Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
USAFI WA SEHEMU ZA UMMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kujibu Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano
-kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mahojiano
-kutambua vipengele vya kuzingatia katika kujibu mahojiano
-kusikiliza mahojiano kuhusu suala lengwa katika kifaa cha kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa
-kuwawasilishia wenzake vipengele vya kusikiliza na kujibu mahojiano vilivyozingatiwa katika mahojiano aliyosikiliza
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kusikiliza mahojiano?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 5
-Vifaa vya kidijitali
-Kanda za sauti za mahojiano
-Chati
-Kapu la maneno
Observation -Oral questions -Written questions -Peer assessment
2 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi
Viwakilishi: Viwakilishi vya Nafsi, Viwakilishi Vionyeshi na Viwakilishi vya Idadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
-kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
-kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu cha simulizi kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
-kudondoa habari mahususi (k.v. nani? nini? wapi? lini?) katika kifungu cha simulizi
-kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
-kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi alichosoma
Je, tunapataje habari mahususi katika kifungu cha simulizi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 8
-Vifaa vya kidijitali
-Kielelezo cha kifungu cha simulizi
-Kamusi
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 20
-Kapu la maneno
-Chati
-Mti maneno
-Tarakilishi
Observation -Oral questions -Written questions -Peer assessment
2 3
Kuandika
Viakifishi: Alama ya hisi na Ritifaa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutambua matumizi ya alama ya hisi na ritifaa katika matini
-kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua alama ya hisi na ritifaa katika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwenye matini andishi na za kidijitali
-kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kuhusu kwa kutumia alama ya hisi na ritifaa ipasavyo kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
Je, alama ya hisi huonyesha hisia zipi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 15
-Matini mbalimbali zenye alama za uakifishi
-Vifaa vya kidijitali
Observation -Written tasks -Dictation -Peer assessment
2 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kujibu Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutumia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mahojiano ipasavyo
-kuchangamkia kushiriki mahojiano katika miktadha mbalimbali
Mwanafunzi aelekezwe:
-kushiriki mahojiano kuhusu suala lengwa akiwa na wenzake, mzazi au mlezi kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya kusikiliza na kujibu mahojiano
-kufanya mazoezi zaidi ya kusikiliza na kujibu mahojiano
-kuigiza mahojiano ya aina mbalimbali
Je, ni vipengele vipi vinavyofaa kuzingatiwa katika kujibu mahojiano?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 6
-Vifaa vya kidijitali
-Kanda za sauti za mahojiano
-Chati
-Kapu la maneno
Role play -Oral presentation -Peer assessment -Self-assessment
3 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kueleza maana ya msamiati katika kifungu cha simulizi
-kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua msamiati (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha simulizi na kuueleza kwa kutumia kamusi
-kusoma vifungu vya simulizi mtandaoni au kwenye vitabu kuhusu suala lengwa
-kutambua na kueleza maana ya msamiati wa usafi wa sehemu za umma
-kumsomea mzazi au mlezi sentensi kuhusu usafi wa sehemu za umma
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha simulizi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 9
-Kifaa cha kidijitali
-Kamusi
Written exercise -Peer assessment -Self-assessment -Vocabulary test
3 2
Sarufi
Kuandika
Viwakilishi: Viwakilishi vya Nafsi, Viwakilishi Vionyeshi na Viwakilishi vya Idadi
Viakifishi: Alama ya hisi na Ritifaa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo katika matini
-kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ili kufanikisha mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-kujaza nafasi katika sentensi au vifungu akitumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo
-kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usafi wa sehemu za umma
-kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi au vifungu alivyotunga ili amtolee maoni
Ni namna gani tunaweza kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi na vya idadi katika mawasiliano?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 21
-Kapu la maneno
-Chati
-Mti maneno
-Tarakilishi
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 16
-Matini mbalimbali zenye alama za uakifishi
Written exercises -Oral presentation -Peer assessment -Self-assessment
3 3
MATUMIZI YAFAAYO YA DAWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Kina: sauti /g/ na /gh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutambua sauti /g/ na /gh/ katika silabi na maneno
-kutamka sauti /g/ na /gh/ ipasavyo katika silabi na maneno
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua sauti /g/ na /gh/ katika maneno na silabi
-kusikiliza maneno, sentensi au vitanzandimi vinavyohusisha sauti /g/ na /gh/ katika kifaa cha kidijitali na kutambua sauti hizo
-kutafuta maneno yenye sauti /g/ na /gh/ katika matini andishi au za kidijitali na kuyatamka ipasavyo
Ni maneno yapi yaliyo na sauti /g/ na /gh/?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 43
-Kanda za sauti za matamshi
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kadi maneno
Observation -Oral questions -Pronunciation drills -Peer assessment
3 4
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kueleza ujumbe wa matini aliyosoma
-kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
-kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuteua matini kuhusu suala linalomvutia
-kusoma matini aliyojichagulia na kutambua vipengele vyake muhimu
-kueleza ujumbe wa matini aliyoisoma
-kuweka rekodi ya aliyosoma kwa kuyanakili katika kijitabu
-kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 45
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kijitabu cha rekodi
Observation -Oral questioning -Written records -Peer assessment
4 1
Sarufi
Viwakilishi: Viwakilishi vya Sifa, Viwakilishi vya Pekee na Viwakilishi Viulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika matini
-kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi ifaavyo katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuchopoa viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika kapu maneno, kadi maneno, chati au katika tarakilishi
-kutaja viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi
-kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
-kujaza nafasi zilizoachwa katika sentensi na vifungu kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi vifaavyo
Kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 52
-Kapu la maneno
-Kadi maneno
-Chati
-Tarakilishi
Observation -Oral questions -Written exercises -Group work
4 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Barua ya Kirafiki: Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
Kusikiliza kwa Kina: sauti /g/ na /gh/
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kueleza umuhimu wa barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
-kutambua vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
-kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ipasavyo
Mwanafunzi aelekezwe:
-kueleza umuhimu wa kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani kuhusu masuala mbalimbali
-kutambua ujumbe unaoafiki barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
-kutambua lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
-kujadili vipengele vya kimuundo vya barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
Je, ni mambo gani yanayoweza kukufanya uandike barua ya kirafiki ya kutoa shukrani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 49
-Kielelezo cha barua ya kirafiki
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 44
-Kanda za sauti za matamshi
-Vitanzandimi
Observation -Oral questions -Written exercises -Group discussion
4 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutumia ipasavyo msamiati unaotokana na matini aliyosoma
-kujenga mazoea ya kusoma matini za miktadha mbalimbali ili kupanua mawanda ya fikra
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua
-kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma
-kusakura mtandaoni na kujichagulia matini zaidi kuhusu suala lengwa kisha aisome
-kuwawasilishia wenzake kwa kifupi alichojifunza kutokana na matini aliyoisoma mtandaoni
Unapataje ujumbe katika matini uliyoisoma?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 46
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kijitabu cha rekodi
Observation -Oral presentations -Written sentences -Peer assessment
4 4
Sarufi
Viwakilishi: Viwakilishi vya Sifa, Viwakilishi vya Pekee na Viwakilishi Viulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi ifaavyo katika matini
-kuchangamkia kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika mawasiliano
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi yafaayo ya dawa
-kuwasilisha kazi yake darasani au kuwasambazia wenzake mtandaoni ili waitolee maoni
-kumtungia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi
Je, viwakilishi vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 53
-Kapu la maneno
-Kadi maneno
-Chati
-Tarakilishi
Written exercises -Oral presentations -Peer assessment -Self-assessment
5 1
Kuandika
Barua ya Kirafiki: Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ipasavyo
-kukuza mazoea ya kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani katika maisha ya kila siku
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika barua ya kirafiki ya kutoa shukrani daftarini au kwenye tarakilishi
-kuwasilisha insha yake darasani au kumsambazia mwenzake kupitia mtandaoni ili aitolee maoni
-kumwandikia mzazi, mlezi au mwenzake barua ya kirafiki ya kutoa shukrani na kuiwasilisha darasani
Barua ya kirafiki ya kutoa shukrani huwa na vipengele gani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 50
-Kielelezo cha barua ya kirafiki
-Tarakilishi
-Vifaa vya kidijitali
Written letter -Peer assessment -Self-assessment -Presentation
5 2
DHIKI ZINAZOKUMBA WANYAMA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hadithi: Mighani
Kusoma kwa Kina: Tamthilia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kueleza dhana ya mighani ili kuipambanua
-kujadili vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mighani
-kujadili ujumbe katika mighani
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutafiti na kueleza maana ya mighani
-kutafiti na kueleza sifa za mighani
-kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika uwasilishaji wa mighani
-kusikiliza mighani kutoka kwa mwalimu au vifaa vya kidijitali
-kushiriki kujadili ujumbe ulio kwenye mighani
Je, unaposimulia mighani unafaa kuzingatia vipengele gani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 28
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za hadithi
-Mgeni mwalikwa
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 43
-Tamthilia teule
-Vitabu vya kiada
-Kamusi
Observation -Oral questions -Peer assessment -Group discussions
5 3
Sarufi
Viwakilishi: Vimilikishi na Visisitizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini
-kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo katika matini
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuchopoa viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika kapu la maneno, orodha ya maneno, sentensi, vifungu au katika tarakilishi
-kutaja viwakilishi vimilikishi na visisitizi
-kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika orodha ya maneno, sentensi, vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
-kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu kwa kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo
Je, unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 97
-Kapu la maneno
-Kadi maneno
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
Observation -Oral questions -Written exercises -Peer assessment
5 4
Kuandika
Insha za Kubuni: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kubaini wazo moja kuu la insha ya masimulizi atakayoandika
-kuandika insha ya masimulizi inayoendeleza wazo moja kuu katika kila aya
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua wazo moja kuu la simulizi kwenye matini andishi na za kidijitali au katika kielelezo cha insha za kubuni
-kuandika insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa akizingatia wazo moja kuu
-kuliendeleza wazo moja kuu katika kila aya kupitia kwa wahusika katika simulizi
Je, ni vipengele vipi vya kimsingi utakavyozingatia unapoandika insha ya kubuni?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 62
-Kielelezo cha insha ya masimulizi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Observation -Written essays -Group discussions -Peer assessment
6 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Mighani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kusimulia mighani kwa kuzingatia vipengele vya uwasilishaji
-kuchangamkia kushiriki katika uwasilishaji wa mighani katika miktadha mbalimbali ya kijamii
Mwanafunzi aelekezwe:
-simulianeni mighani kutoka jamii zenu huku mkizingatia vipengele vifaavyo vya uwasilishaji wa mighani
-jadilini ujumbe ulio kwenye mighani mlizosimuliana
-jadilini lugha iliyotumiwa katika mighani mlizosimuliana
-elezaneni sifa za mighani mlizosimuliana
-jadilini mliyojifunza kutokana na sifa za mashujaa katika mighani hizo
Je, ni mifano gani ya mighani kutoka jamii yako?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 30
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za hadithi
-Mgeni mwalikwa
Oral presentation -Role play -Group work -Self-assessment
6 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Kina: Tamthilia
Viwakilishi: Vimilikishi na Visisitizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kujadili sifa za tamthilia kama utanzu wa fasihi andishi
-kuchangamkia usomaji wa tamthilia ili kukuza stadi ya kusoma
Mwanafunzi aelekezwe:
-tambueni sifa za tamthilia zinazojitokeza katika tamthilia hiyo
-jadilini sifa za tamthilia mlizozitambua katika tamthilia hiyo
-iwasilisheni kazi yenu darasani ili wengine waitolee maoni
-iboresheni kazi yenu mkiyazingatia maoni ya wenzenu
-kuwasilishia mzazi au mlezi sifa za tamthilia uliyoisoma ili azitolee maoni
Je, ni sifa zipi za tamthilia unazozijua?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 44
-Tamthilia teule
-Vifaa vya kidijitali
-Vitabu vya kiada
-Kamusi
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 108
-Kapu la maneno
-Kadi maneno
-Chati
Written exercises -Oral presentation -Group work -Peer assessment
6 3
Kuandika
Insha za Kubuni: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-kuandika insha ya masimulizi inayoendeleza wazo moja kuu katika kila aya
-kufurahia kuandika insha za masimulizi katika maisha ya kila siku akizingatia ujumbe uliotegemezwa kwenye wazo moja kuu
Mwanafunzi aelekezwe:
-kuandika kwenye tarakilishi, insha ya kubuni kuhusu suala lengwa akizingatia wazo moja kuu na kuwasambazia wenzake kwenye mtandao ili waitolee maoni
-kuwasomea wenzake insha aliyoandika na kuwataka kutambua wazo moja kuu
-tumia kifaa cha kidijitali kuandika hadithi fupi ya kubuni kuhusu dhiki zinazowakumba wanyama
Je, unawezaje kulikuza wazo vizuri katika insha ya masimulizi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg. 65
-Kielelezo cha insha ya masimulizi
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Written essays -Oral presentation -Peer assessment -Group work
6 4
MATUMIZI BORA YA MALIASILI

Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Visasili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha.
-Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili.
-Kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao.
-Kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili ili kujenga umahiri katika fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutafiti na kueleza maana ya visasili.
-Kufanya utafiti maktabani na mtandaoni kuhusu sifa za visasili.
-Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti wake wa sifa za visasili ili wazijadili.
-Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili (k.v. ujumbe, wahusika na mbinu za lugha).
-Kusikiliza visasili katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa na kubainisha vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa visasili.
-Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi vya visasili.
-Kujadili na mzazi au mlezi kuhusu visasili katika jamii yake.
-Kusimulia visasili akiwa na mzazi, mlezi au mwenzake akizingatia vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji.
Je, uwasilishaji wa hadithi ya visasili huzingatia vipengele gani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 89
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Mgeni mwalikwa
-Kamusi
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Kujitahini -Maswali ya maandishi -Orodha hakiki
7

Mid term assessment

8

Mid term break

9 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo.
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
-Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha.
-Kutazama na kusikiliza video inayoonyesha usomaji fasaha wa makala (k.v. hotuba, habari).
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 100 kwa dakika).
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora.
Je, kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 91
-Video za usomaji bora
-Makala
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini
9 2
Sarufi
Kuandika
Nyakati na Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Insha za Kubuni: Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu.
-Kubainisha vitenzi vilivyo katika hali ya mazoea na timilifu katika matini.
-Kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo katika matini.
-Kufurahia kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu.
-Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa.
-Kuchagua vitenzi vinavyoashiria hali ya mazoea na timilifu katika chati, sentensi, vifungu, na tarakilishi.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi daftarini mwake au katika kifaa cha kidjitali kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi bora ya maliasili.
-Kuwasomea wenzake au kuwasambazia mtandaoni kazi yake ili waitolee maoni.
-Kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga katika hali ya mazoea na timilifu.
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 96
-Chati
-Kifungu cha ufahamu
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Oxford Fasaha Kiswahili pg 93
-Vielelezo vya insha
-Vitabu vya hadithi
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
9 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Visasili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza dhana ya visasili ili kuibanisha.
-Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili.
-Kuwasilisha visasili kwa kuzingatia uwasilishaji ufaao.
-Kufurahia uchambuzi na uwasilishaji wa visasili ili kujenga umahiri katika fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutafiti na kueleza maana ya visasili.
-Kufanya utafiti maktabani na mtandaoni kuhusu sifa za visasili.
-Kuwawasilishia wenzake matokeo ya utafiti wake wa sifa za visasili ili wazijadili.
-Kujadili vipengele vya kimsingi katika uwasilishaji wa visasili (k.v. ujumbe, wahusika na mbinu za lugha).
-Kusikiliza visasili katika vifaa vya kidijitali au kutoka kwa mgeni mwalikwa na kubainisha vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji wa visasili.
-Kusimulia visasili kwa kuzingatia vipengele vya kimsingi vya visasili.
-Kujadili na mzazi au mlezi kuhusu visasili katika jamii yake.
-Kusimulia visasili akiwa na mzazi, mlezi au mwenzake akizingatia vipengele vya kimsingi vya uwasilishaji.
Visasili vina sifa gani?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 89
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Mgeni mwalikwa
-Kamusi
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Kujitahini -Maswali ya maandishi -Orodha hakiki
9 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kutambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo.
-Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
-Kuchangamkia kusoma kifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha.
-Kutazama na kusikiliza video inayoonyesha usomaji fasaha wa makala (k.v. hotuba, habari).
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 100 kwa dakika).
-Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo.
-Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kusoma makala akizingatia vipengele vya usomaji bora.
Unaposoma kifungu ni mambo yapi unayozingatia ili kufanikisha usomaji kwa ufasaha?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 91
-Video za usomaji bora
-Makala
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini
10 1
Sarufi
Nyakati na Hali: Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu.
-Kubainisha vitenzi vilivyo katika hali ya mazoea na timilifu katika matini.
-Kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo katika matini.
-Kufurahia kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu.
-Kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa.
-Kuchagua vitenzi vinavyoashiria hali ya mazoea na timilifu katika chati, sentensi, vifungu, na tarakilishi.
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi daftarini mwake au katika kifaa cha kidjitali kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi bora ya maliasili.
-Kuwasomea wenzake au kuwasambazia mtandaoni kazi yake ili waitolee maoni.
-Kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga katika hali ya mazoea na timilifu.
Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 96
-Chati
-Kifungu cha ufahamu
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya wanafunzi kwa wanafunzi
10 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni: Masimulizi
Kusikiliza Maagizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kutambua mbinu za lugha katika insha ya masimulizi.
-Kujadili umuhimu wa mbinu za lugha katika insha za masimulizi.
-Kujadili wahusika na mandhari katika insha za masimulizi.
-Kuandika insha ya masimulizi akizingatia mbinu za lugha, wahusika wanaobainika na mandhari ifaavyo.
-Kufurahia kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha, wahusika na mandhari ifaavyo ili kukuza ubunifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua mbinu za lugha (k.v. tashbihi, sitiari, nahau) katika vielelezo vya insha ya masimulizi.
-Kushirikiana na wenzake kujadili umuhimu wa lugha ya kiubunifu katika vielelezo vya insha za masimulizi.
-Kutafiti maktabani au mtandaoni kuhusu umuhimu wa mbinu za lugha katika insha ya masimulizi.
-Kuwasilisha utafiti wake darasani ili kujadiliana na wenzake.
-Kujadili na wenzake wahusika na mandhari katika vielelezo vya insha za masimulizi kutoka kwenye maandishi au vifaa vya kidijitali.
-Kuandika insha ya masimulizi akitumia lugha kiubunifu na kuwabainisha wahusika na mandhari akizingatia suala lengwa.
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini.
-Kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kielelezo cha insha ya masimulizi ili aitolee maoni.
Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika uandishi wa insha ya masimulizi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 93
-Vielelezo vya insha
-Vitabu vya hadithi
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Oxford Fasaha Kiswahili pg 113
-Chati
-Kadi maneno
-Kapu maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini -Orodha hakiki
10 3
MAJUKUMU YA KIJINSIA

Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu.
-Kueleza maana ya msamiati kulingana na muktadha wa kifungu cha ufahamu.
-Kuchangamkia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali.
-Kueleza habari za kifungu kwa ufupi.
-Kuchopoa msamiati wa suala lengwa na kuutia kwenye kapu la maneno.
-Kueleza maana za maneno kulingana na muktadha wa matumizi katika matini.
-Kusakura vifungu vya ufahamu kuhusu suala lengwa kwenye vifaa vya kidijitali.
-Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kifupi kwa sauti na kueleza habari husika kwa ufupi.
Ni kwa njia gani tunaweza kudondoa habari mahususi kutokana na kifungu cha ufahamu?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 114
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini
10 4
Sarufi
Nyakati na Hali: Wakati uliopita hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu.
-Kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu katika sentensi.
-Kutumia wakati uliopita hali timilifu ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu.
-Kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu (li-, me-).
-Kutambua sentensi zilizo katika wakati uliopita hali timilifu.
-Kupigia mstari viambishi vya wakati uliopita hali timilifu katika sentensi.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi daftarini au katika kifaa cha kidijitali kwa kutumia wakati uliopita hali timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la majukumu ya kijinsia.
-Kuwasomea wenzake au kuwasambazia mtandaoni kazi yake ili waitolee maoni.
Je, kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 129
-Chati
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini
11 1
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kutambua vipengele vya insha ya maelekezo kuhusu mahali.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelekezo kuhusu mahali.
-Kuandika insha ya maelekezo inayodhihirisha sifa za mahali.
-Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vigezo vya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelekezo.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelekezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelekezo kutokana na kielelezo cha insha.
-Kuandaa vidokezo vya insha ya maelekezo kuhusu mahali panapolengwa.
-Kutumia lugha inayojenga picha ya kinachoelezewa.
-Kuandika insha ya maelekezo inayotoa sifa za mahali akizingatia muundo ufaao.
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni.
Je, ni mambo gani unayozingatia unapoandika insha ya maelekezo?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 121
-Kielelezo cha insha
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini -Tathmini rika
11 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kusikiliza Maagizo
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza maana ya maagizo ili kuyapambanua.
-Kutambua maagizo katika miktadha mbalimbali.
-Kujadili sifa za kimsingi za maagizo yafaayo.
-Kutoa na kupokea maagizo ipasavyo.
-Kuchangamkia kutoa na kufuata maagizo ifaavyo katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusikiliza maagizo ya aina mbalimbali yanayotolewa na mwalimu, mgeni mwalikwa au katika kifaa cha kidijitali na kutaja maagizo yaliyomo.
-Kuandaa maagizo na kisha kuyawasilisha darasani ili yajadiliwe na wenzake.
-Kutoa na kuitikia maagizo mbalimbali kwa uwazi, k.m. kwa kutumia maneno kama "Fungua mlango."
-Kurekodi maagizo kwa kutumia kifaa cha kidijitali.
-Kucheza kwenye kifaa cha kidijitali maagizo aliyoyarekodi ili wenzake wayatolee maoni.
Maagizo ambayo umewahi kupewa yalikusaidia vipi?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 113
-Mgeni mwalikwa
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Mwongozo wa mwalimu
Oxford Fasaha Kiswahili pg 114
-Kamusi
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uigizaji -Kujitathimini
11 3
Sarufi
Nyakati na Hali: Wakati ujao hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kueleza maana ya wakati ujao hali timilifu.
-Kutambua viambishi vya wakati ujao hali timilifu katika sentensi.
-Kutumia wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia kutumia wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya wakati ujao hali timilifu.
-Kutambua viambishi vya wakati ujao hali timilifu (ta-, me-).
-Kunakilii vitenzi vilivyo katika wakati ujao hali timilifu katika daftari.
-Kutambua viambishi vya wakati ujao hali timilifu katika vitenzi.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia wakati ujao hali timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la majukumu ya kijinsia.
-Kubadilisha sentensi kutoka katika nyakati nyingine hadi wakati ujao hali timilifu.
-Kuwasomea wenzake sentensi zilizo katika wakati ujao hali timilifu.
Je, ukanushaji wa wakati ujao hali timilifu hutofautianaje na wakati uliopita hali timilifu?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 132
-Chati
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini
11 4
Kuandika
Insha ya Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-
-Kutambua vipengele vya insha ya maelekezo kuhusu mahali.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelekezo kuhusu mahali.
-Kuandika insha ya maelekezo inayodhihirisha sifa za mahali.
-Kuonea fahari utoaji wa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kielelezo cha insha ya maelekezo "Jinsi ya Kutayarisha Shamba kwa Upanzi".
-Kutambua maneno mwafaka, mpangilio mzuri wa sentensi na mpangilio sahihi wa hatua katika kielelezo cha insha ya maelekezo.
-Kuteua maneno yatakayosaidia kufanikisha maelekezo (k.v. vielezi vya mahali, vitenzi, vielekezi vya kiasi).
-Kuandaa mpangilio ufaao wa sentensi zinazofuatana kulingana na maelekezo anayotaka kutoa.
-Kushiriki kujadili maneno, sentensi na hatua zinazoafiki maelekezo yaliyolengwa.
-Kuandika insha ya maelekezo akizingatia uteuzi mwafaka wa maneno, sentensi na hatua.
-Kuwasomea wenzake insha ya maelekezo aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
Ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelekezo?
Oxford Fasaha Kiswahili pg 121
-Kielelezo cha insha
-Vifaa vya kidijitali
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Kujitathimini -Tathmini rika
12

End term assessment

Your Name Comes Here

Download

Feedback