If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza jinsi yeye huwaamkua na kuwaaga watu. Kujadiliana umuhimu wa kujua maamkizi na maagano mbalimbali. Kuchangamkia maamkuzi na maagano. |
Wanafunzi waweze kueleza jinsi yeye huwaamkua na kuwaaga watu.
Wanafunzi wakiwa katika vikundi waweze kujadiliana umuhimu wa kujua maamkizi na maagano mbalimbali. |
Je, wewe huwaamkua na kuwaaga watu vipi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 3 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
|
Kusikiliza na kuzungumza; Mazungumzo mahususi
Kusoma kwa ufahamu Kuandika; Insha ya maelekezo Kuandika; Insha ya maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo. Kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. Kufurahia kuigiza mazungumzo. |
Wakiwa wawili, wanafunzi kutaja maneno ya maamkuzi na maagano yaliyotumika katika mazungumzo.
Wakiwa katika vikundi, kuigiza mazungumzo katika kitabu cha mwanafunzi. |
Je, ni maamkuzi na maagano gani yanayotumika katika jamii yako?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 55
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 58-60 Kapu maneno Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 61-62 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 62-63 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 4 | 1 |
Unyanyasaji wa Kijinsia
Usalama shuleni |
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopo hali ya kuendelea
Sarufi; Nyakati na hali: Wakati uliopita hali ya kuendelea Sarufi; Nyakati na hali; Wakati ujao hali ya kuendelea Kusikiliza na Kuzungumza- Matini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea. Kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea. |
Wakiwa katika vikundi, wanafunzi kutambua vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea
Wakiwa wawili au peke yao, wanafunzi kutunga sentensi katika wakati uliopo hali ya kuendelea |
Kwa nini tunazingatia nyakati na hali katika mawasiliano yetu?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 63-64
Kamusi Majarida Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 64-65 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 65-66 Kapu maneno Mabango KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 67-68 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 5 | 1 |
Usalama shuleni
|
Kusoma kwa kina; Maudhui na dhamira
Kuandika; Insha za masimulizi kutokana na picha Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi. Kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Kujadiliana maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma. Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku. |
Mwanafunzi aweze, kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
Mwanafunzi, aweze kusoma sehemu ya novela iliyoteuliwa na mwalimu. Mwanafunzi aweze kujadiliana na wenzake maudhui mbalimbali katika sehemu ya novela aliyosoma |
Vitabu vya hadithi ulivyowahi kusoma vinazungumiza nini?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 68-69
Mabango Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 69-72 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 72-73 Kapu maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 6 | 1 |
Usalama shuleni
Kuhudumia Jamii Shuleni Kuhudumia Jamii Shuleni Kuhudumia Jamii Shuleni |
Sarufi; Aina za vitenzi: Vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi
Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu Kusikiliza na Kuzungumza; Kusikiliza kwa ufahamu Kusoma; Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi. |
Wanafunzi, kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi
Wanafunzi waweze kutunga sentensi akitumia vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi |
Kuna tofauti gani kati ya vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 73-74
Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75 Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 75-76 Kapu maneno Mabango KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 7 | 1 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
|
Kusoma; Ufupisho
Kuandika; Insha ya kubuni- Maelezo Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kuandika kifungu hicho katika ufupisho. Kutathmini umuhimu wa ufupisho. |
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi waweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Wakiwa wawiliwawili, wanafunzi kuandika kifungu hicho katika ufupisho |
Unaondoa nini katika habari ili kuitoa kwa ufupi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 77-78
Mabango Kamusi Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 79-80 Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 80-81 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 8 | 1 |
Kuhudumia Jamii Shuleni
Ulanguzi wa Binadamu Ulanguzi wa Binadamu Ulanguzi wa Binadamu |
Sarufi; Aina za vitenzi- Vitenzi vishirikishi
Kuzungumza ili kupasha habari Kuzungumza ili kupasha habari Kusoma kwa kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza matumizi ya vitenzi vishirikishi katika matini. Kutunga kifungu kifupi kuhusu Kuhudumia jamii shuleni. Tumia vitenzi vishirikishi. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi vishirikishi. |
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya vitenzi vishirikishi katika matini
Mwanafunzi aweze kutunga kifungu kifupi kuhusu Kuhudumia jamii shuleni. Tumia vitenzi vishirikishi |
Kuna aina gani za vitenzi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 81-82
Kapu maneno Chati Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 83-84 Mabango Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 84-86 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 86-88 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 9 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
|
Kusoma kwa kina
Kuandika; Viakifishi: Kiulizi Kuandika; Viakifishi: Koma Sarufi; Ngeli ya A-WA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kueleza maana ya ploti. Kueleza umuhimu wa ploti katika novela. Kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma. Kuchangamkia kusoma novela mbalimbali. |
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya ploti
Wakiwa wawiliwawili au katika vikundi, wanafunzi waweze kueleza umuhimu wa ploti katika novela Wanafunzi waweze kuandika maelezo kuhusu ploti ya novela aliyoisoma |
Je, ni matukio gani muhimu yaliyo katika novela aliyosoma?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 32-34
Kapu maneno Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 91-92 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 93-94 Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 10 | 1 |
Ulanguzi wa Binadamu
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano |
Sarufi; Ngeli ya U-I
Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina Kusikiliza na kuzungumza; Kusikiliza kwa kina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi. Kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi. Kuchangamkia matumizi ya ngeli ya U-I |
Mwanafunzi aweze kutambua nomino za ngeli ya U-I katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi |
Ni vitu gani katika mazingira yako vilivyo na majina yanayopatikana katika ngeli ya U-I?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 94-96
Kamusi Majarida Michoro na picha KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97 Kapu maneno Mabango KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 97-98 Chati |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Matumizi ya Vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano
|
Kusoma; Ufahamu wa kifungu cha kushawishi
Kuandika; Insha za kubuni: Masimulizi Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya KI-VI Sarufi; Ngeli na upatanisho wa kisarufi: Ngeli ya LI-YA |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi. Kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu. Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu. Kutathmini matumizi ya vifaa vya kidijitali. |
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu katika kitabu cha mwanafunzi
Mwanafunzi aweze kudondoa maneno mageni yaliyotumika katika kifungu Mwanafunzi aweze Kueleza ujumbe katika kila aya ya kifungu |
Je, ni ujumbe gani wa kushawishi umewahi kupewa?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 98-100
Mabango Kamusi Majarida Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 100-101 Kapu maneno KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 102-104 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 104-106 Michoro na picha |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
|
| 12 | 1 |
Kuthamini
|
Kusikiliza na Kuzungumza; Nyimbo za kazi
Kusoma; Kusoma kwa kina- Wahusika Kuandika; Barua ya kuomba msamaha Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya nomino Sarufi; Vinyume vya maneno: Vinyume vya vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kipindi, Kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake. Kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa. Kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu. Kuchangamkia kuimba nyimbo za kazi. |
Mwanafunzi aweze kutaja nyimbo za kazi anazozijua katika jamii yake
Mwanafunzi aweze kutambua mazingira ambamo nyimbo za kazi huimbwa Mwanafunzi aweze kusikiliza wimbo ufuatao ukiimbwa na mwalimu |
Je, unajua nyimbo gani?
Je, unajua nyimbo gani za kazi?
|
KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 107-109
Kamusi Michoro na picha Vifaa vya kidijitali KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 109-110 Kapu maneno Chati Mabango Majarida KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 110-112 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 112-114 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 114-117 KLB; Top Scholar; Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7, Uk. 117-118 |
Kutunga sentensi
Kujibu maswali
Kujaza pengo
Kuandika tungo
Kazi mradi
|
Your Name Comes Here