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 100
- Mgeni mwalikwa
- Picha
- Mwalimu
- Kuandika tungo mbalimbali -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Potifolio -Shajara
3 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina: -Tamthilia -Ploti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua mandhari na ploti katika tamthilia
-kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ili kuubanisha
-kujadili mandhari na ploti ya tamthilia aliyosoma
-kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika tamthilia.
- kutambua ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au kwa kushirikiana na wenzake
-kujadili umuhimu wa ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu au na wenzake
-kuandaa muhtasari kuhusu ploti ya tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu
-kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti ya tamthilia aliyosoma
1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika tamthilia ulizowahi kusoma? - -2. Ploti ina umuhimu gani katika tamthilia ulizowahi kusoma?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 103
- Tamthilia
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa -Kujibu maswali k.m. katika ufahamu -Kutoa muhtasari wa tamthilia -Wanafunzi kufanyiana tathmini
3 3
Sarufi
Kuandika
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: -Ngeli ya I-I
Viakifishi: -Mshazari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
-kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
-kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano.
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-I
-kuchopoa nomino za ngeli I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
-kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-I
-kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni
1. Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI? - -2. Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
Kielekezi cha Kiswahili
- uk. 109
- Chati
- Kadi maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Tarakilishi/vipakatalishi
- uk. 105
- Mifano ya matini zenye alama za uakifishi
- Kutambua k.m. kwenye orodha -Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kazi mradi
3 4
MAJUKUMU YA MNUNUZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua sauti /ch/ na /sh/ katika silabi na maneno.
-Kutamka sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika silabi na maneno.
-Kuchangamkia matumizi ya sauti /ch/ na /sh/ katika mazungumzo ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua sauti /ch/ na /sh/ katika maneno na silabi akishirikiana na wenzake.
-Kutambua maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo.
-Kutunga vitanzandimi vyenye maana akitumia sauti /ch/ na /sh/ na kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali.
-Kusikiliza na wenzake vitanzandimi alivyovirekodi ili kuvitathmini.
Ni maneno yapi unayoyajua yaliyo na sauti /ch/ na /sh/?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 114
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Tathmini ya rekodi
4 1
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-U
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi.
-Kufasiri ujumbe katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi.
-Kuthamini kusoma vifungu vya ufahamu kwa ajili ya kujielimisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma ufahamu wa kifungu cha kushawishi kutoka kwa vitabu au vifaa vya kidijitali na kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini).
-Kutabiri matukio katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi akishirikiana na wenzake.
-Kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake.
Ni kwa njia gani tunaweza kutambua ujumbe wenye lengo la kushawishi katika habari?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 116
-Kamusi
-Matini za ufahamu
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 123-124
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
4 2
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi.
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika aya za insha ya masimulizi.
-Kuonelea fahari insha zenye ukuzaji wa mawazo yaliyopangwa vizuri.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo (k.v. mada, utangulizi, kati, hitimisho) katika insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi na za kidijitali.
-Kutambua ukuzaji wa wazo katika kila aya ya insha ya masimulizi katika matini za kimaandishi au za kidijitali.
-Kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa katika kila aya ya insha ya masimulizi.
-Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vinavyojenga mawazo.
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 120
-Matini za kielelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Insha iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maswali ya mdomo
4 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina: Sauti /ch/ na /sh/
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutofautisha sauti /ch/ na /sh/ kimatamshi katika mazungumzo.
-Kutumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/ ipasavyo katika mawasiliano.
-Kuridhia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/ ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kumwasilishia mzazi au mlezi mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/.
-Kujadili na wenzake matamshi bora ya sauti /ch/ na /sh/.
-Kuandaa mazungumzo mafupi kuhusu majukumu ya mnunuzi akitumia maneno yenye sauti /ch/ na /sh/.
-Kufanya mazoezi ya kutamka vitanza ndimi vyenye sauti /ch/ na /sh/.
Ni mambo gani unayoyazingatia utamkapo sauti /ch/ na /sh/?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 115
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 117-119
-Matini za ufahamu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maigizo
4 4
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua nomino za ngeli ya U-YA katika matini.
-Kutumia nomino za ngeli ya U-YA kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
-Kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-YA ipasavyo katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-YA katika sentensi na vifungu vya maneno.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-YA.
-Kuchopoa nomino za ngeli ya U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi.
-Kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-YA.
-Kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani.
Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 125-127
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
5 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni: Insha ya masimulizi
Hadithi: Hurafa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kupanga vidokezo vya insha ya masimulizi kwa utaratibu ufaao.
-Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika kila aya.
-Kufurahia kuandika insha za masimulizi zenye mpangilio mzuri wa mawazo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya.
-Kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya na vipengele vinavyojenga mawazo hayo.
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo aliyoandika kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia ukuzaji wa wazo katika kila aya.
Je, ni vigezo vipi unavyozingatia katika kuandika insha ya masimulizi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 121-122
-Matini za kielelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Vidokezo vya insha
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 129-130
-Mwongozo wa mwalimu
-Mgeni mwalikwa
Uangalizi -Insha iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Uwasilishaji wa insha
5 2
KUKABILIANA NA HISIA

Kusoma
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua wahusika mbalimbali katika tamthilia.
-Kuchambua sifa za wahusika katika tamthilia.
-Kuthamini mchango wa wahusika katika kujenga maudhui ya tamthilia.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua wahusika katika tamthilia aliyoisoma.
-Kujadili na wenzake sifa za wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuigiza wahusika katika tamthilia akiwa na wenzake ili kukuza uelewa wa sifa zao.
-Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
Je, ni mambo yapi yanayokuelekeza kuwaelewa wahusika katika tamthilia?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Maigizo
5 3
Sarufi
Kuandika
Vinyume vya Vitenzi
Barua ya Kuomba Msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutambua maana ya kinyume katika vitenzi.
-Kutumia vinyume vya vitenzi katika sentensi na vifungu.
-Kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake.
-Kutambua vinyume vya vitenzi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno.
-Kutambua vinyume vya vitenzi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno).
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati.
Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 139-140
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Chati
-Tarakilishi
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 137-138
-Kielelezo cha barua
-Vifaa vya kidijitali
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Zoezi la sentensi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki
5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Hekaya
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kueleza dhana ya hekaya na sifa zake.
-Kusimulia hekaya akizingatia vipengele vya uwasilishaji.
-Kufurahia utambaji wa hekaya kama sehemu ya fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusimulia hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
-Kujirekodi akitamba hurafa na hekaya kwa kutumia vifaa vya kidijitali na kusikiliza.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kutambua hurafa na hekaya kutoka kwa jamii yake na kujadili ujumbe unaojitokeza katika hadithi hizo.
-Kuwasilisha hurafa na hekaya kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
Je, hurafa na hekaya hutofautianaje?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 131-133
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
-Mgeni mwalikwa
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Utambaji wa hadithi
6 1
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika tamthilia
Vinyume vya Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kuchanganua mafunzo yanayopatikana kutokana na wahusika katika tamthilia.
-Kutambua mahusiano ya wahusika katika tamthilia.
-Kuridhia usomaji wa kazi za fasihi kwa ajili ya burudani na kujielimisha.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama video kuhusu wahusika katika tamthilia aliyosoma.
-Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama.
-Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika akishirikiana na wenzake.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika tamthilia aliyosoma.
Je, ni mambo gani tunayoweza kujifunza kutokana na wahusika wa tamthilia?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 134-136
-Kitabu cha tamthilia
-Video
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Kielekezi cha Kiswahili uk. 141-143
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
Uangalizi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Uwasilishaji wa muhtasari
6 2
Kuandika
Barua ya Kuomba Msaada
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kutumia lugha ifaayo katika barua rasmi ya kuomba msaada.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia mpangilio ufaao.
-Kufurahia kujieleza ifaavyo kwa njia ya barua rasmi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua ya kuomba msaada katika kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao ili waitolee maoni.
-Kuandika barua rasmi ya kuomba msaada kwa kuzingatia ujumbe, muundo na lugha ifaayo.
-Kumsomea mzazi au mlezi barua aliyoiandika ili aitolee maoni.
Je, ni vipengele vipi unazingatia wakati unapoandika barua ya kuomba msaada?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 138
-Kielelezo cha barua
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya mwalimu
-Mwongozo wa mwalimu
Uangalizi -Barua iliyoandikwa -Tathmini ya wenzake -Orodha hakiki -Uwasilishaji wa barua
6 3
HAKI ZA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii ambapo kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja hufanywa.
-Kuchangamkia kushiriki katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitaji kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maelezo
-Chati
-Kanuni za darasa
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
6 4
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi.
-Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia.
-Kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi.
-Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari.
-Kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda.
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo.
-Kuonea fahari uandishi wa insha za maelezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya insha ya maelezo kwa kurejelea matini mbalimbali.
-Kutafiti maktabani au mtandaoni vipengele vya insha ya maelezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo alivyotafiti mtandaoni.
-Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 145
-Kadi za maelezo
-Kanuni za darasa
Insha zilizoandikwa -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Orodha hakiki -Vigezo vya tathmini
7 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia.
-Kutumia msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
-Kuthamini umuhimu wa kusoma makala mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma.
-Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni.
1. Unavutiwa zaidi na nini unaposoma makala ya kujichagulia? -2. Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 147
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Rasilimali za mtandaoni
-Vitabu vya marejeleo
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Kumbukumbu za usomaji -Vigezo vya tathmini -Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi
7 3
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatia vipengele vyake muhimu.
-Kutumia lugha ifaayo katika kuandika insha ya maelezo.
-Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo.
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 151
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Insha zilizoandikwa -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Orodha hakiki -Vigezo vya tathmini
7 4
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Makini
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza matini kutoka kifaa cha kidijitali au mwalimu wake.
-Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, kifaa cha kidijitali, mgeni mwalikwa au wenzake.
-Kueleza hoja muhimu aliyotambua kutoka matini aliyosikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini aliyosikiliza.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kadi za maneno
-Chati
-Kanuni za darasa
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vitabu vya kusoma
-Video za mifano ya usomaji
-Maelezo ya kifungu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
8 1
Sarufi
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua.
-Kutambua sentensi changamano katika matini.
-Kuthamini matumizi ya sentensi changamano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya sentensi changamano.
-Kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino.
-Kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika matini.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
8 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kutambua hotuba ya kutoa ufafanuzi katika matini.
-Kuona umuhimu wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe (unaolenga kinachotolewa ufafanuzi), lugha (nyepesi inayoelewek na muundo ufaao wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake miktadha inayochochea hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 157
-Kadi za maneno
-Kanuni za darasa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
8 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
-Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo).
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono).
-Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni.
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 159
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Vitabu vya kusoma
-Video za mifano ya usomaji
-Maelezo ya kifungu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
8 4
Sarufi
Kuandika
Aina za Sentensi: Sentensi changamano
Insha za Kiuamilifu: Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini.
-Kutunga sentensi changamano sahihi.
-Kuonea fahari matumizi ya sentensi changamano katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi changamano ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yasiyoambukizwa.
-Kuwawasilishia wenzake darasani sentensi changamano alizotunga ili wazitathmini.
-Kumtungia mzazi au mlezi sentensi changamano zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 163
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 160
-Mifano ya hotuba za ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
9 1
HESHIMA KWA TAMADUNI ZA WENGINE

Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua wahusika katika hadithi.
-Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi.
-Kuona umuhimu wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua washiriki katika hadithi inayosimuliwa (k.v. fanani, hadhira).
-Kutambua wahusika katika hadithi inayosimuliwa.
-Kutambua sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali.
-Kuchambua wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Hadithi za kusoma
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
9 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
-Kuthamini matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha kwenye tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu.
-Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu mbinu za lugha katika tamthilia na kuutolea maoni.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? -2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Vifaa vya kidijitali
-Tamthilia iliyoteuliwa
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
9 3
Kuandika
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kuthamini umuhimu wa kutoa maelezo ya kujenga picha dhahiri.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vigezo vya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo kutokana na kielelezo cha insha.
-Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu mahali panapolengwa katika insha ya maelezo.
-Kutumia lugha inayojenga picha ya kinachoelezewa.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
9 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hadithi: Wahusika
Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kutamba hadithi akizingatia wahusika.
-Kufurahia kushiriki katika uchambuzi wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kutamba hadithi akiwa na wenzake huku wakichukua majukumu mbalimbali (k.v. fanani, hadhira).
-Kutunga hadithi fupi ambayo ina wahusika wanyama kuhusu suala lengwa na kuwawasilishia wenzake darasani ili wachambue wahusika.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 166
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Hadithi za kusoma
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 168
-Tamthilia iliyoteuliwa
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wenza -Orodha hakiki
10 1
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu.
-Kutunga sentensi zilizokanushwa kwa usahihi.
-Kuchangamkia kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu ili kukuza mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la heshima kwa tamaduni za wengine.
-Kukanusha sentensi au vifungu alivyotunga kisha awatumie wenzake kupitia vifaa vya kidijitali au kuwasomea darasani ili wazitolee maoni.
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini? -2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 172
-Tarakilishi/Vipakatalishi
-Kinasasauti
-Rununu
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Maswali ya maandishi
10 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Matumizi ya mbinu za lugha katika hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
-Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali.
-Kutumia lugha inayojenga picha dhahiri ya mahali.
-Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao na inayohusisha suala lengwa kisha awasomee wenzake darasani.
-Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mahali kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni.
-Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo.
-Kumsomea mzazi au mlezi insha ya kubuni aliyoandika ili aitolee maoni.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 170
-Mifano ya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kuandikia
Kielekezi cha Kiswahili uk. 177
-Rekodi za sauti
-Picha
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenza -Tathmini-binafsi -Vigezo vya tathmini
10 3
KUWEKA AKIBA

Kusoma
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua habari mahususi katika kifungu cha mjadala.
- Kueleza maana ya msamiati uliotumika katika kifungu cha mjadala.
- Kuchambua kifungu cha mjadala ili kupata ujumbe wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala kuhusu kuweka akiba.
- Kujadili na kumpa kifungu hicho mada mwafaka.
- Kutambua hadhira inayolengwa na kifungu hicho na mahali na wakati matukio yanafanyika.
- Kutaja maneno na nahau asizojua maana zake zilizotumika katika kifungu.
- Kutumia kamusi kueleza maana za maneno na nahau hizo.
- Kujadili habari mahususi zinazopatikana katika kifungu.
1. Utawezaje kutambua habari mahususi katika hadithi unayoisoma? - -2. Je, unazingatia nini unaposoma vifungu vya ufahamu?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 180
-Kamusi
-Kifungu cha mjadala
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
Kujibu maswali -Maswali ya mdomo -Majadiliano -Zoezi la uandishi
10 4
Sarufi
Kuandika
Udogo wa nomino
Insha ya maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua nomino zilizo katika hali ya udogo.
- Kubadilisha nomino kutoka katika hali ya wastani hadi hali ya udogo.
- Kubaini viambishi vinavyoashiria udogo wa nomino.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha zinazobainisha tofauti kati ya vitu katika hali ya wastani na hali ya udogo.
- Kuandika maneno yanayorejelea udogo wa nomino katika picha hizo.
- Kupiga mstari viambishi vinavyoashiria udogo wa nomino.
- Kuorodhesha nomino za hali ya udogo kutoka kwenye kadi maneno zilizotolewa.
- Kugundua kwamba nomino zote za hali ya udogo huanza na kiambishi 'ki-' au 'vi-'.
1. Je, ni mambo gani tunayozingatia tunapotumia nomino katika udogo? - -2. Taja mifano ya nomino za kawaida na udogo wake.
Kielekezi cha Kiswahili uk. 186
-Picha
-Kadi maneno
-Chati
-Kamusi
Kielekezi cha Kiswahili uk. 183
-Kielelezo cha insha ya maelekezo
-Vifaa vya kidijitali
Kutambua viambishi -Kubadilisha nomino -Maswali ya mdomo -Mazoezi ya maandishi
11 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matumizi ya mbinu za lugha katika hadithi
Kusoma kwa ufahamu: kifungu cha mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kusimulia hadithi kwa kutumia vipengele mbalimbali vya lugha.
- Kutambua vipengele vya lugha katika hadithi aliyosikiliza.
- Kuonea fahari matumizi ya vipengele vya lugha katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga hadithi kuhusu kuweka akiba akizingatia matumizi ya vipengele vya lugha (methali, tashbihi, nahau, istiara, urudiaji, tanakali).
- Kuwasilisha hadithi aliyotunga darasani ili mwalimu na wenzake waisikilize na kuitolea maoni.
- Kusikiliza hadithi kwa kutumia kiungo kilichotolewa, na kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika.
- Kupiga chapa vipengele vya lugha vilivyotumika kwenye kifaa cha kidijitali na kumsambazia mwalimu.
1. Utazingatia nini unapotunga na kusimulia hadithi? - -2. Ni vipengele vipi vya lugha vinavyofanya hadithi ivutie?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 179
-Kifaa cha kidijitali
-Rekodi za sauti
-Video
-https://tinyurl.com/mwat3knv
Kielekezi cha Kiswahili uk. 182
-Kamusi
-Kifungu cha mjadala
-Chati
-Majarida
Kutunga hadithi -Kuwasilisha -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
11 2
Sarufi
Udogo wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutumia nomino katika hali ya udogo katika sentensi.
- Kubadilisha sentensi zenye nomino katika hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo.
- Kuthamini umuhimu wa kutumia nomino katika hali ya udogo.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizotolewa na kupigia mstari nomino katika hali ya udogo.
- Kubadilisha sentensi hizo katika hali ya wingi.
- Kubadilisha nomino zitolewazo katika hali ya udogo (kiatu, ngoma, mguu, mbwa, ndoo).
- Kutumia nomino za udogo kutunga sentensi sahihi.
- Kubadilisha sentensi zitolewazo ziwe katika hali ya udogo.
- Kutaja majina ya vitu vinavyopatikana kwenye mazingira ya nyumbani katika hali ya udogo.
1. Nomino za hali ya udogo zinapatikana katika ngeli gani? - -2. Ni tofauti gani kati ya nomino katika hali ya wastani na hali ya udogo?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 188
-Chati
-Kadi maneno
-Picha
-Kamusi
Kubadilisha sentensi -Kutunga sentensi -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
11 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha ya maelekezo
Kusikiliza husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kuteua mada ya kuandikia insha ya maelekezo.
- Kuandika insha ya maelekezo kwa kuzingatia mpangilio sahihi wa hatua.
- Kutumia lugha fasaha na sahili katika insha ya maelekezo.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuteua mada ya kuandikia insha ya maelekezo.
- Kujadili maneno yatakayosaidia kufanikisha kuandika insha hiyo (vielezi vya mahali, viunganishi vya mtiririko, vielekezi vya kiasi).
- Kuandaa mpangilio ufaao wa sentensi zinazofuatana kulingana na maelekezo.
- Kuandika insha ya maelekezo akizingatia anwani, mpangilio mwafaka wa hatua na lugha sahili.
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuisambaza kupitia vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
1. Ni maneno gani yanayosaidia kusisitiza mpangilio wa hatua katika insha ya maelekezo? - -2. Kwa nini ni muhimu kutumia lugha sahili katika insha ya maelekezo?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 184
-Chati
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Mifano ya insha za maelekezo
Kielekezi cha Kiswahili uk. 191
-Picha
-Mwongozo wa mwalimu
Kuandika insha -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Zoezi la uandishi
11 4
MAADILI YA KIJAMII

Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutambua hoja muhimu katika kifungu cha ufahamu.
- Kujadili vipengele vya ufupisho.
- Kutahmini umuhimu wa ufupisho katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu maadili ya kijamii.
- Kujadili kwa ufupi suala kuu linalojitokeza katika kila aya.
- Kujadili vipengele vya ufupisho (kusoma kwa makini, kutambua hoja muhimu, kuunganisha hoja, kuzingatia mtiririko, kuepuka maelezo ya ziada, kudumisha mtazamo wa kifungu, kuzingatia idadi ya maneno).
- Kutambua hoja muhimu katika kila aya kwa kuzipigia mstari.
- Kueleza ujumbe unaopatikana katika kila aya kwa sentensi moja.
1. Je, unazingatia nini unapofupisha kifungu cha ufahamu? - -2. Ni kwa nini ufupisho ni muhimu katika mawasiliano?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 193
-Kifungu cha ufahamu
-Kamusi
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
Maswali ya mdomo -Majadiliano -Kutambua hoja muhimu -Kuandika ufupisho
12 1
Sarufi
Kuandika
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Baruapepe ya kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kueleza maana ya usemi halisi na usemi wa taarifa.
- Kutofautisha kati ya usemi halisi na usemi wa taarifa.
- Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma vifungu vilivyotolewa na kujadili tofauti kati ya usemi halisi na usemi wa taarifa.
- Kutambua usemi halisi katika sentensi zilizotolewa.
- Kueleza maana ya usemi halisi na usemi wa taarifa.
- Kutambua usemi wa taarifa katika sentensi zilizosomwa.
- Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa (kuondoa alama za kunukuu, kubadilisha neno 'leo' kuwa 'siku hiyo', 'kwetu' kuwa 'kwao', 'hapa' kuwa 'hapo au pale', 'kesho' kuwa 'siku itakayofuata').
1. Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa? - -2. Unazingatia nini unapobadilisha usemi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 198
-Chati
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Kielekezi cha Kiswahili uk. 195
-Mfano wa baruapepe ya kiofisi
-Tarakilishi
Majadiliano -Maswali ya mdomo -Kutofautisha aina za usemi -Tathmini ya wenzake
12 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kushiriki katika mazungumzo akizingatia vipengele vya usikilizaji husishi.
- Kuigiza mazungumzo yanayobainisha usikilizaji husishi.
- Kuchangamkia umuhimu wa usikilizaji husishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma mazungumzo yaliyotolewa kati ya Bw. Maadili na wafanyakazi wake.
- Kutambua vipengele vya usikilizaji husishi vilivyozingatiwa katika mazungumzo hayo.
- Kuigiza mazungumzo kati ya mwalimu na mzazi.
- Kujadili vipengele vya usikilizaji husishi walivyozingatia katika igizo hilo.
- Kushiriki katika mazungumzo kuhusu maadili ya kijamii na mzazi au mlezi.
- Kuandika vipengele vya usikilizaji husishi walivyozingatia katika mazungumzo yao.
1. Ni vipi tunaonyesha kwamba tunamsikiliza mzungumzaji kwa makini? - -2. Kwa nini ni muhimu kuzingatia vipengele vya usikilizaji husishi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 192
-Picha
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Maandishi ya mazungumzo
Igizo -Majadiliano -Uchunguzi -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
12 3
Kusoma
Sarufi
Ufupisho
Usemi halisi na usemi wa taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kuandika ufupisho wa kifungu cha ufahamu kwa kuzingatia vipengele vya ufupisho.
- Kuunganisha hoja muhimu kuunda sentensi mbalimbali.
- Kufurahia kufupisha maandishi kwa usahihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika ufupisho wa kifungu walichokisoma kuhusu maadili ya kijamii kwa kutumia maneno kati ya 80-90.
- Kusaka matini kuhusu maadili kwenye mtandao salama au maktaba.
- Kusoma matini hiyo na kuandika ufupisho wake kwenye daftari au kifaa cha kidijitali.
- Kumsomea mzazi, mlezi au mwalimu ufupisho alioufanya ili autolee maoni.
- Kusoma kifungu kipya na kuandika ufupisho wa kila aya kwa sentensi moja.
1. Ni kwa nini ni muhimu kudumisha mtazamo wa kifungu katika ufupisho? - -2. Utazingatia nini ili kuandika ufupisho mzuri?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 194
-Kifungu cha ufahamu
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Intaneti
Kielekezi cha Kiswahili uk. 200
-Chati
-Kadi maneno
Kuandika ufupisho -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
12 4
Kuandika
Baruapepe ya kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-
- Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi.
- Kuandika baruapepe ya kiofisi kwa kuzingatia vipengele vyake muhimu.
- Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kutumia baruapepe ya kiofisi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili lugha inayofaa kutumika katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi (lugha rasmi, lugha sanifu, lugha ya kitaaluma, lugha ya moja kwa moja, lugha ya heshima na itifaki).
- Kuandika baruapepe ya kiofisi kwa mwalimu wake akieleza umuhimu wa kuzingatia maadili ya kijamii.
- Kuwasambazia wenzake baruapepe hiyo ili waitolee maoni.
- Kumwandikia mwalimu wake baruapepe ya kiofisi ili aitathmini.
- Kumsomea mzazi au mlezi baruapepe aliyoandika ili aitolee maoni.
1. Kwa nini ni muhimu kutumia lugha rasmi katika baruapepe ya kiofisi? - -2. Utazingatia nini unapoandika baruapepe ya kiofisi?
Kielekezi cha Kiswahili uk. 197
-Mfano wa baruapepe
-Tarakilishi
-Vifaa vya kidijitali
-Intaneti
Kuandika baruapepe -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi

Your Name Comes Here


Download

Feedback