If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kutambua silabi za sauti, d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngoma) kutoka vitabu, ubaoni au vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka vifaa vya kidijitali -Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -Kusikiliza vitanzandimi vyenye sauti lengwa -Kuunda na kukariri vitanzandimi vyenye sauti lengwa |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu ca Kiswahili kurunzi uk. 3
-Chati zenye maneno ya silabi lengwa -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno -Picha |
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora (Silabi za sauti: d nd, ch sh, j nj, g ng)
Matamshi Bora (Vitanzandimi) Matamshi Bora (Vitanzandimi) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika maneno -Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
- Kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake
-Kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -Kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -Kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani -Kutoa maoni kuhusu vitanzandimi vya wenzake |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
-
-2. Je, unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 3
-Chati zenye vitanzandimi -Vifaa vya kidijitali (kinasasauti, projekta) -Kadi za maneno |
|
|
| 2 | 3 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu -Kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha -Kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -Kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu |
- Kutambua viungo vya mwili vya ndani (k.v. moyo, mapafu, ini, kibofu, wengu, figo, ubongo, mifupa na mishipa) kutokana na picha, chati au kwenye tarakilishi
-Kueleza maana za msamiati alioutambua -Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake -Kujibu maswali kutokana na kifungu husika |
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
-
-2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 10
-Picha za viungo vya mwili vya ndani -Chati zenye viungo vya mwili -Vifaa vya kidijitali -Kamusi - Kitabu cha Oxford uk. 12 -Vielelezo vya insha ya wasifu |
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha ya Wasifu
Vivumishi vya Sifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu -Kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri -Kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
- Kuandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 inayohusu mada lengwa (k.m: Daktari nimpendaye) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi na kwa lugha ya kiubunifu
-Kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya wasifu mtandaoni -Kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Vielelezo vya insha ya wasifu -Vifaa vya kidijitali -Chati ya vivumishi vya sifa -Kapu la maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
Vivumishi Viashiria Vivumishi Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno -Kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha -Kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi vya sifa katika kifungu
-Kuandika sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa akishirikiana na wenzake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 12
-Chati ya vivumishi vya sifa -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 14 -Chati ya vivumishi viashiria |
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Vivumishi Vimilikishi
Maamkuzi na Maagano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali -Kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano |
- Kueleza maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha
-Kutambua vivumishi vimilikishi (k.v –angu, - ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 16
-Chati ya vivumishi vimilikishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 19 -Picha zinazouonyesha watu wakiamkuana na kuagana -Chati zenye maamkuzi na maagano |
|
|
| 3 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Kina Kusoma kwa Kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali -Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano -Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano |
- Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali
-Kuigiza maamkuzi na maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya |
1. Kwa nini watu huamkuana?
-
-2. Kuagana kuna umuhimu gani?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 19
-Picha zinazouonyesha watu wakiamkuana na kuagana -Chati zenye maamkuzi na maagano -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 23 -Kamusi mbalimbali -Kapu maneno -Mti maneno -Kadi maneno |
|
|
| 3 | 4 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Masimulizi
Vivumishi vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi -Kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake -Kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu |
- Kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa
-Kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi -Kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 27
-Vielelezo vya insha za masimulizi -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 28 -Chati ya vivumishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 4 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
Vivumishi Viulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi vya idadi katika matini -Kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yao
-Kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 28
-Chati ya vivumishi vya idadi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 31 -Chati ya vivumishi viulizi |
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
Kivumishi Kirejeshi (amba-) Kivumishi Kirejeshi (amba-) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -Kutambua vivumishi viulizi katika matini -Kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -Kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno |
- Kutambua vivumishi viulizi katika kifungu kifupi
-Kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake -Kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa -Kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 31
-Chati ya vivumishi viulizi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 32 -Chati ya vivumishi virejeshi |
|
|
| 4 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali -Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora -Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano |
- Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali
-Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali -Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 35
-Chati zenye vitendawili -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 38 -Vifungu vya kusoma |
|
|
| 4 | 4 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Ufasaha
Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi Kuandika Kwa kutumia Tarakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
- Kusoma kifungu cha habari kwa kasi isiyopungua maneno 90 kwa dakika moja kuhusu suala lengwa
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) -Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa -Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala |
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 38
-Vifungu vya kusoma -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 42 -Tarakilishi/vipakatalishi -Mwongozo wa kutumia tarakilishi |
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
Viwakilishi Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano |
- Kujadili maana ya viwakilishi vya nafsi huko akitoa mifano
-Kutambua viwakilishi vya nafsi (k.v. mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao, n.k.) katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -Kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 44
-Chati ya viwakilishi vya nafsi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 46 -Chati ya viwakilishi viashiria |
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi Viashiria
Viwakilishi vya Idadi Viwakilishi vya Idadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha -Kutambua viwakilishi viashiria katika matini mbalimbali -Kutumia viwakilishi viashiria kwa usahihi katika sentensi -Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi viashiria katika mawasiliano |
- Kutambua viwakilishi viashiria katika kifungu kifupi
-Kutunga sentensi akitumia viwakilishi viashiria -Kujaza nafasi kwa kutumia viwakilishi viashiria ili kukamilisha sentensi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 46
-Chati ya viwakilishi viashiria -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali - Kitabu cha Oxford uk. 47 -Chati ya viwakilishi vya idadi |
|
|
| 5 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi -Kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi -Kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi |
- Kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi
-Kuakifisha sentensi akitumia alama ya hisi, ritifaa na koloni |
1. Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
-
-2. Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
|
- Kitabu cha Oxford uk. 49
-Chati ya alama za uakifishaji -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Heshima, Adabu na Vyeo
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano, -kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kuyatumia kwa usahihi katika mawasiliano, -kuthamini kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno ya heshima (k.v. shehe, kasisi, padre, mwadhini, mheshimiwa, rais, mtawa) kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno, -kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu. |
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
-Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 54
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 56 -Video Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 57 -Mitandao salama |
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Barua Rasmi Barua Rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia vifaa ya kidijitali kwa urahisi ili kupata matini yanayolengwa, -kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali, -kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga faili, -kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake. |
Kusoma matini ya kidijitali kuna manufaa gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 59
-Vifaa vya kidijitali -Mitandao salama Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 61 -Kielelezo cha barua rasmi Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 63 |
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya YA – YA katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya YA-YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.m. maji, maziwa, mate, marashi na maskani). |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 64
-Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 66 -Mti wa maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 67 |
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya YA-YA
Methali Methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya YA-YA katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Tunga sentensi tatu katika umoja ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA, -Tunga sentensi tatu katika wingi ukitumia nomino katika ngeli ya YA-YA. |
Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 68
-Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 69 -Chati Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 71 |
|
|
| 6 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha, -kutambua mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa kuzingatia muundo. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili ukwapi na utao katika shairi, -kutambua ukwapi na utao katika shairi kwenye ubao, chati, vitabu au vyombo vya kidijitali, -kusoma shairi akizingatia ukwapi na utao. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 72
-Chati -Vitabu vya mashairi -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 73 |
|
|
| 7 | 1 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Ufahamu
Insha za Maelezo Insha za Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia usomaji wa mashairi ili kuyathamini. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma mashairi ya tathnia, tathlitha na tarbia kwa mahadhi mbalimbali, -kujadili ujumbe kwenye shairi waliyoyasoma, -kujibu maswali yanayotokana na mashairi aliyoyasoma, -kuandika ujumbe alioupata katika mojawapo ya mashairi aliyoyasoma na kuujadili na wenzake darasani. |
Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 75
-Chati -Vitabu vya mashairi -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 76 -Kielelezo cha insha ya maelezo Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 77 |
|
|
| 7 | 2 |
Sarufi
|
Ngeli ya U-U
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U - U katika sentensi ili kuzibainisha, -kutambua nomino katika ngeli ya U - U katika sentensi ili kuzibainisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya U-U katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya U-U kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati). |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 78
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 79 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 81 |
|
|
| 7 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora
Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia, matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora, -kueleza maana ya maneno yenye sauti lengwa yaliyotumika katika shairi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza shairi kuhusu suala lengwa na lenye maneno yenye sauti lengwa (d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng) likikaririwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali, -kukariri akishirikiana na wenzake, shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali, -kutamka maneno yaliyoundwa kutokana na sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng katika shairi. |
Kwa nini
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 82
-Nakala ya shairi -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 84 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 85 -Makala mbalimbali |
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Insha ya Wasifu Insha ya Wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma makala aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa, -kufurahia kusoma makala mbalimbali ili kujenga ufasaha wa lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma makala alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa, -kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha, -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mazoea ya kusoma makala au hadithi?
-Kusoma makala kuhusu usawa wa kijinsia kuna umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 88
-Makala mbalimbali -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 89 -Kielelezo cha insha ya wasifu Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 90 |
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Ngeli ya I-I
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya I - I katika sentensi ili kuzibainisha, -kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I - I katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya ngeli ya I-I katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi, -kutambua nomino katika ngeli ya I-I kutokana na upatanisho wa kisarufi kwenye sentensi (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati). |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 91
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 92 Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 94 |
|
|
| 8 | 2 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya I-I
Nahau |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-I katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Tunga sentensi ukitumia nomino hizi za ngeli ya I-I, -Tafuta sentensi zenye nomino za ngeli ya I-I kisha uziandike katika daftari lako. Linganisha orodha yako na ile ya wenzako darasani. |
Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 95
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 96 -Chati -Kapu maneno -Mti maneno |
|
|
| 8 | 3 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Nahau
Kusoma kwa Mapana Kusoma kwa Mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano, -kuthamini matumizi ya nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuambatanisha nahau na maana yake, -kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika sentensi akiwa pekee au kwa kushirikiana na wenzake, -kusakura mtandaoni ili kupata nahau zaidi za kazi na ushirikiano na maana zake na kuziandika, -kujadili na wenzake nahau alizozipata ili kuelimishana. |
Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 98
-Vifaa vya kidijitali -Chati -Kapu maneno -Mti maneno Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 99 -Matini mbalimbali Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 101 |
|
|
| 8 | 4 |
Kusoma
Kuandika Kuandika |
Kusoma kwa Mapana
Insha za Maelezo Insha za Maelezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa, -kufurahia usomaji wa matini za aina mbalimbali ili kujenga utamaduni wa kusoma. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma matini mbalimbali kuhusu majanga na jinsi ya kuyazuia, -kusimulia ujumbe kutokana na matini alizosoma kwa wenzake, -kujadiliana na wenzake matini alizosoma ili kuchochea hamu ya usomaji wa mapana miongoni mwao. |
Unapenda kusoma matini ya aina gani?
-Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 102
-Matini mbalimbali -Vifaa vya kidijitali -Kielelezo cha insha ya maelezo Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 104 |
|
|
| 9 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Ngeli ya PA-KU-MU
Visawe Visawe |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha, -kuandika nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, -kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi, -kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno (k.v: huku, humu, hapa, hapo, huko, humo, pale, kule, mle), -kuandika nomino katika ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake, -kubadilisha sentensi zenye nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi, -kutunga sentensi kwa kutumia nomino ya ngeli ya PA-KU-MU akiwa peke yake au kwa kwa kushirikiana na wenzake, -kujaza mapengo kwa kutumia viambishi vya ngeli ya PA-KU-MU kwa maandishi ya mkono au kwa tarakilishi. |
Nonimo katika ngeli ya PA-KU-MU ni gani?
|
Oxford Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi uk. 108
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 108 -Tarakilishi -Picha -Michoro kwenye chati |
|
|
| 9 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha -kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa -kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -kuonea fahari nafasi ya mchezo wa kuigiza katika jamii. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya mchezo wa kuigiza akishirikiana na wenzake -kujadili na wenzake sifa za mchezo wa kuigiza (k.v. huwa na wahusika, kuna mazungumzo, maelekezo) -kusoma mchezo wa kuigiza akizingatia wahusika, maelekezo na ujumbe -kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza -kushiriki katika majadiliano kuhusu msamiati uliotumiwa katika mchezo wa kuigiza -kujibu maswali kutokana na mchezo aliousoma -kutoa muhtasari wa ujumbe ulio katika mchezo wa kuigiza -kutazama mchezo mfupi wa kuigiza shuleni au kwenye vifaa vya kidijitali -kushiriki katika mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye mchezo wa kuigiza. |
1. Je, mchezo wa kuigiza una sifa gani?
-2. Umewahi kushiriki katika mchezo gani wa kuigiza?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 111
-Vitabu vya mchezo wa kuigiza -Vifaa vya kidijitali -Chati -Michezo ya kuigiza |
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo -kuchangamkia utunzi mzuri katika uandishi wa insha ya masimulizi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi -kujadili muundo wa insha ya masimulizi -kuonyesha ubunifu kwa kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia tukio linalohusiana na wanyama wa porini akizingatia nomino na vivumishi mbalimbali, mnyambuliko wa vitenzi, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa -kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya masimuizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. |
Ni nini unachoweza kufanya ili uwe mwandishi bora wa insha?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 116
-Vielelezo vya insha -Vifaa vya kidijitali -Vitabu vya hadithi |
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendeana
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendesha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitenzi katika hali ya kutendeana katika matini -kutumia vitenzi katika hali za kutendeana ipasavyo katika sentensi -kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeana katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendeana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali -kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake -kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi -kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 119
-Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 121 |
|
|
| 10 | 1 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kauli ya kutendua
Mazungumzo ya Kimuktadha - Miktadha rasmi Mazungumzo ya Kimuktadha - Miktadha isiyo rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitenzi katika hali ya kutendua katika matini -kutumia vitenzi katika hali za kutendua ipasavyo katika sentensi -kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendua katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitenzi katika hali za kutendua katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti wa maneno, ubao na vyombo vya kidijitali -kunyambua vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, akishirikiana na wenzake -kutumia vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi -kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kuandika sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali. |
Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 123
-Chati -Jedwali la mnyambuliko -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Tarakilishi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 126 -Vifaa vya kidijitali (video, rununu, tarakilishi) -Picha Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 128 |
|
|
| 10 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia -kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa -kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua matini zinazomvutia maktabani na mtandaoni -kusoma matini alizochagua ili kufaidi ujumbe na lugha iliyotumiwa -kutoa wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha -kujadiliana na wenzake matini ambazo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati. |
1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini?
-2. Unazingatia nini unapochagua matini za kusoma?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 131
-Vitabu mbalimbali -Majarida na magazeti -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 10 | 3 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Maelezo
Vinyume vya Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada -kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha mawasiliano -kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kukuza uwazaji kina na utatuzi wa matatizo kwa kueleza maudhui kutokana na mada ya insha ya maelezo -kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo -kuandika insha ya maelezo akitumia vivumishi na vielezi vifaavyo kutoa picha dhahiri kuhusu anachokielezea. Pia akizingatie anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na lugha ya kiubunifu inaojumuisha methali na nahau alizojifunza awali -kukuza umilisi wa ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini. |
Je, ni mada gani?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 135
-Vielelezo vya insha za maelezo -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 137 -Chati -Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno |
|
|
| 10 | 4 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza |
Vinyume vya Vivumishi
Sitiari za Tabia Sitiari za Tabia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vinyume vya vivumishi katika matini -kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi -kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vinyume vya vivumishi (k.v. zuri- baya, kali-butu, refu- fupi) katika chati, kadi za maneno, kapu la maneno, mti wa maneno au vifaa vya kidijitali -kutafuta vinyume vya vivumishi kwa kurejelea orodha ya vivumishi alivyopewa -kutalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vivumishi -kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 137
-Chati -Kadi za maneno -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 140 -Vitabu -Matini mbalimbali -Vyombo vya kidijitali |
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi -kuonyesha uelewa wa hatua za kiusalama kwa kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma kutumia vyombo vya kidijitali -kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini zilizohifadhiwa katika kifaa cha kidijitali (k.v. kutofuta kazi za wenzake zilizohifadhiwa katika vifaa vya kidijitali) akishirikiana na wenzake -kutambua mambo ya kuzingatia anaposoma matini za mtandaoni (k.v. kufungua mitandao ifaayo, kutowasiliana na watu usiowajua, kutofichua nywila yako kwa wenzake) -kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga -kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake -kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao -kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni, kusimulia wenzake habari alizosoma. |
1. Unakumbuka habari gani uliyoisoma mtandaoni?
-2. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 142
-Vifaa vya kidijitali (tarakilishi) -Kamusi ya mtandaoni |
|
|
| 11 | 2 |
Kuandika
Sarufi |
Insha za Masimulizi
Hali ya Masharti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maudhui ya insha ya masimulizi ili kuandika ifaavyo -kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo -kuchangamkia utunzi mzuri ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi -kujadili mada na vidokezo vya insha ili kuvitumia katika kuandika insha yake -kuelezea maudhui atakayotumia kuandikia insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi (k.v. kuhusu ugaidi, uhalifu, ajali, safari n.k) isiyopungua maneno 200 akizingatia mada, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu na urefu unaotarajiwa. Pia azingatie aina mbalimbali za maneno, mnyambuliko wa vitenzi, na nyakati ili kejenga picha dhahiri ya anachokiandikia daftarini -kuandika insha ya masimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza. |
Insha ya masimulizi ina sifa gani?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 147
-Vielelezo vya insha -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 151 -Chati -Ubao |
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hali ya Masharti
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti kwenye kitenzi -kutumia vitenzi katika hali ya masharti kwenye sentensi -kufurahia matumizi ya hali ya masharti katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali -kutumia vitenzi vya hali ya masharti katika sentensi kwa kuandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi -kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine -kutunga sentensi katika hali ya mazoea na hali ya masharti mtandaoni na kuwatumia wenzake waweze kuzisoma na kutathmini usahihi wake. |
Je, unajua viambishi vipi?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 151
-Chati -Ubao -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 155 -Tepurekoda -Video -Tarakilishi -Mgeni mwalikwa |
|
|
| 11 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma Kusoma |
Kuzungumza na Kujieleza kwa Ufasaha
Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
ndogo -kubuni na kusimulia kisa mbele ya wenzake akizingatia mada lengwa -kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake -kufurahia usimulizi wa visa mbalimbali kuhusu maisha. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake kuhusu mada mbalimbali ambazo huweza kusimuliwa kuhusiana na mambo na hali za maisha (k.v. hadithi za mashujaa, shughuli za sikukuu za kitaifa, usomaji wa bajeti, ulipaji wa ushuru, hekaya) -kusikiliza kisa cha kisimulizi kuhusu mada lengwa kutoka kwa mgeni mwalikwa, tepurekoda, video na tarakilishi ili kupata sifa za usimulizi mzuri -kusimulia kisa kuhusiana na mada fulani akizingatia mtiririko wa mawazo, mfuatano wa matukio, kanuni za kisarufi, kupanda na kushuka kwa sauti, ishara za uso, viziada lugha, tasfida, na wakati ili kuufanya utungo wake uvutie -kuuliza na kujibu maswali kutokana na visa vilivy |
Masimulizi kuhusu ushuru yana umuhimu gani?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 156
-Tepurekoda -Video -Tarakilishi -Mgeni mwalikwa Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 157 -Maandishi mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 1 |
Kuandika
Sarufi |
Barua Rasmi
Ukanushaji wa Maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ili kuandika barua rasmi inayozingatia mada -kuandika barua rasmi inayozingatia mada, hati safi, muundo na mtindo ufaaoili kuwasiliana ipasavyo -kuchangamkia utunzi wa barua rasmi katika mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua mada ya kuandikia barua rasmi -kujadili na wenzake maudhui yafaayo kulingana na mada ya insha ya barua rasmi -kuandika vidokezo vya kumwongoza -kujadili na wenzake vipengele vya aya -kuandika barua rasmi kwa mwalimu daftarini kuomba msamaha na kuiwasilisha kila hoja katika aya yake -kutumia sentensi inayobeba wazo kuu mwanzoni mwa kila aya -kuandika kwa hati safi au kwa kutumia tarakilishi huku akizingatia kanuni zifaazo -kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano. |
1. Uandishi wa barua rasmi huzingatia vipengele gani?
-2. Unazingatia nini ili kuunda aya nzuri?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 160
-Kielelezo cha barua rasmi -Tarakilishi Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 162 -Vitabu -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 2 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kukanusha viambishi vya hali ya masharti katika sentensi -kufurahia ukanushaji wa viambishi hali ya masharti katika sentensi. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua viambishi vya hali ya masharti (nge, ngali, ki) katika vitenzi kwa kuvipigia mistari kwenye vitabu au kuvikolezea wino kwenye tarakilishi -kutambua viambishi vya hali ya masharti katika hali kanushi (k.v. singe, singali, sipo) -kusoma sentensi zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi -kukanusha maneno na sentensi akizingatia hali ya masharti kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi -kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya hali ya masharti na kuzikanusha -kusikiliza au kutazama vipindi vya ukanushaji wa hali ya masharti kupitia vifaa vya kidijitali. |
1. Viambishi vya hali ya masharti katika vitenzi ni vipi?
-2. Viambishi vya hali ya masharti katika ukanushaji ni vipi?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 162
-Vitabu -Tarakilishi -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno -kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo -kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi -kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitanda) kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali -kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino -kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo -kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo -kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 164
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali |
|
|
| 12 | 4 |
Sarufi
|
Ukubwa na Udogo wa Nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- katika kundi la maneno -kubadilisha nomino, zinazoanza kwa Ki- katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo -kutunga sentensi sahihi akitumia nomino zinazoanza kwa Ki- katika hali ya ukubwa na udogo huku akizingatia upatanisho wa kisarufi -kufurahia kutumia nomino zinazoanza kwa Ki- kwa usahihi katika hali ya ukubwa na udogo ili kuimarisha mawasiliano. |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua nomino zinazoanza kwa kiambishi Ki- (k.v. kiti, kitabu, kitanda) kwa kutumia kadi za maneno, mti wa maneno, chati au vifaa vya kidijitali -kushiriki kwenye mjadala wa kutambua viambishi vinavyotumika kudhihirisha ukubwa na udogo wa nomino -kushiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo -kushiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo -kutunga sentensi kwa kutumia nomino hizo katika hali ya ukubwa na udogo kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi. |
Je, ni nomino gani zinazoanza kwa kiambishi Ki- unazozijua?
|
Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 164
-Kadi za maneno -Mti wa maneno -Chati -Vifaa vya kidijitali Oxford Kiswahili Darasa la 6 uk. 167 |
|
Your Name Comes Here