If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
VIUNGO VYA MWILI VYA NDANI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: d/nd
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua silabi zinazotokana na sauti d/nd katika maneno -kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti d/nd (k.v. doa/ndoa, dugu/ndugu) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali -kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali -kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd?
-
-2. Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd?
|
Mentor kiswahili
i uk. 1-2 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali -Mti wa maneno -Kapu la maneno |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 2 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Matamshi Bora: ch/sh
Kusoma kwa Ufahamu: Viungo vya Mwili vya Ndani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua silabi zinazotokana na sauti ch/sh katika maneno -kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti ch/sh (k.v. choka/shoka, changa/shang kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali -kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali -kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti ch/sh?
-
-2. Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti ch/sh?
|
Mentor kiswahili
i uk. 3 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali -Mti wa maneno -Kapu la maneno i uk. 8-9 -Tarakilishi -Kinasasauti -Rununu -Projekta -Picha |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno -kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha -kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu) -kutambua vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno akishirikiana na wenzake -kutambua vivumishi vya sifa katika sentensi -kutambua vivumishi vya sifa katika kifungu -kuandika sentensi kwa usahihi akitumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
Mentor kiswahili
i uk. 13-15 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 2 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Sifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno -kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha -kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi vya sifa katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu kifupi huku akipigia mstari vivumishi vya sifa -kutunga sentensi tano akitumia vivumishi vya sifa -kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa kwenye daftari au kwenye tarakilishi -kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno katika kifaa cha kidijitali akitumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
|
Mentor kiswahili
i uk. 16-17 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha -kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali -kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo karibu naye, mbali naye na mbali kabisa (k.m: Kitabu hiki/hicho/kile) -kutambua vivumishi viashiria (k.v. huyu, huyo, yule, hivi, hivyo, vile) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -kutambua vivumishi viashiria katika sentensi -kutambua vivumishi katika kifungu -kuandika sentensi akitumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
Mentor kiswahili
i uk. 18-19 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Picha za vitu mbalimbali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 3 | 2 |

| 3 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu: Daktari Tabibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu -kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri -kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi huku akitambua maudhui -kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu -kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa -kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kurejelea mada -kuandika insha ya wasifu isiyopungua maneno 200 inayohusu mada lengwa (k.m: Daktari Tabibu) kwa kuzingatia, anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
Mentor kiswahili
i uk. 10-11 -Kielelezo cha insha ya wasifu -Tarakilishi/vipakatalishi -Projekta |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potfolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
| 3 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: j/nj
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua silabi zinazotokana na sauti j/nj katika maneno -kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti j/nj (k.v. jia/njia, jaa/nja kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali -kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali -kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti j/nj?
-
-2. Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti j/nj?
|
Mentor kiswahili
i uk. 4-5 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali -Mti wa maneno -Kapu la maneno |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 4 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: g/ng
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua silabi zinazotokana na sauti g/ng katika maneno -kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi -kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora -kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua silabi za sauti g/ng (k.v. jogoo/jongoo, gozi/ngozi) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali -kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali -kutamka silabi za sauti lengwa akishirikiana na wenzake -kusikiliza vitanzandimi vinavyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa -kuunda vitanzandimi vinavyotokana na vitate husika akishirikiana na wenzake -kuwasilisha vitanzandimi alivyounda darasani ili wenzake wamtolee maoni |
1. Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti g/ng?
-
-2. Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti g/ng?
|
Mentor kiswahili
i uk. 6-7 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali -Mti wa maneno -Kapu la maneno |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Ziara ya Hospitalini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu -kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha -kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari -kuchangamkia usomaji ili kuimarisha ufahamu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akishirikiana na wenzake -kutambua viungo vya mwili vya ndani vilivyotajwa katika kifungu -kutumia kamusi kutafuta maana za maneno (k.v. ubongo, mafigo, mfupa, moyo, mapafu, tumbo) -kutumia maneno hayo kutunga sentensi sahihi -kujibu maswali kutokana na kifungu husika -kutoa muhtasari wa kifungu alichosoma |
1. Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
-
-2. Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani kuna umuhimu gani?
|
Mentor kiswahili
i uk. 9-10 -Tarakilishi -Kinasasauti -Rununu -Projekta -Kamusi -Chati -Picha |
- Kutunga sentensi
-Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari
-Kusoma kwa sauti
|
|
| 4 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi Viashiria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha -kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali -kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama picha zinazoonyesha hali za umbali tofauti -kutambua vivumishi viashiria kwenye orodha -kujaza mapengo katika jedwali kwa kutumia vivumishi viashiria kwa kuzingatia ngeli za nomino -kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa -kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno katika kifaa cha kidijitali akitumia vivumishi lengwa |
Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
|
Mentor kiswahili
i uk. 20-21 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Picha za vitu mbalimbali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 4 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi -kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali -kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi -kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleze maana ya vivumishi vimilikishi ili kuibainisha -kutambua vivumishi vimilikishi (k.v –angu, -ako, -ake, -etu, -ao n.k.) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi -kutambua vivumishi vimilikishi katika kifungu -kujadili maana vivumishi vimilikishi huko akitoa mifano -kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
Mentor kiswahili
i uk. 22-23 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Picha za vitu mbalimbali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Vivumishi Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi -kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali -kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi -kuonea fahari matumizi ya vivumishi vimilikishi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama picha zenye sentensi zilizo na vivumishi vimilikishi -kutunga sentensi akitumia vivumishi vimilikishi -kujaza mapengo kwa kutumia vivumishi vimilikishi ili kukamilisha sentensi kwenye daftari au katika tarakilishi kwa kuburura viwakilishi vimilikishi mwafaka -kutunga sentensi sita akitumia vivumishi vimilikishi -kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kutumia vifaa vya kidijitali kutunga sentensi akitumia vivumishi vimilikishi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
|
Mentor kiswahili
i uk. 24-26 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Picha za vitu mbalimbali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 5 | 2 |

| 5 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Wasifu: Daktari Nimpendaye
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu -kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri -kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili vidokezo vya kuandikia insha kuhusu Daktari Nimpendaye -kuandika insha isiyopungua maneno 200 akirejelea vidokezo alivyojadili -kuzingatia muundo na kanuni za uandishi: anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, kanuni za kisarufi (k.v. uakifishaji mwafaka na tahaji na kwa lugha ya kiubunifu inayojumuisha methali, tashbihi na nahau alizojifunza awali -kuwawasilishia wenzake insha aliyoandika ili wampe maoni yao |
Je, wasifu hueleza kuhusu nini?
|
Mentor kiswahili
i uk. 12-13 -Kielelezo cha insha ya wasifu -Tarakilishi/vipakatalishi -Projekta |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potfolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
| 5 | 4 |
MICHEZO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maamkuzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili umuhimu maamkuzi katika mawasiliano -kujadili maamkuzi yanayotumika katika miktadha mbalimbali -kutumia aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano -kuchangamkia maamkuzi katika mahusiano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake umuhimu wa maamkuzi -kutambua maamkuzi mbalimbali (k.v. Waambaje? Salam Aleikum? Unaendeleaje?) kutoka kwenye chati, ubao, michoro, picha au vifaa vya kidijitali -kujadili maamkuzi na matumizi yake -kutazama watu wakiamkuana katika vifaa vya kidijitali -kuigiza maamkuzi lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya |
Kwa nini watu huamkuana?
|
Mentor kiswahili
i uk. 27-28 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali -Mti wa maneno -Kapu la maneno |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 6 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi -kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake -kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kushiriki katika mjadala na wenzake kuhusu jinsi ya kutumia kamusi kutambua maana, tahajia, ngeli, aina za maneno na maana za maneno hayo -kusikiliza msamiati wa suala lengwa (k.v. kambumbu, gori, hoki, Jugwe) ukisomwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kutambua tahajia yake kwa kutumia kamusi akishirikiana na wenzake -kuchagua maneno kutoka kapu maneno, mti maneno, kadi maneno au kifaa cha kidijitali na kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo kwa kurejelea kamusi |
-Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
-Kwa nini tunatumia kamusi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 33-36 -Kamusi mbalimbali -Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno na majibu
-Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari
|
|
| 6 | 2 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -kutambua vivumishi vya idadi katika matini -kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama picha zenye vitu mbalimbali na kuhesabu vitu hivyo -kutambua vivumishi vya idadi (k.v. moja, ishirini, chache, nyingi) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -kutambua vivumishi vya idadi katika sentensi -kutambua vivumishi vya idadi katika kifungu -kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yao (k.m. Kitabu kimoja, kalamu nyingi) |
Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
|
Mentor kiswahili
i uk. 40-42 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati i uk. 43-44 |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 6 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -kutambua vivumishi viulizi katika matini -kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama picha za vitu mbalimbali na kuuliza maswali kuhusu idadi, aina na umbali wa vitu hivyo -kueleza maana ya vivumishi viulizi -kutambua vivumishi viulizi (k.v. –pi? gani?) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -kutambua vivumishi viulizi katika sentensi -kutambua vivumishi viulizi katika kifungu kifupi |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
Mentor kiswahili
i uk. 45-47 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 6 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi: Mechi ya Kusisimua
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake -kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kubainisha na kujadili vidokezo vifaavyo vya mada lengwa -kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi -kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi -kusoma insha ya masimulizi ya "Mechi ya Kusisimua" -kujadili mada na muundo uliozingatiwa katika insha hiyo -kubainisha vidokezo vilivyotumiwa katika insha hiyo -kujadili vipengele vya uandishi wa insha vilivyozingatiwa katika insha hiyo |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 37-38 -Kielelezo cha insha ya masimulizi -Tarakilishi/vipakatalishi -Projekta |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potfolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
| 7 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Maagano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujadili umuhimu maagano katika mawasiliano -kujadili maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali -kutumia aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano -kuchangamkia maagano katika mahusiano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili na wenzake umuhimu wa maagano -kutambua maagano mbalimbali (k.v. mchana mwema, buriani, baki salam kutoka kwenye chati, ubao, michoro, picha au vifaa vya kidijitali -kujadili maagano na matumizi yake -kutazama watu wakiagana katika vifaa vya kidijitali -kuigiza maagano lengwa na kuheshimu nafasi ya kila mmoja katika maigizo haya |
Kuagana kuna umuhimu gani?
|
Mentor kiswahili
i uk. 29-32 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali -Mti wa maneno -Kapu la maneno |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 7 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Msamiati wa Michezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi -kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake -kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutumia kamusi kutafuta maana za maneno yanayohusu michezo (k.v. golikipa, kandanda, tenisi, kocha) -kutumia kamusi kutambua ngeli, aina na maana za maneno hayo -kutumia kamusi kuandika michezo kumi -kutumia mtandao kutafuta maana za maneno -kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana |
1. Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
-
-2. Kwa nini tunatumia kamusi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 33-36 -Kamusi mbalimbali -Kadi za maneno -Mti wa maneno -Kapu la maneno -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno na majibu
-Kujibu maswali
-Kutoa muhtasari
|
|
| 7 | 3 |
Sarufi
|
Vivumishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi -kutambua vivumishi viulizi katika matini -kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake (k.m: Kitabu kipi? Nguo gani?) -kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia vivumishi lengwa -kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia vivumishi lengwa katika daftari lake au katika kifaa cha kidijitali -kuwasilisha sentensi zake darasani ili mwalimu na wenzake wazisahihishe |
Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
|
Mentor kiswahili
i uk. 48 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha -kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini -kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama picha zenye sentensi zinazoonyesha matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- -kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba-ipasavyo -kutambua kivumishi kirejeshi amba- (k.v. ambaye, ambao, ambacho, ambalo n.k) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi -kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika kifungu |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 49-51 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Kivumishi Kirejeshi (amba-)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha -kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini -kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi -kufurahia kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza maana ya kivumishi lengwa kwa kurejelea vitu vilivyo katika mazingira yake (k.m: mgeni ambaye, mlango ambao, kiatu ambacho) -kuandika sentensi akitumia kivumishi lengwa kwa usahihi akishirikiana na wenzake -kujaza mapengo kwenye sentensi au vifungu vya maneno kwa kutumia kivumishi lengwa -kutunga sentensi sahihi au vifungu vya maneno akitumia kivumishi lengwa |
Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 52-54 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 8 | 2 |

| 8 | 3 |
Kuandika
|
Insha za Masimulizi: Siku ya Michezo Shuleni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi -kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake -kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili mada na muundo wa insha ya masimulizi -kuandika vidokezo vya kuandikia insha kuhusu SIKU YA MICHEZO SHULENI -kuandika insha isiyopungua maneno 200 inayosimulia kisa cha tukio linalohusiana na michezo kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu -kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kuandika insha ya masimulizi mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 39 -Kielelezo cha insha ya masimulizi -Tarakilishi/vipakatalishi -Projekta |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potfolio
-Shajara
-Mijadala kuhusu vidokezo vya insha
|
|
| 8 | 4 |
MAHUSIANO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Matamshi Bora: Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali -kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora -kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali -kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali -kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake -kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
Mentor kiswahili
i uk. 55-56 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotamka vitendawili
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 9 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -kusoma soma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha -kutazama vielelezo vya video vinavyoonyesha usomaji fasaha wa makala au na wenzake -kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha (matamshi bora, kasi inayofaa, sauti ifaayo, ishara zifaazo) -kujadili vipengele vya kusoma kwa ufasaha vilivyotumika katika usomaji -tazama picha ya msomaji na kujadili anachofaa kufanya ili asome kwa ufasaha |
Unaposoma kifungu, ni mambo gani unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
|
Mentor kiswahili
i uk. 57-59 -Tarakilishi -Kinasasauti -Rununu -Projekta -Chati -Picha |
- Kutunga sentensi
-Kujibu maswali
-Kusoma kwa sauti
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Nafsi
Viwakilishi Viashiria |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali -kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi -kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya nafsi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujadili maana ya viwakilishi vya nafsi huko akitoa mifano -kutambua viwakilishi vya nafsi (k.v. mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao, n.k.) katika ubao, tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno -kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi -kutambua viwakilishi vya nafsi katika kifungu kifupi -kutumia viwakilishi vya nafsi kutunga sentensi kwenye daftari au tarakilishi |
Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
|
Mentor kiswahili
i uk. 65-69 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati i uk. 70-73 -Kadi za maneno |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 9 | 3 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi -kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi -ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi (k.v. chapa koza, italiki na maandishi yaliyopigiwa mstari) akishirikiana na wenzake -kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi akishirikiana na wenzake -kutazama picha inayoonyesha ishara zinazotumiwa katika maandishi -kujadili kuhusu ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi -jadili matumizi ya kipanya katika kuandika kwenye tarakilishi |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 61-64 -Tarakilishi/vipakatalishi -Projekta |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Kazi mradi
|
|
| 9 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Matamshi Bora: Kutega na Kutegua Vitendawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali -kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora -kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vitendawili katika orodha iliyopewa (k.v. "Nyama ndani, ngozi nje", "Adui mpende", "Afahamu kuchora lakini hajui achoracho") -kutegua vitendawili mbalimbali (k.v. "Chakula kikuu cha mtoto", "Wanangu watatu daima wako pamoja") -kushirikiana kutega na kutegua vitendawili vyovyote vitano -kutoa mifano ya vitendawili katika jamii yake |
Je, vitendawili vina umuhimu gani katika jamii?
|
Mentor kiswahili
i uk. 56 -Chati -Michoro na picha -Mgeni mwalikwa -Vifaa vya kidijitali |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotamka vitendawili
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha: Harusi ya Shangazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha -kusoma soma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora -kusoma kifungu kwa kasi ifaayo -kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu kifupi "Harusi ya Shangazi" kwa sauti, akitamka maneno yote ipasavyo -kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo kuhusu suala lengwa -kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) -kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono zinazozingatia tamaduni) -kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora |
Unaposoma kifungu, ni mambo gani unayozingatia ili kusoma ifaavyo?
|
Mentor kiswahili
i uk. 59-61 -Tarakilishi -Kinasasauti -Rununu -Projekta -Chati -Picha |
- Kutunga sentensi
-Kujibu maswali
-Kusoma kwa sauti
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine -kutambua viwakilishi vya idadi katika matini mbalimbali -kutumia viwakilishi vya idadi kwa usahihi katika sentensi ili kuboresha mawasiliano -kuonea fahari matumizi ya viwakilishi vya idadi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama michoro na kusoma sentensi zilizo chini ya michoro hiyo -kutambua maneno yanayoonyesha idadi katika sentensi zilizopewa -kujadili maneno mengine ambayo hutumika kuonyesha idadi -kueleza maana ya viwakilishi vya idadi -kutazama picha na kusoma sentensi zilizo chini ya picha hizo -kutambua viwakilishi vya idadi kwenye sentensi hizo -kutaja mifano mingine ya viwakilishi vya idadi |
Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
|
Mentor kiswahili
i uk. 74-77 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Picha za vitu mbalimbali -Michoro -Chati |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kujaza fumbo maneno
|
|
| 10 | 3 |
Sarufi
|
Uakifishi: Alama ya Hisi, Ritifaa na Koloni
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi -kutumia alama ya hisi, ritifaa na koloni ifaavyo katika maaandishi -kufurahia matumizi ya alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutazama alama ya hisi na kujadili jina na matumizi yake -kusoma sentensi zenye alama ya hisi na kupigia mstari alama hizo -kujadili jinsi alama ya hisi imetumiwa katika sentensi -kutunga sentensi tano akitumia alama ya hisi -kutazama alama ya ritifaa na kujadili jina na matumizi yake -kusoma sentensi zenye alama ya ritifaa na kupigia mstari alama hizo -kutazama alama ya koloni na kujadili jina na matumizi yake -kusoma mazungumzo yenye alama ya koloni na kupigia mstari alama hizo |
- Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
-Ni alama gani za uakifishi unazoweza kuzitumia kwa usahihi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 78-83 -Tarakilishi -Kapu la maneno -Mti wa maneno -Kadi za maneno -Picha za vitu mbalimbali |
- Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Mijadala
|
|
| 10 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika kwa Tarakilishi: Ishara na Maandishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi -kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi -ufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika |
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika kwa ubunifu kwenye tarakilishi kifungu cha aya moja ya maneno yasiyopungua 50 kuhusu mahusiano kati ya watu katika jamii -kutumia kipanya kuchagua sehemu ya maandishi anayolenga kutofautisha -kutumia kipanya kuteua ishara anayotaka kutumia kutofautisha maandishi kama vile ishara ya chapa koza, italiki na kupigia mistari -kuonyesha ujuzi wa kidijitali kwa kuwatumia wenzake kifungu alichoandika mtandaoni ili wamtolee maoni |
Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 61-64 -Tarakilishi/vipakatalishi -Projekta |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
MISIMU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Heshima, Adabu na Vyeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano -Kutumia maneno ya heshima kwa usahihi katika mawasiliano -Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua maneno ya heshima (k.v. shehe, kasisi, padre, mwadhini, mheshimiwa, rais, mtaw kwenye ubao, mti maneno, tarakilishi au kapu maneno -Kueleza maana ya maneno lengwa kama yanavyotumiwa katika mahusiano ya kila siku kati ya watu -Kutunga sentensi kwa kutumia maneno lengwa kwa usahihi -Kutazama maigizo ya watu wakitumia maneno ya heshima kwenye tarakilishi na video -Kuigiza mazungumzo mafupi akiwa na wenzake huku akitumia msamiati wa heshima |
Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
|
Mentor kiswahili
i uk. 84 -Vifaa vya kidijitali -Vikapu vya maneno -Miti ya maneno |
Umakinikaji
-Maswali ya mdomo
-Maigizo
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Ngeli ya YA-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutambua hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali anaposoma -Kusakura matini kwenye tovuti salama ipasavyo -Kuonea fahari kutumia vifaa vya kidijitali kwa usalama |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili na wenzake kuhusu hatua za kiusalama na maadili anayofaa kuzingatia anapotafuta na kusoma matini ya kidijitali -Kujadili na wenzake kuhusu utunzaji wa vifaa vya kidijitali anavyotumia katika usomaji -Kuzingatia hatua za kiusalama katika kutumia vifaa vya kidijitali -Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga faili |
Kusoma matini za kidijitali kuna manufaa gani?
|
Mentor kiswahili
i uk. 88 -Tarakilishi -Mtandao -Faili mbalimbali i uk. 94 -Picha za vitu vya ngeli ya YA-YA -Majedwali ya viambishi |
Umakinikaji
-Maswali ya mdomo
-Maswali ya maandishi
-Kazi ya vikundi
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutambua nomino katika ngeli ya YA-YA -Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya YA-YA -Kufurahia matumizi ya nomino za ngeli ya YA-YA katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika nomino katika ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake -Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino za ngeli ya YA-YA kwa kushirikiana na wenzake |
Nomino zipi hupatikana katika ngeli ya YA-YA?
|
Mentor kiswahili
i uk. 96 -Mti wa maneno -Picha za nomino za ngeli ya YA-YA -Kadi za maneno |
Maswali ya maandishi
-Zoezi la kuandika sentensi
-Kazi ya vikundi
-Orodha hakiki
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutambua vipengele vya barua rasmi -Kutofautisha barua rasmi na aina nyingine za barua -Kuonea fahari uandishi wa barua rasmi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua barua rasmi kwenye kielelezo cha barua rasmi iliyochapishwa au kwenye tarakilishi -Kujadili vipengele vya barua rasmi (k.v. anwani ya mwandishi [jina, sanduku la posta, tarehe], anwani ya mpokeaji [cheo, sanduku la posta], mtajo, mada ya barua, mwili, hitimisho, sahihi na jina la mwandishi) |
Barua rasmi ni barua ya aina gani?
|
Mentor kiswahili
i uk. 91 -Kielelezo cha barua rasmi -Karatasi -Vifaa vya kuandikia |
Kuandika barua rasmi
-Maswali ya mdomo
-Orodha hakiki
|
|
| 12 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Heshima, Adabu na Vyeo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutambua vyeo mbalimbali vinavyotumika katika jamii -Kuonyesha uelewa wa maneno ya heshima kwa kutumia vyeo ipasavyo -Kuchangamkia matumizi ya maneno ya adabu katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza umuhimu wa kutumia maneno ya heshima katika jamii -Kutambua vyeo mbalimbali vya watu katika jamii -Kushiriki katika mijadala kuhusu vyeo na maneno ya heshima -Kutunga sentensi sahihi akitumia maneno ya heshima -Kuigiza mawasiliano akitumia maneno ya heshima yanayofaa kulingana na watu mbalimbali |
Kutumia maneno ya heshima kuna umuhimu gani katika jamii?
|
Mentor kiswahili
i uk. 85 -Chati zenye vyeo mbalimbali -Picha za viongozi mbalimbali |
Maigizo
-Maswali ya mdomo
-Kazi ya vikundi
-Orodha hakiki
|
|
| 12 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Mapana
Ngeli ya YA-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango chake -Kutumia vifaa vya kidijitali kwa ufanisi kupata habari -Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kuboresha maarifa |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao -Kusoma matini yanayojumuisha msamiati wa misimu kwa kutumia vifaa vya kidijitali -Kutafuta maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni -Kusikiliza matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana |
Ni hatua zipi za kiusalama zinazofaa kuzingatiwa unapotumia vifaa vya kidijitali katika usomaji?
|
Mentor kiswahili
i uk. 90 -Tarakilishi -Mtandao -Kamusi mtandaoni i uk. 97 -Picha za vitu vya ngeli ya YA-YA -Kadi za ngeli ya YA-YA |
Umakinikaji
-Kazi ya vikundi
-Kazi mradi
-Maswali ya maandishi
|
|
| 12 | 3 |
Sarufi
|
Ngeli ya YA-YA
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kutunga sentensi sahihi akitumia nomino za ngeli ya YA-YA -Kutumia upatanisho wa kisarufi kwa usahihi -Kuthamini matumizi sahihi ya nomino za ngeli ya YA-YA |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kupigia mstari nomino za ngeli ya YA-YA kwenye sentensi -Kuandika nomino za ngeli ya YA-YA katika umoja na wingi -Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya YA-YA -Kuwasilisha sentensi alizozitunga darasani ili wanafunzi wenzake wazitolee maoni |
Unaweza kupata mifano mingine ya nomino za ngeli ya YA-YA?
|
Mentor kiswahili
i uk. 98 -Jedwali la nomino za YA-YA -Picha za vitu vya ngeli ya YA-YA -Tarakilishi |
Maswali ya maandishi
-Zoezi la kutunga sentensi
-Kazi ya vikundi
-Kazi mradi
|
|
| 12 | 4 |
Kuandika
|
Barua Rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwishoni mwa somo, -Kuandika barua rasmi ikizingatia vipengele vyake -Kutumia lugha rasmi katika barua -Kuchangamkia umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika barua rasmi kwa mwalimu akiomba kujiunga na klabu shuleni (k.v. vile skauti, mazingira, kilimo na muziki), akishirikiana na wenzake darasani, kwa hati za mkono au kwa kutumia kifaa cha kidijitali akizingatia muundo wa uandishi wa barua rasmi -Kuandika barua rasmi katika daftari akiwa peke yake -Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua rasmi katika mawasiliano |
Unazingatia nini unapoandika barua rasmi?
|
Mentor kiswahili
i uk. 92 -Kielelezo cha barua rasmi -Karatasi -Vifaa vya kuandikia |
Kuandika barua rasmi
-Maswali ya mdomo
-Orodha hakiki
|
Your Name Comes Here