Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA PILI
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
HAKI ZANGU

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti /p/, /f/, /v/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua silabi za sauti lengwa katika maandishi,
- kutamka ipasavyo silabi za sauti lengwa katika maandishi,
- kutamka maneno mepesi yanayotokana na sauti lengwa katika maandishi,
- kusoma ipasavyo sentensi nyepesi zenye sauti lengwa kwa matamshi bora
- kuchangamkia usomaji bora wa maneno yanayotumia sauti lengwa katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi kwenye maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika sentensi
-kusikiliza silabi lengwa zikitamkwa na mwalimu au kifaa cha kidijitali
-kutamka silabi za sauti lengwa akiwa peke yake au na wenzake
-kusikiliza maneno yenye sauti lengwa yakitamkwa na mwalimu
-kutamka maneno yenye sauti lengwa
-kusikiliza sentensi zenye sauti lengwa zikisomwa
-kusoma sentensi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-kujirekodi kwa kutumia kifaa cha kidijitali akitamka sentensi za sauti lengwa
-kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia maneno yenye sauti lengwa
Je, kwa nini ni vizuri kutamka maneno vizuri tunapozungumza?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 20
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
2 2

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 22
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 25
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
2 3
Kusoma
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maneno yenye sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo,
-f) kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno yenye sauti lengwa (/p/, /f/, /v/) katika kifungu chepesi kuhusu suala lengwa
-kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kuhusu haki za mtoto kwa kuzingatia matamshi bora
-kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika
-kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 33 kwa dakika)
-kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo
-kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo
-kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa
Je, ni mambo gani unayozingatia ili kusoma kwa ufasaha?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 26
-Vifaa vya kidijitali
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
2 4

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 27
-Vifaa vya kidijitali
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
3 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa ufasaha
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 28
-Vifaa vya kidijitali
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 29
-Kadi maneno
-Picha
-Chati
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
3 2
Kuandika
Hati Nadhifu: Herufi Kubwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini,
- kuandika herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi,
- kufurahia kutumia herufi kubwa ipasavyo katika maneno na sentensi ili kuboresha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mpangilio ufaao wa herufi kubwa katika matini
-kunakili maneno na sentensi kuhusu mada lengwa (k.v upendo, kupata elimu, chakula, mavazi, makazi) kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa
-kutunga na kuandika sentensi fupi akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa
-kushirikiana na wenzake kutathmini sentensi walizotunga
-kumwandikia mzazi au mlezi maneno kwa kutumia mpangilio ufaao wa herufi kubwa na hati nadhifu
Je herufi kubwa huwa sifa gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 30
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Picha
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
3 3

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 31
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Picha
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
3 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Vifungu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi,
- kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi,
- kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi
-kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake
-kujaza nafasi kwa kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno akiambatanisha umoja na wingi
-kumwonyesha mzazi au mlezi wake vifungu vya maneno alivyoviandika kwa umoja na wingi
Umoja na wingi wa vifungu huwa na sifa gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 32
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 33
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Orodha hakiki -Tathmini ya rika
4 1
Sarufi
Umoja na Wingi wa Vifungu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi,
- kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi,
- kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi
-kuandika vifungu vya maneno mawili katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake
-kujaza nafasi kwa kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno akiambatanisha umoja na wingi
-kumwonyesha mzazi au mlezi wake vifungu vya maneno alivyoviandika kwa umoja na wingi
Umoja na wingi wa vifungu huwa na sifa gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 34
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Orodha hakiki -Tathmini ya rika
4 2
USAFIRI

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti ch na dh
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua silabi za sauti lengwa katika maneno,
- kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha,
- kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa akizingatia matamshi bora,
- kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti lengwa (/ch/ na /dh/) katika maneno
-kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa ifaavyo
-kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya silabi za sauti lengwa
-kutumia kifaa cha kidijitali kusikiliza matamshi bora ya silabi za sauti lengwa
Je, ni maneno gani unayojua yenye sauti /ch/ na /dh/?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 52
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Chati
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
4 3

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 54
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Chati
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
4 4

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 55
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Chati
-Mti maneno
-Muongozo wa Mwalimu
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 56
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
5 1
Kusoma
Kusoma kwa ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua sauti lengwa katika matini mbalimbali,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo,
- kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo,
-f) kufurahia kusoma kifungu ipasvyo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua sauti /ch/ na /dh/ katika kadi maneno, mti maneno au kifaa cha kidijitali
-kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, matamshi bora
-kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, sauti inayosikika
-kusoma kifungu chepesi cha maneno au hadithi yenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo, kasi ifaayo (maneno 36 kwa dakika)
Je, ni mambo gani unazingatia kusoma kwa ufasaha?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 57
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Chati
-Mti maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
5 2

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 58
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Chati
-Mti maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
5 3
Kuandika
Nafasi katika maandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi,
- kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi kwa maandishi,
- kufurahia kuandika akizingatia nafasi kati ya maneno katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nafasi kati ya maneno katika sentensi
-kuwaonyesha wenzake nafasi kati ya maneno katika sentensi
-kuandika sentensi kuhusu suala lengwa akizingatia nafasi kati ya maneno
-kuwaonyesha wenzake sentensi alizoziandika ili wazitolee maoni
-kutumia kifaa cha kidijitali kuandika sentensi akizingatia nafasi kati ya maneno
Je, kwa nini tunatumia nafasi kati ya maneno katika sentensi?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 59
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 60
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
5 4

6 1
Sarufi
Umoja na wingi wa vifungu vya maneno

- kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi,
- kusoma vifungu vya maneno katika umoja na wingi,
- kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno,
- kuchangamkia kutumia vifungu vya maneno katika umoja na wingi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kusoma vifungu vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kuandika umoja na wingi wa vifungu vya maneno
-kujaza nafasi zilizo wazi ili kukamilisha vifungu vya maneno katika umoja na wingi
-kushiriki katika mchezo wa kupanga kadi za vifungu vya maneno
Je, unapozungumzia umoja na wingi wa maneno au sentensi unamaanisha nini?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 61
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
6 2

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 62
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 63
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
6 3
MNYAMA NIMPENDAYE

Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua picha kuhusu suala lengwa,
- kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika hadithi aliyoisikiliza,
- kujibu maswali kuhusu hadithi aliyoisikiliza,
- kueleza ujumbe wa hadithi aliyoisikiliza,
- kufurahia ufahamu wa kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua picha kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali
-kujadili picha kutoka kwenye kitabu, chati, vya kidijitali
-kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi
-kusikiliza ufahamu kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vyombo vya kidijitali
-kutambua msamiati uliotumika katika ufahamu aliousikiliza
-kujibu maswali yanayohusiana na ufahamu aliousikiliza
-kueleza maudhui ya ufahamu aliousikiliza
-kumsimulie mzazi au mlezi wake hadithi aliyoisikiliza kuhusu suala lengwa
Kusikiliza hadithi kwa makini kuna umuhimu gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 66
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Picha
-Vifaa halisi
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
6 4

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 67
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Picha
-Vifaa halisi
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 1

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 68
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Picha
-Vifaa halisi
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 2
Kusoma
Kusoma kwa ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu,
- kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha,
- kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
- kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu,
- kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza au kutazama nyimbo kuhusu suala lengwa
-kutaja masuala ya suala lengwa
-kuimba nyimbo kuhusu suala lengwa
-kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha
-kusoma kifungu chepesi cha maneno 39- 42
-kutambua msamiati wa suala lengwa
-kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano
-kueleza ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha
-kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma
-kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
Je, ni mambo gani yanayokusaidia kupata ujumbe kwenye vifungu vya ufahamu?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 69
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 70
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 3

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 71
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
7 4
Kuandika
Uakifishi: Matumizi ya Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua kiulizi katika maandishi,
- kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake,
- kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi,
- kufurahia kutumia kiulizi katika maandishi ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua kiulizi katika maandishi kitabuni, kwenye kadi maneno, mti maneno na kifaa cha kidijitali
-kuandika kiulizi ipasavyo akizingatia umbo lake
-kutumia kiulizi ipasavyo katika sentensi
-kutazama matumizi ya kiulizi kwenye vifaa vya kidijitali
-kuandika kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali
-kuandika sentensi sahili akitumia kiulizi ipasavyo
-kumwonyesha mzazi au mlezi sentensi zenye matumizi yafaayo ya kiulizi
Je, alama ya kiulizi hutumika vipi?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 72
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
8 1

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 73
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Chati
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
8 2
Sarufi
Matumizi ya -ako na -enu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua matumizi yafaayo ya -ako na -enu katika kifungu,
- kutumia -ako na -enu ipasavyo katika sentensi,
- kuthamini matumizi ya -ako na -enu katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusilikiliza kifungu au wimbo unaohusu matumizi ya –ako na –enu
-kutambua matumizi ya -ako na -enu katika kadi za maneno, mti maneno, kapu maneno na vifaa halisi
-kumtungia mwenzake sentensi zenye matumizi ya -ako na –enu
-kusikiliza sentensi zinazotungwa na wenzake zenye matumizi ya -ako na -enu
-mwanafunzi awasilishie sentensi zenye kutumia maneno -ako na –enu
-kuandika sentensi zenye -ako na –enu
-kujaza nafasi kwa kutumia -ako na -enu
Je,-ako na -enu hutumiwa wakati gani?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 74
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Vifaa halisi
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
8 3

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 75
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Vifaa halisi
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
8 4
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza
Matumizi ya -ako na -enu
Matamshi Bora: Sauti /sh/ na /th/

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 76
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
-Vifaa halisi
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 112
-Kadi za maneno
-Chati
-Kifaa cha kidijitali
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
9

Midterm Break

10 1
USALAMA WANGU

Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti /sh/ na /th/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuambatanisha silabi ili kusoma maneno
- Kusikiliza sentensi zenye sauti lengwa
- Kutamka sentensi na wenzake akilenga suala lengwa
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutamka maneno na wenzake kuhusu usalama
- Kuambatanisha silabi ili kusoma maneno
- Kusikiliza sentensi zinazolenga usalama
Unajua kutamka maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 112
-Sentensi za usalama
-Wenzake darasani
Urambuzi -Tathmini ya ushirikiano -Usomaji
10 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora: Sauti /sh/ na /th/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusikiliza na kueleza hadithi kuhusu usalama
- Kujirekodi akisoma sentensi za sauti lengwa
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kifungu cha hadithi kuhusu usalama
- Kueleza kifungu cha hadithi
- Kujirekodi akisoma kifungu
Unajua kutamka maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 112
-Hadithi za usalama
-Kifaa cha kujirekodi
Masimulia -Rekodi za sauti -Tathmini ya kujitafakari
10 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi
- Kusoma kwa kuzingatia matamshi bora
- Kusoma kwa sauti inayosikika
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /sh/ na /th/ katika kifungu chepesi
- Kusoma kifungu chenye sauti lengwa kwa matamshi bora
- Kusoma kwa sauti inayosikika
Je, unajua kusoma maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 117
-Kitabu
-Vifungu vya usalama
Urambuzi -Tathmini ya ufasaha -Usomaji wa sauti
10 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kusoma kwa kuzingatia kasi ifaayo
- Kusoma kwa kuzingatia ishara zifaazo
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kwa kasi ifaayo (maneno 42 kwa dakika)
- Kusoma kwa kuzingatia ishara za uso na mwili
- Kusoma hadithi kutoka kitabu au kifaa cha kidijitali
Je, unajua kusoma maneno gani yenye sauti /sh/ na /th/?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 117
-Kifaa cha kupimia wakati
-Kifaa cha kidijitali
-Wazazi/walezi
-Vifaa vya kusoma
Tathmini ya kasi -Urambuzi -Tathmini ya ishara
11 1
Kuandika
Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua tahajia sahihi za maneno katika sentensi
- Kuandika sentensi akizingatia tahajia sahihi
- Kufurahia kutumia tahajia sahihi katika maandishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua tahajia sahihi za maneno katika sentensi
- Kushirikiana na wenzake kujadili tahajia sahihi
- Kuandika sentensi kuhusu usalama
Je, kwa nini ni vizuri kuandika maneno kwa kuzingatia tahajia ifaayo?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 120
-Mifano ya tahajia
-Wenzake darasani
Tathmini ya tahajia -Majaribio ya kuandika -Utathmini wa ushirikiano
11 2
Kuandika
Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandika sentensi akizingatia tahajia sahihi
- Kurekebisha sentensi akizingatia tahajia
- Kujaza nafasi kwenye kifungu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika sentensi kuhusu usalama
- Kurekebisha sentensi akizingatia tahajia sahihi
- Kujaza nafasi akizingatia tahajia sahihi
Je, kwa nini ni vizuri kuandika maneno kwa kuzingatia tahajia ifaayo?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 120
-Mazoezi ya kurekebisha
-Kifaa cha kidijitali
Mazoezi ya urekebisho -Tathmini ya umahiri -Kujaza nafasi
11 3
Kuandika
Tahajia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kuandika sentensi za usalama kwa tahajia sahihi
- Kumsomea mzazi sentensi alichotunga
- Kufurahia kutumia tahajia sahihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika sentensi kuhusu usalama
- Kumsomea mzazi sentensi alichotunga
- Kupata maoni kutoka kwa mzazi
Je, kwa nini ni vizuri kuandika maneno kwa kuzingatia tahajia ifaayo?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 120
-Mzazi/mlezi
-Sentensi za usalama
Uwasilishaji -Maoni ya wazazi -Utafakari
11 4
Sarufi
Matumizi ya huu na hii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kutambua huu na hii katika vifungu
- Kutumia huu na hii kutajia vitu
- Kuchangamkia matumizi ya huu na hii
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno huu na hii kwa kutumia nyenzo
- Kusoma vifungu vinavyojumuisha huu na hii
- Kuonyesha vitu kuhusu usalama
Ni vitu gani unavyoweza kurejelea kwa kutumia maneno huu na hii?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 122
-Kadi za maneno
-Chati
-Vitu vya usalama
Urambuzi -Urejeleo wa vitu -Mazoezi ya mdomo
12 1
Sarufi
Matumizi ya huu na hii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
- Kukamilisha vifungu vya nafasi kwa kutumia huu na hii
- Kutunga sentensi akitumia huu na hii
- Kuandika vifungu kutokana na picha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukamilisha vifungu vyenye nafasi
- Kutunga sentensi akitumia huu na hii za usalama
- Kuandika vifungu kutokana na picha
Ni vitu gani unavyoweza kurejelea kwa kutumia maneno huu na hii?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 122
-Picha za usalama
-Wenzake wa kikundi
Mazoezi ya kujaza -Utathmini wa kutunga -Uandishi kutokana na picha
12 2

12 3

- Kutumia huu na hii katika mazingira ya nyumbani
- Kufurahia kutumia huu na hii katika mawasiliano
- Kushiriki na mzazi kuurejela vitu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia huu na hii kurejelea vitu vya usalama nyumbani
- Kumshirikisha mzazi kurejelea vitu nyumbani
- Kutunga sentensi kuhusu usalama
Ni vitu gani unavyoweza kurejelea kwa kutumia maneno huu na hii?
Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi ya 2 uk. 122
-Mzazi/mlezi
-Mazingira ya nyumbani
Ushiriki wa familia -Maoni ya wazazi -Tathmini ya ukweli
12 4
Matumizi ya huu na hii
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

Your Name Comes Here

Download

Feedback