If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Usafi wa mazingira
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza na kujibu .
mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufikia mwisho mada ndogo : -Kutambua vipienegele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala -Kueleza vipgengee vya kuzingatia katika kskiliza na kuchangia mjadala -Kutazamana na kusikiliza mjadala lengwa katika vifaa vya kidigitali -Kuchngamkia kutambua vipengele muhimu katika mjadala |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
katika makundi : -KUtazama na kuskiliza mjadala kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kijitari -Atambue vipengele vya kuzingatia katika kuskiliza na kuchnagia mjadala -Ajadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake . -Ashiriki mjadala darasani na wenzake. |
Je unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 uk 1-3.
Vifao vya kidijitezi Chati kudi mane matini ya mwalimu |
-Kitambua
-Kuuliza na kujibu maswali .
-Orodha hakiki
-Kueleza
-Kushiriki mjadala .
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha simulizi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi -Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu simulizi -Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza kuelwa habari |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kusoma kifunguu cha simulizi kwa zamu katika kifungo cha habari. -Atambue habari mahususi katika kifungo cha simulizi kuhusu suala lengwa -Andondoe habari muhimu katika kifungu cha simulizi -Apange matkio yanavyofuatana katika kifungu -Ajibu maswali ya ufahamu. |
Je unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu simulizi ?
|
-Kiswahili sahili gredi ya 9 uk 4 - 6.
-Picha -Michoro vifaa vya kidijitali . |
-kusoma kutambua .
-Kujibu maswali .
-Kufanyia na tathmini .
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha simulizi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufanya ufasiri na utabiri kutokana na kifungu cha simulizi -kutambua na kueleza maana ya msamiati kama ulivytumika katika kifungu -Achangamkie kutumia msamiati alivyotumbua kwa usahihi katika utunzi wa sentensi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutabiri matukio katika kifungu kutkana na picha au matukio -Afasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi. -Atambue na kuorodhesha msamiati katika kifungu alichokioma -Aeleze maana aya msamiati kulingana na matumizi yake kimuktadha -Atunge sentensi akitumia msamiati huo kwa usahihi. |
Je utawezaje kutambua msamiati uliopo katika kifungu simulizi?
|
-Kiswahili gredi ya 9 uk wa 5 - 6
-Chati -Kamusi -Matin ya mwalimu . |
-Kutambua
-Kutunga sentensi .
-Wanafunzi kufanyia na tathmini .
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vihsishi
Vihusishi vya mahali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kueleza maana ya vihusishis -Atambue vihusishi vya mahali katika matani -Kuchamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katka matni mbali mbali. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Katika makundi waili waili au peke yake aelekezwe: -kueleza maana ya vihusishi vya mahali -Atambue vihusishi vya mahali katika matani. -Achangamkie kutumia vihusishi vya mhali katika matani mbali mbali |
Je ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 10 - 11 .
-Kadi maneno -Matini ya mwalimu |
-kujaza pengo
-Kuuliza Maswal na majibu
-Kutunga sentensi
-Kufanyiana tathmini
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Vihsishi
Vihusishi vya wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya wakati katika matani -Kutmia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutambua vihusishi vya wakati kutka kwa kapu maneno chati au mti maneno -kutambua vihusishi vya wakati kutoka kwa kapu maneno na chati -kujaza nafasi kwa vihusishi vya wakati -Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya wakati ipasavyo akizingatia maswala tambulika. |
Je vihusishis vya wakati vinatumika wakati gani ?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 11 -12 .
-Chati mabango -Vifaa vya kidigitali . -kamusi |
-kujaza pengo
-maswali na majibu
-Kutunga sentesnsi
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Vihsishi
Vihusishi vya wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya wakati katika matani -Kutmia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutambua vihusishi vya wakati kutka kwa kapu maneno chati au mti maneno -kutambua vihusishi vya wakati kutoka kwa kapu maneno na chati -kujaza nafasi kwa vihusishi vya wakati -Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya wakati ipasavyo akizingatia maswala tambulika. |
Je vihusishis vya wakati vinatumika wakati gani ?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 11 -12 .
-Chati mabango -Vifaa vya kidigitali . -kamusi |
-kujaza pengo
-maswali na majibu
-Kutunga sentesnsi
|
|
| 3 | 3 |
sarufi
|
Vihusishi .
Vihusishi vya A - unganifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika matani -kutumia vihusishi vya a unganifu ipasavyo kaika matini -Kuchngamkia matumizi ya a unganifuifaavyo kaytika mahusiano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutambua vihusishi vya a unganifu katika kapu maneno chati au katika tarakilishi. -Kutambua vihusishi vya a unganifu katika sentensi au vifungu kwenye vitabu -Kutunga sentensi kwa kutumia vihusishi vya a unganifu akizingatia maswala mtaambuko . |
Je vihusishi vya A- unganifu hutumika vipi ?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 19-20 .
-Vifaa vya kidigitali . -Matini ya mwalimu. |
-kutambua
-Kuulizana na kujibu maswali
-Kutunga sentensi
-Orodha hakiki
-Kufanya tathmini .
|
|
| 3 | 4 |
sarufi
|
Vihusishi vya sababu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vya sababu katika matani -kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matani. -Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutambua vihusishi vya sababu kutoka kwa kapu la maneno au kadi maneno au tarakilishi -kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi kwa kuvipigia mstari -Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya sababu akizingatia masuno mtambuko |
Je vihusishi vya - A- unganifu na vya sababu hutofautiana vipi ?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 21-22.
-Vifaa vya kidijitali -Kapu na kadi amneno -Matini ya mwalimu |
-Kutambua
-Kutunga sentensi
-Tathmini ya mwanafunzi
-Orodha hakiki .
|
|
| 4 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi
Tashbihi sitiari na methali
Tashbihi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleze maana ya tashbihi -Kutabua tashbihi katika matani ya fasihi . -Kueleza matumizi ya tashbihi katika matani ya fasihi simlizi -Kuchangamkia kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo za fasihi simulizi . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kueleza maana ya tshbihi -Atambue tashbhi katika matani ya fasihi -Aeleze matumizi ya tashbihi katik amatani ya fasihi simulizi. -Achangamkie kueleza matumizi ya tashbihi katika fungo la fasihi. |
Je tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi ?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 23-24 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-Kusoma
-Kutambua
-Kujadili
-Kielezo maana
-Kuchangamkia mazoezi .
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Semi .
(sitiari na methali )
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-aweze kutumia istiari katika uwasilishaji wa tungo la fasihi . -Kchangmkia matumizi ya istiari na methali katika tungo la fasihi simulizi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutumia istiari na methali katika uwasilishaji wa tung za fasihi simulizi -Ashiriki katika uwasilishaji wa istiari na methali katika fasihi simulizi |
Je kwa nini tunatumia ishari na methalikuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
|
Acess kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa kurasa wa 24 -26 .
Matini ya mwalimu Kapu la tashbihi chati |
-kufunga tathmini
-kusoma hadithi
-Kuwasilisha istiari
-methali
-mazoezi
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya shairi ili kutofautisha na tungo nyingine -Kujadili sifa za ushairi kama utunzi wa fasihi andishi -kueleza sifa za ushairi katika shairi -Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasishi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutafiti maana ya ushairi vitambuni au mtandaoni ili kutofautisha na fungo nyingine. -kutambua sifa za ushairi utunzi wa fasihi andishi -Kujadiliana sifa za ushairi kama ufunzo wa fasihi simulizi |
Je shairi uiowahi kulisoma lilikua linasimulia nini?
Je unafahamu sifa zipi za ushairi?
|
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidigitari -mashairi |
-kutambua
-Kujadiliana na kutafiti
-maswali na majibu
-shairi
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya shairi ili kutofautisha na tungo nyingine -Kujadili sifa za ushairi kama utunzi wa fasihi andishi -kueleza sifa za ushairi katika shairi -Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasishi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutafiti maana ya ushairi vitambuni au mtandaoni ili kutofautisha na fungo nyingine. -kutambua sifa za ushairi utunzi wa fasihi andishi -Kujadiliana sifa za ushairi kama ufunzo wa fasihi simulizi |
Je shairi uiowahi kulisoma lilikua linasimulia nini?
Je unafahamu sifa zipi za ushairi?
|
-Kiswahili acess gredi ya 9 ukurasa wa 29-30.
-Matini ya mwalimu -Kifaa cha kidigitari -mashairi |
-kutambua
-Kujadiliana na kutafiti
-maswali na majibu
-shairi
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa kina .
Sifa za ushairi .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma mashairi katika diwani teule -kutambua sifa za shairi katika mashairi atakayosoma -Kuchngamkia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kusoma mashairi katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu -Achambue mashairi atakayosoma kwa kutambua na kueleza sifa za ushairi katika mashairi hayo awasomee wenzake sifa laizotambua katika mashairi ili wamtolee maono. |
Je unavutiwa na nini unaposoma shairi?
|
-diwani teule
-Vifaa vya kidigitari -Kiswahili sahili gredi ya 9 ukurasa wa 31-32 |
-kusoma
-kuchambua
-kueleza sifa
-Orodha hakiki.
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Vuhusishi .
Vihusishi vilinganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi vilinganishi katika matini . -Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia kutumia vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kufafanua maan aya vihusishi vilinganishi . -Kuchopoa vihusishi vilinganishi katika chati au tarakilishi . -Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu akizingatia masuala mtambuko . |
Je vihusishi vilinganishi ni nini?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati -Vifaa vya kiditajitari -Matii ya mwalimu . |
-Kitambua
-Kuulizana na kujibu maswali
-Kutunga sentensi
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Vihusishi .
Kihusishi na .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vihusishi na katika matini . -Kutumia kihusshi na ipasavyo katika matini . -Kuchangamkia kutumia kihusishi na katika amawasiliano ya kila siku . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kutambua kihusishi na katika sentensi kwenye vifungo kwa kupigia mstari . -Atunge sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi na akizingatia maswala lengwa na masuala mtambuko mbali mbali . |
Je kihusishi na kuchngia vipi katika mawasiliano?
|
-Acess kiswahili gredi ya 9 ukurusa wa 34.
-Chati -Vifaa vya kidigitari -Matini ya mwalimu . |
-kutambua
-Kutunga sentensikufanya mazoezikutathmin
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati na hali .
Ki- ya masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kufafanua amatumizi ya ki ya masharti -Kutambua ki ya masharti katika matini . -Kutumia ki ya masharti ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo ki ya ya masharti ili kufanikisha mawasiliano . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutambua ki ya mashrati katika matini mbali mbali . -Kuchanganua sentensi zilizi ashiria matumizi ya ki ya masharti kutokana ana mchanganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakiishi . -Atunge sentensi akitumia ki ya masharti . |
Je ki-ya masharti hutumika wakati gani katika sentensi?
|
1,kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 47-48
-Matini ya mwalimu . -Vitabu -Picha -michoro |
-kutambua
-Mifano
-Maelezo
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kuandika.
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Nyakati na hali .
Hali ya kufuata na kwa vitendo .
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini . -Kutumia ka ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini . -Kujenga mazoea ya matumizi ya ka ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutambua ka ya kufuatana kwa vitendo katika matini mbalimbali -Atambue sentensi zinazoashiria matumizi ya kufuatana kwa vitendo kutokana na mchnganyiko wa sentensi kwenye vitabu au tarakilishi . |
Je -ka ya kufuatana kwa vitendo hutumika wakati gani katika senstensi.?
|
-Kiswahili gredi ya 9 ukurasa wa 48 - 49 .
-Matini ya mwalimu -Vifaa vya kidigitali -Picha michoro |
-kueleza Mifano
-mazoezi
-Kutunga sentensi
-Kutathmini
|
|
| 6 | 2 |
sarufi
|
Vielezi vya namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vielezi vya namna -Kujaza mifano ya vielezi vya namna . -Kutambua vielezi vya nana katika matini mbalimbali kwa kupigia mistari . -Achangamkie matumizi ya vielezi vya namna katika kutunga sentensi na kujaza pengo . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kueleza maana ya vielezi vya namna -Kutaja mifano ya vielezi vya namna -Kutambua vielezi vya namna katika matini mbali mbali kwa kuupigia mstari . -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna katika vifungu vya sentensi na kjaza vihasho katika daftari . |
Je vielezi vya namna hutumika vipi katika miktadha mbali mbali?
|
Kiswahili ukurasa wa 68-69
Matini ya mwalmu Picha . Michoro . Kadi maneno |
-kutoa mfano
-kufanya mazoezi
|
|
| 6 | 3 |
sarufi
|
Vielezi vya namna
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vielezi vya namna -Kujaza mifano ya vielezi vya namna . -Kutambua vielezi vya nana katika matini mbalimbali kwa kupigia mistari . -Achangamkie matumizi ya vielezi vya namna katika kutunga sentensi na kujaza pengo . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kueleza maana ya vielezi vya namna -Kutaja mifano ya vielezi vya namna -Kutambua vielezi vya namna katika matini mbali mbali kwa kuupigia mstari . -Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya namna katika vifungu vya sentensi na kjaza vihasho katika daftari . |
Je vielezi vya namna hutumika vipi katika miktadha mbali mbali?
|
Kiswahili ukurasa wa 68-69
Matini ya mwalmu Picha . Michoro . Kadi maneno |
-kutoa mfano
-kufanya mazoezi
|
|
| 6 | 4 |
sarufi
|
Vielezi vya wakati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya vielezi vya wakati -Kutambua vielezi vya wakati katika matini mbalimbali kwa kupiga mstari. Kuchangamkia matumizi ya vielezi vya wakati kwa Kutunga sentensi na vifungu vifupi ili kuthibitisha uelewa. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-maana ya vielezi vya wakati kwa kusakura mtandaoni au vitabuni -kutambua vielezi vya wakati kwa Kutaja na kuandika katika matini mbalimbali -Achangamkie kutumia vielezi vya wakati ipasavyo kwa Kutunga sentensi na kujaza pengo ili kuthibitisha uelewa |
Je vielezi vya wakati hutumika vipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 ukurasa 70-71
matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali -michoro -kapu maneno |
-kueleza
-kutafiti
-kutambua
-Kutaja
-Kutunga sentensi
-kupigia mstari
-Kutathmini
|
|
| 7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo . -kueleza maana ya mawaidha kwa kutumia kamusi au kusakura mtandaoni. -kutambua ujumbe unaoweza kuwasilishwa kupitia kwa mawaidha. -kutambua sifa za kimawaidha za kifasihi katika matini mbalimbali ambazo fanani anastahili kuwa nazo. -kutambua na kueleza sifa za hadhira katika kuuliza na kujibu maswali ipasavyo. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Mwanfaunzi aelekezwe. -kueleza maana ya mawaidha akitumia mtandao au kamusi. -kutambua ujumbe unaoweza kuwasilishwa kupitia mawaidha. -kutambua na kuandika sifa za kimawaidha za kifasihi katika matini mbali mbali ambazo fanani asstahili kuwa nazo. -kutambua na kueleza sifa za hadhira katika kuuliza na kujibu maswali ipasavyo. |
Je sifa za fanani na hadhira katika mawaidha ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 139-140
Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali. Picha michoro |
Kueleza maana
Kutambua ujumbe
Kutambua sifa
Orodha hakiki
|
|
| 7 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mazungumzo
mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu kisha ajibu maswali ili kuthibitisha mawaidha ya kifasihi. -kutambua vipengele vya liwasilishaji wa mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusa suala lengwa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Mwanfunzi aelekezwe. Kusikiliza mawaidha takayosomewa na mwalimu na kujibu maswali ipasavyo. -kutambua vipengele vya uwasilishanji wa mawidha ya kifasihi ipasavyo. -kuwasilisha mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji kuhusu suala lengwa ili ili kutathmini uelewa. |
Je vipengele vya uwasilishanji wa mawaidha ya kifasihi ni vipi?
|
Kisw sahili uk wa 141-142
Matini ya mwalimu mwanafunzi |
Kusikiliza
Kujibu maswali
Kutambua
Kuwasilisha
Orodha hakiki
|
|
| 7 | 3 |
kusoma
|
Kusoma kwa kina
Mbinu za lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo mwanfunzi waeze. -kutambua mbinu za lugha katika ushairi. -kutaja mifano ya mbinu za lugha kama methali, tashihishi, sitiari na nahaukutambua matumizi ya mbinu za lugha kama zilivyotumika katika ushairi na kuchanganua maana yake |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
Kutambua mbinu za lugha katika shairi Kutaja mifano ya mbinu za lugha kama vile methali, tashbihi, isitiari na nahau ipasavyo. Kutambua matumizi ya kila mbinu kama ilivyotumika katika ushairi na kuchanganua maana yake ili kutathmini uelewa |
Je mbinu za lugha katika ushairi ni zipi?
|
Access Kiswahili sahili gredi ya 9 uk wa 143-144
-matini ya mwalimu -diwani za mashairi |
-kutambua
-kueleza
-kuchanganua
|
|
| 7 | 4 |
kusoma
|
Kusoma kwa kina ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutunga shairi la beti tatu akishirikisha mbinu mbalimbali za lugha na kuziwasilisha kwa wenzao ili kutathmini - kusoma shairi teule na kuchambua akizingatia mbinu za lugha zilizotumika kisha kuandika mbinu hizo daftarini |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kutunga shairi la beti tatu akizingatia mbinu za lugha kisha kuliandika daftarini mwao na kuliwasilisha kwa wenzao ili kutathmini -kusoma shairi teule na kuchambua mbinu za lugha za lugha zilizotumika ili kutathmini uelewa |
Je unazingatia nini unapotunga shairi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 145
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidigitali |
-Kutunga
-kusoma
kuchambua
|
|
| 8 | 1 |
kuandika
|
Insha za kubuni
maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani - kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo - kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali - kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali katika daftari au tarakilishi kuhusu suala lengwa kisha awasomee wenzake ili awatolee maoni |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
kusoma kielelezo cha insha ya maelezo ili kutambua ni ya aina gani -kutambua hali inayoelezewa katika insha aliyoisoma ili kuelewa maana ya hali katika insha ya maelezo -kujadili vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali -kuchangamkia kuandika insha ya maelezo kuhusu hali daftarini au tarakilishi kuhusu swala lengwa kisha awasomee wenzake ili wamtolee maoni |
Je, vipengele vya kuzingatia katika insha ya maelezo kuhusu hali ni zipi?
|
Kisw sahil gredi ya 9 uk wa 146-147
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
-kusoma
-kutambua
|
|
| 8 | 2 |
sarufi
|
Ukanushaji hali ya masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kueleza maana ya ukanushaji wa masharti |
Je, ukanusho wa hali ya masharti
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 146-148
-matini ya mwalimu -chati na mabango |
-kueleza
-Kutaja Mifano
-Kutunga sentensi na kukanusha
-Kutathmini
|
|
| 8 | 3 |
sarufi
|
Ukanushaji hali ya masharti
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya ukanushaji wa hali ya masharti |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kueleza maana ya ukanushaji wa masharti |
Je, ukanusho wa hali ya masharti
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 146-148
-matini ya mwalimu -chati na mabango |
-kueleza
-Kutaja Mifano
-Kutunga sentensi na kukanusha
-Kutathmini
|
|
| 8 | 4 |
sarufi
|
Ukanushaji wa hali ya masharti
-ngali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya ukanusho wa hali ya masharti |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
kujua maana ya ukanusho wa hali ya masharti |
Ni kanuni zipi huzingatiwa katika ukanusho wa hali ya masharti -ngali
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 149-150
-matini ya mwalimu -chati na michoro |
-kueleza
-kusoma na kutambua
-Kutunga sentensi na kifungu
-Kutathmini
|
|
| 9 | 1 |
sarufi
|
Ukanushaji wa hali ya masharti (-ki)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kukanusha sentensi katika hali ya masharti(-ki) akizingatia kambishi |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya |
Je ukanusho wa hali ya masharti (-ki) hutumia kiambishi kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 151-152
-matini ya mwalimu -mabango -michoro -chati |
-kutambua
-kusoma
-kukanusha
-Kutunga
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
| 9 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha - kujadiliumuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha - kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu ili kutambua na kujadili vipengele vya lugha vinavyotumika |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha -kujadili pamoja na wenzake umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha -kusikiliza mawaidha atakayosomewa na mwalimu ili kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika |
Je ni vipengele vipi vinavyotumika katika ngeli ya mawaidha?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 153
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali |
Kusoma na kutambua
-kujadili
-kusikiliza na kujibu maswali
|
|
| 9 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
mawaidha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili ishara zifaazo ili kuboresha uwasilishaji wa maidha -kutolea wenzake darasani mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kujadili ishara zinazo fanikisha uwasilishaji wa mawaidha -kutolea wenzake mawaidha kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo |
je, ishara zifaazo katika mawaidha ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 154
-matini ya mwalimu |
-Kujadili
-kutoa mawaidha
-Kutathmini
-Orodha hakiki
|
|
| 9 | 4 |
kusoma
|
Kusoma kwa ufahamu
Kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kusoma kifungu kisha kutambua mandhari ya kifungu cha mjadala alichosoma - kujadili mtazamo wa kifungu alichosoma kuhusu suala lengwa - kuchambua msamiati uliotumika katika kifungu cha mjadala na kutungia sentensi ipasavyo - achangamkie kusoma kifungu na kujibu maswali yake |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kusoma kifungu kisha kutambua mandhari kama ilivyo katika fasihi -kujadili pamoja na wenzake mtazamo wa kifungu cha mjadala alichokisoma ipasavyo -kuchambua msamiati ulitumika katika kifungu cha mjala na kutungia sentensi ipasavyo -afurahie kusoma kifungu cha mjadala na kujibu maswali yake ipasavyo |
Je, vipengele muhimu katika mjadala ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 155-156
-matini ya mwalimu -picha -michoro -vifaa vya kidijitali |
-kusoma
-Kujadili
-kuchambua
-kujibu maswali
|
|
| 10 | 1 |
kusoma
|
Kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakira mtandaoni kifungu cha mjadala na kukisoma kisha aandike habari mahususi katika kifungu cha mjadala alichokisoma -kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mtazamo wake ili kutathmini uelewa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome kisha aandike habari mahususi katika kifungu alichokisoma -kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mitazamo yake vilivyo |
Je, unazingatia nini unaposakira matini ya kusoma mtandaoni?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 156
-vifaa vya kidijitali |
-kusakira
-kusoma
-kuchambua
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 2 |
kusoma
|
Kifungu cha mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kusakira mtandaoni kifungu cha mjadala na kukisoma kisha aandike habari mahususi katika kifungu cha mjadala alichokisoma -kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mtazamo wake ili kutathmini uelewa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome kisha aandike habari mahususi katika kifungu alichokisoma -kuchangamkia kusoma miktadha mbalimbali kuhusu suala lengwa na kuchanganua mitazamo yake vilivyo |
Je, unazingatia nini unaposakira matini ya kusoma mtandaoni?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 156
-vifaa vya kidijitali |
-kusakira
-kusoma
-kuchambua
-Orodha hakiki
|
|
| 10 | 3 |
kuandika
|
Insha za kiuamilifu
shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kujadili umuhimu wa shajara - kueleza aina za shajara ili kuzitofautisha na zingine - kusoma shajara iliyo katika vitabu vyao kisha kujibu maswali ipasavyo - Kuchangamkia kusoma vielelezo vya shajara katika matini mbalimbali |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kujadili umuhimu wa shajara katika maisha a kila siku -kueleza aina za shajara ili kuzibaini -kusoma kielelezo cha shajara kisha kujibu maswali yake ipasavyo -kufurahia kusoma vielelezo mbalimbali vya shajara ili kujua umuhimu wa shajara |
Je, shajara ina umuhimu gani?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 158-159
-matini ya mwalimu -kielelezo |
-Kujadili
-kutambua
-kusoma na kujibu maswali
|
|
| 10 | 4 |
kuandika
|
Insha za kiuamilifu
shajara
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kuandaa vidokezo vya kuandika shajara kuhusu suala lengwa - kuandika shajara kuhusu suala lengwa akizingatia vipengele muhimu alivyojifunza awali ili kutathmini uelewa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kuandaa vodokezo vya kumsaidia kuandika shajara kuhusu suala lengwa -kuandika shajara kuhusu sual lengwa akizingatia vipengele muhimu alivyojifunza awali ili kutathmini uelewa |
Je, shajara huandikwa je?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160
-matini ya mwalimu |
-kuandaa vidokezo
-Kujadili
-kuandika
-Kutathmini
|
|
| 11 | 1 |
sarufi
|
Ukubwa na udogo wa nomino
a, Hali ya ukubwa wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya ukubwa wa nomino - kutambua kiambishi katika hali ya ukubwa (-ji) katika umoja - kutambua nomino katika hali ya ukubwa umoja na wingi katika matini mbalimbali - kuchangamkia sentensi katika hali ya ukubwa wa nomino na kutambua viambishi vya ukubwa ili kutathmini uelewa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kueleza na kuelewa maana ya ukubwa wa nomino -kutambua viambishi katika hali ya ukubwa -kutambua nomino katika hali ya ukubwa katika umoja na wingi katika matini mbalimbali -kufurahia kutunga sentensi katika hali ya ukubwa wa nomino huku akizingatia viambishi vya ukubwa ili kutathmini uelewa |
Je, hali ya ukubwa wa nomino huchukua kiambishi kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 160- 161
-matini ya mwalimu -kamusi -vifaa vya kidijitali |
-kueleza
-kutambua
-Kutunga sentensi
-kujaza pengo
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 2 |
sarufi
|
Hali ya udogo wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya udogo wa nomino - kutambua nomino katika hali ya udogo c, kutambua kiambishi knachotumika katika hali ya udogo wa nomino - kutambua nomino katika hali ya udogo katika matini mbalimbali - kuchangamkia kujaza jedwali na kutunga sentensi katika hali ya udogo ili kutathmini uelewa |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
kueleza maana ya udogo wa nomino -kutambua nomino katika hali ya udogo -kutambua na kujadili kiambishi kinachotumika katika hali ya udogo wa nomino -kutambua na kuandika nomino katika kauli ya udogo katika matini mbalimbali -kufurahia kujaza pengo na kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo ili kutathmini uelewa |
Je, kiambishi katika hali ya udogo wa nomino ni kipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 162-164
-matini ya mwalimu -kupu maneno -kamusi |
-kueleza
-kutambua
-kuandika
-Kujadili
Kutunga sentensi
-kujaza pengo
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Kusikiliza kwa kutathmini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini - kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa kutathmini ili kutofautisha na nyingine - kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo - kusikiliza mazungumzo yatakayowasilishwa na wanafunzi wenzake na kujibu maswali yake |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini -kueleza umuhimu wa kusikiliza kwa kutathmini ili kutofautisha na miktadha mingine -kujadili vipengele muhimu vya kuzingatia katika kutathmini mazungumzo -kusikiliza mazungumzo kutoka kwa wenzao ili kuyatathmini |
Je vipengele katika kuzungumza kwa kutathmini ni zipi?
|
Kisw sahili gredi ya 9 uk wa 166-167
-matini ya mwalimu -vifaa vya kidijitali |
-kueleza maana
-kueleza umuhimu
Kujadili vipengele
-Kusikiliza mazungumzo
-Kutathmini
|
|
| 11 | 4 |
kusoma
|
ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha habari. -kusoma kifungu kisha kujibu maswali kisha afupishe kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho . Atafute mtandaoni au kusoma vitambuni ujumbe ulio na mada lengwa kisha azingatie a vipengele muhimu kufupisha li kudhamini . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho. B,kusoma kifungu kisha kujibu maswali na kufupisha kifungu akizingatia vipengele vya ufupisho . -Kutafuta mtandaoni au vitambuni kusoma ujumbe a ulio na suala lengwa kisha azingatie vipengele vya ufupisho kufupisha ili kutamini kuelewe . |
Je vipengele muhimu vya ufupisho ni vipi ?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 167-168
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali . |
-Kujadili vipengele
-kuandika
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
|
Kujibu barua pepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe . -Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe . -Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu barua pepe ipasavyo ili kutathmini uelewaji . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kujadili vipengee muhimu vya kuzingatia ili kuibu barua pepe . -Kujadili matumizi ya lugha inyofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe -Kuansaa vidokezopamoja na lugha inayofaa ili kujibu barua pepe kwa rafiki yake ipasavyo ili kuthamini kuelewa . |
Je vipengele vya kuzingatia katika kujibu barua pepe ni vipi ?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 169 - 170 .
-matini ya mwalimu Na mwanafunzi . |
-Kujadili vipengele
Kujadili lugha
kuandika vindokezo
kujibu barua pepe
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
|
Kujibu barua pepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe . -Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe . -Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu barua pepe ipasavyo ili kutathmini uelewaji . |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kujadili vipengee muhimu vya kuzingatia ili kuibu barua pepe . -Kujadili matumizi ya lugha inyofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe -Kuansaa vidokezopamoja na lugha inayofaa ili kujibu barua pepe kwa rafiki yake ipasavyo ili kuthamini kuelewa . |
Je vipengele vya kuzingatia katika kujibu barua pepe ni vipi ?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 169 - 170 .
-matini ya mwalimu Na mwanafunzi . |
-Kujadili vipengele
Kujadili lugha
kuandika vindokezo
kujibu barua pepe
|
|
| 12 | 3 |
Kuandika
|
Kujibu barua pepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza tofauti baini ya usemi halisi na usemi wa taarifa -Kujadili mambo ya kuzingatia katika usemi halisi . -Kujadili mambo ya kuzingatia katika usemi wa taarifa ili kubainisha . -Kutambua usemi halisi na useimi wa taarifa katika matini mbali mbali . -Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa na usemi wa taarifa kuwa usemi halisi . -Kuchangamkia kuandika sentensi katika usemi halisi na usemi taarifa ili kuthamini. |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-kueleza tofauti baini ya usemi halisi na usemi wa taarifa . -Kujadili vipengele vya kuzingatia katia usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano . -Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matani na miktadha mbalimbali . -Kujadili kanuni zinazozingatiwa ili kubadilisha usemi halisi kwa usemi halisi . -Kuchangamkia kuandika sentensi katika usemi halisi na taarifa ili kutathmini kuelewa . |
Je unazingatia kanuni zipi unapobadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa?
|
-kiswahili gredi 9 ukurasa wa 174 - 174 .
-matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali . picha |
-kueleza tofauti .
-Kujadili vipengele .
-Kutambua .
-Kujadili kanuni .
-Kufanya mazoezi .
-Orodha hakiki .
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Kujibu barua pepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe .-Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe .-Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu barua pepe ipasavyo ili kutathmini |
Katika vikundi, wanafunzi wanapaswa:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia li kujibu barua pepe .-Kujadili lugha inayofaa katika kuandika barua ya kujibu barua pepe .-Kuandikia rafiki barua pepe akizingatia vipengele na vidokezo ambavyo vitamwezesah kujibu barua pepe ipasavyo ili kutathmini |
|
|
|
Your Name Comes Here