If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kutambua silabi za sauti, d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngoma) kutoka vitabu, ubaoni au vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka vifaa vya kidijitali -Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -Kusikiliza vitanzandimi vyenye sauti lengwa -Kuunda na kukariri vitanzandimi vyenye sauti lengwa |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye maneno ya silabi lengwa -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno -Picha |
|
|
| 1 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
Matamshi Bora (Vitanzandimi) Matamshi Bora (Vitanzandimi) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani -Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno |
|
|
| 2 | 1-2 |
Kusoma
Kuandika Sarufi |
Kusoma kwa Ufahamu
Insha ya Wasifu Vivumishi vya Sifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu -Kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha -Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -Kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
- Kutambua viungo vya mwili vya ndani (k.v. moyo, mapafu, ini, kibofu, wengu, figo, ubongo, mifupa na mishipa) kutokana na picha, chati au kwenye tarakilishi
-Kueleza maana za msamiati alioutambua -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake -Kujibu maswali kutokana na kifungu husika - Kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi -Kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu -Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa -Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada |
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
-
-2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
Je, wasifu hueleza kuhusu nini? |
- Kitabu cha Oxford uk. 10
-Picha za viungo vya mwili vya ndani -Chati zenye viungo vya mwili -Vifaa vya kidijitali -Kamusi - Kitabu cha Oxford uk. 12 -Vielelezo vya insha ya wasifu -Vifaa vya kidijitali -Chati ya vivumishi vya sifa -Kapu la maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
Vivumishi Viashiria Vivumishi Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno -Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha -Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi vya sifa katika kifungu
-Kuandika sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa akishirikiana na wenzake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Chati ya vivumishi vya sifa -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 14 -Chati ya vivumishi viashiria |
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano |
- Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha
-Kutambua vivumishi vimilikishi (k.v –angu, - ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 3 | 1-2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika |
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Kina Kusoma kwa Kina Insha za Masimulizi Insha za Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano -Kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi -Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake -Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili |
- Kujadili na wenzake umuhimu wa maamkuzi na maagano
-Kutambua maamkuzi mbalimbali (k.v. Waambaje? Salam Aleikum? Unaendeleaje?) na maagano mbalimbali (k.v. mchana mwema, buriani, baki salama) -Kujadili maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake - Kuchagua maneno kutoka kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au kifaa cha kidijitali na kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo kwa kurejelea kamusi -Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali -Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno |
1. Kwa nini watu huamkuana?
-
-2. Kuagana kuna umuhimu gani?
1. Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi? - -2. Kwa nini tunatumia kamusi? |
- Kitabu cha Oxford uk. 19
-Picha zinazouonyesha watu wakiamkuana na kuagana -Chati zenye maamkuzi na maagano -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 23 -Kamusi mbalimbali -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno - Kitabu cha Oxford uk. 23 -Kamusi mbalimbali -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 27 -Vielelezo vya insha za masimulizi |
|
|
| 3 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vya idadi katika matini -Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi vya idadi (k.v. moja, ishirini, chache, nyingi) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno
-Kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi -Kutambua vivumishi vya idadi katika kifungu |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 28
-Chati ya vivumishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 3 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
Kivumishi Kirejeshi (amba-) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi viulizi katika matini -Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi viulizi
-Kutambua vivumishi viulizi (k.v. –pi? gani?) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi viulizi katika sentensi |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 31
-Chati ya vivumishi viulizi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 32 -Chati ya vivumishi virejeshi |
|
|
| 4 | 1-2 |
Sarufi
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Kusoma |
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
Matamshi Bora Matamshi Bora Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha -Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini -Kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno -Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
- Kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika kifungu
-Kueleza maana ya kivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake -Kuandika sentensi akitumia kivumishi lengwa kwa usahihi -Kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia kivumishi lengwa - Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha -Kutazama vielelezo vya video vinavyoonyesha usomaji fasaha wa makala -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa akizingatia matamshi bora |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo? |
- Kitabu cha Oxford uk. 32
-Chati ya vivumishi virejeshi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 35 -Chati zenye vitendawili - Kitabu cha Oxford uk. 38 -Vifungu vya kusoma -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi
Viwakilishi vya Nafsi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi -Kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi -Ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika |
- Kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi (k.v. chapa koza, italiki na maandishi yaliyopigiwa mstari)
-Kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 42
-Tarakilishi/vipakatalishi -Mwongozo wa kutumia tarakilishi - Kitabu cha Oxford uk. 44 -Chati ya viwakilishi vya nafsi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
Viwakilishi Viashiria Viwakilishi Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano |
- Kutambua viwakilishi vya nafsi katika kifungu kifupi
-Kutumia viwakilishi vya nafsi kutunga sentensi kwenye daftari au tarakilishi -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi ili kukamilisha sentensi |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 44
-Chati ya viwakilishi vya nafsi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 46 -Chati ya viwakilishi viashiria |
|
|
| 5 | 1-2 |
Sarufi
Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza |
Viwakilishi vya Idadi
Uakifishi Uakifishi Heshima, Adabu na Vyeo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano -Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi -Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi -Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi |
- Kujadili na wenzake maana ya viwakilishi vya idadi huko akitoa mifano mwafaka
-Kutambua viwakilishi vya idadi (k.v. chache, nyingi, tatu, kumi n.k.) katika ubao, kadi za maneno, chai, mti wa maneno, chati au kifaa cha kidijitali -Kutambua viwakilishi vya idadi katika sentensi - Kuakifisha kifungu kifupi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni -Kuandika sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika daftari lake -Kuandika sentensi zenye alama ya hisi, ritifaa na koloni akitumia kifaa cha kidijitali |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
1. Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi? - -2. Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi? |
- Kitabu cha Oxford uk. 47
-Chati ya viwakilishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 49 -Chati ya alama za uakifishaji - Kitabu cha Oxford uk. 49 -Chati ya alama za uakifishaji -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 54 -Kadi za maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 5 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Heshima, Adabu na Vyeo
Kusoma kwa Mapana Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano, -kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano, -kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi, -kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya heshima kwenye tarakilishi na video, -kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa heshima. |
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
-Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 56
-Vifaa vya kidijitali -Video Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 57 -Mitandao salama Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 59 |
|
|
| 5 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Barua Rasmi
Ngeli ya YA-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua barua rasmi kwa kuzingatia muundo wake, -kutambua vipengele vya barua rasmi ili kuvizingatia katika uandishi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua barua rasmi kwenye kielelezo cha barua rasmi iliyochapishwa au kwenye tarakilishi, -kujadili vipengele vya barua rasmi (k.v. anwani ya mwandishi, anwani ya mpokeaji, mtajo, mada ya barua, mwili, hitimisho, sahihi na jina la mwandishi). |
Barua rasmi ni barua ya aina gani?
-Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 61
-Kielelezo cha barua rasmi -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 63 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 64 -Kapu la maneno |
|
|
| 6 | 1-2 |
Sarufi
Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya YA-YA
Ngeli ya YA-YA Methali Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi. -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika nomino katika ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kushirikiana na wenzake. Mwanafunzi aelekezwe: -Tunga sentensi tatu katika umoja ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA, -Tunga sentensi tatu katika wingi ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 66
-Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 67 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 68 -Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 69 -Chati Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 71 |
|
|
| 6 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha, -kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili ukwapi na utao katika shairi, -kutambua ukwapi na utao katika shairi kwenye ubao, chati, vitabu au vyombo vya kidijitali, -kusoma shairi akizingatia ukwapi na utao. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 72
-Chati -Vitabu vya mashairi -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 73 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 75 |
|
|
| 6 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali, -kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi, -kujadili vidokezo vya insha ya maelezo atakavyovitumia katika kuandika insha yake, -kuonyesha umilisi wa ubunifu kwa kuandika insha ya maelezo. |
Insha ya maelezo ina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 76
-Kielelezo cha insha ya maelezo -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 77 |
|
|
| 7 | 1-2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Ngeli ya U-U
Matamshi Bora Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U - U katika sentensi ili kuzibainisha, -kutambua nomino katika ngeli ya U - U katika sentensi ili kuzibainisha. -kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia, matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora, -kueleza maana ya maneno yenye sauti lengwa yaliyotumika katika shairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya U-U katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya U-U kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati). Mwanafunzi aelekezwe: -kusikiliza shairi kuhusu suala lengwa na lenye maneno yenye sauti lengwa (d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng) likikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali, -kukariri akishirikiana na wenzake, shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali, -kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika shairi. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
Kwa nini |
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 78
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 79 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 81 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 82 -Nakala ya shairi -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 84 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 85 -Makala mbalimbali |
|
|
| 7 | 3 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Insha ya Wasifu Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma makala aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, -kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma makala alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa, -kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha, -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi?
-Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 88
-Makala mbalimbali -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 89 -Kielelezo cha insha ya wasifu Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 90 |
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya I - I katika sentensi ili kuzibainisha, -kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I - I katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya I-I katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya I-I kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati). |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 91
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 92 |
|
|
| 8 | 1-2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma |
Ngeli ya I-I
Nahau Nahau Kusoma kwa Mapana Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano. -kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano, -kuthamini matumizi ya nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Jaza mapengo kwa viambishi kifaacho cha ngeli ya I-I, -Tumia nomino hizi kujazia mapengo katika sentensi zinazofuata kwenye daftari lako, -Tumia nomino zifaazo za ngeli ya I-I kukamilisha sentensi hizi kwenye daftari lako, -Geuza nomino hizi ziwe katika umoja. Mwanafunzi aelekezwe: -kuambatanisha nahau na maana yake, -kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake, -kusakura mtandaoni ili kupata nahau zaidi za kazi na ushirikiano na maana zake na kuziandika, -kujadili na wenzake nahau alizozipata ili kuelimishana. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali? |
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 94
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 95 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 96 -Chati -Kapu maneno -Mti maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 98 -Vifaa vya kidijitali -Chati -Kapu maneno -Mti maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 99 -Matini mbalimbali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 101 |
|
|
| 8 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Insha za Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa, -kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma matini mbalimbali kuhusu majanga na jinsi ya kuyazuia, -kusimulia ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake, -kujadiliana na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao. |
Unapenda kusoma matini ya aina gani?
-Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 102
-Matini mbalimbali -Vifaa vya kidijitali -Kielelezo cha insha ya maelezo |
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza |
Insha za Maelezo
Ngeli ya PA-KU-MU Visawe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika insha ya maelezo (k.v. Jinsi ya Kukabiliana na Mafuriko) isiyopungua maneno 200 akizingatia kategoria za maneno kama vile aina mbalimbali za viwakilishi ifaavyo ili kuuwasilisha ujumbe lengwa, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha yakiubunifu, -kutunga insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini, -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 104
-Kielelezo cha insha ya maelezo -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 108 -Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 108 -Tarakilishi -Picha -Michoro kwenye chati |
|
|
| 9 | 1-2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika |
Visawe
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Insha za Masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno -kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano -kuthamini matumizi ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika mawasiliano. -kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha -kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa -kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kutumia kapu la maneno, kadi za maneno, mti wa maneno, tarakilishi, n.k. -kueleza maana ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa kwa kujadiliana na wenzake -kuambatanisha maneno zaidi ya matatu yaliyo na maana sawa katika kapu la maneno -kuhusisha visawe na vifaa halisi, picha, michoro kwenye chati -kujadili visawe mbalimbali akiwa na wenzake -kutumia kisawe kimoja kuchukua nafasi ya kingine katika sentensi. Mwanafunzi aelekezwe: -kueleza maana ya mchezo wa kuigiza akishirikiana na wenzake -kujadili na wenzake sifa za mchezo wa kuigiza (k.v. huwa na wahusika, kuna mazungumzo, maelekezo) -kusoma mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe -kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza -kushiriki katika majadiliano kuhusu msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza -kujibu maswali kutokana na mchezo aliousoma -kutoa muhtasari wa ujumbe ulio katika mchezo wa kuigiza -kutazama mchezo mfupi wa kuigiza shuleni au kwenye vifaa vya kidijitali -kushiriki katika mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza. |
Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani? -2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza? |
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 108
-Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi -Picha -Michoro kwenye chati Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 111 -Vitabu vya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Chati -Michezo ya kuigiza Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 111 -Vitabu vya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Chati -Michezo ya kuigiza Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 116 -Vielelezo vya insha -Vitabu vya hadithi |
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
Sarufi Sarufi |
Insha za Masimulizi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendeana Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendesha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo -kuchangamkia utunzi mzuri katika uandishi wa insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi -kujadili muundo wa insha ya masimulizi -kuonyesha ubunifu kwa kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia tukio linalohusiana na wanyama wa porini akizingatia nomino na vivumishi mbalimbali, mnyambuliko wa vitenzi, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa -kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya masimuizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. |
Ni nini unachoweza kufanya ili uwe mwandishi bora wa insha?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 116
-Vielelezo vya insha -Vifaa vya kidijitali -Vitabu vya hadithi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 119 -Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 121 |
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendua
Mazungumzo ya Kimuktadha - Miktadha rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitenzi katika hali ya kutendua katika matini -kutumia vitenzi katika hali za kutendua ipasavyo katika sentensi -kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendua katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali -kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake -kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi -kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 123
-Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 126 -Vifaa vya kidijitali (video, rununu, tarakilishi) -Picha |
|
|
| 10 | 1-2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma Kuandika |
Mazungumzo ya Kimuktadha - Miktadha isiyo rasmi
Kusoma kwa Mapana Kusoma kwa Mapana Insha za Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua miktadha isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha -kutumia lugha katika miktadha isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano -Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo. -kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia -kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa -kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua miktadha mbalimbali kunakotumiwa lugha isiyo rasmi (k.v. nyumbani, sokoni) -kusikiliza mazungumzo yasiyo rasmi kwa kutazama maigizo kwenye vyombo vya kidijitali (k.v. video, rununu, runinga, tarakilishi) -kushiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha yasiyo rasmi akishirikiana na wenzake -kushiriki katika mazungumzo yasiyo rasmi kama vile uwanjani, kwenye bweni, katika safari ya kwenda nyumbani kutoka shuleni. Mwanafunzi aelekezwe: -kutambua matini zinazomvutia maktabani na mtandaoni -kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa -kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |
1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha isiyo rasmi?
-2. Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe yasiyo rasmi?
1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini? -2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma? |
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 128
-Vifaa vya kidijitali (video, rununu, tarakilishi) -Picha Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 131 -Vitabu mbalimbali -Majarida na magazeti -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 131 -Vitabu mbalimbali -Majarida na magazeti -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 135 -Vielelezo vya insha za maelezo |
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
Sarufi Sarufi |
Insha za Maelezo
Vinyume vya Vivumishi Vinyume vya Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada -kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha mawasiliano -kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza uwazaji kina na utatuzi wa matatizo kwa kueleza maudhui kutokana na mada ya insha ya maelezo -kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea. Pia akizingatie anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu inaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali -kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Je, ni mada gani?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 135
-Vielelezo vya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 137 -Chati -Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 10 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Sitiari za Tabia
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili dhana ya sitiari ili kuitofautisha na dhana zingine za lugha -kutambua sitiari za tabia katika matini mbalimbali ili kuzibainisha -kutumia sitiari za tabia kwa usahihi katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano -kufurahia matumizi ya sitiari katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake maana ya sitiari -kutambua sitiari za tabia (k.v. yeye ni sungura, yeye ni fisi, yeye ni kasuku, mimi ni kobe safarini) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali akishirikiana na wenzake -kutoa mifano ya sitiari za tabia akisaidiana na mwenzake -kueleza maana ya sitiari mbalimbali -kutumia sitiari katika sentensi. |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kulinganisha kitu na kingine kwa njia ya moja kwa moja?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 140
-Vitabu -Matini mbalimbali -Chati -Vyombo vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 142 -Vifaa vya kidijitali (tarakilishi) -Kamusi ya mtandaoni |
|
|
| 11 | 1-2 |
Kusoma
Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Insha za Masimulizi Insha za Masimulizi Hali ya Masharti Hali ya Masharti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi -kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma kutumia vyombo vya kidijitali -kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. -kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo -kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini zilizohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali (k.v. kutofuta kazi za wenzake zilizohifadhiwa katika vifaa vya kidijitali) akishirikiana na wenzake -kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini za mtandaoni (k.v. kufungua mitandao ifaayo, kutowasiliana na watu usiowajua, kutofichua nywila yako kwa wenzake) -kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga -kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake -kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao -kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni, kusimulia wenzake habari alizosoma. Mwanafunzi aelekezwe: -kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi -kujadili mada na vidokezo vya insha ili kuvitumia katika kuandika insha yake -kuelezea maudhui atakayotumia kuandikia insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi (k.v. kuhusu ugaidi, uhalifu, ajali, safari n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia mada, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa. Pia azingatie aina mbalimbali za maneno, mnyambuliko wa vitenzi, na nyakati ili kejenga picha dhahiri ya anachokiandikia daftarini -kuandika insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. |
1. Unakumbuka habari gani uliyoisoma mtandaoni?
-2. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
Insha ya masimulizi ina sifa gani? |
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 142
-Vifaa vya kidijitali (tarakilishi) -Kamusi ya mtandaoni Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 147 -Vielelezo vya insha -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 147 -Vielelezo vya insha -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 151 -Chati -Ubao |
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Hali ya Masharti
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi -kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi -kufurahia matumizi ya hali ya masharti katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali -kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi -kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine -kutunga sentensi katika hali ya mazoea na hali ya masharti mtandaoni na kuwatumia wenzake waweze kuzisoma na kutathmini usahihi wake. |
Je, unajua viambishi vipi?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 151
-Chati -Ubao -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 155 -Tepurekoda -Video -Tarakilishi -Mgeni mwalikwa Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 156 |
|
|
| 11 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha -kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora -kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa -kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono zinazozingatia tamaduni) -kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora. |
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 157
-Maandishi mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 1-2 |
Kuandika
Sarufi |
Barua Rasmi
Ukanushaji wa Maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada -kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo -kuchangamkia utunzi wa barua rasmi katika mawasiliano. -kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kufurahia ukanushaji wa viambishi hali ya masharti katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mada ya kuandikia barua rasmi -kujadili na wenzake maudhui yafaayo kulingana na mada ya insha ya barua rasmi -kuandika vidokezo vya kumwongoza -kujadili na wenzake vipengele vya aya -kuandika barua rasmi kwa mwalimu daftarini kuomba msamaha na kuiwasilisha kila hoja katika aya yake -kutumia sentensi inayobeba wazo kuu mwanzoni mwa kila aya -kuandika kwa hati safi au kwa kutumia tarakilishi huku akizingatia kanuni zifaazo -kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. Mwanafunzi aelekezwe: -kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) katika vitenzi kwa kuvipigia mistari kwenye vitabu au kuvikolezea wino kwenye tarakilishi -kutambua viambishi vya hali ya masharti katika hali kanushi (k.v. singe, singali, sipo) -kusoma sentensi zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi -kukanusha maneno na sentensi akizingatia hali ya masharti kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya hali ya masharti na kuzikanusha -kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa hali ya masharti kupitia vifaa vya kidijitali. |
1. Uandishi wa barua rasmi huzingatia vipengele gani?
-2. Unazingatia nini ili kuunda aya nzuri?
1. Viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi ni vipi? -2. Viambishi vya hali ya masharti katika ukanushaji ni vipi? |
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 160
-Kielelezo cha barua rasmi -Tarakilishi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 162 -Vitabu -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 162 -Vitabu -Tarakilishi -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno -kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo -kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi -kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitanda) kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali -kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino -kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo -kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo -kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 164
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno -kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo -kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi -kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitanda) kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali -kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino -kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo -kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo -kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 164
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 167 |
|
Your Name Comes Here