Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1-2
Miezi ya Mwaka
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora
, kutamka sauti lengwa ili kuimarisha matamshi bora
Mwanafunzi atambue sauti mb, nj na ng katika maneno.
Mwanafunzi amsikilize mwalimu akitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke. pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima. Mifano ya silabi hizi ni: mba, mbe, mbi,nja, nje, nji, nga, nge na ngi.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 3
Miezi ya Mwaka
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji
Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya ki teknolojia kama vile papaya, tarakilishi, projekta na kipazasauti katika kuimarisha matamshi yake
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 4

3 1-2
Miezi ya Mwaka
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamo
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma maneno kwa kutumia silabi
zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji

, kutambua miezi ya mwaka ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
katika kuimarisha matamshi yake. Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni
mwalikwa akitamka sauti lengwa.
Mwanafunzi atambue sauti alizosikia katika maneno kwa mfano k. m mbuzi, mbuni, Septemba, Disemba, njugu, ngazi na funga

Mwanafunzi asome majina ya miezi ya mwaka ipasavyo kwa kutumia kadi za maneno. Wanafunzi waweza kukariri mashairi yanayohusu miezi ya mwaka.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Je, unajua majina yapi ya miezi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 3
Miezi ya Mwaka
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma majina ya miezi ya mwaka ili kuimarisha usomaji bora
Wanafunzi waweza kukariri mashairi yanayohusu miezi ya mwaka.
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo zinazohusu miezi ya mwaka
Je, unajua majina yapi ya miezi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 4
Miezi ya Mwaka
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya miezi ya mwaka
kwa Kiswahili ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi ataje miezi ya mwaka. Mwanafunzi aweza kuelezea mambo yanayofanyika miezi fulani kv kufungua shule mwezi wa Januari,
kufunga shule mwezi wa
Aprili
Unajua miezi gani ya mwaka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 1-2
Miezi ya Mwaka
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja miezi ya mwaka kwa Kiswahili ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi aweza kuelezea mambo yanayofanyika miezi fulani kv kufungua shule mwezi wa Januari, kufunga shule mwezi wa Aprili.
Mwanafunzi asimulie kuhusu matukio katika miezi mbalimbali k.v. kuzaliwa, shehere za kidini na kitaifa.
Unajua miezi gani ya mwaka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 3
Miezi ya Mwaka
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza masimulizi kuhusu miezi ya mwaka ili kujenga usikivu
Mwanafunzi asimulie kuhusu matukio katika miezi mbalimbali k.v. kuzaliwa, shehere za kidini na kitaifa.
Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu miezi ya mwaka.
Unajua miezi gani ya mwaka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 4
Miezi ya Mwaka
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi ikisomwa na mwalimu inayojumuisha miezi ili kuimarisha stadi za kusikiliza na kusoma
Mwanafunzi asikilize mwalimu akisoma hadithi.
Mwanafunzi asome hadithi peke yake. Wanafunzi wasomeane hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi
Je, ni hadithi gani uliyofurahia ukisomewa
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
5 1-2
Miezi ya Mwaka
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi zinazojumuisha miezi na nambari ili kuimarisha usomaji
, kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu miezi ya mwaka ili kupata ujumbe
Wanafunzi wasomeane hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi
Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kuhusu hadithi aliyosoma.
Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa
Je, ni hadithi gani uliyofurahia ukisomewa
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
5 3
Miezi ya Mwaka
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa kuhusu miezi ya mwaka ili kupata ujumbe
Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kuhusu hadithi aliyosoma.
Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa
Je, ni hadithi gani uliyofurahia ukisomewa
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
5 4
Miezi ya Mwaka
Kuandika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
aweze: kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 1-2
Miezi ya Mwaka
Kuandika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
aweze: kuandika kisa
kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada ili kujenga stadi ya uandishi

, kufurahia uandishi wa visa tofauti ili kuimarisha mawasiliano andishi
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui,
mtiririko n.k. Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.

Mwanafunzi aandike kisa kifupi kinachohusiana na mada. Kisa hiki kifuate hatua tano za uandishi: maandalizi, nakala ya kwanza, marejeleo, uhariri na uchapishaji
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 3
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi apewe hadithi yenye mapengo ajaze kwa maneno mwafaka Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
6 4
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha usomaji bora
Mwanafunzi aeleze yaliyo muhimu katika uandishi k.v. mwandiko nadhifu, maudhui, mtiririko n.k.
Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Sauti za herufi mbili za Kiswahili
7 1-2
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kuandika nambari 51-
100 kwa maneno ili kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi asome kielelezo cha kisa kilichoandikwa.
Wanafunzi waweza kuandika kisa kifupi
wakiwa wawili wawili
Je, ni mambo yapi yanayofaa kuzingatiwa unapoandika kisa?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 3
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi asome majina ya nambari 51- 100
Wanafunzi waweza kupatiwa kadi za nambari 51-100 na majina yake ili kuziambatanisha katika makundi
Unaweza kuandika nambari zipi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
7 4
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma nambari 51-100 kwa maneno ili kuimarisha usomaji bora
Wanafunzi waweza kupatiwa kadi za nambari 51-100 na majina yake ili kuziambatanisha katika makundi.
Mwanafunzi aandike nambari 51-100.
Unaweza kuandika nambari zipi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 1-2
Tarakim u
Msamiati Tarakimu 51-100
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuandika nambari 51- 100 kwa maneno ili kuimarisha uandishi bora
kutambua matumizi ya kikomo (.)
katika kuimarisha mawasiliano
Wanafunzi waweza kushirikishwa kupanga upya majina yaliparaganywa ya nambari 51-100.
Mwanafunzi atunge sentensi akitumia nambari 51-100.
Mwanafunzi asome sentensi zenye kikomo (.) katika vikundi
Unaweza kuandika nambari zipi?
Unajua alama zipi za kuakifisha
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 3
Tarakim u
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua matumizi ya kikomo (.)
katika kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi asome sentensi zenye kikomo (.) katika vikundi
Unajua alama zipi za kuakifisha
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
8 4
Tarakim u
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo(.) katika kuimarisha uandishi bora
Mwanafunzi aakifishe sentensi fupi kwa kutumia kikomo (.).
Unajua alama zipi za kuakifisha
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
9

Half term

10 1-2
Tarakim u
Kazi mbalim bali
Sarufi: Matumizi ya Kikomo
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kuzingatia kikomo (.) anaposoma kifungu na sentensi ili kuimarisha usomaji bora
, kutambua sauti mbili zinazotamkwa pamoja ili kuimarisha matamshi bora
Mwanafunzi aandike sentensi ukitumia kikomo (.).
Mwanafunzi atambue sauti py na vy katika maneno
Unajua alama zipi za kuakifisha
Je, ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 3
Kazi mbalim bali
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti lengwa ili kuimarisha matamshi bora
Mwanafunzi amsikilize mwalimu akitamka silabi zinazotokana na sauti lengwa kisha atamke pamoja na mwalimu na baadaye atamke akiwa pekee, wawili na darasa zima
k.m pya, pye, vya na vye
Je, ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
10 4

11 1-2
Kazi mbalim bali
Sauti mbili tofauti zinazotamk wa pamoja
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma silabi za sauti lengwa ili kuimarisha usomaji
, kutambua msamiati wa kazi mbalimbali ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi atambue sauti alizosoma katika maneno kwa mfano k. m mpya, kipya, kompyuta, vyema, vyoo na vyote.
Mwanafunzi atazame picha, michoro au DVD inayoonyesha watu na kazi mbalimbali k.v ualimu, ukulima, udaktari, uyaya, unesi na ubawabu ili azitambue peke yake au katika vikundi
Je, ni sauti zipi unazojua kutamka
Ni neno gani unaloweza kusoma kwenye kadi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
11 3
Kazi mbalim bali
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutunga sentensi akitumia msamiati wa kazi mbalimbali ili kujenga ubunifu
Wanafunzi waweza kuambatanisha kadi za maneno na kazi mbalimbali wakiwa katika vikundi.
Mwanafunzi aeleze kazi mbalimbali
Ni neno gani unaloweza kusoma kwenye kadi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
11 4
Kazi mbalim bali
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma maneno na sentensi kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha usomaji
Mwanafunzi aandike majina ya kazi mbalimbali.
Mwanafunzi asome msamiati wa kazi mbalimbali katika kadi, chati nk.
Ni neno gani unaloweza kusoma kwenye kadi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
12 1-2
Kazi mbalim bali
Kusikiliza na Kuzungum za: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

mada, kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha usikivu
Mwanafunzi asimulie
kuhusu kazi mbalimbali. Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu kazi mbalimbali
Ni kazi zipi unazozijua
Charti
Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
12 3
Kazi mbalim bali
Kusikiliza na Kuzungum za: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuelezea kuhusu kazi mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi eleze umuhimu wa kazi mbalimbali.
Mwanafunzi aweza kushiriki katika nyimbo au mashairi kuhusu kazi mbalimbali
Ni kazi zipi unazozijua
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
12 4
Kazi mbalim bali
Kusikiliza na Kuzungum za: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja majina ya kazi mbalimbali na watu wanaozifanya ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa anapozungumzia kuhusu kazi mbalimbal
Ni kazi zipi unazozijua
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli

Your Name Comes Here

Download

Feedback