If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
USHAURI-NASAHA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti. - Kueleza maana za methali kuhusu malezi. - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano. - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa orodha ya methali, chati au mtandaoni. - Kueleza maana za methali kuhusu malezi akiwa na wenzake. - Kukamilisha methali kuhusu malezi. - Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa na wenzake. - Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kutambua methali kuhusu malezi katika jamii yao. |
Methali hutumiwa vipi katika ushauri-nasaha?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 50
- Chati ya methali - Kapu la methali - Kadi zenye methali - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua methali za malezi
- Kueleza maana za methali
- Kukamilisha methali
- Kutumia methali katika maongezi
- Kukariri methali
|
|
| 1 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha. - Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe. - Kutambua beti na mishororo katika shairi. - Kutambua shairi kutokana na umbo lake. - Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua shairi, beti na mishororo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi. - Kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za shairi, ubeti na mishororo. - Kusoma akizingatia msamiati wa mada lengwa. - Kusikiliza mashairi yanayokaririwa kwenye vifaa vya kidijitali. - Kusoma au kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali akizingatia ujumbe. |
Unaufahamu msamiati gani wa ushairi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 52
- Nakala ya shairi - Chati zenye mashairi - Vifaa vya kidijitali - Rekodi za mashairi |
Kutambua sifa za shairi
- Kueleza maana ya istilahi za ushairi
- Kusoma shairi kwa ufasaha
- Kujibu maswali kuhusu shairi
|
|
| 1 | 3 |

| 1 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. - Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I kwenye sentensi alizosoma. - Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno. - Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viambishi vya umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-I. |
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya U-I?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 57
- Chati ya ngeli - Sentensi kwenye ubao - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kujaza pengo kwa viambishi sahihi
- Kupiga mstari nomino za ngeli ya U-I
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
|
|
| 2 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini. - Chagua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi zilizoandikwa. - Jaza pengo kwa kutumia kiambishi cha ngeli u au i kwa usahihi. - Tunga sentensi daftarini katika umoja na wingi ukitumia nomino ulizotambua. |
Unazingatia nini ili kuweza kutumia nomino za ngeli ya U-I katika sentensi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59
- Kadi za nomino - Chati ya sentensi - Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I
- Kutambua viambishi sahihi vya ngeli
- Kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano
- Kubadiilisha sentensi katika umoja na wingi
|
|
| 2 | 2 |

| 2 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vifungu vya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kushiriki na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya maelezo. - Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake. - Kuandika insha ya maelezo akitumia lugha ifaayo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokieleza. - Kuandika insha ya maelezo akizingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi na uakifishaji mwafaka. |
Insha ya maelezo inahusu nini?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 54
- Mifano ya insha za maelezo - Vifaa vya kidijitali - Chati ya muundo wa insha |
Kutambua sifa za insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo
- Kujadili insha iliyoandikwa
- Kutoa maoni kuhusu insha
|
|
| 2 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti. - Kueleza maana za methali kuhusu malezi. - Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano. - Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako kifungu kifupi chenye methali za malezi. - Mtajie mwenzako methali mbili zilizotumiwa katika kifungu. - Tumia maneno yanayofaa kukamilisha methali zilizokatizwa. - Tumia methali zinazofaa kutoka kwenye kadi kuelezea hali mbalimbali. - Msimulie mwenzako kisa kifupi ukitumia methali ya malezi. |
Kwa nini methali hutumiwa katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 51
- Vitabu vya hadithi - Kadi za methali - Chati zenye methali - Vifaa vya kidijitali |
Kutoa maana za methali
- Kujaza pengo kwa methali zinazofaa
- Kuambatanisha methali na maana zake
- Kutumia methali katika masimulizi
|
|
| 3 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha. - Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe. - Kutambua beti na mishororo katika shairi. - Kutambua shairi kutokana na umbo lake. - Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye shairi. - Kusoma mashairi kwenye mitandao. - Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilolisoma. - Kutambua umbo la shairi alilolisoma kwa kutaja kichwa, idadi ya beti, idadi ya mishororo, silabi zinazorudiwa na idadi ya silabi. - Kukariri kwa sauti ifaayo shairi alilolisoma. |
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 53
- Diwani ya mashairi - Vitabu vya mashairi - Vifaa vya kidijitali - Rekodi za mashairi |
Kujadili ujumbe wa shairi
- Kutambua umbo la shairi
- Kukariri shairi kwa ufasaha
- Kufanya tathmini ya ujumbe wa shairi
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I. - Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako katika mchezo wa kuchopoa kadi za nomino za ngeli ya U-I kutoka kwenye boksi na kisha kuzitungia sentensi. - Tafuta mimea na vitu vya kimaumbile kwenye mazingira yako. - Taja nomino za ngeli ya U-I na kuvitungia sentensi. - Jadili sentensi ulizotunga na wenzako. - Sahihisha sentensi zenye makosa ya upatanisho wa kisarufi. |
Matumizi ya nomino za ngeli ya U-I yanachangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59
- Boksi lenye kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali - Michoro ya vitu mbalimbali |
Kutambua nomino za ngeli ya U-I
- Kutunga sentensi zenye nomino hizo
- Kusahihisha makosa ya upatanisho wa kisarufi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
|
|
| 3 | 4 |

| 4 | 1 |

- Nakili sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I. - Badilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi. - Andika kwa wingi sentensi zilizo katika umoja. - Tunga sentensi zako mwenyewe ukitumia nomino za ngeli ya U-I. - Jadili na wenzako jinsi ya kutambua nomino za ngeli ya U-I. |
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 59
- Orodha ya sentensi - Vifaa vya kidijitali - Kapu maneno |
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I
- Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi
- Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |

| 4 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua vifungu vya maelezo katika matini. - Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini. - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waisikilize na kuitathmini. - Shirikiana na wenzako kuandaa vidokezo mtakavyotumia kuandika insha kuhusu: Umuhimu wa kuwa na Nidhamu. - Andika insha ya maelezo kuhusu Umuhimu wa kuwa na Nidhamu ukitumia vidokezo mlivyojadili. - Landike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa. |
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 55-56
- Vifaa vya kidijitali - Vidokezo vya insha - Karatasi za kuandikia |
Kuandika insha inayozingatia anwani, mpangilio, hati nadhifu, tahajia na uakifishaji
- Kutumia methali na nahau katika insha
- Kutoa na kupokea maoni kuhusu insha
|
|
| 5 | 1 |
BENDERA YA TAIFA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano. - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake. - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tazama video ya bendera na usikilize shairi likikaririwa na mwalimu au kupitia kifaa cha kidijitali. - Mkaririe mwenzako shairi lifuatalo kisha usikilize naye akikukariria. - Eleza maana ya maneno yafuatayo yaliyotumiwa katika shairi ulilosoma: bendera, amani, uhuru, kuipandisha, kuishukisha. - Tumia maneno uliyoeleza kutunga sentensi sahihi. |
Ushairi unaweza kuboresha vipi mazungumzo yako?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 60
- Video ya bendera - Nakala ya shairi - Vifaa vya kidijitali |
Kukariri shairi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kueleza maana ya msamiati katika shairi
- Kutumia msamiati katika sentensi
- Kueleza ujumbe wa shairi
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |

| 5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga. - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika. - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mweleze mwenzako unaona nini katika picha hii. (picha za magazeti, vitabu na tovuti) - Kwa nini ni muhimu kusoma magazeti na vitabu vya hadithi kwa undani? - Chagua kitabu cha hadithi ili usome. - Keti mahali pafaapo na namna ifaayo ili usome. - Eleza ujumbe wa nakala au hadithi uliyosoma. - Eleza wahusika waliotajwa kwenye kitabu ulichosoma. |
Je, kusoma hadithi kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 62
- Vitabu vya hadithi - Magazeti - Vifaa vya kidijitali - Shajara |
Kueleza ujumbe kutoka makala
- Kutambua wahusika katika makala
- Kutafuta maana ya msamiati
- Kueleza maoni kuhusu makala
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA. - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Je, unaona nini kwenye picha hizi? - Mtajie mwenzako majina ya vitu hivyo katika umoja na wingi. - Soma sentensi zifuatazo (sentensi zenye nomino za LI-YA). - Andika daftarini sentensi ulizosoma. - Tambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA kwenye sentensi ulizosoma kwa kuvipigia mstari. |
Unazingatia nini ili kuweza kutambua na kutumia nomino katika ngeli ya LI-YA?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 66-67
- Picha za nomino za ngeli ya LI-YA - Chati ya sentensi - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua viambishi vya ngeli ya LI-YA
- Kupiga mstari nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA. - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Chagua nomino za ngeli ya LI-YA katika sentensi zifuatazo. - Andika daftarini nomino ulizotambua. - Chagua nomino za ngeli ya LI-YA kwenye lori hili. - Tumia maneno yafuatayo kutunga sentensi katika umoja na wingi. - Andika sentensi zifuatazo katika wingi. |
Ni maneno gani yanayoanza na LI au MA?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 67-68
- Orodha ya sentensi - Kapu maneno - Chati ya ngeli - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
- Kujaza pengo kwa viambishi sahihi
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
|
|
| 6 | 3 |

| 6 | 4 |

| 7 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tambua insha ya wasifu kwa kusoma vidokezo na kielelezo kifuatacho. - Shirikiana na mwenzako kujadili insha uliyoisoma kwa kuzingatia: kichwa, mpangilio wa aya, uakifishaji, tahajia, vivumishi vilivyotumiwa kumweleza mtu anayesifiwa, vielezi vilivyotumiwa kueleza vitendo katika insha hiyo. - Jadili na mwenzako vidokezo vya insha ya wasifu kuhusu Mwalimu wangu. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya wasifu?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63-64
- Vifaa vya kidijitali - Kielelezo cha insha ya wasifu - Vidokezo vya insha |
Kutambua sifa za insha ya wasifu
- Kufafanua mpangilio wa insha ya wasifu
- Kutaja vivumishi vinavyotumika
- Kuandaa vidokezo vya insha
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kujieleza kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kukariri au kuimba shairi kwa kuzingatia matamshi na mahadhi mbalimbali. - Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa katika shairi. - Kutumia msamiati uliotumiwa katika shairi ili kuboresha mawasiliano. - Kueleza ujumbe wa shairi ili kudhihirisha ufahamu wake. - Kuchangamkia ushairi kama njia ya kujieleza kwa ufasaha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Shirikiana na mwenzako kueleza ujumbe wa shairi ulilolisoma kwa kujibu maswali yafuatayo: Bendera ya taifa ina rangi ngapi? Rangi nyeupe inamaanisha nini? Rangi inayowakilisha ukulima ni gani? Rangi nyeusi inasimamia nini? - Chora daftarini jedwali kisha likamilishe kwa uaminifu kuonyesha mambo unayoweza kufanya. - Imbeni wimbo wa Taifa la Kenya. |
Kutumia ushairi kujieleza kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 61
- Nakala ya shairi - Jedwali la tathmini - Vifaa vya kidijitali - Rekodi ya wimbo wa taifa |
Kutambua ujumbe wa shairi
- Kueleza maana za rangi za bendera
- Kutaja sifa za bendera ya taifa
- Kuimba wimbo wa taifa
|
|
| 7 | 4 |

| 8 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kusoma makala kwa kuzingatia vipengele mbalimbali vinavyoyajenga. - Kusoma na kutambua umuhimu wa ujumbe wa makala husika. - Kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kukuza ufahamu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Tumia kamusi kutafuta maana ya msamiati uliopata. - Chora daftarini shajara kisha uikamilishe kwa kuweka rekodi ya kile ulichokisoma. - Hifadhi shajara hii kwenye potifolio yako. - Waeleze wenzako ujumbe wa hadithi uliyosoma utakufaa vipi. - Jadili na wenzako makala au hadithi uliyosoma na umuhimu wake. |
Kusoma kwa kina kuna umuhimu gani?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 63
- Shajara - Kamusi - Vitabu vya hadithi - Vifaa vya kidijitali |
Kujaza shajara ya usomaji
- Kueleza umuhimu wa hadithi
- Kutaja ujumbe wa hadithi
- Kutafuta na kutoa maana ya msamiati
|
|
| 8 | 2 |

| 8 | 3 |

| 8 | 4 |

| 9 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya LI-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI-YA. - Kutambua nomino katika ngeli ya LI-YA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine. - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi. - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya LI-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Ukiwa na mwenzako, tafuta nomino zifuatazo katika jedwali na uzichoree mviringo, fuata mfano uliopewa. - Tunga sentensi sahihi ukitumia nomino ulizotambua. - Wasomee wenzako ili watoe maoni yao. - Tafuta na usome maelezo zaidi kuhusu ngeli ya LI-YA kwenye mtandao salama. |
Matumizi ya nomino za ngeli ya LI-YA yanachangia vipi katika mawasiliano?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 68-69
- Jedwali la kigambo - Vifaa vya kidijitali - Orodha ya nomino - Mtandao salama |
Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutumia viambishi sahihi vya ngeli
- Kutafuta maelezo zaidi kuhusu ngeli
|
|
| 9 | 2 |

| 9 |
Hailfterm break |
||||||||
| 10 | 1 |

- Jaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia viambishi sahihi vya ngeli ya LI-YA. - Badilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi. - Tunga sentensi ukitumia nomino za ngeli ya LI-YA. - Tambua sentensi zilizo na makosa ya kisarufi na kuzisahihisha. - Toa mifano mingine ya nomino za ngeli ya LI-YA. |
Ni nini hufanya nomino iwe katika ngeli ya LI-YA?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 69
- Orodha ya sentensi - Kadi za nomino - Vifaa vya kidijitali |
Kutambua na kusahihisha makosa ya kisarufi
- Kujaza pengo kwa viambishi sahihi
- Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya LI-YA
- Kutambua nomino za ngeli ya LI-YA
|
|
| 10 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia muundo. - Kuandika insha ya wasifu kwa kuzingatia ujumbe, mtindo na muundo ufaao. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Andika insha ya wasifu kuhusu Mwalimu wangu ukizingatia: lugha sahihi, uakifishaji ufaao, hati safi, mpangilio mzuri wa mawazo, maelezo yenye vivumishi na vielezi. - Wasomee wenzako insha uliyoiandika ili wakupe maoni. - Landike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa na mwenzako. - Iweke nakala safi ya insha yako kwenye potifolio na uiwasilishe kwa mwalimu ili akupe maoni yake. |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 65
- Vidokezo vya insha ya wasifu - Karatasi za kuandikia - Potifolio - Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya wasifu
- Kutoa na kupokea maoni
- Kurekebisha insha kufuatia maoni
- Kuweka nakala safi kwenye potifolio
|
|
| 10 | 3 |

| 10 | 4 |

Your Name Comes Here