If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
MAPISHI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kutofautisha matamshi yake. - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia. - Kusikiliza silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti). - Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake. |
Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 1
Picha Michoro Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana
Kutamka silabi na vitanzandimi kwa usahihi
Ushiriki katika kutamka vitanzandimi
|
|
| 1 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. - Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa. - Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali na kushirikiana na wenzake mitamboni kuvirekebisha. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokanganya kimatamshi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 2
Chati za vitanzandimi Kadi za silabi Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 9 Chati za msamiati Kifungu cha hadithi kuhusu mapishi |
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti lengwa
Ushiriki katika shughuli za kikundi
|
|
| 1 | 3 |
Sarufi
|
Nomino za Pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi. - Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za pekee (k.v. Kisumu, Mei, Rabuka, Alhamisi na Yohana) kwenye tarakilishi, kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au chati. - Kutaja nomino za pekee akiwa na wenzake kama vile za majina ya mji, majina ya mito, majina ya watu na majina ya miezi. - Kutambua nomino za pekee katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukolezea rangi. |
Nomino za pekee zinahusu nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 16
Chati za nomino za pekee Kadi maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za pekee
Kupigia mstari nomino za pekee katika sentensi
Kutaja aina za nomino za pekee
|
|
| 1 | 4 |
Sarufi
|
Nomino za Pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za pekee kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee ili kukuza matumizi ya lugha sahihi. - Kuchangamkia matumizi ya nomino za pekee katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujaza nafasi kwenye sentensi au kifungu kwa kutumia nomino za pekee. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za pekee akiwa na wenzake. - Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina zake. |
Ni nomino zipi za pekee unazozijua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Chati za nomino za pekee Kadi maneno Orodha ya maswali ya zoezi |
Kutumia nomino za pekee katika sentensi
Kujaza pengo kwa nomino za pekee
Kuorodhesha nomino za pekee kulingana na aina
|
|
| 2 | 1 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. - Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. - Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. - Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi. - Kushirikiana na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu. |
Insha ya wasifu inahusu nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 13
Mifano ya insha za wasifu Chati ya muundo wa insha ya wasifu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya wasifu
Kujadili muundo wa insha ya wasifu
Kuandika vidokezo vya insha ya wasifu
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. - Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukaririwa vitanzandimi vinavyotokana na sauti l/r na th/dh. - Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kusakura mtandaoni ili kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye sauti l/r na th/dh?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 4
Chati za vitanzandimi Kadi za silabi Vifaa vya kidijitali |
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi
Kuunda vitanzandimi vyenye sauti l/r na th/dh
Kukariri vitanzandimi
|
|
| 2 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha mawasiliano. - Kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh. - Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi: f/v, s/z, l/r na th/dh ili kuimarisha matamshi yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukariri vitanzandimi vilivyoandaliwa na mwalimu au vilivyopatikana mtandaoni. - Kufanya mashindano ya kukariri vitanzandimi darasani. - Kuwakaririria wazazi au walezi wao vitanzandimi walivyojifunza ili wawape maoni. |
Kutamka vitanzandimi kwa usahihi kunasaidia kuboresha matamshi yako vipi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 5
Orodha ya vitanzandimi Vifaa vya kidijitali |
Kukariri vitanzandimi kwa ufasaha
Kutamka sauti zinazokaribiana kwa usahihi
Kutofautisha sauti zinazokaribiana kimatamshi
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kuonyesha uelewa wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali. - Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutoa muhtasari kuhusu kifungu alichosoma. - Kujibu maswali kutokana na kifungu alichosoma. - Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe ulioyomo. |
Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 11
Kifungu cha hadithi Maswali ya ufahamu Vifaa vya kidijitali |
Kutoa muhtasari wa kifungu
Kujibu maswali ya ufahamu
Kujadili ujumbe wa kifungu
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za kawaida kwenye kadi au kapu la maneno (k.v.mtu, mtoto, darasa, ukuta, mwalimu, meza na kiti). - Kutaja akiwa na wenzake nomino za kawaida. - Kutambua nomino za kawaida katika sentensi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye tarakilishi. |
Je, ni vitu gani vinavyopatikana katika mazingira yako?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 19
Kadi au kapu la maneno Chati zenye nomino za kawaida Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za kawaida
Kupigia mstari nomino za kawaida katika sentensi
Kutaja nomino za kawaida
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Nomino za kawaida
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za kawaida kwenye sentensi au vifungu vya maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida ili kukuza matumizi sahihi ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za kawaida katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za kawaida kujaza nafasi kwenye sentensi. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida akiwa peke yake wawiliwawili au kwenye vikundi. - Kuorodhesha nomino za kawaida zinazopatikana mazingira yao. |
Ni vitu gani vinavyotumiwa katika mapishi mbalimbali?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 21
Chati za nomino za kawaida Maswali ya zoezi Picha za vitu mbalimbali |
Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za kawaida
Kujaza pengo kwa nomino za kawaida
Kuorodhesha nomino za kawaida katika mazingira
|
|
| 3 | 3 |

| 3 | 4 |
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha ya wasifu
Maamkuzi na Maagano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. - Kufurahia kutunga insha bora ili kuimarisha mazoea ya kuandika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kukishirikiana na wenzake katika vikundi ili kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. - Kuaandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 150 inayohusu mada lengwa (k.v. Mpishi nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu. - Kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini. |
Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 16
Mifano ya insha za wasifu Orodha hakiki ya sifa za insha ya wasifu Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 23 Picha zinazoonyesha watu wakiamkuana Chati za maamkuzi na majibu yake |
Kuandika insha ya wasifu
Kuzingatia muundo wa insha ya wasifu
Kusoma na kutathmini insha za wenzake
|
|
| 4 | 1 |
HUDUMA YA KWANZA
Kusoma |
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kupanga maneno aliyopewa kwenye chati, kapu maneno au mti maneno kialfabeti. - Kuchague neno kutoka kapu maneno au mti maneno ili kulitafuta kwenye kamusi. - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. |
Maana ya maneno ya Kiswahili hupatikana wapi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 29
Kamusi Kapu maneno Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kupanga maneno kialfabeti
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Kuandika maana za maneno kutoka kamusi
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Nomino za Wingi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za wingi (k.m chumvi, sukari, maji, uji, mafuta na manukato) kutoka kwenye kapu la maneno, chati, vitabu na vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi. - Kutambua nomino za wingi kwa kuzipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini. - Kutumia nomino za wingi kujaza nafasi kwenye sentensi. |
Unajua majina gani yanayohusu vitu vinavyopatikana katika wingi tu?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34
Chati za nomino za wingi Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino za wingi
Kupigia mstari nomino za wingi katika sentensi
Kujaza pengo kwa nomino za wingi
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
Kuandika |
Nomino za Wingi
Insha ya masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za wingi katika matini ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za wingi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kufurahia kutumia nomino za wingi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za wingi katika sentensi kwa kufanya mazoezi daftarini. - Kutunga sentensi kwa kutumia nomino za wingi akiwa peke yake au akishirikiana na wenzake. - Kuorodhesha nomino za wingi zinazopatikana katika mazingira yake. |
Ni vitu gani vinavyopatikana katika wingi tu katika mazingira yako?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37
Chati za nomino za wingi Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 32 Mifano ya insha za masimulizi Chati ya muundo wa insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za wingi
Kuorodhesha nomino za wingi
Kutofautisha nomino za wingi na nomino za kawaida
|
|
| 4 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano. - Kueleza maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali ili kuyabainisha. - Kutumia aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano. - Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maagano (k.v lala salama, safari njema, alamsiki) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha. - Kushirikiana na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa. - Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali. |
Je, watu huagana vipi katika jamii?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 25
Picha zinazoonyesha watu wakiagana Chati za maagano na majibu yake Vifaa vya kidijitali |
Kutambua aina za maagano
Kutumia maagano ipasavyo
Kuambatanisha maagano na majibu yake
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua mpangilio wa maneno katika kamusi ili kupata maneno lengwa kwa urahisi. - Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua yaliyo katika matini teule ili kukuza msamiati wake. - Kuchangamkia kutumia kamusi katika kukuza msamiati wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno. - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno aliyotafuta kwenye kamusi. |
Je, unafanya nini unapokutana na neno gumu katika kifungu?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 31
Kamusi Vifaa vya kidijitali Maswali ya zoezi |
Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Kutunga sentensi kwa kutumia maneno mapya
Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi. - Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi-jina kutoka kwenye kapu la maneno, vyombo vya kijiditali (k.v. kusoma, kucheka, kula, kulia na kuandika). - Kutambua vitenzi-jina akiwa na wenzake kwa kuvipigia mistari au kuzikolezea rangi kwenye matini n.k. - Kutumia nomino za vitenzi-jina kwa kujaza nafasi kwenye sentensi. |
Ni mambo gani wewe hufanya ukiwa nyumbani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 37
Chati za vitenzi-jina Kadi maneno Picha zinazoonyesha vitendo |
Kutambua vitenzi-jina
Kupigia mstari vitenzi-jina katika sentensi
Kujaza pengo kwa vitenzi-jina
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Vitenzi-jina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za vitenzi-jina kwenye kifungu cha maneno au kwenye sentensi. - Kutunga sentensi au vifungu vya maneno akitumia nomino za vitenzi-jina ili kukuza matumizi bora ya lugha. - Kufurahia kutumia nomino za vitenzi-jina katika utungaji wa sentensi na kujaza nafasi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia nomino za vitenzi-jina akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi. - Kuorodhesha vitenzi-jina mbalimbali vilivyotokana na vitendo vya kila siku. - Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu. |
Unapenda kufanya mambo gani darasani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 39
Chati za vitenzi-jina Maswali ya zoezi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye vitenzi-jina
Kuorodhesha vitenzi-jina
Kutofautisha vitenzi-jina na vitenzi vikuu
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo. - Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kukuza ubunifu wake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini. - Kusomea wenzake insha aliyoandika ili kuitathmini. - Kurekebisha insha yake kulingana na maoni ya wenzake. |
Je, unazingatia nini ili insha yako ya masimulizi iwe ya kuvutia?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 34
Orodha hakiki ya insha ya masimulizi Vifaa vya kidijitali |
Kuandika insha ya masimulizi
Kusoma na kutathmini insha za wenzake
Kurekebisha insha kulingana na maoni
|
|
| 6 | 1 |
MAPAMBO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua vitendawili vya suala lengwa. - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitendawili vya mapambo katika chati, ubao au vifaa vya kidijitali (k.m Wafaa lakini wavaliwa bila matumizi maalum (Mtandio), Ananitazama, hasemi hasikii (Picha), Lapendeza rangi lakini halidumu (Ua). Dhahabu yangu ya thamani haisimami (Mkufu). - Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili. - Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. |
Je, ni vitendawili gani unavyovijua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 40
Chati za vitendawili Kadi za vitendawili Vifaa vya kidijitali |
Kutega na kutegua vitendawili
Kutambua vitendawili vya mapambo
Kutunga vitendawili vipya
|
|
| 6 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Nomino za Makundi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua msamiati wa mapambo uliotumiwa katika kifungu. - Kuelezea maana za msamiati mbalimbali wa mapambo. - Kusoma kifungu cha hadithi ili kupata ujumbe. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa mapambo (k.v vipuli, pete, bangili na ushanga) kwa kutazama picha na vifaa halisi. - Kutumia tarakilishi kutafuta msamiati wa mapambo na maana yake mtandaoni. - Kueleza mapambo na sehemu yanapovaliwa. |
Kwa nini ni muhimu kusoma kifungu kwa ufasaha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 43
Picha za mapambo Vifaa vya kidijitali Kamusi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47 Chati za nomino za makundi Kadi maneno Picha zinazoonyesha makundi ya vitu |
Kutambua msamiati wa mapambo
Kueleza maana za msamiati wa mapambo
Kusoma kifungu kwa ufasaha
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Nomino za Makundi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za makundi katika sentensi ili kuzibainisha. - Kutumia nomino za makundi kwa usahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino za makundi katika miktadha mbalimbali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za makundi kutunga sentensi mtandaoni akiwa na wenzake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za makundi. - Kuorodhesha nomino za makundi zinazopatikana katika mazingira. |
Je, nomino za makundi hutumiwa vipi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Maswali ya zoezi Picha zinazoonyesha makundi ya vitu Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za makundi
Kujaza pengo kwa nomino za makundi
Kuorodhesha nomino za makundi
|
|
| 6 | 4 |
Sarufi
|
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino. - Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino ambata (k.v askarikanzu, mbwamwitu, mwanasiasa na mwananchi) kwa kutumia kadi maneno, kapu maneno, chati au vifaa vya kidijitali akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino ambata huko akitoa mifano. - Kutumia nomino ambata katika sentensi na kuziandika katika daftari lake. |
Je, unajua maneno yapi yanayounganishwa kuunda neno moja?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 50
Chati za nomino ambata Kadi maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua nomino ambata
Kueleza maana ya nomino ambata
Kutunga sentensi zenye nomino ambata
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Nomino Ambata
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino ambata katika matini ili kuzitofautisha na aina nyingine za nomino. - Kutumia nomino ambata kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano. - Kuonea fahari matumizi ya nomino ambata katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino ambata kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. - Kusakura mtandaoni ili kupata mifano zaidi ya nomino ambata na kuziandika katika daftari lake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino ambata. |
Ni mifano gani ya nomino ambata unayojua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Maswali ya zoezi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino ambata
Kusakura mtandaoni mifano ya nomino ambata
Kujaza pengo kwa nomino ambata
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali. - Kuelezea nomino za dhahania kwa kutoa mifano mwafaka. - Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za dhahania (k.v upendo, uhodari, ukweli) kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, chati au vifaa vya kidijitali. - Kujadili katika kikundi au wawiliwawili maana ya nomino za dhahania huko akitoa mifano. - Kutumia nomino za dhahania katika sentensi na kuziandika sentensi hizo daftarini mwake. |
Je, unajua maneno yapi yanayotaja vitu ambavyo haviwezi kushikwa au kuonekana kwa macho?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 52
Chati za nomino za dhahania Kadi maneno Mti maneno |
Kutambua nomino za dhahania
Kueleza maana ya nomino za dhahania
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
|
|
| 7 | 3 |

| 7 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa. - Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali. - Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi za kupigia chapa. (k.v. bodidota, kipanya na kiwambo/ mulishi). - Kutumia tarakilishi kuandika maneno au sentensi zinazolenga msamiati wa mapambo (k.v. herini, vipuli, pete, kipini, bangili, shanga, taji, kugesi na hina). - Kutumia tarakilishi kuandika kifungu kinachohusisha mapambo mbalimbali. |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazojua?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 46
Tarakilishi Picha za sehemu za tarakilishi Chati ya sehemu za tarakilishi |
Kutambua sehemu za tarakilishi
Kuandika maneno na sentensi kwa kutumia tarakilishi
Kuhifadhi maandishi kwenye faili ya tarakilishi
|
|
| 8 |
Midterm |
||||||||
| 9 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. - Kuchangamkia matumizi ya vitendawili kama njia ya kujenga utamkaji bora wa maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika mashindano ya kutega na kutegua vitendawili darasani. - Kubuni vitendawili vyao wenyewe kuhusu mapambo. - Kusikiliza vitendawili kwenye kifaa cha kidijitali na kuvitegua. |
Kutega na kutegua vitendawili kuna umuhimu gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 42
Orodha ya vitendawili Vifaa vya kidijitali Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 45 Kifungu cha hadithi Saa ya kupimia muda Maswali ya ufahamu |
Kutega na kutegua vitendawili
Kubuni vitendawili vipya
Ushiriki katika mashindano ya vitendawili
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Nomino za dhahania
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua nomino za dhahania katika matini mbalimbali. - Kutumia nomino za dhahania kwa usahihi katika sentensi. - Kuonea fahari matumizi ya nomino za dhahania katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino za dhahania kutunga sentensi mtandaoni akishirikiana na wenzake. - Kujaza nafasi kwenye sentensi kwa kutumia nomino za dhahania. - Kuorodhesha nomino za dhahania zinazoelezea hisia na tabia za binadamu. |
Ni nomino zipi za dhahania unazozitumia katika mawasiliano ya kila siku?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 54
Maswali ya zoezi Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi zenye nomino za dhahania
Kujaza pengo kwa nomino za dhahania
Kuorodhesha nomino za dhahania
|
|
| 9 | 3 |

| 9 | 4 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. - Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi. - Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua herufi kubwa katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia herufi kubwa (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia herufi kubwa ifaavyo. |
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 55
Chati za matumizi ya herufi kubwa Vifaa vya kidijitali |
Kutambua herufi kubwa katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia herufi kubwa
Kuandika sentensi zenye herufi kubwa
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutambua herufi kubwa, alama ya koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. - Kutumia herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi ifaavyo katika maaandishi. - Kufurahia matumizi ya herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi katika maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua alama ya koma katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia koma (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia koma ifaavyo. |
Kwa nini tunahitaji alama ya koma katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 57
Chati za matumizi ya koma Vifaa vya kidijitali |
Kutambua alama ya koma katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia koma
Kuandika sentensi zenye koma
|
|
| 10 | 2 |

| 10 | 3 |

- Kutambua kikomo katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kikomo (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia kikomo ifaavyo. |
Ni wakati gani tunatumia kikomo katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 59
Chati za matumizi ya kikomo Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kikomo katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia kikomo
Kuandika sentensi zenye kikomo
|
|
| 10 | 4 |

| 11 | 1 |

- Kutambua kiulizi katika maandishi. - Kushiriki katika vikundi kuakifisha sentensi akitumia kiulizi (baadhi ya sentensi ziangazie suala lengwa). - Kuandika sentensi akitumia kiulizi ifaavyo. - Kuandika sentensi zenye herufi kubwa, koma, kikomo na kiulizi akitumia kifaa cha kidijitali. |
Unatumia alama ya kiulizi wakati gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 61
Chati za matumizi ya kiulizi Vifaa vya kidijitali |
Kutambua kiulizi katika matini
Kuakifisha sentensi kwa kutumia kiulizi
Kuandika sentensi zenye kiulizi
|
|
| 11 | 2 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa somo, - Kutumia tarakilishi ili kujenga maarifa ya kidijitali. - Kujenga mazoea ya kutumia tarakilishi kuandika na kuhifadhi maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi mara kwa mara. - Kuhariri kazi yake kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake katika kikundi. - Kutuma kazi yake kwa mwalimu ili kuitathmini. |
Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 5 uk. 47
Tarakilishi Picha za sehemu za tarakilishi |
Kuhariri kazi kwenye tarakilishi
Kuhifadhi kazi kwenye faili
Kutuma kazi kwa mwalimu
|
|
| 11 | 3 |
SAA NA MAJIRA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maneno ya udugu kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno - Kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu - Kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi - Kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya udugu kwenye tarakilishi na video - Kujadili matumizi ya maneno ya udugu akishirikiana na wenzake darasani |
Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 65
Picha Chati ya maneno ya udugu Vifaa vya kidijitali Kadi za maneno Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 69 Tarakilishi/vipakatalishi Mwongozo wa usalama mtandaoni |
Kutambua maneno ya udugu
Kutumia maneno ya udugu kwa usahihi katika sentensi
Kujaza nafasi kwa kutumia maneno ya udugu
Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo
|
|
| 11 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine - Kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi - Kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-ZI - Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino katika ngeli ya I-ZI kwenye kadi, mti maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v. nguo- nguo, ndizi- ndizi, ndoo-ndoo na nyumba-nyumba) - Kuandika nomino katika ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi - Kusikiliza za usomaji wa nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti - Kuandika mafungu ya maneno yenye nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi |
Je, unajua nomino zipi ambazo hazibadiliki katika umoja na wingi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 73
Kadi maneno Tarakilishi/vifaa vya kidijitali Chati ya ngeli ya I-ZI Miti maneno |
Kutambua nomino za ngeli ya I-ZI
Kuandika nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi
Kupigia mstari nomino za ngeli ya I-ZI katika vifungu
Kufanya mazoezi ya kuandika mafungu ya maneno katika umoja na wingi
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
|
Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake - Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo - Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua muundo wa baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye tarakilishi - Kujadili sehemu mbalimbali za baruapepe kama vile anwanipepe ya mtumaji, anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi/ mtumaji - Kuandika baruapepe kwa rafiki, ndugu, au mzazi akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe |
Unazingatia mambo gani unapoandika baruapepe?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71
Vielelezo vya baruapepe Tarakilishi/vipakatalishi Kielelezo cha muundo wa baruapepe |
Kutambua sehemu mbalimbali za baruapepe
Kuchora mchoro wa muundo wa baruapepe
Kuandika baruapepe ifaayo kuzingatia muundo na vipengele muhimu
Kutathmini baruapepe za wenzake
|
|
| 12 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Udugu
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua maneno ya heshima yanayohusiana na udugu yanayotumiwa katika mawasiliano - Kutumia maneno ya heshima yanayohusiana na udugu kwa usahihi katika mazungumzo yake ya kila siku - Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake matumizi ya maneno ya udugu kama vile bwana, bibi, ndugu, binti, mama, mama mkubwa/mdogo, mjomba - Kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa udugu - Kuambatanisha maneno ya udugu na maana zake - Kutunga sentensi akitumia maneno ya udugu na kuzisoma kwa wenzake - Kutamka kwa usahihi maneno ya udugu |
Je, unaweza kuwatambua ndugu zako kwa kutumia maneno gani?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 67
Kadi maneno Chati ya maneno ya udugu na vyeo Picha za familia Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 71 Vifaa vya kidijitali Kamusi ya mtandaoni Chati ya msamiati wa majira ya siku |
Kutunga sentensi zenye maneno ya udugu
Kutoa mifano ya matumizi ya maneno ya udugu
Igizo la mazungumzo linalotumia maneno ya udugu ipasavyo
Tathmini ya maigizo ya wenzake
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-ZI
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi - Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-ZI katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi - Kuonea fahari matumizi ya ngeli ya I-ZI katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua viambishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi kwa kuvipigia mstari daftarini au kuvikoleza rangi katika tarakilishi - Kutumia nomino za ngeli ya I-ZI katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi - Kusikiliza usomaji wa sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya I-ZI kutoka kwenye tepurekoda au kinasasauti - Kuunda sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya I-ZI akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake |
Je, utajuaje viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI kwenye sentensi?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 74
Vifaa vya kidijitali Orodha ya nomino za ngeli ya I-ZI Mifano ya sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI |
Kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-ZI katika sentensi
Kujaza nafasi kwa viambishi sahihi vya ngeli ya I-ZI
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya I-ZI kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi
Kufanyiana tathmini ya sentensi
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake - Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo - Kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika baruapepe kwa rafiki, mzazi, mwalimu n.k akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe - Kushirikiana na wenzake kujadili mada ya baruapepe na vipengele vyake/yale yanayofaa kujumuishwa - Kuandika baruapepe kwa kuzingatia ubora wa sentensi (sahihi kisarufi, zilizokamilika kimaana, zenye kufuatana kwa kujenga wazo na zenye kuzingatia uakifishi mzuri) kuunda aya - Kutuma baruapepe aliyoiandika kwa mpokeaji |
Ni mambo gani unayoweza kumweleza rafiki yako katika baruapepe?
|
Mentor Kiswahili Gredi ya 5 uk. 72
Vifaa vya kidijitali Kielelezo cha baruapepe iliyokamilika Mwongozo wa kuandika baruapepe |
Kuandika baruapepe yenye anwanipepe ya mtumaji na mpokeaji, mada, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi
Kutuma baruapepe kwa mwalimu au mpokeaji
Kufanya tathmini ya baruapepe za wenzake
|
|
Your Name Comes Here