If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
Karibu Darasani
Mimi na Wenzang u Mimi na Wenzang u Mimi na Wenzang u Tarakimu Tarakimu Siku za wiki |
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maamku zi
Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maagizo Kusikiliz a na Kuzungu mza: Msamiati Kusoma: Hadithi Kusikiliz a na Kuzungu mza: Maelezo Kusikiliz a na Kuzungu mza: Masimuli zi Kusoma: Hadithi Kusikiliz a na Kuzungu mza:Msa miati Kusikiliz a na Kuzungu mza:Mas imulizi Kusikiliz a na Kuzungu mza: Msamiati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno yatumiwayo katika maamkuzi kuamkua na kuitikia maamkuzi ili kujenga stadi ya kuzungumza kutambua umuhimu wa salamu katika mawasiliano kufurahia kushiriki katika maamkuzi. |
"
Mwanafunzi aigize maamkuzi kama vile hujambo? Sijambo; Hamjambo? Hatujambo darasani horo wa watu wawili wakisalimiana " " washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkuzi katika vikundi ili wajadili kuhusu umuhimu wa maamkuzi " " kushirikishwa katika kuigiza maamkuzi mepesi" " maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili" |
Tunatumia maneno gani katika salamu?
Tunatakiwa kusalimian a vipi?
3 Kwa nini tunasalimia na
|
Charti Vifaa halisi
|
Maswali mapesi ya kauli zoezi
|
|
| 14 |
Midterm,exam |
||||||||
Your Name Comes Here