Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

OPENER EXAM

3 1
Lishe Bora
Kuandika; Barua ya kirafiki ya kutoa mwaliko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya mwaliko.
Kusoma barua ya kirafiki iliyoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia kuandika barua ya kirafiki.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya mwaliko.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kusoma barua ya kirafiki iliyoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Je, ni shughuli gani ambayo inaweza kukufanya umwandikie rafiki yako barua ya kutoa mwaliko?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 20-21
Mabango
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Uhuru wa Wanyama
Kusikiliza na kuzungumza; Tanzu za fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi.
Kutaja sifa za tanzu za fasihi.
Kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kufurahia kusoma hadithi zinazohusu fasihi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya fasihi.
Mwanafunzi kutaja sifa za tanzu za fasihi.
Mwanafunzi kusoma hadithi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi
Je, umewahi kusimuliwa hadithi gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 29-31
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Uhuru wa Wanyama
Tanzu za fasihi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini.
Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng
Mwanafunzi kutaja aina za tungo za fasihi simulizi na fasihi andishi katika matini.
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze Kuigiza mazungumzo kati ya Ngamia na Ng
Je, umewahi kusoma tungo gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Uhuru wa Wanyama
Kusoma; Kusoma kwa kina- Novela
Kusoma kwa kina- Novela
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuchangamkia kusoma novela.
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Mwanafunzi kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi
Unafurahia kusoma vitabu gani vya hadithi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 35-37
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 36-37
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Aina za Maliasili
Nyimbo za watoto
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto.
Kuimba nyimbo moja ya watoto.
Kufurahia kuimba nyimbo za watoto.
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto.
Mwanafunzi kuimba nyimbo moja ya watoto.
Unapoimba nyimbo za watoto, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Aina za Maliasili
Nyimbo za bembelezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu.
Kuchangamkia kuimba nyimbo bembelezi.
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu
Je, ni nyimbo gani unazozijua katika jamii yako ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44-45
Kamusi
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Aina za Maliasili
Nyimbo za bembelezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza sifa za bembelezi.
Kujadilimtindo ya uwasilishaji wa bembelezi.
Kuimba nyimbo moja bembelezi.
Kufurahia kuimba nyimbo bembelezi.
Mwanafunzi aweze kueleza sifa za bembelezi.
Wakiwa katika vikundi, waweze kujadiliana mtindo ya uwasilishaji wa bembelezi.
Mwanafunzi kuimba nyimbo moja bembelezi.
Unapoimba bembelezi, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 45-46
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Aina za Maliasili
Kusoma; Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu
Kufurahia kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 46-47
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Aina za Maliasili
Kuandika; Insha za kubuni- Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi,
Mwanafunzi aweze kusoma insha ya masimulizi iliyopo katika kitabu cha mwanafunzi,
Unazingatia mambo gani unapoandika insha ya masimulizi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 48-49
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Unyanyasaji wa Kijinsia
Kuandika; Insha ya maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya insha ya maelezo.
Kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni.
Kutathmini umuhimu wa maelezo.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni
Je, unaweza kumueleza vipi rafiki yako kufika nyumbani kwenu ili asipotee?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 61-62
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Unyanyasaji wa Kijinsia
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo hali ya kuendelea
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea
Kwa nini tunazingatia nyakati na hali katika mawasiliano yetu?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 63-64
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 64-65
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Unyanyasaji wa Kijinsia
Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati ujao hali ya kuendelea
Je, utafanya nini kesho?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 1
Usalama shuleni
Kusoma kwa kina; Maudhui na dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi.
Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu.
Kujadiliana maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma.
Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aweze, kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
Mwanafunzi, aweze kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu.
Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma
Vitabu vya hadithi ulivyowahi kusoma vinazungumiza nini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 68-69
Mabango
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Kuhudumia Jamii Shuleni
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja mambo yanayomsaidia kupata ujumbe vizuri unaposikiliza habari fulani.
Kujadili picha zilizoko katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa makini.
Mwanafunzi aweze kutaja mambo yanayomsaidia kupata ujumbe vizuri unaposikiliza habari fulani
Wanafunzi waweze kujadili picha zilizoko katika kitabu cha mwanafunzi
Ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe vizuri unaposikiliza habari fulani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Kuhudumia Jamii Shuleni
Kusoma; Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi.
Kujadili aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi.
Kuonea fahari ufupisho.
Mkiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kueleza aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi
Mkiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kujadili aina za ujumbe anaweza kutoa kwa njia ya ufupi
Umewahi kupewa ujumbe gani kwa njia ya ufupi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Kuhudumia Jamii Shuleni
Kusoma; Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kuandika kifungu hicho katika ufupisho.
Kutathmini umuhimu wa ufupisho.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kuandika kifungu hicho katika ufupisho
Unaondoa nini katika habari ili kuitoa kwa ufupi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77-78
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7

MIDTERM

8 1
Ulanguzi wa Binadamu
Kuzungumza ili kupasha habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja vipengele vya katika kuzungumza ili kupasha habari.
Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kufurahia kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya katika kuzungumza ili kupasha habari
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi
Je, kuna Ukweli upi katika mazungumzo mliyoyaigiza?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 84-86
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Ulanguzi wa Binadamu
Kusoma kwa kina
Kuandika; Viakifishi: Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya mandhari katika fasihi.
Kueleza umuhimu wa mandhari ya novela.
Kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela.
Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya mandhari katika fasihi
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa mandhari ya novela
Mwanafunzi aweze kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela
Ni mazingira gani ya matukio yaliyokuvutia katika vitabu vya hadithi ambavyo umewahi kusoma?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 86-88
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 3
Ulanguzi wa Binadamu
Kuandika; Viakifishi: Koma
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza matumizi ya koma katika maandishi.
Kuandika sentensi akitumia alama ya koma.
Kutumia koma mahali panapofaa katika sentensi.
Kuchangamkia matumizi ya kiulizi.
Mwanafunzi aweze
kueleza matumizi ya koma katika maandishi.
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia alama ya koma
Mwanafunzi aweze kutumia koma mahali panapofaa katika sentensi
Je, koma hutumiwa vipi katika maandishi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91-92
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 4
Ulanguzi wa Binadamu
Sarufi; Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi.
Kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya A-WA
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya A-WA?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 93-94
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 1
Ulanguzi wa Binadamu
Sarufi; Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi.
Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-I
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya U-I?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 94-96
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 2
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu.
Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu.
Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali.
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu
Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 3
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi.
Kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu'
Kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi.
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi, 'Safari ya ajabu'
Ni mambo yapi yaliyokuvutia uliposimuliwa kisa fulani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9 4
Kuthamini
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma novela iliyoteuliwa.
Kutaja sifa za wahusika katika novela.
Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela.
Kutathmini umuhimu wa kusoma novela.
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma novela iliyoteuliwa
Wanafunzi waweze kutaja sifa za wahusika katika novela.
Wanafunzi waweze kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela
Je, unawakumbuka wahusika gani katika novela uliyosoma? Ni mambo gani yanayokuwezesha kuwakumbuka wahusika katika novela uliyosoma?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 1
Kuthamini
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno.
Kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino.
Kuchangamkia kutumia vinyume vya nomino.
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya nomino
Je, unajua vinyume vya maneno gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Majukumu ya Watoto
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda.
Kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutenda
Je, vyombo vilivyooshwa vinawekwa wapi?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 124-126
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Majukumu ya Watoto
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea.
Kutunga sentensi katika Kauli ya kutendea.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendea
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika Kauli ya kutendea
Je, nani huwapikia chakula nyumbani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 126-127
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Majukumu ya Watoto
Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi; Kauli ya kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa.
Kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika Kauli ya kutendwa
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati Kauli ya kutendwa
Majukumu yote yali---------- ifaavyo (tekeleza)
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 127-128
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Magonjwa Ambukuzi
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi sahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya sentensi sahili.
Kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi.
Kuchangamkia matumizi ya sentensi sahili.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi sahili
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi sahili kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi sahili kuhusu magonjwa ambukizi.
Ni aina gani za sentensi unazozijua?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 133-134
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Magonjwa Ambukuzi
Sarufi: Aina za sentensi; Sentensi ambatano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya sentensi ambatano.
Kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi.
Kuchangamkia matumizi ya sentensi ambatano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya sentensi ambatano.
Mwanafunzi aweze kutambua sentensi ambatano kutoka kwenye orodha iliyo katika kitabu cha mwanafunzi.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi ambatano kuhusu magonjwa ambukizi.
Sentensi ambatano ni gani?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 134-135
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Utatuzi wa Mizozo
Sarufi; Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya ukanushaji.
Kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha nyakati tofauti katika kifungu alichokisoma.
Kutathmini umuhimu wa ukanushaji.
Wanafunzi kueleza maana ya ukanushaji.
Wanafunzi waweze kuorodhesha maneno ambayo yanaonyesha nyakati tofauti katika kifungu alichokisoma
Kwa nini huwa tunakanusha Kauli?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 142-143
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Matumizi ya pesa
Kusikiliza na kuzungumza; Lugha katika nyimbo
Kuandika; Insha ya maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo.
Kusikiliza wimbo aliounusa mwalimu kwenye kifaa cha kidijitali.
Kujadiliana umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule.
Kutathmini umuhimu wa nyimbo.
Wanafunzi waweze kutaja vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo.
Wanafunzi kusikiliza wimbo aliounusa mwalimu kwenye kifaa cha kidijitali.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule.
Je, umewahi kusikiliza wimbo gani? Unaweza kutambua matumizi gani ya lugha katika wimbo?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 147-149
Kapu maneno
Chati
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 153-154
Mabango
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 1
Matumizi ya pesa
Sarufi; Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya ukubwa wa nomino.
Kusoma kifungu kisha kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa.
Kuonea fahari ukubwa wa nomino.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukubwa wa nomino.
Mwanafunzi kusoma kifungu kisha kutambua nomino zilizo katika hali ya ukubwa.
Utatambuaje nomino katika hali ya Ukubwa?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 155-156
Kapu maneno
Kamusi
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 2
Matumizi ya pesa
Sarufi; Ukubwa wa nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Kuchangamkia kutumia nomino katika hali ya ukubwa.
Mwanafunzi kuambatanisha nomino za hali ya wastani na hali ya ukubwa.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino alizoandika katika hali ya ukubwa.
Umegundua nini kuhusu viambishi vya nomino katika hali ya ukubwa?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 156-158
Kapu maneno
Kamusi
Majarida
Michoro na picha
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 3
Maadili y mtu binafsi
Kusoma; Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi.
Kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Kutathmini umuhimu wa ufupisho.
Mwanafunzi kusoma matini katika kitabu cha mwanafunzi Uk. 161
Mwanafunzi kueleza kwa sentensi mojamoja ujumbe wa kila aya.
Je, ni kwa nini watu hufupisha habari?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 160-161
Kamusi
Majarida
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 4
Maadili y mtu binafsi
Kuandika kidijitali- Baruapepe
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
Kueleza maana ya baruapepe.
Kujadiliana kuhusu ujumbe ambao anaweza kuandikia marafiki zake katika baruapepe.
Kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki.
Kutathmini umuhimu wa baruapepe.
Wanafunzi kueleza maana ya baruapepe.
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kujadiliana kuhusu ujumbe ambao anaweza kuandikia marafiki zake katika baruapepe.
Wanafunzi kueleza vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki.
Je, unaweza kumwandikia rafiki yako Baruapepe kumwambia nini?
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 162-163
Kapu maneno
Mabango
Kamusi
Majarida
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi

Your Name Comes Here

Download

Feedback