If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
UFUNGUZI NA ,MAANDALIZI YA KAZI |
||||||||
| 1 | 3 |
DIRA
Sarufi |
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa nomino za ngeli ya A-WA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 69
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA
Kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi
Kufanyiana tathmini ya sentensi zilizotungwa
|
|
| 1 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Barua ya Kirafiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano - Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake - Kuandika barua ya kirafiki kwa rafiki, ndugu, mzazi, n.k. kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu - Kuwasomea wenzake barua yake ili waitathmini |
Barua za kirafiki zinashughulikia masuala gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 65
Kielelezo cha barua ya kirafiki Karatasi Kalamu na penseli |
Kuandika barua ya kirafiki
Kuzingatia muundo ufaao wa barua ya kirafiki
Kusahihisha barua ya kirafiki
|
|
| 2 |
MTIHANI WA UFUNGUZI |
||||||||
| 3 | 1 |
USHAURI-NASAHA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofauti-tofauti - Kueleza maana za methali kuhusu malezi - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali kuhusu malezi (k.v. mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, mtoto wa nyoka ni nyoka na mtoto hutazama kisogo cha nina) kutoka kwa orodha ya methali, chati au mtandaoni - Kueleza maana za methali kuhusu malezi akiwa na wenzake - Kukamilisha methali kuhusu malezi |
Ni methali gani zinazohusu malezi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 71
Chati zenye methali Vifaa vya kidijitali Orodha ya methali |
Kutambua methali zinazohusu malezi
Kueleza maana za methali kuhusu malezi
Kukamilisha methali kuhusu malezi
|
|
| 3 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha - Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe - Kutambua beti na mishororo katika shairi - Kutambua shairi kutokana na umbo lake - Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua shairi, beti na mishororo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi - Kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za shairi, ubeti na mishororo - Kusoma akizingatia msamiati wa mada lengwa |
Unaufahamu msamiati gani wa ushairi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 74
Matini za mashairi Chati za maana ya sifa za ushairi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua sifa za shairi
Kutambua shairi kutokana na umbo lake
Kutambua beti na mishororo katika shairi
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua nomino katika ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 80
Picha za nomino za ngeli ya U-I Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I
Kupigia mstari nomino za ngeli ya U-I katika kifungu
Kutofautisha kati ya nomino za ngeli ya U-I na za ngeli nyingine
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-I |
Ni viambishi vipi hutumika katika upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 82
Kadi za nomino za ngeli ya U-I Mti maneno Kapu maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutumia viambishi vya ngeli ya U-I katika sentensi
Kujaza pengo kwa viambishi vya ngeli ya U-I
Kutaja mifano ya nomino za ngeli ya U-I
|
|
| 4 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 78
Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya maelezo
Kutambua muundo wa insha ya maelezo
Kufafanua ujumbe wa insha ya maelezo
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofauti-tofauti - Kueleza maana za methali kuhusu malezi - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa na wenzake - Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kutambua methali kuhusu malezi katika jamii yao |
Methali hutumiwa kufanya nini?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 72
Video zenye methali Kadi za methali Maigizo |
Kutumia methali katika masimulizi
Kutega na kutegua methali
Kueleza maana za methali
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha - Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe - Kutambua beti na mishororo katika shairi - Kutambua shairi kutokana na umbo lake - Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mashairi yanayokaririwa kwenye vifaa vya kidijitali - Kusoma au kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali akizingatia ujumbe - Kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye shairi - Kusoma mashairi kwenye mitandao |
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 76
Nakala ya shairi Tarakilishi/vipakatalishi Rununu Projekta Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 83 Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya U-I |
Kusoma shairi kwa ufasaha
Kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali
Kueleza ujumbe wa shairi
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi mbalimbali akitumia nomino za ngeli ya U-I kutoka kwa mazingira yake - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga ili wazitathimini - Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya U-I |
Kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi unaofaa wa ngeli ya U-I?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 83
Picha za nomino za ngeli ya U-I Orodha ya nomino za ngeli ya U-I Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya U-I
Kutunga kifungu kifupi akitumia nomino za ngeli ya U-I
Kufanyiana tathmini
|
|
| 5 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mada lengwa (ushauri-nasaha) akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu |
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 79
Kielelezo cha insha ya maelezo Karatasi Kalamu/penseli Tarakilishi/vipakatalishi |
Kuandika insha ya maelezo
Kuzingatia muundo ufaao wa insha ya maelezo
Kujitathimini na kufanya marekebisho
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
BENDERA YA TAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikilize shairi kuhusu suala lengwa (bendera ya taifa) likikaririwa au kuimbwa na mwalimu, mgeni mwalikwa (mghani) au kupitia vifaa vya kidijitali - Kukariri shairi kuhusu mada lengwa (bendera ya taifa) kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 84
Nakala ya shairi Vifaa vya kidijitali Picha ya bendera ya taifa Chati ya shairi |
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora
Kuimba shairi kwa kuzingatia mahadhi mbalimbali
Kusikiliza wengine wakikariri shairi
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma makala ya aina mbalimbali (k.m. hadithi fupi, michezo mifupi, mashairi mafupi) akizingatia vipengele kama vile tahajia, sarufi, wahusika na ujumbe kutoka kwa kitabu, gazeti au blogi - Kujadiliana na wenzake kuhusu makala aliyoyasoma na umuhimu wake |
Kusoma hadithi kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 89
Matini ya makala Vitabu Magazeti Vifaa vya kidijitali |
Kusoma makala kwa ufasaha
Kutambua vipengele vya makala
Kueleza ujumbe wa makala
Kusoma hadithi fupi
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya LI-YA?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 92
Picha za nomino za ngeli ya LI-YA Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya ngeli ya LI-YA
Kupigia mstari nomino za ngeli ya LI-YA katika kifungu
Kuchopoa kadi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
|
|
| 6 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kukariri au kuimba shairi kwa mahadhi mbalimbali - Kutambua msamiati uliotumika katika ushairi kuhusu maadili (k.v. uhuru, bendera, rangi za bendera, kupandisha na kushukisha bendera) na kuueleza akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake - Kushirikiana na wenzake kujadili ujumbe katika shairi - Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilosikiliza, aliloimba au kukariri |
Je, unazingatia nini unapokariri shairi?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 85
Vifaa vya kidijitali Nakala ya shairi Picha ya bendera ya taifa |
Kutumia msamiati wa shairi katika sentensi
Kueleza ujumbe wa shairi
Kujibu maswali kuhusu shairi
Kutambua msamiati wa bendera ya taifa
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kamusi kupata maana za msamiati uliotumika katika makala - Kushiriki katika mchezo wa kuigiza kutoka kwenye makala aliyoisoma - Kujibu maswali kuhusu makala aliyoisoma |
Je, umejifunza nini kutokana na makala uliyosoma?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 90
Kamusi Makala Vifaa vya kidijitali Picha |
Kutumia kamusi kupata maana za maneno
Kuigiza maudhui ya makala
Kujibu maswali kuhusu makala
Kueleza ujumbe wa makala
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini |
Nomino za ngeli ya LI-YA huwakilisha vitu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 94
Tarakilishi/vipakatalishi Daftari Kalamu/penseli Orodha ya nomino za ngeli ya LI-YA |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
Kugeuza sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
Kutunga kifungu kifupi kinachozingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayoeleza sifa za mtu kama vile mzazi au mlezi, rafiki, mwalimu au kiongozi yeyote kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa ubunifu - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya wasifu?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 93
Vifaa vya kidijitali Daftari Kalamu/penseli Kielelezo cha insha ya wasifu |
Kuandika insha ya wasifu
Kuzingatia vipengele vya insha ya wasifu
Kusomeana insha zilizotungwa na kupeana maoni
|
|
| 7 | 2 |
MATUNDA NA MIMEA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Nahau
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nahau za maadili na uraia katika matini mbalimbali - Kutambua maana za nahau mbalimbali za maadili na uraia katika mazungumzo - Kutumia nahau za maadili na uraia katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya nahau za maadili na uraia katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nahau za maadili na uraia (k.v. fanya haki, omba kibali, omba ruhusa, piga hodi na taka idhini) katika chati, michoro, picha, kapu maneno, mti maneno, chati na katika vyombo vya kidijitali - Kushiriki katika kujadili na wenzake maana za nahau za maadili na uraia |
Je, nahau huchangia vipi katika kukuza maadili na uraia?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 96
Chati zenye nahau Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nahau za maadili na uraia
Kueleza maana za nahau za maadili na uraia
Kuambatanisha nahau na maana zake
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matini (k.v. vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaoni - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kuwasimulia wenzake kuhusu matini aliyosoma ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha |
Kusoma matini mbalimbali kunachangia vipi ukuzaji wa lugha?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 99
Vitabu vya hadithi Majarida Magazeti Vifaa vya kidijitali |
Kutambua matini ya kusoma
Kusoma matini ya kujichagulia
Kusimulia kuhusu matini iliyosomwa
Kutambua msamiati mpya
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya KI-VI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya KI-VI kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya KI-VI?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 105
Picha za nomino za ngeli ya KI-VI Kadi za sentensi Kikapu/boksi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI
Kupigia mstari nomino za ngeli ya KI-VI katika kifungu
Kutofautisha kati ya nomino za ngeli ya KI-VI na za ngeli nyingine
|
|
| 8 |
MTIHANI WA KATI WA MUHULA |
||||||||
| 9 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake - Kushiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo |
Je, ni vitu gani vinavyoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 103
Vielelezo vya insha ya maelezo Kielelezo cha muundo wa insha ya maelezo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya maelezo
Kutambua muundo wa insha ya maelezo
Kufafanua ujumbe wa insha ya maelezo
|
|
| 9 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchukua muhtasari wa ujumbe wa matini aliyoisoma - Kuwasilisha ujumbe wa matini aliyoisoma kwa njia ya igizo au masimulizi - Kujadiliana na wenzake umuhimu wa matini hizo |
Unatumia vigezo gani kuchagua matini ya kusoma?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 102
Matini mbalimbali Daftari na kalamu Vifaa vya kidijitali |
Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini
Kuigiza ujumbe wa matini
Kujadili umuhimu wa matini iliyosomwa
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-LI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI ili kuzitofautisha na nomino katina ngeli nyingine - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-LI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya LI-LI katika umoja na wingi - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI kwenye sentensi alizosoma - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-LI (k.m jua-jua, giza-giza) kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-LI |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
Kiswahili Dadisi Gredi 4 uk. 108
Picha za nomino za ngeli ya LI-LI Kadi za nomino Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-LI
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-LI
Kutofautisha kati ya ngeli ya LI-LI na ngeli nyingine
|
|
| 9 | 4 |

| 10 | 1 |
WANYAMA WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Visawe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha - Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini - Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano - Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua visawe katika matini mbalimbali - Kushiriki mijadala kuhusu matumizi ya visawe - Kuambatanisha maneno na visawe vyake - Kutumia visawe katika sentensi - Kubadilisha maneno katika sentensi kwa visawe vyake |
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 111
- Kadi maneno - Kapu maneno - Chati |
Kutaja visawe
- Kuambatanisha visawe
- Kutunga sentensi
- Kujaza pengo
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |

| 10 | 4 |

| 11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza - Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo wa kuigiza - Kuchangamkia kusoma michezo ya kuigiza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha inayohusiana na mchezo wa kuigiza - Kusoma vielelezo viwili vya matini na kutambua mchezo wa kuigiza - Kusoma matini mbalimbali na kutambua zile zenye mchezo wa kuigiza - Kutazama video za mchezo wa kuigiza - Kutaja wahusika katika mchezo wa kuigiza aliotazama |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 113
- Matini mbalimbali - Video za mchezo wa kuigiza - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mchezo wa kuigiza
- Kusoma matini na kutambua wahusika
- Kueleza maelekezo yaliyotumika
|
|
| 11 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutenda
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua kauli ya kutenda katika vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kufurahia zoezi la kutunga sentensi akiwa na wenzake |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakifanya vitendo - Kujadili maana ya mnyambuliko wa vitenzi - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kusoma kifungu na kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutenda |
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 121-123
- Picha za watu wakifanya vitendo - Kadi za maneno - Matini yenye vitenzi katika kauli ya kutenda |
Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda kutunga sentensi
- Kubadilisha vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendea
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendea - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendea - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendea - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli ya kutendea |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za watu wakitendea wengine vitendo - Kueleza maana ya kauli ya kutendea - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendea - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendea - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendea |
Tutendeanaje vitendo mema?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 124-125
- Picha - Kadi za maneno - Majedwali ya vitenzi |
Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendea
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika kauli ya kutendea
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendea
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo - Kujadili muundo wa insha ya masimulizi - Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi - Kutambua insha ya masimulizi kwa kujadili muundo wake - Kueleza sifa za insha ya masimulizi - Kujadili ujumbe katika insha ya masimulizi - Kutaja sifa za insha ya masimulizi |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 117-118
- Mfano wa insha ya masimulizi - Picha - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya masimulizi
- Kujibu maswali kuhusu insha ya masimulizi
- Kueleza sifa za insha ya masimulizi
|
|
| 12 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuigiza mchezo wa kuigiza - Kuonyesha ubunifu katika kuigiza mchezo - Kuchangamkia michezo ya kuigiza kama chanzo cha burudani na mafunzo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafuta mchezo wa kuigiza kutoka vitabuni au mtandaoni - Kusoma mchezo alioutafuta - Kujadili mchezo huo na wenzake - Kuigiza mchezo huo wakiwa katika vikundi |
Ni aina gani za wanyama wa porini unaozijua?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 116
- Vitabu vyenye michezo ya kuigiza - Vifaa vya kidijitali |
Kuigiza mchezo wa kuigiza
- Kusoma mchezo wa kuigiza kwa ufasaha
- Kutaja wahusika
- Kujibu maswali
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya Kutendwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kueleza maana ya kauli ya kutendwa - Kutambua vitenzi vilivyo katika kauli ya kutendwa - Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendwa ipasavyo - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli ya kutendwa |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha za vitendo vinavyofanyiwa vitu au watu - Kueleza maana ya kauli ya kutendwa - Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa - Kugeuza vitenzi kutoka kauli ya kutenda hadi kauli ya kutendwa - Kutunga sentensi akitumia vitenzi katika kauli ya kutendwa |
Ni mambo gani ambayo hufanywa kila siku?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 126-127
- Picha - Chati za vitenzi - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kugeuza vitenzi kutoka kauli moja hadi nyingine
- Kutunga sentensi zenye vitenzi katika kauli ya kutendwa
- Kujaza pengo kwa vitenzi katika kauli ya kutendwa
|
|
| 12 | 3 |

| 12 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo - Kuandaa vidokezo vya kuandika insha ya masimulizi - Kusoma insha ya masimulizi mbele ya wenzake - Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama picha ya watu walio na wanyama - Kujadili kuhusu anwani: "Safari ya mbuga ya wanyama" - Kuandaa vidokezo vya kuandika insha - Kuandika insha ya masimulizi kuhusu "Safari ya mbuga ya wanyama" - Kusoma insha yake mbele ya wenzake |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Kiswahili Dadisi Grade 4 uk. 119
- Picha za mbuga ya wanyama - Vidokezo vya uandishi wa insha - Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya masimulizi
- Kufuata kanuni za uandishi wa insha
- Kusoma insha kwa ufasaha
- Kujibu maswali kutoka kwa wenzake
|
|
| 13 |
KUDURUSU NA MTIHANI WA KUFUNGA MUHULA |
||||||||
| 14 |
KUANDAA TAATHMINI NA KUFUNGA |
||||||||
Your Name Comes Here