Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
KAZI MBALIMBALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti py, vy na sh katika maneno mbalimbali
- Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa
- Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi
- Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa
- Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa
- Kutamka maneno hayo vizuri
Je, unazingatia mambo gani unapotamka maneno mbalimbali katika kifungu?
Mentor uk. 48
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Mentor uk. 50
Sauti za kurekodi
Vifaa vya kidijitali
Picha
Kutambua silabi za sauti py, vy na sh Kutamka maneno yenye sauti py, vy na sh Kusoma kifungu chenye sauti py, vy na sh Kuunda maneno yenye sauti py, vy na sh
1 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora: Sauti py, vy na sh
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku
Je, kwa nini ni muhimu kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
Mentor uk. 52
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Matini
Mentor uk. 54
Vifaa vya kidijitali
Chati
Matini ya mwalimu
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno yenye sauti py, vy na sh Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa kwa matamshi bora
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh kwa zamu
- Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri
- Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
Je, unafanya nini ili usome vizuri?
Mentor uk. 55
Vifaa vya kidijitali
Picha
Matini ya mwalimu
Kutambua maneno yenye sauti py, vy na sh katika kifungu Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
1 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti py, vy na sh kwa ufasaha
- Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake
- Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, ni mambo gani unayozingatia unaposoma kifungu?
Mentor uk. 56
Kifaa cha kidijitali
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi
Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma Kusoma kwa kasi ifaayo
2 1
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya

- Kulinganisha vifungu vilivyopangwa vizuri na visivyopangwa vizuri
- Kutambua vifungu vilivyopangwa vizuri kwa kuzingatia nafasi ya pambizo na aya
- Kurekebisha vifungu vilivyoandikwa bila kuzingatia nafasi ya pambizo na aya
- Kuandika kifungu kuhusu kazi mbalimbali akizingatia nafasi ya pambizo na aya
Mnafikiri kifungu kipi kimepangwa vizuri?
Mentor uk. 57
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Vifungu mbalimbali
Kurekebisha vifungu visivyozingatia pambizo Kuandika kifungu kizuri akizingatia pambizo na aya
2 2
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika Uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nafasi ya pambizo na aya katika uandishi
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya

- Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia aya na pambizo
- Kuandika na kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu alichoandika akizingatia aya na pambizo ili ampe maoni yake
- Kurekebisha kifungu chake kutokana na maoni ya wenzake na mzazi au mlezi
Unawaza matumizi ya pambizo na aya yanasaidia vipi katika uandishi?
Mentor uk. 59
Vitabu vyenye vifungu
Matini ya mwalimu
Karatasi
Kuandika kifungu akizingatia matumizi ya pambizo na aya Kurekebisha kazi yake kutokana na maoni ya wenzake
2 3
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
Mentor uk. 59
Chati yenye sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua sentensi katika umoja na wingi Kujaza nafasi kwa kutumia umoja au wingi wa sentensi
2 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
Mentor uk. 60
Kadi za sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kuambatanisha sentensi za umoja na wingi Kutunga sentensi katika umoja na wingi
3 1
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi

- Kuchagua neno sahihi katika mabano kujazia sentensi
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi kuhusu kazi mbalimbali
- Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo
Taja tofauti kati ya sentensi za umoja na wingi
Mentor uk. 61
Vifaa vya kidijitali
Kadi zenye sentensi za umoja na wingi
Picha
Kuchagua umoja au wingi wa neno sahihi Kuandika sentensi katika umoja na wingi Kutofautisha kati ya sentensi za umoja na wingi
3 2
USALAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza
- Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza
- Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza
- Kuchangamkia kusikiliza kifungu

- Kusikiliza kifungu cha maneno 60-65 kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali ili kutambua ujumbe unaowasilishwa
- Kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza akiwa na wenzake
- Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati aliousikiliza uliotumika kwenye kifungu
- Kujibu maswali yanayohusiana na kifungu alichosikiliza
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
Mentor uk. 64
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Kutambua ujumbe wa kifungu Kuuliza na kujibu maswali Orodha hakiki Kueleza Kushiriki mjadala
3 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua ujumbe unaowasilishwa katika kifungu
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika kifungu alichosikiliza
- Kutunga sentensi kutumia msamiati uliotumika kwenye kifungu alichosikiliza
- Kusimulia upya kifungu cha hadithi alichokisikiliza
- Kuchangamkia kusikiliza kifungu

- Kujadili mambo muhimu katika kifungu alichokisikiliza akiwa na wenzake
- Kusimulia wenzake upya kifungu alichokisikiliza
- Kutoa maoni kuhusu ujumbe unaopatikana katika kifungu alichosikiliza
- Kutambua hatari zinazoweza kumletea mtoto
Je, unafanya nini ili uelewe mambo unayoambiwa?
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Picha kuhusu usalama
Kutambua msamiati katika kifungu Kueleza ujumbe wa kifungu Kusimulia kifungu
3 4

4 1

- Elezeni ujumbe wa kifungu mlichosikiliza katika Shughuli ya 1
- Andikeni maneno mapya mliyopata kwenye kifungu hicho
- Elezeni maana ya maneno hayo
- Tungeni sentensi mkitumia maneno mliyoandika
- Simulia mwenzako kifungu mlichosikiliza
Je, ni mambo gani ya usalama unayoweza kutambua katika mazingira yako?
Mentor uk. 65
Vifaa vya kidijitali
Chati
Picha zinazohusiana na usalama
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya Kusimulia kifungu kwa ufasaha
4 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari

- Sikilizeni shairi kwenye kifaa cha kidijitali
- Elezeni shairi linahusu nini
- Jadilini hatari zinazoweza kutokea nyumbani au shuleni
- Tazameni picha na kutabiri maudhui ya kifungu mtakachosoma
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi kwa usahihi?
Mentor uk. 66
Picha
Michoro
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa kutambua habari mahususi Kujibu maswali Kupanga matukio kwa mtiririko sahihi Kufanya tathmini
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari

- Soma kifungu kilichotolewa kuhusu usalama
- Jibu maswali yanayohusiana na kifungu hicho
- Jadili ujumbe uliomo kwenye kifungu
- Eleza mambo muhimu kuhusu usalama shuleni au nyumbani
Je, ujumbe gani unapatikana katika kifungu kuhusu usalama?
Mentor uk. 67
Matini ya mwalimu
Vifaa vya kidijitali
Kusoma na kufasiri kifungu Kueleza ujumbe wa kifungu Kutoa mifano ya hatari zinazoweza kumkumba mtoto
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
- Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari

- Tambua msamiati mpya katika kifungu ulichosoma
- Tumia msamiati huo kutunga sentensi sahihi
- Eleza mafunzo yanayopatikana kutokana na kifungu kuhusu usalama
- Jadili mbinu za kuzingatia usalama katika mazingira yako
Je, ni hatua gani unazoweza kuchukua ili kuhakikisha uko salama?
Mentor uk. 68
Kadi za maneno mapya
Picha zinazohusiana na usalama
Chati
Kutambua msamiati mpya Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya Kufanya tathmini ya maana ya msamiati
5 1
Kuandika
Matumizi ya Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua alama ya kiulizi katika matini
- Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini
- Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali

- Kutambua alama ya kiulizi katika sentensi kutoka kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake
- Kujadili na wenzake matumizi ya alama ya kiulizi ili kukuza uwezo wa kuitumia ipasavyo
- Kunakili ipasavyo kifungu kilichotumia alama ya kiulizi akishirikiana na wenzake
Je, alama ya kiulizi inatumika vipi katika maandishi?
Mentor uk. 69
Matini ya mwalimu
Kifaa cha kidijitali
Kadi zenye mifano ya matumizi ya kiulizi
Kutambua alama ya kiulizi katika matini Kutunga sentensi zenye alama ya kiulizi Orodha hakiki ya matumizi ya kiulizi Kujaza pengo kwa kuweka alama ya kiulizi
5 2

5 3

- Tazama alama ya kiulizi kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali
- Eleza matumizi mbalimbali ya alama ya kiulizi katika matini
- Sahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya kiulizi ipasavyo
- Tunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu usalama kwa kutumia alama ya kiulizi ipasavyo
Kwa nini tunahitaji kutumia alama ya kiulizi katika maandishi?
Mentor uk. 70
Mifano ya sentensi zenye alama ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Kueleza matumizi ya alama ya kiulizi Kusahihisha matumizi ya alama ya kiulizi Kuandika sentensi zenye alama za kiulizi
5 4
Kuandika
Matumizi ya Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua alama ya kiulizi katika matini
- Kueleza matumizi ya kiulizi katika matini
- Kutumia alama ya kiulizi ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya kiulizi katika matini mbalimbali

- Kuandika kifungu cha aya moja mkitumia alama ya kiulizi
- Kuwasomea wenzenu kifungu mlichoandika
- Kuwaombe watolee kifungu chenu maoni
- Kurekebisha makosa yenye matumizi ya alama ya kiulizi katika kifungu
Ni wakati gani tutahitaji kutumia alama ya kiulizi?
Mentor uk. 71
Mifano ya vifungu vyenye alama ya kiulizi
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kuandika kifungu kifupi chenye alama ya kiulizi Kutoa maoni kuhusu matumizi ya alama ya kiulizi
6 1
Sarufi
Matumizi ya -ake na -ao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua -ake na -ao katika sentensi
- Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida

- Kutambua maneno yenye -ake na -ao katika kifungu
- Kueleza matumizi ya -ake na -ao katika sentensi kwa kuonyesha umiliki
- Kutazama picha zenye mifano ya matumizi ya -ake na -ao na kuzijadili na wenzake
Je, -ake na -ao hutumiwa vipi katika mawasiliano?
Mentor uk. 71
Picha zinazoonyesha umiliki
Mti maneno
Kifaa cha kidijitali
Kutambua -ake na -ao katika sentensi Kuuliza maswali na kutoa majibu Kutunga sentensi zenye -ake na -ao
6 2

6 3

- Kusoma sentensi zenye maneno yenye -ake na -ao kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali n.k. akiwa na wenzake
- Kutambua -ake na -ao katika kifungu
- Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi kwa kutumia -ake na -ao
Je, unatumia neno gani kuonyesha kuwa kitu ni cha mtu mwingine? Unatumia neno gani kuonyesha kuwa vitu ni vya watu wengine?
Mentor uk. 73
Kadi zenye -ake na -ao
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kujaza mapengo kwa -ake na -ao Kutambua tofauti kati ya -ake na -ao
6 4
Sarufi
Matumizi ya -ake na -ao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua -ake na -ao katika sentensi
- Kutumia -ake na -ao ipasavyo katika sentensi
- Kuchangamkia kutumia -ake na -ao katika mazungumzo ya kawaida

- Kusoma kifungu na kutambua maneno yenye -ake na -ao
- Kutunga sentensi kwa kutumia -ake na -ao zikiwa katika muktadha wa usalama
- Kuigiza matumizi ya -ake na -ao akiwa na wenzake kwa kutumia vitu mbalimbali
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi za -ake na -ao zinazoashiria vitendo vya watu mbalimbali nyumbani
Kwa nini ni muhimu kutofautisha kati ya -ake na -ao katika mawasiliano?
Mentor uk. 74
Picha zenye vitu mbalimbali
Chati
Kadi zenye sentensi za -ake na -ao
Kutunga sentensi zenye -ake na -ao Kuorodhesha maneno yenye -ake na -ao Kufanyiana tathmini
7 1
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti dh, th na ch katika maneno mbalimbali
- Kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa
- Kutamka silabi za sauti lengwa kwa usahihi
- Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa
- Kutambua maneno yenye silabi za sauti lengwa
- Kutamka maneno hayo vizuri
Je, kwa nini tunafaa kutamka maneno vizuri?
Mentor uk. 77
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Chati
Mti maneno
Kutambua silabi za sauti dh, th na ch Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch Kusoma kifungu chenye sauti dh, th na ch
7 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kutumia maneno yenye silabi za sauti lengwa katika matini
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kutambua silabi za sauti dh katika maneno kutoka kifungu
- Kusikiliza kifungu cha hadithi na kutambua maneno yenye sauti lengwa
- Kujirekodi akisoma hadithi zilizo na maneno yenye sauti lengwa
- Kujisikiliza na wenzake ili kutathmini matamshi
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
Mentor uk. 79
Sauti za kurekodi
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Picha
Kupigia mstari silabi za sauti dh, th na ch katika maneno Kutamka maneno yenye sauti dh, th na ch Kuunda vitanzandimi vyenye sauti dh, th na ch
7 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti dh, th na ch
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti th na ch
- Kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
- Kutumia maneno yenye sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku
Je, ni kwa nini ni muhimu kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
Mentor uk. 81
Kifaa cha kidijitali
Kadi maneno
Matini
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno yenye sauti dh, th na ch Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa kwa matamshi bora
7 3-4

8

MID TERM BREAK

9 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kutambua sauti dh, th na ch katika kifungu chepesi kuhusu usafi wa mazingira
- Kusoma kifungu chepesi kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 51 kwa dakika)
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
Je, utafanya nini ili usikike vizuri unaposoma?
Mentor uk. 83
Vifaa vya kidijitali
Chati
Matini ya mwalimu
Kutambua sauti dh, th na ch katika maneno Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kusoma kwa sauti inayosikika Kusoma kwa kasi ifaayo Kusoma kwa kuzingatia ishara
9 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa zamu
- Kupigia mstari maneno yenye sauti lengwa katika kifungu
- Kusoma kifungu kwa sauti inayosikika vizuri
- Kusoma kifungu tena kwa kutumia ishara mbalimbali
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chenye maneno yenye sauti lengwa
Je, kila mmoja wenu alisoma kwa sauti inayosikika vizuri?
Mentor uk. 84
Vifaa vya kidijitali
Picha
Matini ya mwalimu
Kutambua maneno yenye sauti dh, th na ch katika kifungu Kusoma kifungu kwa kuzingatia kasi ifaayo Kusoma kifungu kwa kutumia ishara zifaazo
9 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano

- Kusoma kifungu chenye maneno yenye sauti dh, th na ch kwa ufasaha
- Kujadili jinsi ya kusoma kwa ufasaha
- Kutoa maoni kuhusu usomaji wa wenzake
- Kufanya mazoezi ya kusoma kwa matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
Je, mnatumia ishara gani mnapoongea?
Mentor uk. 85
Kifaa cha kidijitali
Matini ya mwalimu
Kusoma kifungu kwa matamshi bora Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma Kusoma kwa kasi ifaayo
9 4
Kuandika
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi

- Kutambua maneno yanayotamkwa yakizingatia suala na sauti dh, th na ch na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali
- Kusikiliza kwa makini maneno yakitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali ili kuyaandika ipasavyo
Je, umewahi kusomewa maneno ili uandike? Yalikuwa maneno gani?
Mentor uk. 86
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Karatasi za kuandikia
Kutambua maneno ya kuandika Kuandika kifungu ambacho kinasomwa
10 1
Kuandika
Imla
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yanayotamkwa kwenye imla ili kuyaandika ipasavyo
- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yanayotamkwa kwenye imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kuchangamkia kuandika kifungu akitumia maneno yanayotamkwa kwa kuzingatia kanuni zifaazo za uandishi

- Kuandika kifungu cha maneno 55-60 yatakayotamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika vifaa vya kidijitali akizingatia kanuni zifaazo za uandishi (k.v matumizi ya herufi kubwa na ndogo, tahajia, nafasi baina ya maneno n.k)
- Kujadili na wenzake kifungu alichokiandika ili kukitathmini
Unaposomewa chochote ili ukiandike, utafanya nini ili uandike ifaavyo?
Mentor uk. 87
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Karatasi za kuandikia
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla Kujadili kazi ya imla iliyoandikwa
10 2

10 3

- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu alichokiandika kwa imla akizingatia kanuni za uandishi zifaazo
- Kurekebisha imla yake kulingana na maoni ya mwalimu na wenzake
- Kuchunguza kazi ya wenzake ili kutoa maoni yake
- Kujadili changamoto alizopata wakati wa kuandika imla
Je, umeandika kwa kuzingatia mambo haya: hati safi, kuacha nafasi katikati ya maneno, kuandika herufi zote vizuri?
Mentor uk. 87
Chati
Kadi maneno
Karatasi za kuandikia
Kuandika kwa kuzingatia kanuni za imla Kurekebisha makosa ya imla Tathmini rika
10 4
Sarufi
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Kutambua maneno yenye rangi -eupe, -eusi, -ekundu kwa kurejelea vitu halisi katika mazingira yake, kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
- Kusikiliza maelezo kuhusu matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake
Je, vitu katika mazingira yako vina rangi gani?
Mentor uk. 88
Picha za vitu vyenye rangi mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu Kupigia mstari maneno yenye -eupe, -eusi, -ekundu
11 1
Sarufi
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Tazama picha za vitu vyenye rangi tofauti
- Soma sentensi zilizo chini ya picha
- Pigia mstari maneno yaliyotumia -eupe, -eusi na -ekundu
- Eleza -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini
- Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi na -ekundu
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa kuonyesha nini?
Mentor uk. 89
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali
Kadi za maneno
Chati
Kueleza matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu Kuorodhesha vitu vya rangi nyeupe, nyeusi na nyekundu
11 2

11 3
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu
Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno yenye -eupe, -eusi na -ekundu ili kuyatumia ipasavyo katika mawasiliano
- Kutumia -eupe, -eusi, -ekundu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
- Kuchangamkia matumizi yafaayo ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mawasiliano ya kila siku

- Kamilisha sentensi ukitumia -eupe, -eusi, -ekundu kulingana na rangi ya picha
- Tunga sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni
- Eleza maana na matumizi ya -eupe, -eusi, -ekundu katika mazingira mbali mbali
Je, -eupe, -eusi na -ekundu hutumiwa vipi kulingana na kategoria za maneno?
Mentor uk. 90
Picha zenye vitu vyenye rangi mbalimbali
Kadi za sentensi
Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93
- Picha za watu wakitoa maagizo
- Chati zenye maagizo
- Vifaa vya kidijitali
Kukamilisha sentensi kwa kutumia -eupe, -eusi, -ekundu Kutunga sentensi zenye -eupe, -eusi, -ekundu Kutoa mifano ya vitu vyenye rangi nyeupe, nyeusi, nyekundu
11 4
DUKANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani
- Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani
- Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku

- Kusoma maagizo mbalimbali
- Kutoa maagizo kwa mwenzake kama "Tia vitabu vyako mkobani", "Fungua mlango"
- Kufuata maagizo anayopewa na mwenzake
- Kubadilishana zamu kuwa mtoa maagizo na mfuata maagizo
- Kuigiza michezo ya kutoa na kufuata maagizo
Je, unazingatia nini wakati unatoa maagizo?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 93-94
- Kadi zenye maagizo
- Vitu halisi vya kutumia katika maigizo
- Kutoa maagizo kwa usahihi - Kufuata maagizo ipasavyo - Kuigiza michezo inayohusisha kutoa na kufuata maagizo - Kuuliza na kujibu maswali
12 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Maagizo
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani
- Kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani
- Kufurahia kuzingatia maagizo katika maisha ya kila siku

- Kusikiliza shairi lenye maagizo likisomwa
- Kutambua maagizo katika shairi hilo
- Kujadili aina za maagizo zinazotolewa katika shairi
- Kutofautisha kati ya maagizo mazuri na maagizo mabaya
- Kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo
Je, ni maagizo gani mazuri ya kufuata na yapi hayafai kufuatwa?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 94
- Mashairi yenye maagizo
- Nyimbo zinazohusiana na maagizo
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 95
- Picha za dukani
- Kifungu cha ufahamu "Duka la Kathambi"
- Kutambua maagizo katika mashairi - Kutofautisha kati ya maagizo mazuri na mabaya - Kukariri mashairi yenye maagizo - Kutunga maagizo mazuri - Kuwasilisha maagizo kwa wenzake
12 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu
- Kutumia msamiati wa suala lengwa katika mawasiliano
- Kueleza ujumbe wa kifungu cha ufahamu
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma

- Kusoma tena kifungu "Duka la Kathambi"
- Kutambua msamiati muhimu kama "duka", "muuzaji", "wanunuzi", "noti"
- Kutumia msamiati huo kutunga sentensi
- Kujibu maswali yanayohitaji habari mahususi kutoka kwenye kifungu
- Kujadili umuhimu wa maduka katika jamii
Je, ni mambo yapi unaweza kujifunza kutokana na unachokisoma?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96
- Kamusi
- Kadi maneno za msamiati wa dukani
- Vifaa vya kidijitali
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 96-97
- Vifungu vya hadithi kuhusu dukani
- Picha zinazohusiana na dukani
- Kutambua msamiati wa dukani - Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati mpya - Kuuliza na kujibu maswali - Kueleza ujumbe wa kifungu - Kutoa mafunzo kutoka kwenye kifungu
12 3
Kuandika
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha
- Kueleza ujumbe wa insha
- Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano

- Kusoma insha ya "Joni na Mama Yake"
- Kutambua kichwa cha insha hiyo
- Kutambua sehemu kuu za insha: utangulizi, kiini, na hitimisho
- Kueleza ujumbe wa insha hiyo
- Kujadili mambo muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa insha
Je, umewahi kuandika insha? Ulizingatia mambo gani katika kuandika insha hiyo?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98
- Mfano wa insha "Joni na Mama Yake"
- Chati ya muundo wa insha
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua sehemu za insha - Kueleza ujumbe wa insha - Kuchambua muundo wa insha - Kutoa mafunzo kutoka kwenye insha - Kuuliza na kujibu maswali
12 4
Kuandika
Uandishi wa Insha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua mambo ya kuzingatia katika uandishi wa insha
- Kuandika insha yenye maneno 85-90 akizingatia kanuni za uandishi
- Kufurahia uandishi wa insha ili kuimarisha mawasiliano

- Kuandika insha kuhusu "Siku ya Sherehe Nyumbani"
- Kuzingatia muundo wa utangulizi, kiini na hitimisho
- Kusoma insha yake na kurekebisha makosa
- Kuwasomea wenzake insha yake
- Kuomba maoni kutoka kwa wenzake kuhusu insha yake
Je, unazingatia nini unapoandika insha?
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 98-99
- Kielelezo cha insha
- Vifaa vya kidijitali
- Orodha hakiki ya kanuni za uandishi
- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 99
- Sampuli za insha zilizosahihishwa
- Vigezo vya kutathmini insha
- Vifaa vya kidijitali
- Kuandika insha yenye muundo ufaao - Kuzingatia maudhui yanayofaa - Kurekebisha makosa katika insha - Kusoma insha kwa wenzake - Kutoa na kupokea maoni kuhusu insha
13 1
Sarufi
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua matumizi ya neno yeye na wao katika ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku

- Kutazama picha zinazoonyesha ukanushaji
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu katika picha
- Kuangalia mifano: "Yeye anaandika - Yeye haandiki" na "Wao wanaandika - Wao hawaandiki"
- Kujadili jinsi ukanushaji unavyofanyika kwa nafsi ya tatu
Je, unafanya nini sasa hivi? Kama hufanyi mambo uliyotaja utasema je?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 100
- Picha za ukanushaji
- Chati za sentensi zenye ukanushaji
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji - Kutofautisha kati ya sentensi zenye ukanushaji na zisizo na ukanushaji - Kuuliza na kujibu maswali - Kupambanua ukanushaji katika sentensi
13 2

13 3

- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja katika sentensi
- Kutambua ukanushaji wa nafsi ya tatu wingi katika sentensi
- Kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu ipasavyo katika mawasiliano

- Kupigia mstari sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kutofautisha kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
- Kukamilisha sentensi kwa kutumia ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
- Kuandika sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
Je, ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hutofautiana vipi na wa wingi?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 101-102
- Chati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kukamilisha sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kutofautisha kati ya ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja na wingi
13 4
Sarufi
Ukanushaji wa nafsi ya tatu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja na wingi ipasavyo
- Kubadilisha sentensi za ukanushaji wa nafsi ya tatu umoja hadi wingi
- Kuchangamkia matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu katika mawasiliano ya kila siku

- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu umoja
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu wingi
- Kuandika sentensi za nafsi ya tatu umoja katika wingi
- Kumsomea mzazi au mlezi sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu
- Kucheza michezo ya kuelewana inayohusisha ukanushaji wa nafsi ya tatu
Je, tutachukulia vipi ukanushaji wa nafsi ya tatu wakati wa kuandika?

- Mentor Kielekezi cha Kiswahili uk. 103-104
- Kadi zenye sentensi za kukanusha
- Chati ya mifano ya ukanushaji
- Vifaa vya kidijitali
- Kukanusha sentensi za nafsi ya tatu - Kubadilisha sentensi za nafsi ya tatu umoja hadi wingi - Kutunga sentensi zenye ukanushaji wa nafsi ya tatu - Kufanya tathmini ya matumizi ya ukanushaji wa nafsi ya tatu
14

END TERM ASSESSMENT AND CLOSING

Your Name Comes Here

Download

Feedback