Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA SABA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
USALAMA SHULENI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri - Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kueleza kwa usahihi masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza.
- Kufasiri habari katika matini ya kusikiliza.
- Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumika katika matini ya kusikiliza
- Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza.
- Kufurahia kufasiri matini za kusikiliza ili kukuza stadi ya kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza masuala yanayozungumziwa katika matini aliyosikiliza
- Kufasiri habari katika matini aliyosikiliza
- Kueleza maana ya msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumika katika habari
- Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo
- Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza na kuchanganua habari
Je, ni mambo gani utakayozingatia katika kuchanganua habari uliyosikiliza?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 66
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kufasiri habari Kutabiri matukio Kueleza maana ya msamiati
1 2
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza dhana za maudhui na dhamira katika fasihi
- Kujadili maudhui katika novela
- Kujadili dhamira katika novela
- Kutoa muhtasari wa dhamira na maudhui kuhusu novela
- Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya maudhui katika fasihi
- Kutambua maudhui mbalimbali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kujadili maudhui ya novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu maudhui
- Kuandika maelezo mafupi kuhusu maudhui katika novela
- Kueleza maana ya dhamira katika fasihi
Vitabu vya fasihi ulivyowahi kusoma vinazungumzia nini?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 67
Novela iliyoteuliwa
Vifaa vya kidijitali
Kutambua maudhui na dhamira Kujadili maudhui Kuandika muhtasari
1 3
Sarufi
Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi katika matini
- Kutumia vitenzi vikuu na visaidizi ipasavyo katika matini
- Kuchangamkia kutumia vitenzi vikuu na visaidizi ipasavyo katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi kwenye chati, kadi maneno
- Kubainisha vitenzi vikuu na visaidizi katika sentensi
- Kutunga sentensi kuhusu masuala mtambuko kwa kutumia vitenzi vikuu na visaidizi
- Kutunga sentensi zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani
- Kujadili maana ya kitenzi kikuu na kisaidizi
Tunatofautisha vitenzi vikuu na vitenzi visaidizi kwa njia gani?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 68
Kadi maneno
Chati
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi vikuu na visaidizi Kutunga sentensi Kutofautisha vitenzi
1 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Picha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kubuni anwani inayooana na kisa atakachosimulia kutokana na picha katika matini
- Kutoa maelezo dhahiri kuhusu matukio katika picha kwenye matini
- Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha katika matini
- Kufurahia kusimulia kisa kutokana na picha ili kukuza ubunifu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kusimuliana matukio kutokana na picha
- Kubuni anwani inayooana na kisa atakachosimulia kutokana na picha
- Kutoa maelezo dhahiri kuhusu matukio katika picha
- Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha
- Kuwasomea wenzake kisa alichoandika ili wakitolee maoni
Je, ni vigezo vipi utakavyozingatia wakati wa kuandika insha ya kubuni kutokana na picha?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 69
Picha za usalama
Vifaa vya kidijitali
Kubuni anwani Kuandika kisa Kutoa maelezo dhahiri
2 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kufasiri - Matini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza kwa usahihi masuala yanayozungumziwa katika matini ya kusikiliza
- Kufasiri habari katika matini ya kusikiliza
- Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumika katika matini ya kusikiliza
- Kutabiri kitakachotokea katika matini kwa kurejelea vidokezo katika matini ya kusikiliza
- Kufurahia kufasiri matini za kusikiliza ili kukuza stadi ya kusikiliza
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari mtakayosomewa na mwalimu
- Shirikiana na mwenzako kueleza masuala ambayo yamezungumziwa
- Tambueni na kueleza maana ya msamiati juu ya usalama shuleni
- Mlidhani ni jambo gani lingetokea katika habari baada ya kusomewa anwani
- Kufasiri habari kutokana na vidokezo
Ni jambo gani litakalotokea katika matini?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 70
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kusikiliza na kufasiri Kutambua msamiati Kutabiri matukio
2 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Maudhui na Dhamira
Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza dhana za maudhui na dhamira katika fasihi
- Kujadili maudhui katika novela
- Kujadili dhamira katika novela
- Kutoa muhtasari wa dhamira na maudhui kuhusu novela
- Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhamira ya novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kuandika maelezo mafupi kuhusu dhamira ya novela
- Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu dhamira
- Kumsomea mzazi au mlezi novela na kutambua dhamira yake
- Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma chapisho la novela
- Kutambua ujumbe wake
Kwa nini mwandishi anaandika kazi ya fasihi?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 71
Novela iliyoteuliwa
Matini ya mwalimu
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 72
Vifaa vya kidijitali
Kutambua dhamira Kuwasilisha uchambuzi Kushirikiana na wazazi
2 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Picha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kubuni anwani inayooana na kisa atakachosimulia kutokana na picha katika matini
- Kutoa maelezo dhahiri kuhusu matukio katika picha kwenye matini
- Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha katika matini
- Kufurahia kusimulia kisa kutokana na picha ili kukuza ubunifu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika kisa chenye maelezo dhahiri kutokana na picha
- Kuwasomea wenzake kisa alichoandika ili wakitolee maoni
- Kushirikiana na mzazi au mlezi kutafiti mtandaoni kuhusu insha za picha
- Kusimuliana visa kutokana na picha
- Kutoa maelezo kuhusu matukio katika picha
Utawezaje kubuni kisa kutokana na picha?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 72
Picha mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kuandika kisa Kusimuliana visa Kutafiti kuhusu insha za picha
2 4
KUHUDUMIA JAMII SHULENI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ujumbe katika ufahamu wa kusikiliza
- Kueleza maana ya msamiati ulio katika ufahamu wa kusikiliza
- Kufasiri ujumbe kutokana na ufahamu wa kusikiliza
- Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza kwa ufahamu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua ujumbe wa suala lengwa uliotumiwa katika ufahamu wa kusikiliza
- Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa
- Kusikiliza kauli au vifungu vya sentensi kuhusu suala lengwa
- Kufasiri ujumbe katika kauli au sentensi hizo
- Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza ufahamu kuhusu suala lengwa
Je, kusikiliza kwa ufahamu kuna faida zipi?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 74
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua ujumbe Kufasiri ujumbe Kueleza maana ya msamiati
3 1
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
- Kutambua habari kuu za aya na kuzieleza kwa usahihi katika sentensi moja
- Kufupisha kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa habari kutokana na matini
- Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ufupisho
- Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa
- Kutambua habari kuu za aya na kuzieleza kwa usahihi
- Kufupisha kifungu alichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao wa habari
- Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni
Unazingatia nini unapofupisha kifungu?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 75
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kutambua habari kuu Kufupisha kifungu Kuwasilisha ufupisho
3 2
Sarufi
Vitenzi Vishirikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vitenzi vishirikishi katika matini
- Kutumia vitenzi vishirikishi katika matini
- Kuonea fahari matumizi ya vitenzi vishirikishi katika sentensi na vifungu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili na mwenzake maana ya vitenzi vishirikishi
- Kuchopoa vitenzi vishirikishi kwenye chati, kadi maneno
- Kutaja vitenzi vishirikishi vinavyojitokeza katika sentensi na vifungu
- Kutenga vitenzi vishirikishi katika orodha ya maneno
- Kutunga sentensi na vifungu kwa kutumia vitenzi vishirikishi
Je, unajua aina gani za vitenzi?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 77
Kadi maneno
Kapu maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi vishirikishi Kutunga sentensi Kutofautisha vitenzi
3 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya insha ya maelezo
- Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo
- Kutambua umuhimu wa msamiati ufaao katika insha ya maelezo
- Kutumia msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo
- Kufurahia kuandika insha za maelezo ili kujenga stadi ya kuandika
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo kutoka kwa vielelezo vya insha
- Kutumia kifaa cha kidijitali kupigia mstari maneno yaliyotumiwa kutoa maelezo
- Kutambua umuhimu wa kuteua maneno yafaayo katika kielelezo cha insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia msamiati ufaao
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
Je, unatumia lugha ya aina gani unapotaka kumweleza mtu jambo fulani ili aweze kupata picha kamili?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 78
Mifano ya insha za maelezo
Vifaa vya kidijitali
Kutambua msamiati ufaao Kuandika insha ya maelezo Kutumia lugha ya maelezo
3 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ujumbe katika ufahamu wa kusikiliza
- Kueleza maana ya msamiati ulio katika ufahamu wa kusikiliza
- Kufasiri ujumbe kutokana na ufahamu wa kusikiliza
- Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza kwa ufahamu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Sikiliza habari atakayotoa mgeni mwalikwa kuhusu kuhudumia jamii shuleni
- Tambua ujumbe katika habari mliyosikiliza
- Dondoa msamiati kuhusu kuhudumia jamii shuleni
- Eleza maana ya msamiati uliotumiwa
- Sikilizeni mgeni mwalikwa akitaja kauli kuhusu kuhudumia jamii shuleni
Unazingatia nini katika kusikiliza kwa ufahamu?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 80
Mgeni mwalikwa
Vifaa vya kidijitali
Kusikiliza mgeni mwalikwa Kutambua ujumbe Kudondoa msamiati
4 1
Kusoma
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya ufupisho ili kuupambanua
- Kutambua habari kuu za aya na kuzieleza kwa usahihi katika sentensi moja
- Kufupisha kifungu akizingatia mpangilio ufaao wa habari kutokana na matini
- Kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika mawasiliano ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mkiwa wawiliwawili, elezeni maana ya ufupisho
- Soma kifungu "Vyama vya wanafunzi shuleni"
- Tambueni habari kuu za kila aya ya kifungu
- Fupisheni kifungu mlichosoma kwa kuzingatia mpangilio ufaao
- Wawasilishie wenzako habari uliyoifupisha ili waitolee maoni
Ni vipengele vipi muhimu katika ufupisho?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 80
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kueleza maana ya ufupisho Kufupisha kifungu Kuwasilisha ufupisho
4 2
Sarufi
Vitenzi Vishirikishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vitenzi vishirikishi katika matini
- Kutumia vitenzi vishirikishi katika matini
- Kuonea fahari matumizi ya vitenzi vishirikishi katika sentensi na vifungu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mkumbushe mwenzako kuhusu maana ya vitenzi vishirikishi
- Chopoeni vitenzi vishirikishi kutoka kwenye kapu maneno
- Tambueni vitenzi vishirikishi katika kifungu
- Andika sentensi zifuatazo kwenye tarakilishi
- Tunga sentensi kwa kutumia vitenzi vishirikishi
Vitenzi vishirikishi vina kazi gani?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 81
Kapu maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vitenzi vishirikishi Kutunga sentensi Kueleza majukumu ya vitenzi
4 3
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya insha ya maelezo
- Kutambua msamiati ufaao katika kutoa maelezo
- Kutambua umuhimu wa msamiati ufaao katika insha ya maelezo
- Kutumia msamiati ufaao kwa ufasaha katika kuandika insha ya maelezo
- Kufurahia kuandika insha za maelezo ili kujenga stadi ya kuandika
Mwanafunzi aelekezwe:
- Mweleze mwenzako maana ya insha ya maelezo
- Someni insha mtakayopatiwa na mwalimu darasani
- Tambueni msamiati uliotumika kutoa maelezo katika insha mliyosoma
- Andika insha ya maelezo ukizingatia msamiati ufaao
- Wasomee wenzako insha uliyoandika ili waitolee maoni
Ni lugha gani inafaa katika insha ya maelezo?
Nyota ya Kiswahili Gredi ya 7 uk. 82
Vifaa vya kidijitali
Matini ya mwalimu
Kueleza maana ya insha ya maelezo Kuandika insha ya maelezo Kutumia msamiati ufaao
4 4
ULANGUZI WA BINADAMU

Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza ili Kupasha Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari
- Kutambua aina za uzungumzaji wa kupasha habari
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza ili kupasha habari
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza ili kupasha habari
- Kushiriki katika kikundi kujadili aina za uzungumzaji wa kupasha habari
- Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza ili kupasha habari
Je, uzungumzaji wa kupasha habari hutolewa katika miktadha gani ya jamii yako?
Nyota ya Kiswahili uk. 84
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Mgeni mwalikwa
Kushiriki mazungumzo Kutathmini vipengele vya kupasha habari Kutoa maelezo sahihi
5 1
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina - Mandhari
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya mandhari na ploti katika fasihi
- Kutambua mandhari mbalimbali na ploti ya novela
- Kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ya novela
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mandhari katika fasihi
- Kutambua mandhari mbalimbali katika novela iliyoteuliwa
- Kujadili umuhimu wa mandhari ya novela
- Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu mandhari
Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika kazi za fasihi ulizowahi kusoma?
Nyota ya Kiswahili uk. 85
Novela iliyoteuliwa
Vifaa vya kidijitali
Michoro
Nyota ya Kiswahili uk. 86
Chati
Kadi maneno
Tarakilishi
Kutambua mandhari Kuandika maelezo mafupi Kuwasilisha uchambuzi
5 2
Kuandika
Viakifishi - Kiulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya kiulizi na koma katika matini
- Kutumia kiulizi na koma ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi bora ya kiulizi na koma katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya kiulizi katika maneno, sentensi na vifungu
- Kuandika sentensi kuhusu ulanguzi wa binadamu kwa kutumia kiulizi ipasavyo
- Kusahihisha kifungu kwa kutumia kiulizi ipasavyo
Je, kiulizi hutumiwa vipi katika maandishi?
Nyota ya Kiswahili uk. 88
Tarakilishi
Matini za mwalimu
Kadi za mifano
Kutambua matumizi ya kiulizi Kuandika sentensi sahihi Kusahihisha vifungu
5 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza ili Kupasha Habari
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kupasha habari kwa kutumia vipengele vifaavyo
- Kuchangamkia kupasha habari mbalimbali ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika uzungumzaji wa kupasha habari kuhusu ulanguzi wa binadamu
- Kushiriki katika mazungumzo na mzazi au mlezi wake kuhusu suala lengwa
Je, utatumia mikakati gani ili kuwapasha wanajamii habari kuhusu mambo mbalimbali?
Nyota ya Kiswahili uk. 89
Vifaa vya kidijitali
Chati za vipengele
Kuwasilisha mazungumzo Kutathmini mazungumzo Kutoa maoni
5 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Ploti
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua ploti ya novela
- Kujadili umuhimu wa ploti katika novela
- Kuandika maelezo mafupi kuhusu ploti ya novela
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya ploti katika fasihi
- Kutambua ploti ya novela iliyoteuliwa
- Kujadili umuhimu wa ploti ya novela
- Kuwawasilishia wenzake uchambuzi wake kuhusu ploti
Ploti ya hadithi ina vipengele gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 90
Novela iliyoteuliwa
Video za uchambuzi
Kutambua ploti Kuandika maelezo mafupi Kuwasilisha uchambuzi
6 1
Sarufi
Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi - Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika matini
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kutumia ipasavyo upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua nomino za ngeli ya U-I kutoka kwenye chati, mti maneno
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I
- Kutunga kifungu chenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-I
Ni vitu gani katika mazingira yako ambavyo ni nomino za ngeli ya U-I?
Nyota ya Kiswahili uk. 91
Chati
Kadi maneno
Matini za mwalimu
Kutambua nomino za ngeli Kutunga sentensi sahihi Kufanyiana tathmini
6 2
Kuandika
Viakifishi - Koma
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua matumizi ya koma katika matini
- Kutumia koma ipasavyo katika matini
- Kufurahia matumizi bora ya koma katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua matumizi ya koma katika maneno, sentensi na vifungu
- Kuandika kifungu kifupi kuhusu ulanguzi wa binadamu kwa kutumia koma ipasavyo
- Kusahihisha kifungu kwa kutumia koma ipasavyo
Je, koma hutumiwaje katika sentensi?
Nyota ya Kiswahili uk. 93
Tarakilishi
Mifano ya sentensi
Vitabu vya ziada
Kutambua matumizi ya koma Kuandika kifungu sahihi Kusahihisha vifungu
6 3
MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika silabi na maneno
- Kutamka sauti /d/ na /nd/ ipasavyo
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti /d/ na /nd/ katika mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua sauti /d/ na /nd/ katika maneno na silabi
- Kutafuta maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika matini
- Kutunga vitanzandimi vinavyotumia sauti /d/ na /nd/
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/?
Nyota ya Kiswahili uk. 95
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Tarakilishi
Kutambua sauti sahihi Kutamka ipasavyo Kuunda vitanzandimi
6 4
Kusoma
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
- Kutambua msamiati mpya katika kifungu
- Kuandika habari za kifungu kwa ufupi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu athari za teknolojia
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu
- Kutambua msamiati mpya na kueleza maana zake
- Kuandika ujumbe wa kifungu kwa ufupi
Kifungu cha kushawishi kina sifa gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 97
Kamusi
Matini ya kushawishi
Kudondoa habari sahihi Kuandika ufupisho Kuwasilisha kazi
7

Midterm break

8 1
Sarufi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya KI-VI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua nomino katika ngeli ya KI-VI na LI-YA
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi
- Kutumia ipasavyo upatanisho wa kisarufi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchopoa nomino za ngeli ya KI-VI kwenye chati, kadi maneno
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI
- Kutunga kifungu chenye viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya KI-VI
Utajuaje kama matini inazingatia kanuni za kisarufi?
Nyota ya Kiswahili uk. 98
Chati
Kadi maneno
Tarakilishi
Kutambua nomino za ngeli Kutunga sentensi sahihi Kutambua viambishi
8 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo
- Kueleza vipengele vinavyojenga wazo
- Kuandika insha ya masimulizi akikuza wazo katika aya ipasavyo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vinavyozingatiwa kujenga wazo katika insha ya masimulizi
- Kushirikiana na wenzake kueleza vipengele vinavyojenga wazo
- Kuandika insha ya masimulizi akizingatia sehemu ya mwanzo, kati na hitimisho
Ni sehemu gani kuu katika mpangilio wa matukio ya insha ya masimulizi?
Nyota ya Kiswahili uk. 100
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Mifano ya insha
Kuandika insha Kuwasilisha kazi Kusahihisha insha
8 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina - Sauti /d/ na /nd/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutamka maneno yenye sauti /d/ na /nd/ ipasavyo
- Kuunda vitanzandimi vyenye sauti /d/ na /nd/
- Kuchangamkia matamshi bora ya sauti hizi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutofautisha maneno yenye sauti /d/ na /nd/ katika vitanzandimi
- Kutunga vitanzandimi vyenye maneno yenye sauti /d/ na /nd/
- Kujirekodi na kusikiliza vitanzandimi walivyounda
Ni maneno yepi unayoyajua yaliyo na sauti /d/ na /nd/?
Nyota ya Kiswahili uk. 101
Simu
Rununu
Vitabu vya hadithi
Kutamka ipasavyo Kuunda vitanzandimi Kutathmini vitanzandimi
8 4
Kusoma
Sarufi
Ufahamu wa Kifungu cha Kushawishi
Ngeli na Upatanisho - Ngeli ya LI-YA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua msamiati wa teknolojia
- Kuchangamkia usomaji wa ufahamu
- Kuridhia kusoma vifungu vya kushawishi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu matumizi ya teknolojia shuleni
- Kutambua msamiati wa teknolojia
- Kuwawasilishia wenzake kifungu alichofupisha
Kifungu cha kushawishi kina sifa gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 103
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili uk. 104
Chati
Kadi maneno
Tarakilishi
Kujibu maswali Kuandika ufupisho Kuwasilisha kazi
9 1
Kuandika
Insha za Kubuni - Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya masimulizi
- Kufurahia utunzi wa insha za masimulizi
- Kusahihisha insha za wenzake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya masimulizi inayogusia matumizi ya vifaa vya kidijitali
- Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya masimulizi
Ni sehemu gani kuu katika mpangilio wa matukio ya insha ya masimulizi?
Nyota ya Kiswahili uk. 105
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha Kusambazie kazi Kusahihisha insha
9 2
KUJITHAMINI

Kusikiliza na Kuzungumza
Nyimbo za Kazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya nyimbo za kazi na za dini
- Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa
- Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha wimbo wa kazi kutoka kwa mwalimu
- Kueleza maana ya nyimbo za kazi
- Kutambua mazingira ambapo nyimbo za kazi huimbwa
- Kueleza ujumbe katika nyimbo za kazi
Je, unajua nyimbo zipi katika jamii yako?
Nyota ya Kiswahili uk. 107
Vifaa vya kidijitali
Kinasasauti
Picha za mazingira
Kuimba nyimbo Kueleza ujumbe Kurekodi nyimbo
9 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua wahusika katika novela
- Kujadili sifa za wahusika katika novela
- Kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma novela iliyoteuliwa na mwalimu
- Kutambua wahusika katika novela
- Kujadili sifa za wahusika katika novela
- Kuigiza wahusika katika novela
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
Nyota ya Kiswahili uk. 109
Novela iliyoteuliwa
Video za wahusika
Vifaa vya kidijitali
Kutambua wahusika Kuandaa muhtasari Kuigiza wahusika
9 4
Sarufi
Vinyume vya Maneno - Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza dhana ya kinyume cha maneno
- Kutambua vinyume vya nomino na vivumishi
- Kutumia vinyume vya nomino na vivumishi katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili maana ya kinyume cha maneno
- Kutambua vinyume vya nomino katika mti maneno
- Kuambatanisha nomino na vinyume vyake
- Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya nomino
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 110
Mti maneno
Kadi za nomino
Tarakilishi
Kutambua vinyume Kutunga sentensi Kufanyiana tathmini
10 1
Kuandika
Barua ya Kuomba Msamaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza umuhimu wa barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza umuhimu wa kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kutambua ujumbe katika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kujadili vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba msamaha
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
Nyota ya Kiswahili uk. 111
Mifano ya barua
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua vipengele Kuandika barua Kuwasilisha barua
10 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Nyimbo za Dini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya nyimbo za dini
- Kutambua mazingira ambapo nyimbo za dini huimbwa
- Kuwasilisha nyimbo za dini kwa zamu
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza kielelezo cha nyimbo za dini
- Kueleza maana ya nyimbo za dini
- Kutambua mazingira mengine ambapo nyimbo za dini huimbwa
- Kutunga wimbo mwepesi wa dini
Je, nyimbo za kazi na za dini zinatofautianaje?
Nyota ya Kiswahili uk. 113
Vifaa vya kidijitali
Simu
Vitabu vya nyimbo
Kuimba nyimbo Kuwasilisha nyimbo Kurekodi nyimbo
10 3
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika maelezo mafupi kuhusu wahusika
- Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika
- Kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za fasihi
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama video kuhusu wahusika katika novela
- Kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika
- Kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika
- Kumhadithia mzazi au mlezi hadithi ya novela
Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela?
Nyota ya Kiswahili uk. 114
Video za uchambuzi
Novela iliyoteuliwa
Kuandaa muhtasari Kujadili mafunzo Kuwasilisha uchambuzi
10 4
Sarufi
Vinyume vya Maneno - Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vinyume vya vivumishi katika matini
- Kutumia vinyume vya vivumishi katika matini
- Kuchangamkia kutumia vinyume vya vivumishi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vinyume vya vivumishi kwenye kadi maneno
- Kutambua vinyume vya vivumishi katika sentensi
- Kutunga sentensi sahihi akitumia vinyume vya vivumishi
Je, dhana ya vinyume vya nomino ina maana gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 115
Kadi maneno
Sentensi za mifano
Tarakilishi
Kutambua vinyume Kutunga sentensi Kutathmini kazi
11 1
Kuandika
Barua ya Kuomba Msamaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha
- Kufurahia kujieleza kwa njia ifaayo kupitia kwa barua
- Kushirikiana na wenzake kutathmini barua
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika barua rasmi ya kuomba msamaha kwa mwalimu wa darasa
- Kuwasambazie wenzake barua aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kutathmini barua za kirafiki
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua rasmi ya kuomba msamaha?
Nyota ya Kiswahili uk. 116
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika barua Kusambazie kazi Kutathmini barua
11 2
MAJUKUMU YA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kujadili vitendo au ishara vya kuambatanisha na mazungumzo
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kuigiza jinsi ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
Ni vitendo gani tunatumia tunapozungumza?
Nyota ya Kiswahili uk. 117
Video za mazungumzo
Vifaa vya kidijitali
Kuigiza mazungumzo Kutambua vipengele Kushiriki mazungumzo
11 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendea
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia
- Kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
- Kutumia ipasavyo msamiati aliosoma katika matini ya kujichagulia
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuchagua makala mbalimbali kuhusu majukumu ya watoto
- Kusoma makala aliyojichagulia
- Kutambua msamiati uliotumika katika matini aliyoichagua
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno
Unapenda kusoma matini za aina gani?
Nyota ya Kiswahili uk. 118
Makala mbalimbali
Kamusi
Vifaa vya kidijitali
Nyota ya Kiswahili uk. 119
Tarakilishi
Kapu maneno
Jedwali la vitenzi
Kusoma matini Kutambua msamiati Kutunga sentensi
11 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vipengele vya mpangilio wa insha ya maelezo
- Kueleza mpangilio wa insha ya maelezo
- Kuandika insha ya maelezo inayozingatia mpangilio ufaao
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma insha ya maelezo kuhusu haki za watoto
- Kutambua mpangilio wa maelezo katika insha
- Kushirikiana kueleza jinsi maelezo yalivyopangwa
- Kuandika vidokezo vya insha kuhusu majukumu ya watoto
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
Nyota ya Kiswahili uk. 121
Mifano ya insha
Tarakilishi
Vidokezo vya insha
Kutambua mpangilio Kuandika vidokezo Kuandika insha
12 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa mazungumzo kwa kuyaambatanisha na vitendo au ishara zifaazo
- Kujenga mazoea ya kuzungumza kwa kuambatanisha na vitendo
- Kushiriki mazungumzo na mzazi au mlezi wake
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuwasilisha mazungumzo yanayoambatana na vitendo kuhusu majukumu ya watoto
- Kushiriki na mzazi au mlezi wake katika kuzungumza
- Kutazama na kusikiliza mazungumzo yanayoambatana na vitendo
Kuna umuhimu gani wa kutumia vitendo tunapozungumza?
Nyota ya Kiswahili uk. 122
Rununu
Video za mazungumzo
Vifaa vya kidijitali
Kuwasilisha mazungumzo Kutathmini mazungumzo Kushiriki na mzazi
12 2
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma
- Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku
- Kusakura mtandaoni kujichagulia matini ya ziada
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika muhtasari wa makala ya kujichagulia aliyosoma
- Kuwawasilishia wenzake muhtasari wake
- Kusakura mtandaoni ili kujichagulia matini ya ziada kuhusu majukumu ya watoto
Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea?
Nyota ya Kiswahili uk. 123
Matini mbalimbali
Mtandao
Vifaa vya kidijitali
Kuandika muhtasari Kuwasilisha kazi Kusakura mtandaoni
12 3
Sarufi
Mnyambuliko wa Vitenzi - Kutenda na Kutendwa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kutumia vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa ipasavyo
- Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vitenzi katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kutenga vitenzi vilivyo katika kauli ya kutenda na kutendwa
- Kugeuza vitenzi katika jedwali katika kauli zinazoangaziwa
- Kutunga kifungu kuhusu majukumu ya watoto
Ni kauli gani za vitenzi unazozijua?
Nyota ya Kiswahili uk. 124
Tarakilishi
Kadi maneno
Jedwali la vitenzi
Kutambua vitenzi Kutenga vitenzi Kutunga kifungu
12 4
Kuandika
Insha za Kubuni - Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo,
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao
- Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo akizingatia mpangilio ufaao wa maelezo
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika
- Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelezo
Je, unawezaje kupanga matukio katika insha ya maelezo vipi?
Nyota ya Kiswahili uk. 125
Tarakilishi
Vifaa vya kidijitali
Kuandika insha Kuwasilisha kazi Kusahihisha insha

Your Name Comes Here


Download

Feedback