Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA KWANZA
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
1 1
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno ya heshima katika familia
Wanafunzi waweza kuonyeshwa mchoro wa mtoto akipokea zawadi halafu wajadili neno linalofaa kutumiwa na anayepokea zawadi.
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
1 2
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano
Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini.
Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
1 3
Kusikili za na Kuzung umza
Maneno ya heshima
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kuambatanisha maneno ya heshima na hisia zifaazo katika mawasiliano
zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini. Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
1 4
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua msamiati uliotumika katika hadithi
Mwanafunzi aweza kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 1
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu familia darasani
Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea
kwenye hadithi. Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
Charti
Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 2
Kusikili za na Kuzung umza
Kusoma: Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma hadithi kuhusu familia darasani
Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye asome akiwa peke yake au wiwili wawili.
.
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 3
Kusikili za na Kuzung umza
Sarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua maneno na viambishi vinavyotumika kuonyesha nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Je, unatumia maneno gani kujirejelea na mkiwa wengi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
2 4
Kusikili za na Kuzung umza
Sarufi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi
Manafunzi aweza kusoma sentensi zinazojumuisha matumizi ya nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi.
Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia maneno na viambishi vinavyowakilisha nafsi ya kwanza na wakati uliopo kama vile; mimi nina ; sisi tuna.
Je, unatumia maneno gani kujirejelea na mkiwa wengi?
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 1
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha mazungumzo
Mwanafunzi atambue sauti /t/, /l/, /n/ na /o/ katika maneno.
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 2
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno
Mwanafunzi asikilize mwalimu anapotamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili au kama darasa
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 3
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kutambua majina ya herufi
zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia
kadi za herufi
Ni sauti zipi unazojua kutamka
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
3 4
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi. Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili
Unajua kusoma herufi na
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 1
Kusikili za na Kuzung umza
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
, kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.
Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k.
Unajua kusoma herufi na
Charti Vifaa harisi
Maswalimepesi ya kauli
4 2
Kusoma:
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi ili kuimarisha mawasilian



Mwanafunzi ajadili picha
zilizojumuishwa kwenye
"hadithi.


Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi."
Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya
kusoma na kusomewa
hadithi.
Je, ni nini maana ya usafi gani?
Mwalimu asikize
sentensi za
wanafunzi wanapotunga.



Wanafunzi " Uk 91 Oxford Kiswahili" Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
4 3
Kusoma:
hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:


kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma

Mwanafunzi asome
hadithi baada ya
mwalimu, kisha pamoja na mwalimu na baadaye akiwa peke yake au wawili wawili

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma
Fanya zoezi la
kwanza ukurasa
93

Tarakilishi " Uk 92-93 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi" ya lugha gredi 1
4 4
Kusoma:
hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kusoma hadithi zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma
Mwanafunzi aeleze maana na matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi
Unafikiri ni nini kitakachotokea katika hadithi hii?
Mwalimu asahihishe zoezi la mwanafunzi.
Wanafunzi Uk 93 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
5 1
Sarufi:
Matumizi ya huyu na hawa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua matumizi ya huyu na hawa katika mawasiliano kusoma sentensi zinazojumuisha huyu na hawa ili kuimarisha mawasiliano


Mwanafunzi atunge
sentensi zenye matumizi
"ya huyu na hawa k.m. Huyu anakata kucha - Hawa wanakata kucha; Huyu anachana nywele - Hawa wanachana nywele.


Mwanafunzi aandike sentensi zinazojumuisha"
matumizi ya huyu na
hawa
Je, unajua ni kwa nini tunatumia huyu na hawa
Mwalimu asikize
wanafunzi
wakisoma.


Tarakilishi " Uk94 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1"
5 2
Sarufi:
Matumizi ya huyu na hawa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:


kuandika sentensi kwa kutumia huyu na hawa katika kuimarisha stadi ya kuandika kuthamini utunzi wa sentensi sanifu katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweza
kujaza mapengo kwenye
tarakilishi kupitia mchezo wa kuburura na kutia kapuni.
Je, utatumia neno lipi kuonyesha kwamba "mtu ni mmoja? Watu wakiwa wengi unaonyesha vipi?"
Mwalimu asikize
majibu wa
mwanafunzi kuhusu maswali aliyowapa.
Uk 95-96 " Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Wanafuzi"
5 3
Sarufi:
Matumizi ya huyu na hawa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:


kuandika sentensi kwa kutumia huyu na hawa katika kuimarisha stadi ya kuandika kuthamini utunzi wa sentensi sanifu katika mawasiliano.
Mwanafunzi aweza
kujaza mapengo kwenye
tarakilishi kupitia mchezo wa kuburura na kutia kapuni.
Je, utatumia neno lipi kuonyesha kwamba "mtu ni mmoja? Watu wakiwa wengi unaonyesha vipi?"
Mwalimu asikize
majibu wa
mwanafunzi kuhusu maswali aliyowapa.
Uk 95-96 " Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Wanafuzi"
5 4
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

"kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya
kuzungumza"





Mwanafunzi atambue
sauti lengwa /s/, /b/, /y/ na
"/z/ katika maneno.


Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti"
lengwa, kisha atamke
pamoja na mwalimu na
mwishowe atamke akiwa
peke yake, wawili na
kama darasa.
Ni sauti zipi unazoweza kutamka?
Mwalimu asikize
sauti ambazo
mwanafunzi anaweza tamka.
Wanafunzi Uk97-98 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Wanafunzi
6 1
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno katika kuimarisha stadi ya kuzungumza
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti.


Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Mwalimu asikilize mwanafunzi akisoma.
"Wanafunzi Uk 98 Oxford Kiswahili" Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
6 2
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:


kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

Mwanafunzi
aambatanishe silabi
"kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.


Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za"
maneno.
Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Mwalimu atazame
mwanafunzi
akisoma silabi katika uk 99 kisha utunge maneno.

Wanafunzi " Uk 98-99 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1"
6 3
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kusoma herufi za sauti moja katika kuimarisha stadi ya kusoma
Wanafunzi waweza
kushirikishwa kusikiliza
mgeni mwalikwa mwenye
umahiri wa kutamka sauti
lengwa.

Mwanafunzi aweza
kufinyanga maumbo ya
herufi inayowakilisha
sauti iliyofunzwa.

Unajua kusoma herufi na maneno yapi?
Mwalimu aanaglie
mwanafunzi
akifanya zoezi.








Wanafunzi Uk99-100 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
6 4
"Vyakula vya" kiasilia
"Sauti na majina ya herufi za" Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"
"
kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma


"Mwanafunzi aandike
maumbo ya herufi za sauti"
alizosoma hewani na vitabuni.


"Unajua kuandika herufi na maneno" yapi?
"Mwalimu atazame
mwanafunzi"
akiandika maneno.


Wanafunzi " Uk 101 Oxford Kiswahili" Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
7 1
"Vyakula vya" kiasilia
"Sauti na majina ya herufi za" Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
"
"
kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma


"Mwanafunzi asome
maneno kwa kutumia"
silabi au kwa kugawa maneno marefu katika sehemu ndogo ndogo ili kuyasoma kwa urahisi.


"Unajua kuandika herufi na maneno" yapi?
"Mwalimu aangalie
mwanafunzi"
anapoandika herufi anazojua.


Tarakilishi " Uk 102 Oxford Kiswahili" Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
7 2
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuandika maumbo ya herufi yanayowakilisha sauti lengwa
Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
Mwalimu atazame maumbo ambayo mwanafunzi anachora.
Wanafunzi Uk103 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
7 3
Vyakula vya kiasilia
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku.
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yanayobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili
Unajua kuandika herufi na maneno yapi?
Mwalimu atazame kazi ambayo mwanafunzi anachora.
Wanafunzi Uk103 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
7 4
Msamiati
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,

kutambua vyakula vya kiasili ili kuimarisha lishe bora b) kusoma majina ya vyakula mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi atambue vyakula mbalimbali vya kiasili kwa kutumia vyakula halisi, picha na michoro kama vile mihogo, viazi, mahindi, maharagwe, mboga na matunda.


Mwanafunzi atumie msamiati aliyofunzwa kutunga sentensi.
Unapenda waweza kutaja chakula kipi?
Mwalimu asahihishe sentensi ambazo mwanafunzi anaandika.
Wanafunzi Uk 104 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
8 1
Msamiati
Msamiati
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kuandika majina ya vyakula katika kuimarisha stadi ya Kuandika
kutumia majina ya vyakula katika sentensi sahihi
Mwanafunzi aweza kupewa kadi za majina ya vyakula vya kiasili asome kwa sauti.


Wanafunzi waweza kuambatanisha majina ya vyakula halisi au michoro na majina yavyo.
Vyakula vipi hukuzwa shambani?
Mwalimu asikize baadhi ya chakula vinazokuzwa shambani.
Wanafunzi Uk 105-106 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
8 2
Kusikiliza na Kuzungu mza
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kusikiliza masimulizi kuhusu vyakula vya kiasili katika kuimarisha stadi ya kusikiliza
Mwanafunzi asimulie hadithi kuhusu vyakula vya kiasili.


Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa vyakula vya kiasili.


Wanafunzi wasimuliane visa kuhusu vyakula vya kiasili.wanafunzi
Kwa nini tunakula chakula?
Mwalimu asikilize mwanafunzi akieleza umuhimu wa chakula.
Tarakilishi Uk 107 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
8 3
Kusikiliza na Kuzungu mza
Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kufahamu masimulizi aliyosikiliza katika kuimarisha stadi ya kusikiliza kufurahia vyakula vya kiasili katika maisha ya kila siku.
"Mwanafunzi aweza kuhusishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu vyakula vya kiasili.


Mwanafunzi aweza kusikiliza nyimbo na mashairi yaliyorekodiwa kwenye vifaa vya"
kiteknolojia kuhusu vyakula vya kiasili.
Je, umuhimu wa vyakula vya kiasili ni upi?
Mwalimu atazame mwanafunzi akifanya zoezi.
Tarakilishi Uk107-108 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
8 4
Kusoma:
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha mawasiliano
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.


Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenywae hadithi.wanafunzi
Je, unaona nini katika picha?
Mwalimu asikize mwanafunzi akisimulia kis a chochote.
Wanafunzi Uk 110 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
9 1
Kusoma:
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu vyakula vya kiasili ili kuimarisha stadi ya kusoma
Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi, asome pamoja na mwalimu kisha asome peke yake, wawili wawili au katika vikundi.
Unadhani ni nini kitakachotokea katika hadithi
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma hadithi.
Wanafunzi Uk 110-111 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
9 2
kusoma
Hadithi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kufurahia vyakula vya kiasili maishani.
Mwanafunzi asikilize hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa kuhusu vyakula vya kiasili.
Unakumbuka hadithi gani uliyoisoma?
Mwalimu asahihishe kazi ya mwanafunzi.
"Tarakilishi Uk112 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi" ya lugha gredi 1
9 3
Sarufi
Matumizi na
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
,
kutambua matumizi ya
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitunga sentensi.
Wanafunzi Uk 113 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
9 4
Sarufi
Matumizi na
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

kufurahia kutumia
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu?
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitumia angu na etu katika kutunga sentensi.
Tarakilishi 114-115 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1

Your Name Comes Here


Download

Feedback