If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
DIRA
Sarufi |
Ngeli ya A-WA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA. - Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi. - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA kwenye sentensi alizosoma. - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma. |
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya A-WA?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 46
- Kadi za sentensi - Kikapu/boksi - Chati - Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa ngeli ya A-WA
- Kuchopoa na kusoma kadi za sentensi
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya A-WA
Kuandika Barua ya Kirafiki Maneno ya Upole |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya A-WA. |
Ni nomino zipi zinaweza kuorodheshwa katika ngeli ya A-WA?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 47
- Kadi za maneno - Mti maneno - Kapu maneno - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 44 - Mifano ya barua za kirafiki - Vifaa vya kidijitali - Chati - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40 - Chati - Kapu maneno |
- Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
- Kujaza nafasi kwa viambishi vya ngeli ya A-WA
- Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Ngeli ya A-WA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma. - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali. - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. - Kutumia vifaa vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa. - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao. - Kutafuta maana za maneno kuhusu mada lengwa (k.m. kaskazini, kusini, magharibi, mashariki, kaskazini mashariki, kaskazini magharibi, kusini mashariki na kusini magharibi) kwenye kamusi au mtandaoni. - Asikilize matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana. - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake. |
Kusoma matini kwenye mtandao kuna umuhimu gani?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 43
- Tarakilishi - Mtandao - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 48 - Vifaa vya kidijitali - Chati - Kadi za maneno |
- Kutoa habari kuhusu ujumbe kutoka kwa mtu asiyemjua
- Kutafuta maana za maneno kwenye kamusi
- Kusikiliza matamshi na maelezo
- Kutoa muhtasari wa matini
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
Kuandika Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Ngeli ya A-WA
Kuandika Barua ya Kirafiki Methali Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujibu maswali kwa kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi. - Kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi kwenye daftari. - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kutoka wingi hadi umoja. |
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi?
|
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 49
- Chati - Kadi za maneno - Vifaa vya kidijitali - KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 45 - Vifaa vya kidijitali - Mifano ya barua za kirafiki KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 50 - Chati ya methali - Kapu la methali - Kadi zenye methali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 52 - Nakala ya shairi - Chati zenye mashairi - Rekodi za mashairi |
- Kujibu maswali
- Kuandika sentensi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake
- Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
|
|
| 3 | 1 |
USHAURI-NASAHA
Sarufi Sarufi Kuandika |
Ngeli ya U-I
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I kwenye sentensi alizosoma. - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-I. |
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya U-I?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 57
- Chati ya ngeli - Sentensi kwenye ubao - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59 - Chati ya sentensi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 54 - Mifano ya insha za maelezo - Vifaa vya kidijitali - Chati ya muundo wa insha |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kujaza pengo kwa viambishi sahihi
- Kupiga mstari nomino za ngeli ya U-I
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
|
|
| 3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi |
Methali
Kusoma kwa Ufahamu Ngeli ya U-I |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti. - Kueleza maana za methali kuhusu malezi. - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano. - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako kifungu kifupi chenye methali za malezi. - Mtajie mwenzako methali mbili zilizotumiwa katika kifungu. - Tumia maneno yanayofaa kukamilisha methali zilizokatizwa. - Tumia methali zinazofaa kutoka kwenye kadi kuelezea hali mbalimbali. - Msimulie mwenzako kisa kifupi ukitumia methali ya malezi. |
Kwa nini methali hutumiwa katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 51
- Vitabu vya hadithi - Kadi za methali - Chati zenye methali - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 53 - Diwani ya mashairi - Vitabu vya mashairi - Vifaa vya kidijitali - Rekodi za mashairi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59 - Boksi lenye kadi za nomino - Michoro ya vitu mbalimbali |
Kutoa maana za methali
- Kujaza pengo kwa methali zinazofaa
- Kuambatanisha methali na maana zake
- Kutumia methali katika masimulizi
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli ya U-I
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Nakili sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I. - Badilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi. - Andika kwa wingi sentensi zilizo katika umoja. - Tunga sentensi zako mwenyewe ukitumia nomino za ngeli ya U-I. - Jadili na wenzako jinsi ya kutambua nomino za ngeli ya U-I. |
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 59
- Orodha ya sentensi - Vifaa vya kidijitali - Kapu maneno KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 55-56 - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia |
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I
- Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi
- Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
|
|
| 3 | 4 |
BENDERA YA TAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano. - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake. - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama video ya bendera na usikilize shairi likikaririwa na mwalimu au kupitia kifaa cha kidijitali. - Mkaririe mwenzako shairi lifuatalo kisha usikilize naye akikukariria. - Eleza maana ya maneno yafuatayo yaliyotumiwa katika shairi ulilosoma: bendera, amani, uhuru, kuipandisha, kuishukisha. - Tumia maneno uliyoeleza kutunga sentensi sahihi. |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 60
- Video ya bendera - Nakala ya shairi - Vifaa vya kidijitali |
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kueleza maana ya msamiati katika shairi
- Kutumia msamiati katika sentensi
- Kueleza ujumbe wa shairi
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina
Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga. - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika. - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mweleze mwenzako unaona nini katika picha hii. (picha za magazeti, vitabu na tovuti) - Kwa nini ni muhimu kusoma magazeti na vitabu vya hadithi kwa undani? - Chagua kitabu cha hadithi ili usome. - Keti mahali pafaapo na namna ifaayo ili usome. - Eleza ujumbe wa nakala au hadithi uliyosoma. - Eleza wahusika waliotajwa kwenye kitabu ulichosoma. |
Je, kusoma hadithi kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 62
- Vitabu vya hadithi - Magazeti - Vifaa vya kidijitali - Shajara KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 66-67 - Picha za nomino za ngeli ya LI-YA - Chati ya sentensi - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kueleza ujumbe kutoka makala
- Kutambua wahusika katika makala
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kueleza maoni kuhusu makala
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Ngeli ya LI-YA
Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA. - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua nomino za ngeli ya LI-YA katika sentensi zifuatazo. - Andika daftarini nomino ulizotambua. - Chagua nomino za ngeli ya LI-YA kwenye lori hili. - Tumia maneno yafuatayo kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Andika sentensi zifuatazo katika wingi. |
Ni maneno gani yanayoanza na LI au MA?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 67-68
- Orodha ya sentensi - Kapu maneno - Chati ya ngeli - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63-64 - Vifaa vya kidijitali - Kielelezo cha insha ya wasifu - Vidokezo vya insha |
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
- Kujaza pengo kwa viambishi sahihi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
|
|
| 4 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano. - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake. - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kueleza ujumbe wa shairi ulilolisoma kwa kujibu maswali yafuatayo: Bendera ya taifa ina rangi ngapi? Rangi nyeupe inamaanisha nini? Rangi inayowakilisha ukulima ni gani? Rangi nyeusi inasimamia nini? - Chora daftarini jedwali kisha likamilishe kwa uaminifu kuonyesha mambo unayoweza kufanya. - Imbeni wimbo wa Taifa la Kenya. |
Kutumia ushairi kujieleza kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 61
- Nakala ya shairi - Jedwali la tathmini - Vifaa vya kidijitali - Rekodi ya wimbo wa taifa |
Kutambua ujumbe wa shairi
- Kueleza maana za rangi za bendera
- Kutaja sifa za bendera ya taifa
- Kuimba wimbo wa taifa
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina
Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga. - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika. - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati uliopata. - Chora daftarini shajara kisha uikamilishe kwa kuweka rekodi ya kile ulichokisoma. - Hifadhi shajara hii kwenye potifolio yako. - Waeleze wenzako ujumbe wa hadithi uliyosoma utakufaa vipi. - Jadili na wenzako makala au hadithi uliyosoma na umuhimu wake. |
Kusoma kwa kina kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63
- Shajara - Kamusi - Vitabu vya hadithi - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 68-69 - Jedwali la kigambo - Vifaa vya kidijitali - Orodha ya nomino - Mtandao salama |
Kujaza shajara ya usomaji
- Kueleza umuhimu wa hadithi
- Kutaja ujumbe wa hadithi
- Kutafuta na kutoa maana ya msamiati
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA. - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia viambishi sahihi vya ngeli ya LI-YA. - Badilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi. - Tunga sentensi ukitumia nomino za ngeli ya LI-YA. - Tambua sentensi zilizo na makosa ya kisarufi na kuzisahihisha. - Toa mifano mingine ya nomino za ngeli ya LI-YA. |
Ni nini hufanya nomino iwe katika ngeli ya LI-YA?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 69
- Orodha ya sentensi - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua na kusahihisha makosa ya kisarufi
- Kujaza pengo kwa viambishi sahihi
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
|
|
| 5 | 2 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Wasifu
Nahau |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya wasifu kuhusu Mwalimu wangu ukizingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye vivumishi na vielezi. - Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni. - Landike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako. - Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uiwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake. |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 65
- Vidokezo vya insha ya wasifu - Karatasi za kuandikia - Potifolio - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 70-71 - Chati ya nahau - Kadi za nahau - Mti maneno |
Kuandika insha ya wasifu
- Kutoa na kupokea maoni
- Kurekebisha insha kufuatia maoni
- Kuweka nakala safi kwenye potifolio
|
|
| 5 | 3 |
MATUNDA NA MIMEA
Kusoma Kusoma |
Kusoma kwa Mapana Matini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia. - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa. - Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matini yanayomvutia maktabani na mtandaoni. - Kusoma matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa. - Kuwasimulia wenzake kuhusu matini aliyosoma ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha. - Kujadiliana na wenzake matini ambayo wamesoma. - Unapenda kusoma habari kutoka wapi kulingana na picha zifuatazo? - Kwa nini unapenda kusoma habari kulingana na picha uliyochagua? |
Kusoma matini mbalimbali kunachangia vipi ukuzaji wa lugha?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 72-73
- Vitabu - Majarida - Magazeti - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 73-74 |
Kutambua na kuchagua matini ya kusoma
- Kusimulia matini iliyosomwa
- Kujadiliana kuhusu matini
- Kueleza umuhimu wa matini
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI. - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Soma sentensi zilizo kwenye jedwali. - Andika daftarini sentensi ulizosoma. - Tambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI kwenye sentensi ulizosoma kwa kuvipigia mstari. - Andika daftarini sentensi zilizo kwenye jedwali. - Tambua nomino katika ngeli ya KI-VI kwenye sentensi ulizonakili kwa kuzipigia mstari. |
Matumizi ya nomino za ngeli ya KI-VI yanachangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 75-76
- Vifaa vya kidijitali - Chati ya mifano ya sentensi - Kadi zenye nomino za KI-VI - Karatasi za kuandikia |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kupiga mstari nomino za ngeli ya KI-VI
- Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
- Kutunga sentensi zenye nomino za KI-VI
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI. - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Nakili daftarini mafungu yafuatayo: Kioo_napendeza, Chandarua_lirekebishwa, Vilima sana_naonekana, Kiatu_tashonwa na fundi hodari, Vyuma_lipata kutu. - Jaza nafasi katika mafungu hayo kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya KI-VI. - Shirikiana na mwenzako kutunga sentensi daftarini ukitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi. - Wasomee wenzako sentensi ulizotunga ili wakupe maoni yao kuhusu kutumia nomino za ngeli ya KI-VI. |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 76-77
- Vifaa vya kidijitali - Kapu maneno - Kadi za nomino - Orodha ya sentensi KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 77 - Sentensi zenye nomino za KI-VI - Boksi lenye kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi
- Kutunga sentensi zenye nomino za KI-VI
- Kuchagua nomino za KI-VI kutoka kwenye kundi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Soma vidokezo na mfano wa insha ya maelezo. - Ukiwa na wenzako, tambueni insha uliyosoma kwa kujadili mada na muundo wake. - Andika insha kuhusu Tunda ninalolipenda. Zingatia majibu ya maswali kama vidokezo. - Wasomee wenzako insha ya maelezo uliyoiandika. Waombe kutoa maoni yao kuhusu insha hiyo. - Kwa kuzingatia maoni ya wenzako andika nakala safi utakayoihifadhi kwenye potifolio. - Wasilisha potifolio kwa mwalimu ili aisahihishe insha yako. |
Je, ni vitu gani vinavyoweza kuandikiwa insha ya maelezo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 74-75
- Vifaa vya kidijitali - Mfano wa insha ya maelezo - Potifolio - Karatasi za kuandikia |
Kutambua sifa za insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo
- Kusomea wenzake insha
- Kuboresha insha kutokana na maoni
|
|
| 6 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Nahau
Kusoma kwa Mapana Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua nahau za uraia katika matini mbalimbali. - Kutambua maana za nahau mbalimbali za uraia katika mazungumzo. - Kutumia nahau za uraia katika mawasiliano. - Kuthamini matumizi ya nahau za uraia katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako nahau zifuatazo na maana zake: lipa kodi, fukuza umaskini, changa bia, jenga umoja, fanya haki. - Shirikiana na mwenzako kutambua nahau za uraia katika lori. - Ukiwa na wenzako, eleza maana ya nahau za uraia zifuatazo: fukuza adui, tii sheria, hifadhi amani, piga kura. - Tumia nahau za uraia zifuatazo kutunga sentensi: heshimu viongozi, jenga nchi, fuata sheria, heshimu bendera, lipa kodi. - Shiriki na wenzako mchezo wa kutaja nahau za maadili na maana zake. |
Matumizi ya nahau yana umuhimu gani katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 71-72
- Chati ya nahau za uraia - Kadi za nahau - Mti maneno - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 74 - Shajara - Vitabu - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama |
Kutambua nahau za uraia
- Kueleza maana za nahau za uraia
- Kutunga sentensi zenye nahau za uraia
- Kushiriki mchezo wa nahau
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya KI-VI
Ngeli ya LI-LI |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI. - Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya KI-VI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika matini mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia viambishi vya ngeli ya KI-VI kukamilisha sentensi. - Andika sentensi katika wingi. - Tambua nomino za ngeli ya KI-VI katika kifungu cha habari. - Tumia nomino za ngeli ya KI-VI katika sentensi zako. - Shirikiana na wenzako katika mchezo wa kutambua nomino za ngeli ya KI-VI. |
Nomino za ngeli ya KI-VI zina sifa gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 77-78
- Kadi za nomino - Kifungu cha habari - Chati ya nomino - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 78-79 - Chati ya sentensi - Vifaa vya kidijitali - Karatasi ya kuandikia |
Kukamilisha sentensi kwa viambishi sahihi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutambua nomino za KI-VI katika kifungu
- Kutumia nomino za KI-VI katika sentensi
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kukuza ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu Mmea kwa kujibu maswali yafuatayo: Unapenda mmea gani? Mmea huo una umbile gani? Una rangi gani? Una faida gani? - Andika insha ya maelezo kuhusu Mmea, ukizingatia: anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati nadhifu, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na ubunifu. - Wasilisha kazi yako kwa mwalimu ili akupe maoni yake. |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 75
- Vifaa vya kidijitali - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia - Potifolio |
Kuandaa vidokezo vya insha
- Kuandika insha ya maelezo
- Kutumia anwani, mpangilio, hati nadhifu
- Kutumia tahajia na sarufi sahihi
|
|
| 7 | 2 |
WANYAMA WA PORINI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Visawe
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kisawe ili kukibainisha. - Kutambua maneno mawili yenye maana sawa katika matini. - Kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano. - Kuthamini matumizi ya visawe katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako majina mawili ya picha zifuatazo: Televisheni-Runinga, Kinyonga-Lumbwi, Tembo-Ndovu, Sofa-Kochi, Nyati-Mbogo, Ugali-Sima. - Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya visawe kutokana na majina uliyosoma. - Tambua visawe katika maneno kwenye kapu maneno na boksi. - Ziandike sentensi hizi upya ukitumia kisawe cha neno lililoangaziwa. |
Maneno yenye maana sawa yanasaidia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 80-81
- Picha za vitu - Kapu maneno - Kadi za visawe - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 82-84 - Nakala ya mchezo wa kuigiza - Mifano ya vifungu |
Kutambua visawe
- Kueleza maana ya kisawe
- Kuchagua visawe
- Kutunga sentensi zenye visawe
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine. - Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini. - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza. - Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe. - Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. - Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukishirikiana na wenzako, igizeni mchezo wa kuigiza katika Shughuli ya 2. - Tambua wahusika katika mchezo mliouigiza. - Ni maneno gani yaliyowaelekeza mtakavyocheza mchezo huo? - Soma mchezo wa kuigiza wa Tamaa ya Fisi katika Shughuli ya 1. - Jadili na wenzako kuhusu ujumbe uliojitokeza katika mchezo huo wa kuigiza. |
Mchezo wa kuigiza hutofautiana vipi na hadithi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 84
- Nakala ya mchezo - Vifaa vya kidijitali - Vitambulisho vya wahusika |
Kuigiza mchezo
- Kutambua wahusika
- Kueleza maelekezo
- Kusoma kwa kuzingatia wahusika
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha. - Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha. - Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini. - Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana. - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Muulize mwenzako angependa umfanyie nini ili afurahi? - Tazama picha ifuatayo kisha usome kifungu kifuatacho. - Shirikiana na mwenzako kusoma kifungu tena ukizingatia maneno anika, anikia, anikwa. - Eleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi kutokana na jinsi maneno hayo yanavyobadilika. - Ukiwa pamoja na mwenzako, someni sentensi zifuatazo. - Shirikiana na mwenzako kueleza maana ya kila sentensi. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 87-88
- Picha - Kifungu cha habari - Orodha ya sentensi - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 88-89 - Jedwali la vitenzi |
Kutambua mnyambuliko wa vitenzi
- Kueleza maana ya kauli mbalimbali
- Kutambua vitenzi katika kauli mbalimbali
- Kueleza maana ya sentensi
|
|
| 8 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Masimulizi
Visawe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Rejelea kwenye potifolio yako utafute insha ya masimulizi uliyoiandika hapo awali. - Ni nini ulichofanya vizuri katika insha hiyo? - Ni nini ambacho unahitaji kuboresha? - Ni maendeleo gani unayoweza kutambua kuhusu waandishi wako wa insha? - Tambua insha ya masimulizi kwa kusoma vidokezo na kielelezo kifuatacho. - Shirikiana na mwenzako kujadili insha ya masimulizi mliyoisoma. |
Insha ya masimulizi inahusu nini?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85-86
- Potifolio - Mfano wa insha ya masimulizi - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 81 - Kifungu cha habari - Shajara ya tathmini - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama |
Kutambua sifa za insha ya masimulizi
- Kutathmini insha ya masimulizi
- Kujitathimini katika uandishi
- Kujadili insha ya masimulizi
|
|
| 8 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mchezo wa kuigiza ili kuipambanua na tungo zingine. - Kutambua mchezo wa kuigiza katika matini. - Kutambua wahusika na maelekezo katika mchezo mfupi wa kuigiza. - Kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe. - Kuigiza mchezo mfupi kwa kuzingatia maelekezo. - Kufurahia kusoma michezo na kuiigiza. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Jibu maswali yafuatayo yanayotokana na mchezo uliousoma: Mchezo wa kuigiza uliousoma unahusu nini? Taja majina ya wahusika katika mchezo uliousoma. Taja matendo ya wahusika katika mchezo huo. Ni mnyama yupi aliyekuwa na tamaa? Umejifunza nini kutokana na mchezo huo? - Ukiwa na wenzako, sikilizeni maigizo ya mchezo wa Tamaa ya Fisi yaliyorekodiwa. - Ukiwa na mwenzako, igiza mchezo wa Tamaa ya Fisi. |
Je, mchezo wa kuigiza unatupa ujumbe gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 85
- Nakala ya mchezo - Vifaa vya kidijitali - Rekodi ya mchezo - Vitambulisho vya wahusika |
Kujibu maswali kuhusu mchezo
- Kusikiliza maigizo
- Kuigiza mchezo
- Kueleza ujumbe wa mchezo
|
|
| 8 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Mnyambuliko wa Vitenzi
Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya mnyambuliko wa vitenzi ili kuubainisha. - Kueleza maana ya kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ili kuzitofautisha. - Kutambua vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa katika matini. - Kutumia vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa ipasavyo anapowasiliana. - Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika kauli za kutenda, kutendea na kutendwa kwenye mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kujaza mapengo katika jedwali la kauli za vitenzi. - Shirikiana na mwenzako kujaza mapengo katika sentensi zifuatazo kwa kutumia vitenzi sahihi. - Shirikiana na mwenzako kuandika upya sentensi zifuatazo katika kauli ya kutendea. - Tunga sentensi kwa kutumia vitenzi vifuatavyo: jazwa, shika, torokea, nyesha, bebwa. |
Kauli ya kutenda, kutendea na kutendwa zinatofautiana vipi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 89-90
- Jedwali la vitenzi - Orodha ya vitenzi - Sentensi zenye nafasi za kujaza - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 86-87 - Vifaa vya kidijitali - Vidokezo vya insha - Shajara ya tathmini - Karatasi za kuandikia |
Kujaza mapengo katika jedwali
- Kujaza vitenzi sahihi katika sentensi
- Kubadilisha sentensi kutoka kauli moja hadi nyingine
- Kutunga sentensi zenye vitenzi mbalimbali
|
|
| 8 | 4 |
AFYA BORA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi. - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi. - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unapokuwa nyumbani au njiani wewe huzungumza na nani? - Mweleze mwenzako baadhi ya mambo unayopenda kuzungumzia. - Kwa nini si vizuri kuzungumza na mtu yeyote? - Tambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi kwa kumweleza mwenzako mazungumzo katika picha zifuatazo yanafanyika wapi. - Taja miktadha mingine isiyo rasmi ya mazungumzo ambayo unajua. |
Je, unazingatia nini wakati wa kuzungumza na watu mbalimbali?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 91-92
- Picha za watu wakizungumza - Vifaa vya kidijitali - Video ya mazungumzo |
Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi
- Kutaja miktadha mingine isiyo rasmi
- Kueleza mambo ya kuzingatia kwenye mazungumzo
- Kutumia lugha ya upole na heshima
|
|
| 9 |
Midterm |
||||||||
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. - Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua kitabu, gazeti na jarida linalokuvutia maktabani au mtandaoni. - Soma kichwa cha hadithi au habari. - Tazama picha ya hadithi au habari. - Bashiri kitakachotokea katika hadithi au habari. - Soma hadithi au habari uliyochagua. - Tambua msamiati uliotumiwa. - Andika maana ya msamiati huo. - Tunga sentensi ukitumia msamiati uliojifunza. |
Kusoma kwa mapana kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93
- Vitabu - Magazeti - Majarida - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 93-94 - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama - Shajara ya kusoma - Vitabu vya hadithi |
Kuchagua matini ya kusoma
- Kutambua msamiati mpya
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Vinyume vya Nomino
Insha ya Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino ili kukibainisha. - Kutambua vinyume vya nomino katika matini. - Kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya nomino ipasavyo. - Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya nomino katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Orodhesha nomino za A na B. - Umetambua nini kuhusu nomino za A zikilinganishwa na za B? Mweleze mwenzako. - Kutokana na nomino ulizozisoma, eleza maana ya kinyume cha nomino. - Shirikiana na mwenzako kutambua kinyume cha kila nomino kwenye jedwali. - Shirikiana na mwenzako kuandaa orodha ya vinyume vya nomino za vitu halisi mnavyoweza kutambua. |
Matumizi ya vinyume vya nomino huchangia vipi katika ukuzaji wa lugha?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 97-98
- Jedwali la nomino - Kapu maneno - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94-95 - Mfano wa insha ya maelezo - Vifaa vya kidijitali - Vidokezo vya insha |
Kutambua vinyume vya nomino
- Kuorodhesha vinyume vya nomino
- Kueleza maana ya kinyume cha nomino
- Kutoa mifano ya vinyume vya nomino
|
|
| 10 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua miktadha ya mawasiliano isiyo rasmi. - Kutumia lugha ipasavyo katika miktadha isiyo rasmi. - Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama maigizo ya mazungumzo kuhusu Lishe bora kwenye video au tarakilishi yaliyoandaliwa na mwalimu. - Je, ni maneno gani ya upole na heshima yaliyotumiwa katika mazungumzo uliyoyatazama? - Waeleze wenzako kwa nini wanafaa kuzingatia mambo yafuatayo katika mazungumzo: - a) kutumia lugha ya upole na heshima. - b) kumpa mwenzako nafasi ya kuzungumza. - c) kusikiliza kwa makini mwenzako anapozungumza. - Ukiwa na wenzako, igizeni mazungumzo ya mtoto na mzazi. |
Kwa nini ni muhimu kutumia lugha ya upole katika mazungumzo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 92-93
- Video ya mazungumzo - Vifaa vya kidijitali - Shajara ya tathmini |
Kuigiza mazungumzo
- Kutambua maneno ya upole
- Kuzingatia nidhamu ya lugha
- Kujitathimini katika mazungumzo
|
|
| 10 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Vinyume vya Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma. - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia. - Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma. - Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chora jedwali linalofuata kwenye kitabu maalum. Kila ukisoma hadithi au habari lijaze ili kuweka rekodi ya mambo uliyosoma. - Jadili na wenzako matini ambayo umesoma. - Eleza ujumbe wa matini uliyosoma. - Tambua na andika daftarini msamiati mpya kutoka matini uliyosoma. - Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati mpya. - Tunga sentensi ukitumia msamiati mpya uliotambua. |
Kusoma matini ya kidijitali kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 94
- Shajara ya kusoma - Kamusi - Vifaa vya kidijitali - Mtandao salama KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 98-99 - Orodha ya nomino - Shajara ya tathmini - Vifaa vya kidijitali |
Kujaza shajara ya kusoma
- Kutambua msamiati mpya
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kutunga sentensi kwa msamiati mpya
|
|
| 11 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya Maelezo
Tashbihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya maelezo kuhusu Maji. Tumia vidokezo ulivyoandaa na mwenzako. Zingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye matumizi ya methali na nahau. - Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni. - Andike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako. - Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake. - Andika insha ya maelezo kuhusu Michezo. |
Je, unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 96
- Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia - Potifolio - Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 100 Kadi za tashbihi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelezo
- Kusomea wenzake insha
- Kuboresha insha kutokana na maoni
- Kuhifadhi insha kwenye potifolio
|
|
| 11 | 2 |
KUKABILIANA NA UHALIFU
Kusoma Sarufi Sarufi Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Nyakati na hali Nyakati na hali Kuandika Insha ya Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali. - Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi. - Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa. - Kusoma matini lengwa ili kupata ujumbe. - Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao. - Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kuifungua na kuifunga. - Kutambua mitandao salama yenye matini yanayoafiki kiwango na mahitaji yake. - Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao. - Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni. - Kusoma matini kwenye tovuti salama. - Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake. |
Unazingatia nini unaposoma matini ya kidijitali?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 103
Tarakilishi/vipakatalishi Matini za kusoma zinazohusu kukabiliana na uhalifu Kamusi za mtandaoni KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 107 Chati ya viambishi vya nyakati Kadi za maneno za vitenzi Vifaa vya kidijitali Sentensi zenye vitenzi vya nyakati tofauti KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 108 Matini zenye vitenzi vya nyakati tofauti KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 105 Mifano ya insha za masimulizi Chati ya muundo wa insha ya masimulizi |
Kutambua hatua za usalama mtandaoni
Kufungua na kufunga faili ipasavyo
Kusakura matini salama mtandaoni
Kutoa muhtasari wa matini aliyosoma
Kujibu maswali kutoka kwenye matini
|
|
| 11 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi |
Tashbihi
Kusoma kwa Mapana Nyakati na hali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya tashbihi ili kuibainisha. - Kutambua tashbihi za kimo na umbo katika matini. - Kutumia tashbihi za kimo na umbo kwa usahihi katika sentensi. - Kufurahia matumizi ya tashbihi za kimo na umbo katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza hadithi fupi inayohusisha masuala ya uhalifu na kusikia jinsi tashbihi zinavyotumika kutolea maelezo. - Kutumia tashbihi kwa usahihi kuelezea watu wanaohusika na uhalifu. - Kutunga sentensi zenye tashbihi za maumbile za watu mbali mbali anaowafahamu. - Kubuni hadithi fupi akitumia tashbihi za kimo na umbo. - Kumweleza mzazi/mlezi wake tashbihi alizozifunza na kufanya zoezi la kutumia tashbihi nyumbani. |
Ni tashbihi gani zinazotumika kuelezea watu wanaohusika na uhalifu?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 101
Picha za watu wa maumbile tofauti Vifaa vya kidijitali Hadithi fupi zenye tashbihi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 104 Tarakilishi/vipakatalishi zilizo na matini zinazohusu kukabiliana na uhalifu Picha zinazoonyesha aina za uhalifu Kamusi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 109 Orodha hakiki ya matumizi ya nyakati Vifungu vya habari vya uhalifu Matini ya mwalimu |
Kutunga sentensi zenye tashbihi
Kuelezea maumbile ya watu kwa kutumia tashbihi
Kushiriki katika kubuni hadithi fupi
Kutumia tashbihi katika mawasiliano ya kila siku
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Kuandika Insha ya Masimulizi
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo. - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masumulizi ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. - Kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake. - Kuitathmini insha yake akihakikisha kuwa imezingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu. |
Ni mambo gani muhimu unayopaswa kuyazingatia unapoandika insha ya masimulizi kuhusu kukabiliana na uhalifu?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 106
Vifaa vya kidijitali Mifano ya insha za masimulizi Orodha hakiki ya vipengele vya insha ya masimulizi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 112 Picha/michoro kuhusu mapato Mifano ya simulizi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 114 Vifungu vya hadithi kuhusu mapato Chati ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha |
Kuandika insha ya masimulizi
Kusomea wenzake insha aliyoandika
Kurekebisha insha kulingana na maoni ya wenzake
Kueleza ujumbe wa insha ya masimulizi
|
|
| 12 | 1 |
MAPATO
Sarufi Sarufi Sarufi |
Ukanushaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukanushaji ili kuubainisha. - Kutambua maneno yaliyokanushwa katika kundi la maneno. - Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno. - Kukanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati katika mawasiliano. - Kuchangamkia ukanushaji wa maneno katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya ukanushaji. - Kutambua maneno yaliyokanushwa kwenye chati, ubao, kapu maneno, mti maneno na vyombo vya kidijitali. - Kutambua viambishi vya nafsi na wakati katika maneno akishirikiana na wenzake. - Kukanusha maneno na sentensi akizingatia nafsi na nyakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi. |
Unazingatia nini unapokanusha maneno na sentensi kwa kuzingatia nafsi na wakati?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 118
Chati ya viambishi vya ukanushaji Kadi maneno Vifaa vya kidijitali KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 119 Orodha ya sentensi zenye vitenzi katika hali ya kutenda Mifano ya sentensi ziliziokanushwa KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 120 Jedwali la viambishi vya ukanushaji Orodha ya sentensi za kukanusha |
Kujaza pengo kwa viambishi vya ukanushaji
Kuuliza maswali na kutoa majibu
Kutunga sentensi za ukanushaji
Kufanyiana tathmini
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Ukubwa wa Nomino
Kuandika Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya ukubwa wa nomino ili kuubainisha. - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja. - Kutambua nomino katika hali ya ukubwa. - Kubadilisha nomino kutoka hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa. - Kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwenye sentensi. - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali. - Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa. - Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje ukubwa wa nomino hiyo. - Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi. |
Kutaja nomino katika ukubwa wake kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 121
Orodha ya nomino za wastani na ukubwa Vifaa vya kidijitali Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na ukubwa KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 116 Mifano ya barua za kirafiki Mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki |
Kujaza pengo kwa nomino za ukubwa
Kuuliza maswali na kutoa majibu
Kutunga sentensi zenye nomino za ukubwa
Kufanyiana tathmini
|
|
| 12 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Sarufi |
Kujieleza kwa ufasaha Masimulizi
Kusoma kwa Ufasaha Ukubwa wa Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusimulia tungo kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha mbele ya wenzake. - Kutumia ishara zifaazo ili kuimarisha masimulizi yake. - Kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua mada inayohusu mapato kama "Jinsi ya kupata na kutumia mapato". - Kuandaa hoja za masimulizi yake akitumia mchoro wa kiakili. - Kusimulia kisa kuhusu mapato mbele ya darasa akitumia lugha fasaha, ishara za mwili zifaazo na usanifu wa lugha. - Kujibu maswali kutoka kwa wenzake kuhusu masimulizi yake. - Kutoa maoni kuhusu masimulizi ya wenzake kwa heshima na upendo. |
Masimulizi mazuri kuhusu mapato yanapaswa kujumuisha mambo gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 113
Mchoro wa kiakili Vifaa vya kidijitali Picha kuhusu mapato KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 115 Hadithi zinazohusiana na mapato Kamusi KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 122 Kadi za nomino za wastani na ukubwa Chati ya nomino za wastani na ukubwa Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za ukubwa |
Utungaji wa masimulizi
Uwasilishaji wa masimulizi
Matumizi ya ishara za mwili
Ujibu wa maswali
Kutoa maoni kwa heshima
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Udogo wa nomino
Kuandika Barua ya Kirafiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya udogo wa nomino ili kuubainisha. - Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja. - Kutambua nomino katika hali ya udogo. - Kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya udogo. - Kutumia nomino katika hali ya udogo kwenye sentensi. - Kufurahia kutumia nomino katika hali ya udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mti, mto, mji) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu maneno au kifaa cha kidijitali. - Kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya udogo. - Kushiriki katika mchezo wa vikundi; kikundi kimoja kitaje wastani wa nomino na kingine kitaje udogo wa nomino husika. - Kuburura na kuambatanisha orodha ya nomino katika hali ya udogo na orodha nyingine ya nomino katika hali ya wastani kwenye tarakilishi. |
Kutaja nomino katika udogo wake kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 123
Orodha ya nomino za wastani na udogo Vifaa vya kidijitali Mchoro wa nomino katika hali ya wastani na udogo KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 124 Kadi za nomino za wastani, ukubwa na udogo Jedwali la mifano ya nomino za wastani, ukubwa na udogo Picha za vitu vinavyowakilisha nomino za udogo KLB Visionary Kiswahili Grade 4 uk. 117 Mifano ya barua za kirafiki Matini ya mwalimu |
Kutambua nomino katika hali ya udogo
Kubadilisha nomino za wastani kuwa za udogo
Kutunga sentensi zenye nomino za udogo
Kufanyiana tathmini
|
|
Your Name Comes Here