If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 14 | 4-3 |
UZALENDO
Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Sarufi Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma Kusoma Kusoma Kuandika Kuandika Kuandika Sarufi Sarufi Sarufi |
Maamkuzi na Maagano
Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Matumizi ya yeye na wao Matumizi ya yeye na wao Matumizi ya yeye na wao Matamshi Bora: Vokali Matamshi Bora: Konsonanti Matamshi Bora: Vokali na Konsonanti Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha Kusoma kwa Ufasaha Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Umoja na Wingi wa Sentensi: Umoja wa Sentensi Umoja na Wingi wa Sentensi: Wingi wa Sentensi Umoja na Wingi wa Sentensi Maneno ya Heshima na Adabu Maneno ya Heshima na Adabu Maneno ya Heshima na Adabu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Kusoma kwa Ufahamu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Hati Nadhifu Matumizi ya neno yule na wale Matumizi ya neno yule na wale Matumizi ya neno yule na wale |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- Kutambua maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kutumia ipasavyo maamkuzi na maagano mbalimbali yatumiwayo katika jamii - Kuthamini matumizi ya maamkuzi na maagano katika mawasiliano ya kila siku |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano (k.v. Umeamkaje? Umeshindaje? Safiri salama, mchana mwema, usiku mwema) kutoka kwenye chati, vitabu, kadi maneno, mti maneno, michoro, picha au vifaa vya kidijitali akiwa na wenzake - Kujadili na wenzake picha, michoro, video n.k. zinazoonyesha vitendo vya maamkuzi na maagano - Kuigiza maamkuzi na maagano akiwa na wenzake ili kujenga umilisi wa kutumia maneno haya - Kujadiliana na mzazi au mlezi wake maamkuzi na maagano kutoka kwa jamii yake |
Je, unajua maamkuzi na maagano yapi?
|
- Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 2
- Chati za maamkuzi na maagano - Kadi maneno - Picha na michoro - Vifaa vya kidijitali - Matini ya mwalimu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 4 - Kadi zenye maamkuzi na maagano - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 5 - Picha na michoro ya watu wakiamkuana na kuagana - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 6 - Vifungu vya hadithi - Picha zinazohusu uzalendo - Chati - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 7 - Kifungu cha hadithi kuhusu uzalendo - Kadi za maneno yanayohusiana na uzalendo - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 8 - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 9 - Chati za mifano ya hati nadhifu - Karatasi za kuandikia - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 10 - Mifano ya vifungu visivyo na nafasi kati ya maneno - Vifaa vya kuandikia - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 11 - Chati yenye mifano ya hati nadhifu - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 12 - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 15 - Picha - Kadi zenye maneno yeye na wao - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 17 - Vifungu vyenye maneno yeye na wao - Kadi zenye sentensi - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 20 - Chati za herufi - Kadi za vokali - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 21 - Kadi za konsonanti - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 24 - Alfabeti ya Kiswahili - Picha za vifaa vya shambani - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 25 - Vifungu vya kusoma - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 26 - Kifungu "Shamba letu" - Saa ya kupimia muda - Kadi za maneno yenye sauti lengwa - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 27 - Kifungu "Kazi ya shambani" - Orodha hakiki ya vipengele vya kuzingatia wakati wa kusoma - Chati zenye mifano ya herufi kubwa - Mifano ya vifungu vyenye herufi kubwa - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 28 - Chati ya alfabeti ya Kiswahili - Kadi za herufi kubwa na ndogo - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 29 - Picha ya shamba - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 30 - Chati zenye sentensi katika umoja - Picha za vitu katika hali ya umoja - Kadi za maneno - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 32 - Chati zenye sentensi katika wingi - Picha za vitu katika hali ya wingi - Oxford Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi uk. 34 - Jedwali la kulinganisha sentensi katika umoja na wingi - Kadi za sentensi - Picha za vitu katika umoja na wingi Oxford Kiswahili Dadisi uk. 36 Kadi maneno Rekodi ya mazungumzo Kifaa cha kidijitali Oxford Kiswahili Dadisi uk. 37 Chati ya maneno ya heshima na adabu Oxford Kiswahili Dadisi uk. 38 Sentensi zenye maneno ya heshima na adabu Kadi za maneno ya miezi ya mwaka Oxford Kiswahili Dadisi uk. 39 Picha Kifungu cha ufahamu "Kiangazi" Orodha ya maswali Oxford Kiswahili Dadisi uk. 40 Karatasi ya kuandikia sentensi Oxford Kiswahili Dadisi uk. 43 Kadi za herufi Mifano ya herufi ndogo Karatasi za kuandikia Oxford Kiswahili Dadisi uk. 44 Jedwali la herufi kubwa na ndogo Kifungu cha kunakili Oxford Kiswahili Dadisi uk. 45 Mfano wa kifungu Orodha ya mambo ya kuzingatia Oxford Kiswahili Dadisi uk. 46 Sentensi zenye neno "yule" Kifungu cha kusoma Rekodi ya maneno Oxford Kiswahili Dadisi uk. 48 Shairi lenye neno "wale" Sentensi zenye neno "wale" Oxford Kiswahili Dadisi uk. 50 Jedwali la umoja na wingi Sentensi za kujaza nafasi Sentensi za kubadilisha |
- Kutambua maneno yanayotumiwa katika maamkuzi na maagano
- Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo katika mazungumzo
- Igizo la maamkuzi na maagano
- Kujadiliana kuhusu matumizi ya maamkuzi na maagano
|
|
| 14 |
Week 8 |
||||||||
Your Name Comes Here