If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
USAFI WA SEHEMU ZA UMMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza na Kujibu Mahojiano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano - kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo - kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali |
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa - Kuwawasilishia wenzake vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa katika mahojiano aliyosikiliza katika kifaa cha kidijitali - Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake, mzazi au mlezi kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mahojiano |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 1
-Michoro -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 2 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi - kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi - kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha simulizi -e) kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Kusoma kifungu cha simulizi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
- Kudondoa habari mahususi (k.v. nani? nini? wapi? lini?) katika kifungu cha simulizi - Kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi - Kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi alichosoma - Kutambua msamiati (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha simulizi na kuueleza kwa kutumia kamusi - Kusoma vifungu vya simulizi mtandaoni au kwenye vitabu kuhusu suala lengwa - Kutambua na kueleza maana ya msamiati wa usafi wa sehemu za umma kulingana na muktadha wa matumizi katika vifungu vya simulizi alivyosoma mtandaoni - Kumsomea mzazi au mlezi sentensi kuhusu usafi wa sehemu za umma kisha wajadiliane umuhimu wa kudumisha usafi wa mazingira ya umma |
1. Je, tunapataje habari mahususi katika kifungu cha simulizi?
-2. Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha simulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 3
-Vifungu vya simulizi -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
|
|
| 2 | 3 |
Sarufi
|
Viwakilishi:
- Viwakilishi vya Nafsi
- Viwakilishi Vionyeshi
- Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika matini - kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo katika matini - kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ili kufanikisha mawasiliano |
Kuchopoa viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika kapu maneno, chati, mti maneno au katika tarakilishi
- Kutaja viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi - Kutambua viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino - Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu akitumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo - Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usafi wa sehemu za umma - Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi au vifungu alivyotunga ili amtolee maoni |
Viwakilishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 8
-Chati -Kapu maneno -Mti maneno -Tarakilishi |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 2 | 4 |
Kuandika
|
Viakifishi:
- Alama ya hisi
- Ritifaa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matumizi ya alama ya hisi na ritifaa katika matini - kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo katika matini - kuonea fahari matumizi yafaayo ya alama ya hisi na ritifaa katika matini |
Kutambua alama ya hisi na ritifaa katika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwenye matini andishi na za kidijitali
- Kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kuhusu kwa kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali - Kuandika kwenye tarakilishi, kifungu kifupi kuhusu kwa kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni - Kusahihisha kifungu kuhusu suala lengwa ambacho hakijatumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo - Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kuwataka waandike maneno, sentensi au vifungu vinavyofaa kutumia alama ya hisi na ritifaa - Kumwonyesha mzazi, mlezi au mwenzake maneno, vifungu vya maneno au sentensi zenye alama ya hisi na ritifaa alizotunga ili atoe maoni yake |
1. Je, alama ya hisi huonyesha hisia zipi?
-2. Je, alama ya ritifaa hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 6
-Mifano ya matini zenye alama ya hisi na ritifaa -Tarakilishi/vifaa vya kidijitali |
Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Mijadala kuhusu viakifishi
|
|
| 3 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma |
Kusikiliza na Kujibu Mahojiano
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano - kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo - kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali |
Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano - Kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa - Kuwawasilishia wenzake vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa katika mahojiano aliyosikiliza katika kifaa cha kidijitali - Kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake, mzazi au mlezi kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mahojiano |
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 1
-Michoro -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 3 -Vifungu vya simulizi -Kamusi |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 3 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi:
- Viwakilishi vya Nafsi
- Viwakilishi Vionyeshi
- Viwakilishi vya Idadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika matini - kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo katika matini - kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ili kufanikisha mawasiliano |
Kuchopoa viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika kapu maneno, chati, mti maneno au katika tarakilishi
- Kutaja viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi - Kutambua viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino - Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu akitumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo - Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usafi wa sehemu za umma - Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi au vifungu alivyotunga ili amtolee maoni |
Viwakilishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 8
-Chati -Kapu maneno -Mti maneno -Tarakilishi |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 3 | 3 |
Kuandika
|
Viakifishi:
- Alama ya hisi
- Ritifaa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua matumizi ya alama ya hisi na ritifaa katika matini - kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo katika matini - kuonea fahari matumizi yafaayo ya alama ya hisi na ritifaa katika matini |
Kutambua alama ya hisi na ritifaa katika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwenye matini andishi na za kidijitali
- Kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kuhusu kwa kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali - Kuandika kwenye tarakilishi, kifungu kifupi kuhusu kwa kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili wakitolee maoni - Kusahihisha kifungu kuhusu suala lengwa ambacho hakijatumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo - Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika na kuwataka waandike maneno, sentensi au vifungu vinavyofaa kutumia alama ya hisi na ritifaa - Kumwonyesha mzazi, mlezi au mwenzake maneno, vifungu vya maneno au sentensi zenye alama ya hisi na ritifaa alizotunga ili atoe maoni yake |
1. Je, alama ya hisi huonyesha hisia zipi?
-2. Je, alama ya ritifaa hutumiwa vipi katika maandishi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 6
-Mifano ya matini zenye alama ya hisi na ritifaa -Tarakilishi/vifaa vya kidijitali |
Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Mijadala kuhusu viakifishi
|
|
| 3 | 4 |
MATUMIZI YAFAAYO YA DAWA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Kina:
-Sauti /g/ na /gh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua sauti /g/ na /gh/ katika silabi na maneno - kutamka sauti /g/ na /gh/ ipasavyo katika silabi na maneno - kutumia maneno yenye sauti /g/ na /gh/ ipasavyo katika matini ili kuyatofautisha kimatamshi - kuchangamkia matamshi bora ya sauti /g/ na /gh/ katika mazungumzo ya kawaida |
Kutambua sauti /g/ na /gh/ katika maneno na silabi
- Kusikiliza maneno, sentensi au vitanzandimi vinavyohusisha sauti /g/ na /gh/ katika kifaa cha kidijitali na kutambua sauti hizo - Kutafuta maneno yenye sauti /g/ na /gh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo - Kutunga sentensi akitumia maneno yenye sauti /g/ na /gh/ na kuziwasilisha darasani ili wenzake wazisikilize na kuzitathmini - Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /g/ na /gh/ |
Ni maneno yapi yaliyo na sauti /g/ na /gh/?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 17
-Vifaa vya kidijitali -Maneno yenye sauti /g/ na /gh/ |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Kutambua kwenye orodha
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana:
-Matini ya kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza ujumbe wa matini aliyosoma - kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia - kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma - kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali ili kupanua mawanda ya fikra |
Kuteua matini kuhusu suala linalomvutia
- Kusoma matini aliyojichagulia na kutambua vipengele vyake muhimu - Kueleza ujumbe wa matini aliyoisoma - Kuweka rekodi ya aliyosoma kwa kuyanakili katika kijitabu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua - Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma - Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini zaidi kuhusu suala lengwa kisha aisome - Kuwawasilishia wenzake kwa kifupi alichojifunza kutokana na matini aliyoisoma mtandaoni |
1. Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
-2. Unapataje ujumbe katika matini uliyoisoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 17
-Vitabu mbalimbali -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati lengwa
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
|
|
| 4 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi:
- Viwakilishi vya Sifa
- Viwakilishi vya Pekee
- Viwakilishi Viulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika matini - kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi ifaavyo katika matini - kuchangamkia kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika mawasiliano |
Kuchopoa viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika kapu maneno, kadi maneno, chati au katika tarakilishi
- Kutaja viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi - Kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino - Kujaza nafasi zilizoachwa katika sentensi na vifungu kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi vifaavyo - Kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viuliziakizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi yafaayo ya dawa - Kumtungia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi na kuzituma mtandaoni ili wenzake na mwalimu wazitolee maoni |
1. Kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
-2. Viwakilishi vya vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 24
-Kapu maneno -Kadi maneno -Chati -Tarakilishi |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 4 | 3 |
Kuandika
|
Barua ya Kirafiki:
-Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya kutoa shukrani - kutambua vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa shukrani - kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ipasavyo - kukuza mazoea ya kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani katika maisha ya kila siku |
Kueleza umuhimu wa kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani kuhusu masuala mbalimbali
- Kutambua ujumbe unaoafiki barua ya kirafiki ya kutoa shukrani - Kutambua lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kirafiki ya kutoa shukrani - Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa shukrani (k.v. anwani ya mwandishi, tarehe) - Kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani daftarini au kwenye tarakilishi - Kuwasilisha insha yake darasani au kumsambazia mwenzake kupitia mtandaoni ili aitolee maoni - Kumwandikia mzazi, mlezi au mwenzake barua ya kirafiki ya kutoa shukrani na kuiwasilisha darasani |
1. Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
-2. Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani huwa na vipengele gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 22
-Nakala ya barua ya kirafiki -Tarakilishi |
Kuandika barua ya kirafiki
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 4 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Kina:
-Sauti /g/ na /gh/
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua sauti /g/ na /gh/ katika silabi na maneno - kutamka sauti /g/ na /gh/ ipasavyo katika silabi na maneno - kutumia maneno yenye sauti /g/ na /gh/ ipasavyo katika matini ili kuyatofautisha kimatamshi - kuchangamkia matamshi bora ya sauti /g/ na /gh/ katika mazungumzo ya kawaida |
Kutambua sauti /g/ na /gh/ katika maneno na silabi
- Kusikiliza maneno, sentensi au vitanzandimi vinavyohusisha sauti /g/ na /gh/ katika kifaa cha kidijitali na kutambua sauti hizo - Kutafuta maneno yenye sauti /g/ na /gh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo - Kutunga sentensi akitumia maneno yenye sauti /g/ na /gh/ na kuziwasilisha darasani ili wenzake wazisikilize na kuzitathmini - Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora ya sauti /g/ na /gh/ |
Ni maneno yapi yaliyo na sauti /g/ na /gh/?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 17
-Vifaa vya kidijitali -Maneno yenye sauti /g/ na /gh/ |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Kutambua kwenye orodha
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Mapana:
-Matini ya kujichagulia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza ujumbe wa matini aliyosoma - kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia - kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma - kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali ili kupanua mawanda ya fikra |
Kuteua matini kuhusu suala linalomvutia
- Kusoma matini aliyojichagulia na kutambua vipengele vyake muhimu - Kueleza ujumbe wa matini aliyoisoma - Kuweka rekodi ya aliyosoma kwa kuyanakili katika kijitabu - Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia - Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua - Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma - Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini zaidi kuhusu suala lengwa kisha aisome - Kuwawasilishia wenzake kwa kifupi alichojifunza kutokana na matini aliyoisoma mtandaoni |
1. Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
-2. Unapataje ujumbe katika matini uliyoisoma?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 17
-Vitabu mbalimbali -Kamusi -Vifaa vya kidijitali |
Kutoa muhtasari wa ufahamu
-Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati lengwa
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
Kuandika |
Viwakilishi:
- Viwakilishi vya Sifa
- Viwakilishi vya Pekee
- Viwakilishi Viulizi
Barua ya Kirafiki: -Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika matini - kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi ifaavyo katika matini - kuchangamkia kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika mawasiliano |
Kuchopoa viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika kapu maneno, kadi maneno, chati au katika tarakilishi
- Kutaja viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi - Kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino - Kujaza nafasi zilizoachwa katika sentensi na vifungu kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi vifaavyo - Kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viuliziakizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi yafaayo ya dawa - Kumtungia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi na kuzituma mtandaoni ili wenzake na mwalimu wazitolee maoni |
1. Kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
-2. Viwakilishi vya vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 24
-Kapu maneno -Kadi maneno -Chati -Tarakilishi Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 22 -Nakala ya barua ya kirafiki |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 5 | 3 |
DHIKI ZINAZOKUMBA WANYAMA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Hadithi: Mighani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza dhana ya mighani ili kuipambanua - kujadili vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mighani - kujadili ujumbe na lugha katika mighani - kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji wa mighani -e) kuchangamkia kushiriki katika uwasilishaji wa mighani katika miktadha mbalimbali ya kijamii |
Kutafiti na kueleza maana ya mighani
- Kutafiri na kueleza sifa za mighani - Kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mighani - Kushiriki na wenzake kujadili ujumbe na lugha katika mighani aliyosikiliza ikitambwa na wenzake, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijiali kama vile kinasasauti - Kusikiliza mighani ikisimuliwa katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa na kubainisha sifa na vipengele vya uwasilishaji vilivyozingatiwa - Kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji - Kuwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake mighani aliyotafitia katika jamii yake na kujadili ujumbe husika |
Je, unaposimulia mighani unafaa kuzingatia vipengele gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 32
-Mighani iliyoandikwa -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 5 | 4 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Kina: Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya tamthilia ili kuipambanua - kujadili sifa za tamthilia kama utanzu wa fasihi andishi - kuchangamkia usomaji wa tamthilia ili kukuza stadi ya kusoma |
Kutafiti na kueleza maana ya tamthilia
- Kutafiti maktabani au mtandaoni kuhusu sifa za tamthilia - Kuwawasilishia wenzake utafiti wake darasani au kuwasambazia mtandaoni ili wautolee maoni - Kusoma tamthilia iliyoteuliwa na mwalimu na kutambua sifa zake - Kuwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sifa za tamthilia aliyosoma ili azitolee maoni |
Je, tamthilia uliyowahi kusoma ilikuwa inahusu nini?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 36
-Tamthilia mbalimbali -Vifaa vya kidijitali |
Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati lengwa
-Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
-Mjadala kuhusu sifa za tamthilia
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi:
- Viwakilishi Vimilikishi
- Viwakilishi Visisitizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini - kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo katika matini - kuchangamkia kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika sentensi na vifungu |
Kutambua viwakilishi vimilikishi, na visisitizi katika silabi na maneno
- Kuchopoa viwakilishi vimilikishi, na visisitizi katika kapu maneno, chati, mti maneno au katika tarakilishi - Kutaja viwakilishi vimilikishi, na visisitizi - Kutambua viwakilishi vimilikishi, na visisitizi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino - Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia viwakilishi vimilikishi, na visisitizi ipasavyo - Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia viwakilishi vimilikishi, na visisitizi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la dhiki zinazokumba wanyama - Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vimilikishi, na visisitizi ili azitolee maoni |
1. Unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?
-2. Je, viwakilishi visisitizi vina muhimu gani katika mawasiliano?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 40
-Chati -Kapu maneno -Mti maneno -Tarakilishi |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 6 | 2 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kubaini wazo moja kuu la insha ya masimulizi atakayoandika - kuandika insha ya masimulizi inayoendeleza wazo moja kuu katika kila aya - kufurahia kuandika insha za masimulizi katika maisha ya kila siku akizingatia ujumbe uliotegemezwa kwenye wazo moja kuu |
Kutambua wazo moja kuu la simulizi kwenye matini andishi na za kidijitali au katika kielelezo cha insha za kubuni
- Kuandika insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa akizingatia wazo moja kuu - Kuliendeleza wazo moja kuu katika kila aya kupitia kwa wahusika katika simulizi - Kuandika kwenye tarakilishi, insha ya kubuni kuhusu suala lengwa akizingatia wazo moja kuu na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili waitolee maoni - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika na kuwataka kutambua wazo moja kuu |
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya kubuni?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 38
-Kielelezo cha insha ya masimulizi -Tarakilishi |
Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Shajara
|
|
| 6 | 3 |

| 6 | 4 |

| 7 | 1 |

| 7 | 2 |

| 7 | 3 |
MATUMIZI BORA YA MALIASILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma |
Hadithi: Visasili
Kusoma kwa Ufasaha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha - kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili - kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao - kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili ili kujenga umahiri katika fasihi simulizi |
Kutafiti na kueleza maana ya visasili
- Kufanya utafiti maktabani na mtandaoni kuhusu sifa za visasili - Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti wake wa sifa za visasili ili wazijadili - Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili (k.v. ujumbe, wahusika na mbinu za lugha) - Kusikiliza visasili katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa na kubainisha vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa visasili - Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi vya visasili - Kujadili na mzazi au mlezi kuhusu visasili katika jamii yake - Kusimulia visasili akiwa na mzazi, mlezi au mwenzake akizingatia vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji |
1. Je, uwasilishaji wa hadithi ya visasili huzingatia vipengele gani?
-2. Visasili vina sifa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 45
-Visasili vilivyoandikwa -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 48 -Vifungu vya kusoma |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Mijadala
-Mazungumzo
-Matumizi ya ishara za mwili
|
|
| 7 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali:
- Hali ya mazoea
- Hali timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu - kubainisha vitenzi vilivyo katika hali ya mazoea na timilifu katika matini - kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo katika matini - kufurahia kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano |
Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu
- Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa - Kuchagua vitenzi vinavyoashiria hali ya mazoea na timilifu katika chati, sentensi, vifungu, na tarakilishi - Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo - Kutunga sentensi au vifungu vifupi daftarini mwake au katika kifaa cha kidjitali kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi bora ya maliasili - Kuwasomea wenzake au kuwasambazia mtandaoni kazi yake ili waitolee maoni - Kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga katika hali ya mazoea na timilifu |
1. Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
-2. Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 56
-Chati -Tarakilishi |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 8 |
Likizo ya Kati ya muhula |
||||||||
| 9 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo - kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri - kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri |
Kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, nahau,)
- Kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake - Kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake - Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
1. Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya masimulizi?
-2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 52
-Kielelezo cha insha ya masimulizi -Tarakilishi |
Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Shajara
|
|
| 9 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Hadithi: Visasili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha - kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili - kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao - kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili ili kujenga umahiri katika fasihi simulizi |
Kutafiti na kueleza maana ya visasili
- Kufanya utafiti maktabani na mtandaoni kuhusu sifa za visasili - Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti wake wa sifa za visasili ili wazijadili - Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili (k.v. ujumbe, wahusika na mbinu za lugha) - Kusikiliza visasili katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa na kubainisha vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa visasili - Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi vya visasili - Kujadili na mzazi au mlezi kuhusu visasili katika jamii yake - Kusimulia visasili akiwa na mzazi, mlezi au mwenzake akizingatia vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji |
1. Je, uwasilishaji wa hadithi ya visasili huzingatia vipengele gani?
-2. Visasili vina sifa gani?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 45
-Visasili vilivyoandikwa -Vifaa vya kidijitali -Mgeni mwalikwa |
Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Mijadala
-Mazungumzo
-Matumizi ya ishara za mwili
|
|
| 9 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufasaha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha - kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo -e) kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo -f) kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji |
Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
- Kutazama na kusikiliza video inayoonyesha usomaji fasaha wa makala (k.v. hotuba, habari,) - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 100 kwa dakika) - Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa - Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora |
1. Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
-2. Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kufanikisha usomaji kwa ufasaha?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 48
-Vifungu vya kusoma -Vifaa vya kidijitali |
Kusoma kwa sauti
-Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati lengwa
-Kutoa muhtasari wa ufahamu
|
|
| 9 | 4 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali:
- Hali ya mazoea
- Hali timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu - kubainisha vitenzi vilivyo katika hali ya mazoea na timilifu katika matini - kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo katika matini - kufurahia kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano |
Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu
- Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa - Kuchagua vitenzi vinavyoashiria hali ya mazoea na timilifu katika chati, sentensi, vifungu, na tarakilishi - Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo - Kutunga sentensi au vifungu vifupi daftarini mwake au katika kifaa cha kidjitali kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi bora ya maliasili - Kuwasomea wenzake au kuwasambazia mtandaoni kazi yake ili waitolee maoni - Kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga katika hali ya mazoea na timilifu |
1. Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
-2. Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 56
-Chati -Tarakilishi |
Kutambua kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
|
|
| 10 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni: Masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika insha ya maelezo - kueleza jinsi tamathali mbalimbali za lugha zinavyochangia kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri - kufurahia kuandika insha za maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri |
Kutambua tamathali mbalimbali za lugha katika vielelezo vya insha za maelezo (k.v. tashbihi, sitiari, nahau,)
- Kutambua jinsi tamathali za lugha katika kielelezo cha insha ya maelezo zinavyochangia kujenga picha dhahiri ya kinachoelezewa akishirikiana na wenzake - Kupigia mstari tamathali mbalimbali zilizotumiwa kwenye kifungu na kutoa maelezo katika kitabu au kifaa cha kidijitali akishirikiana na wenzake - Kuandika insha ya maelezo akitumia tamathali mbalimbali za lugha ili kujenga picha dhahiri katika insha ya maelezo - Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni |
1. Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya masimulizi?
-2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika uandishi wa insha ya masimulizi?
|
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya Nane uk. 52
-Kielelezo cha insha ya masimulizi -Tarakilishi |
Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Shajara
|
|
| 10 | 2 |
MAJUKUMU YA KIJINSIA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza Maagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maagizo katika miktadha mbalimbali -kueleza maana ya maagizo ili kuyapambanua -kujadili sifa za kimsingi za maagizo yafaayo -kutoa na kupokea maagizo ipasavyo -kuchangamkia kutoa na kufuata maagizo ifaavyo katika miktadha mbalimbali. |
- kueleza maana ya maagizo ili kuipambanua
-kubainisha maagizo miongoni mwa kauli zilizoandikwa katika kadi, kapu maneno au vifaa vya kidijitali -kutambua maagizo kutoka kwenye kitabu, chati au vifaa vya kidijitali -kujadili na wenzake sifa za kimsingi za maagizo yafaayo -kutafiti maktabani au mtandaoni kuhusu sifa za maagizo na kuwawasilishia wenzake darasani wazitathmini -kuigiza utoaji na uitikiaji wa maagizo mbalimbali kwa uwazi -kujadiliana na wenzake kuhusu aina mbalimbali za maagizo kulingana na miktadha ya jamii zao |
1. Je, kwa nini mtu hupewa maagizo?
-
-2. Maagizo ambayo umewahi kupewa yalikusaidia vipi?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 61 - Chati - Kadi maneno - Vifaa vya kidijitali - Kapu maneno |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Mijadala
-Mazungumzo
|
|
| 10 | 3 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu -kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
- kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali
-kueleza habari za kifungu kwa ufupi -kuchopoa msamiati wa suala lengwa na kuutia kwenye kapu la maneno -kueleza maana za maneno kulingana na muktadha wa matumizi katika matini -kusakura vifungu vya ufahamu kuhusu suala lengwa kwenye vifaa vya kidijitali |
Ni kwa njia gani tunaweza kudondoa habari mahususi kutokana na kifungu cha ufahamu?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 64 - Tarakilishi/vipakatalishi - Kinasasauti - Projekta - Kamusi mbalimbali |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
-Kusoma kwa sauti
|
|
| 10 | 4 |
Sarufi
Kuandika |
Nyakati na Hali:
-Wakati uliopita hali timilifu
Insha ya Maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua -kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini -kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini -kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu
-silabi zilizopigiwa mstari katika sentensi hizo ni viambishi vya wakati na hali gani? -tambueni kwa kupigia mstari viambishi vya wakati uliopita hali timilifu kwenye sentensi -chagueni vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali timilifu kutoka kwenye orodha -elezeni sababu ya kuchagua vitenzi hivyo |
Kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 69 - Chati - Kadi maneno - Picha za vitu mbalimbali - Miti maneno - Tarakilishi/vipakatalishi - uk. 67 - Kielelezo cha insha ya maelekezo - Kamusi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
| 11 | 1 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza Maagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maagizo katika miktadha mbalimbali -kueleza maana ya maagizo ili kuyapambanua -kujadili sifa za kimsingi za maagizo yafaayo -kutoa na kupokea maagizo ipasavyo -kuchangamkia kutoa na kufuata maagizo ifaavyo katika miktadha mbalimbali. |
- kusikiliza maagizo ya aina mbalimbali yanayotolewa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kutaja maagizo yaliyomo
-kuandaa maagizo na kisha kuyawasilisha darasani ili yajadiliwe na wenzake -kushiriki katika uzungumzaji wa papo kwa hapo akizingatia vipengele vifaavyo -kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake maagizo aliyoandaa na kuziwasilisha darasani |
1. Je, kwa nini mtu hupewa maagizo?
-
-2. Maagizo ambayo umewahi kupewa yalikusaidia vipi?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 62 - Vifaa vya kidijitali - Mgeni mwalikwa - Chati - Vitu halisi |
- Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
-Kujibu maswali
-Maigizo
-Kutambua maagizo
-Mazungumzo
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma
|
Kusoma kwa Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu -kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu -kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. |
- kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa sauti na kueleza habari husika
-tambueni msamiati unaorejelea majukumu ya kijinsia katika kifungu mlichokisoma -elezeni maana ya msamiati huo kulingana na muktadha wa matumizi katika kifungu -andikeni msamiati mliotambua na maana zake madaftarini mwenu |
Ni kwa njia gani tunaweza kudondoa habari mahususi kutokana na kifungu cha ufahamu?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 65 - Tarakilishi/vipakatalishi - Vifaa vya kidijitali - Kamusi mbalimbali |
- Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
-Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
-Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
|
|
| 11 | 3 |
Sarufi
|
Nyakati na Hali:
-Wakati ujao hali timilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua -kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini -kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini -kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano. |
- kueleza maana ya wakati ujao hali timilifu
-viambishi vilivyopigiwa mstari katika sentensi hizo ni vya wakati na hali gani? -pigieni mstari viambishi vya wakati ujao hali timilifu kwenye sentensi -bainisheni vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali timilifu kutoka kwenye orodha -Tungeni sentensi tano mkitumia wakati ujao hali timilifu -Tungeni kifungu kifupi mkitumia wakati ujao hali timilifu ifaavyo |
Kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 71 - Chati - Kadi maneno - Picha za vitu mbalimbali - Miti maneno - Tarakilishi/vipakatalishi |
- Kutambua k.m. kwenye orodha
-Kuambatanisha maneno lengwa
-Kujaza mapengo
-Kutunga sentensi
-Kazi mradi
|
|
| 11 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya Maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua insha ya maelekezo katika matini -kujadili sifa za insha ya maelekezo -kuandika insha ya maelekezo akizingatia anwani na mpangilio ufaao -kufurahia kuandika insha za maelekezo maishani. |
- kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu (k.v. anwani na mpangilio mwafaka wa hatu huku akitumia vipengele vya lugha
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni -boresheni inshayenu mkizingatia maoni ya wenzenu -hifadhini insha hiyo kwenye potiolio |
Je, ni mambo gani unayozingatia unapoandika insha ya maelekezo?
|
Kielelezo cha Kiswahili
- uk. 68 - Kielelezo cha insha ya maelekezo - Tarakilishi/vipakatalishi - Vifaa vya kidijitali |
- Kuandika tungo mbalimbali
-Wanafunzi kufanyiana tathmini
-Potifolio
-Shajara
|
|
Your Name Comes Here