If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
NYUMBANI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufahamu Nomino Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j katika maneno. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa (p/b, t/d, k/g, ch/j) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali. - Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu. - Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake. - Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa na mwalimu. |
Matamshi bora yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 1
- Kapu maneno - Kadi za maneno - Picha - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3 - Mti maneno - Kifaa cha kidijitali - Kamusi - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 8 - Mti maneno |
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j
- Kutamka silabi ipasavyo
- Kutamka vitanzandimi vifaavyo
- Kukariri vitanzandimi
|
|
| 2 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi |
Vitenzi
Kuandika Insha ya Wasifu Matamshi Bora Matamshi Bora Kusoma kwa Ufahamu Vitenzi Vivumishi Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno. - Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kwa amani kueleza maana ya vitenzi. - Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya vitenzi (k.v. soma, andika, keti, simama, cheka) katika kadi za maneno, kapu maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k. - Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha au michoro. - Kuigiza vitenzi mbalimbali akishirikiana na wenzake. |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 9
- Picha - Michoro - Kapu maneno - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 6 - Mifano ya insha ya wasifu - Vifaa vya kidijitali - Chati - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3 - Chati - Mti maneno - Kadi za maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 5 - Kamusi - Kifaa cha kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 10 - Mti maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 11 |
- Kueleza maana ya vitenzi
- Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha
- Kuigiza vitenzi mbalimbali
- Kutumia vitenzi katika mawasiliano
|
|
| 3 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Kuandika Insha ya Wasifu
Maamkuzi na Maagano Matumizi ya Kamusi Viwakilishi Viwakilishi Insha ya Masimulizi Maamkuzi na Maagano Matumizi ya Kamusi Vielezi Vielezi Insha ya Masimulizi Matamshi Bora |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayoeleza sifa za mtu kama vile mzazi au mlezi, rafiki, mwalimu au kiongozi yeyote kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa ubunifu. - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia mpangilio mzuri wa mawazo unapoandika insha ya wasifu?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 7
- Vifaa vya kidijitali - Kielelezo cha insha ya wasifu - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 15 - Chati - Michoro - Picha - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 18 - Kamusi mbalimbali - Orodha ya maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21 - Kapu maneno - Kadi za maneno - Kapu maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 19 - Mifano ya insha za masimulizi - Picha - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 16 - Picha za watu wakiamkuana - Mtandao - Mti maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 26 - Kamusi - Mti maneno |
- Kuandika insha ya wasifu
- Kuzingatia anwani, mpangilio, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji na ubunifu
- Kusambaza insha mtandaoni kwa ajili ya tathmini
|
|
| 4 | 1 |
MAVAZI
Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Viunganishi Viunganishi Vihusishi Kuandika kwa kutumia tarakilishi Matamshi Bora Kusoma kwa Ufasaha Vihusishi Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo. - Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo. - Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha. - Kusikiliza na kutazama mwalimu, mgeni mwalikwa, mwanafunzi mwenzake au video za watu wanaosoma makala kwa ufasaha (k.v. hotuba na habari). - Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha vilivyozingatiwa katika usomaji alioutazama. |
Unazingatia nini ili kuweza kusoma kifungu cha hadithi ipasavyo?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 29
- Vifaa vya kidijitali - Chati - Matini za kusoma - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34 - Kapu maneno - Kadi za maneno - Chati - Kapu maneno - Kadi maneno - Picha zinazoonyesha mahali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 32 - Tarakilishi - Chati za sehemu za tarakilishi - Mifano ya mada zinazoweza kuandikwa - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 26 - Picha - Vifaa vya kidijitali - Matini ya kusoma - Saa ya kupimia wakati - Picha zinazoonyesha mahali - Chati mabango - Kamusi |
- Kujadili vipengele vya kusoma kwa ufasaha
- Kusikiliza na kutazama usomaji
- Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika |
Vihisishi
Kuandika kwa kutumia tarakilishi Maneno ya Upole Kusoma kwa Mapana Ngeli ya A-WA Ngeli ya A-WA Kuandika Barua ya Kirafiki Maneno ya Upole Kusoma kwa Mapana Ngeli ya A-WA Ngeli ya A-WA Kuandika Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi. - Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihisishi kutunga sentensi kwenye daftari akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali. - Kutumia vihisishi kutunga kifungu kifupi daftarini au mtandaoni ili wenzake wakisome na kukitathmini. |
Ni wakati gani tunatumia vihisishi katika mawasiliano?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Vifaa vya kidijitali - Kadi za maneno - Chati - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 33 - Tarakilishi - Mtandao - Chati ya hatua za kuhifadhi kazi - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40 - Chati - Mti maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 42 - Mtandao - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 46 - Kadi za sentensi - Kikapu/boksi - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 47 - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 44 - Mifano ya barua za kirafiki - Kapu maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 43 - Kamusi - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 48 - Kadi za maneno - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 49 - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 45 - Mifano ya barua za kirafiki |
- Kutunga sentensi zenye vihisishi
- Kutunga kifungu kifupi
- Kutumia vihisishi ipasavyo
- Kuwasomea wenzake kifungu alichokitunga
|
|
| 6 | 1 |
USHAURI-NASAHA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika |
Methali
Kusoma kwa Ufahamu Ngeli ya U-I Ngeli ya U-I Insha ya Maelezo Methali Kusoma kwa Ufahamu Ngeli ya U-I Ngeli ya U-I Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti. - Kueleza maana za methali kuhusu malezi. - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano. - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa orodha ya methali, chati au mtandaoni. - Kueleza maana za methali kuhusu malezi akiwa na wenzake. - Kukamilisha methali kuhusu malezi. - Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa na wenzake. - Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kutambua methali kuhusu malezi katika jamii yao. |
Methali hutumiwa vipi katika ushauri-nasaha?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 50
- Chati ya methali - Kapu la methali - Kadi zenye methali - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 52 - Nakala ya shairi - Chati zenye mashairi - Vifaa vya kidijitali - Rekodi za mashairi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 57 - Chati ya ngeli - Sentensi kwenye ubao - Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59 - Chati ya sentensi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 54 - Mifano ya insha za maelezo - Chati ya muundo wa insha KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 51 - Vitabu vya hadithi - Kadi za methali - Chati zenye methali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 53 - Diwani ya mashairi - Vitabu vya mashairi - Boksi lenye kadi za nomino - Michoro ya vitu mbalimbali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 59 - Orodha ya sentensi - Kapu maneno KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 55-56 - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia |
Kutambua methali za malezi
- Kueleza maana za methali
- Kukamilisha methali
- Kutumia methali katika maongezi
- Kukariri methali
|
|
| 7 | 1 |
BENDERA YA TAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kujieleza kwa Ufasaha
Kusoma kwa Kina Ngeli ya LI-YA Ngeli ya LI-YA Insha ya Wasifu Kujieleza kwa Ufasaha Kusoma kwa Kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano. - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake. - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama video ya bendera na usikilize shairi likikaririwa na mwalimu au kupitia kifaa cha kidijitali. - Mkaririe mwenzako shairi lifuatalo kisha usikilize naye akikukariria. - Eleza maana ya maneno yafuatayo yaliyotumiwa katika shairi ulilosoma: bendera, amani, uhuru, kuipandisha, kuishukisha. - Tumia maneno uliyoeleza kutunga sentensi sahihi. |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 60
- Video ya bendera - Nakala ya shairi - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 62 - Vitabu vya hadithi - Magazeti - Vifaa vya kidijitali - Shajara KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 66-67 - Picha za nomino za ngeli ya LI-YA - Chati ya sentensi - Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 67-68 - Orodha ya sentensi - Kapu maneno - Chati ya ngeli KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63-64 - Kielelezo cha insha ya wasifu - Vidokezo vya insha KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 61 - Jedwali la tathmini - Rekodi ya wimbo wa taifa KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63 - Shajara - Kamusi |
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kueleza maana ya msamiati katika shairi
- Kutumia msamiati katika sentensi
- Kueleza ujumbe wa shairi
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Ngeli ya LI-YA
Insha ya Wasifu Nahau Kusoma kwa Mapana Matini Kusoma kwa Mapana Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA. - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukiwa na mwenzako, tafuta nomino zifuatazo katika jedwali na uzichoree mviringo, fuata mfano uliopewa. - Tunga sentensi sahihi ukitumia nomino ulizotambua. - Wasomee wenzako ili watoe maoni yao. - Tafuta na usome maelezo zaidi kuhusu ngeli ya LI-YA kwenye mtandao salama. |
Matumizi ya nomino za ngeli ya LI-YA yanachangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 68-69
- Jedwali la kigambo - Vifaa vya kidijitali - Orodha ya nomino - Mtandao salama KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 69 - Orodha ya sentensi - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 65 - Vidokezo vya insha ya wasifu - Karatasi za kuandikia - Potifolio KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 70-71 - Chati ya nahau - Kadi za nahau - Mti maneno KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 72-73 - Vitabu - Majarida - Magazeti KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 73-74 |
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutumia viambishi sahihi vya ngeli
- Kutafuta maelezo zaidi kuhusu ngeli
|
|
| 9 | 1 |
MATUNDA NA MIMEA
Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Ngeli ya KI-VI
Insha ya Maelezo Nahau Kusoma kwa Mapana Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI. - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Soma sentensi zilizo kwenye jedwali. - Andika daftarini sentensi ulizosoma. - Tambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI kwenye sentensi ulizosoma kwa kuvipigia mstari. - Andika daftarini sentensi zilizo kwenye jedwali. - Tambua nomino katika ngeli ya KI-VI kwenye sentensi ulizonakili kwa kuzipigia mstari. |
Matumizi ya nomino za ngeli ya KI-VI yanachangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 75-76
- Vifaa vya kidijitali - Chati ya mifano ya sentensi - Kadi zenye nomino za KI-VI - Karatasi za kuandikia KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 76-77 - Kapu maneno - Kadi za nomino - Orodha ya sentensi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 77 - Sentensi zenye nomino za KI-VI - Boksi lenye kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 74-75 - Mfano wa insha ya maelezo - Potifolio KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 71-72 - Chati ya nahau za uraia - Kadi za nahau - Mti maneno KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 74 - Shajara - Vitabu - Mtandao salama |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kupiga mstari nomino za ngeli ya KI-VI
- Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
- Kutunga sentensi zenye nomino za KI-VI
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Ngeli ya KI-VI
Ngeli ya LI-LI Insha ya Maelezo Visawe Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI. - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia viambishi vya ngeli ya KI-VI kukamilisha sentensi. - Andika sentensi katika wingi. - Tambua nomino za ngeli ya KI-VI katika kifungu cha habari. - Tumia nomino za ngeli ya KI-VI katika sentensi zako. - Shirikiana na wenzako katika mchezo wa kutambua nomino za ngeli ya KI-VI. |
Nomino za ngeli ya KI-VI zina sifa gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 77-78
- Kadi za nomino - Kifungu cha habari - Chati ya nomino - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 78-79 - Chati ya sentensi - Vifaa vya kidijitali - Karatasi ya kuandikia KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 75 - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia - Potifolio KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 80-81 - Picha za vitu - Kapu maneno - Kadi za visawe KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 82-84 - Nakala ya mchezo wa kuigiza - Mifano ya vifungu KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 84 - Nakala ya mchezo - Vitambulisho vya wahusika |
Kukamilisha sentensi kwa viambishi sahihi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutambua nomino za KI-VI katika kifungu
- Kutumia nomino za KI-VI katika sentensi
|
|
| 11 | 1 |
WANYAMA WA PORINI
Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Kuandika |
Mnyambuliko wa Vitenzi
Insha ya Masimulizi Visawe Kusoma kwa Ufahamu Mnyambuliko wa Vitenzi Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha. - Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha. - Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini. - Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana. - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Muulize mwenzako angependa umfanyie nini ili afurahi? - Tazama picha ifuatayo kisha usome kifungu kifuatacho. - Shirikiana na mwenzako kusoma kifungu tena ukizingatia maneno anika, anikia, anikwa. - Eleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi kutokana na jinsi maneno hayo yanavyobadilika. - Ukiwa pamoja na mwenzako, someni sentensi zifuatazo. - Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya kila sentensi. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 87-88
- Picha - Kifungu cha habari - Orodha ya sentensi - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 88-89 - Jedwali la vitenzi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85-86 - Potifolio - Mfano wa insha ya masimulizi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 81 - Shajara ya tathmini - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85 - Nakala ya mchezo - Rekodi ya mchezo - Vitambulisho vya wahusika KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 89-90 - Orodha ya vitenzi - Sentensi zenye nafasi za kujaza KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 86-87 - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia |
Kutambua mnyambuliko wa vitenzi
- Kueleza maana ya kauli mbalimbali
- Kutambua vitenzi katika kauli mbalimbali
- Kueleza maana ya sentensi
|
|
| 12 | 1 |
AFYA BORA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
Kusoma kwa Mapana Kusoma kwa Mapana Vinyume vya Nomino Insha ya Maelezo Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi. - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi. - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unapokuwa nyumbani au njiani wewe huzungumza na nani? - Mweleze mwenzako baadhi ya mambo unayopenda kuzungumzia. - Kwa nini si vizuri kuzungumza na mtu yeyote? - Tambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi kwa kumweleza mwenzako mazungumzo katika picha zifuatazo yanafanyika wapi. - Taja miktadha mingine isiyo rasmi ya mazungumzo ambayo unajua. |
Je, unazingatia nini wakati wa kuzungumza na watu mbalimbali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 91-92
- Picha za watu wakizungumza - Vifaa vya kidijitali - Video ya mazungumzo KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93 - Vitabu - Magazeti - Majarida - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93-94 - Mtandao salama - Shajara ya kusoma - Vitabu vya hadithi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 97-98 - Jedwali la nomino - Kapu maneno - Kadi za nomino KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94-95 - Mfano wa insha ya maelezo - Vidokezo vya insha KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 92-93 - Video ya mazungumzo - Shajara ya tathmini |
Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi
- Kutaja miktadha mingine isiyo rasmi
- Kueleza mambo ya kuzingatia kwenye mazungumzo
- Kutumia lugha ya upole na heshima
|
|
| 13 | 1 |
Kusoma
Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kusoma kwa Mapana
Vinyume vya Nomino Insha ya Maelezo Tashbihi Kusoma kwa Mapana Nyakati na hali Nyakati na hali Kuandika Insha ya Masimulizi Tashbihi Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. - Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chora jedwali linalofuata kwenye kitabu maalum. Kila ukisoma hadithi au habari lijaze ili kuweka rekodi ya mambo uliyosoma. - Jadili na wenzako matini ambayo umesoma. - Eleza ujumbe wa matini uliyosoma. - Tambua na andika daftarini msamiati mpya kutoka matini uliyosoma. - Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati mpya. - Tunga sentensi ukitumia msamiati mpya uliotambua. |
Kusoma matini ya kidijitali kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94
- Shajara ya kusoma - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 98-99 - Orodha ya nomino - Shajara ya tathmini - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 96 - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia - Potifolio KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 100 Kadi za tashbihi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 103 Tarakilishi/vipakatalishi Matini za kusoma zinazohusu kukabiliana na uhalifu Kamusi za mtandaoni KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 107 Chati ya viambishi vya nyakati Kadi za maneno za vitenzi Sentensi zenye vitenzi vya nyakati tofauti KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 108 Matini zenye vitenzi vya nyakati tofauti KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 105 Mifano ya insha za masimulizi Chati ya muundo wa insha ya masimulizi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 101 Picha za watu wa maumbile tofauti Hadithi fupi zenye tashbihi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 104 Tarakilishi/vipakatalishi zilizo na matini zinazohusu kukabiliana na uhalifu Picha zinazoonyesha aina za uhalifu Kamusi |
Kujaza shajara ya kusoma
- Kutambua msamiati mpya
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
|
|
| 14 | 1 |
KUKABILIANA NA UHALIFU
Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Sarufi Sarufi Sarufi Kuandika |
Nyakati na hali
Kuandika Insha ya Masimulizi Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi Kusoma kwa Ufasaha Ukanushaji Ukanushaji Ukanushaji Ukubwa wa Nomino Kuandika Barua ya Kirafiki Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi Kusoma kwa Ufasaha Ukubwa wa Nomino Udogo wa nomino Udogo wa nomino Kuandika Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vya nyakati kwenye vitenzi. - Kutambua vitenzi katika nyakati tofauti hali ya kuendelea kwenye matini. - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika nyakati mbalimbali hali ya kuendelea. - Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga kifungu kifupi kuhusu kukabiliana na uhalifu akitumia vitenzi vya nyakati mbalimbali hali ya kuendelea. - Kuwasomea wenzake kifungu alichotunga. - Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali kutoka kwenye kifungu kilichosomwa na mwenzake. - Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi wakati mwingine. - Kutathmini kazi yake na ya wenzake kwa kutumia orodha hakiki inayojumuisha utumiaji wa nyakati. |
Ni wakati upi unaofaa kutumika katika kuelezea tukio la uhalifu lililotokea?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 109
Orodha hakiki ya matumizi ya nyakati Vifungu vya habari vya uhalifu Matini ya mwalimu KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 106 Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Orodha hakiki ya vipengele vya insha ya masimulizi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 112 Picha/michoro kuhusu mapato Mifano ya simulizi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 114 Vifungu vya hadithi kuhusu mapato Chati ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 118 Chati ya viambishi vya ukanushaji Kadi maneno KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 119 Orodha ya sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda Mifano ya sentensi ziliziokanushwa KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 120 Jedwali la viambishi vya ukanushaji Orodha ya sentensi za kukanusha KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 121 Orodha ya nomino za wastani na ukubwa Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na ukubwa KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 116 Mifano ya barua za kirafiki Mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 113 Mchoro wa kiakili Picha kuhusu mapato KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 115 Hadithi zinazohusiana na mapato Kamusi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 122 Kadi za nomino za wastani na ukubwa Chati ya nomino za wastani na ukubwa Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za ukubwa KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 123 Orodha ya nomino za wastani na udogo Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na udogo KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 124 Kadi za nomino za wastani, ukubwa na udogo Jedwali la mifano ya nomino za wastani, ukubwa na udogo Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za udogo KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 117 |
Kutunga kifungu kifupi kuhusu uhalifu
Kutambua vitenzi vya nyakati mbalimbali
Kubadilisha kifungu kutoka wakati mmoja hadi mwingine
Kutathmini kazi kwa kutumia orodha hakiki
|
Your Name Comes Here