Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TISA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

Reporting /Revision

2 1
USAFI WA MAZINGIRA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala.
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala.
Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama na kusikiliza mjadala kuhusu usafi wa mazingira katika kifaa cha kidijitali.
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza na kuchangia mjadala.
Kujadili vipengele alivyotambua kwenye daftari lake.
Kushiriki mjadala darasani na wenzake.
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 1
Vifaa vya kidijitali
Chati
Kadi maneno
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 4
Picha
Michoro
Kutambua vipengele vya mjadala Kuuliza na kujibu maswali Orodha hakiki Kueleza Kushiriki mjadala
2 2
Sarufi
Kuandika
Vihusishi vya Mahali
Viakifishi - Koloni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya vihusishi vya mahali.
Kutambua vihusishi vya mahali katika matini.
Kutumia vihusishi vya mahali ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya vihusishi vya mahali.
Kutambua vihusishi vya mahali kama "chini ya", "kando ya", "mbele ya", "ndani ya", "juu ya" katika sentensi.
Kujaza pengo katika sentensi kwa kutumia vihusishi vya mahali.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya mahali ipasavyo kuhusu usafi wa mazingira.
Je, ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 10-11
Kadi maneno
Matini ya mwalimu
Picha zinazoonyesha mahali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 8
Kifaa cha kidijitali
Kadi zenye mifano ya matumizi ya koloni
Kujaza pengo kwa vihusishi vya mahali Kuuliza maswali na kutoa majibu Kutunga sentensi zenye vihusishi vya mahali Kufanyiana tathmini
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza na Kujibu - Mjadala
Kusoma kwa Ufahamu - Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala.
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala.
Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua mada "Usafi wa mazingira ndio unaozuia kuenea kwa maradhi".
Kujigawa katika vikundi viwili: kuunga mkono na kupinga mjadala.
Kutayarisha hoja za kuunga mkono au kupinga mjadala.
Kuchagua viongozi wa kuwaelekeza kama vile mwenyekiti, katibu, mlinda nidhamu na mtunza wakati.
Je, unazingatia nini wakati wa kushiriki mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 3
Chati ya vipengele vya mjadala
Karatasi za kuandikia hoja
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 5-6
Chati
Kamusi
Matini ya mwalimu
Kushiriki mjadala Matamshi bora ya maneno Utetezi wa hoja kwa lugha ya adabu Kutumia lugha ya ushawishi
2 4
Sarufi
Vihusishi vya Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vya wakati katika matini.
Kutumia vihusishi vya wakati ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya wakati katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vya wakati kama "baada ya", "kabla ya", "tangu", "toka", "hadi" kutoka kwa kapu maneno, chati au mti maneno.
Kutambua vihusishi vya wakati katika sentensi.
Kujaza nafasi kwa vihusishi vya wakati.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vya wakati ipasavyo kuhusu usafi wa mazingira.
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 11-12
Chati mabango
Vifaa vya kidijitali
Kamusi
Kujaza pengo kwa vihusishi vya wakati Kujibu maswali Kutunga sentensi zenye vihusishi vya wakati Kutambua tofauti kati ya vihusishi vya mahali na vya wakati
3 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Viakifishi - Semi Koloni
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua alama ya semi koloni katika matini.
Kueleza matumizi ya semi koloni katika matini.
Kutumia alama ya semi koloni ipasavyo katika matini.
Kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya semi koloni katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua alama ya semi koloni katika sentensi kama "Tulizuru Bonde la Ufa tukatembelea Ziwa Nakuru; Ziwa Naivasha; Mlima Longonot na Mji wa Nakuru."
Kueleza matumizi ya semi koloni katika matini.
Kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya semi koloni ipasavyo.
Kutunga sentensi au kifungu kifupi kuhusu usafi wa mazingira akitumia alama ya semi koloni ipasavyo.
Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 9
Matini ya mwalimu
Kadi
Mifano ya sentensi zenye matumizi ya semi koloni
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno
Kifaa cha kidijitali
Orodha hakiki ya matumizi ya semi koloni Kutunga sentensi zenye alama ya semi koloni Kubainisha tofauti kati ya koloni na semi koloni
3 2
MAZOEZI YA VIUNGO VYA MWILI

Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Vihusishi vya -a Unganifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kufafanua ujumbe wa matini aliyosoma.
Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia.
Kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma.
Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali za kujichagulia.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuteua matini kuhusu mazoezi ya viungo vya mwili kisha some matini aliyojichagulia.
Kutambua msamiati muhimu katika matini aliyoteua.
Kufafanua ujumbe wa matini aliyoisoma kwa ufupi.
Kutambua na kuorodhesha msamiati uliotumika katika matini aliyojichagulia.
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia
Kamusi
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 19-20
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Orodha ya vihusishi vya -a unganifu
Kusoma matini ya kujichagulia Kutambua msamiati muhimu Kuorodhesha msamiati na maana yake Kufafanua ujumbe wa matini
3 3
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua ujumbe unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
Kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
Kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki.
Kuchangamkia kujibu barua ya kirafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafiki.
Kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki.
Kujadili muundo wa kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake.
Kuchora mchoro wa muundo wa barua ya kirafiki kitambuni.
Je, unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 17
Matini ya mwalimu
Michoro
Chati
Mfano wa barua ya kirafiki
Kutambua vipengele vya barua ya kirafiki Kuchora muundo wa barua ya kirafiki Kujibu maswali kuhusu barua ya kirafiki Kueleza lugha inayofaa katika barua ya kirafiki
3 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /b/ na /mb/
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutamka sauti /b/ na /mb/ ipasavyo ili kuzitofautisha kimatamshi.
Kutamka vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo.
Kuunda vitanzandimi vyepesi vyenye sauti /b/ na /mb/.
Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /b/ na /mb/ katika mazungumzo ya kawaida.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno kama "bali-mbali", "bao-mbao", "baba-bomba", "ibo-imba", "boga-mboga".
Kusikiliza na kutamka vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha matamshi ya sauti /b/ na /mb/ katika kifaa cha kidijitali.
Kubuni vitanzandimi vyepesi vinavyohusisha sauti /b/ na /mb/.
Kuwasomea wenzake vitanzandimi alivyobuni ili wamtolee maoni.
Je, kutamka maneno yenye sauti /b/ na /mb/ ipasavyo kuna umuhimu gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 13-14
Mti maneno
Matini ya mwalimu
Kifaa cha kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 15-16
Matini mbalimbali za kujichagulia
Kamusi
Kutambua sauti /b/ na /mb/ katika maneno Kutunga vitanzandimi vyenye sauti /b/ na /mb/ Orodha hakiki ya maneno yenye sauti hizo
4 1
Sarufi
Kuandika
Vihusishi vya Sababu
Insha za Kiuamilifu - Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vya sababu katika matini.
Kutumia vihusishi vya sababu ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi ya vihusishi katika mawasiliano na mahusiano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vya sababu "kwa" katika sentensi kama "Alipendwa kwa wema wake."
Kutambua vihusishi vya sababu katika sentensi kwa kuvipigia mstari.
Kujaza pengo kwa vihusishi vya sababu vifaavyo.
Kutunga sentensi na vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya sababu akizingatia mazoezi ya viungo vya mwili.
Je, vihusishi vya -a unganifu na vya sababu hutofautiana vipi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 21
Vifaa vya kidijitali
Kapu na kadi maneno
Matini ya mwalimu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 18-19
Mifano ya barua za kirafiki
Kutambua vihusishi vya sababu Kutunga sentensi zenye vihusishi vya sababu Tathmini ya mwanafunzi Orodha hakiki ya matumizi ya vihusishi vya sababu
4 2
UTUNZAJI WA WANYAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Tashbihi
Semi - Sitiari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya tashbihi ili kuipambanua na tungo zingine.
Kutambua tashbihi katika matini ya fasihi simulizi.
Kueleza matumizi ya tashbihi katika matini ya fasihi simulizi.
Kuchangamkia matumizi ya tashbihi katika tungo za fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya tashbihi.
Kutambua tashbihi kama "mrefu kama twiga", "maridadi kama tausi" katika tungo simulizi.
Kueleza matumizi ya tashbihi katika tungo za fasihi simulizi.
Kushiriki katika uwasilishaji wa tashbihi.
Je, tunatumia mbinu gani za lugha katika kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 24
Kadi za tashbihi
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 25-27
Matini zilizo na sitiari
Chati za sitiari
Kutambua tashbihi katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya tashbihi Kutunga tashbihi Kutofautisha tashbihi na semi zingine
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo zingine.
Kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi.
Kueleza sifa za ushairi katika shairi.
Kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafiti maana ya shairi vitabuni au mtandaoni ili kulitofautisha na tungo nyingine.
Kujadili na wenzake sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi.
Kusoma mashairi katika diwani iliyoteuliwa na mwalimu na kueleza sifa za ushairi katika mashairi hayo.
Kuwasomea wenzake sifa alizotambua katika mashairi aliyoyasoma ili wamtolee maoni.
Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 30-31
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua sifa za ushairi Kusoma shairi kwa kuzingatia vipengele vyake Kuandika muhtasari wa sifa za ushairi Kujadili ujumbe wa shairi
4 4
Sarufi
Kuandika
Vihusishi Vilinganishi
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vihusishi vilinganishi katika matini.
Kutumia vihusishi vilinganishi ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vilinganishi katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vihusishi vilinganishi kama "kama", "sawa na", "mithili ya", "kupita", "kuliko" n.k.
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi kama "Sungura alimchekelea Kobe na kumwambia, 'mimi ni mwepesi kuliko wewe.'"
Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia vihusishi vilinganishi.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi vilinganishi akizingatia utunzaji wa wanyama.
Je, vihusishi vilinganishi na kihusishi 'na' huchangia vipi katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 36-37
Kadi za vihusishi vilinganishi
Chati
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 33-34
Mifano ya insha za masimulizi
Picha
Kutambua vihusishi vilinganishi katika sentensi Kujaza pengo kwa vihusishi vilinganishi Kutunga sentensi zenye vihusishi vilinganishi Kufanyiana tathmini
5 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Methali
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya methali ili kuipambanua na tungo zingine.
Kutambua methali katika matini ya fasihi simulizi.
Kueleza matumizi ya methali katika matini ya fasihi simulizi.
Kuchangamkia matumizi ya methali katika tungo za fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya methali.
Kutambua methali katika tungo simulizi, kapu la semi, au kifaa cha kidijitali.
Kueleza matumizi ya methali katika tungo za fasihi simulizi.
Kushiriki katika uwasilishaji wa methali.
Kwa nini tunatumia methali kuwasilisha tungo za fasihi simulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 27-29
Orodha ya methali
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 31-32
Diwani ya mashairi iliyoteuliwa
Chati ya sifa za ushairi
Kutambua methali katika tungo za fasihi simulizi Kueleza matumizi ya methali Kutunga methali Kutofautisha methali na semi zingine
5 2
Sarufi
Kuandika
Kihusishi 'na'
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua kihusishi 'na' katika matini.
Kutumia kihusishi 'na' ipasavyo katika matini.
Kuchangamkia kutumia kihusishi 'na' katika mawasiliano ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi kama "Waliwaona simba wakifukuzana na swara."
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi kwa kukipigia mstari.
Kujaza pengo kwa kutumia kihusishi 'na' panapohitajika.
Kutunga sentensi na vifungu kwa kutumia kihusishi 'na' ipasavyo kuhusu utunzaji wa wanyama.
Je, kihusishi 'na' kinatofautianaje na vihusishi vingine?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 37-38
Kadi za sentensi zenye kihusishi 'na'
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 35
Mifano ya insha za masimulizi
Kutambua kihusishi 'na' katika sentensi Kutunga sentensi zenye kihusishi 'na' Kujaza pengo kwa kihusishi 'na' Kufanyiana tathmini
5 3
UTUNZAJI WA MALIASILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Semi - Vitendawili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya vitendawili;
Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili;
Kutambua vitendawili katika matini;
Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wake;
Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya vitendawili;
Kueleza maana ya vitendawili;
Kutoa mfano wa kitendawili kutokana na maana aliyopata;
Kutambua vipengele vya uwasilishaji wa vitendawili.
Unazingatia nini unapowasilisha vitendawili?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 40
Kamusi
Mtandao salama
Kadi maneno
Kutambua vitendawili; Kueleza maana ya vitendawili; Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Vitendawili
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi;
Kueleza umuhimu wa vitendawili katika fasihi simulizi;
Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wake;
Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kufanya utafiti kuhusu umuhimu wa vitendawili;
Kufafanua umuhimu wa vitendawili katika vipengele kama vile huburudisha, hukuza ubunifu, hukuza uwezo wa kufikiri, hukuza uwezo wa kukumbuka na huelimisha;
Wasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji.
Kwa nini vitendawili ni muhimu katika jamii?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 41
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 44
Kifungu cha nathari
Kutambua umuhimu wa vitendawili; Kueleza umuhimu wa vitendawili; Kuwasilisha vitendawili kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
6 1
Sarufi
Nyakati na Hali - -ki- ya masharti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ki- ya masharti katika matini;
Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti;
Kutumia -ki- ya masharti ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ki- ya masharti ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Nakili sentensi zilizo na -ki- ya masharti;
Tambua -ki- ya masharti katika sentensi kwa kuichorea mstari;
Eleza maana inayojitokeza katika sentensi za -ki- ya masharti;
Chagua sentensi zilizotumia -ki- ya masharti kati ya sentensi zilizotolewa.
-ki- ya masharti hutumiwa wakati gani katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 50
Chati
Matini yenye sentensi za -ki- ya masharti
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua -ki- ya masharti; Kueleza matumizi ya -ki- ya masharti; Kutunga sentensi akitumia -ki- ya masharti
6 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali;
Kutambua lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kujadili lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kutumia lugha ya kitamathali katika insha ya masimulizi;
Kufurahia matumizi ya lugha ya kitamathali katika kuandika insha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia kamusi au mtandao salama kutafuta maana ya tamathali;
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali;
Kutoa mifano ya tamathali za usemi;
Kusoma insha ya masimulizi na kutambua lugha ya kitamathali iliyotumika.
Lugha ya kitamathali huongeza ladha gani katika insha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 47
Kamusi
Mtandao salama
Insha ya mfano
Kueleza maana ya lugha ya kitamathali; Kutambua lugha ya kitamathali katika insha; Kutumia lugha ya kitamathali katika sentensi
6 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni - Masimulizi
Semi - Nahau
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi;
Kujadili matendo ya wahusika katika insha ya masimulizi;
Kujadili mandhari katika insha ya masimulizi;
Kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari;
Kufurahia kuandika insha za masimulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutafuta maana ya wahusika;
Kusoma insha ya masimulizi;
Kutambua wahusika katika insha ya masimulizi;
Jadili matendo ya wahusika;
Jadili mandhari katika insha aliyosoma.
Unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 48
Insha ya mfano
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 42
Kamusi
Mtandao salama
Kadi za nahau
Kutambua wahusika katika insha; Kujadili matendo ya wahusika; Kujadili mandhari katika insha
6 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Semi - Nahau
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi;
Kueleza umuhimu wa nahau katika fasihi simulizi;
Kutumia nahau ipasavyo katika mawasiliano;
Kuchangamkia matumizi ya nahau katika tungo za fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza hadithi ya mwalimu iliyo na nahau;
Kutambua nahau katika hadithi iliyosikilizwa;
Kueleza maana za nahau zilizotambuliwa;
Jadili umuhimu wa nahau zilizotambuliwa.
Nahau huongeza ladha gani katika lugha?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 43
Hadithi ya sungura
Kadi za nahau
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 45
Kifungu cha nathari
Saa ya kidijitali
Kutambua nahau; Kueleza umuhimu wa nahau; Kutumia nahau ipasavyo
7 1
Sarufi
Kuandika
Nyakati na Hali - -ka- ya kufuatana kwa vitendo
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo katika matini;
Kueleza matumizi ya -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo ipasavyo katika matini;
Kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo -ka- ya kufuatana kwa vitendo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutambua sentensi zenye -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo;
Kusomea mwenzake sentensi alizozitunga.
-ka- ya kufuatana kwa vitendo hutumiwa wakati gani katika sentensi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 51
Karatasi zenye sentensi
Kadi za maneno
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 49
Orodha ya tathmini
Karatasi za kuandikia
Kutambua -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kutunga sentensi akitumia -ka- ya kufuatana kwa vitendo; Kufanya tathmini
7 2
MITAZAMO HASI YA KIJINSIA

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu wa Kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kueleza vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza;
Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutazama picha ya wanafunzi wanasikiliza runinga;
Kueleza maana ya ufahamu wa kusikiliza kwa kuzingatia matendo katika picha;
Jadili kanuni za ufahamu wa kusikiliza.
Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kujibu mjadala?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 52
Picha
Vifaa vya kidijitali
Kutambua kanuni za ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza kwa makini; Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
7 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Hali za Masharti - -nge-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu;
Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha ufahamu;
Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu;
Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma kifungu kinachohusu mitazamo hasi ya kijinsia;
Kudondoa habari mahususi katika kifungu kwa kujibu maswali yaliyotolewa;
Kujadili maswali na majibu na wenzake.
Je, unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika kifungu cha ufahamu kwa usahihi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 55
Kifungu cha ufahamu
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 60
Chati
Kadi maneno
Kudondoa habari mahususi; Kupanga matukio kwa mtiririko; Kujibu maswali
7 4
Sarufi
Kuandika
Hali za Masharti - -nge-
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -nge-;
Kutumia hali ya masharti -nge- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutumia hali ya masharti -nge- kutunga sentensi tano;
Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -nge-;
Kusoma kifungu alichoandika kwa wenzake.
Ni tofauti gani kati ya hali ya masharti -nge- na -ngali-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 57
Kijitabu cha shajara
Mfano wa shajara
Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -nge-; Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -nge-; Kusahihisha sentensi na vifungu vya wenzake
8 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Ufahamu wa Kusikiliza
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua sifa za ufahamu wa kusikiliza;
Kueleza sifa za ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza na kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza;
Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
Jadili vipengele vya ufahamu wa kusikiliza;
Kusikiliza kifungu cha ufahamu wa kusikiliza kilichorekodiwa au kusomwa na mwalimu;
Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza.
Kusikiliza kwa ufahamu kuna faida gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 53
Kifaa cha kidijitali
Kifungu cha ufahamu
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 56
Kamusi
Chati
Karatasi
Kutambua sifa za ufahamu wa kusikiliza; Kusikiliza kwa makini; Kujibu maswali ya ufahamu wa kusikiliza
8 2
Sarufi
Hali za Masharti - -ngali-
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye hali ya masharti -ngali-;
Kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutambua vitenzi ambavyo vinaonyesha hali ya masharti -ngali-;
Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-.
Kiambishi -ngali- kinatofautianaje na -nge-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 61
Chati
Karatasi zenye sentensi
Kutambua hali ya masharti -ngali-; Kueleza matumizi ya hali ya masharti -ngali-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-
8

Half-term

9 1
Sarufi
Kuandika
Hali za Masharti - -ngali-
Insha za Kiuamilifu - Shajara
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua matumizi ya hali ya masharti -ngali-;
Kutumia hali ya masharti -ngali- ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kujaza nafasi kwa kutumia hali ya masharti -ngali-;
Kutunga sentensi tano akitumia hali ya masharti -ngali-;
Kutunga kifungu cha aya moja kilicho na vitenzi vilivyo katika hali ya masharti -ngali-.
Je, ni wakati gani tunaweza kutumia hali ya masharti -ngali-?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 62
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 58
Kujaza nafasi kwa kutumia -ngali-; Kutunga sentensi akitumia hali ya masharti -ngali-; Kuandika kifungu cha aya kilicho na hali ya masharti -ngali-
9 2
USALAMA BARABARANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri;
Kueleza jinsi maneno, ishara na sauti zinasaidia katika kufasiri ujumbe;
Kusikiliza na kufasiri ujumbe wa matini;
Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri;
Kueleza jinsi mambo kama maneno, ishara na kiwango cha sauti vinachangia katika kusikiliza na kufasiri ujumbe;
Kutazama picha na kusikiliza kifungu.
Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kuzisikiliza?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 63
Picha
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 65
Kitabu cha fasihi
Kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri; Kueleza jinsi maneno, ishara na sauti zinachangia katika kufasiri ujumbe; Kusikiliza na kufasiri ujumbe
9 3
Sarufi
Vielezi vya Namna
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vielezi vya namna katika matini;
Kueleza maana ya vielezi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya namna katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusoma sentensi zenye vielezi vya namna;
Kueleza maneno yaliyokolezwa rangi ni ya aina gani;
Kutambua vielezi vya namna katika sentensi kwa kuvipigia mstari;
Kutambua vielezi vya namna katika kifungu.
Alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 70
Chati
Karatasi zenye sentensi
Kamusi
Kutambua vielezi vya namna; Kueleza maana ya vielezi vya namna; Kutumia vielezi vya namna katika sentensi
9 4
Sarufi
Kuandika
Vielezi vya Namna
Insha za Kubuni - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua aina mbalimbali za vielezi vya namna;
Kueleza aina mbalimbali za vielezi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya namna katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuzingatia vielezi vya namna kama halisi, hali, tumizi, vikariri, mkazo, viigizi na kifani;
Kamilisha sentensi kwa kuchagua vielezi sahihi vya namna;
Kutumia vielezi vya namna kutunga sentensi.
Vielezi vya namna huchangia vipi katika mawasiliano?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 71
Kadi za vielezi vya namna
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 68
Kielelezo cha insha ya methali
Kutambua aina za vielezi vya namna; Kujaza pengo kwa vielezi vya namna; Kutunga sentensi akitumia vielezi vya namna
10 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza kwa Kufasiri
Kusoma kwa Kina - Ushairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini;
Kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini aliyosikiliza na ile ya jamii yake;
Kujenga mazoea ya kutambua msimamo na mielekeo katika matini mbalimbali ili kupata maana ya ujumbe.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kusikiliza kifungu na kutoa msimamo na mielekeo yake;
Kutoa sababu za msimamo wake;
Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini aliyosikiliza kuhusu usalama barabarani na ile ya jamii yake.
Unaweza vipi kutambua msimamo wa mtu katika mazungumzo?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 64
Kifungu cha kusomewa
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 66
Shairi "Ajali tuzilaani"
Chati
Kueleza msimamo na mielekeo; Kutoa sababu za msimamo wake; Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini na ile ya jamii
10 2
Sarufi
Vielezi vya Wakati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kutambua vielezi vya wakati katika matini;
Kueleza maana ya vielezi vya wakati;
Kutumia vielezi vya wakati ipasavyo katika matini;
Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vielezi vya wakati katika matini mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kutambua vielezi vya wakati katika sentensi kwa kuvipigia mstari;
Kutambua vielezi vya wakati katika kifungu;
Kutumia vielezi vya wakati kutunga sentensi;
Kutofautisha vielezi vya wakati na vielezi vya namna.
Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 72
Chati
Matini yenye vielezi vya wakati
Vifaa vya kidijitali
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 73
Kadi za vielezi vya wakati
Kutambua vielezi vya wakati; Kujaza pengo kwa vielezi vya wakati; Kutunga sentensi akitumia vielezi vya wakati
10 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
Kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika;
Kufanya marekebisho ya insha ya methali;
Kufurahia kufasiri methali na kuziandikia insha zinazoafiki ili kujenga ubunifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
Kuchagua methali moja kuhusu usalama barabarani kati ya methali zilizopendekezwa;
Kuandaa vidokezo vya kuandikia insha ya methali;
Kuandika insha ya methali;
Kusoma na mwenzako insha ya methali aliyoandika.
Je, kwa nini mwanafunzi anahitaji kujua vipengele vya insha ya methali?
KLB Top Scholar Kiswahili uk. 69
Jedwali la tathmini
Karatasi za kuandikia
Kuandika insha ya methali; Kufafanua ujumbe wa insha; Kusahihisha insha
11

IDDUL FITR

12-13

End term assessment/Revision


Your Name Comes Here


Download

Feedback