If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kusoma; Kusoma kwa kina- Novela
Kusoma kwa kina- Novela |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela. B. Kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi. C. Kuchangamkia kusoma novela. |
Mwanafunzi aweze kutumia kamusi au mtandao kutafuta maana ya novela.
Mwanafunzi kueleza kuhusu kitabu kilichoandikwa katika kitabu cha mwanafunzi |
Unafurahia kusoma vitabu gani vya hadithi?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 35-37
Kamusi Michoro na picha stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 36-37 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 2 |
Uhuru wa Wanyama
|
Kuandika; Insha za kubuni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kujadili mada mbalimbali za kuandika insha ya kubuni kuhusu wanyama. B.Kueleza ujumbe wa insha yao itakuwa upi. C. Kuonea fahari insha za kubuni. |
Wanafunzi kujadiliana mada mbalimbali za kuandika insha ya kubuni kuhusu wanyama.
Mwanafunzi kueleza ujumbe wa insha yao itakuwa upi |
Ni kisa gani unachoweza kuandika insha ya kubuni?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 37
Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 3 |
Uhuru wa Wanyama
|
Sarufi; Aina za nomino: Nomino za wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kutambua nomino za wingi katika kapu maneno. B. Kuandika nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani. C. Kuonea fahari nomino za wingi. |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za wingi katika kapu maneno.
Mwanafunzi nomino za wingi za vitu vinavyopatikana shuleni au nyumbani i aweze kuandika |
Ni vitu gani unavyojua ambavyo hupatikana katika wingi tu?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 38-39
Kapu maneno Kamusi |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 2 | 4 |
Uhuru wa Wanyama
|
Aina za nomino: Nomino za wingi
Nomino za vitenzi-jina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kutunga sentensi akitumia nomino za wingi. B. Kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama. C. Kuchangamkia kutumia nomino za wingi. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za wingi.
Mwanafunzi kutumia nomino za wingi kuandika aya ya maneno hamsini kuhusu uhuru wa wanyama. |
Unatumia vipi nomino za wingi?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39
Kapu maneno Chati Kamusi KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 39-41 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Uhuru wa Wanyama
Aina za Maliasili |
Nomino za vitenzi-jina
Kusikiliza na kuzungumza; Nyimbo za watoto |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kutunga sentensi akitumia nomino za vitenzi-jina B. Kutumia nomino za vitenzi-jina kuandika aya ya maneno. C. Kuchangamkia kutumia nomino za vitenzi-jina. |
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za vitenzi-jina.
Mwanafunzi kutumia nomino za vitenzi-jina kuandika aya ya maneno |
Unatumia vipi nomino za vitenzi-jina?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 41
Kapu maneno Mabango Kamusi KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 43-44 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za watoto
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kutaja sifa za nyimbo za watoto. B. Kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto. Kuimba nyimbo moja ya watoto. C. Kufurahia kuimba nyimbo za watoto. |
Mwanafunzi aweze kutaja sifa za nyimbo za watoto.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi kujadili namna ya kuwasilisha nyimbo za watoto. Mwanafunzi kuimba nyimbo moja ya watoto. |
Unapoimba nyimbo za watoto, unazingatia mambo gani ili mtoto atulie au kulala?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44
Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Nyimbo za bembelezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto. B. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. C. Kuchangamkia kuimba nyimbo bembelezi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo unazozijua katika jamii yao ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto.
Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, ni nyimbo gani unazozijua katika jamii yako ambazo huimbwa kumbembeleza mtoto?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 44-45
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 45-46 Kapu maneno Chati Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 4 |
Aina za Maliasili
|
Kusoma; Kusoma kwa ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. B. Kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu C. Kufurahia kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi.
Wanafunzi waweze kuhesabu idadi ya maneno katika kifungu |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 46-47
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Aina za Maliasili
|
Kusoma kwa ufasaha
Kuandika; Insha za kubuni- Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa. B. Mwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani. C. Kufurahia kuigiza watangazaji. |
Mwanafunzi aweze kusikiliza mwanahabari akitangaza taarifa.
Mwanafunzi kumwigiza mtangazaji huyo mbele ya wenzake darasani |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 47
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 48-49 Kapu maneno Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 2 |
Aina za Maliasili
|
Insha za kubuni- Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
A. Kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi. B. Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. C. Kufurahia kuandika insha za masimulizi. |
Mwanafunzi kueleza umuhimu wa wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia lugha, wahusika na mandhari. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Stadi za Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 49-50
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 50-51 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 3 |
Aina za Maliasili
|
Wakati uliopita
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita. B. Kutumia wakati uliopita katika sentensi. C. Kuchangamkia matumizi ya wakati uliopita. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita.
Mwanafunzi kutumia wakati uliopita katika sentensi. |
Ni kipande gani cha neno kinachowakilisha wakati?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 51-52
Kamusi Majarida Michoro na picha stadi za kiswahili gredi ya 6 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 4 |
Aina za Maliasili
Unyanyasaji wa Kijinsia |
Wakati ujao
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao. B. Kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao. C. Kuchangamkia matumizi ya wakati ujao. |
Mwanafunzi aweze kutambua vitenzi kwenye kifungu katika wakati ujao.
Mwanafunzi kutumia vitenzi ili kuunda sentensi kuonyesha wakati ujao. |
Unatumia vipi wakati ujao?
|
Stadi za kiswahili
Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
Kusoma kwa ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo. B. Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. C. Kufurahia kuigiza mazungumzo. |
Wakiwa wawili, wanafunzi kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo.
Wakiwa katika vikundi, kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. |
Je, ni maamkuzi na maagano gani yanayotumika katika jamii yako?
|
Stadi za kiswahili
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 58-60 Kapu maneno Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 2 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kueleza maana ya insha ya maelezo. B. Kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni. C. Kutathmini umuhimu wa maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo.
Wakiwa katika vikundi au wawili, wanafunzi waweze kuelezea mwenzake jinsi ya kufika shuleni kutoka sokoni |
Je, unaweza kumueleza vipi rafiki yako kufika nyumbani kwenu ili asipotee?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 61-62
Kamusi Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 3 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kuandika; Insha ya maelekezo
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo hali ya kuendelea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kutambua aina za insha za maelezo. B. Kutambua sifa za insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelekezo. C. Kufurahia kuandika insha ya maelezo. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua aina za insha za maelezo
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kutambua sifa za insha ya maelezo. Wanafunzi kuandika insha ya maelekezo. |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 62-63
Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 63-64 Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 4 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita hali ya kuendelea
Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. B. Kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea. C. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopita hali ya kuendelea |
Je, ulifanya nini jana kabla ya kulala?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 64-65
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
Usalama shuleni
|
Kusikiliza na Kuzungumza- Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kutambua masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza. B. Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza. C. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa kusafiri. |
Wakiwa wawili, wanafunzi waweze kutambua masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza
Wanafunzi waweze kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza |
Ni mambo gani unayoyazingatia unapofafanua habari unaposikiliza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 67-68
Kapu maneno Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 2 |
Usalama shuleni
|
Kusoma kwa kina; Maudhui na dhamira
Kuandika; Insha za masimulizi kutokana na picha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, A. Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi. B. Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. C. Kujadiliana maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma. D. Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aweze, kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
Mwanafunzi, aweze kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma |
Vitabu vya hadithi ulivyowahi kusoma vinazungumiza nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 68-69
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 69-72 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 3 |
Usalama shuleni
|
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza tofauti kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. Kuigiza vitendo mbalimbali, k.v. ruka, Tembea, cheza, cheka, andika. Kutathmini matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza tofauti kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Mkiwa wawili, wanafunzi kuigiza vitendo mbalimbali, k.v. ruka, Tembea, cheza, cheka, andika |
Vitenzi ni nini?
|
Stadi za kiswahili Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 72-73
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 4 |
Usalama shuleni
Kuhudumia Jamii Shuleni |
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. |
Wanafunzi, kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi
Wanafunzi waweze kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi |
Kuna tofauti gani kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 73-74
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 |
Tathmini ya likizo fupi |
||||||||
| 8 |
Likizo fupi |
||||||||
| 9 | 1 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu
Kusoma; Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa makini. Kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali. Kutathmini umuhimu wa kusikiliza kwa makini |
Mwanafunzi aweze, kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa makini
Mwanafunzi aweze kusikiliza kifungu atakachosomewa na mwalimu kisha kujibu maswali |
Je, kusikiliza kwa makini kuna faida gani?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75-76
Kapu maneno Mabango Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 2 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kusoma; Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kuandika kifungu hicho katika ufupisho. Kutathmini umuhimu wa ufupisho. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kuandika kifungu hicho katika ufupisho |
Unaondoa nini katika habari ili kuitoa kwa ufupi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77-78
Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 3 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kuandika; Insha ya kubuni- Maelezo
Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya insha ya maelezo. Kutambua matumizi ya msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo. Kuandika insha ya maelezo. Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya insha ya maelezo
Mwanafunzi aweze kutambua matumizi ya msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo |
Je, ni jambo gani ambalo umewahi kumweleza mtu?
Ni lugha ya aina gani uliyotumia ili kuwasilisha picha kamili?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 79-80
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 80-81 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
Ulanguzi wa Binadamu |
Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi
Kuzungumza ili kupasha habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza matumizi ya vitenzi vishirikishi katika matini. Kutunga kifungu kifupi kuhusu Kuhudumia jamii shuleni. Tumia vitenzi vishirikishi. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vishirikishi. |
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya vitenzi vishirikishi katika matini
Mwanafunzi aweze kutunga kifungu kifupi kuhusu Kuhudumia jamii shuleni. Tumia vitenzi vishirikishi |
Kuna aina gani za vitenzi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 81-82
Kapu maneno Chati Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 83-84 Mabango Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kuzungumza ili kupasha habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja vipengele vya katika kuzungumza ili kupasha habari. Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Kufurahia kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi |
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya katika kuzungumza ili kupasha habari
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi waweze kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi |
Je, kuna Ukweli upi katika mazungumzo mliyoyaigiza?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 84-86
Kapu maneno Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 2 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kusoma kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya mandhari katika fasihi. Kueleza umuhimu wa mandhari ya novela. Kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela. Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya mandhari katika fasihi
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa mandhari ya novela Mwanafunzi aweze kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela |
Ni mazingira gani ya matukio yaliyokuvutia katika vitabu vya hadithi ambavyo umewahi kusoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 86-88
Kapu maneno Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 3 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kuandika; Viakifishi: Kiulizi
Kuandika; Viakifishi: Koma |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza matumizi ya kiulizi katika maandishi. Kuandika sentensi akitumia alama ya kiulizi. Kutumia kiulizi mahali panapofaa katika sentensi. Kuchangamkia matumizi ya kiulizi. |
Mwanafunzi aweze
kueleza matumizi ya kiulizi katika maandishi. Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia alama ya kiulizi Mwanafunzi aweze kutumia kiulizi mahali panapofaa katika sentensi |
Kiulizi hutumiwa vipi katika maandishi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91-92 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 4 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Sarufi; Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya A-WA |
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya A-WA zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kusoma ushairi, 'Ulanguzi gonjwa baya' kisha kutambua nomino za ngeli ya A-WA |
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya A-WA?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 93-94
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano |
Sarufi; Ngeli ya U-I
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-I |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya U-I?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 94-96
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 2 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/) Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) Kufurahia kutunga vitanzandimi zenye silabi /d/ na /nd/ |
Wanafunzi, kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/)
Wanafunzi waweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/d/ na /nd/) |
Je, ni maneno gani yenye sauti /d/ na /nd/?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 3 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu. Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu. Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu |
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101 Kapu maneno |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 4 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI
Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kuandika nomino za ngeli ya KI-VI zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi katika umoja na wingi kwa kutumia ngeli ya KI-VI Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya KI-VI |
Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya KI-VI zilizo kwenye kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze Kutunga sentensi katika umoja na wingi kwa kutumia ngeli ya KI-VI |
Ni vitu gani katika mazingira yako ya shuleni vilivyo katika ngeli ya K-VI?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104
Mabango Kamusi Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106 Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 1 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za kazi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani?
Je, unajua nyimbo gani za kazi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 2 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za dini. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za dini anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za dini huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani za dini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110
Kapu maneno Chati Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 3 |
Kuthamini
|
Kuandika; Barua ya kuomba msamaha
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha. Kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha. Kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi. Kutathmini umuhimu wa kuomba msamaha. |
Mwanafunzi aweze kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
Mwanafunzi aweze kutaja vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha Mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi ya kuomba rasmi |
Je, ni mambo gani ambayo yanaweza kukufanya uombe msamaha?
Utazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba msamaha?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117 Kapu maneno Mabango |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 4 |
Kuthamini
|
Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vinyume vya vivumishi katika fungu la maneno. Kutunga sentensi akitumia vinyume vya vivumishi. Kuchangamkia kutumia vinyume vya vivumishi. |
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya vivumishi katika fungu la maneno
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia vinyume vya vivumishi |
Je, unatumia vipi vinyume vya nomino?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118
Kamusi Majarida Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
Your Name Comes Here