Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA PILI
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 3
SHULENI

Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua maamkuzi na maagano ya nyakati za siku,
- kuamkua na kuitikia maamkuzi na maagano ya nyakati za siku,
- kufurahia kuamkua na kuagana ili kujenga mshikamano wa kijamii.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi mbalimbali ya nyakati za siku
-kutazama picha za watu wakisalimiana na kuagana
-kutazama video inayoonyesha watu wakitumia maamkuzi na maagano ya nyakati za siku
-kuigiza na mwenzake maamkuzi na maagano mbalimbali
Tunaamkuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 2
-Vifaa vya kidijitali
-Picha na chati
-Mti maneno
-Kadi maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
1 4

2 1

2 2

2 3

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 4

2 4

3 1
Kusoma
Kusoma Ufahamu

- kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu,
- kutabiri yatakayotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu kwa kuzingatia picha,
- kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu,
- kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu,
- kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusoma kifungu chepesi cha maneno 31 - 34
-kutambua msamiati wa suala lengwa
-kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano
-kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha
-kuthabiti utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma
-kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu
-kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu
-kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa
Kusoma kifungu ili ufahamu ujumbe unafanya nini?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 8
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
3 2

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 9

3 3

3 4

4 1

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 10
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Uwasilishaji wa mdomo -Orodha hakiki
4 2
Kuandika
Hati nadhifu: Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- kutambua hati nadhifu katika sentensi,
- kuandika sentensi akizingatia hati nadhifu,
- kufurahia kuandika akizingatia hati nadhifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kutambua hati nadhifu kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali
-kujadili na wenzake kuhusu hati nadhifu kwenye kitabu, chati au kifaa cha kidijitali
-kuandika sentensi fupi kuhusu suala lengwa akizingatia hati nadhifu
-kuwasilisha darasani sentensi zake ili wenzake wamtolee maoni
-kumwandikia mzazi au mlezi sentensi fupi kuhusu suala lengwa akizingatia hati nadhifu
Je, ni mambo gani unayozingatia wakati wa kuandika?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 12
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Maswali ya maandishi -Tathmini ya rika -Orodha hakiki
4 3

4 4

5 1

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 13

5 2

5 3

5 4

6 1
Sarufi
Matumizi ya wewe na nyinyi

- kutambua wewe na nyinyi katika sentensi,
- kutumia wewe na nyinyi ipasavyo katika sentensi,
- kufurahia kutumia wewe na nyinyi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu nafsi ya pili (wewe na nyinyi)
-kusoma vifungu vilivyo na nafsi ya pili (wewe na nyinyi)
-kutumia nafsi ya pili (wewe na nyinyi) umoja na wingi kwa kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi
-kujaza nafasi kwa kutumia wewe na nyinyi
-kutaja zoezi la nafsi ya pili kwenye tarakilishi kwa kuburura majibu sahihi
-kuwasiliana na mzazi au mlezi wake kwa kutumia nafsi ya pili (wewe na nyinyi)
Ni neno gani unaloweza kutumia kuwataja wenzako bila kutaja majina yao?
Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 14
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya rika -Orodha hakiki -Maswali ya maandishi
6 2

6 3

6 4

7 1

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 15

7 2

7 3

7 1-4

8

LIKIZO YA KATIKATI YA MUHULA

9 1

Kitabu cha Kielekezi cha Kiswahili uk. 16
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Kadi maneno
-Muongozo wa Mwalimu
-Maelezo ya somo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya rika -Orodha hakiki -Maswali ya maandishi
9 2

9 3

9 4

14

TATHIMINI YA MWISHO WA MUHULA

Your Name Comes Here

Download

Feedback