If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
VIUNGO VYA MWILI VYA NDANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora - Silabi na vitanzandimi sauti d na nd, ch na sh, j na nj, g na ng
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno. -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi. -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngom kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali. -Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali. -Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake. |
Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
KLB Top Scholar uk. 1
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Rekodi za sauti |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Ufahamu wa kusikiliza
|
|
| 1 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Silabi na vitanzandimi sauti d na nd, ch na sh, j na nj, g na ng
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi. -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa. -Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake. -Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
KLB Top Scholar uk. 1
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Rekodi za sauti |
Uchunguzi
-Mawasilisho ya mdomo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 1 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu. -Kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha. -Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua viungo vya mwili vya ndani (k.v. moyo, mapafu, ini, kibofu, wengu, figo, ubongo, mifupa na miship kutokana na picha, chati au kwenye tarakilishi. -Kueleza maana za msamiati alioutambua. -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake. |
Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
|
KLB Top Scholar uk. 4
-Picha -Chati -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
|
|
| 1 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno. -Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha. -Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu). -Kutambua vivumishi vya sifa (k.v. -zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno akishirikiana na wenzake. -Kutambua vivumishi vya sifa katika sentensi. -Kutambua vivumishi vya sifa katika kifungu. |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
KLB Top Scholar uk. 8
-Kadi za maneno -Miti ya maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 2 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. -Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno. -Kutumia vivumishi vya sifa katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa akishirikiana na wenzake. -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa kwenye daftari au kwenye tarakilishi. -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa. |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
KLB Top Scholar uk. 8
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini binafsi
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha. -Kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali. -Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali naye na mbali kabisa (k.m: Kitabu hiki/hicho/kile). -Kutambua vivumishi viashiria (k.v. huyu, huyo, yule, hivi, hivyo, vile) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno ili kukuza hamu ya ujifunzaji. -Kutambua vivumishi viashiria katika sentensi. -Kutambua vivumishi katika kifungu. |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
KLB Top Scholar uk. 10
-Kadi za maneno -Miti ya maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 2 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu. -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi huku akitambua maudhui. -Kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu. -Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada. |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
KLB Top Scholar uk. 6
-Sampuli za insha za wasifu -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini binafsi
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu. -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi huku akitambua maudhui. -Kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu. -Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada. |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
KLB Top Scholar uk. 6
-Sampuli za insha za wasifu -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini binafsi
|
|
| 3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Silabi na vitanzandimi sauti d na nd, ch na sh, j na nj, g na ng
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi. -Kuunda vitanzandimi kwa kutumia silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na sauti husika akishirikiana na wenzake. -Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani. -Kukariri vitanzandimi kwa matamshi sahihi. -Kujirekodi akikariri vitanzandimi kwa kutumia vifaa vya kidijitali. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
KLB Top Scholar uk. 1
-Vifaa vya kidijitali -Virekodia sauti |
Uchunguzi
-Mawasilisho ya mdomo
-Tathmini ya rekodi
|
|
| 3 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Silabi na vitanzandimi sauti d na nd, ch na sh, j na nj, g na ng
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuunda vitanzandimi kwa kutumia silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi. -Kukariri vitanzandimi kwa matamshi sahihi. -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuunda vitanzandimi asilia kutokana na sauti husika. -Kufanya mazoezi ya kukariri vitanzandimi na wenzake. -Kujirekodi akikariri vitanzandimi na kusikiliza ili kutambua maeneo ya kuboresha. -Kutoa maoni ya kujenga kwa wenzake. |
Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
KLB Top Scholar uk. 1
-Vifaa vya kidijitali -Virekodia sauti |
Uchunguzi
-Mawasilisho ya mdomo
-Tathmini ya wenza
-Tathmini ya rekodi
|
|
| 3 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari. -Kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu. -Kutumia msamiati wa viungo vya mwili vya ndani kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujibu maswali kutokana na kifungu husika. -Kutoa muhtasari wa kifungu alichosoma. -Kutunga sentensi akitumia msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika kifungu, akishirikiana na wenzake. -Kusoma vifungu mtandaoni kuhusu suala lengwa akisaidiwa na mzazi au mlezi wake. |
Je, kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar uk. 4
-Vifaa vya kidijitali -Machapisho ya mtandaoni |
Uchunguzi
-Mawasilisho ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Kumbukumbu za usomaji
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. -Kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno. -Kutumia vivumishi viashiria katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake. -Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa. -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno katika kifaa cha kidijitali akitumia vivumishi lengwa. |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
KLB Top Scholar uk. 10
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini binafsi
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi. -Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali. -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha. -Kutambua vivumishi vimilikishi (k.v -angu, -ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. -Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi. -Kutambua vivumishi vimilikishi katika kifungu. -Kujadili maana vivumishi vimilikishi huko akitoa mifano. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
KLB Top Scholar uk. 12
-Kadi za maneno -Miti ya maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi. -Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano. -Kuimarisha umilisi wa kutumia vivumishi vimilikishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali. -Kutunga sentensi akitumia vivumishi vimilikishi. -Kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kutumia vifaa vya kidijitali kutunga sentensi akitumia vivumishi vimilikishi na kuzituma mtandaoni ili wenzake wazisome na kuzisahihisha. -Kujaza mapengo kwa kutumia vivumishi vimilikishi ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika tarakilishi kwa kuburura viwakilishi vimilikishi mwafaka. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
KLB Top Scholar uk. 12
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini binafsi
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. -Kutumia vipengele vya lugha kama vile tashibihi, methali na nahau. -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 inayohusu mada lengwa (k.m: Daktari nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi (k.v. uakifishaji mwafaka na tahaji na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali, tashbihi na nahau alizojifunza awali. -Kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya wasifu mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini. -Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili wampe maoni yao. |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
KLB Top Scholar uk. 6
-Vifaa vya kuandikia -Vifaa vya kidijitali |
Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini ya mwalimu
-Uwasilishaji wa kidijitali
|
|
| 4 | 4 |
MICHEZO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. -Kuheshimu nafasi za kila mmoja katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali. -Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya. -Kutumia maamkuzi na maagano mbalimbali kwenye mawasiliano ya kila siku. |
Kuagana kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar uk. 18
-Vifaa vya kidijitali -Video |
Uchunguzi
-Maigizo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi. -Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake. -Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kushiriki katika mjadala na wenzake kuhusu jinsi ya kutumia kamusi kutambua maana, tahajia, ngeli, aina za maneno na maana za maneno hayo. -Kusikiliza msamiati wa suala lengwa (k.v. kambumbu, gori, hoki, jugwe) ukisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kutambua tahajia yake kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake. -Kuchagua maneno kutoka kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au kifaa cha kidijitali na kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo kwa kurejelea kamusi akishirikiana na wenzake. |
Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
|
KLB Top Scholar uk. 20
-Kamusi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi. -Kutambua vivumishi vya idadi katika matini. -Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vivumishi vya idadi (k.v. moja, ishirini, chache, nyingi) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. -Kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi. -Kutambua vivumishi vya idadi katika kifungu. -Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yao (k.m. Kitabu kimoja, kalamu nyingi). |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
|
KLB Top Scholar uk. 23
-Kadi za maneno -Miti ya maneno -Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. -Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno. -Kutumia vivumishi vya idadi kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake. -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa. -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa. |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
|
KLB Top Scholar uk. 23
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini binafsi
|
|
| 5 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi. -Kutambua vivumishi viulizi katika matini. -Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya vivumishi viulizi. -Kutambua vivumishi viulizi (k.v. -pi? gani?) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. -Kutambua vivumishi viulizi katika sentensi. -Kutambua vivumishi viulizi katika kifungu kifupi. |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
KLB Top Scholar uk. 25
-Kadi za maneno -Miti ya maneno -Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 6 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi. -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. -Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa. -Kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi na kukuza umilisi wa mawasiliano na ushirikiano. -Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
KLB Top Scholar uk. 22
-Sampuli za insha za masimulizi -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 6 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. -Kuheshimu nafasi za kila mmoja katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali. -Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya. -Kutumia maamkuzi na maagano mbalimbali kwenye mawasiliano ya kila siku. |
Kuagana kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar uk. 18
-Vifaa vya kidijitali -Video |
Uchunguzi
-Maigizo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 6 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maamkuzi na Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano. -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano. -Kuheshimu nafasi za kila mmoja katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali. -Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya. -Kutumia maamkuzi na maagano mbalimbali kwenye mawasiliano ya kila siku. |
Kuagana kuna umuhimu gani?
|
KLB Top Scholar uk. 18
-Vifaa vya kidijitali -Video |
Uchunguzi
-Maigizo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina - Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake. -Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili. -Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akishirikiana na wenzake. -Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno. -Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana. -Kutunga sentensi akitumia maneno mapya aliyopata maana zake. |
Kwa nini tunatumia kamusi?
|
KLB Top Scholar uk. 20
-Kamusi -Vifaa vya kidijitali -Mtandao |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 7 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. -Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno. -Kutumia vivumishi viulizi kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake (k.m: Kitabu kipi? Nguo gani?). -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa. -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa katika daftari lake au katika kifaa cha kidijitali. -Kuwasilisha sentensi zake darasani ili mwalimu na wenzake wazisahihishe. |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
KLB Top Scholar uk. 25
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha. -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini. -Kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ipasavyo. -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- (k.v. ambaye, ambao, ambacho, ambalo n.k) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi. -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika kifungu. |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
|
KLB Top Scholar uk. 28
-Kadi za maneno -Miti ya maneno -Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
|
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi. -Kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno. -Kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya kivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake (k.m: mgeni ambaye, mlango ambao, kiatu ambacho). -Kuandika sentensi akitumia kivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake. -Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia kivumishi lengwa. -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia kivumishi lengwa. |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
|
KLB Top Scholar uk. 28
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 7 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. -Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu. -Kuwasilisha insha kwa wenzake kwa usahihi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na michezo kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu. -Kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini. -Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
KLB Top Scholar uk. 22
-Vifaa vya kuandikia -Vifaa vya kidijitali |
Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
-Tathmini ya mwalimu
-Uwasilishaji wa kidijitali
|
|
| 8 |
MID TERM ASSESSMENT AND BREAK |
||||||||
| 9 | 1 |
MAHUSIANO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora - Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali. -Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. -Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali (k.m. Adui mpenzi (Moto); Wanangu watatu daima wako pamoja (mafiga); Kuku wangu watagia mibani (Nanasi). -Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali. -Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake. |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
KLB Top Scholar uk. 31
-Chati -Vifaa vya kidijitali -Audio |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
|
|
| 9 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha. -Kusoma soma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora. -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo. -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha. -Kutazama vielelezo vya video vinavyoonyesha usomaji fasaha wa makala (k.v. hotuba, habari,) au na wenzake. -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa la mahusiano kati ya watu katika jamii (k.v. sahibu/rafiki/mwandani, mpenzi, mwana, ndugu, jirani, mwenz katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora. -Kusoma kifungu cha habari kwa kasi isiyopungua maneno 90 kwa dakika moja kuhusu suala lengwa. |
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
|
KLB Top Scholar uk. 33
-Vifaa vya kidijitali -Video -Matini |
Uchunguzi
-Kasi ya usomaji
-Matamshi
-Tathmini ya wenza
|
|
| 9 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine. -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali. -Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili maana ya viwakilishi vya nafsi huko akitoa mifano. -Kutambua viwakilishi vya nafsi (k.v. mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao, n.k.) katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi. -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika kifungu kifupi. |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
|
KLB Top Scholar uk. 38
-Vifaa vya kidijitali -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Ubao |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi. -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano. -Kuimarisha umilisi wa kutumia viwakilishi vya nafsi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia viwakilishi vya nafsi kutunga sentensi kwenye daftari au tarakilishi. -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika tarakilishi. -Kutunga sentensi zaidi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano ya kila siku. |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
|
KLB Top Scholar uk. 38
-Daftari -Tarakilishi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha. -Kutambua viwakilishi viashiria katika matini mbalimbali. -Kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi viashiria huko akitoa mifano mwafaka. -Kutambua viwakilishi viashiria (k.v. hapa/hapo/pale, huku/huko/kule) katika ubao, kifaa cha kidijitali, chati, mti wa maneno au kadi za maneno. -Kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi. -Kutambua viwakilishi viashiria katika kifungu kifupi. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
|
KLB Top Scholar uk. 40
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Mti wa maneno -Kadi za maneno |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi. -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano. -Kuimarisha umilisi wa kutumia viwakilishi viashiria. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutunga sentensi akitumia viwakilishi viashiria. -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika tarakilishi. -Kutunga sentensi zaidi kwa kutumia viwakilishi viashiria katika mawasiliano ya kila siku. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
|
KLB Top Scholar uk. 40
-Daftari -Tarakilishi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine. -Kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali. -Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi vya idadi huko akitoa mifano mwafaka. -Kutambua viwakilishi vya idadi (k.v. chache, nyingi, tatu, kumi n.k.) katika ubao, kadi za maneno, chai, mti wa maneno, chati au kifaa cha kidijitali. -Kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi. -Kutambua viwakilishi vya idadi katika kifungu kifupi. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
|
KLB Top Scholar uk. 42
-Ubao -Kadi za maneno -Chati -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi. -Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi. -Kufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi (k.v. chapa koza, italiki na maandishi yaliyopigiwa mstari) akishirikiana na wenzake. -Kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi akishirikiana na wenzake. -Kuandika kwa ubunifu kwenye tarakilishi kifungu cha aya moja ya maneno yasiyopungua 50 kuhusu mahusiano kati ya watu katika jamii. |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
KLB Top Scholar uk. 36
-Tarakilishi -Ishara za kutofautishia maandishi -Sampuli za maandishi |
Uchunguzi
-Ubunifu
-Matumizi ya ishara
-Tathmini ya wenza
|
|
| 11 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. -Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. -Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake. -Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao. -Kutunga vitendawili vyake mwenyewe kwa kuiga vilivyopo. -Kuanza kutega vitendawili kwa kusema "Kitendawili" na kutegua kwa kusema "Tega". |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
KLB Top Scholar uk. 31
-Vifaa vya kidijitali -Audio |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 11 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora - Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora. -Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano. -Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake. -Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao. -Kutunga vitendawili vyake mwenyewe kwa kuiga vilivyopo. -Kuanza kutega vitendawili kwa kusema "Kitendawili" na kutegua kwa kusema "Tega". |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
KLB Top Scholar uk. 31
-Vifaa vya kidijitali -Audio |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
-Tathmini ya wenza
|
|
| 11 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo. -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo. -Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo). -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono zinazozingatia tamaduni). -Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora. |
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
|
KLB Top Scholar uk. 33
-Kifungu cha kusoma -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Kasi ya usomaji
-Matamshi
-Ishara
-Tathmini ya wenza
|
|
| 11 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano. -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano. -Kuimarisha umilisi wa kutumia viwakilishi vya idadi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia viwakilishi vya idadi kutunga sentensi daftarini au katika kifaa cha kidijitali. -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika kifaa cha kidijitali. -Kutunga sentensi zaidi kwa kutumia viwakilishi vya idadi katika mawasiliano ya kila siku. |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
|
KLB Top Scholar uk. 42
-Daftari -Vifaa vya kidijitali |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi. -Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi. -Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi. -Kuakifisha sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni. -Kuakifisha kifungu kifupi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni. -Kuandika sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika daftari lake. |
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
|
KLB Top Scholar uk. 44
-Daftari -Vifaa vya kidijitali -Mifano ya sentensi zenye alama za uakifishi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi. -Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi. -Kuimarisha umilisi wa kutumia alama za |
|
|
|
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi. -Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi. -Kuandika sentensi zenye alama ya hisi, ritifaa na koloni akitumia kifaa cha kidijitali. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika daftari lake. -Kuandika sentensi zenye alama ya hisi, ritifaa na koloni akitumia kifaa cha kidijitali. -Kurekebisha kifungu cha maandishi ambacho hakina viakifishi kwa kuweka alama ya hisi, ritifaa na koloni zifaazo. |
Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
|
KLB Top Scholar uk. 44
-Daftari -Vifaa vya kidijitali -Vifungu visivyo na viakifishi |
Uchunguzi
-Maswali ya mdomo
-Mazoezi ya kuandika
-Tathmini ya wenza
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kutumia kipanya kuchagua sehemu ya maandishi anayolenga kutofautisha. -Kutumia ishara mbalimbali kutofautisha maandishi. -Kufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia kipanya kuchagua sehemu ya maandishi anayolenga kutofautisha. -Kutumia kipanya kuteua ishara anayotaka kutumia kutofautisha maandishi kama vile ishara ya chapa koza, italiki na kupigia mistari. -Kuonyesha ujuzi wa kidijitali kwa kuwatumia wenzake kifungu alichoandika mtandaoni ili wamtolee maoni. |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
KLB Top Scholar uk. 36
-Tarakilishi -Ishara za kutofautishia maandishi -Kipanya -Mtandao |
Uchunguzi
-Ubunifu
-Matumizi ya ishara
-Tathmini ya wenza
|
|
| 13 |
END TERM ASSESSMENT AND CLOSING |
||||||||
Your Name Comes Here