If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 4 |
KAZI MBALIMBALI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kutazama picha na kutamka maneno yaliyo chini ya picha - Kuonyesha herufi py, vy na sh kwenye maneno hayo - Kusikiliza rekodi ya sauti py, vy na sh na kuzitamka - Kutaja maneno yenye sauti py, vy na sh |
Je, matamshi bora hufanikisha vipi mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 53
Picha Rekodi ya sauti py, vy, sh Herufi py, vy, sh Maneno yenye sauti lengwa Oxford Kiswahili Dadisi uk. 54 Orodha ya silabi na maneno Kifungu cha kusoma Rekodi ya silabi na maneno |
Kutamka sauti py, vy, sh
Kutambua sauti lengwa
Kutaja maneno yenye sauti
Tathmini ya matamshi
|
|
| 2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa katika kifungu - Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti lengwa - Kuchangamkia matamshi bora katika mawasiliano |
- Kusikiliza rekodi ya maneno kwenye kifaa cha kidijitali - Kutamka maneno yaliyosikilizwa kwa usahihi - Kusikiliza na kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh kutoka kwenye kifungu - Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti py, vy na sh kwa usahihi |
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno kwa usahihi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 55
Rekodi ya maneno Kifungu cha kusoma Orodha ya maneno |
Kutamka maneno
Kutambua silabi lengwa
Kusoma kifungu
Tathmini ya usomaji
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika |
- Kutazama picha na kutambua yaliyo kwenye picha - Kusoma kifungu "Ukulima bora" kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kwa sauti inayosikika - Kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh kwenye kifungu |
Je, utafanya mambo gani unaposoma ili uweze kusikika vizuri?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 56
Picha Kifungu "Ukulima bora" Orodha ya sauti lengwa |
Kutambua sauti lengwa
Kusoma kwa matamshi bora
Kusoma kwa sauti inayosikika
Tathmini ya usomaji
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano |
- Kusoma kifungu "Viwanda vyetu" kwa kuzingatia kasi ifaayo - Kusoma kifungu huku akitumia ishara zifaazo - Kutambua na kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh kwenye kifungu - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi |
Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa ufasaha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 57
Kifungu "Viwanda vyetu" Orodha ya maneno yenye sauti lengwa Oxford Kiswahili Dadisi uk. 58 Kifungu cha hadithi Orodha ya mambo ya kuzingatia wakati wa kusoma |
Kusoma kwa kasi ifaayo
Kusoma kwa ishara zifaazo
Kutambua maneno ya sauti lengwa
Tathmini ya usomaji
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya |
- Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya - Kunakili kifungu akizingatia pambizo na mwanzo wa kila aya - Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika - Kujadili kama amezingatia nafasi ya pambizo na aya |
Je, kwa nini tuzingatie nafasi za pambizo tunapoandika?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 59
Kifungu cha kunakili Karatasi za kuandika Orodha ya mambo ya kuzingatia |
Kunakili kifungu
Kuzingatia pambizo
Kuzingatia aya
Tathmini ya wenzake
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
|
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya |
- Kunakili kifungu kingine akizingatia pambizo na mwanzo wa kila aya - Kusahihisha kifungu chake kuhakikisha kila herufi, neno na sentensi zimeandikwa kwa usahihi - Kuwaonyesha wenzake kifungu alichoandika - Kurekebisha makosa yaliyotambuliwa |
Unazingatia mambo gani katika uandishi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 60
Kifungu cha kunakili Karatasi za kuandika Mfano wa kifungu kilichoandikwa vizuri |
Kunakili kifungu
Kuzingatia pambizo
Kusahihisha makosa
Kurekebisha kifungu
|
|
| 3 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Umoja na Wingi wa Sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kupanga mawazo ya kuandika kifungu - Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya - Kurekebisha makosa katika kifungu kilichoandikwa |
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 kuhusu Kazi Aliyopendayo - Kufikiria kuhusu yale ambayo atayaandika kwenye kifungu chake - Kuzingatia nafasi ya pambizo na mwanzo wa kila aya - Kuwapa wenzake kifungu alichoandika ili waitolee maoni |
Je, ni kazi gani unayopenda kufanya zaidi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 60
Karatasi za kuandika Mfano wa kifungu kilichoandikwa vizuri Oxford Kiswahili Dadisi uk. 61 Picha na sentensi Orodha ya sentensi za kusoma Vifaa vya kidijitali |
Kuandika kifungu
Kuzingatia pambizo
Kuzingatia aya
Tathmini ya wenzake
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua sentensi katika umoja - Kutunga sentensi katika umoja - Kuchangamkia kutumia umoja katika sentensi |
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia maneno yanayoonyesha umoja - Kuandika sentensi katika umoja kwa kutumia maneno aliyopewa - Kutunga sentensi katika umoja - Kuwasilisha sentensi alizopewa na wenzake watambue sentensi za umoja |
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 62
Sentensi za kujaza nafasi Orodha ya maneno ya kutunga sentensi Karatasi za kuandikia |
Kujaza nafasi
Kuandika sentensi za umoja
Kutunga sentensi za umoja
Tathmini ya wenzake
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Umoja na Wingi wa Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua sentensi katika wingi - Kutunga sentensi katika wingi - Kuchangamkia kutumia wingi katika sentensi |
- Kutazama picha na kusoma sentensi zilizoandikwa - Kutambua kama sentensi ziko katika umoja au wingi - Kutaja sentensi zilizo katika wingi kutoka sentensi alizosoma - Kusikiliza sentensi na kutambua zilizo katika wingi |
Je, unatambua vipi sentensi iliyo katika wingi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 63
Picha na sentensi Orodha ya sentensi za kusoma Vifaa vya kidijitali |
Kutambua sentensi za wingi
Kutaja sentensi za wingi
Kutofautisha umoja na wingi
Tathmini ya wanafunzi
|
|
| 4 | 1 |
USALAMA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza |
- Kusikiliza kifungu cha maneno 60-65 kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali - Kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza - Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichosikiliza |
Je, unazingatia mambo gani ili kuelewa mambo unayoelezewa?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 67
Kifungu cha kusikiliza Orodha ya msamiati Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi uk. 68 Picha Orodha ya maneno |
Kusikiliza kwa makini
Kutambua msamiati
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua msamiati unaohusu usalama katika kifungu alichosikiliza - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati unaohusu usalama - Kusimulia upya kifungu alichokisikiliza |
- Kusikiliza kifungu kutoka kwa mwalimu - Kujibu maswali kutoka kwenye kifungu - Kutaja maneno yanayohusiana na usalama katika kifungu hicho - Kutumia maneno hayo kutunga sentensi - Kusimulia upya kifungu alichokisikiliza |
Je, ni maneno gani yanayohusiana na usalama katika kifungu hiki?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 68
Kifungu cha kusikiliza Orodha ya maneno ya usalama Karatasi za kuandikia |
Kutambua msamiati wa usalama
Kutunga sentensi
Kusimulia upya kifungu
Kujibu maswali
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua picha zinazohusu usalama - Kueleza ujumbe kutoka kwenye picha na michoro - Kutambua msamiati wa usalama katika wimbo |
- Kutazama picha na michoro inayohusu usalama - Kujadili ujumbe unaopatikana katika picha hizo - Kusoma maelezo yaliyo chini ya michoro hiyo - Kusikiliza wimbo unaohusu usalama - Kutaja maneno yanayohusu usalama kutoka kwenye wimbo |
Je, picha na michoro hii inatueleza nini kuhusu usalama?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 69
Picha zinazohusu usalama Wimbo wa usalama Vifaa vya kidijitali |
Kutambua picha za usalama
Kueleza ujumbe wa picha
Kutambua msamiati wa usalama
Kujibu maswali
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua msamiati kuhusu usalama katika kifungu chepesi cha ufahamu - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu |
- Kutazama picha na kutabiri ujumbe wa kifungu - Kusoma kifungu kwa ufahamu - Kueleza kama kifungu kinaambatana na utabiri wake - Kujibu maswali kutoka kwenye kifungu - Kutaja majina ya miezi ya mwaka yaliyotumika |
Je, kifungu hiki kinatueleza nini kuhusu usalama?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 70
Kifungu cha ufahamu Picha Orodha ya maswali Oxford Kiswahili Dadisi uk. 71 Orodha ya msamiati wa usalama Karatasi za kuandikia |
Kutambua msamiati wa usalama
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kutabiri na kuthibitisha
Kujibu maswali
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua alama ya kiulizi katika maandishi - Kueleza matumizi ya alama ya kiulizi katika maandishi - Kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi |
- Kutazama alama ya kiulizi - Kusoma sentensi na kutambua alama ya kiulizi - Kutambua sentensi zilizo na alama ya kiulizi kati ya sentensi aliyosoma - Kusoma kifungu na kutambua alama ya kiulizi |
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika uandishi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 72
Mchoro wa alama ya kiulizi Sentensi zenye alama ya kiulizi Kifungu chenye alama ya kiulizi |
Kutambua alama ya kiulizi
Kutofautisha sentensi zenye na zisizo na alama ya kiulizi
Kujadili matumizi ya alama ya kiulizi
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
|
Matumizi ya Kiulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kuandika alama ya kiulizi ipasavyo - Kueleza matumizi ya alama ya kiulizi katika maandishi - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo |
- Kuandika alama ya kiulizi kwenye daftari lake - Kueleza matumizi ya alama ya kiulizi - Kunakili kifungu chenye alama ya kiulizi - Kuonyesha wenzake alama ya kiulizi aliyoandika |
Unapaswa kuweka alama ya kiulizi wapi katika sentensi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 73
Alama ya kiulizi Kifungu chenye alama ya kiulizi Kadi zenye sentensi |
Kuandika alama ya kiulizi
Kunakili kifungu
Kutambua mahali pa kuweka alama ya kiulizi
Tathmini ya wenzake
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Matumizi ya Kiulizi
Matumizi ya -ake na -ao |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kuandika kifungu cha maneno kati ya 55-60 akitumia alama ya kiulizi ipasavyo - Kusahihisha matumizi ya alama ya kiulizi katika maandishi - Kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi |
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 kuhusu usalama - Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika kifungu hicho - Kusomea wenzake kifungu alichoandika ili waitolee maoni - Kuandika kifungu tena akizingatia maelezo ya wenzake |
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 73
Karatasi za kuandika Kifaa cha kidijitali Mfano wa sentensi zenye alama ya kiulizi Oxford Kiswahili Dadisi uk. 74 Picha Kifungu chenye maneno yenye -ake Sentensi zenye neno lenye -ake Rekodi ya wimbo |
Kuandika kifungu
Kutumia alama ya kiulizi
Kusahihisha makosa
Kurekebisha kifungu
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Matumizi ya -ake na -ao
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kutambua matumizi ya -ao katika kifungu - Kutumia -ao ipasavyo katika kifungu - Kufurahia matumizi ya -ao katika mawasiliano |
- Kutazama picha na kusoma maneno yanayotumiwa - Kutambua neno lenye -ao na kile kinachorejelewa - Kusoma ubeti wa shairi unaotumia neno lenye -ao - Kuandika sentensi zenye neno lenye -ao - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia neno sahihi |
Je, neno lenye -ao linatumika kurejelea nini?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 77
Picha Shairi lenye neno lenye -ao Sentensi zenye neno lenye -ao Karatasi za kuandikia |
Kutambua neno lenye -ao
Kutaja vitu vinavyorejelewa
Kuandika sentensi
Kujaza nafasi
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya -ake na -ao
Matamshi Bora Matamshi Bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, - Kulinganisha matumizi ya -ake na -ao katika sentensi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kuchangamkia matumizi ya -ake na -ao katika mawasiliano |
- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi zenye -ake na -ao - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia -ake au -ao - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kuimba wimbo wenye maneno yenye -ake na -ao |
Je, kuna tofauti gani kati ya matumizi ya -ake na -ao?
|
Oxford Kiswahili Dadisi uk. 79
Jedwali la umoja na wingi Sentensi za kukamilisha Sentensi za kubadilisha Rekodi ya wimbo Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 82 Kadi maneno Chati Mti maneno Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 83 Matini ya mwalimu Kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa |
Kulinganisha -ake na -ao
Kujaza nafasi
Kubadilisha umoja na wingi
Kutumia maneno
|
|
| 6 | 2 |
USAFI WA MAZINGIRA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/dh/, /th/, /ch/) katika matini. - Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha. - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kutazama video zenye maneno yaliyosilabi za sauti lengwa na kuzitamka kwa usahihi. - Kuigiza mazungumzo yakitumia maneno yenye sauti lengwa akiwa na wenzake. - Kutumia maneno yenye sauti lengwa kutunga sentensi sahihi. - Kukariri mashairi au nyimbo zenye maneno yaliyona sauti lengwa. |
Je, utafanya nini kuhakikisha unatamka maneno vizuri?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 84
Video za kidijitali Chati za maneno Mashairi na nyimbo Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 85 Matini ya usafi wa mazingira Vifaa vya kidijitali Kifungu chenye sauti lengwa |
- Kutamka maneno yenye sauti lengwa kwa usahihi
- Kutunga sentensi zenye maneno yaliyona sauti lengwa
- Kukariri mashairi au nyimbo zenye maneno yaliyona sauti lengwa
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Imla |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma hadithi fupi kuhusu usafi wa mazingira kwa zamu darasani. - Kufanya mazoezi ya kusoma hadithi kwa kasi ifaayo. - Kutambua na kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma (k.v. kupumzika, kupandisha sauti, kushuka sauti). - Kusoma kwa kuzingatia viakifishi kama vile kituo kikubwa, kituo kidogo na kiulizi. |
Je, viakifishi vina umuhimu gani katika usomaji?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 86
Hadithi fupi Vitabu vyenye hadithi Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 87 Rekoda za sauti Vifaa vya kurekodia Kifungu chenye sauti lengwa Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 88 Matini ya mwalimu Chati na kadi maneno |
- Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
- Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma
- Kuheshimu viakifishi wakati wa kusoma
|
|
| 6 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Imla
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo. - Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo. - Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi. |
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yatakayotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akizingatia kanuni za uandishi (k.v matumizi ya herufi kubwa na ndogo, tahajia, nafasi baina ya maneno). - Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia kanuni za uandishi zifaazo. |
Je, ni kanuni zipi za uandishi unazozingatia katika imla?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 89
Matini ya mwalimu Kiungo cha kusikiliza Imla iliyoandikwa Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 90 Karatasi ya kuandikia Matini ya imla Orodha ya maneno yenye sauti lengwa Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 91 Vitu vya rangi mbalimbali Picha na chati za rangi Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika kifungu cha imla kikamilifu
- Kuzingatia kanuni za uandishi katika imla
- Kusahihisha makosa katika imla aliyoandika
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano. - Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kufurahia kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kusoma sentensi zinazotumia maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi zenye matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu akiwa na wenzake. - Kuigiza matumizi ya maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu kwa kutumia vitu halisi. |
Je, maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu hutumiwa vipi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 92
Kadi maneno Matini ya mwalimu Sentensi zenye maneno husika Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 93 Picha za vitu vya rangi mbalimbali Mazoezi ya kuandika Maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu |
- Kutunga sentensi zenye maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
- Kujaza pengo kwenye sentensi kwa kutumia maneno husika
- Kutofautisha matumizi ya maneno husika
|
|
| 7 | 2 |
DUKANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Maagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maagizo mepesi yanayotolewa darasani. - Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani. - Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku. |
- Kutambua aina mbalimbali za maagizo kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kushirikiana na wenzake katika kutoa na kufuata maagizo mepesi kama vile "simama uende uufungue mlango". - Kutazama video ya jinsi ya kutoa na kufuata maagizo kutoka kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua aina mbalimbali za maagizo akiwa na wenzake. |
Je, ni kwa nini mtu hufuata yale anayoambiwa?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 97
Picha zenye maagizo Chati ya maagizo Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 98 Nyimbo na mashairi ya maagizo Vifaa vya kuigiza Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 99 Miundo mbalimbali ya maagizo Chati ya mchezo wa maagizo Wimbo wa maagizo |
- Kutambua maagizo mepesi
- Kutoa maagizo kwa usahihi
- Kufuata maagizo ipasavyo
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kutambua msamiati unaohusiana na duka katika kifungu chepesi cha maneno. - Kutazama picha inayohusiana na kifungu cha ufahamu na kutabiri kilichomo katika kifungu. - Kusoma kifungu chepesi cha maneno 65-70 na kutambua msamiati wa suala lengwa (k.v. duka, bidhaa, pesa, uza, nunua, chenji, mteja, muuzaji) akiwa na wenzake. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake. |
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 100
Kifungu cha ufahamu Picha zenye shughuli za dukani Kadi za msamiati wa dukani Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 101 Chati Picha Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 102 Vitabu vya hadithi fupi Picha zenye msamiati wa dukani |
- Kutambua msamiati wa suala lengwa
- Kueleza ujumbe wa kifungu kikamilifu
- Kutabiri kitakachotokea kutokana na picha
|
|
| 7 | 4 |
Kuandika
|
Uandishi wa Insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha. - Kuandika kisa cha kati ya maneno 85-90 kuhusu suala lengwa akizingatia kanuni za uandishi. - Kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi. |
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha (k.v. wahusika, ujumbe, muundo). - Kusikiliza kisa kikitolewa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kwenye kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa insha. - Kusoma kielelezo cha insha kwenye kitabu, chati au katika kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. |
Je, ni mambo gani tunazingatia katika uandishi wa insha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 103
Chati ya vipengele vya insha Kielelezo cha insha Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 104 Vipengele vya insha Vifaa vya kuandikia Mifano ya insha Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 105 Karatasi ya kuandikia Vitabu vya kusomea Marejeleo ya msamiati |
- Kutaja mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha
- Kuainisha sehemu za insha (kichwa, utangulizi, mwili, hitimisho)
- Kutambua vipengele vinavyofanya insha kuwa bora
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi. - Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi. - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi kama "Yeye haendi dukani" kutoka kwenye kitabu, picha, chati au kifaa cha kidijitali. - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi kwa kukipigia mstari. - Kujaza nafasi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja panapohitajika. |
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno haendi, hajafika, hajafagia?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 106
Vifaa vya kidijitali Kadi za sentensi Picha zenye vitendo Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 107 Mifano ya sentensi Kadi za mchezo wa kuambatanisha |
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja
- Kujaza pengo kwa ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Matamshi Bora Matamshi Bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi. - Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi. - Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi kama "Wao hawaendi dukani" kutoka kwenye kitabu, picha, chati au kifaa cha kidijitali. - Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi kwa kukipigia mstari. - Kujaza nafasi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi panapohitajika. - Kutunga sentensi na vifungu kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi ipasavyo kuhusu suala la dukani. |
Je, ukanushaji wa nafsi ya tatu, wingi hutumiwa vipi katika maongezi ya kila siku?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 109
Kitabu cha mwanafunzi Mifano ya ukanushaji Kadi za sentensi Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 112 Kadi maneno Picha za ndege Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 113 Picha zenye maneno ya sauti lengwa |
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi
- Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi
- Kutambua tofauti kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
|
|
| 8 | 3 |
NDEGE NIMPENDAYE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi zenye sauti lengwa (/mbw/, /nd/, /ny/) katika matini. - Kutamka maneno yenye silabi zenye sauti lengwa kwa ufasaha. - Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kusikiliza kifungu na kutambua sauti lengwa akiwa na wenzake. - Kusoma kwa sauti kifungu kifupi "Ndege Nimpendaye" kilicho na sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake. - Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa akisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi. |
Je, unazingatia nini unapotamka maneno?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 114
Kifungu cha hadithi Vifaa vya kurekodi Video za kusaidia matamshi Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 115 Kifungu cha hadithi kuhusu ndege Picha za ndege Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 116 Kifungu kuhusu "Viumbe wa Mungu" Orodha ya maneno yenye sauti lengwa |
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa kutunga sentensi
- Kutambua makosa katika matamshi ya sauti lengwa
- Kusoma kifungu kwa matamshi sahihi
|
|
| 8 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Tahajia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma kifungu mara kadhaa ili kuboresha kasi ya usomaji. - Kufanya mazoezi ya kutumia ishara za mikono na uso wakati wa kusoma. - Kujipima idadi ya maneno anayoweza kusoma kwa dakika moja. - Kubaini makosa ya usomaji na kuyasahihisha. |
Je, usomaji mzuri wa kifungu una sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 117
Hadithi fupi kuhusu ndege Saa ya kupima muda Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 118 Orodha ya maneno Kifaa cha kidijitali Mifano ya herufi |
- Kusoma kwa kasi inayofaa
- Kuheshimu alama za uakifishaji
- Kujisahihisha wakati wa kusoma
- Kuongeza kasi ya usomaji
|
|
| 9 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Tahajia
Matumizi ya neno hili na haya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua tahajia sahihi za maneno katika insha. - Kuandika insha akizingatia tahajia sahihi za maneno. - Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi. |
- Kutambua tahajia sahihi za maneno yanayohusu ndege katika kifungu mfano. - Kuchagua neno lililoandikwa vizuri kati ya maneno mawili yanayokaribiana kwa matamshi. - Kuandika maneno yenye tahajia sahihi kwa herufi nadhifu katika daftari lake. |
Je, unafanya nini kuepuka makosa ya tahajia katika maandishi yako?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 119
Kifungu cha maneno Chati ya maneno Picha za ndege Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 120 Mifano ya insha Vifaa vya kuandikia Kamusi ndogo Vifaa vya kidijitali Picha za vifaa |
- Kuchagua neno lenye tahajia sahihi
- Kuandika maneno kwa tahajia sahihi
- Kutofautisha maneno yenye tahajia zinazofanana
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matumizi ya neno hili na haya
Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya neno haya katika sentensi. - Kutumia neno haya ipasavyo katika sentensi. - Kuchangamkia matumizi ya neno haya katika mawasiliano. |
- Kutambua neno haya katika kifungu kilichoko kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake. - Kunakili kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na matumizi ya neno haya. - Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia matumizi ya neno haya ipasavyo na kuwasomea wenzake. |
Je, neno "haya" hutumiwa kurejelea nini?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 122
Picha za vitu vingi Chati ya sentensi zenye neno "haya" Kadi maneno Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 124 Mazoezi ya kuambatanisha Picha za vitu katika umoja na wingi Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 127 Picha za sokoni Chati za mazungumzo |
- Kutambua matumizi ya neno "haya" katika mawasiliano
- Kutumia neno "haya" ipasavyo katika sentensi
- Kutunga sentensi zenye neno "haya"
|
|
| 9 | 3 |
SOKONI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua suala lengwa linalozungumziwa. - Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo. - Kujieleza kwa ufasaha kuhusu suala lengwa. - Kutumia ishara zifaazo katika mazungumzo. - Kuchangamkia mazungumzo katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutamka maneno kwa kuzingatia matamshi yafaayo ya sauti mbalimbali. - Kueleza habari ambayo zinaleta maana na zenye kufuatana vizuri. - Kupandisha na kushusha sauti panapohitajika. - Kutumia ishara mbalimbali zinazohusiana na maelezo yake kuhusu suala lengwa. |
Je, ni nini kitatokea usipotumia ishara zifaazo wakati wa mazungumzo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 128
Mifano ya mazungumzo Picha za sokoni Video za mazungumzo Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 129 Hadithi kuhusu soko Picha za muuzaji na mnunuzi Vifaa vya kidijitali |
- Kuzingatia matamshi bora katika mazungumzo
- Kutumia ishara zinazofaa katika mazungumzo
- Kufuata miundo ya mazungumzo
|
|
| 9 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu. - Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu. - Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma. |
- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi kutoka kwenye chati, kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali. - Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano. - Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha akiwa na wenzake. |
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 129
Kifungu cha hadithi kuhusu soko Picha za shughuli za sokoni Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 130 Kitabu cha hadithi Chati ya msamiati Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 131 Kadi za msamiati wa sokoni Picha za bidhaa za sokoni Daftari la kuandikia |
- Kutambua msamiati wa suala lengwa
- Kutabiri matukio katika kifungu
- Kueleza ujumbe wa kifungu
|
|
| 10 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. - Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. - Kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao. |
- Kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi. - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi na kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho. - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye matini za aina mbalimbali na kufafanua ujumbe kupitia kwa wahusika. |
Je, unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 132
Mifano ya insha za masimulizi Picha Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 133 Chati ya wahusika Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 134 Vifaa vya kuandikia Picha za sokoni Mwongozo wa kutunga insha |
- Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi
- Kufafanua ujumbe wa insha kupitia utangulizi, kiini na hitimisho
- Kuandika mwongozo wa kutunga insha ya masimulizi
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Matumizi ya juu ya, ndani ya na mbele ya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua matumizi ya juu ya katika kifungu. - Kutumia juu ya ipasavyo katika kifungu. - Kuchangamkia matumizi ya juu ya katika tungo za kawaida. |
- Kutambua matumizi ya juu ya kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na mwenzake. - Kutunga sentensi akitumia juu ya. |
Je, neno "juu ya" hutumiwa vipi katika mawasiliano?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 134
Picha za vitu juu ya vingine Vifaa vya kidijitali Chati ya sentensi Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 136 Picha za vitu ndani ya vingine Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 139 Picha za vitu mbele ya vingine |
- Kutambua maneno yenye "juu ya" katika kifungu
- Kujaza pengo kwa kutumia "juu ya"
- Kutunga sentensi kwa kutumia "juu ya"
|
|
| 10 | 3 |
TEKNOLOJIA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua silabi za sauti lengwa (/mb/, /nz/, /tw/) katika maneno. - Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha. - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa ili kufanikisha mawasiliano. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kutambua silabi za sauti lengwa (/mb/, /nz/, /tw/) katika kadi maneno, chati, mti maneno au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali. - Kutamka maneno aliyosikiliza yenye sauti lengwa akiwa na wenzake. |
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 143
Kadi maneno Chati Mti maneno Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 144 Kadi za sentensi Kifungu chenye sauti lengwa |
Kutambua sauti /mb/, /nz/ na /tw/ katika maneno
Kutamka maneno yenye sauti lengwa kwa ufasaha
Kudokeza sentensi zenye sauti lengwa
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Matamshi Bora: Sauti mb, nz na tw
Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa ili kufanikisha mawasiliano. - Kujirekodi akisoma matini yenye sauti lengwa. - Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano. |
- Kujirekodi akisoma kifungu kilicho na maneno yaliyo na sauti lengwa. - Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi. - Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa kuzingatia silabi za sauti lengwa kwa matamshi bora. |
Je, ni kwa nini tunatumia matamshi bora tunapozungumza?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 145
Vifaa vya kidijitali Kifungu cha "Twiga na Nyani" Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 146 Picha za watu wanatumia vifaa vya kiteknolojia Kifungu cha "Vifaa vya kiteknolojia" Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 147 |
Kujirekodi na kujisikiliza akisoma kifungu
Kusahihisha makosa ya matamshi
Kutumia kiimbo kinachofaa
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Insha ya Maelezo Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa ufasaha. - Kutambua idadi ya maneno anayoweza kusoma kwa usahihi kwa dakika moja. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
- Kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo. - Kujua idadi ya maneno aliyosoma kwa dakika moja kwa kutumia kifaa cha kupima muda. - Kujaribu kusoma maneno zaidi kwa dakika moja. |
Je, unafanya nini ili kuboresha kasi ya kusoma kwako?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 148
Hadithi ya "Twiga nyuma ya mti" Kifaa cha kupima muda Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 149 Kielelezo cha insha ya "Kompyuta ya Kazuri" Chati ya muundo wa insha ya maelezo Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 150 Picha ya kompyuta Chati ya vipengele vya insha ya maelezo Karatasi za kuandikia |
Kusoma kifungu kwa ufasaha
Kubaini idadi ya maneno anayosoma kwa dakika moja
Kupima ufasaha wa usomaji
|
|
| 11 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia hatua za uandishi. - Kusomea wenzake insha aliyoandika. - Kuchangamkia kuandika insha ya maelezo ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano. |
- Kuandika insha ya maelezo kuhusu suala la teknolojia kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya maelezo. - Insha hii ifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi. - Kumsomea mzazi au mlezi insha ya maelezo aliyoandika. |
Je, ni hatua zipi unazozingatia unapoandika insha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 151
Karatasi za kuandikia Kielelezo cha hatua za uandishi wa insha Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha kuhusu teknolojia
Kuzingatia hatua za uandishi
Kusomea wenzake insha aliyoandika
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vinyume vya vitendo katika matini. - Kutamka vinyume vya vitendo kwa usahihi. - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kutambua vinyume vya vitendo (k.v. fungua-funga, keti-simama, twika-tua) kwenye chati, kitabu au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusikiliza kifungu chenye vinyume vya vitendo kikisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake. - Kusoma vinyume vya vitendo katika kifungu akiwa na wenzake. |
Je, unajua vinyume vipi vya vitendo?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 152
Picha zinazoonyesha vinyume vya vitendo Chati mbalimbali Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 153-154 Karatasi za kujaza nafasi Kadi za vitendo Kadi za vinyume vya vitendo |
Kutambua vinyume vya vitendo katika sentensi
Kutaja vinyume vya vitendo mbalimbali
Kuambatanisha vitendo na vinyume vyake
|
|
| 11 | 4 |
Sarufi
|
Vinyume vya Vitendo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutafuta vinyume vya vitendo katika kifungu. - Kuandika vinyume vya vitendo mbalimbali. - Kuchangamkia kutumia vitendo na vinyume vyake katika mawasiliano ya kila siku. |
- Kusoma kifungu chenye vinyume vya vitendo. - Kutafuta vinyume vya maneno katika kifungu alichosoma. - Kumtajia mzazi au mlezi vinyume vya maneno alivyojifunza darasani. |
Je, vinyume vya vitendo huchangia vipi katika utajiri wa lugha?
|
Oxford Kiswahili Dadisi Gredi ya 3 uk. 155
Kifungu cha "Umuhimu wa simu" Karatasi za kuorodhesha vinyume Karatasi za kutunga sentensi |
Kutafuta vinyume vya vitendo katika kifungu
Kuandika vinyume vya vitendo mbalimbali
Kutunga sentensi zenye vinyume vya vitendo
|
|
| 12 |
Midterm |
||||||||
Your Name Comes Here