Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Ushauri Nasaha
Kusikiliza na Kuzungumza; Methali; Methali zinazohusu malezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya methali.
Kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao.
Kuchangamkia matumizi ya methali katika muktadha mbalimbali
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya methali.

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusakura methali mbalimbali katika mtandao na kuandika maana zake kama zilivyo kwenye mtandao.
Je, unajua methali ni nini? Methali hutumika kufanya nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 71-72
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 2
Ushauri Nasaha
Kusikiliza na Kuzungumza; Methali; Methali zinazohusu malezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa kundi la methali alizopewa.
Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi
Kuchangamkia matumizi ya methali zinazohusu malezi katika muktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aweze kutambua methali kuhusu malezi (k.v mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka) kutoka kundi la methali alizopewa.

Mwanafunzi aweze kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa peke yake, wawili wawili na katika vikundi
Ni methali gani zinahusu malezi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 72-73
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 3
Ushauri Nasaha
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe wake.
Je, shairi ni nini? Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 73-74
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
1 4
Ushauri Nasaha
Kusoma; Ujumbe na lugha katika ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua shairi kutokana na umbo lake.
Kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe.
Kufurahia kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe.
Mwanafunzi aweze kutambua shairi kutokana na umbo lake.

Mwanafunzi aweze kukariri shairi kwa mahadhi yake mwenyewe.
Unafahamu msamiati gani wa ushairi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 75-76
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 1
Ushauri Nasaha
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.
Kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi.
Kuchangamkia utunzi mzuri mwenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kuzingatia muundo.

Mwanafunzi aweze kuandika na kueleza mambo ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo katika tarakilishi.
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 76-77
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 2
Ushauri Nasaha
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
Kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi.
Kufurahia kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu umuhimu wa malezi mema kwenye tarakilishi.
Insha ya maelezo inahusu nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 77-78
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 3
Ushauri Nasaha
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngeli za nomino na kutambua nomino katika ngeli ya U-I
Kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya U-I.

Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi.
Ni nomino gani za ngeli ya U-I unazozijua?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 79-81
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
2 4
Ushauri Nasaha
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi; Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I.
Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-I.

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi kwenye kinasasauti.
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 81-83
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 1
Bendera ya Taifa
Kusikiliza na Kuzungumza; Kujieleza kwa ufasaha: Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.
Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha.
Mwanafunzi aweze kukariri au kuimba shairi kuhusu mada lengwa (Bendera ya taifa) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi.
Ushairi unaweza kuboresha mazungumzo yako vipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 84-86
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 2
Bendera ya Taifa
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Kufurahia kushiriki katika mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kusoma mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua)

Mwanafunzi aweze kuigiza mchezo wa kuigiza kuhusu mada lengwa (Kaugua augua) wakiwa wawili wawili.
Ni ujumbe upi uliopata kwenye makala?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 86-88
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 3
Bendera ya Taifa
Kusoma; Kusoma kwa kina: Makala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.
Kuchora bendera ya Kenya na kuipaka rangi zake.
Kufurahia kuchora bendera ya Kenya kwenye daftari.
Mwanafunzi aweze kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora bendera ya Kenya na kuipaka rangi zake.
Je, rangi za bendera ya Kenya zinaashiria nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 88-89
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
3 4
Bendera ya Taifa
Kuandika; Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.
Kuandika insha kwenye tarakilishi kisha kuisambaza kupitia mtandao ili mwalimu na wanafunzi wengine waweze kuisoma.
Kuchangamkia utunzi mzuri wa kuandika insha ya wasifu ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.

Mwanafunzi aweze kuandika insha kwenye tarakilishi kisha kuisambaza kupitia mtandao ili mwalimu na wanafunzi wengine waweze kuisoma.
Insha ya wasifu inahusu nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 89-91
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 1
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA
Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi.
Kufurahia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA.

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi kwenye kinasasauti.
Je, nomino zinazorejelea matunda ni zipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 91-94
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 2
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA.
Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-YA

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi kisha kuzisoma.
Nomino zilizo katika ngeli ya LI-YA ni zipi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 94-97
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 3
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino zilizo katika ngeli ya KI-VI.
Kuandika nomino za ngeli ya KI-VI kwenye tarakilishi.
Kufurahia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kutambua nomino zilizo katika ngeli ya KI-VI

Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya KI-VI kwenye tarakilishi.
Ni nomino zipi zilizo katika ngeli ya KI-VI?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 97-99
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
4 4
Bendera ya Taifa
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VIKusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KI-VI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kupiga chapa sentensi katika ngeli ya KI-VI.

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi
Ni nomino gani za ngeli ya KI-VI unazozijua?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 1
Matunda na mimea
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.
Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Kutathmini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua maana mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo.

Mwanafunzi aweze kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano.
Je, nahau ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 100-102
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 2
Matunda na mimea
Kusikiliza na Kuzungumza; Nahau: Nahau za maadili na uraia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.
Kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha mpachike chati hizo ukutani.
Kufurahia kutunga na kuandika sentensi sahihi kutumia nahau za maadili.
Mwanafunzi aweze kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuandika sentensi sahihi kwa kutumia nahau za maadili kisha kuzipachika ukutani.
Je, ni nahau zipi zinazohusu maadili?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 103-104
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 3
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali
Kuchora matunda yanayopatikana shambani kwao au kwenye mashamba ya majirani wao.
Kufurahia kuchora matunda mbalimbali yanayopatikana shambani.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora matunda mbalimbali yanayopatikana shambani kwao au kwenye mashamba ya majirani wao.
Kwa nini unapenda kusoma? Ni nini kinachokufanya uchague makala ya kusoma?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 104-106
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
5 4
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali
Kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi.
Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora mimea miwili aliyoyaona kisha kuzipaka rangi.
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 106-108
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 1
Matunda na mimea
Kusoma kwa Mapana; Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.
Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu.
Kufurahia kukariri shairi lenye mada lengwa; matunda yana faida.
Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kukariri shairi lenye mada lengwa; Matunda yana faida.

Mwanafunzi aweze Kujadili faida za matunda katika mwili wa binadamu.
Je, matunda yana faida gani katika mwili wa binadamu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 109-110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 2
Matunda na mimea
Kuandika; Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya maelezo katika matini.
Kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea
Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo katika matini.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo yenye anwani; Utunzaji wa mimea.
Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuandika insha ya maelezo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 110
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 3
Matunda na mimea
Sarufi; Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI
Kuandika nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-LI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ngeli za nomino n kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI.

Mwanafunzi aweze kuandika nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika makundi
Ni nomino zipi zilizo katika ngeli ya LI-LI?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 111-112
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
6 4
Matunda na mimea
Sarufi; Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI.
Kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi.
Kuchangamkia kutumia umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI katika mawasiliano
Mwanafunzi aweze kuandika umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya LI-LI

Mwanafunzi aweze kusikiliza usomaji wa nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi kwenye kinasasauti.
Je, umegundua nini kuhusu wingi wa maneno katika ngeli ya LI-LI?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 113-114
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 1
Wanyama wa Porini
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha.
Kutumia visawe vya kiwango chake ifaavyo katika mawasiliano.
Kufurahia kutumia visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya neno kisawe akiwa peke yake au kwa kujadiliana na wenzake.

Mwanafunzi aweze kutambua na kutumia visawe vya maneno mawili vya kiwango chake kwa kurejelea kapu maneno, kadi za maneno na mti maneno katika mawasiliano.
Je, kisawe ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 116-117
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 2
Wanyama wa Porini
Kusikiliza na Kuzungumza; Visawe vya maneno mawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.
Kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo)
Kutathmini matumizi ya visawe katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua visawe vya maneno mawili katika kundi la maneno.

Mwanafunzi aweze kutumia kamusi kutafuta visawe vya maneno (k.v uzembe, jaji, tajiri, maskini, maringo)
Unajua maneno gani ya kiswahili yaliyo na maana sawa?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 118-119
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 3
Wanyama wa Porini
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.Kuigiza mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame porini.
Kufurahia kuigiza mchezo wa kuigiza unaohusu mazungumzo kati ya wanyama wa porini kuhusu ukame
Mwanafunzi aweze kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za mchezo wa kuigiza, mhusika na maelekezo.

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza mazungumzo kati ya wanyama porini kuhusu ukame porini.
Je, mhusika katika mchezo wa kuigiza ni nani? Je, maelekezo katika mchezo wa kuigiza ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
7 4
Wanyama wa Porini
Kusoma; Mchezo wa kuigiza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.
Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
Kufurahia kusoma michezo na kuigiza.
Mwanafunzi aweze kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe maalum.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo.
Je, unapata vipi ujumbe katika mchezo wa kuigiza?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 120-123
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 1
Wanyama wa Porini
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.
Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Kuchangamkia utunzi nzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
Insha ya masimulizi inahusu nini? Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 122-125
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 2
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kauli ya kutenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutenda.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutenda
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutenda.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda katika matini na anapowasiliana.
Je, kauli ya kutenda huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 125-126
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 3
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendea.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendea.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendea.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea katika matini na anapowasiliana.
Je, kauli ya kutendea huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 127-128
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
8 4
Wanyama wa Porini
Sarufi; Mnyambuliko wa vitenzi: Kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kauli ya kutendwa.
Kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana.
Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika Kauli ya kutendwa.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kauli ya kutendwa.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutambua, kunyambua na kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa katika matini na anapowasiliana
Je, kauli ya kutendwa huonyesha nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 129-130
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Intaneti
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
9

Midterm

10 1
Afya Bora
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo katika muktadha isiyo rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.
Kuigiza mazungumzo katika miktadha isiyo rasmi.
Kufurahia kuigiza mazungumzo katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi ashirikiane na wenzake kuigiza mazungumzo katika miktadha yasiyo rasmi(k.v akizungumza na wazazi, ndugu, nyanya au babu)
Ni lini tunatumia lugha isiyo rasmi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 132-133
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 2
Afya Bora
Kusikiliza na Kuzungumza; Mazungumzo katika muktadha isiyo rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua umuhimu wa nidhamu ya lugha, hata katika mazingira yasiyo rasmi.
Kutambua mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo ya mazungumzo lengwa kwenye video na tarakilishi.
Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi.
Mwanafunzi aweze kutambua umuhimu wa nidhamu ya lugha, hata katika mazingira yasiyo rasmi (k.v kutumia lugha ya upole na heshima)

Mwanafunzi aweze kutambua mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo ya mazungumzo lengwa kwenye video na tarakilishi.
Kwa nini ni muhimu kutumia maneno ya upole na heshima katika mazungumzo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 133
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 3
Afya Bora
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma matini ya mada lengwa (Afya ni uhai) kisha kujibu maswali.
Kuandika matini kuhusu afya bora kwenye tarakilishi kisha kuwasambazia wenzake darasani ili nao wayasome.
Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa (Afya ni uhai) kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuandika matini kuhusu afya bora kwenye tarakilishi kisha kuwasambazia wenzake darasani ili nao wayasome.
Je, afya ni nini? Kwa nini unapenda kusoma?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 134-135
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
10 4
Afya Bora
Kusoma; Kusoma kwa mapana: Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kusoma matini ya mada lengwa (Utamu wa sharubati) kisha kujibu maswali
Kuchora matunda yanayotumika kuunda sharubati.
Kufurahia kuchora matunda yanayotumika kuunda sharubati.
Mwanafunzi aweze kusoma matini ya mada lengwa (Utamu wa sharubati) kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kuchora matunda yanayotumika kuunda sharubati.
Ni nini kinachokuvutia unaposoma hadithi? Matunda gani yanatumika kuunda sharubati?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 135-137
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 1
Afya Bora
Kuandika; Insha ya maelezo.
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
Kuandika insha ya maelezo yenye anwani
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya maelezo kwa kurejelea vielezo vya insha vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kuhusu lishe bora kwenye tarakilishi
Je, unazingatia mambo gani unapoandika insha ya maelezo? Je, lishe bora ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 137-138
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 2
Afya Bora
Sarufi; Vinyume vya nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.
Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha.

Mwanafunzi aweze kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino kuzingatia upatanisho wa kisarufi.
Je, kinyume ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 138-139
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 3
Afya Bora
Sarufi; Vinyume vya nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vinyume vya nomino katika matini.
Kuandika vinyume vya nomino za vitu halisi kwenye tarakilishi kisha kuhifadhi kazi hiyo kwenye faili iitwayo,
Mwanafunzi aweze kutambua vinyume vya nomino katika chati, kadi za maneno, kapu maneno, mti maneno au vifaa vya kidijitali.

Mwanafunzi aweze kuandika vinyume vya nomino za vitu halisi kwenye tarakilishi kisha kuhifadhi kazi hiyo kwenye faili iitwayo,
Je, ni nomino gani unazoweza kutambua vinyume vyake?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 139-140
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
11 4
Kukabiliana na Uhalifu
Kusikiliza na Kuzungumza; Tashbihi: Tashbihi za kimo na umbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.
Kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo.
Kufurahia matumizi ya tashbihi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha.

Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kurejelea picha au michoro kwenye chati au tarakilishi ili kutumia tashbihi zifaazo kutolea maelezo.
Je, tashbihi ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 142-143
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 1
Kukabiliana na Uhalifu
Kusikiliza na Kuzungumza; Tashbihi: Tashbihi za kimo na umbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.
Kuandika sentensi zilizo na tashbihi za kimo na umbo kwenye tarakilishi na kusambaza kupitia mtandao wa intaneti ili wenzake wazisome.
Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweze kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini.

Mwanafunzi aweze kuandika sentensi zilizo na tashbihi za kimo na umbo kwenye tarakilishi na kusambaza kupitia mtandao wa intaneti ili wenzake wazisome.
Ni tashbihi zipi hutumiwa kueleza kimo na umbo la kitu?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 144
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 2
Kukabiliana na Uhalifu
Kusoma; Kusoma kwa kina: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kutafuta matini inayohusu kukabiliana na uhalifu kwenye mtandao.
Kutumia tarakilishi kufungua faili yenye matini kuhusu usalama wa kidijitali kisha kusoma.
Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kutafuta matini inayohusu kukabiliana na uhalifu kwenye mtandao.

Mwanafunzi aweze kutumia tarakilishi kufungua faili yenye matini kuhusu usalama wa kidijitali kisha kusoma
Ukitaka kufikia matini ya kusoma mtandaoni utafanya nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 145
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 3
Kukabiliana na Uhalifu
Kusoma; Kusoma kwa kina: Matini ya kidijitali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma matini lengwa (Usalama wa kidijitali) kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.
Kueleza hatua za kiusalama anazozingatia anapotumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi, simu na televisheni)
Kufurahia kuchora bendera ya Kenya kwenye daftari.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kusoma matini lengwa (Usalama wa kidijitali) kwa kuzingatia vipengele mbalimbali kisha kujibu maswali.

Mwanafunzi aweze kueleza hatua za kiusalama anazozingatia anapotumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi, simu na televisheni) akiwa peke yake au katika vikundi

Vyombo vya kidijitali vinahusu nini? Vyombo vya kidijitali vina umuhimu gani? Utafanya nini mtu usiyemjua akikutumia ujumbe mtandaoni?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 145-146
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
12 4
Kukabiliana na Uhalifu
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutumia tarakilishi kusakura video kuhusu uwindaji haramu, ukataji miti misituni, uchomaji wa makaa na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini kisha kutazama video hizo.
Kusimulia kuhusu alichoona kwenye video kisha kuandika kwenye daftari.
Kufurahia kusimulia kuhusu alichoona kwenye video.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kutumia tarakilishi kusakura video kuhusu uwindaji haramu, ukataji miti misituni, uchomaji wa makaa na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini kisha kutazama video hizo.

Mwanafunzi aweze kusimulia kuhusu alichoona kwenye video kisha kuandika kwenye daftari.
Je, uwindaji haramu ni nini?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 147
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi

Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
13 1
Kukabiliana na Uhalifu
Kuandika; Insha ya masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.
Kuandika insha ya masimulizi inayohusu jinsi ya kukabiliana na utumiaji wa dawa za kulevya kwenye mtandao kisha kumsambazia mwalimu aisome.
Kuchangamkia utunzi mzuri wa kuandika insha ya wasifu ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aweze kushirikiana na wenzake kujikumbusha kuhusu muundo wa insha za wasifu.

Mwanafunzi aweze kuandika insha ya masimulizi inayohusu jinsi ya kukabiliana na utumiaji wa dawa za kulevya kwenye mtandao kisha kumsambazia mwalimu aisome.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 147-148
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
13 2
Kukabiliana na Uhalifu
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita, hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopita, hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati uliopita.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati uliopita, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati uliopita?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 148-150
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
13 3
Kukabiliana na Uhalifu
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo, hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopo, hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati uliopo, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati uliopo.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati uliopo, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati uliopo, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati uliopo?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 150-152
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
13 4
Kukabiliana na Uhalifu
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati ujao, hali ya kuendelea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua viambishi vinavyobainisha wakati ujao, hali ya kuendelea.
Kutunga sentensi katika wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini.
Kufurahia zoezi la kutunga sentensi katika wakati ujao.
Mwanafunzi aweze kutambua viambishi vinavyobainisha wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye sentensi zilizoonyeshwa kwenye chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi na projekta)

Mwanafunzi aweze kutunga sentensi katika wakati ujao, hali ya kuendelea kwenye blogi ili wenzake waweze kuzisoma na kuzitathmini
Ni viambishi vipi hutumika kuwakilisha wakati ujao?
Longhorn; Umilisi wa Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Gredi ya 4, Uk. 152-153
Kapu maneno
Chati
Mabango
Kamusi
Majarida
Kinasasauti
Rununu
Tarakilishi
Mtandao
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi
14

Exams

Your Name Comes Here

Download

Feedback