If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kutambua silabi za sauti, d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngoma) kutoka vitabu, ubaoni au vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka vifaa vya kidijitali -Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -Kusikiliza vitanzandimi vyenye sauti lengwa -Kuunda na kukariri vitanzandimi vyenye sauti lengwa |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye maneno ya silabi lengwa -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno -Picha |
|
|
| 1 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani -Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno |
|
|
| 1 | 3 |

| 1 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Vitanzandimi)

- Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake
-Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni -Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake kwa upendo na heshima -Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali kwa kushirikiana na wenzake |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno |
|
|
| 1 | 5 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Vitanzandimi)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni
-Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake kwa upendo na heshima -Kuunda vitanzandimi kwenye vifaa vya kidijitali kwa kushirikiana na wenzake -Kusakura mtandaoni ili kupata vitanzandimi zaidi vyenye sauti lengwa |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno |
|
|
| 2 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu -Kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha -Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -Kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu |
- Kutambua viungo vya mwili vya ndani (k.v. moyo, mapafu, ini, kibofu, wengu, figo, ubongo, mifupa na mishipa) kutokana na picha, chati au kwenye tarakilishi
-Kueleza maana za msamiati alioutambua -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake -Kujibu maswali kutokana na kifungu husika |
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
-
-2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 10
-Picha za viungo vya mwili vya ndani -Chati zenye viungo vya mwili -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
|
|
| 2 | 2 |

| 2 | 3 |

- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake
-Kujibu maswali kutokana na kifungu husika -Kutoa muhtasari wa kifungu alichosoma -Kutunga sentensi akitumia msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika kifungu -Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa |
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
-
-2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 10
-Picha za viungo vya mwili vya ndani -Chati zenye viungo vya mwili -Vifaa vya kidijitali -Kamusi |
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
- Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi
-Kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu -Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Vielelezo vya insha ya wasifu -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 2 | 5 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
- Kuandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 inayohusu mada lengwa (k.m: Daktari nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu
-Kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya wasifu mtandaoni -Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Vielelezo vya insha ya wasifu -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno -Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha -Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu)
-Kutambua vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi vya sifa katika sentensi |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Chati ya vivumishi vya sifa -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |

- Kutambua vivumishi vya sifa katika kifungu
-Kuandika sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa akishirikiana na wenzake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa |

| 3 | 4 |

| 3 | 5 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha -Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali naye na mbali kabisa (k.m: Kitabu hiki/hicho/kile)
-Kutambua vivumishi viashiria (k.v. huyu, huyo, yule, hivi, hivyo, vile) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi viashiria katika sentensi |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 14
-Chati ya vivumishi viashiria -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha -Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi viashiria katika kifungu
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake -Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa -Kutunga sentensi sahihi akitumia vifaa vya kidijitali |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 14
-Chati ya vivumishi viashiria -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano |
- Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha
-Kutambua vivumishi vimilikishi (k.v –angu, - ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 3 |

| 4 | 4 |

- Kutambua vivumishi vimilikishi katika kifungu
-Kujadili maana vivumishi vimilikishi huko akitoa mifano -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali -Kutunga sentensi akitumia vivumishi vimilikishi -Kujaza mapengo kwa kutumia vivumishi vimilikishi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 5 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano |
- Kujadili na wenzake umuhimu wa maamkuzi na maagano
-Kutambua maamkuzi mbalimbali (k.v. Waambaje? Salam Aleikum? Unaendeleaje?) na maagano mbalimbali (k.v. mchana mwema, buriani, baki salama) -Kujadili maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake |
1. Kwa nini watu huamkuana?
-
-2. Kuagana kuna umuhimu gani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 19
-Picha zinazouonyesha watu wakiamkuana na kuagana -Chati zenye maamkuzi na maagano -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 5 |
Tathmini ya muhula wa kwanza |
||||||||
| 6 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano |
- Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali
-Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya |
1. Kwa nini watu huamkuana?
-
-2. Kuagana kuna umuhimu gani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 19
-Picha zinazouonyesha watu wakiamkuana na kuagana -Chati zenye maamkuzi na maagano -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 6 | 2 |

| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi -Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake -Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili |
- Kushiriki katika mjadala na wenzake kuhusu jinsi ya kutumia kamusi kutambua maana, tahajia, ngeli, aina za maneno na maana za maneno hayo
-Kusikiliza msamiati wa suala lengwa (k.v. kambumbu, gori, hoki, Jugwe) ukisomwa na mwalimu au katika kifaa cha kidijitali |
1. Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
-
-2. Kwa nini tunatumia kamusi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 23
-Kamusi mbalimbali -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi -Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake -Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili |
- Kuchagua maneno kutoka kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au kifaa cha kidijitali na kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo kwa kurejelea kamusi
-Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali -Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno |
1. Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
-
-2. Kwa nini tunatumia kamusi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 23
-Kamusi mbalimbali -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 6 | 5 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake -Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu |
- Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa
-Kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi -Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 27
-Vielelezo vya insha za masimulizi -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 7 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake -Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu |
- Kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na michezo kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka
-Kuandika insha ya masimulizi mtandaoni -Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika |

| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vya idadi katika matini -Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi vya idadi (k.v. moja, ishirini, chache, nyingi) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi -Kutambua vivumishi vya idadi katika kifungu |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 28
-Chati ya vivumishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vya idadi katika matini -Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yao
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa |

| 7 | 5 |

| 8 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi viulizi katika matini -Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi viulizi
-Kutambua vivumishi viulizi (k.v. –pi? gani?) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi viulizi katika sentensi |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 31
-Chati ya vivumishi viulizi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi viulizi katika matini -Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi viulizi katika kifungu kifupi
-Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 31
-Chati ya vivumishi viulizi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 8 |
Likizo fupi ya muhula wa kwanza |
||||||||
| 8 | 4 |
Sarufi
|
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini -Kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ipasavyo
-Kutambua kivumishi kirejeshi amba- (k.v. ambaye, ambao, ambacho, ambalo n.k) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 32
-Chati ya vivumishi virejeshi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 8 | 5 |

| 9 | 1 |

- Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika kifungu
-Kueleza maana ya kivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake -Kuandika sentensi akitumia kivumishi lengwa kwa usahihi -Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia kivumishi lengwa |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 32
-Chati ya vivumishi virejeshi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 9 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali -Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora -Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano |
- Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali -Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 35
-Chati zenye vitendawili -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 9 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi Bora
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali -Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora -Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano |
- Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake
-Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao |

| 9 | 4 |

| 9 | 5 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
-Kutazama vielelezo vya video vinavyoonyesha usomaji fasaha wa makala -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa akizingatia matamshi bora |
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 38
-Vifungu vya kusoma -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
- Kusoma kifungu cha habari kwa kasi isiyopungua maneno 90 kwa dakika moja kuhusu suala lengwa
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa -Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala |

| 10 | 2 |

| 10 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi -Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi -Ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika |
- Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi (k.v. chapa koza, italiki na maandishi yaliyopigiwa mstari)
-Kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 42
-Tarakilishi/vipakatalishi -Mwongozo wa kutumia tarakilishi |
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi -Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi -Ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika |
- Kuandika kwa ubunifu kwenye tarakilishi kifungu cha aya moja ya maneno yasiyopungua 50 kuhusu mahusiano kati ya watu katika jamii
-Kutumia kipanya kuchagua sehemu ya maandishi anayolenga kutofautisha -Kutumia kipanya kuteua ishara anayotaka kutumia kutofautisha maandishi -Kuwatumia wenzake kifungu alichoandika mtandaoni |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 42
-Tarakilishi/vipakatalishi -Mwongozo wa kutumia tarakilishi |
|
|
| 10 | 5 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano |
- Kujadili maana ya viwakilishi vya nafsi huko akitoa mifano
-Kutambua viwakilishi vya nafsi (k.v. mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao, n.k.) katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 44
-Chati ya viwakilishi vya nafsi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 11 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano |
- Kutambua viwakilishi vya nafsi katika kifungu kifupi
-Kutumia viwakilishi vya nafsi kutunga sentensi kwenye daftari au tarakilishi -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi ili kukamilisha sentensi |

| 11 | 2 |

| 11 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha -Kutambua viwakilishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano |
- Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi viashiria huko akitoa mifano mwafaka
-Kutambua viwakilishi viashiria (k.v. hapa/hapo/pale, huku/huko/kule) katika ubao, kifaa cha kidijitali, chati, mti wa maneno au kadi za maneno -Kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 46
-Chati ya viwakilishi viashiria -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 11 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha -Kutambua viwakilishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano |
- Kutambua viwakilishi viashiria katika kifungu kifupi
-Kutunga sentensi akitumia viwakilishi viashiria -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi |

| 11 | 5 |

| 12 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano |
- Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi vya idadi huko akitoa mifano mwafaka
-Kutambua viwakilishi vya idadi (k.v. chache, nyingi, tatu, kumi n.k.) katika ubao, kadi za maneno, chai, mti wa maneno, chati au kifaa cha kidijitali -Kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 47
-Chati ya viwakilishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano |
- Kutambua viwakilishi vya idadi katika kifungu kifupi
-Kutumia viwakilishi vya idadi kutunga sentensi daftarini au katika kifaa cha kidijitali -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 47
-Chati ya viwakilishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi -Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi -Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi |
- Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
-Kuakifisha sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni |
1. Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
-
-2. Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 49
-Chati ya alama za uakifishaji -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 4 |

| 12 | 5 |

- Kuakifisha kifungu kifupi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni
-Kuandika sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika daftari lake -Kuandika sentensi zenye alama ya hisi, ritifaa na koloni akitumia kifaa cha kidijitali |
1. Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
-
-2. Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 49
-Chati ya alama za uakifishaji -Vifaa vya kidijitali |
|
|
Your Name Comes Here