Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Matunda na mimea
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.
Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Kutathmini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua maana mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.

Mwanafunzi aweze kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Je, nahau ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 100-102
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 2
Matunda na mimea
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.
Kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha mpachike chati hizo ukutani.
Kufurahia kutunga na kuandika sentensi sahihi kutumia nahau za maadili.
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha kuzipachika ukutani.
Je, ni nahau zipi zinazohusu maadili?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 103-104
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 3
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali
Kuchora matunda yanayopatikana shambani kwao au kwenye mashamba ya majirani wao.
Kufurahia kuchora matunda mbalimbali yanayopatikana shambani.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora matunda mbalimbali yanayopatikana shambani kwao au kwenye mashamba ya majirani wao.
Kwa nini unapenda kusoma? Ni nini kinachokufanya uchague makala ya kusoma?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 104-106
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 4
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali
Kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi.
Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi.
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 106-108
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 1
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.
Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu.
Kufurahia kukariri shairi lenye mada lengwa; matunda yana faida.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.

Mwanafunzi aweze Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu.
Je, matunda yana faida gani katika mwili wa binadamu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 109-110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 2
Matunda na mimea
Kuandika; Insha ya maelezo
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini.
Kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea.
Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 3
Matunda na mimea
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI.
Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi kwenye kinasasauti.
Je, umegundua nini kuhusu wingi wa maneno katika ngeli ya LI-LI?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 113-114
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 4
Wanyama wa Porini
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
Kutumia visawe vya kiwango chake ifaavyo katika mawasiliano.
Kufurahia kutumia visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno kisawe akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake.

Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia visawe vya maneno mawili vya kiwango chake kwa kurejelea kapu maneno, kadi za maneno na mti maneno katika mawasiliano.
Je, kisawe ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 116-117
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 1
Wanyama wa Porini
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.
Kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo)
Kutathmini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.

Mwanafunzi aweze kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo)
Unajua maneno gani ya kiswahili yaliyo na maana sawa?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 118-119
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Wanyama wa Porini
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.Kuigiza mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame porini.
Kufurahia kuigiza mchezo wa kuigiza unaohusu mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame
Mwanafunzi aweze kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza mazungumzo kati ya wanyama porini kuhusu ukame porini.
Je, mhusika katika mchezo wa kuigiza ni nani? Je, maelekezo katika mchezo wa kuigiza ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Wanyama wa Porini
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.
Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
Mwanafunzi aweze kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
Je, unapata vipi ujumbe katika mchezo wa kuigiza?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120-123
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Wanyama wa Porini
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Kuchangamkia utunzi nzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Insha ya masimulizi inahusu nini? Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 122-125
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutenda.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutenda.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana.
Je, kauli ya kutenda huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 125-126
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendea.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendea.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendea.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana.
Je, kauli ya kutendea huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 127-128
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendwa.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendwa.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana
Je, kauli ya kutendwa huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 129-130
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Afya Bora
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo katika muktadha isiyo rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Kuigiza mazungumzo katika miktadha isiyo rasmi.
Kufurahia kuigiza mazungumzo katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza mazungumzo katika miktadha yasiyo rasmi(k.v akizungumza na wazazi, ndugu, nyanya au babu)
Ni lini tunatumia lugha isiyo rasmi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 132-133
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Afya Bora
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo katika muktadha isiyo rasmi
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua umuhimu wa nidhamu ya lugha, hata katika mazingira yasiyo rasmi.
Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo ya mazungumzo lengwa kwenye video na tarakilishi.
Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aweze kutambua umuhimu wa nidhamu ya lugha, hata katika mazingira yasiyo rasmi (k.v kutumia lugha ya upole na heshima)

Mwanafunzi aweze kutambua mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo ya mazungumzo lengwa kwenye video na tarakilishi.
Kwa nini ni muhimu kutumia maneno ya upole na heshima katika mazungumzo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 133
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 134-135
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Afya Bora
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma matini ya mada lengwa (Utamu wa sharubati) kisha kujibu maswali
Kuchora matunda yanayotumika kuunda sharubati.
Kufurahia kuchora matunda yanayotumika kuunda sharubati.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa (Utamu wa sharubati) kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora matunda yanayotumika kuunda sharubati.
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi? Matunda gani yanatumika kuunda sharubati?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 135-137
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Afya Bora
Kuandika; Insha ya maelezo.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
Kuandika insha ya maelezo yenye anwani
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu lishe bora kwenye tarakilishi
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo? Je, lishe bora ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 137-138
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Afya Bora
Sarufi; Vinyume vya nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.

Mwanafunzi aweze kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
Je, kinyume ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 138-139
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 1
Afya Bora
Sarufi; Vinyume vya nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vinyume vya nomino katika matini.
Kuandika vinyume vya nomino za vitu halisi kwenye tarakilishi kisha kuhifadhi kazi hiyo kwenye faili iitwayo,
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika chati, kadi za maneno, kapu maneno, mti maneno au vifaa vya kidijitali.

Mwanafunzi aweze kuandika vinyume vya nomino za vitu halisi kwenye tarakilishi kisha kuhifadhi kazi hiyo kwenye faili iitwayo,
Je, ni nomino gani unazoweza kutambua vinyume vyake?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 139-140
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Kukabiliana na Uhalifu
Kusikiliza na Kuzungumza; Tashbihi: Tashbihi za kimo na umbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.
Kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo.
Kufurahia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo.
Je, tashbihi ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 142-143
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Kukabiliana na Uhalifu
Kusikiliza na Kuzungumza; Tashbihi: Tashbihi za kimo na umbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.
Kuandika sentensi zilizo na tashbihi za kimo na umbo kwenye tarakilishi na kusambaza kupitia mtandao wa intaneti ili wenzake wazisome.
Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.

Mwanafunzi aweze kuandika sentensi zilizo na tashbihi za kimo na umbo kwenye tarakilishi na kusambaza kupitia mtandao wa intaneti ili wenzake wazisome.
Ni tashbihi zipi hutumiwa kueleza kimo na umbo la kitu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 144
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Kukabiliana na Uhalifu
Kusoma; Kusoma kwa kina: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kutafuta matini inayohusu kukabiliana na uhalifu kwenye mtandao.
Kutumia tarakilishi kufungua faili yenye matini kuhusu usalama wa kidijitali kisha kusoma.
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kutafuta matini inayohusu kukabiliana na uhalifu kwenye mtandao.

Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kufungua faili yenye matini kuhusu usalama wa kidijitali kisha kusoma
Ukitaka kufikia matini ya kusoma mtandaoni utafanya nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 145
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 1
Kukabiliana na Uhalifu
Kusoma; Kusoma kwa kina: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini lengwa (Usalama wa kidijitali) kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.
Kueleza hatua za kiusalama anazozingatia anapotumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi, simu na televisheni)
Kufurahia kuchora bendera ya Kenya kwenye daftari.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kusoma matini lengwa (Usalama wa kidijitali) kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kueleza hatua za kiusalama anazozingatia anapotumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi, simu na televisheni) akiwa peke yake au katika vikundi

Vyombo vya kidijitali vinahusu nini? Vyombo vya kidijitali vina umuhimu gani? Utafanya nini mtu usiyemjua akikutumia ujumbe mtandaoni?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 145-146
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Kukabiliana na Uhalifu
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kusakura video kuhusu uwindaji haramu, ukataji miti misituni, uchomaji wa makaa na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini kisha kutazama video hizo.
Kusimulia kuhusu alichoona kwenye video kisha kuandika kwenye daftari.
Kufurahia kusimulia kuhusu alichoona kwenye video.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutumia tarakilishi kusakura video kuhusu uwindaji haramu, ukataji miti misituni, uchomaji wa makaa na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini kisha kutazama video hizo.

Mwanafunzi aweze kusimulia kuhusu alichoona kwenye video kisha kuandika kwenye daftari.
Je, uwindaji haramu ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 147
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 3
Kukabiliana na Uhalifu
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.
Kuandika insha ya masimulizi inayohusu jinsi ya kukabiliana na utumiaji wa dawa za kulevya kwenye mtandao kisha kumsambazia mwalimu aisome.
Kuchangamkia utunzi mzuri wa kuandika insha ya wasifu ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi inayohusu jinsi ya kukabiliana na utumiaji wa dawa za kulevya kwenye mtandao kisha kumsambazia mwalimu aisome.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 147-148
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 4
Kukabiliana na Uhalifu
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita, hali ya kuendelea
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo, hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopita, hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati uliopita.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati uliopita?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 148-150
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 150-152
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 1
Kukabiliana na Uhalifu
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati ujao, hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati ujao, hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati ujao.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati ujao?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 152-153
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Mapato
Kusikiliza na Kuzungumza; Kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusikiliza masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.
Kutumia ishara za kimwili zifaazo kuimarisha masimulizi yake.
Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kusikiliza masimulizi yanayohusiana na mada lengwa yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.

Mwanafunzi aweze kutumia ishara za kimwili zifaazo (k.v ishara za uso, mikono, mabega, miguu, macho, na miondoko ya mwili) kuimarisha masimulizi yake
Je, ni nini unachozingatia unapotoa simulizi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 154-155
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 3
Mapato
Kusikiliza na Kuzungumza; Kuzungumza na kujieleza kwa ufasaha: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v Jinsi ya kujipatia riziki, jinsi ya kutumia Mapato yake)
Kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake.
Kufurahia kubuni simulizi linalohusiana na mada lengwa.
Mwanafunzi aweze kutoa maelezo kuhusu mada lengwa (k.v Jinsi ya kujipatia riziki, jinsi ya kutumia Mapato yake)

Mwanafunzi aweze kubuni simulizi linalohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake.
Je, mapato ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 155-156
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 4
Mapato
Kusoma; Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali
Kutazama vibonzo vinavyoonyesha shughuli za mapato kwenye tarakilishi au video.
Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kutazama vibonzo vinavyoonyesha shughuli za mapato kwenye tarakilishi au video.
Unajua shughuli gani za mapato?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 157-158
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9

Likizo fupi

10 1
Mapato
Kusoma; Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali.
Kuigiza matukio yanayolengwa msamiati lengwa.
Kufurahia kuigiza matukio yanayolengwa msamiati lengwa.
Mwanafunzi aweze kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza matukio yanayolengwa msamiati lengwa.
Je, kwa nini mapato ni muhimu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 158-160
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Mapato
Kuandika; Kuandika barua: Barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
Kuandika barua ya kirafiki daftarini yenye kuzingatia mada ya mapato kwa rafiki, ndugu au mzazi.
Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki daftarini yenye kuzingatia mada ya mapato kwa rafiki, ndugu au mzazi.
Barua za kirafiki zina umuhimu gani?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 161
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Mapato
Kuandika; Kuandika barua: Barua ya kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandaa vidokezo vitavyomwongoza kuandika insha yake.
Kuandika barua ya kirafiki mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuzitathmini.
Kuchangamkia umuhimu wa barua katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandaa vidokezo vitavyomwongoza kuandika insha yake.

Mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuzitathmini.
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 162-163
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Mapato
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya kwanza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya Ukanushaji ili kuibainisha
Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya kwanza katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukanushaji ili kuibainisha.

Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya kwanza?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 163-164
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Mapato
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa sentensi katika nafsi ya kwanza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya kwanza na wakati kupitia vyombo vya kidijitali.
Kuchangamkia ukanushaji wa sentensi katika nafsi ya kwanza katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya kwanza na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya kwanza na wakati kupitia vyombo vya kidijitali.
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha sentensi katika nafsi ya kwanza?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 164-165
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Mapato
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya pili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua viambishi vya nafsi ya pili katika maneno.
Kukanusha maneno akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika nafsi ya pili katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vya nafsi ya pili katika maneno akishirikiana na wenzake.

Mwanafunzi aweze kukanusha maneno akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha maneno katika nafsi ya pili?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 165
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Mapato
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa sentensi katika nafsi ya pili
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa maneno katika nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya pili na wakati kupitia vyombo vya kidijitali.
Kuchangamkia ukanushaji wa sentensi katika nafsi ya pili katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya pili na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya pili na wakati kupitia vyombo vya kidijitali
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha sentensi katika nafsi ya pili?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 166
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 167
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Mapato
Sarufi; Ukanushaji wa maneno na sentensi: Ukanusho wa sentensi katika nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.
Kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya pili na wakati kupitia vyombo vya kidijitali.
Kuchangamkia ukanushaji wa sentensi katika nafsi ya tatu katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kukanusha sentensi akizingatia nafsi ya tatu na wakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi ya tatu na wakati kupitia vyombo vya kidijitali
Je, viambishi gani hutumiwa kukanusha sentensi katika nafsi ya tatu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 168
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 1
Mapato
Sarufi: Ukubwa wa nomino; Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya ukubwa.
Kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya ukubwa.
Kufurahia kutumia ukubwa wa nomino katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ukubwa.

Mwanafunzi aweze kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya ukubwa.
Je, viambishi gani huongezwa katika hali ya ukubwa?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 170-171
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 2
Mapato
Sarufi: Ukubwa wa nomino; Ukubwa wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa ukubwa; mbwa, mfu, mji, mtu, mto.
Kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje ukubwa wa nomino yenyewe.
Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kutaja wastani wa nomino na ukubwa wa nomino.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa ukubwa; mbwa, mfu, mji, mtu, mto.

Mwanafunzi aweze kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje ukubwa wa nomino yenyewe.
Je, nomino katika hali ya ukubwa huashiria nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 171-173
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 3
Mapato
Sarufi: Udogo wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya udogo.
Kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya udogo.
Kufurahia kutumia udogo wa nomino katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya udogo.

Mwanafunzi aweze kutaja maneno yanayoanza kwa herufi m- na yenye mzizi wa silabi moja kisha kubadilisha nomino hizo katika hali ya udogo.
Je, viambishi gani huongezwa katika hali ya udogo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 173
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 4
Mapato
Sarufi: Udogo wa nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo
Kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa udogo; mbwa, mfu, mji, mtu, mto.
Kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje udogo wa nomino yenyewe.
Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kutaja wastani wa nomino na udogo wa nomino.
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kutumia nomino zifuatazo kwa udogo; mbwa, mfu, mji, mtu, mto.

Mwanafunzi aweze kushiriki katika mchezo wa kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino kingine kitaje udogo wa nomino yenyewe.
Je, nomino katika hali ya udogo huashiria nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 174-176
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
13

Mtihani wa mwisho wa muhula na likizo

Your Name Comes Here

Download

Feedback