Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA TATU
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
UZALENDO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii.
- Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii.
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake.
- Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano.
- Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya.
Unajua maamkuzi gani?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 2
Picha za maamkuzi
Chati za maamkuzi
Vifaa vya kidijitali
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 4
Picha za maagano
Chati za maagano
Kutambua maamkuzi mbalimbali Kuigiza maamkuzi Kutumia maamkuzi ipasavyo
1 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii.
- Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii.
- Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku.

- Kusikiliza maamkuzi na maagano kutoka kwenye kifaa cha kidijitali.
- Mtajie mwenzako maamkuzi na maagano uliyosikiliza.
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi na maagano kutoka kwa jamii yake.
Ni maamkuzi na maagano gani yanayotumika katika jamii yako?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 5
Vifaa vya kidijitali
Chati za maamkuzi na maagano
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 7
Picha
Hadithi ya "Uzalendo Wetu"
Kuweza kutaja maamkuzi na maagano mbalimbali Kuweza kufananisha maamkuzi na maagano mbalimbali
1 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake.
- Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma.
- Kutumia msamiati wa suala lengwa ipasavyo katika mawasiliano.
Je, ni mambo gani unayoweza kujifunza kutokana na hadithi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 8
Hadithi ya "Neema na wavulana wawili"
Picha
Vifaa vya kidijitali
Kutabiri matukio katika hadithi Kuthibitisha utabiri wa hadithi Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi
1 4
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake.
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu kuhusu suala lengwa.
- Tumia kifaa cha kidijitali kusoma hadithi inayohusu uzalendo.
Umejifunza nini kutokana na hadithi ya uzalendo?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 9
Vifaa vya kidijitali
Hadithi za uzalendo
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 10
Chati ya hati nadhifu
Kifungu cha "Kijiji changu"
Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi Kusoma kwa ufasaha Kuwasilisha mawazo kwa umakinifu
2 1
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua mambo yanayozingatiwa kufanikisha hati nadhifu.
- Kuandika kifungu cha maneno kati ya 25-30 kwa hati nadhifu.
- Kufurahia kuandika kwa hati nadhifu ili kufanikisha mawasiliano.

- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 30 akizingatia hatua za uandishi (k.v. maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake.
- Piga chapa kifungu ulichoandika kwenye daftari lako ukitumia kifaa cha kidijitali.
Kwa nini ni vizuri kuandika kwa hati nadhifu?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 11
Vifaa vya kidijitali
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 12
Kuandika kifungu kwa hati nadhifu Kufuata hatua za uandishi Kuwasomea wenzake
2 2
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi.
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi.
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano.

- Kusikiliza kifungu au wimbo unaohusu yeye na wao kutoka kwa mwalimu au kifaa cha kidijitali.
- Kutambua neno yeye na wao kutoka kifungu alichokisikiliza.
- Kusoma vifungu na kutambua neno yeye na wao akiwa na wenzake au katika kikundi.
Ni maneno gani unayoyatumia kuwataja wenzako bila kutumia majina yao halisi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 14
Picha zinazoonyesha yeye na wao
Vifaa vya kidijitali
Kutambua maneno yeye na wao Kutaja sentensi zenye yeye na wao Kutofautisha yeye na wao
2 3

2 4

- Kujaza mapengo kwa kutumia yeye na wao.
- Kutumia yeye na wao katika kuigiza mazungumzo na wenzake katika kikundi k.m. Yeye anasoma - wao wanasoma.
- Kusoma sentensi sahihi zenye maneno yeye na wao.
Unaweza kutunga sentensi gani ukitumia maneno yeye na wao?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 15
Picha
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi zenye maneno yeye na wao Kujaza mapengo kwa maneno yeye na wao Kuigiza mazungumzo
3 1
Sarufi
Matumizi ya yeye na wao
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua neno yeye na wao katika sentensi.
- Kutumia neno yeye na wao ipasavyo katika sentensi.
- Kufurahia kutumia neno yeye na wao katika mawasiliano.

- Shirikiana na wenzako kutunga sentensi mkitumia neno yeye au wao kueleza kuhusu picha.
- Ukiwa na mwenzako, igizeni mazungumzo mkitumia maneno yeye na wao.
- Kuandika sentensi na kujaza pengo kwa maneno yeye na wao.
Unaweza kutofautisha vipi matumizi ya yeye na wao?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 16
Picha mbalimbali
Matini ya mwalimu
Kutunga sentensi sahihi Kujaza mapengo kwa usahihi Kuigiza mazungumzo kwa ufasaha
3 2
SHAMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini.
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini.
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini.
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini.
- Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi.

- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini ya kutamkwa au kuandikwa.
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili.
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini ya kutamkwa au kuandikwa.
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili.
Je, kwa nini ni muhimu kutambua sauti za lugha fulani?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 18
Chati ya vokali
Kadi maneno
Vifaa vya kidijitali
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 19
Chati ya konsonanti
Kutambua vokali za Kiswahili Kutamka vokali ipasavyo Kutofautisha kati ya vokali na konsonanti
3 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vokali za Kiswahili katika matini.
- Kutamka ipasavyo vokali za Kiswahili katika matini.
- Kutambua konsonanti za Kiswahili katika matini.
- Kutamka ipasavyo konsonanti za Kiswahili katika matini.
- Kuchangamkia kutamka sauti za Kiswahili ili kuboresha matamshi.

- Kusikiliza konsonanti za Kiswahili (b, ch, d, dh, f, g, gh, h, j, k, l, m, n, ng', ny, p, r, s, sh, t, th, v, w, y, z) zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kutambua konsonanti.
- Kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili akitumia vifaa vya kidijitali na kujitathmini pamoja au kutathminiwa na wenzake.
- Kutamka sauti za Kiswahili ipasavyo naye mzazi au mlezi ampe maoni yake.
Je, matamshi bora hukuzwa kwa njia gani?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 21
Vifaa vya kidijitali
Chati za sauti za Kiswahili
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 23
Vitabu vya hadithi
Chati za silabi na maneno
Kutamka konsonanti kwa usahihi Kutambua konsonanti katika maneno Kujirekodi akitamka sauti za Kiswahili
3 4
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 47 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake.
- Kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, kifaa cha kidijitali, n.k. akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo.
Je, kwa nini ni muhimu kusoma kwa ufasaha?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 24
Hadithi ya "Bwana Komu"
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa kasi inayofaa Kuzingatia viakifishi Kutumia ishara mwafaka unaposoma
4 1
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo.
- Tumia kifaa cha kidijitali kuwasomea wenzako kifungu kuhusu shambani. Zingatia mambo haya: sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo, ishara zifaazo.
- Waombe wenzako watoe maoni kuhusu jinsi ulivyowasomea.
Unazingatia nini unaposoma kifungu cha hadithi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 25
Vifaa vya kidijitali
Hadithi kuhusu shambani
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 26
Chati za herufi kubwa
Kifungu cha "Pato na Kaleki"
Kusoma kwa ufasaha Kuzingatia vigezo vyote vya usomaji bora Kuitikia maoni ya wenzake
4 2
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua herufi kubwa katika matini.
- Kuandika kifungu cha hadithi akitumia herufi kubwa ifaavyo.
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi kubwa katika mawasiliano.

- Kuandika kifungu chenye maneno 25-30 akizingatia maumbo ya herufi kubwa ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake.
- Kumwonyesha mzazi au mlezi kifungu alichokiandika akizingatia mpangilio ufaao wa herufi kubwa ili akitolee maoni.
Je, herufi kubwa hutumika vipi katika maandishi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 28
Vifaa vya kidijitali
Kifungu cha "Reki ya jirani"
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 29
Karatasi ya kuandikia
Kuandika herufi kubwa kwa usahihi Kuandika kifungu kwa kuzingatia herufi kubwa panapofaa Kufuata hatua za uandishi
4 3
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi.
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi.
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi.

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake (k.v. mimi ninapanda mti - sisi tunapanda miti, mimi ninapenda kulima - sisi tunapenda kulima).
- Kusoma sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake.
- Kujaza nafasi ili kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake.
Je, kwa nini unahitaji kutaja vitu katika hali ya umoja na wingi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 30
Picha zinazoonyesha umoja na wingi
Chati za sentensi katika umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua sentensi katika umoja na wingi Kujaza pengo kwa maneno ya umoja au wingi Kutunga sentensi katika umoja na wingi
4 4

5 1

- Aambatanishe umoja na wingi wa sentensi alizopewa kwenye kitabu, chati, vifaa vya kidijitali, n.k. akiwa na wenzake.
- Kuigiza michezo inayohusisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na wenzake.
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake.
Utajuaje kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 32
Kadi zenye sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Kuambatanisha umoja na wingi wa sentensi Kucheza mchezo wa sentensi za umoja na wingi Kutunga sentensi katika umoja na wingi
5 2
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi.
- Kutunga sentensi katika umoja na wingi.
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi.

- Kuwasiliana na mzazi au mlezi akitumia sentensi katika hali ya umoja na wingi ipasavyo.
- Shirikiana na wenzako kutunga sentensi katika umoja na wingi.
- Msomee mzazi au mlezi wako sentensi ambazo uliandika katika umoja na wingi.
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno mimi na sisi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 33
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
Kutumia umoja na wingi wa sentensi katika mawasiliano Kutunga sentensi kwa kuzingatia umoja na wingi Kusahihisha makosa katika sentensi
5 3
MIEZI YA MWAKA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Maneno ya Heshima na Adabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini.
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano.

- Kutazama michoro, picha au video inayowasilisha vitendo vya heshima na adabu akiwa na wenzake.
- Kutambua maneno ya adabu na heshima kutoka kwa michoro, picha au video aliyotazama (tasfida) k.v. kwenda msalani, haja kubwa, haja ndogo, kuendesha.
- Kuigiza mazungumzo yanayoonyesha matumizi ya maneno ya heshima na adabu akishirikiana na wenzake.
Je, ni kwa nini tunatumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 34
Picha za matumizi ya maneno ya heshima na adabu
Vifaa vya kidijitali
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 36
Picha za heshima na adabu
Kutambua maneno ya heshima na adabu Kutumia maneno ya heshima na adabu Kuigiza mazungumzo yanayoonyesha adabu
5 4
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Maneno ya Heshima na Adabu
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua maneno ya heshima na adabu katika matini.
- Kutumia maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano.
- Kuthamini matumizi ya maneno ya heshima na adabu katika mawasiliano.

- Shirikiana na mwenzako kukamilisha sentensi za maneno ya heshima na adabu.
- Watungie wenzako sentensi sahihi ukitumia maneno ya heshima na adabu.
- Kujadiliana na mzazi au mlezi maneno ya heshima na adabu katika jamii yake.
Ni maneno gani ya heshima na adabu yanayotumika katika jamii yako?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 37
Kadi za maneno ya heshima na adabu
Sentensi za kukamilisha
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 38
Vifaa vya kidijitali
Wimbo wa miezi ya mwaka
Kifungu cha "Miezi kumi na miwili"
Kutumia maneno ya heshima na adabu katika sentensi Kukamilisha sentensi kwa usahihi Kutambua maneno ya heshima kutoka katika jamii
6 1
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu akiwa na wenzake.
- Kushirikiana na wenzake kufanya maigizo kuhusu majina ya miezi ya mwaka.
- Kutabiri ujumbe wa kifungu kwa kutazama picha kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali au chati akiwa na wenzake.
- Kutabiri kitakachotokea katika hadithi akizingatia picha kwenye kifungu.
Je, unazingatia nini unapojichagulia matini ya kusoma?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 39
Picha za kupendekeza hadithi
Vifaa vya kidijitali
Kifungu cha "Shamba letu"
Kueleza ujumbe wa kifungu Kutabiri matukio kutokana na picha Kusoma na kueleza kifungu kwa ufasaha
6 2
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufahamu
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza ujumbe wa kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kutabiri kitakachotokea katika kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kueleza mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kuchangamkia kusoma vifungu vya ufahamu ili kuimarisha stadi ya kusoma.

- Kuthibitisha utabiri wake kuhusu hadithi baada ya kuisoma.
- Kufafanua mafunzo yanayotokana na kifungu chepesi cha ufahamu.
- Kumsomea mzazi au mlezi majina ya miezi ya mwaka aliyojifunza ili amtolee maoni.
Umejifunza nini kutokana na kifungu cha Shamba letu?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 40
Vifaa vya kidijitali
Kifungu cha "Shamba letu"
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 42
Chati ya herufi ndogo
Kifungu cha "Sherehe za Jamhuri"
Kuthibitisha utabiri wa hadithi Kueleza mafunzo kutoka kwa hadithi Kumsomea mzazi majina ya miezi
6 3
Kuandika
Hati Nadhifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua herufi ndogo zilizoandikwa ipasavyo katika kifungu.
- Kuandika kifungu akitumia herufi ndogo ifaavyo.
- Kufurahia kuandika kwa kuzingatia herufi ndogo ifaavyo.

- Kuandika kifungu chenye maneno 55-60 akizingatia maumbo ya herufi ndogo ifaavyo akizingatia hatua za uandishi (maandalizi, nakala ya kwanza, urekebishaji, nakala safi) na kuwasomea wenzake.
- Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia mwendelezo ufaao wa herufi ndogo.
Je, ni wapi herufi ndogo hutumiwa katika uandishi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 44
Vifaa vya kidijitali
Kifungu cha "JANUARI HADI JULAI"
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 45
Karatasi za kuandikia
Kuandika kifungu chenye herufi ndogo kwa usahihi Kufuata hatua za uandishi Kushirikiana na wenzake kuandika
6 4
Sarufi
Matumizi ya neno yule na wale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu.
- Kutumia neno yule na wale katika sentensi.
- Kuchangamkia matumizi ya neno yule na wale katika mawasiliano ya kila siku.

- Kutambua matumizi ya neno yule na wale kutoka kwenye chati, kitabu, vyombo vya kidijitali nk. akiwa na wenzake.
- Kusilikiliza kifungu au wimbo kuhusu matumizi ya neno yule na wale kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au vifaa vya kidijitali na kujadili matumizi yake akiwa na wenzake.
- Kusoma sentensi zilizotumia neno yule na wale kutoka kwenye chati, kitabu, vifaa vya kidijitali akiwa akiwa na wenzake.
Unaweza kutunga sentensi zipi ukitumia maneno yule na wale?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 46
Picha zinazoonyesha yule na wale
Kifungu kinachotumia yule na wale
Vifaa vya kidijitali
Kutambua maneno yule na wale Kusoma sentensi zinazotumia yule na wale Kueleza matumizi ya yule na wale
7

Midterm Assessment

8

Half-term break

9 1
Sarufi
Matumizi ya neno yule na wale
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua matumizi ya neno yule na wale katika kifungu.
- Kutumia neno yule na wale katika sentensi.
- Kuchangamkia matumizi ya neno yule na wale katika mawasiliano ya kila siku.

- Kuigiza vitendo vya kuwaashiria watu mbalimbali kwa kutumia neno yule na wale akiwa na wenzake.
- Kuandika sentensi akitumia yule na wale (k.v Mtoto yule anacheza - watoto wale wanacheza) na kuzijadili na wenzake ili kuzitolea maoni.
- Kujaza nafasi ili akamilishe sentensi akitumia yule na wale.
Ni maneno gani mengine yanayotumika kama yule na wale?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 47
Picha za watu na vitu mbalimbali
Vifaa vya kidijitali
Kadi maneno
Kuigiza matumizi ya yule na wale Kuandika sentensi zenye yule na wale Kujaza nafasi kwa maneno yule na wale
9 2

9 3

- Kumsomea mzazi au mlezi kazi aliyoandika kuhusu matumizi ya yule na wale.
- Tumia majina ya watu na vitu kutunga sentensi zenye neno yule au wale.
- Jaza nafasi wazi katika sentensi kwa kutumia neno yule au wale.
Unaweza kutofautisha vipi matumizi ya yule na wale?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 48
Kadi zenye majina ya watu na vitu
Vifaa vya kidijitali
Kutunga sentensi kuhusu miezi ya mwaka kwa kutumia yule na wale Kujaza pengo kwa maneno yule na wale Kutofautisha matumizi ya yule na wale
9 4
KAZI MBALIMBALI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu.
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha.
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.

- Kutambua silabi za sauti lengwa (/py/) katika matini mbalimbali (k.v kadi maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali).
- Kutumia kifaa cha kidijitali (k.v. kupitia programu ya papaya) kusikiliza matamshi bora ya sauti lengwa.
- Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidijitali.
Unazingatia mambo gani unapotamka maneno mbalimbali katika kifungu?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 50
Kadi za silabi
Vifaa vya kidijitali
Chati za silabi za sauti py
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 52
Chati za silabi za sauti vy
Kifungu cha "Mpishi hodari"
Kutamka sauti /py/ kwa usahihi Kutambua maneno yenye sauti /py/ Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /py/
10 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi za sauti lengwa katika kifungu.
- Kutamka maneno yenye silabi za sauti lengwa kwa ufasaha.
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kufurahia matamshi bora katika mawasiliano.

- Kutambua silabi za sauti lengwa (/sh/) katika matini mbalimbali (k.v kadi maneno, chati, mti maneno, au kifaa cha kidijitali).
- Kusikiliza maneno yenye silabi za sauti lengwa yakisomwa na mwalimu kisha atambue sauti lengwa katika maneno hayo.
- Kutamka maneno yenye sauti ifaavyo akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu kifupi chenye maneno ya sauti lengwa kutoka kwa kitabu au kifaa cha kidijitali akiwa na wenzake.
Kwa nini ni muhimu kutamka maneno ipasavyo?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 53
Kadi za silabi
Chati za silabi za sauti sh
Vifaa vya kidijitali
Kifungu cha "Shangazi Shusho"
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 57
Picha
Chati za sauti lengwa
Kifungu chenye sauti lengwa
Kutamka sauti /sh/ kwa usahihi Kutambua maneno yenye sauti /sh/ Kusoma kifungu chenye maneno ya sauti /sh/
10 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Kusoma kifungu chepesi cha maneno chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno 49 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu chepesi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo akiwa na wenzake.
- Kusoma hadithi kutoka kwenye kitabu, vifaa vya kidijitali, n.k. akiwa na wenzake akizingatia sauti inayosikika, matamshi bora, kasi ifaayo na ishara zifaazo.
Ni kwa nini ni muhimu kusoma kwa kasi inayofaa?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 58
Hadithi za kusoma
Kifungu chenye sauti lengwa
Vifaa vya kidijitali
Kusoma kwa kasi inayofaa Kuzingatia viakifishi wakati wa kusoma Kutumia ishara zifaazo wakati wa kusoma
10 3
Kusoma
Kuandika
Kusoma kwa Ufasaha
Nafasi ya Pambizo katika uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sauti lengwa katika kifungu chepesi cha hadithi.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa sauti inayosikika.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu chepesi cha hadithi chenye sauti lengwa kwa kuzingatia ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.

- Wasomee wenzako kifungu cha Hadithi ya Shemu kwa kuzingatia mambo haya: matamshi bora, sauti inayosikika, kasi inayofaa, ishara zinazofaa.
- Tumia kifaa cha kidijitali kuwasomea wenzako kifungu kuhusu kazi mbalimbali.
- Kumsomea mzazi au mlezi kifungu chepesi chenye sauti lengwa akizingatia matamshi bora, sauti inayosikika, kasi ifaayo na ishara zifaazo.
Je, unazingatia mambo gani unaposoma kifungu cha hadithi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 59
Kifungu cha "Hadithi ya Shemu"
Vifaa vya kidijitali
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 60
Mifano ya kurasa zenye na zisizo na pambizo
Chati ya mfano wa pambizo
Kusoma kifungu kwa ufasaha Kuzingatia vigezo vyote vya usomaji bora Kuwasomea wenzako kwa usahihi
10 4
Kuandika
Nafasi ya Pambizo katika uandishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nafasi ya pambizo na nafasi ya kuzingatia anapoandika aya.
- Kuandika kifungu cha maneno yasiyozidi 60 akizingatia pambizo na aya.
- Kufurahia kuandika kifungu akizingatia pambizo na aya.

- Kushirikiana na wenzake kuandika kifungu kifupi akizingatia aya na pambizo na kuwasomea wenzake.
- Kuandika na kumuonyesha mzazi au mlezi kifungu alichoandika akizingatia aya na pambizo ili ampe maoni yake.
- Andika kifungu kuhusu kazi unayopenda akizingatia nafasi za pambizo.
Ni nini unachohitaji kuzingatia unapoandika kifungu?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 61
Vifaa vya kidijitali
Kifungu cha "Asubuhi yangu"
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 62
Karatasi za kuandikia
Kuandika kifungu kwa kuzingatia pambizo Kushirikiana na wenzake kuandika Kuwasomea wenzake kifungu alichoandika
11 1
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi.
- Kuandika sentensi katika umoja na wingi.
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi.

- Kusoma sentensi katika umoja na wingi akishirikiana na wenzake.
- Kutambua sentensi katika umoja na wingi kutoka kwenye chati au vifaa vya kidijitali.
- Kujaza nafasi kwa kukamilisha sentensi katika umoja na wingi akiwa na mwenzake.
Je, utajua vipi kama sentensi imeandikwa katika umoja au wingi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 63
Picha zinazoonyesha umoja na wingi
Chati za sentensi
Vifaa vya kidijitali
Kutambua sentensi katika umoja na wingi Kujaza nafasi za sentensi za umoja na wingi Kusoma sentensi za umoja na wingi kwa ufasaha
11 2

11 3

- Kushiriki katika mchezo wa kusoma sentensi katika umoja na mwenzake.
- Kuandika umoja na wingi wa sentensi akiwa na wenzake.
- Kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizoandika katika umoja na wingi ili azitolee maoni.
Je, unaweza kutunga sentensi zipi katika umoja na wingi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 64
Kadi za sentensi za umoja na wingi
Vifaa vya kidijitali
Kucheza mchezo wa sentensi za umoja na wingi Kuandika sentensi za umoja na wingi Kusoma sentensi alizoandika
11 4
Sarufi
Umoja na Wingi wa Sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua sentensi katika umoja na wingi.
- Kuandika sentensi katika umoja na wingi.
- Kuchangamkia kutumia umoja na wingi katika sentensi.

- Kuandika sentensi hizi katika wingi: "Mimi ninavuna ndizi", "Mimi ninajifunza kulima kwa jembe", "Mimi ninajenga kibanda cha kuku", "Mimi ninatumia ndoo kunyunyizia mgomba maji".
- Kuandika sentensi hizi katika umoja: "Sisi tunahifadhi nafaka katika maghala", "Sisi tunajifunza kulima kwa kutumia majembe", "Sisi tunakuza mimea".
- Shirikiana na wenzako kutunga sentensi katika umoja na wingi.
Ni kazi zipi zinazoelezwa katika sentensi za umoja na wingi?
Stadi za Kiswahili Moran, uk. 65
Karatasi za kuandikia
Vifaa vya kidijitali
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi Kubadilisha sentensi kutoka wingi hadi umoja Kutunga sentensi za umoja na wingi zinazotumia maneno ya kazi
12-13

Revision & Endterm Assessment

Your Name Comes Here

Download

Feedback