If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Karibu Darasani
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maamku zi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno yatumiwayo katika maamkuzi kuamkua na kuitikia maamkuzi ili kujenga stadi ya kuzungumza kutambua umuhimu wa salamu katika mawasiliano kufurahia kushiriki katika maamkuzi. |
"
Mwanafunzi aigize maamkuzi kama vile hujambo? Sijambo; Hamjambo? Hatujambo darasani horo wa watu wawili wakisalimiana " " washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkuzi katika vikundi ili wajadili kuhusu umuhimu wa maamkuzi " " kushirikishwa katika kuigiza maamkuzi mepesi" " maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili" |
Tunatumia maneno gani katika salamu?
Tunatakiwa kusalimian a vipi?
3 Kwa nini tunasalimia na
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 2 | 2 |

| 2 | 3 |
Karibu Darasani
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
", kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani kubainisha maagizo yanayopaswa kufuatwa katika mazingira yake kuthamini umuhimu wa maagizo 1-" 2katika maisha ya kila siku |
"""
Mwanafunzi ashiriki katika kutoa na kufuata maagizo kama vile simama, keti, andika na chora "" "" video ya jinsi ya kutoa na kufuata maagizo "" " " mjadala wa maagizo yafaayo na" "yasiyofaa kufuatwa zi afafanue umuhimu wa maagizo " " katika masimulizi ya matokeo ya kufuata na kutofuata maagizo " " katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo" |
"
Umewahi kuambiwa ufanye jambo lolote?
Ni nani anayetakiw"
"
Je, wajua vitu unavyotum ia darasani?
Je, wajua umoja na wingi wa vitu vya darasani"
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 2 | 4 |

| 3 | 1 |
Karibu Darasani
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua kwa majina vifaa vinavyopatikana darasani ili kurahisisha mawasiliano kutumia majina ya vifaa vya darasani katika sentensi ili kuwezesha mazungumzo kufurahia kutumia na kutunza vifaa vinavyopatikana darasani |
"
Mwanafunzi ataje vifaa halisi k.v. dawati, kitabu, kalamu na kifutio " " picha za vifaa halisi na kutaja majina vifaa vya darasani kadi za maneno na vifaa halisi darasani wakiwa katika v " " mwenzake kuhusu vifaa vya darasani k.m. Hii ni nini? Hii ni kalamu" |
Je, wajua vitu unavyotum ia darasani?
Je, wajua umoja na wingi wa vitu vya darasani
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli Zoezi
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |

| 3 | 4 |
Karibu Darasani
|
Kusoma:
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
" kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu" "kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu ili kujenga usikivu kufahamu hadithi aliyosomewa darasani katika kuimarisha stadi ya kusoma kuchangamkia hadithi katika maisha ya kila siku" |
"
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi " "kwenye hadithi ishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi " " msamiati uliotumika kwenye hadithi maswali. kuhusu hadithi wakiwa wawili wawili " " hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekta" |
"
Kwa nini unapenda picha?"
"
Unapenda hadithi?
Kwa nini unapenda hadithi? 4)
Unakumbu ka hadithi uliyosikiliz a"
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 4 | 1 |
Mimi na Wenzang u
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua wenzake darasani kwa majina, jinsia, miaka na gredi ili kuweza kuwaelezea kujieleza kwa kurejelea jina, jinsia, miaka na gredi kwa ufasaha katika mawasiliano ya kila siku kutoa muhtasari wa maelezo aliyoyasikia katika mazingira yake kudhihirisha umakinifu wa kusikiliza katika mazingira yake kuchangamkia maelezo yake na ya wenzake katika kuimarisha mawasiliano kujivunia nafsi yake na wenzake katika miktadha mbalimbali. |
"
Mwanafunzi asikilize maelezo ya wengine. Mwanafunzi aweza kusikiliza maelezo ya wenzake yaliyorekodiwa kwenye simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k. kuwahusu katika vikundi. i waulizane. maswali na kujibizana k.m. Unaitwaje? " " akizingatia jina, jinsia, umri na gredi mbele ya darasa Mwanafunzi aeleze maana ya msamiati unaotumiwa kujieleza k.v. umri, miaka,msichana, mvulana, gredi na rafiki. Mwanafunzi atunge sentensi kwa kutumia maneno yanayotumiwa kujieleza na kueleza wenzake." " kuhusu maana na matumizi ya msamiati unaotumiwa k.m. umri, miaka, msichana, mvulana, gredi na rafiki katika vikundi" |
Wewe ni nani?
Mwenzako ni nani?
Unapenda kufanya nini?
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 4 | 2 |

| 4 | 3 |

| 4 | 4 |

| 5 | 1 |
Mimi na Wenzang u
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Masimuli zi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusimulia hadithi aliyosikiliza darasani ili kujenga stadi ya kusikiliza kufahamu hadithi aliyosimuliwa ili kupata ujumbe kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika miktadha mbalimbali kuchangamkia hadithi simulizi maishani |
"
Mwanafunzi aweze kuwa makini anaposimuliwa masimulizi. " " kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k. " " mgeni mwalikwa akisimulia masimulizi. wekwa katika vikundi na kutoleana muhtasari wa masimulizi yaliyosimulia. maswali kutokana na masimulizi" |
Umewahi kusimuliwa kisa kipi?
Unatarajiw a kufanya nini unaposimul iwa masimulizi
?
Unakumbu ka nini katika masimulizi uliyosimuli wa
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Mimi na Wenzang u
|
Kusoma:
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
", kutambua msamiati uliyotumika katika hadithi ili kuweza kuutumia katika mawasiliano kusikiliza hadithi zikisomwa ili kujenga usikivu kufahamu hadithi aliyosomewa" "darasani ili kupata ujumbe d) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku" |
"
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. " " kwenye hadithi. wake baada ya kusomewa hadithi. msamiati uliotumika kwenye hadithi." " Wanafunzi wajadiliane kuhusu hadithi waliosomewa katika vikundi. " " kusikiliza hadithi zikisomwa kupitia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. " " picha na kadi za msamiati uliotumiwa katika hadithi. " " maswali kutokana na hadithi" |
"
Je, ni hadithi kusomewa? Unatarajiw a kufanya nini unaposome"
"wa hadithi? 3)
Unakumbu ka nini"
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 5 | 4 |

| 6 | 1 |
Tarakimu
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza:Msa miati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua nambari moja hadi kumi (1-10) katika mazingira yake kuhesabu nambari 1-10 kwa mfuatano ili kujenga stadi ya kuzungumza kutaja majina ya nambari moja hadi kumi kwa mfululizo ili kujenga stadi ya kuzungumza kutumia majina ya nambari moja hadi kumi kutunga sentensi ili kujenga stadi ya kuzungumza kuthamini matumizi ya nambari katika maisha ya kila siku |
"
Mwanafunzi anaweza kupewa kadi za nambari azitaje kwa maneno. ariri mashairi kuhusu nambari hadi kumi. " " kuimba nyimbo za tarakimu. na maneno kwa kuonyeshwa nambari na kutaja jina la nambari husika. Kiswahili wakiwa wawili wawili k.m. mmoja anachukua kidole kimoja na mwingine anataja jina la nambari, |
Unajua kuhesabu nambari ngapi?
Hesabu moja hadi kumi.
3)
Unaweza kutumia majina yapi ya nambari moja hadi kumi katika sentensi?
4) Ni nini umuhimu wa nambari maishani?
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 6 | 2 |

| 6 | 3 |

| 6 | 4 |
Tarakimu
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza:Mas imulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza visa vinavyohusiana na nambari ili kujenga umakinifu kufahamu masimulizi ya visa vinavyohusiana na nambari ili kupata ujumbe kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika mawasiliano kuchangamkia masimulizi katika maisha ya kila siku |
"
Mwanafunzi asikilize kisa kikisimuliwa. Mwanafunzi ashiriki katika kusimulia kisa kinachohusisha nambari. " " matukio yaliyosimuliwa. visa vinavyojumuisha nambari wakiwa wawili wawili au katika vikundi. " " masimulizi kupitia kwa vyombo vya kiteknolojia kama vile simu, kinasasauti na kipatakalishi vyaweza kutumiwa katika kusimulia visa mbalimbali." |
Nambari hutumiwaje
?
Unatarajiw a kufanya nini unaposimul iwa kisa?
Unakumbu ka nini katika kisa ulichosimul iwa
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 7 | 1 |
Siku za wiki
|
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku kutaja majina ya siku za wiki kwa mfululizo ili kumsaidia kuratibu shughuli za siku kuelezea shughuli za siku mbalimbali za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza kutumia majina ya siku za wiki kutunga sentensi ili kuimarisha mawasiliano kuthamini kila siku ya wiki ili kutilia maanani shughuli za siku husika maishani. |
"
Mwanafunzi atambue siku za wiki yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kwa kutumia kadi za maneno. " " wa siku za wiki. " " mashairi kuhusu siku za wiki. " " majadiliano ya shughuli za siku za wiki k.m. Jumatatu naenda shule, Ijumaa, Jumamosi au Jumapili nashiriki ibada n.k. za majina ya siku za wiki kwa utaratibu wakiwa wawili wawili." |
Wiki moja ina siku ngapi?
Unaenda shule siku gani?
3)
Unaweza kutaja na kuandika majina yapi ya siku za wiki kwa mfuatano?
4) Waweza kutumia majina yapi ya siku za wiki katika sentensi?
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli Zoezi
|
|
| 7 | 2 |

| 7 | 3 |

| 7 | 4 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Msamiati
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi atambue siku za wiki yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kwa kutumia
kadi za maneno |
Wiki moja ina siku ngapi
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 8 | 1 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Msamiati
Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutaja majina ya siku za wiki kwa mfululizo ili kumsaidia kuratibu shughuli za siku |
Mwanafunzi aweza kuimba wimbo wa siku za wiki.
Mwanafunzi aweza kukariri mashairi kuhusu siku za wiki |
Wiki moja ina siku ngapi
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 8 | 2 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuelezea shughuli za siku kufahamu masimulizi ya matukio ya siku za wiki aliyosimuliwa ili kupata ujumbe |
Wanafunzi waweza kusimuliana matukio ya
"siku za wiki wakiwa wawili wawili. Mwanafunzi asikilize masimulizi kuhusu matukio ya siku za wiki kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasasauti, kipakatalishi n.k." |
Ni matukio yapi uliyowahi
kushuhudia
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi
ya kauli
|
|
| 8 | 3 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Kusoma
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi |
Umewahi kusikiliza hadithi ipii
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 8 | 4 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Kusoma
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazojumuisha matukio ya siku za wiki ili kujenga umakinifu |
Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi |
Umewahi kusikiliza hadithi ip
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 9 | 1 |
Kusikili za na Kuzung umza
Familia |
Kusoma
Hadithi
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kufahamu hadithi aliyosomewa katika mada ili kupata ujumbe |
Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.
Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi |
Umewahi kusikiliza hadithi ip
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 9 | 2 |
Familia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya)
"kutamkia sauti. Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi. Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa" |
Ni sauti zipi unazojua kutamka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 9 | 3 |
Familia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma |
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti.
Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi. Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa |
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 9 | 4 |
Familia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma |
"Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno" marefu zaidi vipande vipande |
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 10 | 1 |
Familia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande.
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili. Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k. |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 10 | 2 |
Familia
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi afinyange na aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.
Mwanafunzi aandike maneno yaliyo na herufi za sauti alizofunzwa kwa kunakili aliyoandika mwalimu |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 10 | 3 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Maneno ya heshima
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno ya heshima katika familia |
Wanafunzi waweza kuonyeshwa mchoro wa mtoto akipokea zawadi halafu wajadili neno linalofaa kutumiwa na anayepokea zawadi.
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini |
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 10 | 4 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Maneno ya heshima
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano |
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini.
Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile |
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 11 | 1 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Kusoma:
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumika katika hadithi |
Mwanafunzi aweza kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi |
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 11 | 2 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Kusoma:
Hadithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu familia darasani |
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea
kwenye hadithi. Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye |
Unatakiwa kufanya nini
unaposomewa hadithi
|
Charti
Vifaa harisi |
Maswalimepesi
ya kauli
|
|
| 11 | 3 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Kusoma:
Hadithi
Sarufi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi kuhusu familia darasani |
Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye asome akiwa peke yake au wiwili wawili.
. |
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 11 | 4 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi |
Manafunzi aweza kusoma sentensi zinazojumuisha matumizi ya nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi.
Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia maneno na viambishi vinavyowakilisha nafsi ya kwanza na wakati uliopo kama vile; mimi nina ; sisi tuna. |
Je, unatumia maneno gani kujirejelea na mkiwa wengi?
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 12 | 1 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha mazungumzo |
Mwanafunzi atambue sauti /t/, /l/, /n/ na /o/ katika maneno.
|
Ni sauti zipi unazojua kutamka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 12 | 2 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno |
Mwanafunzi asikilize mwalimu anapotamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili au kama darasa
|
Ni sauti zipi unazojua kutamka
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 12 | 3 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma |
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi. Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili
|
Unajua kusoma herufi na
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
|
| 12 | 4 |
Kusikili za na Kuzung umza
|
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma |
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k. |
Unajua kusoma herufi na
|
Charti Vifaa harisi
|
Maswalimepesi ya kauli
|
Your Name Comes Here