Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
sarufi

Vihusishi vya sababu
Kusoma kwa kina . Sifa za ushairi .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya sababu katika matani
-kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano
-kutambua vihusishi vya sababu kutoka kwa kapu la maneno au kadi maneno au tarakilishi
-kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi kwa kuvipigia mstari
-Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya sababu akizingatia masuno mtambuko
Je vihusishi vya - A- unganifu na vya sababu hutofautiana vipi ?
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22.
-Vifaa vya kidijitali
-Kapu na kadi amneno
-Matini ya mwalimu
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Kifaa cha kidigitari
-mashairi
-Kutambua -Kutunga sentensi -Tathmini ya mwanafunzi -Orodha hakiki .
2 2
Kusoma
Kusoma kwa kina . Sifa za ushairi .

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma mashairi katika hodihodi mashairi 
-kutambua sifa za shairi katika mashairi atakayosoma
-Kuchngamkia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi.
-kusoma mashairi katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu
-Achambue mashairi atakayosoma kwa kutambua na kueleza sifa za ushairi katika mashairi hayo
awasomee wenzake sifa laizotambua katika mashairi ili wamtolee maono.
Je unavutiwa na nini unaposoma shairi?
Hodi hodi mashairi 
-Vifaa vya kidigitari
-Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32
Kiswahil gradi ya 9 ukurasa 32-33
Vifaa vya kiditali
Matini ya mwalimu
Kielelzo cha insha.
-kusoma -kuchambua -kueleza sifa -Orodha hakiki.
2 3
Kuandika
Sarufi
Insha za kubuni masimulizi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya insha ya masimuizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
-Kuandika insha simulizi kwa kuzingati ujumbe na muundo ufaao . Kufurahia kuandika insha ya masimulizi
-kuandika insha ya asimulizi daftarini mwake au kweny kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi ,kiini,hitimisho na wahusika
-Awasomee wenzake ili waitolee maoni .
Je unaff kuzingatia nini unapoa andika insha ya masimulizi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 33
-Matini ya mwalimu .
-Vifaa vya kidigitari
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati
-Vifaa vya kiditajitari
-Matii ya mwalimu .
-kuandika insha -Kufanyiana tathmini -Kielelzo cha barua iliyoandikwa
2 4
Sarufi
Vihusishi . Kihusishi na .
Semi . vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi na katika matini .
-Kutumia kihusshi na ipasavyo katika matini .
-Kuchangamkia kutumia kihusishi na katika amawasiliano ya kila siku .
-Kutambua kihusishi na katika sentensi kwenye vifungo kwa kupigia mstari .
-Atunge sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi na akizingatia maswala lengwa na masuala mtambuko mbali mbali .
Je kihusishi na kuchngia vipi katika mawasiliano?
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati
-Vifaa vya kidigitari
-Matini ya mwalimu .
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 37-38 .
-Matini ya mwalimu.
-Michoro
-Kifaa cha kidigitali .
-kutambua -Kutunga sentensikufanya mazoezikutathmin
3 1

Kusoma kwa ufasaha
Semi . Nahali .
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya nahu ili kupambanua .
-Kutambua nahau katika matini
-Kufafanua umuhimu wa nahu katika fasihi simulizi.
-Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi .
- kueleza maana ya nahau .
-Kutambua nahau mbali mbali katika matini ya fasihi simulizi na kueleza maan yake .
-Kutafiti mtandaoni umuhimu wa nahau .
-Atunge sentensi akitmia nahu ifaavyo
-Ajaze nafasi katika sentensi kwa kutumia nahau mwafaka .
Je nahau ni nini ?
-Acess kiswahil gradi ya 9 ukurasa wa 39-40.
-Matini ya mwalimu
-Picha
-Michoro
-Vifaa vya kidijari.
kiswahli gredi ya 9 ukurasa 41-43
-Vitabu
-Matini ya mwalimu .
-kujaza nafasi -Kutunga sentensis -Kujadili -Kutathmini.
3 2
Kusoma kwa ufasaha
Kusoma kwa ufasaha

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kifungu akizingatia ishara za misili ziffazo .
-Kujenga mazoea ya kusoma kwa ufsaha ili kufanikisha mawasiliano .
-Kusoma kifungu akizingatia ishara za mwili .
-Kisakuru kifungu cha nathari mtandaoni na kuwasome wenzake kwa ufasaha .
Je unaposoma kifungu chochcote unazingatia mambo gani?
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 43.
Matini ya mwalimu?
-Kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 44 - 45.
-Matini ya mwalimu
-Picha
-Kifaa cha kidijitari.
-kusoma -Kufanyiana tathmini.
3 3

Sarufi

Nyakati na hali . Ki- ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya masimuliizi akizingatia lugha ya kitamadhali ,matendo ya wahusika na mandhari
-Kufurahia kuandika insha za masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali ,matendo ya wahusika,uchoraji wa mandhari ufaao ili kufanikisha mawasiliano .
- kuandika insha ya amasimulizi kuhusu suala lengwa akitumia vipengele vifaavyo vya lugha ya kitamadhari ili kujenga taswira zifaazo .
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika kuhusu suala lengwwa ili wachanganue lugha ya kitamadharli,matendo ya wahusika na madhari .
Je unazingatia vipengee vipi unapoandika insha ya masimuizi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 46?
-Matini ya mwalimu.
-Michoro
-vitabu
1,kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 47-48
-Matini ya mwalimu .
-Picha
-michoro
-kuandika tathmini -Orodha hakiki -Kusomea wengine.
3 4

Kusikiliza na kuzungumza
Nyakati na hali . Hali ya kufuata na kwa vitendo .
Ufahamu wa kuskiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini .
-Kutumia ka ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini .
-Kujenga mazoea ya matumizi ya ka ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano .
-kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini mbalimbali
-Atambue sentensi zinazoashiria matumizi ya kufuatana kwa vitendo kutokana na mchnganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakilishi .
Je -ka ya kufuatana kwa vitendo hutumika wakati gani katika senstensi.?
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 48 - 49 .
-Matini ya mwalimu
-Vifaa vya kidigitali
-Picha michoro
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 51 -52 .
-Picha
-michoro
-kueleza Mifano -mazoezi -Kutunga sentensi -Kutathmini
4 1
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kuskiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza akizingatia vipengele vyake .
-Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikilza .
-Kusikiliza ufahamu kuhuzu suala lengwa ktoka kwa mwalimu na pia kwenye chombo cha kidijitali .
-Kushirikiana na wenzake kujibu maswali kutoka kwa ufahamu walioshirikiza .
Je kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
-Vifaa vya kidijitari
-Kiswahili gredi 9 ukurasa wa 51-52
-Matini ya mwalimu na mwanafunzi .
-Kusoma -Kusikiliza -Kuuliza maswali . -Kujibu maswali
4 2
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu .
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi kutoka kifungu cha ufahamu .
-Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu .
-Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza kuelewa habari .
-Kusoma kifungu cha ufahamu .
-Kudondoa habari mahususis katika kifungu cha ufahamu .
-Kueleza habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi na ufasiri kutokana na kifungu cha ufaham u .
Je kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamau?
-vifaa vya kidigitali
-Kiswahli gredi ya 9 ukurasa wa 52-54
-Matini ya mwalimu
-Picha
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 54-55
-Chati
-michoro
-kusoma na Kuulizana maswali -Kudondoakielelzo -kutabiri -michoro
4 3
Kuandika
Insha za kiuamilifu . Shajara .

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maan ya shajara .
-Kujadili vipengele vya shajara .
-Kuandika shajara akizingatia vipengele vyake .
-Kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku .
-Kueleza maana ya shajara .
-Kujadili na mwenzake shajara alivyoisoma .
-Kutambua na kujadili vipengele vya shajara kwa kurejelea kielelezo cha shajara .
-Kuandika shajara akizingatia vipengele vya vyake .
Je muundo na mtindo wa shajara ni upi? Je kwa nini watu utumia shajara?
-kiswahili gredi ya 9 ukrasa wa 55-57.
-Kielelewzo cha shajara
-Matani ya mwalimu
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 58
-Chati
-Picha
-Michoro
-Vifaa vya kidigitali
-Kitambua -Kuuliza na kujibu. -Kujadili
4 4
sarufi

Hali ya masharti . -ngali)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti ngali katika matini .
-Kutumia hali ya masharti ngali ipasavyo .
-Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti ngali ili kukuza ufasaha wa lugha .
-Kutafiti mtandaoni au vitabuni matumizi ya hali ya masharti ya ngali .
-Kutambua matumizi sahihi ya ngali katika sentensi au vifungu .
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya ngali kutokana na mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu ,tarakiishi na kuvipigia mstari
-Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya ngali akizingatia maswala mtaambuko .
Je hali ya masharti nge hutumika vipi?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 59-60
-Matani ya mwalimu
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 61-62
-Vifaa vya kidigitali
-Matani ya mwanafunzi
-Kutunga sentensi -Kuuliza maswali -kujaza pengo -Kutathmini.
5 1
Kusoma
Kusoma kwa kina . Ushairi . (Maudhui) .
Kusoma kwa kina . (dhamira)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Je maudhui ni nini katika kazi ya fasihi?
Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 63-64
Mitani ya mwalimu
Vifaa vya kidigitari
Picha za michoro
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 64-65
-Matani ya mwalmu
-Vifaa vya kidigitari
-Kielezo -Kujadili -kuchambua -kusoma shairi.
5 2
Kuandika

Insha za kubuni . (methali)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya insha ya methali
-Kujadili vipengele muhimu katika uandishi wa insha ya methali
-Asome kielelzo cha insha ya methali Na kuandika vindokezo atakavyotumia ili kuandika insha ya methali .
-Andika insha ya methali kizingatia vipengele muhimu vya uanishi .
-Kuelewe na kueleza maan ya insha ya methali
-Kujadili vipengele muhimu akizingatia ujumbe,mundo na lugha sahihi .
-Asome kielelezo cha insha ya methali ili kuandaa vidokezo vitakavyo idhimisha kuandika insha ya methali .
-Kuchngamkia uandishi wa insha ya methali huku akizingatia suala lengwa .
Je insha ya methali inahusu nini? Unazingatia nii kuandka insha ya methali?
-kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 66-68
-Matini ya mwalimu
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa 70-71
matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-michoro
-kapu maneno
-Kueleza -Kusoma kielelzo -Kuandika insha .
5 3
Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza kwa kutathmini

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- aeleza maana ya kusikiliza kwa Kutathmini kwa kutafiti mtandaoni au vitabuni.
- Kujadili vipengele vya kizinga katika kusikiliza kwa Kutathmini.
-kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu akizingatia vipengele muhimu kusikiliza kwa Kutathmini
-Achangamkie kusikiliza kwa Kutathmini habari yoyote ya kujichagulia mtandaoni amsomee mwenzake ili amtolee maoni
-kusakura mtandaoni au vitabuni ili kueleza maana ya Kusikiliza kwa Kutathmini
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika Kusikiliza na Kutathmini.
-Kusikiliza kwa makini kifungu atakachosomewa na mwalimu ili kutoa vipengele vinavyostahili kwa matini hiyo.
-kusakura mtandaoni ili kutoa habari atakayosomea mwenzake ili amtolee maoni.
Je kusikiliza kwa kutathmini kunahitaji nini?
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa wa 74-76
Matini ya mwalimu
-kamusi
-kifaa cha kidijitali
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 74-76
-kutafiti -Kujadili -kusoma -kujibu maswali -Kutathmini
5 4
kuandika
Insha za kubuni (maelezo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya insha ya Maelezo akizingatia lugha inayoathiri hisia mbalimbali.
- Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika insha ya maelezo.
-kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zilizotumika katika maelezo.
- Achangamkie kuandika insha ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia mbalimbali
-kueleza maana ya insha ya Maelezo kwa kutafiti katika mtandao au vitabuni.
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayo athiri hisia katika maelezo.
-kusoma kielelezo cha insha ya Maelezo ili kutambua hisia zinazojitokeza katika kuandika insha ya kubuni ya Maelezo akitumia lugha inayo athiri hisia katika suala lengwa na mitambuko mbalimbalihb
Je insha za kubuni za maelezo huzingatia hisia gani unapoandika?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 77-78
-matini ya mwalimu
-vifaa va kidijitali
-picha michor
-kamusi
-kutafiti -kueleza -Kujadili -kusoma -kujibu maswali -kuandika
6 1
sarufi
Vielezi vya mahali na vya idadi a, vielezi vya mahali
vielezi vya idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- keleza maana ya vielezi vya mahali
- Kutaja Mifano ya vielezi vya mahali
- kutambua vielezi vya mahali katika matini mbalimbali.
- Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo kwa kupigia mstari na kutungia sentensi.
-kueleza maana ya vieleza vya mahali kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-Kutaja vielezi vya mahali katika matini mbalimbali
-kutambua vielezi vya mahali kwa kuvipigia mstari
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali ipasavyo katika Kutunga sentensi na kunakili kifungu kifupi
Je vielezi vya mahali hutumika vipi katika mawasiliano?
Access kisw sahili gredi a 9 uk wa 79-80
-matini ya mwalimu
-picha
-michoro
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
Access kisw sahili gredi ya 9 uk wa 81-82
-kadi maneno
-kapu maneno
-kueleza -Kutaja -Kujadili -Kutunga sentensi -Kutathmini
6 2
Kusikiliza na kuzungumza
Uzungumzaji wa kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi
- kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kishawishi hutokea
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji wa kishawishi
asikilize mwenzake akifanya uzungumzaji wa kishawishi akizingatia vipengele muhimu ili kumtathmini
-kueleza maana ya mazungumzo ya kishawishi kwa kusakura mitandaoni au vitabuni.
-kubainisha miktadha ya kijamii ambapo uzungumzaji wa kushawishi hutokea
-kujadili vipengele vya kuzingatia anapo zungumza kwa kishawishi
-asikilize miktadha mbalimbali ya kishawishi ili kutathmini vipengele vinavyotumika
Je vipengele vya uzungumzaji wa ushawishi ni vipi?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 83-84
-matini ya mwalimu
-picha
-michoro
-kamusi
-vifaa vya kidigitali
-kusakula -kueleza -kubainisha -Kujadili -Kusikiliza
6 3
Kusoma
Kusoma kwa kina Ushairi a, mandhari
Kusoma kwa kina b, muundo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndodo,
- kueleza maana ya mandhari katika fasihi andishi
-kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi
- kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi
- kuchangamkia kusoma shairi na kujibu maswali yake huku akitambua mandhari ya shairi hilo.
-kueleza maana ya mandhari kwa kusakira mitandaoni au vitabuni.
-kutaja mifano ya mandhari katika kazi ya fasihi andishi
-kujadili umuhimu wa mandhari katika fasihi andishi
-kuchangamkia na kufurahia kusoma shairi na kujibu maswali yake akitambua mandhari katika suala lengwa
Je, utatambua aje mandhari katika ushairi?
Access kisw sahili gredi ya 9 uk 84-86
-matini ya mwalimu
-picha
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
Access kisw sahili gredi la 9 uk 87-88
-michoro
-vifaa vya kidigitali
-kueleza -Kutaja -Kujadili -kusoma shairi
6 4
kuandika
Viakifishi mabano na kistari kifupi a, matumizi ya mabano
Viakifishi Matumizi ya kistari kifupi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanafunzi awezw
- kueleza maana ya mabano
-kujadili matumizi ya mabano
-kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu
-kuchangamkia kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa akitumia mabano ipasavyo
-kusakura na kutafuta ili kujua maana ya mabano
-kujadili matumizi ya mabano katika matini mbalimbali
-kutambua matumizi ya mabano katika sentensi na vifungu vifupi
-kuchangamkia kuandika kifungu kuhusu suala lengwa akituma mabano ipasavyo
Je mabano ( ) hutumika vipi katika mawasiliani?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 88-89
-matini ya mwalini
-vifaa vya kidigitali
-chati
Acess kisw sahili gredi ya 9 uk 89-90
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-kamusi
-kutafiti -kueleza -kutambua -kuandika -maswali na majibu
7

Tathmini ya likizo fupi

8

Likizo fupi

9 1
sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi a, ngeli ya u-zi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ya-ya)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma mifano ya sentensi katika ngeli ya u-zi
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya u-zi katika sentensi
-kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi na kuandika vitabuni
- kuchangamkia kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa
-kusoma mifano ya sentensi katika ngeli a u-zi
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi katika umoja na wingi vya ngeli ya u-zi katika sentensi.
-kutaja mifano ya nomino katika ngeli ya u-zi, umoja na wingi na kuviandika vitabuni
-afurahie kutambua nomino katika ngeli ya u-zi katika matini mbalimbali ili kutathmini uelewa
Je nomino katika ngeli ya u-zi ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 91-92
-matini ya mwalimu
-kadi maneno
-michoro
-picha
-vifaa vya kidijitali
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 93-94
-kifaa cha kidigitali
-kamusi
-kusoma -kueleza -Kutaja -Kutunga sentensi -kujaza pendo
9 2
Kusikiliza na kuzungumza
kusoma
Kusikiliza kwa kina Sauti j na nj
Kusoma kwa ufahamu Kifungu cha kishawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kutamka sauti j nan j ipasavyo ili kuzibainisha
- kutambua kwa kupigia mstari sauti j nan j ili kizitofautisha
- kusoma vitanzandimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j na nj
-achangamkie kutunga vitanza ndimi akitumia nomino katika sauti j nan j kuvisomea wengine ili kuwatolea maoni
-kutamka sauti j na nj ipasavyo ili kuzibainisha
-kutambua kwa kupiga mstari sauti j na nj katika sentensi na kifungu
-kusoma vitanza ndimi katika kifungu akizingatia matamshi bora ya sauti j nan j
-kufurahia kutunga vitanza ndimi akitumia jozi ya maneno katika sauti ya j nan j kama vile: kuja-kunja
Ajali-anjali
Waja-wanja
Amsomee mwenzake ili kumtolea maoni
Sauti j nan j hutofautiana vipi katika matamshi?
Access kisw gredi ya 9 uk wa 96
-matini ya mwalimu
-kamusi
-picha
Access kisw sahili grade ya 9 uk wa 97-98
-vifaa vya kidijitali
-kutamka -kutambua -kusoma -Kutunga vitanzandimi
9 3
kuandika

Insha za kubuni (Masimulizi)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kilichoko kitabunu
- kutambua vipengele vilivyo tumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya.
- kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya masimulizi na kuviandika daftarini
-kuandika insha ya masimulizi akirejelea ujumbe, muundo na lugha akizingatia suala lengwa
-kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi katika vitabu
-kutambua vipengele muhimu vilivyotumika kukuza mawazo tofauti katika kila aya
-kuandaa vidokezo vitakavyo msaidia kuandika insha ya masimulizi kuhusi suala lengwa
-kuchangamkia kuandika insha ya masimulizi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ifaavyo na kurejelea suala lengwa
Je, ni vipengele vipi vinavyozingatiwa katika uandishi wa insha ya masimulizi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 99-101
-matini ya mwalimu
-kielelezo cha insha
-kamusi
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 102-103
-chati
-mabango
-kusoma -kuandaa vidokezo -kutambua vipengele -kuandika
9 4
sarufi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi Ngeli ya (ku)
Ngeli ya pa-ku-mu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kusoma na kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi ulivyo kolezwa rangi katika ngeli ya (ku)
- atambue kwa kutafiti na kusakira mitandaoni nomino katika ngeli ya (ku)
- kutambua kwa kupigia mstari vitenzi jina katika ngeli ya (ku)
- kuchangamkia kutunga sentensi akitumia nomino au vitenzi jina katika ngeli ya (ku)
-kusoma na kutambua viambishi vya ngeli ya ku katika umoja na wingi
-kutambua kwa kusakira mtandaoni na vitabuni nomino katika ngeli ya ku
-kupigia mstari nomno katika nya ku ili kuzibainisha na zingine
-kuchangamkia kutunga sentensi akitumia nomino katika ngeli ya ku ipasavyo
Je, nomino katika ngeli ya ku ni zipi?
Access kisw sahili grdi ya 9 uk wa 104-105
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-chati
-mabango
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa106-107
Mabango
-kamusi
-vifaa vya kidigitali
-kusoma -kutambua -Kutaja -Kutunga sentensi -Kutathmini
10 1
Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo Malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
- kueleza maana ya malumbano ya utani
- kutaji aina za malumbano ya utanikama atavyopata katika mitandai ama vitabu
- kujadili sifa za malumbano ya utani pamoja na vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
- kuwasilisha malumbano ya utani katika vikundi ili wayatolee maoni
-kueleza maana ya malumbano ya utani kwa kutafiti nas kusakura mitandaoni
-kutaja aina za malumbano ya utani ili kutofautisha na malumbano mengine
-kujadili sifa na vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi ili kutoleana maoni
Je, sifa za malumbano ya utani ni zipi? Vipengele muhimu katika malumbano ya utani ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 108-109
-matini ya mwalimu
-vifaa vya kidijitali
-mwanafunzi
-kueleza -Kutaja -Kujadili -Kuwasilisha
10 2
Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo Malumbano ya utani

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kujadili vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani katika mawasilisho yao
- kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika vikundi vyao ili kutoleana maoni na kutathmini
-kujadili pamoja na wenzake vipengele muhimu vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani katika kikundi au wawili akizingatia vipengele muhimu ili kutathmini uelewa
Je, vipengele muhimu katika uwasilishaji wa malumbano ya utani ni zipi?
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa109-110
-matini ya mwalimu
-mwanafunzi
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 110-111
-vifaa vya kidijitali
-Kujadili -Kuwasilisha -Orodha hakiki
10 3
kusoma
Kusoma kwa kina Ushairi Wahusika karika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza
-kusoma shairi katika diwani iliyo teuliwa na mwalimu kisah ajadili sifa za wahusika katika shairi hilo ili kutathmini uelewa.
-Kusoma shairi na kichambua sifa za wahusika kama zinavyojitokeza katika shairi hilo
-kusoma shairi katika diwani teule na kujadili sifa za wahusika katika kikundi ili kutathimini uelewa.
Je sifa za wahusika katika shairi ni zipi?
-Kisw sahili gradi ya 9
Uk wa 112
-Matini ya mwalimu na mwanfunzi
-kusoma -kuchambua sifa -Kutathmini -Orodha hakiki
10 4
kuandika
Barua rasmi Barua ya kuomba kazi
Barua rasmi ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
-kujadili vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi kama : anwanin, mtajo
-kusoma kielezo cha barua rasmi na kujibu maswali yake.
-kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi kwa kitafiti na kisakira mtandaoni au vitaboni
-Kujadili vipengele muhimu vya barua rasmi akizingatia ujumbe, muundo na lugha ipasavyo
-kusoma barua rasmi ya kuomba kazi na kujibu maswali yake
Je brua rasni ya kuomba kazi huzingatia nini?
Kisw sahihi gredi ya 9 uk wa 112-113
-matini ya mwali vifua vya kidijitali
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 114
Matini ya mwalimu
Kisakura Kitafiti Kieleza Kusoma kujadili
11 1
sarufi
Vinyume vya vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kutofautisha na vingine.
-kuambatanisha vihusishi na vinyume vyake katika jedwali
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi kwa kitafiti vitabuni
-kutaja mifano ya vinyume vya vihusishi ili kubaini na vingine.
Kuabatanisha katika jedwali vinyume na vihusishi vyake ipasavyo.
Je vinyume vya vihusishi ni vipi
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 115-116
Matini ya mwalimu
Mabongo
Vifaa vya kidijitari
Uk wa 116
Kutafuta kueleza Kuambatasha Orodha hakiki
11 2
Kusikiliza na kuzungumza
Uzungumzaji katika sherehe
Uzungumzanji katika sherehem
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
-kueleza maana ya kuzungumza katika sherehe.
-kujadili ujumbe unoaafikiuzungumzaji katika miktadha mbali mbali ya sherehe.
- kujadili vipengele muhimu unapozungumza katika sherehe na kuandika katika vitabu au vifaa vya kidijitali
-kuwasilisha mazungumzo katika vikundi ili wayatolee maoni
Mwanfunzi aelekezwe
Kueleza maana ya kuzungumza katika miktadha mbalimbali ya sherehe.
Kujadili ujumbe muhimu unaoafiki mikatadha mbali mbali katika sherehe.
-Kuzingatia vipengele vya kuzingatia katika uzungumzanji katika sherehe pamoja na wenzake katika ili watolee maoni
Je ni vipengele vipi unavyozingatia unapozungumza katika sherehe
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 118-119
Matini ya mwalimu
picha
michoro
Kiswahili sahili gredi 9 uk wa 119
Matini ya mwalimu
mwanfunzi
Kueleza Kutambua Kujadili Orodha hakiki
11 3
kusoma

Kusoma kwa mapana Matini ya kujichagulia

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwaisho wa mada ndogo mwanfunzi aweze.
-kutambua matini mbali mbali anazoweza kusoma kwa kujichagulia
-kutambua vipengele vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kujisomea.
-ateue matini ifaayo ya kujisomea kama sayansi, historia , fasihi au michezo.
-kuchangamkia kusoma na kuchambua misamiati uliotumika kisha kuutungia sentensi.
Mwanafunzi aelezwe.
Kutambua matini mbalimbali anazoweza kusoma aidha katika mtandao au vitabuni.
-kutambua vipengele muhimu vya kuzingatia wakati wa kuchagua matini ya kijisomes.
-kuteua matini ifaayo ili kujisomea akizingatia, kiwango cha uelewa, lugha iliyotumika, inayomuutia.
-kuchangamkia kusoma na kuchambua msamiati uliotumika katika matini hizo kisha kutunga sentensi ama kusomea wenzake ili watathmini
Je unaposoma matini ya kujichagulia unazingatia nini
Kisw sahihi
Gredi ya 9 uk wa 119-120
-matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitari
Mwanfunzi
novela
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 121
Matini ya mwalimu
kamusi
Kutambua Kuchagua Kuteua Kusoma Kuchambua msamiati Kutunga sentensi
11 4
kuandika
sarufi
Insha za kubuni (maelezo)
Mnyambuliko wa vitenzi Kauli ya kutendana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze
-kusakira mtambaoni au vitabuni na vielelezo vya insha za maelezo na kuchambua mitazamo mbalimbali katika insha hizo.
-kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu suala lengwa akizingatia mitazamo inayostahili ili kutathmini uelewa
Mwanfunzi aelekezwe.
-kusakira na kutafiti mtandaoni au vitabuni vielekezo mbali mbali vya insha ya maelezo ili kuteua mitazamo mbali mbali iliyotumika.
-kuchangamkia kuandaika insha ya maelezo kuhusu suals lengwa akizingatia ili kutathmini uelewa.
Je ni mitazamo ipi inayotiwa katika insha ya maelezo?
Kisw sahili gredi 9
Uk wa 122-123
Matini ya mwlimu
Vifaa vya kidijitali
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 124
Kamusi
Mabango
michoro
Kisakura Kitafiti Kusoma Kuandika insha ya maelezo
12 1
sarufi
Kauli ya kutendeana
Mnyabuliko wa vitenzi kauli ya kutendesha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aelekezwe na aweze
-kueleza maana ya kauli ya kutendeana
-kutaja mifano ya nomino katika kauli ya kutendeana na kueleza viambishi vya kauli ya kutendeana.
-kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kifungu.
-kuchangamkia kuandika vitenzi na sentensi ya kutendeana
Kueleza maana ya kauli ya kutendeana akitumia kamausi au mtandao
Kutaja vitenzi katika kauli ya kutendeana ili kuuibadilisha.
Kutambua kwa kupigia mstari viambishi vya kauli ya kutendeana katika sentensi na kufungucha maneno ipasavyo.
-kuandika vitenzi na kutunga sentensi katika kauli ya kutendeana ili kutathmini
Je viabishi vya kauli ya kutendeana ni vipi
Access
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 126-127
Matini ya mwalimu
Kamusi
Vifaa vya kidijitari
mabango
Kisw sahili gredi ya 9 uk 127-129
Matini ya mwalimu kamusi vifaa vya kidijitali mabango picha
Kueleza Kutaja Kutambua Kutinga Sentensi Kujaza pengo kusoma
12 2
Kusikiliza na kuzungumza
Matini ya kusikiliza

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze.
-Kueleza maona ya matini ya kusikiliza
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika matini ya kusikiliza.
-kusikiliza matini atakayosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali yake ipasavyo kuhusu suala lengwa ili kutoa maoni
Mwanfunzi aelekezwe
-kusakira na kueleza maana ya matini ya kusikiliza
- kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika uzikilizaji
-kusikiliza matini atakayosomewa na mwalimukisha kujibu maswali yake ipasavyo na kutolea maoni
Je vipengele vya usikilizaji ni vipi?
Kisw
Sahili
Gredi ya 9 uk wa 129-130
Matini ya mwalimu vifua vya kidijitari
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 131-132.
Matini ya mwalimu vifaa vya kidigitari
Kueleza Kujadili Kuandika Kusikiliza Kujibu maswali
12 3
kuandika
Hotuba ya kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- ndogo .
-kueleza maana ya hotumba ya kishawishi ili kutofautisha na zingine.
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kishwawishi.
-kusoma kielezo cha hotuba yakushawishi huku akizingatia vipengele vya kushawishi vilivyotumika.
-kujadili vidokeza vya kuandika hotumba ya kushawishi kuhusu suala lengwa
Mwanfunzi aelekezwe
-kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kutofautisha na zingine
Kujadili pamoja na wenzake vipengele vinavyozingatiwa katika uandishi wa hotumba ya kushawioshi
-kusoma kielezo cha hotuba ya kushawishi akichambua vipengele vilivyotumika
-kujadili vidokezo muhimu vya kuudaamwanfunzi ili aandike hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa
Je vipengele vya kusingatia katika uandishi wa houmba ya kishawishi ni vipi?
Access
Kiswa sahili gredi ya 9 uk wa 133-134
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidigitari
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 135.
Kueleza Kujadili Kusoma kielelezo
12 4
Sarufi
Aina ya sentensi Sentensi tata
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwanfunzi aweze
-kusoma aina za sentensi ili kubainisha sentensi tata.
-kutoa sentensi zingine zenye maana Zaidi ya moja na kueleza maana ya sentensi tata
-kutambua sentensi tata katika matini mbali mbali.
-kuchangamkia kutunga sentensi tata na kuwasomea wenzano ili kutathmini uelewa.
- kusoma aina mbali mbali za sentensi si tata
-Kutaja sentensi tata ili kueleza maana na kuzitofautisha baina ya zingine.
kutambua na kuziandika sentensi tata katika matini mbali mbali.
Kuchangamkia Kutunga sentensi tata na kuwasomes wenzao ili Kutathmini uelewa
Je sentensi tata zina maana gani?
Kisw sahili
Gredi ya 9 uk wa 136-137
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidigitali
Picha na michoro
Kusoma ili kubainisha Kutaja sentensi Kutambua Kutunga sentensi kutathmini

Your Name Comes Here


Download

Feedback