If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 |
SURA YA KWANZA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Isimu jamii - Sajili ya Dini
Tamthilia: "Asali Yawa Shubiri" |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili Kutambua sifa za sajili ya dini Kuigiza mazungumzo katika maabadi Kutumia msamiati wa kidini |
Kuuliza maswali ya utangulizi kuhusu lugha mbalimbali Kueleza dhana ya sajili na aina zake Kusoma na kujadili sifa za sajili ya dini Kuigiza mazungumzo ya Wakristo na Waislamu Kujibu maswali ya uelewa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za sajili Kanda za sauti (ikiwa zinapatikana) Chati za uchambuzi wa wahusika Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 1-3
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
Viulizi - "pi" na "ngapi"
Magazeti: Tahariri na Habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kiulizi "pi" Kutumia kiulizi "ngapi" sahihi Kutunga sentensi zenye viulizi Kubainisha tofauti za viulizi mbalimbali |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viulizi Kueleza jinsi viulizi vinavyochukua viambishi vya ngeli Kufanya mazoezi ya kutumia "pi" na "ngapi" Kutunga sentensi mpya zenye viulizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Jedwali la ngeli Kadi za mazoezi Ubao mweusi Magazeti ya hivi karibuni Makala ya habari Scissors na glue |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 7-10
|
|
| 2 | 3-4 |
Kuandika
SURA YA KWANZA SURA YA KWANZA Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia kusoma-fasihi andishi Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua rasmi Kutofautisha mitindo ya barua rasmi Kuandika barua rasmi kwa usahihi Kutumia lugha rasmi ipasavyo Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kuuliza maswali kuhusu aina za barua wanayozifahamu Kueleza sifa na muundo wa barua rasmi Kuonyesha mitindo: mshazari na wima Kuandika barua ya kuomba ruhusa ya ziara Kusahihisha na kukarabati barua zao Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya barua rasmi Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 14-16
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
| 2 | 5 |
SURA YA PILI
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Dhima ya Fasihi kwa Jumla
Shairi: "Mikanda Tujifungeni" |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya fasihi Kutofautisha fasihi simulizi na andishi Kutaja sifa za fasihi simulizi Kufafanua umuhimu wa fasihi simulizi |
Kuuliza maswali kuhusu aina za fasihi wanayozifahamu Kueleza dhana ya fasihi na aina zake Kujadili sifa za fasihi simulizi Kuchambua umuhimu wa fasihi simulizi Kuigiza baadhi ya tanzu za fasihi simulizi |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za tanzu za fasihi Kielelezo cha fasihi simulizi Vifaa vya uigizaji Chati za uchambuzi wa shairi Picha za mikanda ya usalama Majarida ya usalama |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 17-20
|
|
| 2 | 6 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
'A' Unganifu na Virejeshi 'O' na 'amba'
Magazeti: Barua kwa Mhariri na Ripoti za Michezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya 'A' unganifu Kutumia kirejeshi 'amba' sahihi Kutofautisha 'O' rejeshi ya awali na tamati Kutunga sentensi zenye virejeshi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu virejeshi Kueleza jinsi 'A' unganifu inavyochukua viambishi Kufanya mazoezi ya kutumia 'amba' na 'O' rejeshi Kutunga sentensi mpya zenye virejeshi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Jedwali la ngeli Kadi za mazoezi Ubao mweusi Magazeti ya hivi karibuni Makala ya michezo Scissors na glue |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 22-25
|
|
| 2 | 7 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri Kutofautisha barua kwa mhariri na barua rasmi Kuandika barua kwa mhariri kwa usahihi Kutumia lugha teule yenye staha |
Kuuliza maswali kuhusu barua za maoni Kueleza sifa na muundo wa barua kwa mhariri Kuonyesha mifano ya barua kwa mhariri Kuandika barua kuhusu mikanda ya usalama Kusahihisha na kukarabati barua zao |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya barua kwa mhariri Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 30-32
|
|
| 3 | 1 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 3 | 2 |
SURA YA TATU
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuboresha ujuzi wa kusikiliza Kuelewa makala kutoka redio au kanda Kujibu maswali kwa usahihi Kutambua mambo muhimu katika mazungumzo |
Kuuliza maswali kuhusu umuhimu wa kusikiliza Kusikiliza makala kutoka redio au kanda Kujadili maudhui ya makala waliyosikiliza Kujibu maswali kuhusu makala Kufanya mazoezi ya kusikiliza |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Kanda za sauti Redio (ikiwa inapatikana) Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 33
|
|
| 3 | 3-4 |
Kusoma kwa Ufahamu
Sarufi |
"Zimwi Limeingia Duniani"
Vivumishi vya Pekee |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua ujumbe wa ufahamu Kuchambua changamoto za ukimwi Kueleza matumizi ya vivumishi vya pekee Kutumia -enye, -enyewe, -ote sahihi Kutofautisha -o-ote, -ingine, -ingineo Kutunga sentensi zenye vivumishi vya pekee |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ukimwi Kusoma ufahamu kwa sauti kwa vikundi Kujadili hatari na madhara ya ukimwi Kuchambua njia za kujikinga na ukimwi Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vivumishi Kueleza jinsi vivumishi vya pekee vinavyotumika Kufanya mazoezi ya kutumia vivumishi vya pekee Kutunga sentensi mpya zenye vivumishi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa ukimwi Majarida ya afya Vipande vya habari Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la vivumishi vya pekee Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 33-34
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 34-39 |
|
| 3 | 5 |
Kusoma kwa Mapana
|
Ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa mapana Kueleza masuala ibuka Kuchambua umuhimu wa elimu dhidi ya ukimwi Kutambua njia za kupambana na ukimwi |
Kuuliza maswali kuhusu masuala ibuka Kusoma makala ya ukimwi kwa uangalifu Kujadili masuala ibuka yanayohusiana na ukimwi Kuchambua umuhimu wa elimu katika kupambana na ukimwi Kuandika muhtasari wa makala |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Makala za ziada kuhusu ukimwi Kamusi ya Kiswahili Jedwali la masuala ibuka |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 39-40
|
|
| 3 | 6 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Resipe na Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya resipe Kuandika resipe kwa usahihi Kueleza hatua za kuandika muhtasari Kuandika muhtasari wa makala |
Kuuliza maswali kuhusu aina za chakula wanayochipenda Kueleza sifa na muundo wa resipe Kuonyesha mifano ya resipe Kuandika resipe ya chakula wanachokipenda Kujifunza hatua za kuandika muhtasari Kuandika muhtasari wa "Zimwi Limeingia Duniani" |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya resipe Karatasi za kuandikia Vitabu vya kupikia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 40-42
|
|
| 3 | 7 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 4 | 1 |
SURA YA NNE
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo: Ofisini kwa Mtawala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuigiza mazungumzo rasmi Kutumia lugha sanifu Kuwasilisha maombi kwa viongozi Kubainisha changamoto za kijamii |
Kuuliza maswali kuhusu uhalifu na matatizo ya kijamii Kuigiza mazungumzo kati ya mwananchi na mtawala Kujadili njia za kutoa taarifa kwa mamlaka Kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kijiji Kutatua matatizo kwa njia ya mazungumzo |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 43-44
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Umoja wa Kitaifa"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza umuhimu wa umoja wa kitaifa Kutambua jukumu la lugha katika umoja Kuchambua athari za usanifishaji |
Kuuliza maswali kuhusu lugha za kitaifa Kusoma makala kwa sauti pamoja Kujadili umuhimu wa Kiswahili kama lugha ya taifa Kuchambua changamoto za kutumia lugha za kigeni Kujibu maswali ya kina kuhusu makala |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za lugha za Kenya Kamusi za Kiswahili Majarida ya kilugha |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 44-45
|
|
| 4 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa Mapana |
Vielezi
Habari na Ripoti za Runinga na Redio |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za vielezi Kutofautisha vielezi vya namna, wakati, idadi na mahali Kutumia vielezi sahihi katika sentensi Kutunga sentensi zenye vielezi Kusoma habari kwa mapana Kueleza sifa za habari za runinga na redio Kutofautisha habari na ripoti Kuchambua maudhui ya habari |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vielezi Kueleza aina mbalimbali za vielezi Kufanya mazoezi ya kutambua vielezi Kutunga sentensi mpya zenye vielezi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari Kusoma habari za runinga na redio Kujadili tofauti za habari za runinga, redio na magazeti Kuchambua lugha inayotumiwa katika habari Kuandika muhtasari wa habari |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la aina za vielezi Kadi za mazoezi Ubao mweusi Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Makala za habari Redio (ikiwa inapatikana) Kanda za sauti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 45-49
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 49-50 |
|
| 4 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa hotuba Kutofautisha sehemu za hotuba Kuandika hotuba kwa usahihi Kutumia lugha mwafaka ya hotuba |
Kuuliza maswali kuhusu hotuba wanayozifahamu Kueleza sifa na muundo wa hotuba Kuonyesha mifano ya hotuba Kuandika hotuba kuhusu umoja wa kitaifa Kutoa hotuba mbele ya darasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya hotuba Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 50-51
|
|
| 4 | 6 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 4 | 7 |
SURA YA TANO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo: Fasihi Simulizi - Malumbano ya Utani na Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za mazungumzo ya kifasihi Kutofautisha malumbano ya utani na ulumbi Kuigiza mazungumzo ya utani Kutambua sifa za ulumbi |
Kuuliza maswali kuhusu mazungumzo ya kitamaduni Kueleza aina za utani na dhima zake Kuigiza malumbano ya utani kati ya marafiki Kusikiliza mifano ya ulumbi Kujadili umuhimu wa mazungumzo ya kifasihi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Chati za aina za utani Kanda za sauti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 52-56
|
|
| 5 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Shairi: "Tukomesheni Ajira ya Watoto"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi kwa uelewa Kueleza maudhui ya shairi Kutambua ujumbe wa shairi Kuchambua haki za watoto |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ajira ya watoto Kusoma shairi kwa sauti pamoja Kuchambua kila ubeti na ujumbe wake Kujadili haki za watoto na changamoto zao Kujibu maswali ya kina kuhusu shairi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa shairi Picha za watoto wafanyakazi Hati za haki za watoto |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 56-58
|
|
| 5 | 2 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za viwakilishi Kutofautisha viwakilishi mbalimbali Kutumia viwakilishi sahihi katika sentensi Kutunga sentensi zenye viwakilishi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viwakilishi Kueleza aina kumi za viwakilishi Kufanya mazoezi ya kutambua viwakilishi Kutunga sentensi mpya zenye viwakilishi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la viwakilishi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 58-62
|
|
| 5 | 3-4 |
Kusoma kwa Kina
Kuandika Fasihi Andishi |
Historia na Maendeleo ya Kiswahili
Insha ya Mawazo na Insha ya Mazungumzo Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma historia ya Kiswahili kwa mapana Kueleza chimbuko la Kiswahili Kutofautisha maoni kuhusu asili ya Kiswahili Kuchambua lahaja za Kiswahili Kueleza maana ya insha ya mawazo Kutofautisha insha ya mawazo na mazungumzo Kuandika insha ya mawazo kwa ubunifu Kutunga mazungumzo ya kuvutia |
Kuuliza maswali kuhusu historia ya lugha ya Kiswahili Kusoma makala ya historia kwa uangalifu Kujadili maoni mbalimbali kuhusu asili ya Kiswahili Kuchambua ramani ya lahaja za Kiswahili Kuandika muhtasari wa historia ya Kiswahili Kuuliza maswali kuhusu aina za insha Kueleza sifa za insha ya mawazo Kuonyesha mifano ya insha za mazungumzo Kuandika insha ya mawazo kuhusu mzunguko wa maji Kutunga mazungumzo kati ya wanakijiji |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Ramani ya lahaja za Kiswahili Vitabu vya ziada vya historia Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya insha Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 62-64
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 64-65 |
|
| 5 | 5 |
SURA YA SITA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mahakamani - Sajili ya Kisheria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sajili ya mahakamani Kutumia msamiati wa kisheria Kuigiza mazungumzo ya mahakamani Kutambua taratibu za kisheria |
Kuuliza maswali kuhusu mfumo wa sheria Kueleza msamiati wa mahakamani Kuigiza kesi ya mahakamani Kujadili taratibu za hukumu Kufanya mazungumzo kuhusu haki za binadamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu ya mahakamani Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 66-67
|
|
| 5 | 6 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mahakamani - Sajili ya Kisheria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sajili ya mahakamani Kutumia msamiati wa kisheria Kuigiza mazungumzo ya mahakamani Kutambua taratibu za kisheria |
Kuuliza maswali kuhusu mfumo wa sheria Kueleza msamiati wa mahakamani Kuigiza kesi ya mahakamani Kujadili taratibu za hukumu Kufanya mazungumzo kuhusu haki za binadamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu ya mahakamani Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 66-67
|
|
| 5 | 7 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Tete Atetemesha" - Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma tamthilia kwa uelewa Kueleza maudhui ya tamthilia Kutambua visa vya ufisadi Kuchambua migogoro ya kijamii |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ufisadi Kusoma tamthilia kwa vikundi Kujadili visa vya ufisadi vilivyojitokeza Kuchambua tabia za wahusika Kujibu maswali ya kina kuhusu tamthilia |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa wahusika Vifaa vya uigizaji Majarida ya habari |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 67-71
|
|
| 6 | 1 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya mwingiliano wa maneno Kutofautisha aina za mwingiliano Kutambua mabadiliko ya aina za maneno Kutunga sentensi zenye mwingiliano |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu sarufi Kueleza jinsi maneno yanavyobadilika aina Kufanya mazoezi ya kutambua mwingiliano Kutunga sentensi mpya zenye mwingiliano Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la aina za maneno Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 71-73
|
|
| 6 | 2 |
Kusoma kwa Sauti
|
Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa lafudhi sahihi Kutumia mkazo na muekeleko sahihi Kuelewa maudhui ya barua Kuboresha ujuzi wa kusoma hadharani |
Kuuliza maswali kuhusu kusoma hadharani Kusoma barua mbalimbali kwa mhariri Kujadili maudhui ya barua Kufanya mazoezi ya kusoma kwa sauti Kutathmini ujuzi wa kusoma |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Barua za ziada za mhariri Kanda za sauti Jedwali la maelezo ya sauti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 73
|
|
| 6 | 3-4 |
Kuandika
Fasihi Andishi SURA YA SABA Kusikiliza na Kuzungumza |
Makala ya Redio na Runinga
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa makala za redio Kutofautisha makala za redio na runinga Kuandika makala za vyombo vya habari Kutumia lugha ya kihabari Kuboresha ujuzi wa mahojiano Kutumia lugha ya kitaalamu Kuwasilisha maoni kwa hekima Kujadili masuala ya kilugha |
Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari Kueleza sifa za makala za redio na runinga Kuonyesha mifano ya makala za kihabari Kuandika makala za habari za redio Kusahihisha na kukarabati makala zao Kuuliza maswali kuhusu mahojiano Kusikiliza mahojiano kuhusu sheng Kujadili madhara ya sheng kwa lugha Kufanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali Kutoa maoni ya kitaalamu |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya makala za redio Karatasi za kuandikia Redio (ikiwa inapatikana) Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Kanda za mahojiano Mikrofoni (ikiwa inapatikana) Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 73
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 74-75 |
|
| 6 | 5 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Mchezo wa Kuigiza - Mazingira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo kwa uelewa Kueleza maudhui ya mchezo Kutambua ujumbe wa mazingira Kuchambua umuhimu wa uhifadhi |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu mazingira Kusoma mchezo kwa vikundi Kujadili umuhimu wa hifadhi ya mazingira Kuchambua athari za uharibifu wa mazingira Kujibu maswali ya kina kuhusu mchezo |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za mazingira Picha za mazingira Vifaa vya uigizaji |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 75-76
|
|
| 6 | 6 |
Sarufi
|
Mzizi wa Kitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya mzizi wa kitenzi Kutofautisha mzizi na mnyambuliko Kutambua mzizi katika vitenzi Kunyambua vitenzi kutoka kwenye mzizi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi Kueleza jinsi ya kutambua mzizi wa kitenzi Kufanya mazoezi ya kutambua mizizi Kunyambua vitenzi kutoka mizizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la mizizi ya vitenzi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 76-77
|
|
| 6 | 7 |
Kusoma kwa Kina
|
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza mbinu za uchambuzi wa fasihi Kutofautisha tanzu za fasihi andishi Kuchambua dhamira na maudhui Kutambua tamathali za usemi |
Kuuliza maswali kuhusu uchambuzi wa fasihi Kusoma makala ya uchambuzi wa fasihi Kujadili mbinu za uchambuzi Kuchambua mifano ya kazi za fasihi Kuandika uchambuzi mfupi wa fasihi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vitabu vya fasihi Jedwali la uchambuzi Kadi za tamathali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 77-82
|
|
| 7 |
Midterm |
|||||||
| 8 | 1 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Mialiko
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za mialiko Kutofautisha mialiko rasmi na isiyo rasmi Kuandika mialiko kwa usahihi Kutumia lugha mwafaka ya mialiko |
Kuuliza maswali kuhusu aina za mialiko Kueleza sifa na muundo wa mialiko Kuonyesha mifano ya mialiko mbalimbali Kuandika mialiko ya sherehe mbalimbali Kusahihisha na kukarabati mialiko yao |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya mialiko Kadi za mialiko Karatasi za rangi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 82-83
|
|
| 8 | 2 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 8 | 3-4 |
SURA YA NANE
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Ufahamu wa Kusikiliza
"Mtopanga" |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuboresha ujuzi wa kusikiliza Kuelewa makala za kihabari Kujibu maswali kwa usahihi Kutambua mambo muhimu katika mazungumzo Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua sifa za kitongoji Kuchambua mazingira ya kijiografia |
Kuuliza maswali kuhusu umuhimu wa kusikiliza Kusikiliza makala kutoka gazeti au jarida Kujadili maudhui ya makala waliyosikiliza Kujibu maswali kuhusu makala Kufanya mazoezi ya kusikiliza Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu vitongoji Kusoma ufahamu kwa sauti pamoja Kujadili sifa za kitongoji cha Mtopanga Kuchambua mazingira na maumbile ya eneo Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Gazeti au jarida Kanda za sauti Kadi za maswali Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Ramani za mazingira Picha za mazingira Chati za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84-85 |
|
| 8 | 5 |
Sarufi
|
Viambishi vya Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za viambishi vya vitenzi Kutofautisha viambishi awali na tamati Kutumia viambishi sahihi katika vitenzi Kutunga sentensi zenye viambishi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi Kueleza aina za viambishi vya vitenzi Kufanya mazoezi ya kutambua viambishi Kutunga vitenzi kutoka kwenye mizizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la viambishi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 85-89
|
|
| 8 | 6 |
Kusoma kwa Kina
|
Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthilia Kutofautisha aina za tamthilia Kuchambua vipengele vya tamthilia Kutambua madhumuni ya tamthilia |
Kuuliza maswali kuhusu tamthilia wanayozifahamu Kusoma makala ya tamthilia kwa uangalifu Kujadili aina za tamthilia: futuhi, tanzia, yuga, ramsa Kuchambua vipengele vya tamthilia Kuandika uchambuzi mfupi wa tamthilia |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vitabu vya tamthilia Jedwali la uchambuzi Kadi za vipengele |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 89-90
|
|
| 8 | 7 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kisanii: Michezo ya Kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza Kutunga ploti ya mchezo Kuandika mazungumzo ya kuvutia Kutumia lugha mwafaka ya mchezo |
Kuuliza maswali kuhusu michezo wanayoifahamu Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza Kutunga ploti ya mchezo kuhusu masuala ya jamii Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza Kuigiza sehemu za michezo yao |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya michezo Karatasi za kuandikia Vifaa vya uigizaji |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 90-92
|
|
| 9 | 1 |
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Majadiliano: Umoja wa Kitaifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati za majadiliano - Karatasi za kazi ya vikundi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 9 | 2 |
SUYA YA KUMI NA MBILI
Kusoma kwa Ufahamu |
Mchezo wa Kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maudhui ya mchezo wa kuigiza - Kutambua wahusika na sifa zao - Kuchunguza mifano ya methali na misemo - Kufafanua mafunzo yanayojitokeza - Kutathmini tabia za wahusika mbalimbali |
- Kusoma mchezo kwa sauti kwa vikundi
- Kuchambua wahusika na tabia zao - Kutambua na kufafanua methali zilizotumiwa - Majadiliano kuhusu mafunzo ya mchezo - Kujibu maswali ya ufahamu kwa uongozi wa mwalimu |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Kamusi ya Kiswahili |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 129-132
|
|
| 9 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa Mapana Kuandika Fasihi Andishi |
Vishazi
Haki za Watoto Utungaji wa Kiuamilifu: Wasifu, Tawasifu na Wasifukazi Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya kishazi na aina zake - Kutofautisha kati ya vishazi huru na tegemezi - Kutambua vishazi katika sentensi mbalimbali - Kutunga sentensi zenye vishazi vya aina mbalimbali - Kuchunguza utendakazi wa vishazi katika sentensi - Kueleza tofauti kati ya wasifu, tawasifu na wasifukazi - Kutunga wasifu wa kiongozi - Kuandika tawasifu binafsi - Kuunda wasifukazi wa kuomba kazi - Kutumia lugha sahihi katika uandishi rasmi |
- Kurejea dhana ya sentensi na vipengele vyake
- Mwalimu afafanue aina za vishazi kwa mifano - Wanafunzi wabainishe vishazi katika sentensi - Zoezi la vitendo kutunga sentensi zenye vishazi - Kazi ya vikundi kuchambua sentensi ngumu - Mwalimu aeleze tofauti za aina hizi za uandishi - Kuchanganua mifano ya wasifu, tawasifu na wasifukazi - Zoezi la kuchagua kiongozi na kuandika wasifu wake - Kuandika tawasifu binafsi kwa kutumia mfano - Kujaribu kuandika wasifukazi wa kuomba kazi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Vipande vya sentensi kwa ajili ya uchambuzi - Makaratasi ya mazoezi - Chati za kurejelea sarufi - Makala ya ziada kuhusu haki za watoto - Karatasi za muhtasari - Ramani ya Afrika Mashariki - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya wasifu mbalimbali - Vifungu vya matangazo ya kazi - Karatasi za uandishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 132-133
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 135-137 |
|
| 9 | 5 |
SURA YA KUMI NA NNE
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa umuhimu wa maigizo katika jamii - Kutambua aina za maigizo za kimapokeo - Kuchunguza maigizo ya jando na unyago - Kuonyesha jinsi maigizo yanavyoelimisha - Kufanya maigizo ya kufundisha maadili |
- Mazungumzo kuhusu maigizo ya kimapokeo
- Kusoma na kuchambua mfano wa maigizo ya jandoni - Majadiliano kuhusu umuhimu wa maigizo - Kuigiza mazungumzo ya kufundisha maadili - Kutayarisha na kuonyesha maigizo mafupi |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Vifaa vya maigizo - Mavazi ya kimapokeo - Eneo la kuigiza |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 151-152
|
|
| 9 | 6 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Haki zetu Binadamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua haki mbalimbali za binadamu - Kueleza umuhimu wa haki za kibinadamu - Kuchunguza jinsi lugha inavyofinyangwa katika shairi - Kufafanua tamathali za lugha zilizotumiwa - Kubadilisha vipande vya shairi kuwa nathari |
- Kusoma shairi "Haki zetu Binadamu" kwa makini
- Kubainisha haki zilizoelezwa katika shairi - Kuchunguza mbinu za kilugha zilizotumiwa - Kufafanua tamathali na ishara za kishairi - Kuandika sehemu za shairi kwa lugha ya nathari |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Chati ya haki za binadamu - Kamusi ya Kiswahili - Karatasi za mazoezi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 152-153
|
|
| 9 | 7 |
Sarufi
|
Aina za Sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutofautisha kati ya sentensi sahili, ambatano na changamano - Kutambua vishazi huru na tegemezi - Kuchunguza viunganishi vinavyotumiwa - Kutunga sentensi za aina mbalimbali - Kuchambua sentensi ngumu kwa makini |
- Kurejea misingi ya uchambuzi wa sentensi
- Mwalimu aeleze aina za sentensi kwa mifano - Wanafunzi wabainishe aina za sentensi zilizotolewa - Zoezi la kutunga sentensi za aina mbalimbali - Kazi ya makundi kuchambua sentensi ngumu |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Chati za aina za sentensi - Vipande vya sentensi kwa uchambuzi - Makaratasi ya mazoezi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 153-155
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma kwa Mapana
|
Usanifishaji wa Lugha ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya usanifishaji wa lugha - Kuchunguza historia ya usanifishaji wa Kiswahili - Kufafanua jukumu la kamati za usanifishaji - Kutathmini umuhimu wa usanifishaji nchini Kenya - Kueleza changamoto za usanifishaji |
- Kusoma makala kuhusu usanifishaji wa Kiswahili
- Majadiliano kuhusu umuhimu wa usanifishaji - Kuchunguza historia ya Kamati ya Afrika Mashariki - Utafiti kuhusu CHAKITA na BAKITA - Kujadili hali ya sasa ya usanifishaji |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makala za ziada kuhusu usanifishaji - Ramani ya Afrika Mashariki - Kamusi za Kiswahili |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 155-157
|
|
| 10 | 2 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa kumbukumbu za mikutano - Kutambua sehemu muhimu za kumbukumbu - Kutunga ajenda ya mkutano - Kuandika kumbukumbu kamilifu za mkutano - Kutumia lugha rasmi na sahihi |
- Mwalimu aeleze sehemu za kumbukumbu za mkutano
- Kuchanganua mfano wa kumbukumbu zilizoandikwa - Zoezi la kutayarisha ajenda ya mkutano - Kuandika kumbukumbu za mkutano wa chama - Mapitio na marekebisho ya kumbukumbu zilizoandikwa |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya kumbukumbu za mikutano - Fomu za kumbukumbu - Karatasi za uandishi rasmi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 157-160
|
|
| 10 | 3-4 |
Fasihi Andishi
SURA YA KUMI NA NANE Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Vitendawili Shairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi - Kufafanua maana ya vitendawili na umuhimu wake - Kutambua sifa za vitendawili - Kueleza tofauti kati ya vitendawili na mafumbo - Kutatua vitendawili mbalimbali - Kutambua maadili na tamathali zilizotumika |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi - Mazungumzo ya utangulizi kuhusu vitendawili - Mwalimu aeleze muundo wa vitendawili - Wanafunzi wajaribu kutatua vitendawili yaliyotolewa - Majadiliano kuhusu maadili yaliyofichwa - Kuchunguza tamathali za lugha zilizotumika |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
- Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya vitendawili - Chati za tamathali za lugha - Karatasi za kazi za vikundi - Makaratasi ya maswali - Kamusi ya Kiswahili - Chati za uchambuzi wa shairi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 199-200 |
|
| 10 | 5 |
Sarufi
Kusoma kwa Mapana |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeshewa, Kutendesheana na Kutendesheka
Makala Kuhusu Mazingira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza maana ya kauli za vitenzi - Kutofautisha kati ya kauli mbalimbali - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi kwa kutumia kauli mbalimbali - Kutambua matumizi ya kauli hizi |
- Kurejea misingi ya vitenzi na kauli zake
- Mwalimu aeleze aina za kauli kwa mifano - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli mbalimbali - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya vitendo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Chati za kurejelea sarufi - Makala za magazeti kuhusu mazingira - Picha za mazingira yaliyoharibiwa - Karatasi za utafiti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 202-204
|
|
| 10 | 6 |
Kuandika
SURA YA KUMI NA NANE |
Utungaji wa Kiuamilifu: Kujaza Fomu na Hojaji
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa fomu na hojaji - Kutambua aina mbalimbali za fomu - Kujifunza namna ya kujaza fomu ipasavyo - Kuandaa hojaji kwa makusudi mbalimbali - Kutumia lugha sahihi katika kujaza fomu |
- Mwalimu aeleze tofauti kati ya fomu na hojaji
- Kuchanganua mifano ya fomu mbalimbali - Zoezi la kujaza fomu za aina mbalimbali - Kuandaa hojaji ya utafiti rahisi - Mapitio ya fomu na hojaji zilizoandaliwa |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya fomu za aina mbalimbali - Karatasi za kuandaa hojaji - Kalamu na vifaa vya kuandikia Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 204-207
|
|
| 10 | 7 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 11 | 1 |
SURA YA ISHIRINI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Maghani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kufafanua maana ya maghani na aina zake - Kutambua tofauti kati ya maghani ya kawaida na masimulizi - Kueleza umuhimu wa maghani katika jamii - Kutoa mifano ya maghani kutoka jamii mbalimbali - Kuchunguza maudhui na mafunzo ya maghani |
- Mazungumzo kuhusu maghani za kimapokeo
- Mwalimu aeleze aina za maghani - Wanafunzi watoe mifano ya maghani - Majadiliano kuhusu umuhimu wa maghani - Kukusanya maghani kutoka jamii mbalimbali |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makusanyo ya maghani - Vifaa vya kurekodi sauti - Chati za aina za maghani |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 213-214
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Urithi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kuelewa maudhui ya hadithi kuhusu urithi - Kuchunguza changamoto za ugawaji wa urithi - Kutambua wahusika na tabia zao - Kufafanua athari za ubinafsi katika ugawaji wa mali - Kutathmini mafunzo yanayojitokeza |
- Kusoma kifungu kuhusu familia ya Zakaria
- Kuchambua changamoto za ugawaji wa mali - Majadiliano kuhusu tabia za jamaa - Kujibu maswali ya ufahamu - Kujadili umuhimu wa haki za watoto |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Makaratasi ya maswali - Chati za uchambuzi wa wahusika - Mifano ya sheria za urithi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 214-215
|
|
| 11 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa Mapana |
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendua na Kutenduka
Maswala Ibuka |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza dhana ya kauli za kutendua na kutenduka - Kutofautisha kati ya kauli hizi mbili - Kunyambua vitenzi katika kauli hizi - Kutunga sentensi zenye vitenzi vya kauli hizi - Kutambua matumizi ya kauli za kinyume - Kuelewa masuala ya haki za binadamu - Kuchunguza haki za wafungwa - Kutambua haki zilizomo katikba - Kufafanua umuhimu wa utawala wa kisheria - Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa |
- Kurejea misingi ya kauli za vitenzi
- Mwalimu aeleze kauli za kutendua na kutenduka - Wanafunzi wajaribu kunyambua vitenzi - Zoezi la kutunga sentensi kwa kauli hizi - Kazi ya vikundi kufanya mazoezi ya sarufi - Kusoma makala kuhusu haki za binadamu - Majadiliano kuhusu haki za wafungwa - Kuchunguza maswala ya utawala - Kuandika ripoti kuhusu haki za wafungwa - Utafiti kuhusu katiba ya Kenya ya 2010 |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Jedwali za kauli za vitenzi - Makaratasi ya mazoezi - Mifano ya vitenzi vya kinyume - Kitabu Cha Mwanafunzi - Mwongozo wa Mwalimu - Nakala ya katiba ya Kenya - Makala za magazeti - Karatasi za utafiti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 215-216
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 216-217 |
|
| 11 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Matangazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza umuhimu wa matangazo - Kutambua aina mbalimbali za matangazo - Kutunga matangazo ya aina mbalimbali - Kutumia lugha sahihi na ya kuvutia - Kuandika matangazo ya nafasi za kazi |
- Mwalimu aeleze aina za matangazo
- Kuchanganua mifano ya matangazo mbalimbali - Zoezi la kutunga matangazo ya kazi - Kuandika matangazo ya sherehe au hafla - Mapitio na marekebisho ya matangazo |
- Kitabu Cha Mwanafunzi
- Mwongozo wa Mwalimu - Mifano ya matangazo kutoka magazeti - Karatasi za uandishi - Kalamu na vifaa vya kuandikia |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Kurasa 217-218
|
|
| 11 | 6 |
SURA YA ISHIRINI
Fasihi Andishi |
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika
|
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
| 11 | 7 |
SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Ngomezi - Mawasiliano kwa Ngoma
Mchezo wa Kuigiza: Tusikate Miti Ovyo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ngomezi Kutaja matukio yanayohusiana na ngomezi Kufafanua sifa za ngomezi Kuigiza baadhi ya ngomezi Kueleza dhima za ngomezi katika jamii |
Mazungumzo ya utangulizi kuhusu njia za mawasiliano ya kiasili Kusikiliza maelezo kuhusu aina za ngomezi (kifo, mavuno, mwaka mpya, mwezi kupatwa) Mjadala wa vikundi kuhusu matukio yanayohusiana na ngomezi Kuigiza ngomezi za kutangaza kifo na kusherehekea mavuno Mazungumzo kuhusu dhima za ngomezi katika jamii |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Ngoma au vifaa vya kuiga sauti Vielelezo vya picha za sherehe Kanda za sauti Vielelezo vya mazingira Picha za miti Nakala za sheria za mazingira |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 219-221
|
|
| 12 | 1 |
Sarufi
|
Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi Moja
Mnyambuliko wa Vitenzi vyenye Asili ya Kigeni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa vitenzi vya silabi moja Kutambua kauli za vitenzi Kuandika vitenzi katika kauli mbalimbali Kutunga sentensi sahihi Kufafanua tofauti kati ya kauli za vitenzi |
Utangulizi kuhusu vitenzi vya silabi moja Kueleza kauli ya kutenda na mifano Kujifunza kauli ya kutendea na viishio vyake Kusoma kauli ya kutendwa Kujifunza kauli ya kutendana/kutendeana Zoezi la kutunga sentensi kwa kila kauli |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la kauli za vitenzi Vielelezo vya miundo Kadi za mazoezi Jedwali la vitenzi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 223-226
|
|
| 12 | 2 |
Kuandika
SURA YA ISHIRINI NA MOJA |
Utungaji wa Kiuamilifu: Ripoti
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana na umuhimu wa ripoti Kutambua sehemu za ripoti Kufafanua kanuni za kuandika ripoti Kuandika ripoti sahihi Kutumia lugha sahihi ya kirasmi |
Mazungumzo kuhusu maana ya ripoti Kujifunza muundo wa ripoti Kusoma mfano wa ripoti Kujadili mambo yanayopaswa kuzingatiwa Zoezi la kuandika ripoti ya ziara Kusahihisha ripoti zilizoandikwa |
Kitabu cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Mifano ya ripoti Fomu za kuandikia Kalamu na karatasi Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu Uk. 227-232
|
|
| 12 | 3-4 |
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza SURA YA ISHIRINI NA MBILI Fasihi Andishi Kusoma kwa Ufahamu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Fasihi Simulizi: Hadithi ya Twiga na Mkufu wa Kima Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Taifa Bingwa Barani - 2004 |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Picha za wanyamapori Vifaa vya kuigiza Kanda za sauti za hadithi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Picha za michezo ya kabumbu Ramani ya Afrika Makala ya magazeti kuhusu michezo |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 12 | 5 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Sarufi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Vivumishi vya Pekee na Matumizi yake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Jedwali la vivumishi Kadi za mifano Majaribio ya mazoezi Ubao mweupe |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 12 | 6 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi Sarufi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mazoezi ya Sarufi Mchanganyiko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Majaribio ya sarufi Kadi za mazoezi Ubao mweupe Kalamu za rangi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 12 | 7 |
SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Fasihi Andishi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 13 |
Exams |
|||||||
Your Name Comes Here