Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SITA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1

exams

2 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno
-Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
-Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora
-Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
- Kutambua silabi za sauti, d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngoma) kutoka vitabu, ubaoni au vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka vifaa vya kidijitali
-Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-Kusikiliza vitanzandimi vyenye sauti lengwa
-Kuunda na kukariri vitanzandimi vyenye sauti lengwa
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? - -2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye maneno ya silabi lengwa
-Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta)
-Kadi za maneno
-Picha
2 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno
-Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
-Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora
-Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
- Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa
-Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake
-Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani
-Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? - -2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi
-Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta)
-Kadi za maneno
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora (Vitanzandimi)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno
-Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
-Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora
-Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
- Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake
-Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni
-Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake kwa upendo na heshima
-Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali kwa kushirikiana na wenzake
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? - -2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi
-Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta)
-Kadi za maneno
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora (Vitanzandimi)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno
-Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
-Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora
-Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
- Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni
-Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake kwa upendo na heshima
-Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali kwa kushirikiana na wenzake
-Kusakura mtandaoni ili kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? - -2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi
-Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta)
-Kadi za maneno
3 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu
-Kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha
-Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari
-Kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu
- Kutambua viungo vya mwili vya ndani (k.v. moyo, mapafu, ini, kibofu, wengu, figo, ubongo, mifupa na mishipa) kutokana na picha, chati au kwenye tarakilishi
-Kueleza maana za msamiati alioutambua
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake
-Kujibu maswali kutokana na kifungu husika
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi? - -2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
- Kitabu cha Oxford uk. 10
-Picha za viungo vya mwili vya ndani
-Chati zenye viungo vya mwili
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
3 2

3 3

- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake
-Kujibu maswali kutokana na kifungu husika
-Kutoa muhtasari wa kifungu alichosoma
-Kutunga sentensi akitumia msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika kifungu
-Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi? - -2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
- Kitabu cha Oxford uk. 10
-Picha za viungo vya mwili vya ndani
-Chati zenye viungo vya mwili
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
3 4
Kuandika
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu
-Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri
-Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu
- Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi
-Kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu
-Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa
-Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Vielelezo vya insha ya wasifu
-Vifaa vya kidijitali
4 1
Kuandika
Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu
-Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri
-Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu
- Kuandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 inayohusu mada lengwa (k.m: Daktari nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu
-Kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya wasifu mtandaoni
-Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Vielelezo vya insha ya wasifu
-Vifaa vya kidijitali
4 2
Sarufi
Vivumishi vya Sifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno
-Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha
-Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu)
-Kutambua vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi vya sifa katika sentensi
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Chati ya vivumishi vya sifa
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
4 3
Sarufi
Vivumishi vya Sifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno
-Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha
-Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kutambua vivumishi vya sifa katika kifungu
-Kuandika sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa akishirikiana na wenzake
-Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Chati ya vivumishi vya sifa
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
4 4
Sarufi
Vivumishi Viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha
-Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali
-Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali naye na mbali kabisa (k.m: Kitabu hiki/hicho/kile)
-Kutambua vivumishi viashiria (k.v. huyu, huyo, yule, hivi, hivyo, vile) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi viashiria katika sentensi
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 14
-Chati ya vivumishi viashiria
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
5 1
Sarufi
Vivumishi Viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha
-Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali
-Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kutambua vivumishi viashiria katika kifungu
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake
-Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa
-Kutunga sentensi sahihi akitumia vifaa vya kidijitali
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 14
-Chati ya vivumishi viashiria
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
5 2
Sarufi
Vivumishi Vimilikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi
-Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali
-Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi
-Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano
- Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha
-Kutambua vivumishi vimilikishi (k.v –angu, - ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
5 3
Sarufi
Vivumishi Vimilikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi
-Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali
-Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi
-Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano
- Kutambua vivumishi vimilikishi katika kifungu
-Kujadili maana vivumishi vimilikishi huko akitoa mifano
-Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali
-Kutunga sentensi akitumia vivumishi vimilikishi
-Kujaza mapengo kwa kutumia vivumishi vimilikishi
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano
-Kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali
-Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano
-Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano
- Kujadili na wenzake umuhimu wa maamkuzi na maagano
-Kutambua maamkuzi mbalimbali (k.v. Waambaje? Salam Aleikum? Unaendeleaje?) na maagano mbalimbali (k.v. mchana mwema, buriani, baki salama)
-Kujadili maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake
1. Kwa nini watu huamkuana? - -2. Kuagana kuna umuhimu gani?
- Kitabu cha Oxford uk. 19
-Picha zinazouonyesha watu wakiamkuana na kuagana
-Chati zenye maamkuzi na maagano
-Vifaa vya kidijitali
6 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano
-Kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali
-Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano
-Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano
- Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali
-Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya

6 2

6 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina

-Kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi
-Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake
-Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili
- Kushiriki katika mjadala na wenzake kuhusu jinsi ya kutumia kamusi kutambua maana, tahajia, ngeli, aina za maneno na maana za maneno hayo
-Kusikiliza msamiati wa suala lengwa (k.v. kambumbu, gori, hoki, Jugwe) ukisomwa na mwalimu au katika kifaa cha kidijitali
1. Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi? - -2. Kwa nini tunatumia kamusi?
- Kitabu cha Oxford uk. 23
-Kamusi mbalimbali
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
6 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi
-Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake
-Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili
- Kuchagua maneno kutoka kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au kifaa cha kidijitali na kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo kwa kurejelea kamusi
-Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali
-Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno
1. Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi? - -2. Kwa nini tunatumia kamusi?
- Kitabu cha Oxford uk. 23
-Kamusi mbalimbali
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
7 1
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
-Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu
- Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa
-Kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi
-Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
- Kitabu cha Oxford uk. 27
-Vielelezo vya insha za masimulizi
-Vifaa vya kidijitali
7 2
Kuandika
Insha za Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi
-Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
-Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu
- Kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na michezo kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka
-Kuandika insha ya masimulizi mtandaoni
-Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
- Kitabu cha Oxford uk. 27
-Vielelezo vya insha za masimulizi
-Vifaa vya kidijitali
7 3
Sarufi
Vivumishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
-Kutambua vivumishi vya idadi katika matini
-Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kutambua vivumishi vya idadi (k.v. moja, ishirini, chache, nyingi) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi
-Kutambua vivumishi vya idadi katika kifungu
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 28
-Chati ya vivumishi vya idadi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
7 4
Sarufi
Vivumishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
-Kutambua vivumishi vya idadi katika matini
-Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yao
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake
-Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 28
-Chati ya vivumishi vya idadi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 1
Sarufi
Vivumishi Viulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
-Kutambua vivumishi viulizi katika matini
-Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kueleza maana ya vivumishi viulizi
-Kutambua vivumishi viulizi (k.v. –pi? gani?) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi viulizi katika sentensi
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
- Kitabu cha Oxford uk. 31
-Chati ya vivumishi viulizi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 2
Sarufi
Vivumishi Viulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
-Kutambua vivumishi viulizi katika matini
-Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kutambua vivumishi viulizi katika kifungu kifupi
-Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake
-Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa
-Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
- Kitabu cha Oxford uk. 31
-Chati ya vivumishi viulizi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 3
Sarufi
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha
-Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini
-Kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi
-Kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno
- Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ipasavyo
-Kutambua kivumishi kirejeshi amba- (k.v. ambaye, ambao, ambacho, ambalo n.k) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
- Kitabu cha Oxford uk. 32
-Chati ya vivumishi virejeshi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
8 4

9 1

- Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika kifungu
-Kueleza maana ya kivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake
-Kuandika sentensi akitumia kivumishi lengwa kwa usahihi
-Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia kivumishi lengwa
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
- Kitabu cha Oxford uk. 32
-Chati ya vivumishi virejeshi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
9 2
Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali
-Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora
-Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano
- Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali
-Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
- Kitabu cha Oxford uk. 35
-Chati zenye vitendawili
-Vifaa vya kidijitali
9 3
Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali
-Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora
-Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano
- Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake
-Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
- Kitabu cha Oxford uk. 35
-Chati zenye vitendawili
-Vifaa vya kidijitali
9 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
-Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kutazama vielelezo vya video vinavyoonyesha usomaji fasaha wa makala
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa akizingatia matamshi bora
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
- Kitabu cha Oxford uk. 38
-Vifungu vya kusoma
-Vifaa vya kidijitali
10 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
-Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji
- Kusoma kifungu cha habari kwa kasi isiyopungua maneno 90 kwa dakika moja kuhusu suala lengwa
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
- Kitabu cha Oxford uk. 38
-Vifungu vya kusoma
-Vifaa vya kidijitali
10 2
Kuandika
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi
-Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi
-Ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika
- Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi (k.v. chapa koza, italiki na maandishi yaliyopigiwa mstari)
-Kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
- Kitabu cha Oxford uk. 42
-Tarakilishi/vipakatalishi
-Mwongozo wa kutumia tarakilishi
10 3
Kuandika
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi
-Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi
-Ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika
- Kuandika kwa ubunifu kwenye tarakilishi kifungu cha aya moja ya maneno yasiyopungua 50 kuhusu mahusiano kati ya watu katika jamii
-Kutumia kipanya kuchagua sehemu ya maandishi anayolenga kutofautisha
-Kutumia kipanya kuteua ishara anayotaka kutumia kutofautisha maandishi
-Kuwatumia wenzake kifungu alichoandika mtandaoni
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
- Kitabu cha Oxford uk. 42
-Tarakilishi/vipakatalishi
-Mwongozo wa kutumia tarakilishi
10 4
Sarufi
Viwakilishi vya Nafsi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine
-Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali
-Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi
-Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano
- Kujadili maana ya viwakilishi vya nafsi huko akitoa mifano
-Kutambua viwakilishi vya nafsi (k.v. mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao, n.k.) katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
- Kitabu cha Oxford uk. 44
-Chati ya viwakilishi vya nafsi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
11 1
Sarufi
Viwakilishi vya Nafsi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine
-Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali
-Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi
-Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano
- Kutambua viwakilishi vya nafsi katika kifungu kifupi
-Kutumia viwakilishi vya nafsi kutunga sentensi kwenye daftari au tarakilishi
-Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi ili kukamilisha sentensi
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
- Kitabu cha Oxford uk. 44
-Chati ya viwakilishi vya nafsi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
11 2
Sarufi
Viwakilishi Viashiria
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha
-Kutambua viwakilishi viashiria katika matini mbalimbali
-Kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi
-Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano
- Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi viashiria huko akitoa mifano mwafaka
-Kutambua viwakilishi viashiria (k.v. hapa/hapo/pale, huku/huko/kule) katika ubao, kifaa cha kidijitali, chati, mti wa maneno au kadi za maneno
-Kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 46
-Chati ya viwakilishi viashiria
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
11 3

11 4

- Kutambua viwakilishi viashiria katika kifungu kifupi
-Kutunga sentensi akitumia viwakilishi viashiria
-Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 46
-Chati ya viwakilishi viashiria
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
12 1
Sarufi
Viwakilishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine
-Kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali
-Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano
-Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano
- Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi vya idadi huko akitoa mifano mwafaka
-Kutambua viwakilishi vya idadi (k.v. chache, nyingi, tatu, kumi n.k.) katika ubao, kadi za maneno, chai, mti wa maneno, chati au kifaa cha kidijitali
-Kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 47
-Chati ya viwakilishi vya idadi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
12 2
Sarufi
Viwakilishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine
-Kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali
-Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano
-Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano
- Kutambua viwakilishi vya idadi katika kifungu kifupi
-Kutumia viwakilishi vya idadi kutunga sentensi daftarini au katika kifaa cha kidijitali
-Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
- Kitabu cha Oxford uk. 47
-Chati ya viwakilishi vya idadi
-Kapu la maneno
-Mti wa maneno
-Vifaa vya kidijitali
12 3
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
-Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi
-Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
- Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
-Kuakifisha sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni
1. Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi? - -2. Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
- Kitabu cha Oxford uk. 49
-Chati ya alama za uakifishaji
-Vifaa vya kidijitali
12 4
Sarufi
Uakifishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
-Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi
-Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
- Kuakifisha kifungu kifupi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni
-Kuandika sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika daftari lake
-Kuandika sentensi zenye alama ya hisi, ritifaa na koloni akitumia kifaa cha kidijitali
1. Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi? - -2. Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
- Kitabu cha Oxford uk. 49
-Chati ya alama za uakifishaji
-Vifaa vya kidijitali

Your Name Comes Here

Download

Feedback