Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
UTUNZAJI WA WANYAMA

Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za kubuni: masimulizi
Semi: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi
-Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kutambua mada ya insha
-Kujadili vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi
Unafaa kufanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 43
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 37
-Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi -Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
2 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa kina: ushairi
Kihusishi 'na'
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi
-Kueleza sifa za arudhi na mashairi huru
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi lingine kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kutambua beti, mishororo, vina, mizani na vipande katika shairi
-Kujadili sifa za ushairi huru na ushairi wa arudhi
Unavutiwa na nini unaposoma shairi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 41
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 47
-Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi -Kueleza sifa za arudhi na mashairi huru
2 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za kubuni: masimulizi
Semi: vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama
-Kuzingatia vidokezo, wahusika, ujumbe na muundo ufaao
-Kuandika nakala safi ya insha
Wahusika wanasaidiaje katika uwasilishaji wa ujumbe katika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 45
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 51
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
2 4
UTUNZAJI WA MALIASILI

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa ufasaha
Nyakati na hali: -ki -ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
-Kusoma kwa kasi ifaayo
-Kuchangamkia usomaji bora

-Kujadili mambo ya kuzingatia katika usomaji wa kifungu
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
-Kusoma kifungu kwa kiwango kifaacho cha sauti
Je, unaposoma kifungu chochote unazingatia mambo gani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 57
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 62
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -Kusoma kifungu kwa kiwango kifaacho cha sauti
3 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za kubuni: masimulizi
Semi: nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
-Kueleza matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili
-Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi
-Kutambua matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi
-Kujadili matumizi ya lugha ya kitamathali na matendo ya wahusika
Je, unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 60
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 54
-Kutambua matumizi ya lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi -Kueleza matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi
3 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa ufasaha
Nyakati na hali: -ka -ya kufuatana kwa vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kusoma kwa kuzingatia ishara za mwili
-Kusoma kwa kuwasiliana na hadhira
-Kuchangamkia usomaji bora

-Kusoma kifungu kwa kuzingatia ishara za mwili
-Kusoma kifungu kwa kuwasiliana na hadhira
-Kutambua makosa wakati wa kusoma
-Kufanya marekebisho wakati wa kusoma
Ni vipengele gani vya kuzingatia katika usomaji wa ufasaha?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 58
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 64
-Kusoma kwa kuzingatia ishara za mwili -Kusoma kwa kuwasiliana na hadhira -Kutambua na kurekebisha makosa ya usomaji
3 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za kubuni: masimulizi
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi ukizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari yanayofaa
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili
-Kujadili kuhusu mambo yanayofaa kutumika katika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi kuhusu utunzaji wa maliasili
Ni mandhari gani yanayofaa kutumika katika insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 61
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 70
-Kutambua mandhari katika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi ukizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari yanayofaa
3 4
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa ufahamu
Hali za masharti: hali ya masharti -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
-Kupanga matukio yanavyofuatana
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya ufahamu

-Kusoma kifungu cha ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia
-Kutambua habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
-Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
Kwa nini tunasoma kifungu cha ufahamu?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 73
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 79
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu
4 1
Kuandika
Insha za kiuamilifu: shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya shajara
-Kutambua vipengele vya shajara
-Kuchangamkia uandishi wa shajara

-Kutambua maana ya shajara
-Kusoma kielelezo cha shajara
-Kujadili vipengele vya shajara
-Kujadili umuhimu wa shajara
Kwa nini watu hutumia shajara?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 76
-Kueleza maana ya shajara -Kutambua vipengele vya shajara
4 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ufahamu wa kusikiliza
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza
-Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza ukizingatia vipengele vyake
-Kuchangamkia kusikiliza kwa ufahamu

-Kusikiliza ufahamu kuhusu mitazamo hasi ya kijinsia
-Kujadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza
-Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza ukizingatia vipengele vyake
Je, kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 72
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 75
-Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza -Kushiriki katika ufahamu wa kusikiliza ukizingatia vipengele vyake
4 3
Sarufi

Hali za masharti: hali ya masharti -ngali-

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-
-Kutumia hali ya masharti -ngali
-ipasavyo
-Kuchangamkia matumizi ya hali ya masharti -ngali-

-Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-
-Kutumia hali ya masharti -ngali
-katika sentensi
Ni tofauti gani kati ya hali ya masharti -nge -na -ngali-?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 82
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 78
-Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali- -Kutumia hali ya masharti -ngali -ipasavyo
4 4
USALAMA BARABARANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa kufasiri

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri
-Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kufasiri
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri

-Kusikiliza matini kuhusu usalama barabarani
-Kutambua misimamo mbalimbali katika matini iliyosikilizwa
-Kutoa maoni kuhusu misimamo hiyo
-Kujadili namna ya kutambua misimamo mbalimbali
Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kusikiliza?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 85
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 88
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri -Kutambua vipengele vya kusikiliza kwa kufasiri
5 1
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya namna
Insha za kubuni: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya namna
-Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna

-Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna
-Kutambua vielezi vya namna katika sentensi
-Kutumia vielezi vya namna katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya namna
Ni vielezi vipi unavyojua?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 93
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 90
-Kutambua vielezi vya namna -Kutumia vielezi vya namna ipasavyo
5 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa kufasiri
Kusoma kwa kina: dhamira katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua misimamo mbalimbali katika matini
-Kusikiliza matini na kutoa maoni yake kuhusu misimamo mbalimbali
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kufasiri

-Kusikiliza matini kuhusu usalama barabarani
-Kuchambua misimamo mbalimbali katika matini hiyo
-Kutoa maoni yake kuhusu misimamo katika matini
-Kujadili athari za misimamo katika matini
Je, ni misimamo ipi iliyopo katika matini kuhusu usalama barabarani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 86
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 89
-Kutambua misimamo mbalimbali katika matini -Kusikiliza matini na kutoa maoni yake kuhusu misimamo mbalimbali
5 3
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya wakati
Insha za kubuni: methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya wakati
-Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya wakati

-Kusoma sentensi zenye vielezi vya wakati
-Kutambua vielezi vya wakati katika sentensi
-Kutumia vielezi vya wakati katika sentensi
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya wakati
Vielezi hutumiwa vipi katika matumizi ya lugha?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 95
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 92
-Kutambua vielezi vya wakati -Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo
5 4
HUDUMA KATIKA ASASI ZA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa kutathmini
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini

-Kusikiliza mazungumzo kuhusu huduma katika asasi za kijamii
-Kutambua vipengele vya kuzingatia wakati wa kusikiliza kwa kutathmini
-Kujadili maana ya kusikiliza kwa kutathmini
Unazingatia nini ili kutambua ikiwa mzungumzaji anasema ukweli?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 99
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 103
-Kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini
6 1
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya mahali
Insha za kubuni: maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua vielezi vya mahali
-Kutumia vielezi vya mahali ipasavyo katika matini
-Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya mahali

-Kutambua vielezi vya mahali katika picha na sentensi
-Kujadili maana ya vielezi vya mahali
-Kutaja mifano ya vielezi vya mahali
-Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi vya mahali
Ni mahali gani panaweza kutajwa kwa kutumia vielezi vya mahali?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 109
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 106
-Kutambua vielezi vya mahali -Kutumia vielezi vya mahali ipasavyo
6 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa kutathmini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutathmini ujumbe wa mzungumzaji
-Kutathmini mtazamo wa mzungumzaji
-Kuchangamkia kusikiliza kwa kutathmini

-Kusikiliza mazungumzo kuhusu huduma katika asasi za kijamii
-Kutathmini ujumbe unaojitokeza katika mazungumzo
-Kutathmini mtazamo wa wahusika mbalimbali
-Kueleza maoni yake kuhusu mambo yanayozungumziwa
Je, mtazamo wa mzungumzaji unakubalika kiasi gani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 101
-Kutathmini ujumbe wa mzungumzaji -Kutathmini mtazamo wa mzungumzaji -Kueleza maoni yake kuhusu ujumbe na mtazamo wa mzungumzaji
6 3
Kusoma
Sarufi
Ufupisho
Vielezi vya idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kujadili vipengele vya ufupisho
-Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
-Kuchangamkia ufupisho wa habari za kifungu

-Kusoma kifungu kuhusu huduma katika asasi za kijamii
-Kutambua habari kuu za kila aya
-Kufupisha habari za kifungu kwa sentensi mojamoja kwa kila aya
-Kuandika ufupisho wa kifungu chote
Ni vipengele vipi vya kuzingatia katika kufupisha habari za kifungu?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 105
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 111
-Kujadili vipengele vya ufupisho -Kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho
6 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za kubuni: maelezo
Uzungumzaji wa kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo
-Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo
-Kuchangamkia uandishi wa insha za maelezo

-Kujadili jinsi insha ya maelezo inavyochangia katika kushawishi, kuburudisha, kupasha habari au kufunza
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia
-Kuandika insha ya maelezo kuhusu kutoa huduma katika asasi za kijamii
-Kutumia lugha inayoathiri hisia ya msomaji
Unapotoa maelezo kuhusu jambo fulani, utatumia aina gani za maneno ili maelezo yako yaathiri hisia?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 108
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 116
-Kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia -Kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo
7

Tathmini ya likizo fupi

8

Likizo fupi

9 1
MISUKOSUKO YA KIJAMII

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa kina: mandhari katika shairi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya U-ZI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza maana ya mandhari katika fasihi
-Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi kuhusu misukosuko ya kijamii
-Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi
-Kueleza umuhimu wa mandhari katika shairi
Je, mashairi uliyowahi kusoma yana mandhari ya aina gani?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 119
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 126
-Kueleza maana ya mandhari katika fasihi -Kutambua mandhari mbalimbali katika shairi
9 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Viakifishi: mabano
Uzungumzaji wa kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya mabano
-Kutumia mabano ipasavyo
-Kuchangamkia matumizi ya mabano katika maandishi

-Kutambua alama ya mabano
-Kusoma sentensi zenye mabano
-Kujadili matumizi ya mabano
-Kutumia mabano ipasavyo katika sentensi
Je, mabano hutumiwa vipi katika matini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 122
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 118
-Kutambua matumizi ya mabano -Kutumia mabano ipasavyo
9 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa kina: mandhari katika shairi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya YA-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi
-Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari
-Kuchangamkia usomaji wa mashairi

-Kusoma shairi kuhusu misukosuko ya kijamii
-Kutambua vipengele vya muundo kama vile beti, mishororo, mizani, vina, vipande na mshororo wa mwisho
-Kuchambua muundo wa shairi
Vipengele vya muundo katika shairi vinahusu nini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 120
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 130
-Kufafanua vipengele vya muundo katika shairi -Kuchambua shairi kwa kuzingatia mandhari na muundo
9 4
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Viakifishi: kistari kifupi
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua matumizi ya kistari kifupi
-Kutumia kistari kifupi ipasavyo
-Kuchangamkia matumizi ya kistari kifupi katika maandishi

-Kutambua alama ya kistari kifupi
-Kusoma sentensi zenye kistari kifupi
-Kujadili matumizi ya kistari kifupi
-Kutumia kistari kifupi ipasavyo katika sentensi
Je, kistari kifupi hutumiwa vipi katika matini?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 124
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 135
-Kutambua matumizi ya kistari kifupi -Kutumia kistari kifupi ipasavyo
10 1
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA BIASHARA

Kusoma
Sarufi
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
-Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha kushawishi
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya kushawishi

-Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho
-Kueleza maana ya msamiati kutoka kifungu hicho
Ni mambo gani unazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 137
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 143
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi -Kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha kushawishi
10 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za kubuni: masimulizi
Kusikiliza kwa kina: sauti j na nj
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua jinsi matukio yanavyofuatana baina ya aya za insha ya masimulizi
-Kutambua vipengele vinavyokuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
-Kuchangamkia uandishi wa insha za masimulizi

-Kusoma insha ya masimulizi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kujadili jinsi matukio yanavyofuatana baina ya aya
-Kutambua vipengele vilivyotumika kukuza wazo baina ya aya
Je, unawezaje kulikuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 140
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 136
-Kutambua jinsi matukio yanavyofuatana baina ya aya za insha ya masimulizi -Kutambua vipengele vinavyokuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
10 3
Kusoma
Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi
-Kufupisha kifungu cha kushawishi kwa aya moja
-Kuchangamkia usomaji wa vifungu vya kushawishi

-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
-Kufupisha kifungu hicho kwa aya moja
-Kueleza funzo linalojitokeza katika kifungu hicho
Je, kifungu hicho kinatumia mbinu zipi za kushawishi?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 139
-Kueleza ujumbe wa kifungu cha kushawishi -Kufupisha kifungu cha kushawishi kwa aya moja
10 4
Sarufi
Kuandika
Ngeli na upatanisho wa kisarufi: ngeli ya KU
Insha za kubuni: masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU katika sentensi
-Kutambua nomino za ngeli ya KU
-Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya KU

-Kusoma sentensi zenye nomino za ngeli ya KU
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU
-Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya KU
-Kutumia nomino za ngeli ya KU katika sentensi
Ni hali gani katika mazingira yako zinazoweza kuundiwa majina yaliyo katika ngeli ya KU?
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 147
Kielelezo cha Kiswahili, Gredi ya Tisa, Kiswahili Mentor, UK 142
-Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya KU -Kutambua nomino za ngeli ya KU -Kutumia nomino za ngeli ya KU kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
11 1
KUKABILIANA NA MSONGO WA MAWAZO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo,
-kujadili sifa za malumbano ya utani,
-kutambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani.
- Kueleza maana ya malumbano ya utani akiwa na mwenzake
-Kujadili sifa za malumbano ya utani akishirikiana na wenzake katika kikundi
-Kutambua vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
-Kusikiliza malumbano ya utani katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa au mwalimu na kutambua vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
-Ukurasa 155
Kutambua sifa za malumbano ya utani
11 2
Sarufi
Kuandika
Vinyume vya vihusishi
Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya vinyume vya vihusishi,
-kutambua vinyume vya vihusishi katika matini.
- Kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
-Kutambua matumizi sahihi ya vinyume vya vihusishi kutoka katika vitabu, tarakilishi au chati akiwa na wenzake au katika kikundi
-Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vihusishi kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
1. Ni vihusishi gani unavyovijua? -2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159
-Ukurasa 157
Kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
11 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Mazungumzo: Malumbano ya utani
Kusoma kwa Kina: Wahusika katika shairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji,
-kuchangamkia uwasilishaji wa malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji.
- Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wake
-Kuwaeleza wenzake namna ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji
-Kumweleza mzazi au mlezi jinsi ya kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji
Malumbano ya utani huzungumzia nini?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 152
-Ukurasa 155
Kuwasilisha malumbano ya utani kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi
11 4
Sarufi
Kuandika
Vinyume vya vihusishi
Barua ya kuomba kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini,
-kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo vinyume vya vihusishi.
- Kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya vinyume vya vihusishi akishirikiana na wenzake
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zenye vihusishi na vinyume vyake vinavyotokea katika mazingira ya nyumbani
1. Ni vihusishi gani unavyovijua? -2. Ni mambo gani yanayoonyeshwa na vinyume vya vihusishi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 159
-Ukurasa 157
Kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini
12 1
HAKI ZA KIBINADAMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Uzungumzaji katika sherehe
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe,
-kutambua miktadha katika jamii ambapo uzungumzaji katika sherehe hufanywa,
-kujadili ujumbe tofautitofauti unaoafiki uzungumzaji katika miktadha mbalimbali ya sherehe.
- Kueleza maana ya uzungumzaji katika sherehe akishirikiana na wenzake
-Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo uzungumzaji katika miktadha ya sherehe hufanywa akishirikiana na wenzake
-Kusakura katika mtandao kutafiti ujumbe unaoafiki uzungumzaji katika miktadha mbalimbali ya sherehe akishirikiana na wenzake
-Kusikiliza uzungumzaji wa aina mbalimbali kutoka kwenye vifaa vya kidijitali, mwalimu au mgeni mwalikwa na kubainisha ule unaohusu muktadha ya sherehe
Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuzungumza katika muktadha wa sherehe?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 164
-Ukurasa 166
Kutambua miktadha ya uzungumzaji katika sherehe
12 2
Sarufi
Kuandika
Mnyambuliko wa vitenzi
Insha za Kubuni: Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kutambua viambishi vya kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha katika vitenzi,
-kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana ipasavyo katika matini.
- Kutambua katika vitenzi, viambishi vya kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake
-Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendana kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi akiwa na mwenzake
-Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendana katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
-Kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendana akishirikiana na wenzake
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 170
-Ukurasa 167
Kutambua viambishi vya kauli ya kutendana
12 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Uzungumzaji katika sherehe
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uzungumzaji katika muktadha wa sherehe,
-kutoa mazungumzo katika muktadha wa sherehe kwa kutumia vipengele vifaavyo,
-kuchangamkia mazungumzo yafaayo katika miktadha ya sherehe.
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza katika miktadha ya sherehe akiwa na wenzake
-Kuigiza uzungumzaji katika miktadha ya sherehe huku akizingatia vipengele vya uwasilishaji wa uzungumzaji wa aina hii
Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuzungumza katika muktadha wa sherehe?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 164
-Ukurasa 166
Kuwasilisha mazungumzo katika muktadha wa sherehe
12 4
Sarufi
Mnyambuliko wa vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi,
-kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini,
-kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini ili kufanikisha mawasiliano.
- Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeana na kutendesha katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
-Kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake
-Kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akishirikiana na wenzake
-Kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha watoe maoni yao
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Tisa
-Ukurasa 170
Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha

Your Name Comes Here


Download

Feedback