Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
2 1-2
SURA YA 1

Kusikiliza na Kuzungumza
Ufahamu
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Sifa za fasihi simulizi
Barua ya kirafiki - Kusoma na kuelewa
Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi - Nomino na vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua fasihi simulizi
-Kueleza sifa za fasihi simulizi
-Kutambua vipengele vya utendaji
-Kuchambua ushiriki wa hadhira

-Kufafanua ngeli za nomino
-Kueleza upatanisho kati ya nomino na vitenzi
-Kujifunza mifumo ya upatanisho katika umoja na wingi
-Kutumia kanuni za upatanisho wa kisarufi

-Maswali na majibu kuhusu ujuzi wa awali wa fasihi simulizi
-Maonyesho ya utendaji wa fasihi simulizi (ngano/vitendawili)
-Mjadala kuhusu wahusika na fomula za fasihi simulizi
-Uchambuzi wa umiliki wa kijamii dhidi ya kibinafsi
-Mazoezi ya fomula: "Kitendawili! Tega!"

-Maelezo ya kisarufi ya ngeli za nomino (A-/WA-, KI-/VI-, n.k.)
-Mazoezi ya upatanisho wa nomino na vitenzi
-Mifano ya mibadiliko kutoka umoja hadi wingi
-Mazoezi ya kubadilisha sentensi
-Mazoezi ya kusahihisha makosa ya kisarufi
-Hadithi za jadi
-Kumbukumbu za sauti za fasihi simulizi
-Chati za sifa za fasihi simulizi
-Vitendawili vya jadi
-Nafasi ya maonyesho
-Maandishi ya barua ya mfano
-Karatasi za maswali ya ufahamu
-Kamusi za Kiswahili
-Jedwali la uchambuzi wa lugha

-Chati za ngeli za nomino
-Jedwali la viambishi vya upatanisho
-Karatasi za mazoezi ya kisarufi
-Sentensi za mfano
-Vielelezo vya ngeli
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 1-2
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 3-5
2 3
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Upatanisho wa nomino na vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza vivumishi vya sifa, vionyeshi, viulizi na vimilikishi
-Kutumia upatanisho sahihi wa vivumishi
-Kujifunza mifumo ya upatanisho katika ngeli mbalimbali
-Kutumia vivumishi katika mazungumzo

-Maonyesho ya vivumishi vya sifa (-zuri, -refu, -eupe)
-Mazoezi ya vivumishi vionyeshi (huyu, yule, n.k.)
-Shughuli za kuunda maswali kwa viulizi (-pi, -ngapi, gani)
-Mazoezi ya vivumishi vimilikishi (-angu, -ako, -ake)
-Kukamilisha jedwali za upatanisho

-Vitu vya darasani vya kuonyesha
-Chati za vivumishi
-Jedwali za upatanisho
-Karatasi za mazoezi
-Vifaa vya wanafunzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 5-8
2 4
Kusoma kwa Mapana na Kuandika
Fasihi Andishi
Kusoma kwa mapana na barua ya kirafiki
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza umuhimu wa kusoma kwa mapana
-Kujifunza mikakati ya kusoma
-Kutambua sehemu za barua ya kirafiki
-Kuandika barua ya kirafiki kwa muundo sahihi

-Mjadala kuhusu faida za kusoma kwa mapana
-Mazoezi ya kusoma haraka vyanzo mbalimbali
-Uchambuzi wa muundo wa barua ya kirafiki
-Mazoezi ya kuandika barua ya kirafiki
-Hariri ya barua zilizoandikwa na wanafunzi
-Magazeti na vitabu mbalimbali
-Saa ya kupima kasi ya kusoma
-Mifano ya barua za kirafiki
-Karatasi za kuandikia
-Chati za muundo wa barua
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 8-9
2 5
SURA YA 2

Kusikiliza na Kuzungumza
Tofauti na mfanano wa fasihi andishi na fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutofautisha fasihi andishi na fasihi simulizi
-Kulinganisha sifa za matawi haya ya fasihi
-Kuchambua utungaji, muktadha na uwasilishaji
-Kufahamu umiliki na uhifadhi wa fasihi

-Mjadala kuhusu utungaji wa fasihi andishi na simulizi
-Jedwali la kulinganisha sifa za fasihi andishi na simulizi
-Mazoezi ya kutambua aina za fasihi
-Uchambuzi wa mfanano na tofauti
-Kutoa mifano ya kila aina ya fasihi

-Chati za kulinganisha
-Mifano ya fasihi andishi
-Mifano ya fasihi simulizi
-Jedwali za tofauti
-Vielelezo vya fasihi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 10-11
2 6
Ufahamu
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Kutegea kazi - Shairi la kisasa
Upatanisho wa kisarufi - Vivumishi visisitizi na vya pekee
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa shairi la kisasa
-Kutambua muundo wa shairi
-Kuchambua maudhui ya shairi
-Kujibu maswali ya ufahamu

-Kusoma shairi "Kutegea kazi" kwa makini
-Maswali ya ufahamu kuhusu maudhui
-Uchambuzi wa wahusika na mazingira
-Mjadala kuhusu changamoto za ajira
-Kueleza methali zilizotumika
-Nakala za shairi
-Maswali ya ufahamu
-Kamusi za Kiswahili
-Chati za uchambuzi
-Vielelezo vya maudhui
-Chati za vivumishi
-Jedwali za upatanisho
-Karatasi za mazoezi
-Mifano ya sentensi
-Vielelezo vya kisarufi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 11-13
3 1-2
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Tanzu za fasihi andishi
Barua rasmi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua tanzu za fasihi andishi
-Kufahamu sifa za ushairi, hadithi na tamthilia
-Kutofautisha riwaya na hadithi fupi
-Kuchambua muundo wa kila utanzu

-Kufahamu muundo wa barua rasmi
-Kutambua sehemu za barua rasmi
-Kuandika barua rasmi kwa muundo sahihi
-Kutumia lugha rasmi ipasavyo

-Maelezo ya tanzu za fasihi andishi
-Uchambuzi wa sifa za ushairi (arudhi na huru)
-Kulinganisha riwaya na hadithi fupi
-Utambuzi wa sifa za tamthilia
-Mazoezi ya kutambua tanzu mbalimbali

-Uchambuzi wa mfano wa barua rasmi
-Kutambua anwani, marejeleo na vyeo
-Mazoezi ya kuandika barua za aina mbalimbali
-Hariri ya barua zilizoandikwa
-Maelezo ya matumizi ya lugha rasmi

-Mifano ya mashairi
-Hadithi fupi
-Vipande vya tamthilia
-Chati za tanzu
-Jedwali za sifa

-Mifano ya barua rasmi
-Chati za muundo
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya sehemu
-Jedwali za vyeo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 17-19
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 19-21
3 3
Fasihi Andishi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
3 4
SURA YA 3

Kusikiliza na Kuzungumza
Isimujamii: Lugha ya itifaki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza lugha ya itifaki
-Kutambua mazingira ya matumizi
-Kufahamu sifa za lugha ya itifaki
-Kutumia lugha ya itifaki ipasavyo

-Maelezo ya lugha ya itifaki
-Mifano ya mazingira ya matumizi
-Mchezo wa kigiza wa mazungumzo ya kiubalozi
-Uchambuzi wa sifa za lugha ya itifaki
-Mazoezi ya kuandika taarifa za kiubalozi

-Vielelezo vya mazungumzo
-Chati za sifa
-Mifano ya lugha ya itifaki
-Video za mikutano ya kimataifa
-Jedwali za istilahi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 21-22
3 5
Kusikiliza na Kuzungumza
Isimujamii: Lugha ya itifaki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza lugha ya itifaki
-Kutambua mazingira ya matumizi
-Kufahamu sifa za lugha ya itifaki
-Kutumia lugha ya itifaki ipasavyo

-Maelezo ya lugha ya itifaki
-Mifano ya mazingira ya matumizi
-Mchezo wa kigiza wa mazungumzo ya kiubalozi
-Uchambuzi wa sifa za lugha ya itifaki
-Mazoezi ya kuandika taarifa za kiubalozi

-Vielelezo vya mazungumzo
-Chati za sifa
-Mifano ya lugha ya itifaki
-Video za mikutano ya kimataifa
-Jedwali za istilahi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 21-22
3 6
Ufupisho
Sarufi ya lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maana ya sarufi
-Kutambua tanzu za sarufi
-Kueleza dhima ya sarufi
-Kufupisha taarifa kwa usahihi

-Kusoma taarifa kuhusu sarufi ya lugha
-Kutambua tanzu tano za sarufi
-Mazoezi ya kufupisha kila tanzu
-Mjadala kuhusu umuhimu wa sarufi
-Kuandika ufupisho mfupi

-Taarifa ya msingi
-Chati za tanzu za sarufi
-Karatasi za mazoezi
-Jedwali za ufupisho
-Vielelezo vya dhima
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 22-23
4 1-2
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Kusoma kwa Kina
Aina za maneno: Nomino
Maudhui katika fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua aina za nomino
-Kutofautisha nomino za jamii, pekee na kawaida
-Kufahamu nomino dhahania na za wingi
-Kutumia nomino ipasavyo katika sentensi

-Kufahamu maudhui ya fasihi
-Kutambua vipengele vya maudhui
-Kuchambua dhamira, ujumbe na falsafa
-Kufahamu migogoro na muktadha

-Maelezo ya aina za nomino
-Mifano ya nomino za jamii na pekee
-Kutofautisha nomino dhahania na halisi
-Mazoezi ya kutambua aina za nomino
-Kutunga sentensi kwa nomino mbalimbali

-Uchambuzi wa vipengele vya maudhui
-Kutambua dhamira katika kazi za fasihi
-Mjadala kuhusu ujumbe na falsafa
-Utambuzi wa migogoro katika fasihi
-Mazoezi ya uchambuzi wa maudhui

-Chati za aina za nomino
-Mifano ya nomino
-Jedwali za utofautisho
-Karatasi za mazoezi
-Vielelezo vya nomino

-Vipande vya fasihi
-Chati za maudhui
-Jedwali za vipengele
-Karatasi za uchambuzi
-Vielelezo vya dhamira
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 23-25
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 25-27
4 3
Kusoma kwa Kina
Maudhui katika fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maudhui ya fasihi
-Kutambua vipengele vya maudhui
-Kuchambua dhamira, ujumbe na falsafa
-Kufahamu migogoro na muktadha

-Uchambuzi wa vipengele vya maudhui
-Kutambua dhamira katika kazi za fasihi
-Mjadala kuhusu ujumbe na falsafa
-Utambuzi wa migogoro katika fasihi
-Mazoezi ya uchambuzi wa maudhui

-Vipande vya fasihi
-Chati za maudhui
-Jedwali za vipengele
-Karatasi za uchambuzi
-Vielelezo vya dhamira
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 25-27
4 4
Kuandika
Tahakiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maana ya tahakiki
-Kujifunza hatua za uhakiki
-Kutambua vipengele vya kuhakiki
-Kuandika tahakiki ya kina

-Maelezo ya tahakiki na umuhimu wake
-Hatua za kuhakiki kazi ya fasihi
-Uchambuzi wa fani na maudhui
-Mazoezi ya kuandika tahakiki fupi
-Hariri ya tahakiki zilizoandikwa

-Mifano ya tahakiki
-Chati za hatua
-Vipande vya fasihi
-Karatasi za kuandikia
-Jedwali za vipengele
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 27-29
4 5
Fasihi Andishi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
4 6
SURA YA 4

Kusikiliza na Kuzungumza
Methali na misemo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua methali na umuhimu wake
-Kutambua sifa za methali
-Kufahamu misemo na aina zake
-Kutumia methali na misemo ipasavyo

-Mjadala kuhusu umuhimu wa methali
-Mkusanyiko wa methali za jadi
-Uchambuzi wa sifa za methali
-Utambuzi wa aina za misemo (nahau)
-Mazoezi ya kutumia methali na misemo

-Mkusanyo wa methali
-Chati za sifa
-Mifano ya misemo
-Jedwali za umuhimu
-Vielelezo vya matumizi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 30-34
5 1-2
Ufahamu
Mfinyanzi hulia gaeni
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa taarifa
-Kuchambua methali katika muktadha
-Kufahamu maisha ya wafanyakazi
-Kutoa maoni kuhusu changamoto za ajira

-Kusoma taarifa "Mfinyanzi hulia gaeni"
-Uchambuzi wa methali na maana zake
-Mjadala kuhusu hali ya wafanyakazi
-Kujibu maswali ya ufahamu
-Kutoa mchango wa maoni

-Nakala za taarifa
-Maswali ya ufahamu
-Chati za uchambuzi
-Picha za wafanyakazi
-Jedwali za changamoto
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 34-36
5 3
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Aina za maneno: Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu viwakilishi vya nafsi
-Kutambua viwakilishi vionyeshi na viulizi
-Kutumia viwakilishi vimilikishi
-Kufahamu viwakilishi vya pekee na idadi

-Maelezo ya viwakilishi vya nafsi (huru na ambata)
-Mazoezi ya viwakilishi vionyeshi
-Utambuzi wa viwakilishi viulizi (-pi, -ngapi, gani)
-Matumizi ya viwakilishi vimilikishi
-Mazoezi ya viwakilishi vya pekee

-Chati za viwakilishi
-Jedwali za upatanisho
-Karatasi za mazoezi
-Mifano ya sentensi
-Vielelezo vya ngeli
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 36-42
5 4
Kusoma kwa Kina
Mashairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu muundo wa shairi huru
-Kuchambua mtindo katika shairi huru
-Kutambua wahusika katika ushairi
-Kulinganisha na mashairi ya arudhi

-Uchambuzi wa muundo wa shairi "Wasia"
-Kutambua sifa za mashairi huru
-Mjadala kuhusu mtindo wa lugha
-Utambuzi wa tamathali za usemi
-Kulinganisha na mashairi ya kimapokeo

-Shairi la "Wasia"
-Chati za muundo
-Jedwali za sifa
-Vielelezo vya mtindo
-Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 42-45
5 5
Kuandika
Insha ya methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu muundo wa insha ya methali
-Kujifunza jinsi ya kudhihirisha ukweli wa methali
-Kuandika kisa kinachobainisha methali
-Kutoa mafunzo kutokana na methali

-Maelezo ya muundo wa insha ya methali
-Uchambuzi wa maana ya nje na ndani ya methali
-Mazoezi ya kuandika makala fupi
-Kutunga visa vinavyobainisha methali
-Hariri ya insha zilizoandikwa

-Mifano ya insha za methali
-Chati za muundo
-Mkusanyo wa methali
-Karatasi za kuandikia
-Jedwali za mafunzo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 45-46
5 6
Kuandika
Insha ya methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu muundo wa insha ya methali
-Kujifunza jinsi ya kudhihirisha ukweli wa methali
-Kuandika kisa kinachobainisha methali
-Kutoa mafunzo kutokana na methali

-Maelezo ya muundo wa insha ya methali
-Uchambuzi wa maana ya nje na ndani ya methali
-Mazoezi ya kuandika makala fupi
-Kutunga visa vinavyobainisha methali
-Hariri ya insha zilizoandikwa

-Mifano ya insha za methali
-Chati za muundo
-Mkusanyo wa methali
-Karatasi za kuandikia
-Jedwali za mafunzo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 45-46
6 1-2
Fasihi Andishi
SURA YA 5

Kusikiliza na Kuzungumza
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Isimujamii: Sajili ya bunge
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu

-Kufahamu lugha ya bunge
-Kutambua sifa za sajili ya bunge
-Kuelewa kanuni za lugha bungeni
-Kutumia lugha ya bunge ipasavyo
Kuchambua
Kusoma kwa zamu

-Maelezo ya sajili ya bunge
-Mchezo wa kigiza wa mazungumzo ya bunge
-Uchambuzi wa sifa za lugha ya bunge
-Mjadala kuhusu adabu za bunge
-Mazoezi ya kutumia istilahi za bunge
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu

-Video za bunge
-Chati za sifa
-Mifano ya mazungumzo
-Jedwali za istilahi
-Vielelezo vya utaratibu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 47-48
6 3
Ufahamu
Mazungumzo ya bunge
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma mazungumzo ya bunge
-Kufahamu shughuli za bunge
-Kuchambua maswali na majibu
-Kutambua kanuni za utaratibu

-Kusoma mazungumzo ya bunge kuhusu ajali
-Uchambuzi wa majukumu ya Spika
-Kutambua aina za hoja na maswali
-Mjadala kuhusu nidhamu bungeni
-Kujibu maswali ya ufahamu

-Nakala za mazungumzo
-Maswali ya ufahamu
-Chati za utaratibu
-Jedwali za majukumu
-Vielelezo vya bunge
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 48-51
6 4
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Aina za maneno: Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maana ya vivumishi
-Kutambua aina za vivumishi
-Kutumia vivumishi vimilikishi na vya sifa
-Kufahamu vivumishi viulizi

-Maelezo ya vivumishi na dhima zake
-Uchambuzi wa vivumishi vimilikishi
-Mazoezi ya vivumishi vya sifa
-Matumizi ya vivumishi viulizi (gani, -pi, -ngapi)
-Kukamilisha jedwali za upatanisho

-Chati za vivumishi
-Jedwali za upatanisho
-Karatasi za mazoezi
-Mifano ya sentensi
-Vielelezo vya ngeli
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 51-54
6 5
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Aina za maneno: Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maana ya vivumishi
-Kutambua aina za vivumishi
-Kutumia vivumishi vimilikishi na vya sifa
-Kufahamu vivumishi viulizi

-Maelezo ya vivumishi na dhima zake
-Uchambuzi wa vivumishi vimilikishi
-Mazoezi ya vivumishi vya sifa
-Matumizi ya vivumishi viulizi (gani, -pi, -ngapi)
-Kukamilisha jedwali za upatanisho

-Chati za vivumishi
-Jedwali za upatanisho
-Karatasi za mazoezi
-Mifano ya sentensi
-Vielelezo vya ngeli
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 51-54
6 6
Kusoma kwa Kina
Muundo na mtindo katika mashairi ya arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu muundo wa shairi la arudhi
-Kuchambua vipengele vya muundo
-Kufahamu mizani, vina na vituo
-Kutambua kibwagizo na vipande

-Uchambuzi wa vipengele vya muundo
-Kutambua mistari, beti na vipande
-Mazoezi ya kupima mizani na vina
-Utambuzi wa ukwapi, utao na mwandamizi
-Mjadala kuhusu mtindo wa arudhi

-Mifano ya mashairi ya arudhi
-Chati za muundo
-Jedwali za mizani
-Vielelezo vya vina
-Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 54-56
7 1
Kuandika
Utungaji wa kisanii - Mashairi ya arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujifunza kutunga mashairi ya arudhi
-Kutumia vina na mizani sahihi
-Kuandika beti zenye utoshelevu
-Kutumia lugha ya kishairi

-Maelezo ya hatua za utungaji
-Mazoezi ya kutunga beti fupi
-Kutumia vina na mizani ipasavyo
-Utungaji wa mashairi kuhusu mada mbalimbali
-Hariri ya mashairi yaliyotungwa

-Mifano ya mashairi
-Chati za vina
-Jedwali za mizani
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya utungaji
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 56
7 1-2
Kuandika
Fasihi Andishi
Utungaji wa kisanii - Mashairi ya arudhi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujifunza kutunga mashairi ya arudhi
-Kutumia vina na mizani sahihi
-Kuandika beti zenye utoshelevu
-Kutumia lugha ya kishairi
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu

-Maelezo ya hatua za utungaji
-Mazoezi ya kutunga beti fupi
-Kutumia vina na mizani ipasavyo
-Utungaji wa mashairi kuhusu mada mbalimbali
-Hariri ya mashairi yaliyotungwa
Kuchambua
Kusoma kwa zamu

-Mifano ya mashairi
-Chati za vina
-Jedwali za mizani
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya utungaji
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 56
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
7 3
SURA YA 6

Kusikiliza na Kuzungumza
Fasihi simulizi: Mafumbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maana ya mafumbo
-Kutambua aina za mafumbo
-Kueleza umuhimu wa mafumbo
-Kutumia mafumbo katika mazungumzo

-Maelezo ya mafumbo na sifa zake
-Mkusanyiko wa mafumbo ya jadi
-Shindano la kufumbua mafumbo
-Mjadala kuhusu umuhimu wa mafumbo
-Kutunga mafumbo mapya

-Mkusanyo wa mafumbo
-Chati za sifa
-Vielelezo vya umuhimu
-Jedwali za aina
-Karatasi za mazoezi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 57-62
7 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Fasihi simulizi: Mafumbo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu maana ya mafumbo
-Kutambua aina za mafumbo
-Kueleza umuhimu wa mafumbo
-Kutumia mafumbo katika mazungumzo

-Maelezo ya mafumbo na sifa zake
-Mkusanyiko wa mafumbo ya jadi
-Shindano la kufumbua mafumbo
-Mjadala kuhusu umuhimu wa mafumbo
-Kutunga mafumbo mapya

-Mkusanyo wa mafumbo
-Chati za sifa
-Vielelezo vya umuhimu
-Jedwali za aina
-Karatasi za mazoezi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 57-62
7 5
Ufahamu
Unene wa kuhatarisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa taarifa ya kiafya
-Kufahamu sababu za unene kupindukia
-Kuchambua madhara ya unene
-Kutoa mapendekezo ya kukabiliana na tatizo

-Kusoma taarifa kuhusu unene wa kuhatarisha
-Uchambuzi wa sababu za unene
-Mjadala kuhusu madhara ya kiafya
-Kutoa mapendekezo ya utatuzi
-Kujibu maswali ya ufahamu

-Nakala za taarifa
-Maswali ya ufahamu
-Chati za sababu
-Picha za kiafya
-Jedwali za mapendekezo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 62-64
7 6
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Vitenzi: Aina za vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua aina za vitenzi
-Kutofautisha vitenzi halisi, vikuu na visaidizi
-Kufahamu vitenzi sambamba na vishirikishi
-Kutumia vitenzi ipasavyo

-Maelezo ya aina za vitenzi
-Mifano ya vitenzi halisi na vikuu
-Utofautisho wa vitenzi visaidizi
-Mazoezi ya vitenzi sambamba
-Kutambua vitenzi vishirikishi

-Chati za aina za vitenzi
-Jedwali za tofauti
-Karatasi za mazoezi
-Mifano ya sentensi
-Vielelezo vya matumizi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 64-68
8-9

MIDTERM

9 2
Kusoma kwa Kina
Mashairi huru: Chimbuko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu historia ya mashairi huru
-Kueleza sababu za kuchipuka
-Kuchambua pingamizi za wanajadi
-Kutathmini mchango wa mashairi huru

-Uchambuzi wa historia ya mashairi huru
-Mjadala kuhusu sababu za mabadiliko
-Kutambua pingamizi za wanamapokeo
-Kulinganisha mashairi ya zamani na sasa
-Mazoezi ya kutambua mashairi huru

-Mifano ya mashairi
-Chati za historia
-Jedwali za sababu
-Vielelezo vya mabadiliko
-Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 68-69
9 3
Kusoma kwa Kina
Mashairi huru: Chimbuko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu historia ya mashairi huru
-Kueleza sababu za kuchipuka
-Kuchambua pingamizi za wanajadi
-Kutathmini mchango wa mashairi huru

-Uchambuzi wa historia ya mashairi huru
-Mjadala kuhusu sababu za mabadiliko
-Kutambua pingamizi za wanamapokeo
-Kulinganisha mashairi ya zamani na sasa
-Mazoezi ya kutambua mashairi huru

-Mifano ya mashairi
-Chati za historia
-Jedwali za sababu
-Vielelezo vya mabadiliko
-Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 68-69
9 4
Kuandika
Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujifunza kutunga mashairi huru
-Kutumia lugha ya kishairi
-Kuandika mashairi bila vikwazo vya arudhi
-Kutumia tamathali za usemi

-Hatua za kutunga mashairi huru
-Mazoezi ya kutumia lugha ya mkato
-Kujenga taswira na picha za kiakili
-Utungaji wa mashairi kuhusu mada mbalimbali
-Hariri ya mashairi yaliyotungwa

-Mifano ya mashairi huru
-Chati za hatua
-Jedwali za tamathali
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya mtindo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 69-70
9 5
Kusoma kwa Kina
Mashairi huru: Chimbuko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu historia ya mashairi huru
-Kueleza sababu za kuchipuka
-Kuchambua pingamizi za wanajadi
-Kutathmini mchango wa mashairi huru

-Uchambuzi wa historia ya mashairi huru
-Mjadala kuhusu sababu za mabadiliko
-Kutambua pingamizi za wanamapokeo
-Kulinganisha mashairi ya zamani na sasa
-Mazoezi ya kutambua mashairi huru

-Mifano ya mashairi
-Chati za historia
-Jedwali za sababu
-Vielelezo vya mabadiliko
-Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 68-69
9 6
Kusoma kwa Kina
Mashairi huru: Chimbuko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu historia ya mashairi huru
-Kueleza sababu za kuchipuka
-Kuchambua pingamizi za wanajadi
-Kutathmini mchango wa mashairi huru

-Uchambuzi wa historia ya mashairi huru
-Mjadala kuhusu sababu za mabadiliko
-Kutambua pingamizi za wanamapokeo
-Kulinganisha mashairi ya zamani na sasa
-Mazoezi ya kutambua mashairi huru

-Mifano ya mashairi
-Chati za historia
-Jedwali za sababu
-Vielelezo vya mabadiliko
-Karatasi za uchambuzi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 68-69
10 1-2
Kuandika
Fasihi Andishi
Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kujifunza kutunga mashairi huru
-Kutumia lugha ya kishairi
-Kuandika mashairi bila vikwazo vya arudhi
-Kutumia tamathali za usemi
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu

-Hatua za kutunga mashairi huru
-Mazoezi ya kutumia lugha ya mkato
-Kujenga taswira na picha za kiakili
-Utungaji wa mashairi kuhusu mada mbalimbali
-Hariri ya mashairi yaliyotungwa
Kuchambua
Kusoma kwa zamu

-Mifano ya mashairi huru
-Chati za hatua
-Jedwali za tamathali
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya mtindo
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 69-70
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
10 3
SURA YA 7

Kusikiliza na Kuzungumza
Mahojiano: Jopo la waajiri
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu mahojiano ya jopo la waajiri
-Kutambua hatua za mahojiano
-Kueleza sifa za mahojiano rasmi
-Kutumia lugha ya mahojiano ipasavyo

-Maelezo ya mahojiano na jopo la waajiri
-Mchezo wa kigiza wa mahojiano
-Uchambuzi wa hatua za mahojiano
-Mjadala kuhusu tabia za mhojiwa
-Mazoezi ya majibu ya maswali mbalimbali

-Mfano wa mahojiano
-Video za mahojiano
-Chati za hatua
-Jedwali za sifa
-Vielelezo vya tabia
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 71-74
10 4
Ufupisho
Heshima kwa wakuu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa taarifa kuhusu heshima
-Kufupisha kwa usahihi
-Kutambua vitambulisho vya ukubwa
-Kulinganisha vijana wa sasa na wa kale

-Kusoma taarifa "Heshima kwa wakuu"
-Kufupisha vitambulisho vya ukubwa (maneno 50)
-Uchambuzi wa tofauti za vijana wa sasa na kale
-Mjadala kuhusu umuhimu wa heshima
-Mazoezi ya kufupisha vifungu mbalimbali

-Nakala za taarifa
-Chati za ufupisho
-Jedwali za vitambulisho
-Karatasi za mazoezi
-Vielelezo vya heshima
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 74-76
10 5
Ufupisho
Heshima kwa wakuu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa taarifa kuhusu heshima
-Kufupisha kwa usahihi
-Kutambua vitambulisho vya ukubwa
-Kulinganisha vijana wa sasa na wa kale

-Kusoma taarifa "Heshima kwa wakuu"
-Kufupisha vitambulisho vya ukubwa (maneno 50)
-Uchambuzi wa tofauti za vijana wa sasa na kale
-Mjadala kuhusu umuhimu wa heshima
-Mazoezi ya kufupisha vifungu mbalimbali

-Nakala za taarifa
-Chati za ufupisho
-Jedwali za vitambulisho
-Karatasi za mazoezi
-Vielelezo vya heshima
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 74-76
10 6
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Vitenzi: Mzizi na viambishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu mzizi wa kitenzi
-Kutambua viambishi awali na tamati
-Kuchambua dhima za viambishi
-Kutumia viambishi ipasavyo

-Maelezo ya mzizi wa kitenzi
-Kutambua viambishi awali (nafsi, wakati, ngeli)
-Uchambuzi wa viambishi tamati (kiishio, mahali)
-Mazoezi ya kutenganisha mzizi na viambishi
-Kutambua kauli za mnyambuliko

-Chati za viambishi
-Jedwali za nafsi
-Karatasi za mazoezi
-Mifano ya vitenzi
-Vielelezo vya mzizi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 76-79
11 1-2
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Tamathali za usemi I
Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu tamathali za usemi
-Kutambua sifa za tamathali
-Kueleza umuhimu wa tamathali
-Kuchambua mbinu za lugha

-Kufahamu mtindo wa kuandika mahojiano
-Kutambua sifa za mahojiano yaliyoandikwa
-Kuandika mahojiano kwa muundo sahihi
-Kutumia mazungumzo ya halisi

-Maelezo ya tamathali za usemi na sifa zake
-Kutambua tashibihi na sitiari
-Uchambuzi wa jazanda na tashihisi
-Mazoezi ya kutambua tamathali mbalimbali
-Kutunga mifano ya tamathali za usemi

-Uchambuzi wa mtindo wa kuandika mahojiano
-Kutambua sifa za mahojiano yaliyoandikwa
-Mazoezi ya kuandika mahojiano fupi
-Kutunga mazungumzo baina ya mhojiwa na waajiri
-Hariri ya mahojiano yaliyoandikwa

-Mifano ya tamathali
-Chati za mbinu
-Jedwali za sifa
-Vipande vya fasihi
-Karatasi za uchambuzi

-Mifano ya mahojiano
-Chati za mtindo
-Jedwali za sifa
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya muundo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 79-83
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 83
11 3
Kuandika
Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufahamu mtindo wa kuandika mahojiano
-Kutambua sifa za mahojiano yaliyoandikwa
-Kuandika mahojiano kwa muundo sahihi
-Kutumia mazungumzo ya halisi

-Uchambuzi wa mtindo wa kuandika mahojiano
-Kutambua sifa za mahojiano yaliyoandikwa
-Mazoezi ya kuandika mahojiano fupi
-Kutunga mazungumzo baina ya mhojiwa na waajiri
-Hariri ya mahojiano yaliyoandikwa

-Mifano ya mahojiano
-Chati za mtindo
-Jedwali za sifa
-Karatasi za kuandikia
-Vielelezo vya muundo
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 83
11 4
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Soga na malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
-Maandishi ya mifano ya soga
-Jedwali la sifa za soga na utani
-Chati za faida za fasihi simulizi
-Ramani za jamii zinazotan​ana
-Vielelezo vya aina za fasihi simulizi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
11 5
SURA YA 8

Ufahamu
Kusoma na kuelewa hadithi ya "Utakuja Juta!"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa hadithi kwa usahihi
-Kuchambua wahusika na sifa zao
-Kueleza madhara ya ulevi na mafunzo ya hadithi

-Kusoma kimya hadithi ya "Utakuja Juta!"
-Maswali ya ufahamu yaliyoongozwa kuhusu maudhui
-Mjadala wa sifa za wahusika wa Subeti na Sabina
-Uchambuzi wa madhara ya pombe na ulevi
-Kujadili mafunzo na kueleza maana za maneno

-Maandishi ya hadithi ya "Utakuja Juta!"
-Karatasi za maswali ya ufahamu
-Jedwali la uchambuzi wa wahusika
-Kamusi za Kiswahili
-Chati za madhara ya ulevi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 86-89
11 6
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Kusoma kwa Kina
Mnyambuliko wa vitenzi I - Kauli za kutenda, kutendwa na kutendea
Tamathali za usemi II - Mbinu za sanaa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua mnyambuliko wa vitenzi
-Kueleza kauli za kutenda, kutendwa na kutendea
-Kuunda sentensi sahihi za kauli mbalimbali
-Kutumia kanuni za mnyambuliko wa vitenzi vya Kibantu

-Maelezo ya kisarufi ya mnyambuliko wa vitenzi
-Mifano ya kauli ya kutenda, kutendwa na kutendea
-Mazoezi ya kubadilisha vitenzi katika kauli mbalimbali
-Jedwali za viambishi vya kauli
-Mazoezi ya kutunga sentensi sahihi
-Chati za kauli za vitenzi
-Jedwali la viambishi vya upatanisho
-Karatasi za mazoezi ya kisarufi
-Sentensi za mfano
-Vielelezo vya mnyambuliko
-Vitabu vya fasihi andishi
-Jedwali la mbinu za sanaa
-Mifano kutoka kazi teule
-Chati za tamathali za usemi
-Orodha ya mbinu na maelezo yake
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 89-93
12 1-2
Kuandika
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza
Uandishi wa tahariri
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ufahamu wa kusikiliza
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua dhana ya tahariri na umuhimu wake
-Kueleza muundo wa tahariri
-Kutambua sifa za lugha ya tahariri
-Kuandika tahariri kwa mada maalumu
-Kutumia hoja za kutetea au kupinga suala
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu

-Maelezo ya maana na umuhimu wa tahariri
-Uchambuzi wa muundo wa tahariri
-Mjadala kuhusu lugha inayofaa katika tahariri
-Mifano ya tahariri kutoka magazeti
-Mazoezi ya kuandika tahariri kuhusu mada tofauti
Kuchambua
Kusoma kwa zamu

-Nakala za tahariri kutoka magazeti
-Chati za muundo wa tahariri
-Jedwali la hatua za kuandika tahariri
-Karatasi za kuandikia
-Kalamu na vifaa vya uandishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
-Vifaa vya kunasia sauti
-Maandishi ya taarifa fupi
-Karatasi za maswali ya kusikiliza
-Jedwali la mbinu za kusikiliza
-Chati za changamoto za kusikiliza
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 95
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
12 3
SURA YA 9

Ufahamu
Kusoma na kuelewa hadithi ya "Heri Subira"
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma na kuelewa hadithi kwa usahihi
-Kuchambua tabia za wahusika katika hadithi
-Kueleza mafunzo yanayojitokeza katika hadithi
-Kufafanua maana za maneno na misemo

-Kusoma kimya hadithi ya "Heri Subira"
-Maswali ya ufahamu yaliyoongozwa
-Mjadala wa sifa za Sabra na stahamala yake
-Uchambuzi wa sababu za kuondoka kwa Sabra
-Kujadili mafunzo kuhusu uvumilivu na mapenzi

-Maandishi ya hadithi ya "Heri Subira"
-Karatasi za maswali ya ufahamu
-Jedwali la uchambuzi wa wahusika
-Kamusi za Kiswahili
-Chati za mafunzo ya hadithi
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 97-98
12 4
Sarufi na Matumizi ya Lugha
Mnyambuliko wa vitenzi II - Vitenzi vya kigeni na silabi moja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi vya kigeni
-Kutambua vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
-Kuunda kauli mbalimbali za vitenzi hivi
-Kutumia kanuni za mnyambuliko wa vitenzi vya aina hizi

-Maelezo ya kisarufi ya vitenzi vya kigeni
-Mifano ya vitenzi vya silabi moja kama l-a, ch-a, f-a
-Mazoezi ya kubadilisha vitenzi katika kauli mbalimbali
-Jedwali za viambishi vya vitenzi vya kigeni
-Mazoezi ya kutunga sentensi sahihi

-Chati za vitenzi vya kigeni
-Jedwali la vitenzi vya silabi moja
-Karatasi za mazoezi ya kisarufi
-Sentensi za mfano
-Vielelezo vya mnyambuliko
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 98-102
12 5
Kusoma kwa Kina
Kuandika
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua dhana za muundo na mtindo
-Kutambua vipengele vya muundo wa kazi za fasihi
-Kuchambua mtindo wa kazi za fasihi andishi
-Kulinganisha muundo wa tanzu mbalimbali za fasihi

-Maelezo ya tofauti kati ya muundo na mtindo
-Uchambuzi wa vipengele vya muundo kama msuko na mgogoro
-Mjadala kuhusu mtindo wa mwandishi
-Mifano ya muundo wa riwaya, tamthilia na hadithi fupi
-Mazoezi ya kuchambua wahusika na mazingira
-Vitabu vya fasihi andishi
-Jedwali la vipengele vya muundo
-Chati za aina za msuko
-Mifano kutoka kazi teule
-Orodha ya vipengele vya mtindo
-Fomu za hojaji
-Vifaa vya kurekodi sauti
-Jedwali la njia za utafiti
-Mifano ya ripoti za utafiti
-Karatasi za kuandikia utafiti
KLB Kiswahili Kidato Cha Nne, Kurasa 102-105
12 6
Fasihi Andishi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi

Your Name Comes Here


Download

Feedback